MAKARAMA YALIYOMTOKEZEA SHEIKH WALID

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 24 ก.พ. 2020
  • MAKARAMA YALIYOMTOKEZEA SHEIKH WALID
    FULL VIDEO YA MAKARAMA YALIYOMTOKEZEA SHEIKH WALID TANZANIA USISAHAU KUTU FOLLOW KWENYE FACEBOOK PAGE YETU NA INSTAGRAM NA KU SUBSCRIBE KWENYE TH-cam CHANNEL YETU KWA VIDEO NYINGI ZAIDI THANKS
    SUBSCRIBE
    COMMENT
    LIKE
    SHARE
    THANKS
  • บันเทิง

ความคิดเห็น • 294

  • @ashiimohmedi6051
    @ashiimohmedi6051 ปีที่แล้ว +7

    Shekh walidy wallah nakupnda,kwasjil ya Alla wallah wabillah mwenyezimungu akupe umri mrfu tena wamanufaa"" na akufe mwisho mwena"" nmeandka sms hii kwa mapenz makubwa sana"" allah akuongezee elinu yko mpka ukinahi"" mm bado ni kijana mdgo lakin siku alla atanijaalia nitaoa akisha akanijaalia watto wema lazma nikuletee watto wangu mja wapo umleee"" Allah akuweke mpka hpo nitakapojaaliwa kuoa"" na kma amekuchukua basi akupe daftar lako la amar kwa mkono wa kulia"" napia akuingize peponi bila ya hesabu🤲🤲🤲🤲

  • @mussaissa6796
    @mussaissa6796 ปีที่แล้ว +6

    Mungu akubariki sana al akh
    Yaani umeongea maneno yale tulikuwa tukiyasikia zamani kwa watu aina hiyo

  • @halimaauthman9324
    @halimaauthman9324 2 ปีที่แล้ว +6

    Shukran sana shekhe Walid Allah akuhifadhi na mabaya ya duniani na Akhera

  • @wamanja5572
    @wamanja5572 3 ปีที่แล้ว +9

    Allah Akuzidishie Elimu imamu na sisi angalau angalau tupate kitu
    In shaa Allah.

  • @fatumahamisi7064
    @fatumahamisi7064 2 ปีที่แล้ว +5

    Allah akutangulia sh. Wetu akuhifadhi na madhila wa masheytwani

  • @misbahukhalifa3216
    @misbahukhalifa3216 3 ปีที่แล้ว +11

    جزاكم الله خيرا وبارك الله فيكم الأستاذ الحبيب وليد

  • @ashrafukirya1947
    @ashrafukirya1947 4 ปีที่แล้ว +7

    Allah akulipe inshallah

  • @ashagrace3333
    @ashagrace3333 3 ปีที่แล้ว +8

    Assalam aleykum warmtlh wabrkth sheikhe,mm miko kenya nakufatilia sana Allah akulinde sana.

  • @bimumaulid1171
    @bimumaulid1171 3 ปีที่แล้ว +8

    ALL IN ALL SHEIKH IS SOO CONFIDENCE WHAT IS TALKING ABOUT IT LIKE IT mashallah and I enjoy my self

  • @ruubajuni1641
    @ruubajuni1641 4 ปีที่แล้ว +20

    Unajua ndugu zangu wakat mwingine inategemea pia na umekulia makuzi gani au umezaliwa wapi,na ndiyo maana wengi wanakuwa hawaamini,lakin karama zipo sisi watu wa bagamoyo tulikuwa nao hao watu wengi sana,kwa waliokiwa nje ya bagamoyo walikuwa wanasema bagamoyo kuna wachawi wengi sana,lakin si wachawi illa palikuwa na watu wengi wenye karama,si wanaume si wanawake,ni mkweli mtu akikunyooshea kidole unaathirika kama hautozikwa,so nakubakiana na Maalim Walid maana hata Mimi nimehadithiwa na pia nimebahatika kuona baadhi ya vitu kwa macho yangu

    • @abilugome7461
      @abilugome7461 3 ปีที่แล้ว

      Uchawi mtupu hakuna lolote na ivyo vitabu vya Mambo ayo vipo watu hawavitumii coz ni vya kishilikina

    • @ahlutwariqaalqaadiriya3538
      @ahlutwariqaalqaadiriya3538 3 ปีที่แล้ว +1

      Kabisa wanakataaa karma je miujiza ya enzi hizo nawao sindo wange kuwa katika makundi ya kushirikina kuziita uchawi😭😭😭😭😭tusiwe wajinga hivyo karama zipo zipo zipo

    • @ahlutwariqaalqaadiriya3538
      @ahlutwariqaalqaadiriya3538 3 ปีที่แล้ว

      @@abilugome7461
      Weww lugome usiwe kama mushrikiina akhii wakina abuu jahli wao miujiza waliipinga kwa lakabu kama hizo kuita uchawi doh😳😳😳😳Chunga imani yako

    • @sammarley1413
      @sammarley1413 3 ปีที่แล้ว +1

      @@ahlutwariqaalqaadiriya3538 TATIZO LAO HAO NIKIBRI YANI KITU ASICOKIJUA YY BASI HICO HAKIPO. KABAKWAMBA YY NDIO MWENYE KUIDHINISHA KUWEPO AO KUTOWEPO KARAMA.

