MAOMBI YA WATOTO by Innocent Morris

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 20 ส.ค. 2024
  • MAOMBI YA WATOTO by Innocent Morris
    Haya ni maombi mazuri sana ya watoto. Ni kwa ajili ya watoto wa kila rika kuanzia watoto wachanga mpaka watoto wa kubwa.
    "Yesu akawageukia, akasema, Enyi binti za Yerusalemu, msinililie mimi, bali jililieni nafsi zenu na watoto wenu."
    Luka 23:28
    Huu ni wakati wa kujiombea na kuombea watoto wetu.
    Ubarikiwe sana.
    Contacts: +255652796450 (WhatsApp)
    Instagram Page: holyspiritconnect
    Facebook Page: Holy Spirit Connect
    Contact: +255652796450 (WhatsApp)
    Instagram Link:
    / holyspiritconnect
    Facebook Link:
    / holyspiritconnect
    TH-cam Link:
    / holyspiritconnect

ความคิดเห็น • 223

  • @warshatissa7128
    @warshatissa7128 3 วันที่ผ่านมา

    Bwana yesu hakika wewe ndiye uliye nipa watoto hawa, nakuomba ushuke ukawaguse na kuwalinda wewe, tazama nawakabidhi mikononi mwako uwatetee na kuwapigani maishani mwao... Warithishe na ukawalishe mema ya nchi yako ameen

  • @Christianchazinho
    @Christianchazinho 12 วันที่ผ่านมา

    Namkabidhi bwana mtoto wangu huyu katika jina la yesu ukamlee ww ukamtunze ww akakue kwa kimo na maarifa ya kumpendeza Mungu na wanadamu navunja madhabau za ukoo kwa pande zote mbili navuja mateso ya giza katika jina la yesu Amen 🙏

  • @Christianchazinho
    @Christianchazinho 12 วันที่ผ่านมา

    Bwana yesu katawale maisha ya mtoto wangu kila hatua anazopitia namkabidhi katika madhabau ya misingi ya Mungu akakupendezee ww tawala jehovah Amen

  • @MareMa-kb3iy
    @MareMa-kb3iy 8 วันที่ผ่านมา +1

    Bwana yesu nawaleta mikoani mwako uwalinde na kuwa pigania katika jina la yesu kristo na kabidhi ukawaongoze

  • @olivemakyo555
    @olivemakyo555 25 วันที่ผ่านมา

    Nawakabidhi wanangu mikononi mwako katika jina la yesu Kristu ..tawala maisha yao, wakinge kutokana na nguvu za giza, uwalee wewe na kuwatunza katika jina la yesu kristu

  • @MareMa-kb3iy
    @MareMa-kb3iy 8 วันที่ผ่านมา +1

    Bwana yesu nakabidhi maisha ya wa toto wangu kwa jina la yesu kristo

  • @Christianchazinho
    @Christianchazinho 12 วันที่ผ่านมา

    Tawala afya ya mtoto wangu ninakataa roho za magonjwa katika jina la yesu kristo navunja maagano ya giza kuumwa magonjwa ya kurithi nakataa katika jina la yesu Amen

  • @KendyJonathan-h2u
    @KendyJonathan-h2u 27 วันที่ผ่านมา

    Bwana yesu ukawalinde watoto wangu kwa damu Yako Yesu kristo, walinde mbali na mitego yakila aina katika jina la Yesu kristo🙏amen

  • @Christianchazinho
    @Christianchazinho 12 วันที่ผ่านมา

    Namwekea mkono mwanangu namleta mikononi mwako bwana yesu katika jina la yesu Amen 🙏

  • @FatmaFarijala
    @FatmaFarijala 17 วันที่ผ่านมา

    Namkabidhi mtoto wangu kwako bwana yesu umrinde umtolee maroho ya kulia usiku

  • @MareMa-kb3iy
    @MareMa-kb3iy 8 วันที่ผ่านมา

    Bwana yesu ukawabariki watoto wangu mtoto Crispas na mackline Paulina moreen watafundishwa na bwana yesu

  • @user-ll9so3pk4j
    @user-ll9so3pk4j 2 หลายเดือนก่อน

    Bwana yesu ukatawale maisha ya Watoto wangu wote mponye Riana macho

  • @LeilaSpembo
    @LeilaSpembo หลายเดือนก่อน

    Nakubidhi watoto wangu kwa dam ya yesu kristu nakubidhi amis na ikbar na ilham uwarinde

