Nimeona hii Jana na leo nimeanza haya maombi kwa kufunga na kuomba maana mimi nilifunga ndoa kabisa na Pete nikavishwa na familia yangu ili shiriki siku ya ndoa hii ya kipepo ilikuwa mwaka 2011 ila nimekuja kushutuka mwaka huu that something is not right na nikaamua mwenyewe kuacha uovu na kumtafuta Mungu hili niweze kufunguliwa akika nina historia na hizi roho za majini nikianza kumwambia mtu anazani nimuvi nilikuwa na msimulia kumbe ni maisha yangu harisi .. nimejifunza na Mungu akubariki Pastor nitafatilia adi mwisho😢
Amen mwanangu, ubarikiwe sana. YESU akuonekanie na akushindie katika hili kwa utukufu wa jina lake. Damu ya YESU inene mema kwa ajili yako na kukushindia. Ubarikiwe sana na BWANA YESU kwa baraka za milele yote
Amen ubarikiwe sana mtumishi, nimesikiliza hili neno wakati wa maombi nimetapika sana pia nimefuatisha sala ya kuokoka niko HURU sasa, nimeteseka ka muda na hii roho chafu. Asante YESU kwa uponyaji sintarudi nyuma MUNGU nisaidie. Amen
Nashukuru sana mtumishi nilitafuta sana somo kama hili nashukuru nimelipata kabla ya kuolewa nimekuwa huru kuanzia sasa kutoka katika vifungo vya jini mahaba. Ameeen
Nilikuwa mzito sana kusikiliza hili somo, ubarikiwe sana sana sana. Najua ni kwa upendo wake Mungu usio kifani leo najishangaa nasikiliza na kuchukua notes, asante Mungu.
Amen that happened to me please pray for me this message is ready to me i don't know what to say just to say that everyone hear this message is blessed today forever amen 🙏 please pray for me thanks
Asante sana Mtumish wa Mungu nimebarikiwa kwa mafundisho haya Mungu akubariki sana. ,Nakuomba uniombee mtumish maana kuoitia mafundisho haya nimeona wazi kabisa Kuwa nipo kwenye utumwa wa jini mahaba sijui ata naelekea wapi maana siyaelew kabisa maisha yangu Mtumish nakuomba sana uniombee.
Amen,hili somo limekuja Kwa wakati ufaao,hili jini mahaba limenisubua sana, najiweka huru katika jina la Yesu kristu , I cancel all evil plans and abort them in the name of Jesus Christ , asante Pastor Kwa hili somo
Yewomi... Haya mambo ni mazito, yana mafumbo. Ashukuriwe Mungu aliyekufunulia Haya yote. Mimi ni nimeokoka miaka mingi nafahamu kuhusu majini mahaba lakini nimegundua nilikuwa hata siombi robo robo nilikuwa naomba punje punje kabisa. Thank you Holy Spirit for directing me to this
Mungu akubariki sana kwa kufanya maombi haya. Nakuombea ushindi mkuu, na YESU azidi kukuhudumia na kukutetea daima. Ubarikiwe sana na BWANA YESU milele
Mtumishi mungu akutunze,,,, sijui ni nini kimeniambia nifungue kweny ili somo,,, mimi nimeachana na mwanaume na ameleta mwanamke ndan ya Nyumba ile ile niliokuwa naishi nae na alala nae kitanda kilekile ,,, na ilo jini likuja kila ninapokaribia period
Pole mwanangu kwa yote unayopitia kwenye maisha yako. YESU ni mwaminifu na atafanya njia kwa ajili yako. Ninaomba usiache kufuatilia muendelezo wa maombi haya na ninajua YESU anaenda kukufungua na kukuweka huru. Ubarikiwe sana na BWANA YESU
