Mtumishi mafundisho yako yananitafakarisha,sana uhalisia wa maisha,na minyororo hiyotunayofungwa, kwenye Ulimwengu wa ROHO ,MTUMISHI ,ENDELEA KUTUFUNDISHA ,MUNGU,AKUBARIKI SANA
Hii hapa ni Familia yangu!Kuanzia dada zangu mpaka kaka zangu.Eeeh Mungu namimi huu Ndio wakati sahihi wa kufungua Minyororo ya kiroho katika familia yangu kwa DAMU ya Yesu.Amen..
Amen mwanangu, jina la YESU libarikiwe na kusifiwa sana kwa ukuu na uweza wake. Mungu akubariki sana na YESU azidi kukutendea makuu katika maisha yako kwa utukufu wa jina lake. Amen
Amen nilikuwa sijui chochote katika ulimwengu wa roho mmmh Mtumishi wa Mungu ni kweli ulivyosema nitaendelea na wewe Kila hatua ya Maombi hadi nifunguliwe Mungu amekutuma katika maisha yangu Asante Yesu kwa chombo chako uinuliwe sana mwalimu my mentor be blessed
Amen mwanangu, jina la YESU litukuzwe na kubarikiwa sana. Asante kwa kuungana nasi katika mfululizo wa maombi tunayoweka. Mungu akutendee makuu kwa utukufu wa jina lake. Ubarikiwe sana kwa baraka za milele
Icome from Kenya iam blessed every day hii Maombi through you tube imefanya nipokee uponyaji sijui nisemeje ila nashukuru mungu,ningependa nitolee mungu sadaka nipe mwelekeo plz 🙏
Mtumishi Mimi na familia tunaitaji kufunguliwa kutokanana mahubiri Aya naona Ni Kama nmegungea pamoja na familia angu naitaji maombezi yako🙏ubarikiwe sana
Amen mwanangu, naomba uwasiliane nasi kwa namba za simu zinazoonekana nasi tutakupa maelekezo ya namna ya kuombea jambo hilo. Unaweza ukatuma ujumbe wa maandishi kama simu haitapokelewa kwa wakati. Ubarikiwe na BWANA YESU
Amen Amen jina la BWANA YESU libarikiwe milele. Nashukuru Mungu kwa kugusa maisha yako. Damu ya YESU inene mema kwa ajili yako, na utembee kwenye ushindi daima. Amen
Pastor mimi nmeanza kusali na wewe nataka kukomboa roho yangu ntasali wki nzima pia nmeshare na wenzang wenye tatizo kama langu. Ubarikiwe sna sana. Mwwnyez mungu akukumbuke katika ufalme wake 🤲
Amen Mungu akubariki sana kwa kuwashirikisha na watu wengine maombi haya. Ubarikiwe na BWANA YESU na Mungu akutane na haja ya moyo wako na kukupa ushindi
Pole kwa kuota ndoto mbaya. Lakini usiogope, yupo YESU awezaye naye atakushindia. Damu ya YESU ifunike lango lako la ndoto, na upate ndoto nzuri zilizokusudiwa na MUNGU. Katika Jina la YESU KRISTO. Amen Napenda kukukaribisha ufanye maombi haya pia th-cam.com/video/ghfD3-QWtNE/w-d-xo.html
Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu kwa mafundisho kama haya, siyo watumishi wengi wanafunuliwa hayo, Mungu azidi kukutia nguvu zaidi. Mimi naomba maombi yaufungulivu ndani ya jamaa yangu kuna mtu iko ananitafuta aniangamize,ndoto zangu kwamwezi 3 naota nikiwa nawatu waliokufa zamani ndaho ya jamaa yangu naota nikiwa mudunia nyingine sihii yetu naomba msaada wamaombi.