  • @SakinaWanjemu
    @SakinaWanjemu หลายเดือนก่อน

    Bwana yesu tawala.maisha yawatoto wangu yasini najunior naukawalinde

  • @Mwx-zd4ov
    @Mwx-zd4ov หลายเดือนก่อน

    Bwana yesu walinde watoto wangu mahali walipo kwa damu ya yesu kristo

  • @MiriamMlele-j8p
    @MiriamMlele-j8p 17 วันที่ผ่านมา

    Naomba ulinzi juu watoto wangu wakiwa wamelala yesu asante

  • @zaitunkassim9564
    @zaitunkassim9564 ปีที่แล้ว +13

    Bwana Yesu ninawakabidhi watoto wangu mikononi mwako uwalinde katika kila eneo la maisha yao katika jina la Yesu Kristo.

    • @holyspiritconnect
      @holyspiritconnect  ปีที่แล้ว

      Ameen

    • @MorinZadok
      @MorinZadok ปีที่แล้ว

      Asante bwana muweza wa yote ww nitumaini langu sina tumaini lingine isipokuwa ww tu baba yangu baba ninawakabidhi watoto wangu mikononi mwako naomba utawale maisha yao majina yao ni petronila minayo,Vincent chagwe Isaac otiende and Frederick upatati haya majina nayatakasa na damu yako eeee mfale achilia damu yako kwa maisha yao waondolee kila visirani kwa maisha yao tawala tawala tawala naukaonekane katika jina la yesu kila marathi ya magonjwa kwa watoto wangu nakataa katika jina la yesu

  • @user-ll9so3pk4j
    @user-ll9so3pk4j 2 หลายเดือนก่อน

    Bwana yesu nakubidhi Watoto wangu Riana na Mona Lisa Bwana yesu nalet a Mwanangu Riana mikononi mwako apone macho

  • @Mwx-zd4ov
    @Mwx-zd4ov หลายเดือนก่อน

    Bwana yesu nawaleta mikononi mwako kwa jina la yesu kristo

  • @user-jq8lu7dv2t
    @user-jq8lu7dv2t หลายเดือนก่อน

    Bwana Yesu nwakabidhi watoto wangukwako priska Irine patricki leonady victa Agnec sephu

  • @carolinemwanziajustoh8334
    @carolinemwanziajustoh8334 ปีที่แล้ว +2

    Nakataa aibu kupitia kwa watoto wangu watakua vichwa na sio mikia kwa jina la Yesu amen

  • @olivasimkoko1436
    @olivasimkoko1436 3 หลายเดือนก่อน

    Nawakabidhi watoto wangu mikononi kwako kwa jina la yesu

  • @user-si6iu9vx2q
    @user-si6iu9vx2q 7 หลายเดือนก่อน

    Bwana yesu watoto wangu wafundishwe na bwana ktka jina la yesu ,

  • @MiriamMlele-j8p
    @MiriamMlele-j8p 10 วันที่ผ่านมา

    Uzao wangu wamebarikiwa katika jina la yesu

  • @jerolily
    @jerolily 6 หลายเดือนก่อน

    Bwana yesu ukatawele watoto wangu Jesus Christ 🙏🙏🙏

  • @DevotaKaaya-ue1je
    @DevotaKaaya-ue1je 3 หลายเดือนก่อน

    Bwana yesu ukalinde watoto wangu wnapolala usiku huu

  • @user-qh4de7gz6i
    @user-qh4de7gz6i 6 หลายเดือนก่อน

    Watoto wangu wote na waleta mi kononi mwako Katika jina la yesu kristo

  • @aminambwambo622
    @aminambwambo622 6 หลายเดือนก่อน +1

    Bwana YESU tawala tabia za watoto tawala kwenye masomo yao tawala tabia za watoto wangu ABDULRAHIM SAID ALLY /HAJRAT SAID ALLY BWANA YESU TAWALA AFYA ZA WATOTO WANGU NAKATAA ROHO ZA MAGONJWA KWA WATOTO WANGU BWANA YESU TAWALA KILA ENEO LA MAISHA YAO

