Dah! Nimeipenda sana hiyo shule.Ina mazingira mazuri, halafu safi kinoma.Big up mkurugenzi wa shule, mkuu wa shule na walimu wote pamoja na wafanyakazi wengine wa shule hiyo.👏👏👏👏
Shule Ni nzuri Mwanangu amesoma hapa amepata Div 1.7 F4 Hongereni sana sana. Mambo ya kuboresha: -Wekeni muda wa watoto kucheza -Wekeni Extra curricular training activities ili Kuibua na kukuza vipawa ; Kama Music, Arts etc -Punguzeni kuchapa watoto tumieni positive Discipline. Non Teachers staff wasipige watoto. All ni all kazi yenu nzuri sana.
Just love the part of supplementaries😂😂🔥🔥. It's a great idea,,,, I think I need a job in KEMEBOS. This is not just investment but also a great blessing to the founder of KEMEBOS,,, pure heart,, a man of development,,we need more of him in TANZANIA 🔥🔥.
Aiseeee inashawishi , inavutia, inakufanya ufikirie juu ya haya kazi nzuri kaka hongeraa sanaaa hizi shule big up sanaaaaaaaaaa kwa mmiliki na walimu wa ujumla
👏👏👏👏Duuuuuuu hongereni sana pamoja na yote kuwa mazuri nimependa sana hilo la kutokuchapa watoto maana walimu wengi wanapiga sana watoto jamani mimi mwakani namleta mwanangu kwa nyeupe kabisaaaaaa
Well the school is doing great … but this is the problem of Tanzanian education we all focus on divisions one two or three extra … having general skills will be more important cos the sad part is there is not enough jobs out there at the min unless you can employ yourself… the whole education system needs looking completely
Yaan amna mbinu nyingne za ufaulishaji zaidi computation kwa wanafunzi wenyewe na fimbo juu .I really love that school ndo imenifanya nisimame hapa nilipo
Wow that is a good strategy.,hii shule haipo mbali na nyumbani, nafurahi kuona hizo mbinu nyingine zipo kama za huku nje.Asante millard Ayo,iam your big fun.greetings toka USA.
Mfumo wa elimu Tanzania ulitakiwa wote ufumuliwe na usukwe upya , mitihani na elimu ya Tanzania haijengi na kuchochea udadisi na ufikiriaji yakinifu. Ni mfumo wa kukalili ili kufauli mtihani ndio maana nchi haizalishi wanasayansi wengi na wabunifu na wagunduzi
Yaani ni maumivu ya mawazo yangu kila siku....huu ni mfumo wa kikoloni ambao walifanyia kazi wakajua kabisa kuwa Africa itaendelea kuwa tegemezi,mfumo ambao tumeurithi toka Kwa wazungu viongozi hawajawahi kuwaza kubadirisha mfumo huu ambao bado unaendelea kufunga ufahamu wa akili zetu..... Hii serikali yetu Bwana
@@sweetbertrwiza5982 ndo uwaze hapo sasa,mtaji anautoa wapi na kasomeshwa Kwa kuungaunga na wazazi wake,wameuza pombe mpaka akili zimeingia ganzi,wakiamini kuwa mtoto atakuja kupata kazi apunguze umaskini nyumbani...... Haya maisha sio jaman tutaishia kuteseka kwakweli
Hongeresa sana kwa mmiliki na wafanyakazi. ILA CCTV vyumbani SIO sawa. Wangeweka kuzunguka mabweni na wangeona nani kaingia na kutoka saa ngapi. SIO ndani ya mabweni !
@@rosemarysulle9288Siyo utaratibu. Kuna mipaka ya usiri ( "Privacy") na ndio maana ya kuwa na mlezi ( Matron mfano ) kufuatilia watoto kwa karibu na siyo Kazi ya CCTV !
Yani feza ni wasenge tu kwa kaizilege mahana ada ya feza ni kubwa zaidi ya m10 kwa mwaka na ya kaizilege ni ndogo sana m3.5 lakini ina kuwa ya kwanza kitaifa duuuu
Daaaaah mwalimu ka feli sio jamaa hana elimu kubwa ila hapa elimu kubwa ya darasani, na anaelimu kubwa ya mtaani,. Formal and informal education inamaanisha mwalimu kasahau.