Pole sana kwa changamoto unazopitia kwenye maisha yako. Pole pia kwa kuota ndoto mbaya. Mungu ni mzuri na anaenda kukufungua na kukuponya. Damu ya YESU ifute nyaraka zote za mashambulizi zilizoandikwa kwa ajili ya kukuangusha. Kwa jina la YESU. Nakutia moyo katika KRISTO YESU ufanye maombi haya kwenye link hii, na YESU ataonekana kwako. Amen! th-cam.com/video/ghfD3-QWtNE/w-d-xo.html
Amen Amen zidi kubarikiwa na BWANA YESU milele. Napenda kukukaribisha kwenye maombi mengine ya toba na rehema ya nyumba za baba zetu kwenye link hii th-cam.com/video/Bd3otmASnU8/w-d-xo.html
BWANA YESU asifiwe. Mafundisho haya yanapatikana Boomplay. Unaweza ukasikiliza na kudownload kupitia link hii; www.boomplay.com/songs/91261606?from=myPlaylists&srModel=COPYLINK&srList=WEB
Ubarikiwe na BWANA YESU milele. Endelea kufuatilia mafundisho tunayoyaweka kwenye channel hii na maombi. Pia kwa msaada zaidi wasiliana nasi kwa namba zetu za simu zilizopo kwenye video hii. Ubarikiwe
Mtumishi ubarikiwe sana kwa mafundisho yako na maombi yenye nguvu ys Mungu yaan unaniongelea mm kabisa maana niliagiza mchanga was ujenzi loli limeleta kabisa mpaka kwenye eneo language cha ajabu njia iko wazi kabisa lakin dreva alikataa kuvikisha kwenye kiwanja changu ukamwagwa kwa jiran nikichoka nikatoa ela ya siment na matofal Sikh naenda kuanza ujenz nikakuta nilompa ela ameondolewa kwenye ile ofisi yaan mungu anifungue kwenye mnyonyoro inayozuia nizisobge mbele nikianzisha biashara wiki ya kwanza inaenda viziri Sikh zinazofuata baada ya kusonga mbele biashara irudi nyuma bwana Yesu naomba unifungue kwenye eneo ili
Pole kwa kuota ndoto mbaya. Damu ya YESU ifunike lango lako la kupitishia ndoto, na nafsi yako ifunikwe kwa damu ya YESU, ili ndoto zote zinazopita na kuingia kwako ziwe ni zile ambazo zinatoka kwa Mungu. Katika jina la YESU. Amen! Nakutia moyo ufanye maombi haya kwenye link hii, th-cam.com/video/ghfD3-QWtNE/w-d-xo.html
Ambao 2024 bado wanabarikiwa na haya maombi like hapa
Amen amen mungu akubariki kwakutuongoza Kwa maombi ya ufungulivu wa Maisha yetu
Amen ubarikiwe na BWANA YESU
Mtumishi mafundisho yako yananitafakarisha,sana uhalisia wa maisha,na minyororo hiyotunayofungwa, kwenye Ulimwengu wa ROHO ,MTUMISHI ,ENDELEA KUTUFUNDISHA ,MUNGU,AKUBARIKI SANA
Amen Amen ubarikiwe sana, damu ya YESU iliyomwagika pale msalabani ikupiganie na kukushindia katika yote. Ubarikiwe sana na BWANA YESU milele yote
Amen mtumishi wa MUNGU.🙏🙏asante yesu siku yale umenikitanisha na hili neno lako ili nifunguliwe asante asante yesu.🙏🙏🙏👗
Amen YESU akupe ushindi mkuukwa utukufu wa jina lake
Hii hapa ni Familia yangu!Kuanzia dada zangu mpaka kaka zangu.Eeeh Mungu namimi huu Ndio wakati sahihi wa kufungua Minyororo ya kiroho katika familia yangu kwa DAMU ya Yesu.Amen..
Amen YESU akuonekanie na kukupa ushindi mkuu
Ameen Ameen Asante Mungu kwa kuikomboa nasfsi yangu kutoka kwenye minyororo ya shetani
Amen ubarikiwe na BWANA YESU milele
Asante Yesu kwa maombi haya bariki mtumishi wako
Amen ubarikiwe nawe pia kwa baraka za milele
@@IsaacJavan Amina
Maombi yako TH-cam yanisaidia sana. Ni Masada sana kwangu. Asante kwa kuchukua mda kurikodi na kuweka huku itufikie sisi tulio mbali. God bless you!
Amen mwanangu, jina la YESU libarikiwe na kusifiwa sana kwa ukuu na uweza wake. Mungu akubariki sana na YESU azidi kukutendea makuu katika maisha yako kwa utukufu wa jina lake. Amen
Bwana Yesu nivushe 🙌🙌🙌🙌🙌🙌
Amen mwanangu ubarikiwe na BWANA YESU
Naamini wakati wa Bwana umetimia .Utadhani uko na familia yangu .Neema yake YANITOSHA.
