Rais John Magufuli leo Jumatatu, Machi 19 ameweka wazi matokeo ya kamati teule aliyoiunda kuchunguza mwenendo wa viwanda vinavyoagiza sukari ya viwandani.
elimu elimu elimu eeeeeeeeelimu mzee imekua ya matabaka mno.tena walimu wako wavivu kwasababu wamesoma pamoja tatizo nn kama wanamgomo ajili wapya.ILBORU,MINAK,TOSAMAGANGA zimepotelea wapi?
Sugar companies you need to have business partner abroad just in case u need extra sugar u communicate with them. Sasa nyie mpaka utafute dalali wa kukununulia sukar aibu gani hii??
Hakika Tulikua na Raisi
Asante raisi wetu mwenyezi MUNGU yupo pamoja nawe
Big up rais yetu unaona mbali Kwa mafanikio yetu
Well said Mr. President.....
Such an Amazing president stay blessed you give me the way towards my aspirations I love you Magufuli
Pumzika kwa Armani baba Mambo yamerudi
Wajibu kabisa
Yupo nyuma sana kimaendeleo,lione hili
#USIJIPUNJE mkuu waambie ukweli wajifunze na wajirekebishe.
Jpm love uuu forever
Magufuli oyeeeeeeeeeeeee mungu akulinde baba
nikimuona uyu jamaa inaniuma sana
nchi hii,kweli bora tu upo,maana watu wamekuwa wezi na ni watu wa ajabu,yaani mtu anaomba tani zote hizo,na kiwanda hana.daa,endelea tu kuwatumbua
Check wazungu wanavyoshangaa
Unatisha mzee
#na majibu wakupee hii nchi daanh
Sema rais wetu hakuna ujaujanja ukweri tu
ukosawa mheshimiwa watakubali hatawaliokuawanakukataa
Jembe na kukubal miaka mia
Na vipuli vyake inabidi tutengeze hapa tzn
Tumekosa fursa huku tunaweza tusaidie
Mheshimiwa tumbua hayo majipu
Safiiiiiii mzeeee tumbuaaa hayo majipu yameivaa kweri kweri?
kwahiyo utazuia kujenga viwanda vipya hadi uhakiki viwanda hewa
UNAULIZA JIBU?
Haaaahaaaaaa
Shida tujiulize kwa nini Sukari ya Hapa Kwetu ni Ghali kuliko Inayotoka nje sisi makodi ndio yanatusumbua na Ubora pia..
wambie mzeee
Pambana kamanda huenda hawajakuelewa wape darasa.
Utengezaji wa magari mbona kimya
Wape makavu mjomba wameanza kukuelewa
hapo MZEE nakupa umenena
Bodi ya mboga za majani
elimu elimu elimu eeeeeeeeelimu mzee imekua ya matabaka mno.tena walimu wako wavivu kwasababu wamesoma pamoja tatizo nn kama wanamgomo ajili wapya.ILBORU,MINAK,TOSAMAGANGA zimepotelea wapi?
Sugar companies you need to have business partner abroad just in case u need extra sugar u communicate with them. Sasa nyie mpaka utafute dalali wa kukununulia sukar aibu gani hii??
Vizuri xanaaaa
why? because
Dishonest dah! This is a serious regime.. so watch out guys work with the govt honestly then u will enjoy.