Kaka hongera sana umenipa somo hapo ulipo anza na lori moja na poamoja ya kwamba baba yako ni dereva lakini ukaamua kupa mtu mwingine kama derava na baba kumpa cheo cha usimamizi na kazi ikaenda vyema kabisa 🥰
Twalib ana akili sana, mtangazaji umejitahidi lakini Twalib is just a genius guy. Hakuna habari ya 20Billions hapa, utajiri mkubwa ni charity. Hongera mpambanaji mwenzangu Twalib.
Dah! Hongera. Kazi ya baba ni dereva na wewe hukuwaza kuja kuwa dereva bali ulienda mbali sana ukawaza kuja kuwamiliki ajira ya madereva. Pia hukuwaza kuja kuwa CO wa kampuni za watu. Big up sijui dogo nadhani dogo.
Asalam Aleykum Mwanangu MASHALLAH MUNGU Akuzidishie nakuona una ulendo wa binadamu wenzio wasaidi tuu na utoe sadaka kwa ALLAH!! Ili uzidi kuendelea zaid na zaid mm nakuo.ba unipe kazi nami nipate rizk
Baraka zake Mwenyezi Mungu zikushukie Brother. Kwani ni wengi tu wanapata kula sababu ya kazi ulizowapa. I wish ningepata job ya dereva gari kubwa kampuni yako naomba......Shukran sana
Biashara na mafanikio ni siri. Sio kila tajiri alitafuta kwa bidii kuliko maskini waliopo pia sio kila maskini unaowaona walikuwa ni wavivu kuliko matajiri waliopo. Hivyo. Mafanikio ni siri guys. Hongera kwa twalib ila baadhi ya matajiri wengi ni ni ma motivational speaker😂😂 Ukweli hawausemagi
Kwao kulikuwa na Pesa bro. Sisi tupo Nje pia kupata Hela ya kununua Lori kama hilo siyo rahisi hivyo! Hata Mimi ukinianzishia Basi naweza kufika alipo. Watanzania wengi tunaweza sema Mitaji ndiyo shida
Maashallah tabarakallah mm Sina mengi kaka zidisha ibada Allah kakupa u tajili usi pumbazike nao kuwa makini na Dunia . Allah akulinde na Maadui wakilaaina🤲
Masha alah mungu akujaliye bwana twalibu, ndo kweli kama una ndoto una weza kukamilisha ndoto yako kwa hiyo vijana wezangu tubambane tu kamilishe ndoto yetu tunayo, kama kaka yetu twalibu alivyo kamilisha ndoto yake na mwenyezi mungu amjaliye yeye na familiya yake , salamu zenu kutoka 🇬🇧🇬🇧🇬🇧🇬🇧 one love 💕 my brother and sisters?????
Kiongozi, nimefurahishwa sana na ubunifu na uthubutu wako wa kuimarisha biashara za Kimataifa. Naomba pia uweze kunipatia mawasiliano yako nikupatie wazo langu la kimaendeleo.
Hongera kwa kudra za Allah, lakini atupe ukweli wa mafinikio yake Kutoka 2017 kwa lori moja mpaka 2022 malori 100, inamaana ni miaka 5 sasa,yaani kila mwaka labda malori 20, kiakili ni ngumu yapo yaliyofichikana
Vinawezekana kumbuka alikuwa anafanya kazi uingereza na mshahara ulikuwa ni pound na Bado alikuwa na nafasi ya kukopa Kwa ajili alikuwa ni mfanyakazi . So it is possible, hakuna maswali hapo Kwa sisi tunaoishi nje ya nchi tunajua . Keep up kijana
Kumbuka amesema amefanya kazi kwenye moja ya Big 4 Accounting and finance companies in the world ambazo ni kati ya Ernest & Young, Delloitte, PWC au Moody. So mshahara wake ulikuwa mkubwa na ndio uliombeba kufika hapo alipo. Inaonekana ni kichwa kwemye Uhasibu huyu dogo.