Amen nilikuwa sijui chochote katika ulimwengu wa roho mmmh Mtumishi wa Mungu ni kweli ulivyosema nitaendelea na wewe Kila hatua ya Maombi hadi nifunguliwe Mungu amekutuma katika maisha yangu Asante Yesu kwa chombo chako uinuliwe sana mwalimu my mentor be blessed
Amen mwanangu, jina la YESU litukuzwe na kubarikiwa sana. Asante kwa kuungana nasi katika mfululizo wa maombi tunayoweka. Mungu akutendee makuu kwa utukufu wa jina lake. Ubarikiwe sana kwa baraka za milele
Icome from Kenya iam blessed every day hii Maombi through you tube imefanya nipokee uponyaji sijui nisemeje ila nashukuru mungu,ningependa nitolee mungu sadaka nipe mwelekeo plz 🙏
Amen uzidi kubarikiwa na BWANA YESU milele yote
Amina nimefurahia somo ili
Amen mwanangu uzidi kubarikiwa na BWANA YESU
Powerful teaching I pray for God's people to understand this teaching IJN
Amen God bless you with everlasting blessings
Nimebarikiwa sana mtumishi wa mungu
Amen mwanangu uzidi kubarikiwa na BWANA YESU
Ubarikiwe sana Mtumishi nimepata kitu kipya hapa
Amen mwanangu ubarikiwe na BWANA YESU
Mtumishi wa mungu huishi umenifunza mengi
Amen mwanangu, ubarikiwe na BWANA YESU
Mtumishi Mimi na familia tunaitaji kufunguliwa kutokanana mahubiri Aya naona Ni Kama nmegungea pamoja na familia angu naitaji maombezi yako🙏ubarikiwe sana
Amen mwanangu, YESU awatetee na kuwafungua katika kila aina ya kifungo kinachowafunga kama familia. Mfunguliwe kwa utukufu wa jina la YESU
@@IsaacJavan amina
@@carolynebitama3865 Amen mwanangu
Navunja kina minyororo ya kiroho iliokua imenifunga mimi na familia yangu
Amen YESU akupe ushindi mkuu
Amen 🙏 Asante kwa mafundisho mazri be blessed
Amen mwanangu ubarikiwe na BWANA YESU milele yote
Nisaidie kuiombea nyumba yangu ilitamkiwa vibaya ikakwamia kwa mzingi nielekeze vile ntaiombea mtumishi wa Mungu
Amen mwanangu, naomba uwasiliane nasi kwa namba za simu zinazoonekana nasi tutakupa maelekezo ya namna ya kuombea jambo hilo. Unaweza ukatuma ujumbe wa maandishi kama simu haitapokelewa kwa wakati. Ubarikiwe na BWANA YESU
Amen...in jesus name, yale yote unayo yataja ndio yako kwa family yangu...mtumishi wa mungu unikumbuke kwa maombi...
Amen Amen, Mungu akutane na haja ya moyo wako, akuponye na kukufungua na kukushindia kwenye kila jambo linalogusa maisha yako.
Amina ubarikiwe asante yesu kwa nehema hii niliyo pata akukutana na mwl mungu akujaze nguvu katika kazi yake
Amen Amen jina la BWANA YESU libarikiwe milele. Nashukuru Mungu kwa kugusa maisha yako. Damu ya YESU inene mema kwa ajili yako, na utembee kwenye ushindi daima. Amen
Asante sana mtumishi
It's true
Amen mwanangu, ubarikiwe na BWANA YESU
Ameen, ubarikiwe, nazidi kufunguka juu, ya mafundisho unayotufundisha.
