![Isaac Javan](/img/default-banner.jpg)
- 126
- 1 731 425
Isaac Javan
Tanzania
เข้าร่วมเมื่อ 6 เม.ย. 2016
Hii ni channel ya mafundisho ya neno la Mungu na Mwl. Isaac Javan. Maono ya Channel hii ni kuwafikia watu wote ndani na nje ya Tanzania, na kuwapa habari njema ya ufalme wa Mungu, na kuwawezesha waishi maisha yenye amani, furaha, na ushindi katika KRISTO YESU.
Mafundisho yanayotolewa kupitia Channel hii, yanatoka kwenye Biblia Takatifu, yakimnena Mungu Baba kama alivyo, kupitia KRISTO YESU, na kwa uweza na uongozi wa Roho Mtakatifu. Aina ya mafundisho yanayotolewa kupitia Channel hii, yanalenga kuwajengea watu uwezo wa kujiombea wao wenyewe wanapokuwa na uhitaji, ili Mungu aonekane akitenda, na sifa na utukufu zimrudie yeye pekee.
Karibu ujifunze neno la Mungu na ujenge mahusiano binafsi na Mungu katika maisha yako ya sasa na baadae. Mkaribishe na mtu mwingine, ambaye anaweza kunufaika na huduma hii ya mafundisho ya neno la Mungu. Ubarikiwe na BWANA YESU milele. Amen.

5. DALILI ZA KURUDI KWA YESU NA UNYAKUO WA KANISA | Mwl. Isaac Javan
Tunakaribia mwisho wa dunia hii, na YESU yupo karibu kuja kulichukua kanisa lake. Kama Mungu amekupa nafasi ya kuwa hai siku ya leo, fahamu ya kwamba unaishi kwenye kipindi muhimu sana kwenye historia ya maisha ya mwanadamu.
Mambo tunayoyashuhudia leo, ni mambo ambayo manabii waliopita walitamani kuyaona lakini hawakuyaona. Mambo tunayosikia, ni mambo ambayo manabii walitamani kuyasikia, lakini hawakuyasikia. Sisi tumepewa kibali na neema ya kuishi na kushuhudia unabii ukitimia mbele ya macho yetu.
Hili somo linakuja kwako ili kukuandaa kunyakuliwa, kwa sababu YESU yupo karibu sana kurudi. Hakikisha unasikiliza vizuri mafundisho haya, halafu uweke kwenye matendo kile utakachojifunza, ili parapanda ikilia, na wewe uwe mmoja wa tutakaomlaki YESU pale mawinguni.
Nakuombea YESU akutie nguvu ya kusimama katika imani yako ndani ya KRISTO. Nakuombea utunze vazi lako la wokovu, ili shetani asije akaitwaa taji yako. Nakuombea tumaini lenye baraka la kunyakuliwa lisikupotee, lakini ukae tayari kwa sababu saa yaja, nayo sasa ipo. YESU anarudi.
Mungu akubariki. Mshirikishe na ndugu, jamaa na marafiki zako juu ya ujumbe huu muhimu. Amani ya YESU iwe ndani yako. Amen
Mwl. Isaac Javan