  • @florencekwamboka9717
    @florencekwamboka9717 9 หลายเดือนก่อน +1

    Watoto wangu wote watafundishwa na bwana

  • @gracesambula7310
    @gracesambula7310 ปีที่แล้ว

    Bwana yesu nakukabidhi watoto wangu mukononi mwako

  • @florencekwamboka9717
    @florencekwamboka9717 9 หลายเดือนก่อน +1

    Uzao wangu watakua hodari duniani

  • @user-qp4ur2cj7c
    @user-qp4ur2cj7c 11 หลายเดือนก่อน

    Mtoto wangu akapate kibali mbele zako zako yesu

  • @christineobiri9033
    @christineobiri9033 ปีที่แล้ว

    Bwana yesu nimekabidhi watoto wangu mikononi mwako

  • @doriceevarist9149
    @doriceevarist9149 ปีที่แล้ว

    Nawakabidhi mikononi mwako kwa jina la yesu kirsito wa nazalet

  • @sophiamakani6133
    @sophiamakani6133 10 หลายเดือนก่อน

    Bwana YESU nawaleta watoto wangu mbele zako

  • @user-oi3lr8dt2t
    @user-oi3lr8dt2t 2 หลายเดือนก่อน

    Ubarikiwe Sana mtumishi maombi haya yananibariki sa Mungu akutunze sn.

  • @kapiriisavictoria4175
    @kapiriisavictoria4175 ปีที่แล้ว +3

    Naombea watoto wangu wa kuzaa na ninaolea Amen Amen and forever Amen 🙏

  • @juliethernest4550
    @juliethernest4550 ปีที่แล้ว

    Bwana YESU nakukabidhi watoto wangu

  • @hirdajacson8827
    @hirdajacson8827 ปีที่แล้ว

    Tawalatabia zawatoto wangu zikakipendeze wewe uwalinde wewe

  • @vestinasylidion7548
    @vestinasylidion7548 23 วันที่ผ่านมา

    Eh bwana yesu walinde watoto wangu

  • @user-bc9tr4ho8i
    @user-bc9tr4ho8i 7 หลายเดือนก่อน

    Ninaomba ulizi Watoto wangu

  • @lall2037
    @lall2037 10 หลายเดือนก่อน

    Nakukabidhi watoto wangu bwana yesu lukman na hawa

  • @user-qp4ur2cj7c
    @user-qp4ur2cj7c 11 หลายเดือนก่อน

    Eeh mwenyezi mungu ninakukabidhi mtoto wangu huyu akakuwe vyema ukamponye akawe sawa sawa

  • @paulinekisalikisali4631
    @paulinekisalikisali4631 7 หลายเดือนก่อน

    Nakabidhi bwana wtoto mikononi mwako Jose Jacky Peter silly Marcy na Marion walinde na uwape hekima maishani mwao

  • @hawajuma117
    @hawajuma117 ปีที่แล้ว +1

    Eee bwana yesu nakukabizi watoto watawale Maisha yao toka utoto hadi uzee wao watawale kill hatua

  • @judithfred2366
    @judithfred2366 9 หลายเดือนก่อน

    mungu nawakabidh mikonon mwako.ninakataa uharibifu kwa watto wangu mungu watie afya njema

  • @oman798
    @oman798 ปีที่แล้ว +2

    AMINA naombea Watoto wote MUNGU wajalie neem yako Baba yetu wa mbinguni awalide AMINA

  • @ifgeniakimaro4171
    @ifgeniakimaro4171 6 หลายเดือนก่อน

    Yes walinde watoto wangu ukayatawale wewe

  • @rachelkihongos8779
    @rachelkihongos8779 ปีที่แล้ว

    Naomba ulinzi juu ya watoto wangu

  • @LuluJoseph-rl3qg
    @LuluJoseph-rl3qg 11 หลายเดือนก่อน

    Mungu naomba uwabariki watoto wang

  • @user-qp4ur2cj7c
    @user-qp4ur2cj7c 11 หลายเดือนก่อน

    Eeh mfalme wa amani kupitia jina lako yesu mtoto wangu akapone maji aliyokunywa tumbo na uchafu yakakauke