@@marykennedymarwa1641 anasema kwa kipindi anacho sema alikuwa Uingereza,na sometimes akisoma na kufanya kazi ktk restaurant kama weiter na cleaner Sio kweli aliweza kupata £500 kwa week,hapo amedanganya,even now hupati pesa hiyo kwa full time job, iweje yeye part time job after UN time apate hiyo?si kweli
Amepambana sana but ukishakuwa na mali unaongezewa we jiulize gari moja ni TSH ngap?? m500-700 utaipata wap?? Kwa kuwa alianza vizuri kielimu na akapata nafasi ya kufanya kazi wingereza 🙏 Kuna watu hawana hata pakuanzia alipata pound 500 sawa na 1.3m Kwa week lazima utoboe kama unaakili kama zake. Aanzisha Hilo dawati la kusaport idea za vijana, ukomboe Tz 🙏 barikiwa sana 🌅🌅🌅🌅
Kaka hongera sana umenipa somo hapo ulipo anza na lori moja na poamoja ya kwamba baba yako ni dereva lakini ukaamua kupa mtu mwingine kama derava na baba kumpa cheo cha usimamizi na kazi ikaenda vyema kabisa 🥰
Nachojifunza hapa, ni kuanza kutembea na watoto wetu katika mazingira ya kazi zetu, watoto wanajifunza kwa kuona. Hongera sana Mr Twalib
Huyu jamaa ana best ideas 💡 na zote zinasogeza urahisi wa ufanyaji biashara nchini
Twalib ana akili sana, mtangazaji umejitahidi lakini Twalib is just a genius guy. Hakuna habari ya 20Billions hapa, utajiri mkubwa ni charity. Hongera mpambanaji mwenzangu Twalib.
Maashaallah tabarrak allah 🙏, kutoka 2017 kuanzia Lori moja mpka 2022 Lori 200 kwa kweli mungu akutangulie
Malori 100 tu
KUNUNUA malori mfululizo mi cjaridhika na chanzo Cha mapato
@@bennymsigwa1527 kipato cha mtu unataka ulidhike nacho? We ni mchawi nn unataka kujua kipato chake chann?
Mashallah.
Allah azidi kumbaarik huyu jamaa,ni inspiration kubwa kwetu vijana wa kiTanzanzania.
Umesema vizuri sana.. wala hana majivuno
Dah! Hongera. Kazi ya baba ni dereva na wewe hukuwaza kuja kuwa dereva bali ulienda mbali sana ukawaza kuja kuwamiliki ajira ya madereva. Pia hukuwaza kuja kuwa CO wa kampuni za watu. Big up sijui dogo nadhani dogo.
Asalam Aleykum Mwanangu MASHALLAH MUNGU Akuzidishie nakuona una ulendo wa binadamu wenzio wasaidi tuu na utoe sadaka kwa ALLAH!! Ili uzidi kuendelea zaid na zaid mm nakuo.ba unipe kazi nami nipate rizk
Namuomba m\mungu amzidishie kheri ili aweze kuajiri watu wengi zaid na pia namuomba mungu anijalie na mimi kufikia malengo ya kaka twalib
Twaribu kulaga uhangame nyanda,,, Mungu akupiganie kwenye kazi zako
Amesoma shule ya msingi kinondoni,mahali nilipo mimi hivi sasa, jirani na hiyo shule,hongela kijana, wacha namimi nipambane,
Masha ALLAH Tabarakallah
Mashaallah Mashaallah ☝️ mnyazi mungu azidi kukuongoza 🤲🤲🤲❤
Baraka zake Mwenyezi Mungu zikushukie Brother. Kwani ni wengi tu wanapata kula sababu ya kazi ulizowapa. I wish ningepata job ya dereva gari kubwa kampuni yako naomba......Shukran sana
MASHA.ALAH
Jamani utajiri hauna umriii! Qadar ya Allah
Swadaqta
Hongera sana bro unatupa moyo wa kupambania ndoto zetu Kama vijana.
Hongera sana Mr.Twalib nimefurahi na kujifunza mengi kupitia Biashara na juhudi zako , ENDELEZA MAPAMBANO LAZIMA TUFANIKIWE KWA JINA LA YESU
sasa hapo tena Yesu kafata nini?
Huwezi jua mpaka uwe tayari kujua. Neno linasema aliyetayari kupona na apone. Huko tayari kumjua Yesu ukiwa tayari hutauliza ulicho uliza.
Bila kutoka jasho.mmmm,!!
AMEEEN
Aisee, hongera sana kwake.
Kweli mafanikio yanachangamoto nyingi kwa kiasi tunajifunza bro Asante wakati mwingine unaweza semalabda nibadili kazi kumbe nisuala la muda asante
Mwenyezi Mungu azidi kumuongeza na kumlinda na kuzid kumpa njema, Mwenyezi amuongezee zaid ili azidi kuwaajiri wengi zaidi, aaaaammin
Hongera Sana brother maisha yanasiri kubwa Sana anaejua vema ni Mungu ✝️
Nawewe ufate izo siri
Hongera
Maashaa Allah Tabaarakar Rahmaan 🤲🏽 Allah akuhifadhi na hasadi.amiina yaa Rabbiy 🤲🏽
Great brother 🎊🎊🎊🎊🎊👏👏👏congratulations
Mashallah M.mungu akulinde
Hongera Sana twaribu.