มุมมอง: 21 103
วีดีโอ
4. DALILI ZA KURUDI KWA YESU NA UNYAKUO WA KANISA | Mwl. Isaac Javan
มุมมอง 76Kปีที่แล้ว
Tunakaribia mwisho wa dunia hii, na YESU yupo karibu kuja kulichukua kanisa lake. Kama Mungu amekupa nafasi ya kuwa hai siku ya leo, fahamu ya kwamba unaishi kwenye kipindi muhimu sana kwenye historia ya maisha ya mwanadamu. Mambo tunayoyashuhudia leo, ni mambo ambayo manabii waliopita walitamani kuyaona lakini hawakuyaona. Mambo tunayosikia, ni mambo ambayo manabii walitamani kuyasikia, lakini...
3. DALILI ZA KURUDI KWA YESU NA UNYAKUO WA KANISA | Mwl. Isaac Javan
มุมมอง 35Kปีที่แล้ว
Tunakaribia mwisho wa dunia hii, na YESU yupo karibu kuja kulichukua kanisa lake. Kama Mungu amekupa nafasi ya kuwa hai siku ya leo, fahamu ya kwamba unaishi kwenye kipindi muhimu sana kwenye historia ya maisha ya mwanadamu. Mambo tunayoyashuhudia leo, ni mambo ambayo manabii waliopita walitamani kuyaona lakini hawakuyaona. Mambo tunayosikia, ni mambo ambayo manabii walitamani kuyasikia, lakini...
2. DALILI ZA KURUDI KWA YESU NA UNYAKUO WA KANISA | Mwl. Isaac Javan
มุมมอง 43Kปีที่แล้ว
Tunakaribia mwisho wa dunia hii, na YESU yupo karibu kuja kulichukua kanisa lake. Kama Mungu amekupa nafasi ya kuwa hai siku ya leo, fahamu ya kwamba unaishi kwenye kipindi muhimu sana kwenye historia ya maisha ya mwanadamu. Mambo tunayoyashuhudia leo, ni mambo ambayo manabii waliopita walitamani kuyaona lakini hawakuyaona. Mambo tunayosikia, ni mambo ambayo manabii walitamani kuyasikia, lakini...
1. DALILI ZA KURUDI KWA YESU NA UNYAKUO WA KANISA | Mwl. Isaac Javan
มุมมอง 36Kปีที่แล้ว
Tunakaribia mwisho wa dunia hii, na YESU yupo karibu kuja kulichukua kanisa lake. Kama Mungu amekupa nafasi ya kuwa hai siku ya leo, fahamu ya kwamba unaishi kwenye kipindi muhimu sana kwenye historia ya maisha ya mwanadamu. Mambo tunayoyashuhudia leo, ni mambo ambayo manabii waliopita walitamani kuyaona lakini hawakuyaona. Mambo tunayosikia, ni mambo ambayo manabii walitamani kuyasikia, lakini...
JINSI YA KUOMBA NDUGU YAKO ALIYEKUFA ANAPOKUTOKEA KWENYE NDOTO | Prayer Guide | MWL. ISAAC JAVAN
มุมมอง 5Kปีที่แล้ว
Umewahi kuota ndugu yako aliyekufa anakutokea kwenye ndoto? Ukiwa kwenye ndoto unamuona anaugua, halafu anakufa tena? Hilo ni jambo la kulifuatilia na kulishughulikia kwa maombi kwa sababu linampa shetani nafasi ya kukushambulia kwenye afya yako na uzima wako. Katika somo hili, utaenda kupata maelekezo ya kitu cha kufanya ikiwa umekuwa ukisumbuliwa na ndoto za namna hiyo mara kwa mara. Vile vil...
5. MAOMBI YA KUSHINDA VITA YA KANSA | Colon Cancer | Deliverance | MWL. ISAAC JAVAN
มุมมอง 928ปีที่แล้ว
YESU akamwambia, "Enenda zako kwa amani, uwe mzima, usiwe na msiba wako tena"
4. MAOMBI YA KUSHINDA VITA YA KANSA | Breast Cancer | Deliverance | MWL. ISAAC JAVAN
มุมมอง 1.2Kปีที่แล้ว
YESU akamwambia, "Enenda zako kwa amani, uwe mzima, usiwe na msiba wako tena"
3. MAOMBI YA KUSHINDA VITA YA KANSA | Deliverance | MWL. ISAAC JAVAN
มุมมอง 3.6Kปีที่แล้ว
YESU akamwambia, "Enenda zako kwa amani, uwe mzima, usiwe na msiba wako tena"
2. MAOMBI YA KUSHINDA VITA YA KANSA | Kukata Rufaa Ya Mauti | MWL. ISAAC JAVAN
มุมมอง 5Kปีที่แล้ว
YESU akamwambia, "Enenda zako kwa amani, uwe mzima, usiwe na msiba wako tena"
1. MAOMBI YA KUSHINDA VITA YA KANSA | Toba na Rehema | MWL. ISAAC JAVAN
มุมมอง 5Kปีที่แล้ว
YESU akamwambia, "Enenda zako kwa amani, uwe mzima, usiwe na msiba wako tena"
5. MAOMBI YA KUVUNJA MINYORORO YA KIROHO | Mwl. Isaac Javan
มุมมอง 2.8K2 ปีที่แล้ว
Hili ni somo la kufungua vifungo. Ni somo maalum kwa watu wote ambao wanataka kuvuka na kusonga mbele kwenye maisha. Katika somo hili, utajifunza mambo yafuatayo. 1. Maana ya minyororo ya kiroho. 2. Sababu zinazopelekea mtu afungwe na minyororo ya kiroho. 3. Mikakati mbalimbali ya kuvunja minyororo ya kiroho kwa njia ya maombi. Ni maombi yangu kwa Mungu, mpaka mwisho wa somo hili, Mungu atakuta...
4. MAOMBI YA KUVUNJA MINYORORO YA KIROHO | Mwl. Isaac Javan
มุมมอง 6K2 ปีที่แล้ว
Hili ni somo la kufungua vifungo. Ni somo maalum kwa watu wote ambao wanataka kuvuka na kusonga mbele kwenye maisha. Katika somo hili, utajifunza mambo yafuatayo. 1. Maana ya minyororo ya kiroho. 2. Sababu zinazopelekea mtu afungwe na minyororo ya kiroho. 3. Mikakati mbalimbali ya kuvunja minyororo ya kiroho kwa njia ya maombi. Ni maombi yangu kwa Mungu, mpaka mwisho wa somo hili, Mungu atakuta...
3. MAOMBI YA KUVUNJA MINYORORO YA KIROHO | Mwl. Isaac Javan
มุมมอง 6K2 ปีที่แล้ว
Hili ni somo la kufungua vifungo. Ni somo maalum kwa watu wote ambao wanataka kuvuka na kusonga mbele kwenye maisha. Katika somo hili, utajifunza mambo yafuatayo. 1. Maana ya minyororo ya kiroho. 2. Sababu zinazopelekea mtu afungwe na minyororo ya kiroho. 3. Mikakati mbalimbali ya kuvunja minyororo ya kiroho kwa njia ya maombi. Ni maombi yangu kwa Mungu, mpaka mwisho wa somo hili, Mungu atakuta...
8. UPONYAJI KWA WALIOVUNJIKA MOYO | Mwl. Isaac Javan
มุมมอง 1.4K2 ปีที่แล้ว

