Huyu mama toka haonekani cheka tu wasafi media hawajamfatilia tena ila kwa vile ameibuka tena kupitia ayo tv basi watamfata mbio mbio sijui wana matatizo gani.
Acha uongo huyu ni mama yake na coy mzungu na coy ni business partner na huyo nasibu kwahiyo wewe kama huendagi cheka tu kila muda usidhani utampata coz ana shughuli zingn
huyu mama kapanda Cheka tu,na katokea Cheka tu,na moto wake ni koyi mzungu wa Cheka tu, unaongea mavi gani wewe jamaa?? sikiliza za maelezo ya mama (kaanza lini Cheka tu kuigiza mavi wewe)
I always love it when notification says someone liked your comment and you have received a new subscriber this motivates me and make me work tirelessly God bless you.
Kama nawewe umejua leo ,huyu ndo mamake koy mzungu ,gonga like tujuane
Duuh ndio nimejua leo
Mi mwenyewe ndo nimejua leo
Hua napenda pale mtu aki like comment yangu.....
Aseee sipatii pichaa watoto wakoo wanaishi kwa rahaaa sanaaaa🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙌🙌🙌
"Nina mabinti 7 ambao tunashirikiana nao"
Kauli za True Leader
Narrow thinking and negative attitude. In this style, commenters still have a long way to go!!!
Wahaya oyeee, I love you My mamy
Mama yuko vizuri mno mno. Mungu akutunze mama.
Mama uko sawa. Tunakupenda na tunakutakia kila la kheri katika yote ufanyayo. Mwenyezi Mungu akubariki.
🤣🤣yani nlitaman sana interview ya huyu mama nampenda mno anavoigiza
Mama nimempenda mno😂😂😂👏👏👏👏
Huyu mama kiukweli anafuraisha sanaa
Nakumbuka ulikuwa unatuletea vibaanio vya vibration na nilishakuja kwako mikocheni kufuata
Huyu mama toka haonekani cheka tu wasafi media hawajamfatilia tena ila kwa vile ameibuka tena kupitia ayo tv basi watamfata mbio mbio sijui wana matatizo gani.
Acha uongo huyu ni mama yake na coy mzungu na coy ni business partner na huyo nasibu kwahiyo wewe kama huendagi cheka tu kila muda usidhani utampata coz ana shughuli zingn
wewe ni matako sana,huyu ni mamaake koyi mzungu wa Cheka tu!!!
huyu mama kapanda Cheka tu,na katokea Cheka tu,na moto wake ni koyi mzungu wa Cheka tu, unaongea mavi gani wewe jamaa??
sikiliza za maelezo ya mama (kaanza lini Cheka tu kuigiza mavi wewe)
Kwa kwel wahaya Wana sifa Leo nmeamin, et lazma akafir VIP🤣🤣🤣
Mama umenikumbusha sanaaa
Ulivy taja KIZUNGUZI
kilosa sec school,daaaah amizing sanaaa
Kizunguzi noma Sana, mwendo wa parea na nyari...nimemaliza 2018 pale mimi
Kumbe mama coy mzungu huyu.nakupenda ww na mwanao🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂❤❤❤
Uyu mama hatar sana, I love her
Ahahaha Mama yupo vizuri sana, ofcoz nawakubali sana Wahaya
Wenye kabila letu Sasa , mashauzi kama yote , wahaya mtuache jamaniii.
Napendag san Kihay mie jamn il lugha yen ni kam KIGANDA 100% ais :).
Na tena watuache kabisa
@@floraflora5964 katerero
@@cestjolie5574 njoo nikufundishe
Tenaa na sura zetu nzito kama uji wa mapande.
Bukoba the land of blessed one's
Safi mama yangu nimekuelewa sana....!!!
Nimecheka eti wazazi wanaua.vipaji yeye alikuwa kikojozi lakini mama yake akawa anampiga
Mama nakupenda sana🥰🥰
Mama mzuri kweli Mungu amtunze zaidi
Hongera Sanaa kwa kuki promote kinyumbani kwake maana wengi huwa wana act lugha za wengine 👏👏👏👏🙏🙏🙏😀😀😀
Wow nimekupenda sana mama
Mama mzazi.... Coy mzungu....
I love you mama Clinton.Kumbe Koi aliendeleza utundu wake kwa Mafanikio yake.
"Muhaya hawezi kufia njiani,wahaya tunapenda Ku maintain status " ha ha ha ha
😂😂😂😂
😂😂😂😂
😂😂😂
Marehemu ikabidi ajitahidi ili afike VIP ndio afe ha ha ha haaa
I always love it when notification says someone liked your comment and you have received a new subscriber this motivates me and make me work tirelessly
God bless you.
F
😂😂😂
Tumekupenda bure. Chitu ambacho tumechipenda
Mhaya hawezi kufia njiani mpaka aingizwe VIP😂
Huyu Bimkubwa ni mcheshi na amechangamka balaaa
Hahahahaha! Daaah. Mama ananifanya nacheka kwa sauti. Ubarikiwe sana mama Koy.