Mwenye Shule amefanya jambo kubwa sana ila kuna jambo moja mmiliki huyo wa shule alichoshindwa, Ameshindwa kuzalisha matoleo ambayo yatafanana na yeye au kuwa zaidi yake. Matoleo anayotoa kwa sasa ni watu wanaofaulu mtihani, waajiriwa watakaojificha chini ya kivuli cha Ajira za Serikali au kivuli cha watu wanaofanana na mwajiri huyo ila sio watu watakaofikia kiwango cha mmiliki huyo au kuwa zaidi yake na kuleta mabadiliko kwenye jamii iliyowazunguka kama alivyofanya mmiliki huyo.
Kwanza Hongera ya dhati kwa wote mmiliki, wafanya kazi, walimu pamoja na wazazi. Where rules and regulations are implemented and followed by the rulers themselves, but naturally the whole framework will systematically be prosperous , because an organized action plan does not lead to failure.
Dah! Nimeipenda sana hiyo shule.Ina mazingira mazuri, halafu safi kinoma.Big up mkurugenzi wa shule, mkuu wa shule na walimu wote pamoja na wafanyakazi wengine wa shule hiyo.👏👏👏👏
th-cam.com/video/3GyDw7shVsA/w-d-xo.html
Hongera Sana mmiliki na walimu kweli kazi yenu ni njema Sana. Mungu awabariki sana. 🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾
Shule Ni nzuri Mwanangu amesoma hapa amepata Div 1.7 F4
Hongereni sana sana.
Mambo ya kuboresha:
-Wekeni muda wa watoto kucheza
-Wekeni Extra curricular training activities ili Kuibua na kukuza vipawa ; Kama Music, Arts etc
-Punguzeni kuchapa watoto tumieni positive Discipline. Non Teachers staff wasipige watoto.
All ni all kazi yenu nzuri sana.
Dah wanapiga hao mdg wang kidg wamuue
Mbona kasema hawachapi bila kibali
@@christinagideon961 muongo huyo hyo shule kwnz kuna waganda wengi xn ndo waalimu wa hapo na unawajua vzr wajukuu wa iddi Amin dadaa
Shida inawezekana hopo kuna watoto wa matajiri ndio maana wanaogopa kuchapwa wamezoea kudekezwa, na usipowachapa wanakuwa legelege wacha wanyukwe
@@christinagideon961 hawwzi kusema tunachapa Sana Ila kwa maelezo ya anaetafuta viboko anavipata jibu tosha
Kazi nzuri Sana kaizilege na kemebos, Pia Asante Sana Millard Ayo kwa makala hii nimejifunza mengi🙏🏿🙏🏿🙏🏿
MASHAALLAH MUNGU ambariki sana AMIN AMIN AMIN
🇰🇪🇰🇪🇰🇪
aka bachuchu mombasa 001
🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Just love the part of supplementaries😂😂🔥🔥.
It's a great idea,,,, I think I need a job in KEMEBOS.
This is not just investment but also a great blessing to the founder of KEMEBOS,,, pure heart,, a man of development,,we need more of him in TANZANIA 🔥🔥.
MUNGU AKUBARIKI
Niko Kenya ila natamani Sana mwanangu asomee hiyo shule. Hongera Sana Mzee mkurugenzi💪💪💪.
Kuna cha kujifunza hapa... hongeraa sana Mkurugenzi na team yako.