7. UPONYAJI KWA WALIOVUNJIKA MOYO | Mwl. Isaac Javan
มุมมอง 1.2K2 ปีที่แล้ว

6. UPONYAJI KWA WALIOVUNJIKA MOYO | Mwl. Isaac Javan

5. UPONYAJI KWA WALIOVUNJIKA MOYO | Mwl. Isaac Javan
มุมมอง 1K2 ปีที่แล้ว
5. UPONYAJI KWA WALIOVUNJIKA MOYO | Mwl. Isaac Javan
4. UPONYAJI KWA WALIOVUNJIKA MOYO | Mwl. Isaac Javan
มุมมอง 1.4K2 ปีที่แล้ว
4. UPONYAJI KWA WALIOVUNJIKA MOYO | Mwl. Isaac Javan
3. UPONYAJI KWA WALIOVUNJIKA MOYO | Mwl. Isaac Javan
มุมมอง 9572 ปีที่แล้ว
3. UPONYAJI KWA WALIOVUNJIKA MOYO | Mwl. Isaac Javan
2. UPONYAJI KWA WALIOVUNJIKA MOYO | Mwl. Isaac Javan
มุมมอง 1.6K2 ปีที่แล้ว
2. UPONYAJI KWA WALIOVUNJIKA MOYO | Mwl. Isaac Javan
1. UPONYAJI KWA WALIOVUNJIKA MOYO | Mwl. Isaac Javan
มุมมอง 1.7K2 ปีที่แล้ว
1. UPONYAJI KWA WALIOVUNJIKA MOYO | Mwl. Isaac Javan
10. KUTAMBUA WITO ULIOITIWA | Final | Mwl. Isaac Javan
มุมมอง 5012 ปีที่แล้ว
10. KUTAMBUA WITO ULIOITIWA | Final | Mwl. Isaac Javan
9. KUTAMBUA WITO ULIOITIWA | Mwl. Isaac Javan
มุมมอง 5072 ปีที่แล้ว
9. KUTAMBUA WITO ULIOITIWA | Mwl. Isaac Javan
8. KUTAMBUA WITO ULIOITIWA | Mwl. Isaac Javan
มุมมอง 5372 ปีที่แล้ว
8. KUTAMBUA WITO ULIOITIWA | Mwl. Isaac Javan
7. KUTAMBUA WITO ULIOITIWA | Mwl. Isaac Javan
มุมมอง 5262 ปีที่แล้ว
7. KUTAMBUA WITO ULIOITIWA | Mwl. Isaac Javan
6. KUTAMBUA WITO ULIOITIWA | Mwl. Isaac Javan
มุมมอง 5042 ปีที่แล้ว
6. KUTAMBUA WITO ULIOITIWA | Mwl. Isaac Javan
5. KUTAMBUA WITO ULIOITIWA | Mwl. Isaac Javan
มุมมอง 5522 ปีที่แล้ว
5. KUTAMBUA WITO ULIOITIWA | Mwl. Isaac Javan
4. KUTAMBUA WITO ULIOITIWA | Mwl. Isaac Javan
มุมมอง 8382 ปีที่แล้ว