BarakaLLAHU LAKA
Masha'Allah
Hongera saana kaka ,nami nakaza buti ipo siku nitafika level za juu kibiashara
Twalibu hongera Sana na Bado kwakudra za mwenyezi mungu utafika mbali Sana maana huna majivuno atakidogo MUNGU akubariki sana
Biashara na mafanikio ni siri. Sio kila tajiri alitafuta kwa bidii kuliko maskini waliopo pia sio kila maskini unaowaona walikuwa ni wavivu kuliko matajiri waliopo. Hivyo. Mafanikio ni siri guys. Hongera kwa twalib ila baadhi ya matajiri wengi ni ni ma motivational speaker😂😂
Ukweli hawausemagi
Inatufariji Sana aisee kwa hili hongera Sana bro
Congrats bro.Mungu akutangulie🙏🙏🙏🙏
Hongera sana
Awesome
Mimi nipo. Zanzibar Mwalimu. Hassan. Ali. Panga. Imamu. Mkuu. Masjid. Shuura. Uliopo. Wilaya. Ya. Mjini. Kijiji. Cha. Muembe. Makumbi. Sheia. Ya. Masumbani. Inshaallah nahitajia. Nambari. Ya. Simu. Ya. Twalib. Abdull. Hussein
God bless you bro,kijana ata mafuta ajapaka 🙌🙌🙌
He's so innocent but anyway congratulation brother
Hongera kijana kweli Manisha nikupambana kaza buti
Asante kwa hadithi
Big up bro. I appreciate
Kwao kulikuwa na Pesa bro. Sisi tupo Nje pia kupata Hela ya kununua Lori kama hilo siyo rahisi hivyo! Hata Mimi ukinianzishia Basi naweza kufika alipo. Watanzania wengi tunaweza sema Mitaji ndiyo shida
Kwakoufupi wazee wake ndio wanapesa wamempeleka dogo ili awe na ujuzi kibiashara
Kweli sioutani
Kabisa maana Lori ni Kama Milion Mia kwenda Juu kwa Mishahara ipo bila kuhaso kisawasawa
@@shabanialfani5394 250M
Upo sahihi ndugu yangu shabani alfani penye pesa ndipo panapatikana pesa
Awwb naomba kurudi chuo mwaka mmoja brother tatizo adda
Hongera sana bro
Hongera sana br utafika mbali
Mashaallah 🙏
MashaAllah 👍🏽
Maashallah tabarakallah mm Sina mengi kaka zidisha ibada Allah kakupa u tajili usi pumbazike nao kuwa makini na Dunia . Allah akulinde na Maadui wakilaaina🤲
Naomba kazi mwee
Kipindi kizuri sanaaa. Ila mtangazi maswali yako yametunyima fursa kubwa ya kujifinza kibiashara bro.
Tatizo , wewe una maswali yako, na yeye ana maswali yake. Cha msingi mtafute huyo tajiri, umuulize
@@alexchungu6263 🤣🤣
Millard ayo angeweza kumuuliza vzur kbsa
Hakika vijana wa kitanzania tunaweza, kikubwa ni kupambana tuu Kila kitu kinawezekna kabisa hakuna uganga Wala kuogopa
Hongera brother
Mashaallah
ALLAH akuzidishi pia usihau dini yako toa kwa ajiri ya ALLAH utafanikiwa
JAMAA TAJIRI ALAFU HUMBLE ANI..IMAGINE LOL👐👐👐👐👐♥️♥️♥️🇹🇿👐👐👐
Ujumbe Mzuri sana Hongela Sana
Hawa ndio wakubwa anawapa biashara zao
Masha alah mungu akujaliye bwana twalibu, ndo kweli kama una ndoto una weza kukamilisha ndoto yako kwa hiyo vijana wezangu tubambane tu kamilishe ndoto yetu tunayo, kama kaka yetu twalibu alivyo kamilisha ndoto yake na mwenyezi mungu amjaliye yeye na familiya yake , salamu zenu kutoka 🇬🇧🇬🇧🇬🇧🇬🇧 one love 💕 my brother and sisters?????
Hongera sana Twalib
Hongera sana kk nımeıpenda hıyo jaman naomba ushaurı wako
MashaAllah
Hongera sana kaka.