Amen .. I receive total deliverance .spirit spouse can mess someone life badly.God liberate me .God if I gave Satan legal right through sin of masterbation, lust , intercourse.Lord Jesus have mercy on me ..n set me free from all bondage n captivity..I divorce you spirit husband n any covenant I made with you I decreee it's broken by blood of Jesus
Mtumishi mimi niliota mtumishi wa mungu mahali ananivalisha pete ikawa inakataa kuingia kwenye kidole.namjua mpaka na nguo alokuwa zmevaa.nisaidie baba
Mungu akubariki sana, na pole kwa ndoto hiyo. Kuna tatizo, lakini usiogope kwa sababu YESU ni muweza wa yote na atakushindia hakika. Kwa sasa endelea kwanza na haya maombi ili tuone matokeo yatakavyokuwa. Nami nakuombea pia ili YESU akufungue na kukuweka huru
Am following you keenly🙇♀️ nimeeka imani kwa Mungu na ninaamini at the end of this topic naenda kufunguliwa kabisa Mungu akubariki sana mtumishi kwa kwa hili somo azidi kukufunulia zaidi ili tupone🙏
Mungu tetea familia yangu na mume wangu mtalajiwa Jonasi maltini kisuda amenitenga kuna mwanamke ameingilia kati Mungu nisaidie mm moshi hussein uchinjo napitia magu sana ila kw Mungu hakuna gumu
Naomba mungu anifungue ninaomba sana hadi nakosa aman ndoa yangu ilivunjika nahicho kipindi alopoondoka mumewangu jini alikua anakuja kila siku eti anakuja kunifariji
YESU ni mwaminifu mwanangu. Kama YESU alimfufua Lazaro aliyekuwa amekufa na kuoza, atafanya jambo jipya kwa ajili yako. Usipoteze tumaini. Amini tu, na YESU atakutendea makuu kwa utukufu wa jina lake. Ubarikiwe sana
Asante sana mtumish wa Mungu kwa mafundiaho haya mazuri Mungu akubariki sana katika utumish wako Leo ndo nimedhihirisha kwamba kweli Maisha yangu yamevamiwa na Jini mahaba Mtumish nakuomba uniombee maana sijui Ata naelekea wapi maana sielewi hata maana naona kabisa nipo kwenye utumwa wa Jin mahaba Naomba uniombee mtumish wa Mungu
Amen mwanangu ubarikiwe na BWANA YESU milele. Usisahau kufuatilia muendelezo wa maombi haya, kuna kitu kikubwa Mungu anaenda kufanya. Ubarikiwe sana na BWANA YESU
Imo nguvu kutwa nani ya Jina la Yesu,sasa nimepona na ndoa yangu imepona.Amen
Amen Mungu akubariki na kukutunza
Yesu asante kwa kuniitikia
Amen Amen ubarikiwe
Nimeona hii Jana na leo nimeanza haya maombi kwa kufunga na kuomba maana mimi nilifunga ndoa kabisa na Pete nikavishwa na familia yangu ili shiriki siku ya ndoa hii ya kipepo ilikuwa mwaka 2011 ila nimekuja kushutuka mwaka huu that something is not right na nikaamua mwenyewe kuacha uovu na kumtafuta Mungu hili niweze kufunguliwa akika nina historia na hizi roho za majini nikianza kumwambia mtu anazani nimuvi nilikuwa na msimulia kumbe ni maisha yangu harisi .. nimejifunza na Mungu akubariki Pastor nitafatilia adi mwisho😢
Amen mwanangu, ubarikiwe sana. YESU akuonekanie na akushindie katika hili kwa utukufu wa jina lake. Damu ya YESU inene mema kwa ajili yako na kukushindia. Ubarikiwe sana na BWANA YESU kwa baraka za milele yote
Amen ubarikiwe sana mtumishi, nimesikiliza hili neno wakati wa maombi nimetapika sana pia nimefuatisha sala ya kuokoka niko HURU sasa, nimeteseka ka muda na hii roho chafu. Asante YESU kwa uponyaji sintarudi nyuma MUNGU nisaidie. Amen