  • @user-uo9fx3zt9y
    @user-uo9fx3zt9y 8 หลายเดือนก่อน

    Bwana nimekataa magonjwa katika njina layesukirsto

  • @Nicelover322
    @Nicelover322 4 หลายเดือนก่อน

    Mtakatifu mtakati uketie mbinguni ninakukabizi mtoto wangu devid mikononi mwako akue akikupendeza wewe bwana pamoja na wanadamu wote asante yesu kwa kufanya na kutenda amen 🎉

  • @yusuphhashim3477
    @yusuphhashim3477 10 หลายเดือนก่อน

    Bwana yesu nakukabizi mtoto wangu wa kwanza Fatuma nakukabizi mtoto wangu wa pili Saphina ukatawale maisha yao ukatawale wewe maisha yao

  • @DevotaDeokari
    @DevotaDeokari 6 หลายเดือนก่อน

    Bwana yesu atawale watoto wangu,❤

  • @daynaedward4767
    @daynaedward4767 4 หลายเดือนก่อน

    BWANA YESU tawala maisha ya watoto wangu JUNIOR HAMIS, na LAWRENCE DANIEL NAWAKABIZI MIKONONI MWAKO BWANA YESU UWALINDE ZIDI YA HILA ZOTE ZA ADUI, DAMU YA YESU IWE KINGA NA NGAO KWA WATOTO WANGU, ADUI ASIWASOGELEE KATIKA JINA LIPITALO MAJINA YOTE AMEN 🙏🙏🙏🙏

  • @verolazaro3375
    @verolazaro3375 ปีที่แล้ว +1

    Bwana Yesu nakukabizi watoto wangu ninakuomba uwalinde nikatika jina la Yesu kristo

  • @user-jx8no2td9c
    @user-jx8no2td9c ปีที่แล้ว +1

    Bwana yesu nawakabidhi watoto wangu Evans na Beryl mikononi mwako uwaleee wewe ukawalinde na ukawatunze maana ww ndiwe mwenye nguvu ukawape hekima na marifa pamoja na ufahamu Kwa Kila saa na hata tabia zao zikupendeze wewe milele

  • @user-ps8uh1vf4g
    @user-ps8uh1vf4g 4 หลายเดือนก่อน

    Mungu wewe ndiye ngome yangu wakati washida nawakati wa furaha pia,Nawakabidhi watoto wangu mikononi mwako kwakuwa uliwajuwa kabila sijawajuwa ,nakabithi maisha yao mikononi mwako waepuze na mizimu za kila aina katika jina layesu naomba nikiamini umetenda amina

  • @SegolinaNgowi
    @SegolinaNgowi 7 หลายเดือนก่อน

    Bwana Yesu Kristo ninkukabidhi watoto wangu Noel, Witnesses, Neema na Nicholaus Bwana Yesu Kristo tawala maisha ya watoto wangu

  • @gracekunambi7438
    @gracekunambi7438 ปีที่แล้ว +1

    Ninawakabidhi watoto wangu kwako kwa maana kwako kuna usalama uwaongoze katika njia iliyo sahihi, watendee sawa na ahadi yako.

  • @CalmAardvark-of2tq
    @CalmAardvark-of2tq 3 หลายเดือนก่อน

    Mungu wakubuke watoto wangu

  • @hirdajacson8827
    @hirdajacson8827 ปีที่แล้ว

    Watoto wangu nawkabidhi mikononi mwako namkabidhi brightness, bless,na Brian nawkabidhi wote mikononi mwako uwalinde uwaongoze kwa kila Jambo wewe ndio muweza wa yoteukatawle maisha yao ciku zote uwaongoze wewe

  • @florencekwamboka9717
    @florencekwamboka9717 9 หลายเดือนก่อน +1

    Bwana Yesu tawala maisha ya watoto wangu katika jina la Yesu kristo

  • @GetrudaBachunya
    @GetrudaBachunya 11 หลายเดือนก่อน

    Bwana Yesu watoto wangu wote nawakabidhi mkononi mwako Jehova,uwalinde wanapotoka kuingia Marshall yao yote ukatawale wewe kuanzia utoto mpaka uzee baraka zako ziwaandame kwa mamlaka ya jina la Yesu kristo Amen

  • @osohamissi8517
    @osohamissi8517 6 หลายเดือนก่อน

    Bwana yesu tawala maisha ya watoto wangu utawale na na tabiya za watoto utawale na afya ya watoto wangu