This is very impressive for a school director hongera Sana bazuu
Wawooooo....Mashaalah. Serikali njooni mjifunzee hapa
Mmmh! Mbona izo mikakati ya kawaida tu
Hongera Sana shule ya Kaizirege, kweli kazi inafanyika
Aisee hongereni sana Mungu awabariki sana na huu uwe mfano kwa shule zingine
Brother millard Ayo tunashukuru kwa habari mzuri💥💥
Hongera sana mzee Kaizirege
Wagila mayo
Muonekano wa shule, usafi yani baba huyu Big Salut 🤠🤠🤠
Aiseeee inashawishi , inavutia, inakufanya ufikirie juu ya haya kazi nzuri kaka hongeraa sanaaa hizi shule big up sanaaaaaaaaaa kwa mmiliki na walimu wa ujumla
Amazing protols, kama juli ughaibuni 👏👏👏👏👏
👏👏👏👏Duuuuuuu hongereni sana pamoja na yote kuwa mazuri nimependa sana hilo la kutokuchapa watoto maana walimu wengi wanapiga sana watoto jamani mimi mwakani namleta mwanangu kwa nyeupe kabisaaaaaa
Wana chapa mnooo km mtt haelewi.mm ninawatt hpo na nimekuwa na kesi mara nyingi ya kuchapiwa wtt kikatili.baadhi ya waalimu cjui ni mijaluo?
@@rosemarysulle9288 😳😳😳😳
@@rosemarysulle9288 watoto wako hawaelewi?
Hongereni sana mkuu. Ni mfano wa kuigwa na wawekezaji wengine.
Well the school is doing great … but this is the problem of Tanzanian education we all focus on divisions one two or three extra … having general skills will be more important cos the sad part is there is not enough jobs out there at the min unless you can employ yourself… the whole education system needs looking completely
Dah! Amegusa moyo wangu.
Keep it up mwamba
Big up kwa wahaya🙌
Mwalimu huyu yuko vzr big sana teacher
Mungu ambariki huyo mwekezaji
Mtu mwema sana ni tajiri wa asili ana mbwembwe na huyo mwanalimu mkuu ni mtu poa sana pahala hapo lazima pawe na bless
Safi sana, kweli hakuna mtoto mjinga. Muhimu ni Malezi tu! Shukrani sana Ayo TV, hii interview ina kiwango cha Hali ya juu.👌
Hii makubaliana nayo nimewahi.kuwa na mtoto WA wifi yangu alifiwa na mama akabaki na wa kambo alipata zero nikakaa naye akamaliza na 2 form 6
Hapo Kwenye suala la Ada nmewakubaliiiii Huwa inatuaribu Sana kisaikolojiaaa kweny suala la kudaiwa
Hayoo ni mkulugenzi mwenye utu wa kipekee mungu amlinde palikiwa babaa
Mkuu wa shule anafafanua vizuri Sana Hadi raha
Yaan amna mbinu nyingne za ufaulishaji zaidi computation kwa wanafunzi wenyewe na fimbo juu .I really love that school ndo imenifanya nisimame hapa nilipo
Nime fanya kazi apo namkubali sana mkurugenzi ukiwa na shida anaga kinyongo anakupa zaid ata ya mshala wako
Ila shule zingne Kila cku vitisho Kwa wafanyakazi
Naomba mawasiliano ya hapo shule namba zao
kusoma sio ishu ishu maisha kwakweli unaweza ukasoma na usiwe na plani kwakweli nimejifunza kitu..hapa
Daaaah...... nimeipenda sana hii shule aisee
Shule Ina mazingira mazuri ya usomaji . Hiki ni kigezo Cha kwanza. Conducive environment. Kudos 🔥🔥🔥🔥🔥
Hongera kwa mmiliki wa shule mungu azikumuongoza
Yusto nimempenda sana, mwenyezi mungu amlinde😭😭
Amazing man.....i do booking for my son in next 3years to come
If you had a best school this is the one.best of the best
Mwamba kaishia std 7 tu. Kaajili watu wenye masters, kama hakuna ulichojifunza apo bas tena
Hahahahahahah Kaka P
kabisa apo utumie akili tuu sio kusoma ili uje kuajiriwa na serikali
Naomba kazi mm mwalimu
Shule nzuri sana hiyo, hongereni
Wow that is a good strategy.,hii shule haipo mbali na nyumbani, nafurahi kuona hizo mbinu nyingine zipo kama za huku nje.Asante millard Ayo,iam your big fun.greetings toka USA.
