Mawaidha ya Othman Maalim wema hauozi | kisa cha kijana aliyevuta bangi
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 11 ก.ค. 2023
- Mawaidha ya sheikh Othman maalim akiizungumzia siku ya qiyama jua litashushwa litakuwa karibu hatutaliweza watu wataadhibika kwa joto siku hiyo lakini kutakuwa na kivuli cha watu ambao ni waja wema. kisa cha kijana aliyevuta bangi.
mawaida ya Sheikh Othman maalim fuatilia mwanzo mwisho uweze kufahamu zaidi usiache kubonyeza kitufe chekundu chenye neno SUBSCRIBE na alama ya kengele Ahsante. #sheikh #othmanmaalim #live
MAASHAA ALLAH shuqraan sheikh wetu kwamawaidhamazuri jazzakallakher
Subhanallah may Allah give us good end with the word of lailahailallah
Mashaallah Allah akujaalie Siha njema Sheikh wetu. Allahumma Amiin
اللهم امين يارب العالمين 😭😭🤲🤲🤲Shukran sheikh Othman Jazakallah kher 🤲🤲🤲😭
Subhannallah Allah nipe mwisho mwema
Usiache ku comment,share na SUBSCRIBE 2:35
Shukran ya Doctor wa roho zetu 👏
Mwenyezi zimungu akuweke uzidi kutupa elim
Tufanyeni wema, ktk vitu alivyo tujalia allah, afya , mali, elimu, mungu atujalie mwisho mwema
MaashAllah may the ALL MIGHTY ALLAH bless you more
subhana-ALLAH 😢yarraby 🤲 tunakuomba tupe mwisho mwema na mali zetu tusitumie vizuri kabla ya ghinda limauty.🤲
God bless you❤
allah bless you
Mungu anijalie mwishon mwema mungu akujaze majazo mema shekh wetu
Ushajaliwa jipinde ktk mema
allah yahfidhak fi dunia wal akhira sheikh athman maalim, jazakumullah kher,
SubhanaAllah
Shkh Mungu azidi kkongoza , asante Sana Kwa mawaidha.inn Shaa Allah Mungu atupe mwisho mwema
Subhanallah may god give us good warning 😢😢
Amin Ya Rabbal Alamin Ya RABB
Subhanallah
Jazakumullah kheir
JazakAllwahu khairan,
Shukran kwa kutuelimisha
Maashaallah
Mashaallah Allah akujalie Kila lakheri katika maisha ya hapa duniani na kesho akhera.❤
Amiin
mashaalah Allah tujalie mwisho mwema
Mungu tujalie mwisho mwema shehe mungu akulipe uwaunaniliza
Allah akbar
Barakallah ya doctor karibu na lubumbashi maana umeishiaga uvira
Masha Allah
MASHALLAH MASHALLAH LLAH AKULIPE KILA LA KHER SHEIKH
Aaamin 🤲🏻🤲🏻🤲🏻
Ameeen Ya Rabb
mashaallah
JazakAllahu khairan
Jazaaka llahu kheyra
Jazakumu haira allh atupe mwisho mwema
Amin yarbilaghalamin
Asalam alaykum.. Shukran
Ma Shaa ALLAH ❤
❤❤❤❤❤❤swadaktaa ameen ameen ameen yaarab 🤲🏽
Mungu atujalie kivuli siku ya malipo❤❤❤
Mungu akurinde
Shkran maalim otham mung akupe umri mref uzid kutukumbusha
Allah huma Amin yarabby
❤❤
Mashaallah
❤❤
M/Mungu Nijaalie Jina Lako Liwe Kwenye Nafsi Yangu Mpaka Punzi Ya Mwisho Amiiin.
Amin yaaraby kwa sote insha allah
999999
Amin yaarabbi kw sote inshallah
Atujalie Au Akujalieee
Yaallah tufanye tuwe ni wenye kusikiliza na kufuata uliyotuamrisha.
Amiin
Amiiiiin
Aamin 🤲🏻
Allah akbaru❤
❤
Mashaallah
Takbir
Allah akibar
Jazakallah khayran
جزاك الله خيراً
😢😢😢
😥😥😥
Kweli kabs
السلام عليكم ورحمة الله وبركاته.❤
Wa aleykum ssalamu Warahmatullah wabarakatu
Masha ALLAH
Subhanallah.
Mashaallah Allah atujaze iman hakika kwake turejehe kabla ya mauti inshallah...
Maashaallah
Masha Allah
Allah akbar
Allahuma ghufri waliwalidayn.wajaalna Jannat firdausi. Na utujalie nasi mwisho mwema yarab alamin