  • @aminambwambo622
    @aminambwambo622 6 หลายเดือนก่อน

    Na amani ya watoto wangu itakuwa nyingi

  • @aminambwambo622
    @aminambwambo622 6 หลายเดือนก่อน

    BWANA YESU ukawalinde watoto wangu shule uwalinde watoto wangu wanapolala uwalinde watoto wangu na mishale yote ya adui

  • @tmaniacell1731
    @tmaniacell1731 6 หลายเดือนก่อน

    Asante yesu 🙏 🙏 🙏 🙏 🙏 🙏 🙏 🙏 🙏 🙏 🙏 🙏 🙏 🙏

  • @hadijamfala390
    @hadijamfala390 22 วันที่ผ่านมา

    Bwana Yesu nakukabidhi watoto wangu ukawaondolea magonjwa kutokuelewana na binti yangu mjalie apate mwenza amen.

  • @florencekwamboka9717
    @florencekwamboka9717 ปีที่แล้ว +1

    Naomba kibali kila eneo la maisha ya watoto wangu katika jina la Yesu kristo

  • @annaymakala4508
    @annaymakala4508 ปีที่แล้ว

    Isaya 54 Amina Ndiyo ahadi yako kwa watoto wangu hadi kizazi cha nne

  • @user-tn5sp8wx5p
    @user-tn5sp8wx5p 7 หลายเดือนก่อน

    E bwana yesu nakukabidhi mikononi mwako watoto wangu tawala tabia za watoto wangu baba katika jina lako yesu kristo tawala Afya za watoto wangu

  • @ANNAMAHENGE-lj3og
    @ANNAMAHENGE-lj3og 4 หลายเดือนก่อน

    Bwana yesu naomba utawale watoto wangu wore pamoja na wajukuu zangu mungu ukawalinde nauwape maisha mwema na yeye mafanikio tele

  • @blandinadada7459
    @blandinadada7459 6 หลายเดือนก่อน

    Bwana yesu nawakabidhi watoto wangu mikononi mwako,uwaepushe na maadui wabaya wanaopoteza roho za watu

  • @martinehussein7261
    @martinehussein7261 ปีที่แล้ว

    Bwana yesu nawakabidhi watoto wangu mikononi Mwako naomba uzidi kuwalinda mahali walipo burundi kila mipango ma adui wakipaga ju yao yakashidwe kitika jina la yesu cristo Nazareth

  • @blandinadada7459
    @blandinadada7459 6 หลายเดือนก่อน

    Baba wa mbingun nawaombea watoto wangu wape nguvu,na uwaepushe na maadui wote wanaotesa watoto,mungu waongoze wawezefanikiwa na kile Wanachokitafuta baba wa mbingun

  • @hirdajacson8827
    @hirdajacson8827 ปีที่แล้ว +1

    Mungu naomba ulinzi wa watoto wangu kila wafanyalo mungu uwaongoze wewe uwafundishe wewe mungu

  • @jenniferpallangyo6123
    @jenniferpallangyo6123 ปีที่แล้ว +1

    Watoto wangu watakuwa hodari duniani ktk jina la yesu kristro

  • @blandinaabdul7232
    @blandinaabdul7232 11 หลายเดือนก่อน

    Bwanayesu ninakukabizi mikononi mwako watoto wangu ukatawale maisha yao katika jina la yesu Kristo 🙏😥 bwana yes tawala tabia ya husein na mariamu 🙏

  • @LilianNzioka-fr6co
    @LilianNzioka-fr6co ปีที่แล้ว +1

    Bwana yesu nakabithi watoto wangu mbele zako baba na nawambea barakabtawala maisha zao,tawala tabia za zikawe zakupeda baba,tawalavafya za watoto wangu,ninakataa roho za magonjwa ndani ya watoto wangu tawala afya ya watoto wangu katika jina la yesu kristo,Amen

  • @aminambwambo622
    @aminambwambo622 6 หลายเดือนก่อน

    Bwana YESU nakataa kila tabia mbaya kwenye maisha ya watoto wangu katika jina la YESU kirsto anaza reti alie hai

  • @smilewithafrica
    @smilewithafrica 11 หลายเดือนก่อน

    Emungu wangu, ukamponye mwangu Erin, akawe mzima Tena kwa Jina LA Yesu. Kila maumivu anayopitia yakayoweke kwa Jina LA Yesu, Nina mkabizi mikono mwako Yesu wangu, umlinde na kumpinga na kila ubaya na mishale ya shetani. Mbaliki kila aingiapo na atokapo.
    Mfanikishe kwenye masomo yake akawe hodari. Amen.