Hongora sana kaizilege shule iyo nimeikubari sana Mungu akubariki sana
Hahahaha😂😂😂hata mie tuu ningekaza butiii aisee nan asiependa zawad nchii hiii anyooshe mkono nimwoneee nimeipenda sana
Kuna cha kujifunza hapa hongera sana mkurugenzi pamoja na team yako
Huyu mzee ajengewe sanamu
Safi sana Kaizirege, kwenye viboko na ada nimeelewa sana
Mfumo wa elimu Tanzania ulitakiwa wote ufumuliwe na usukwe upya , mitihani na elimu ya Tanzania haijengi
na kuchochea udadisi na ufikiriaji yakinifu. Ni mfumo wa kukalili ili kufauli mtihani ndio maana nchi haizalishi wanasayansi wengi na wabunifu na wagunduzi
Yaani ni maumivu ya mawazo yangu kila siku....huu ni mfumo wa kikoloni ambao walifanyia kazi wakajua kabisa kuwa Africa itaendelea kuwa tegemezi,mfumo ambao tumeurithi toka Kwa wazungu viongozi hawajawahi kuwaza kubadirisha mfumo huu ambao bado unaendelea kufunga ufahamu wa akili zetu..... Hii serikali yetu Bwana
@@lovenessandrew9121 Kiukweli hilo nalo ni janga kwa Taifa.
Halafu mtu anasoma anafaulu vizuri mwisho wa siku anaanza kutafuta kuajiajiliwa!!
@@sweetbertrwiza5982 ndo uwaze hapo sasa,mtaji anautoa wapi na kasomeshwa Kwa kuungaunga na wazazi wake,wameuza pombe mpaka akili zimeingia ganzi,wakiamini kuwa mtoto atakuja kupata kazi apunguze umaskini nyumbani...... Haya maisha sio jaman tutaishia kuteseka kwakweli
Iv ndivyo walimu wanatakiwa wawe handled hongera sana mkurugenzi ni mfano bora wa kuigwa
Na matokeo ya form 6 bado mmeshikilia nafas ya kwanza kitaifa hongeren sana
Hongeresa sana kwa mmiliki na wafanyakazi. ILA CCTV vyumbani SIO sawa. Wangeweka kuzunguka mabweni na wangeona nani kaingia na kutoka saa ngapi. SIO ndani ya mabweni !
Siyo sawa kwann?kama kuna watoto wanatabia mbaya si watawaharibu wengine?tena afunge mpk vyooni
Hiyo shule ni nr sana ila wtt wetu watabasti vichwaa jmn.wanasoma hao ni hatari.
@@rosemarysulle9288Siyo utaratibu.
Kuna mipaka ya usiri ( "Privacy") na ndio maana ya kuwa na mlezi ( Matron mfano ) kufuatilia watoto kwa karibu na siyo Kazi ya CCTV !
Waweke tu had choon coz kuna matukio mengi sana ya uchomaji wa shule
Yaaani kuna mijitu inajifanyaga inajua kuliko mwanzilishi
UBaarikiwe sana Mzee Kaizerege. Hongera sana
Mungu akubariki sana sana ... Nimefurahi mno
Ila hii chanel naipenda sana Millardy ayo Mungu akubariki Sana,ipo siku nitawaita mje muone mafunzo nilojifunza kwenu, maana nanijenga mno
Appreciate Kemebos
Mungu awabaliki walimu
Hongera kwa mwl mkuu, anajua kujieleza kwakweli na kueleweka. Ila rafudhi yake sasa
🤣🤣🤣rafudhi
Lafudhi bhn sio rafudhi
Wahaya oyeeee
motivesheni kwa mwalimu muhimu sana
God Bless Mzee Kaizerege
Yani feza ni wasenge tu kwa kaizilege mahana ada ya feza ni kubwa zaidi ya m10 kwa mwaka na ya kaizilege ni ndogo sana m3.5 lakini ina kuwa ya kwanza kitaifa duuuu
Nimependa mazingira rafiki yenye madhari na miundombinu ya kutia hamasa ya kusoma, hongera kaisare
Kwa kweli
Noma sanaaa mzeee kaizeregee
KWA KWELI NI SMART SMART SANA🤝🤝🤝
Ajali Sana wateja wake.
