MATEKA WA KIROHO(I) - PASTOR SUNBELLA KYANDO
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 8 ก.พ. 2025
- KANISA LA REALITY OF CHRIST MINISTRY (ROC) LIPO SINZA MORI DAR ES SALAAM LINAONGOZWA NA WATUMISHI WA MUNGU PASTOR SUNBELLA KYANDO
UNAWEZA WASILIANA NASI AU KUTUMA SADAKA YAKO KWA NAMBA HII : 0657 173 322
Unaweza kutufuatilia katika mitandao yetu ya kijamii
Like our Facebook: / therealityof. .
Follow our Instagram: / realityofch. .
Subscribe our TH-cam: www.youtube.co....
#sunbellakyando #pastorsunbellakyando #pastorjohnsembatwa #realityofchrist
Barikiwa mtumishi wa mungu
Mungu akubariki sana.Mungu niwezeshe kushinda hofu Kabisa.
Hyu ni Mimi kbsa mungu anisaidie nimeangaika sana narud nyuma Kila skuu ,🙏😒
Ee Mungu ili neno nakushkuru baba umeongea
Napenda ukifundisha na unapana testemony ushuhuda
Mungu anipe kuishinda roho ya hofu...
Ninataman Mungu anifungue nguvu zote za giza na mtumishi wa Mungu bwana azid kukuinua nawe uwe wakuzishika njia zake mwenyezi Mungu
Amen nnaishinda Roho ya hofu kwa Jina la Yesu
Amen mtumishi barikiwa sana
Ninashinda roho ya hofu kwa jina la yesu
Amen..napata Raha iliyobeba mema kwa Jina la Yesu Amen
Ameni Mungu aniondolee roho ya hofu
Ubarikiwe sana nabii
Watching from South Africa
Navunja roho ya hofu kwenye maisha yangu
Upo mtaalam wangu,tuko wote
Amen..marafiki zangu nawawe ni wakuu...Oo Glory be to God
Amen kila uteka wa kiroho kwenye maisha yangu napokea kufunguliwa kwa ubora,usahihi na ukamili kwa Jina la Yesu .
Nimebarikiwa kwa hili neno....na Mungu aendelee kuwatunza watu wake.....Amen
Roho ya hofu aina nafasi katika maisha yangu
🙌🏿🙌🏿Mateka wa kiroho 😢
Amen amen Mungu akubariki sana mutushi wa Mungu 🙏🙌❤️
Asante ee Yesu kwa neno lako
Ni kweli hofu ni roho chafu .nami najiashanga Sasa hivi nimekumbwa na hofu lakini siku za nyuma nilikua jasili kwa kila hali .
Mungu akutie nguvu sana,kwa maana roho ya hofu ni utumwa tena au nikutawaliwa na shetani,,au kutawaliwa na giza maana giza likikutawala huwezi kufanikiwa kwa chochote maana yake umefanyika kuwa mateka utafanya kazi uchumi unaenda kwao, Mungu aingilie kati akutetee, Mungu akuokoe
Mungu akubariki baba
Amina 🙏
Amen
Amen nafunguliwa
Amén 🙏
Kwakwel barikiwa sana mtumishi NAMI nmejifunza kitu Kuna ugonjwa nilikuwa nao apo zaman nikiwa na hofu tu ulikuwa unanirudia lakn nikakili kuwa sitoumwa tena kumbe ilikuwa ni roho ya hofu
😮😮
Mchungaji mm naomba nipate namba yako
Kiukweli mtumishi hapo umenihubiri mimi ninapata hofu kwa kipindi cha Mwezi mzima. Nisaidieni jamani
kiukweri mchungaji napenda mahubiri yako
Yaaani haya unayosema yamenipata miezi miwili iliyopita.Nilianza tu kupata hofu kua mwanaume niliyetegemea anioe tutaachana ndani ya hiyo wiki akaniacha.
Pole dia keep on praying
Mimi naomba kujua nyaluji ni nini
Amen
🙌🏿🙌🏿Mateka wa kiroho 😢
😮😮
Amen
🙌🏿🙌🏿Mateka wa kiroho 😢😢
Amen
Amen
Amen