  • @Paulamulito
    @Paulamulito ปีที่แล้ว

    Bwana Yesu watoto wangu watakuwa hodari duniani hawataagaika kazi kama wazazi wao katika jina la Yesu kristo watoto wangu wamebarikiwa

  • @judithnjunwa6668
    @judithnjunwa6668 10 หลายเดือนก่อน

    Nakukabidhi MUNGU watoto wangu wa 4 kwa utukufu wako ,,uwatunze na kuwalea wewe,,,,mpak uzeeni kwako,,, Benjamin , Glory,, Joyce,,and happy in Jesus name

  • @hawamukanoheli2918
    @hawamukanoheli2918 3 หลายเดือนก่อน

    Nawkabidhi Mikononi mwako

  • @waleedbahar5275
    @waleedbahar5275 หลายเดือนก่อน

    Amen ubarikiwe Sana mtumishi

  • @JacklinaJeremaya-jb3zw
    @JacklinaJeremaya-jb3zw ปีที่แล้ว

    Ninakukabiz bwana yesu mwanagu glory akue vyema akikupendeza ww na wanadamu tawala maisha yake kuanzia kukua kwake mpaka atakapokua mzee katika jina la yesu kristo Amen

  • @AdmiringBeachHammock-qv3nk
    @AdmiringBeachHammock-qv3nk 6 หลายเดือนก่อน

    Bwana yesu nakukabidhi watoto wangu mikono mwako ukawatawale Kwa jina lako takatifu Amina

  • @Nicelover322
    @Nicelover322 4 หลายเดือนก่อน

    Barikiwa mtumishi wa mungu

  • @Mercy-jl1pn
    @Mercy-jl1pn 11 หลายเดือนก่อน +1

    Asante yesu

  • @bahatimwangoka6761
    @bahatimwangoka6761 7 หลายเดือนก่อน

    Bwana yesu, naomba utawale afya za watoto wangu, pamoja na wajukuu zako, kwa pamona., wakuwe wakikupendeza.

  • @user-ok2yd9tg3z
    @user-ok2yd9tg3z 6 หลายเดือนก่อน

    Bwana yesu ninamkanidhi mwanangu Gianna mikononi mwako damu ya yesu ikamfunike adui yeyote asimpate katika jina la Yesu napokea ushindi juu ya mwanangu katika jina la yesu

  • @Nicelover322
    @Nicelover322 4 หลายเดือนก่อน

    Ubarikiwe na bwana mtumishi 🙏🙏🙏🙏

  • @annaymakala4508
    @annaymakala4508 ปีที่แล้ว

    Ninakjri kwa kinywa changu na amani ya watoto wangu itakuwa nyingi

  • @gracesambula7310
    @gracesambula7310 ปีที่แล้ว

    Bwana yesu nawakabizi watoto wangu mukononi mwako kila eneo kwenye wako uwa linde katika jina lya yesu kiristo mwana wa mungu Alo hai wasiniaibishe bobote mungu uwafanye wakuwe watoto wakoo wakiroho eee mwenye mungu unisikie

  • @esterjosiahkileo1021
    @esterjosiahkileo1021 ปีที่แล้ว +1

    Kwa jina la yesu lkrisyo naaakabidhi watoto wng kwako mungu matakatifu,, nnakitumain weww

  • @aminambwambo622
    @aminambwambo622 6 หลายเดือนก่อน

    BWANA YESU nasema asante kwa ajili ya zawadi hii ya watoto wangu ulio nipa ABDULRAHIM SAID ALLY /HAJRAT SAID ALLY ASANTE BWANA YESU

  • @emmanjerikamau8476
    @emmanjerikamau8476 9 หลายเดือนก่อน +1

    Bwana yesu na wakabidhi watoto wangu mikononi mwako. Wabariki

  • @theodorakwai145
    @theodorakwai145 ปีที่แล้ว +1

    Bwana Yesu nawaleta watoto wangu Ritha na Patrick.. Ninakukabidhi watoto hawa