Haha mhaya hawez kufia njian Uwiii shangaz yake wanangu
Mama ni zaidi ya comed
Muhaya akifanya kazi ya ulinzi utasikia " natoa sechurity service hapo kwenye ShopRite 😜😜
🤣🤣🤣
Uyu tumeishinae miaka ya tisini kunduchi mtongani barikiwa sana mama
Kiwanda wa kuzalisha wototo dah 😂 afu kumbe coy mwanaye 🙌🙌
Good job👍be blessed mum. Big ❤️ from 🇰🇪
Nimechekaaaa sana kiwanda cha kuzalisha wtt
Bigup mama
Umependeza mama Jana çjui ulikuwaje
We mama unanivunjaa mbavu kweliii, kumbee we mhayaa OG nikajua ni vituko tu
Uko vizuri Mama's❤️
I like her naturality..go mamaa
😄😄😄 nimecheka Sana et nilipgopa kuaribu watoto wa watu coz kichwa changu ni wenge🤣🤣
Millard Ayo channel muwe munaandika description bhana, muandike majina , kama kuna links za social media na mengineyo. Boresheni posts kidg
Mimi huyu mama nimempenda sana 😀
Nimekupenda mama bureeeee
Upo vizuri mama
Hongera Sana mama
😂😂😂😂😂😂alikuwa kiwanda cha watoto mama ni hatariiiiiiiiiiii
Chi umeona jinchi mama Mawigi ni mcheshi 😂
Chivinginevyo🤣🤣🤣,je umegundua mama ,kutamka -KI- ni tizi ,nimwendoo wa chiiiiii
Wahaya tukikojoa kitandani ni kipaji😀😀😀😀
Hahahaaaa mama yetu bwna eti ana kipaji cha ukikojozi daaaa bi mkubwa umeuaaaa daa😂😂🔥🔥🔥🔥🔥❤️
😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Anakwambia nacho ni kipaji 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Mama nimekupenda sana kwa akili yako uliyokajaaliwa na mungu
Saw konde
Watan zangu kwamasifa
@@zulfaissa7814 hatupoi
Mama Anaupiga mwingi sana huyu ni hatari sana
Mashallah, Mama Mrembo
Mama yake Coy Mzungu
Mama anasema uwekezaji wa ndoa yake ilikuwa miaka 13 😂😂😂
Hahhhh yani kanichekesha sana @uwekezaji
🤣🤣🤣🤣🤣nakupenda bure mama yangu
🤣🤣🤣 jamani kumbe kila kitu ni kipaji
This woman she is a legend 👏
Muhaya hawezi kufia njiani atatuharibia wazifu. Mpaka afike VIP 😂😂😂
Hahahahahh huyu mama nimemkubali
Wahaya Mpo juu
😁😁😁😁
Kweli akili yk Ina mawenge
Noma sna mama umetisha
Haya oyeeeee 🥰😃
Huyu ni mama yake na coy mzungu yule wa cheka2
Na wamefanana kweli
Ndio
Ooh Jamani hadi nimemkumbuka mama yangu mzazi.
Ongera sana mama nami niomba sana roho ya kuachilia
Chiwanda chetu cha uwekezaji wa watoto
Love you Mom 💌
Wow wakola mawe endelea kutuwakilisha
Huyo mama anachekesha hadi kwenye interview
Pambana mama. Upo vizuri
Piga kazi mama
Ukoo vizurii mama
Mama anajua kuchekesha.
Mama mawigi shida ww❤❤❤🤣🤣🤣🤣
Furahi mama yetu uongeze siku
Hahaha mama umetisha🤣🤣
haaaaaa,,,,big up mama here we stand nyomire
Usitunze hasira hapo nimekuelewa
Asante mama
Namkubali sana uyu mama angu. Nacheka sana😅😅😅😅.
🤣🤣🤣😅 hapo kwenye chikojozi nakuunga mkono. Ningetoka na award za Osca🤣🤣
Super woman ❤️
Kwa kweli unafurahisha unaweza piga kazi
Nalikubali Sana kabila hili ndio nikaoa kabisa mhaya
Mama Ameshatoboa kweli tusikate tamaa
Jamn daa et mawenge mawenge😂😂😂😂😂😂😂 daa pendaa uyu mama aki🤣🤣🤣
jojiketi mwegelo😂😂😂😂😂
Kiwanda Cha kuzalisha watoto
😂😂😂😂kiwanda Cha kuzalisha
Nimecheka wallah daah mama kiboko
Mama Zaid ya uchekeshaji Sasa et mama hakujua Kama ni kipaji kukojoa kitandan dah🤣🤣🤣
Uwekezaji, kila mtu anahisa zake( hahahahahah)
Watu wa Kizunguzi njooni hapa ebu
Wallah nimechekaaa ety kipaji cha kukojoaa