KISA CHA MKE WA MTUME MWENYE MKONO MREFU //SHEIKH OTHMAN MAALIM

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 เม.ย. 2024
  • USISAHAU KU SUBSCRIBE

ความคิดเห็น • 38

  • @zuhoor-mc7hq

    Masha Allah tabarakallah shekh wetu OTHMAN... shukran Sana kwa kutufikisha elimu za visa vzr alhamndulillah molà akuhifadhi huko ulipo shekh wetu Kila lenye kheri juu yako mola akuzawadie na namuomb Allah atujaalie mwisho mwema wa mauti yetu pmj na wazazi wetu na mola atuktanish pmj n rasullu swallahu alayhi wasaalama na swahaba zake amiin yaarabbali ghalamiina ❤

  • @ismailhassan5209

    Eh Allah mpe daraja mja huyu peponi

  • @MwanlyGogo
    @MwanlyGogo วันที่ผ่านมา

    Mashaallah Allah akuhifadhi shekhe wetu katka kundi la watu wema naakuchanganishe na watendao wema

  • @hawakhamis9796
    @hawakhamis9796 21 วันที่ผ่านมา

    Masha Allah ❤️❤️❤️ Allah atujalie tuwe miongoni mwah waja wema biidhinillah atujalie tuwe miongoni mwa wanawake wema❤❤

  • @salimhassan8756
    @salimhassan8756 28 วันที่ผ่านมา

    Allah atujaalie sote tuwe pamoja mtume na maswahaba . Ameen

  • @ruzatuntajadin1274

    Mashallah nimesikiya kisa hichi mara mbili tatu lkn hii ya shekh Othman nzuri saaana

  • @HousenAhmadi
    @HousenAhmadi 19 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Maashanllah, shukrani sana shekhe anllah awabariki sana

  • @miskyabdillah7451

    Allah 😢 Allah atuwezeshe tuwe mfano kwa wanawake wema ❤❤🙏

  • @DardahSaid

    Mashallah shekh allah akujaalie

  • @user-gb6ut9qe4e

    Jazzakallah kheir shekh Othman maalimu kupitia mawaidha yako nimejufunza vitu vingi Sana nakuombea mwisho mwema hapa Duniani Na kesho akhela 🤲

  • @rahmamohammed9678

    Assalamu Aleykum warahmatullah wabarakatu

  • @rayaabdallah1869

    ما شاء الله بارك الله فيك شيخ❤

  • @jasminmohamed6145

    SUBHANALLAH

  • @MariyamusefukhamissiMariyamuse

    😂😂Subhanal-lah MashaAllah tabaraqallahu shukurani and jazakum'Allahu'khayran ❤❤❤❤❤❤

  • @ummuarham6070

    MaashaaAllaah

  • @AshaJafari-g2o
    @AshaJafari-g2o 14 วันที่ผ่านมา

    Mungu akujalie❤❤❤

  • @husnamohamed9245

    Mmungu akupe maisha marefu uzidi kutuelimisha amin.

  • @Rahima-kv6mn
    @Rahima-kv6mn 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mashaa llah

  • @cumarqaliif8215

    Shukran shekul afrika

  • @ndogokhadija2313

    Mashaallah