Amen mwanangu, zidi kubarikiwa na BWANA YESU milele yote. Zidi kutembea kwenye ushindi pia
Navunja kila maagano yote kati yangu na jini mahaba..nakataa ndoa za kipepo katika jina la yesu..niko huru kwanzia leo
Amen ubarikiwe na BWANA YESU
Ndoa ya kipepo jini mahaba vunjika kwa damu ya Yesu na nimewekwa huruuuu kwa damu ya Yesu Ameeeen
Amen mwanangu ubarikiwe na BWANA YESU milele
Bwana Yesu niweke huru
Nashukuru sana mtumishi nilitafuta sana somo kama hili nashukuru nimelipata kabla ya kuolewa nimekuwa huru kuanzia sasa kutoka katika vifungo vya jini mahaba. Ameeen
Wallah Mm ni muislamu Jmn Lkn Nmekombolewa nmependa Sana huyu pastor Mungu ammbariki jini linatesa Sana
Amen mwanangu, ubarikiwe sana na BWANA YESU milele yote. Zidi kutembea kwenye ushindi daima
Amina mtumishi nimefunguliwa maana nguvu iliyoshuka juu yangu ni ya ajabu na ni kubwa mno
Nilikuwa mzito sana kusikiliza hili somo, ubarikiwe sana sana sana. Najua ni kwa upendo wake Mungu usio kifani leo najishangaa nasikiliza na kuchukua notes, asante Mungu.
😭😭😭oooh maigodi hili neno nilangu yesu kwa neno na maombi nikafungu liyewe amina
Amen YESU kuonekanie na kukupa ushindi mkuu
Nikimaliza maombi haya
Kwa Jina la YESU ALIYEHAI
Nitakuwa huru 🙏 🙏
Barikiwa mtumishi wa MUNGU ALIYEHAI
Amen that happened to me please pray for me this message is ready to me i don't know what to say just to say that everyone hear this message is blessed today forever amen 🙏 please pray for me thanks
Amen ubarikiwe na BWANA YESU milele
Hivi vitu vibaya sana MUNGU atusaidie mimi kuna siku alikuja nikamsikia kabisa, nikaita YESU niokoe akaondoka, yaan jaman
Ni kweli mwanangu, YESU ni mwaminifu nami naomba azidi kukutetea na kukushindia daima. Ubarikiwe sana na BWANA YESU milele yote.
@@IsaacJavan haya maombi ni mazuri nmoo ninayaomba sana
@@estherkoya8410 Amen mwanangu ubarikiwe sana na BWANA YESU. Nami namuomba YESU akufanyie ushindi katika yote kwa utukufu wa jina lake
Asante sana Mtumish wa Mungu nimebarikiwa kwa mafundisho haya Mungu akubariki sana. ,Nakuomba uniombee mtumish maana kuoitia mafundisho haya nimeona wazi kabisa Kuwa nipo kwenye utumwa wa jini mahaba sijui ata naelekea wapi maana siyaelew kabisa maisha yangu Mtumish nakuomba sana uniombee.
Pole kwa yote unayopitia kwenye maisha yako. Damu ya YESU ikufanyie ushindi katika yote. Mungu akubariki na kukutunza
Mtumishi wa Mungu nakuomba uniombee mimi naingiliwa na jini mahaba mara kwa mara.
Incubus toka katika maisha yangu kwa jina la Yesu
Duuh Mungu atuhurumie ahsante sana mwalim
Amen Amen ubarikiwe na BWANA YESU
Amen 🙏 mtumishi mungu akubariki sana kuwa mafundisho yako mm nimeshawahi kuyafanya haya mungu aomba unitengenishe na Roho wa kimahaba na shetani 🙏🙏😭😭
YESU akushindie mwanangu. Damu ya YESU ifanyike ushindi na ulinzi kwa ajili yako. Amen
@@IsaacJavan Amen 🙏🙏 mtumshi mungu akubariki sana 🙏
@@mishikazungu8028 Amen mwanangu zidi kubarikiwa pia na BWANA YESU
@@IsaacJavan na hii sadaka unawenza tuma Unatuma kuwa hii namba mtumishi
@@mishikazungu8028 Ndiyo mwanangu. Ubarikiwe na BWANA YESU
Navunja kila ndoa ya kiroho iliyo fanyika kwa njia ya ndoto kwa damu ya Yesu.