Millard ni kweli kabisaa Amna mda wa michezo kabsaa
Millardayo:Kun walimu wenye masters hapa?
Mwalim mkuu: Ndiyo ikiwemo na mimi mwenyewe tunao walimu 9 wenye masters😆😆😆😆😆😆😆😆😆💪💪💪
😂😂😂 noma sana. Watu wengi wanadhani ualimu ni kazi ya waliofeli kumbe ni tofauti sana
Duuuhhh..!! Nimependa life style ya Boss kwa wafanyakazi wake
Our school 🔥🔥@class of 2019
Daaaaah mwalimu ka feli sio jamaa hana elimu kubwa ila hapa elimu kubwa ya darasani, na anaelimu kubwa ya mtaani,. Formal and informal education inamaanisha mwalimu kasahau.
Ongera Mr kaizilege jambo jema Mwenywzi Mungu akujarie 🤲
Hii ya ada! Dah! Imenigusa
Woow safi saana nimependa shule yenyewe 🇶🇦🇹🇿
Imenichallange kiakili bigup kwa kipindi cha leo..
Serikali nayenyewe ijitahidi maana wanafunzi wa shule za serikali majanga tu.
Wauw, big up baba kaizerege 👏👏👏💪
Kaizirege wagira mayo. Shule hii iwe ni mfano wa kuigwa Tanzania.Wizara iamie pale ijifunze.
Kwakweli brother
Serikali iliisha enda pale kwa Siku 7 za Kazi ukiondoa Siku za mapumziko,pia wamepeleka wabobezi wa usimamizi wa mitihani Taifa mara kadhaa.
Work hard as a slave and ...you will live like king.
Kaizirege ikikosa top 10 ni ajabu. Wahaya oyeee
Oyeeeeeeh😂
Nakubali kakaaaa 🤣
daaaaah, nzuri sanaa
Kongole kwa omukama wote..!!
Hii shule usisimuliwe binafsi nimefurahi sana Sana
Aisee kwa Wafanyakazi ameweza Safi Sana.
Naomba nomba
Wako vzuri 🙌🙌👏👏
Mtembelee na mmiliki wa chuo cha Mbalizi polytechnic (mbeya) aliishia darasa la nne.
Manshalah manshalah manshalah mungu azid kuipa sifa shule hiyo
hongera sana kwa mwenye shule. yuko makini sana na biashara yake
Nshomile njooni hapa. Huyu mzee anatuinua Abahaya.
Muno munonga, let's keep the ball rolling.
Mwenye Shule amefanya jambo kubwa sana ila kuna jambo moja mmiliki huyo wa shule alichoshindwa, Ameshindwa kuzalisha matoleo ambayo yatafanana na yeye au kuwa zaidi yake. Matoleo anayotoa kwa sasa ni watu wanaofaulu mtihani, waajiriwa watakaojificha chini ya kivuli cha Ajira za Serikali au kivuli cha watu wanaofanana na mwajiri huyo ila sio watu watakaofikia kiwango cha mmiliki huyo au kuwa zaidi yake na kuleta mabadiliko kwenye jamii iliyowazunguka kama alivyofanya mmiliki huyo.
Just another way of looking at it(quite allowed). But the word 'ameshindwa' has been misplaced
/Misused here.
Mupo vzur na hongeren
Milion tatu😳🤔 mi nilifikiria itakuwa labda mamilion kum na kuendelea uko 🙆♀️ aise wapo vizur sana mungu ampe umri mrefu uyu baba
Hongera sana mkuu wa shule kwa uongozi wako bora akiwemo mwenye shule.Naomba namba ya simu.
Ana akili zakuzaliwa na siyo za darasani! Hiyo ni very mportant!
Namjua vizuri alikua dereva gari yake alikua anaendesha gari kwende lzimbya
THE BEST STRATEGY FOR A SUCCESSFUL SCHOOL!! PROUD TO KNOW THERE'S A TANZANIAN DOING AN AMAZING JOB IN CHAMPIONING A NO.1 SCHOOL IN TZ
Dah mpo vizur
Mzee kaizelege yuko makin sana mfano wa kuigwa
Wow mashallah
Noma