Kiongozi, nimefurahishwa sana na ubunifu na uthubutu wako wa kuimarisha biashara za Kimataifa. Naomba pia uweze kunipatia mawasiliano yako nikupatie wazo langu la kimaendeleo.
hongera sana kaka
Big up to my bro
Afu jamaa Wala hujisikii mashaallah
Manshalaah manshalaah subuhanalaah akufunike nambawa zake naomba mawasiliano yako nikupatie usia wangu wahenga wanasema ukubwa dawa Inshaalah
Great👍
Nimekupenda Bure una bidii sana Mimi Nina bidii lkn sijafanikiwa.hongera sanaa.
Safi sana bro,Mimi namawazo namba ntapataje,tatizo mtaji
Maisha yanafactors nyingi Sana ,keep the spirit up ,mashallah na Allah akunyosheee
Alafu uko halisi angekuwa mwingine hapa tungesikia una bana pua mara you know etc. Ila uko halisi safi sana.
Masha Allah Twalibu
Hongera sana kaka
Hongera sana
Naomba umwajiri ndugu yangu jmn..ni dereva mzur sana.🙏
Daaah mungu akutangulie uzid kuwaajir watu ambao wanapata mkate kupitia wewe kumbe tz kuna watu wanapesa lkn hawapigi makelele
Allah baarik fiiyka
twalibu abdul, sean king ston
Mashaaallah
Jamaa Yuko vzrii.sio rahis kama a mnavo fikriaa
Naomba kazi
Hongera sanaaaaaa
Hongera kwa kudra za Allah, lakini atupe ukweli wa mafinikio yake
Kutoka 2017 kwa lori moja mpaka 2022 malori 100, inamaana ni miaka 5 sasa,yaani kila mwaka labda malori 20, kiakili ni ngumu yapo yaliyofichikana
🤣🤣🤣 bola iwe kweri
Hio ni approximation labda na kama ni kweli ni zile used tz Bei ya mnada
Vinawezekana kumbuka alikuwa anafanya kazi uingereza na mshahara ulikuwa ni pound na Bado alikuwa na nafasi ya kukopa Kwa ajili alikuwa ni mfanyakazi . So it is possible, hakuna maswali hapo Kwa sisi tunaoishi nje ya nchi tunajua . Keep up kijana
Kumbuka amesema amefanya kazi kwenye moja ya Big 4 Accounting and finance companies in the world ambazo ni kati ya Ernest & Young, Delloitte, PWC au Moody. So mshahara wake ulikuwa mkubwa na ndio uliombeba kufika hapo alipo. Inaonekana ni kichwa kwemye Uhasibu huyu dogo.
@@marykennedymarwa1641 anasema kwa kipindi anacho sema alikuwa Uingereza,na sometimes akisoma na kufanya kazi ktk restaurant kama weiter na cleaner Sio kweli aliweza kupata £500 kwa week,hapo amedanganya,even now hupati pesa hiyo kwa full time job, iweje yeye part time job after UN time apate hiyo?si kweli
Kaka naomba kazi. Nitakua muaminifu
Pongezi kwake mungu akupe Maisha marefu Ili tuvune matunda kutoka kwako
Ubarikiwe
Kongore kaka, Allah bless you and Ayo Tv
Mashaallah mungu azidi kukuinua nasisi pia ameen
Good work
Hongera sana mungu mwema
Mola ndio mpango mzima na jinsi unavyo sema moyoni riziki kwa wengine ndio mungu ibaliki brother
Siri ya utajiri wa mtu anaijua yeye na mungu! Hayo maelezo mengine ni kutulisha imani2
Hahahahahha
Jamaa yangu hongera sana
Absolutely
Wakwanza nipeni like... Hongera sana milionea
Ndio wewe ni wakwanza hatujakataa .
Uzipeleke wapi hizo like
Like zinakusaidia nini wewe zwazwa? Watu wanatafuta pesa kuwa mabilionea wewe unaomba likes
@@Burner_Acc 😂😂😂😂
Hongera broo mungu mkubwa tutafika huko japo robo
Napenda sana hii kampuni nije kuwa fund kwenye hii kampuni nampenda sana
Amepambana sana but ukishakuwa na mali unaongezewa we jiulize gari moja ni TSH ngap?? m500-700 utaipata wap?? Kwa kuwa alianza vizuri kielimu na akapata nafasi ya kufanya kazi wingereza 🙏 Kuna watu hawana hata pakuanzia alipata pound 500 sawa na 1.3m Kwa week lazima utoboe kama unaakili kama zake.
Aanzisha Hilo dawati la kusaport idea za vijana, ukomboe Tz 🙏
barikiwa sana 🌅🌅🌅🌅
Kabisa
Hongera
amesoma oxford, unasema ameanzia chini kuwa serious ila hongera kaka
🙏🙏🙏
Duh hongera sana jamani