Amen,hili somo limekuja Kwa wakati ufaao,hili jini mahaba limenisubua sana, najiweka huru katika jina la Yesu kristu , I cancel all evil plans and abort them in the name of Jesus Christ , asante Pastor Kwa hili somo
Amen Amen mwanangu, YESU akupe ushindi mkuu kwa utukufu wa jina lake. Ubarikiwe sana kwa baraka za milele yote
@@IsaacJavan Amen be blessed too
@@beatricewanjiku6564 Amen Amen
Yewomi... Haya mambo ni mazito, yana mafumbo. Ashukuriwe Mungu aliyekufunulia Haya yote. Mimi ni nimeokoka miaka mingi nafahamu kuhusu majini mahaba lakini nimegundua nilikuwa hata siombi robo robo nilikuwa naomba punje punje kabisa. Thank you Holy Spirit for directing me to this
Amen mwanangu ubarikiwe sana na BWANA YESU. Nakuombea YESU akupe ushindi mkuu katika yote. Damu ya YESU inene mema kwa ajili yako
Iyeee Ruwa lomakyaaaa
Eeh Yesu wangu nisaidie,,hili jini limenitesa sana,,ata nifunge na kuomba badu linarudi😭😭😭😭
Ameen nimejifunza kitu kikubwa SANA,nimeanza haya maombii
Naimani nitavuka kwa kishindo,mtumishi barikiwa mno kwa SoMo hili 🙏🙏🙏🙏
Amen mwanangu ubarikiwe na BWANA YESU milele
Mungu naomba ufungue
Somo zuri sana linaugusa moyo wangu Mungu akuinue sku zote
Amen uzidi kubarikiwa na BWANA YESU milele yote
Kuanzia leo nmevunja ndoa na jini mahaba katika jina la yesu na nko huru
Amen Amen YESU akupe ushindi mkuu kwa utukufu wa jina lake takatifu
Ameni mtumishi
Ubarikiwe mtumishi kwa masomo tunayoyapa kutoka kwako na vifungo vinafunguka Mungu aendelee kukutumia hili wengi tuwekwe huru
Amen ubarikiwe na BWANA YESU milele
Amina baba nimeomba maombi aya nimemuona mungu kweny maish yangu na kamtoa jini maaba kwenye maish yangu ambae alikuw shida kwangu
Mungu akubariki sana kwa kufanya maombi haya. Nakuombea ushindi mkuu, na YESU azidi kukuhudumia na kukutetea daima. Ubarikiwe sana na BWANA YESU milele
MUNGU akutunze baba kwa ajili yetu nashkuru
Amen Nimepona kupitia haya mafunuo
Thank you so much for this message i receive in Jesus name amen please pray for me and my family God bless you all thanks
Amen ubarikiwe na BWANA YESU milele
Jini mahaba Toka kwangu Kwa jina la yesu
Amen YESU akupe ushindi mkuu
Amen 🙏🏼 🙏🏼 Asante MUNGU akubariki sana na atusaidie sana 🙏🏼
Yaaan mm mpaka lilimuua mme wangu jaman
Asante Saana Babangu kwa Somo Nzuri ime tu jenga Ubarikiwe na Bwana YESU milele na milele Amen 🙏
Amen mwanangu ubarikiwe sana na BWANA YESU. Mungu akutendee makuu kwa utukufu wa jina lake
Hakika Mungu ani shindie katika ili asante sana kwa mafundishi na maombi mazur
Amen ubarikiwe na BWANA YESU milele
Amen mtumishi naamini nimefunguliwa kwa jina la yesu