Amen Amen, zidi kubarikiwa na BWANA YESU. Usisahau kufuatilia masomo yote tunayoyaweka kwenye channel hii. Ubarikiwe sana
Amen mwl
Amen mwanangu ubarikiwe na BWANA YESU
Mungu niongoze baba ......nikumbuke kwa maombi pastor
BWANA YESU akupiganie na kukushindia kwenye vita yako, utembee katika ushindi daima
Mtumishi kweli leo umeifungua akili yangu, ubarikiwe Sana
YESU asifiwe sana mwanangu. Zidi kubarikiwa milele
Pastor mimi nmeanza kusali na wewe nataka kukomboa roho yangu ntasali wki nzima pia nmeshare na wenzang wenye tatizo kama langu. Ubarikiwe sna sana. Mwwnyez mungu akukumbuke katika ufalme wake 🤲
Amen Mungu akubariki sana kwa kuwashirikisha na watu wengine maombi haya. Ubarikiwe na BWANA YESU na Mungu akutane na haja ya moyo wako na kukupa ushindi
Barikiwa Sana mtumishi wa Mungu
Amen ubarikiwe na BWANA YESU milele
Tafadhali naombà uniombee kuhusù ndotò mbaya,naotà nikikimbishwa nà nyokà nà wachawi pia naotà wazazì wangu ambaò n marehemù
Pole kwa kuota ndoto mbaya. Lakini usiogope, yupo YESU awezaye naye atakushindia. Damu ya YESU ifunike lango lako la ndoto, na upate ndoto nzuri zilizokusudiwa na MUNGU. Katika Jina la YESU KRISTO. Amen
Napenda kukukaribisha ufanye maombi haya pia th-cam.com/video/ghfD3-QWtNE/w-d-xo.html
Thanks
Welcome
Naomba no zako mtumish wa Mungu.
Ubarikiwe na BWANA YESU. Namba zetu zipo hapo kwenye video description. Karibu, YESU anakupenda.
Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu kwa mafundisho kama haya, siyo watumishi wengi wanafunuliwa hayo, Mungu azidi kukutia nguvu zaidi.
Mimi naomba maombi yaufungulivu ndani ya jamaa yangu kuna mtu iko ananitafuta aniangamize,ndoto zangu kwamwezi 3 naota nikiwa nawatu waliokufa zamani ndaho ya jamaa yangu naota nikiwa mudunia nyingine sihii yetu naomba msaada wamaombi.
Pole sana kwa changamoto unazopitia kwenye maisha yako. Pole pia kwa kuota ndoto mbaya. Mungu ni mzuri na anaenda kukufungua na kukuponya. Damu ya YESU ifute nyaraka zote za mashambulizi zilizoandikwa kwa ajili ya kukuangusha. Kwa jina la YESU.
Nakutia moyo katika KRISTO YESU ufanye maombi haya kwenye link hii, na YESU ataonekana kwako. Amen! th-cam.com/video/ghfD3-QWtNE/w-d-xo.html
Asante sana mtumishi wa bwana, kwa mafundisho mazuri saana 🙏🙏👏👏👏
Mungu akubariki kwa baraka za milele
Mungu akupe maisha marefu....imenibariki sana
Amen Amen ubarikiwe na BWANA YESU. usisahau kufuatilia muendelezo wa sehemu ya pili ya somo hili, hivi karibuni.
Mafudisho mazuri minyororo imenisumbua miaka mingi, naomba uvungulivu
Amen Amen jina la BWANA YESU libarikiwe. Mungu akutane na haja ya moyo wako
Amen
Amina uko Kenya 👏👏❤🙏
Ameen barikiwa mtumish wa mungu
Amen Amen ubarikiwe milele yote
Amen 🙏
Amen ubarikiwe na BWANA YESU
Amen! Pray for me minyororo imenifunga miaka mingi
Usiogope! Yesu anakupenda na yeye ndiye ushindi wako.
Ameen
Amen ubarikiwe na BWANA YESU
Ee mwana nifungue katk gereza la utumwa wa kimasikn
Amen ubarikiwe sana na BWANA YESU milele yote
Amen.Amen
Amen Amen ubarikiwe na BWANA YESU milele
Minyororo yangu
Mimi
Ngesa
Ameen nimebarikiwa mno
Amen Amen zidi kubarikiwa na BWANA YESU milele. Napenda kukukaribisha kwenye maombi mengine ya toba na rehema ya nyumba za baba zetu kwenye link hii th-cam.com/video/Bd3otmASnU8/w-d-xo.html
😅amen
Niukweli
Nina
MBA
Mtumishi
Nisahiti
Sana
Mimi
Siwesi
Fanya
Jojote
Kilanki
Karibu
Mambo.yaku
Haendi
Mimi
Ni
Ko
Kenya
Naomba
To
Onane
PliZ😮
BWANA YESU asifiwe. Pole kwa yote unayopitia. Nakutia moyo, usiache kuomba. Kwa msaada zaidi wasiliana nasi kwa namba zetu za simu kupitia WhatsApp
amina
Amen Amen ubarikiwe na BWANA YESU milele
BWANA YESU asifiwe. Mafundisho haya yanapatikana Boomplay. Unaweza ukasikiliza na kudownload kupitia link hii;
www.boomplay.com/songs/91261606?from=myPlaylists&srModel=COPYLINK&srList=WEB
My babe.. keep going love. Am praying for you
Amen Amen my wife. Thank you so much for your prayers and blessings. You are my treasure and I thank God for you.