Asate Mungu atusame nimemshukuru Kwa somoili Asate Mungu akubariki
Amen ubarikiwe sana na BWANA YESU milele yote
Mungu wangu naomba ingilia kati ndani ya maisha yangu 🙏🙏
Amen YESU akupe ushindi mkuu
Mtumishi mungu akutunze,,,, sijui ni nini kimeniambia nifungue kweny ili somo,,, mimi nimeachana na mwanaume na ameleta mwanamke ndan ya Nyumba ile ile niliokuwa naishi nae na alala nae kitanda kilekile ,,, na ilo jini likuja kila ninapokaribia period
Pole mwanangu kwa yote unayopitia kwenye maisha yako. YESU ni mwaminifu na atafanya njia kwa ajili yako. Ninaomba usiache kufuatilia muendelezo wa maombi haya na ninajua YESU anaenda kukufungua na kukuweka huru. Ubarikiwe sana na BWANA YESU
Amen, Amen,,Amen ,,, unapatikana wap nije ata in one week ,,, mimi nipo Tunduma mpkani Zambia na Tz
Amen 🙏,thise prayers are very powerful imeniponya kutoka kwa vifungo vya maagano ya kifamilia 🙏
Siku zote naliaikiliza juu juu TU ila leo nimelisikiliza limenipeleka sehemu
Amen Amen Mungu akulinde na kukutunza milele yote
Amen uzidi kubarikiwa kwa baraka za milele yote
Amina mtumish barikiwa sana naona wepesi wa kubarikiwa in jesus name 🙏🙏
Amen Amen ubarikiwe sana na BWANA YESU milele yote. Zidi kutembea kwenye ushindi
Amen .. I receive total deliverance .spirit spouse can mess someone life badly.God liberate me .God if I gave Satan legal right through sin of masterbation, lust , intercourse.Lord Jesus have mercy on me ..n set me free from all bondage n captivity..I divorce you spirit husband n any covenant I made with you I decreee it's broken by blood of Jesus
Amen Amen my daughter. By the blood of JESUS every spiritual spouse pursuing your life must be destroyed!! In JESUS name!
Amen i receive deliverance in the name of Jesus Christ Halleluya Halleluya Halleluya glory be God 🙏 🙏
Jini mahaba nakusmuru toka kwa jina la Yesu
Asante Baba nimepona kwa Jina la yesu
Amen ubarikiwe na BWANA YESU milele
Apokea ushindi na ukombozi wangu kwa mafundisho haya ktk jina la yesu
Amen ubarikiwe na BWANA YESU
Asante sana mtumishi wa mungu damu ya yesu ikufunike endelea kutufunulia namna mungu atakapo kuongoza
Amen mwanangu ubarikiwe sana na BWANA YESU milele yote
Shalom kaka, jina la Mungu tuanze na herufi kubwa....mungu##Mungu.
Ndoto Za usiku Zimevinjika Na upanga Wa yesu kristo
Amen mwanangu ubarikiwe na BWANA YESU
Amen Mungu nimwema umefumu mambo mazito niombee.
Amen ubarikiwe sana na BWANA YESU milele yote
Mungu akubariki mtumishi nimejifunza mengi kupitia maombi yako unajua sana
Sifa na utukufu kwa BWANA YESU. Mungu akubariki sana na YESU akutane na haja za moyo wako.
Mtumishi mimi niliota mtumishi wa mungu mahali ananivalisha pete ikawa inakataa kuingia kwenye kidole.namjua mpaka na nguo alokuwa zmevaa.nisaidie baba
Mungu akubariki sana, na pole kwa ndoto hiyo. Kuna tatizo, lakini usiogope kwa sababu YESU ni muweza wa yote na atakushindia hakika. Kwa sasa endelea kwanza na haya maombi ili tuone matokeo yatakavyokuwa. Nami nakuombea pia ili YESU akufungue na kukuweka huru
I need prayers man of God
Ubarikiwe sana baba Kwa hili SoMo la kuvunja ndoa ya kiroho nashukuru sana baba,barikiwa
Amen mwanangu ubarikiwe na BWANA YESU milele
Nashukuru sana kwa kunifungua katika kifungo mungu akuinuwe
Amen jina la BWANA YESU litukuzwe milele yote. Ubarikiwe sana na BWANA YESU milele yote
Asante nimefunguliwa Mimi na Mume Wangu
Amen mwanangu ubarikiwe na BWANA YESU
Am following you keenly🙇♀️ nimeeka imani kwa Mungu na ninaamini at the end of this topic naenda kufunguliwa kabisa Mungu akubariki sana mtumishi kwa kwa hili somo azidi kukufunulia zaidi ili tupone🙏
Amen mwanangu Mungu akubariki na akutendee makuu kwa utukufu wa jina lake. Ubarikiwe na BWANA YESU milele yote
Kweli kabisaa leo jini kaja mahaba kaja na kulikua nakuku nyingi zilizo kaushwa
Mungu ni mwaminifu mwanangu, na YESU anakupenda sana na anaenda kukushindia. Ubarikiwe sana kwa baraka za milele yote
Mabarikiwa na mafundisho ktk.jima la yesu. AMEEEN
Amen ubarikiwe na BWANA YESU
Nashukuru sana kwa maombi na kutufungua katika vifungo mbali, Mungu aendelee kutushindia , Asante sana 🙏 God bless you pastor
Amen mwanangu uzidi kubarikiwa na BWANA YESU milele yote
Mungu tetea familia yangu na mume wangu mtalajiwa Jonasi maltini kisuda amenitenga kuna mwanamke ameingilia kati Mungu nisaidie mm moshi hussein uchinjo napitia magu sana ila kw Mungu hakuna gumu
Jini mahaba ndoa yakipepo Toka Kwa damu ya yesu
Amen YESU akushindie kwa utukufu wa jina lake
Asante yesu umenikomboa nashukuru sana kwakinikumbuka nashukuru
Amen mwanangu ubarikiwe sana na uzidi kutembea kwenye ushindi kwa jina la YESU
Ninahitaji maombi sana mtumisi
Ameen nashukuru sana sana mwanagu kwa somo zuri sana Mungu akubariki sana mwanagu 🙏🙏🙏
Amen Amen ubarikiwe na BWANA YESU milele
Naomba mungu anifungue ninaomba sana hadi nakosa aman ndoa yangu ilivunjika nahicho kipindi alopoondoka mumewangu jini alikua anakuja kila siku eti anakuja kunifariji
YESU ni mwaminifu mwanangu. Kama YESU alimfufua Lazaro aliyekuwa amekufa na kuoza, atafanya jambo jipya kwa ajili yako. Usipoteze tumaini. Amini tu, na YESU atakutendea makuu kwa utukufu wa jina lake. Ubarikiwe sana
Asante sana mtumishi wa mungu ubarikiwe sana kwa hili somo amenifungua aki ubarikiwe sana🙏🙏amen!