Maombi pls mm mwenyewe unayosema kma unanisema mm ni halos kabisa
Ubarikiwe na BWANA YESU milele. Endelea kufuatilia mafundisho tunayoyaweka kwenye channel hii na maombi. Pia kwa msaada zaidi wasiliana nasi kwa namba zetu za simu zilizopo kwenye video hii. Ubarikiwe
@@IsaacJavan ameen
Powerful words 🔥🔥🔥🔥🔥
Amen to JESUS be the praise and honor
Amen pls remember me in prayers pastor God bless you
Amen may God meet you at every point of your need
Amen
Amen Amen ubarikiwe na BWANA YESU milele
Mtumishi ubarikiwe sana kwa mafundisho yako na maombi yenye nguvu ys Mungu yaan unaniongelea mm kabisa maana niliagiza mchanga was ujenzi loli limeleta kabisa mpaka kwenye eneo language cha ajabu njia iko wazi kabisa lakin dreva alikataa kuvikisha kwenye kiwanja changu ukamwagwa kwa jiran nikichoka nikatoa ela ya siment na matofal Sikh naenda kuanza ujenz nikakuta nilompa ela ameondolewa kwenye ile ofisi yaan mungu anifungue kwenye mnyonyoro inayozuia nizisobge mbele nikianzisha biashara wiki ya kwanza inaenda viziri Sikh zinazofuata baada ya kusonga mbele biashara irudi nyuma bwana Yesu naomba unifungue kwenye eneo ili
Niombeye pastor na juu ya fiance yangu,tuna plan kufanya ndoa next year
Amen Mungu akutane na haja ya moyo wako, na damu ya YESU inene mema kwenye maisha na mipango yako. Amen!
@@IsaacJavan amen
Naomba uniombee naota nikifanya gono dodotoni.
Pole kwa kuota ndoto mbaya. Damu ya YESU ifunike lango lako la kupitishia ndoto, na nafsi yako ifunikwe kwa damu ya YESU, ili ndoto zote zinazopita na kuingia kwako ziwe ni zile ambazo zinatoka kwa Mungu. Katika jina la YESU. Amen!
Nakutia moyo ufanye maombi haya kwenye link hii, th-cam.com/video/ghfD3-QWtNE/w-d-xo.html
@@IsaacJavan Amen nà asante sana mwlmu
@@fridahkabango1662 Amen Amen ubarikiwe na BWANA YESU milele
Natafuta namba yako ya whatap please nisaidie
Kwa sasa bado hatujaanza kupatikana WhatApp, lakini Mungu akinipa kibali nitapatikana hivi karibuni. Ubarikiwe na BWANA YESU milele
Nisaidie kuiombea hii nilianza kujenga mtu wa family akatamka maneno juu ya hio mjengo Sasa ikwamia kwa mzingi please help me
Usiogope, nitafute kwa namba za simu zinzoonekana hapo kwenye video. Tuma ujumbe mfupi wa maandishi nitakupa maelekezo ya kitu cha kufanya
Barikiwa sana mtumishi wa Mungu
Amen Amen 🙏
Amen 🙏🙏
Amen mwanangu ubarikiwe na BWANA YESU milele
Amen Amen
Amen ubarikiwe na BWANA YESU
Amen 🙏
Amen ubarikiwe na BWANA YESU
Ameen
Amen ubarikiwe na BWANA YESU
Amen
Amen Amen ubarikiwe na BWANA YESU milele
Amen
Amen Amen ubarikiwe na BWANA YESU milele
Amen🙏🙏🙏
Amen mwanangu, ubarikiwe na BWANA YESU milele
Amen 🙏
Amen mwanangu ubarikiwe na BWANA YESU milele
Amen
Amen Amen ubarikiwe na BWANA YESU milele
AMEEN🙏🙏🙏🙏
Amen mwanangu ubarikiwe na BWANA YESU
Ameeen
Amen ubarikiwe na BWANA YESU milele.
Amina
Amen
Amen mwanangu ubarikiwe na BWANA YESU
Amen 🙏 🙏 🙏
Amen mwanangu ubarikiwe na BWANA YESU milele
Amen