Amen mwanangu ubarikiwe na BWANA YESU
Kwa damu ya YESU KRISTO WANAZARETH Ndoa ya kiroho vunjika
Amen mwanangu ubarikiwe na BWANA YESU milele
Aminaaa
Amen mwanangu ubarikiwe sana na BWANA YESU milele
Nahata simaramomoja na mm sijaoliwa nikila wakati ndoto hizi hunifatilia sana katika ndoto
Pole mwanangu, YESU anaweza yote na atakushindia hakika. Ubarikiwe sana na BWANA YESU
Nafunja kila agano lote kati yangu na jini mahaba nakataa kwa jina la yesu
Amina Asante Mwalimu GOD BLESS U🤝🤝🤝
Amen mwanangu ubarikiwe na BWANA YESU milele
Navunja kila ndoa ya kiroho iliyofanyika kwa njia za ndoto ikavunjike Kwa Upanga wa Damu ya yesu Kristo
Amen mwanangu ubarikiwe na BWANA YESU
Funzo nzuri sana linafunzwa na wachache Barikiwa Sana Baba kwa ujasiri huu
Amen mwanangu ubarikiwe na BWANA YESU milele
Napenda maombi ndoa sana
Woow somo zuri mno ahsante saana 🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Niokoe Bwana Yesy
YESU akupe ushindi
Hallelujah mafundisho ma,zito muhimu umenena nami,barikiwa sana
Amen ubarikiwe na BWANA YESU milele
Ameen baba barkiwa sana kwa ufunuo huu tunazid kujifunza
Amen mwanangu ubarikiwe na BWANA YESU milele
Mtumishi wa MUNGU ubarikiwe sana
Amen ubarikiwe na BWANA YESU milele
O my god this happen to me slot of time amen
May God make a way for you
Napenda sana
Mungu atusaidie
Amen ubarikiwe sana na BWANA YESU milele yote
Pastor mungu akumbariki sana naunikumbuke kwa maobi sana
Amen mwanangu ubarikiwe na BWANA YESU milele
Mtumishi bwana yesu asifiwe nina shida hio nipo Dodoma nisaidie no ya simu ndoa yangu inakufa nisaidie
Usiogope, YESU anaweza yote na atakushindia kwa utukufu wa jina lake. Nakuombea ushindi
Nayavunja maagano yote yaliyojengwa na Majin mahaba kwa jina la yesu kristo Amen 🙏🙏
Asante sana mtumish wa Mungu kwa mafundiaho haya mazuri Mungu akubariki sana katika utumish wako Leo ndo nimedhihirisha kwamba kweli Maisha yangu yamevamiwa na Jini mahaba Mtumish nakuomba uniombee maana sijui Ata naelekea wapi maana sielewi hata maana naona kabisa nipo kwenye utumwa wa Jin mahaba Naomba uniombee mtumish wa Mungu
Ameeen ameeen ameeen baba ahsante kwa somo hili
Amen mwanangu ubarikiwe na BWANA YESU milele
Kweli mtumisi
Mimi Rose nimefunguliwa Dhidi ya Ndoa za kiroho Nimekuwa huru
Amen mwanangu ubarikiwe na BWANA YESU
Amen napokea nafunguliwe Mimi na Mume Wangu
Amen mwanangu ubarikiwe sana na YESU afanye ushindi kwa ajili yako
Mtumishi Nina matatizokama hayo ninakupataje unisaidie kimaombi
Nilikuaga nasubiri sana hii kutoka kwako!! Namshukuru Mungu nimekutana na post zako am grateful! Kanisa unalosali lipo dodoma sehem gan Mwl!?
Amen mwanangu ubarikiwe na BWANA YESU milele. Usisahau kufuatilia muendelezo wa maombi haya, kuna kitu kikubwa Mungu anaenda kufanya. Ubarikiwe sana na BWANA YESU
Mungu akubariki babaangu
Amen mwanangu ubarikiwe na BWANA YESU milele
Ahsante sana Mwalimu Barikiwa.
Amen mwanangu ubarikiwe na BWANA YESU milele
Amen nimefunguliwe Mimi na mume Wangu
Amen mwanangu ubarikiwe na BWANA YESU milele
Najiungamanisha na Maombo ndoto nazozipata zikashindwe
Amen mwanangu YESU akushindie
Leo nimeanza maombu haya..
Ameeen!! Asanthe Yesu
Amen mwanangu ubarikiwe na BWANA YESU milele
Yes amen amen barikiwa
Amen mwanangu ubarikiwe na BWANA YESU milele
Truly True Dad 🎉🙏🙏🙏
Amen my daughter, God bless you with everlasting blessings
Mimi naomba msaada wa kutoka kwenye hili agano Mtumishi
Amen YESU anaweza yote. Usiache kufuatilia muendelezo wa maombi haya na YESU anaenda kukupa ushindi katika hili. Ubarikiwe sana na BWANA YESU milele
Mungu akubarki sana
Amen mwanangu ubarikiwe na BWANA YESU milele