    • @ahlutwariqaalqaadiriya3538
      @ahlutwariqaalqaadiriya3538 3 ปีที่แล้ว

      @@sammarley1413 sasa huyu leo kakutana na mimi aniongopei chochote mpk hapa ajatoa hadith wala aya mm namchapa tu kwaajili ya allah 😆😆😆

  • @daudikhamis1595
    @daudikhamis1595 4 ปีที่แล้ว +11

    Allah akujalie katika kudumu kudarasisha Darsa hili la Quran

  • @hosnabintmariam3287
    @hosnabintmariam3287 ปีที่แล้ว +1

    Allahumma Aamiyn. Alumri twawiyl ziadah sheikh

  • @abuuhafsah9630
    @abuuhafsah9630 2 ปีที่แล้ว +5

    Wallah sheikh nimekuelewa sana...

  • @afric01
    @afric01 ปีที่แล้ว +1

    Aslm alkm ww... Masha Allah!!!! Uko na miaka 55 kama hungeongea hatungejua. Kweli ukiwa mcha Mungu huzeeki haraka. Shukran sana Kwa darsa. Allah akuzidishie umri. Jazakallah kheir 🙏😊😊😊

  • @mwanakheirkihambwe6824
    @mwanakheirkihambwe6824 4 ปีที่แล้ว +13

    Amina shekhe wangu mungu akulipe umri refu wakutumikia dini yetu

  • @fatumashaibu1461
    @fatumashaibu1461 4 ปีที่แล้ว +18

    Subhanallah, Allahu Akbar baada ya kuomba uwe na umri wenye heri we unataka umri mwingi. Allah akujalie umri mrefu wenye heri nawe. Aamin

  • @columbusdoo593
    @columbusdoo593 3 ปีที่แล้ว +11

    Assalamu Alaykum. Tafadhali ni postiye video zengine. Hizi nisha zi repeat sana. Na khutba za ijumaa pia usisahai kuni postiya

  • @janataninaim9193
    @janataninaim9193 2 ปีที่แล้ว +4

    Mashaallah swadaktah sheikh subhanaallah

  • @missrukia9661
    @missrukia9661 3 ปีที่แล้ว +6

    Mashallha shekhe

  • @saumtolbazi8616
    @saumtolbazi8616 2 ปีที่แล้ว +5

    Masha Allah

  • @abdilllahimohammed219
    @abdilllahimohammed219 3 ปีที่แล้ว +8

    Nimeshuhudia Mimi na mke wangu sana mungu atuongoze na shukran kwa mawaidha

  • @mtimbaabdallah681
    @mtimbaabdallah681 ปีที่แล้ว +1

    subhaana llah yaani masufi wanatabu sana yaani makosa hayo ya kiaqida yote chafu na mwamsifia..innaa lillaahi wainnaa ilayhi raajiun

  • @asgarsidi8021
    @asgarsidi8021 2 ปีที่แล้ว +7

    MashaAllah.
    Ustad Walid wewe ni Shariff SubhanAllah.
    Tu kumbuke kwa dua.

    • @swabrianwar1020
      @swabrianwar1020 2 ปีที่แล้ว +1

      ndugi yangu asgar sidi, shariffu n ambae nasaba yake ni mpaka mtume sallla lahu aleihi wasalam

  • @selemankishema5780
    @selemankishema5780 4 ปีที่แล้ว +5

    Toba yarabbbi Allah tizama waja wako wanayoyafanya na dini yako vinavovurugwa ya Allah.

  • @neemainabikorwa5570
    @neemainabikorwa5570 2 ปีที่แล้ว +6

    امين يا رب العالمين

  • @uthmanihimbawe5244
    @uthmanihimbawe5244 2 ปีที่แล้ว +9

    Allah Akbar 😭

  • @tumajunior6080
    @tumajunior6080 3 ปีที่แล้ว +8

    Mashaallah

  • @mbarouksalim1568
    @mbarouksalim1568 ปีที่แล้ว

    Mashaa Allah dini ya Allah hi dini ya Allah haina pengo Tunakuomba YA RABBI ss na vizazi vyetu na vyawenzetu tujitahidi kuelekea ili utuongoze kuwa ktk watu wema ili uweze kupata radhi zako hakika tukipata zako radhi tutakuwa ktk watu tulio faulu tasamehe yetu madhambi hakika ww unasamehe madhambi Alhamdulilah Alahuma swali ala saydina muhamadi S.W.S. Amiin

  • @bilalihussein-dg8dp
    @bilalihussein-dg8dp ปีที่แล้ว +1

    mashallah tunastafidi kwa elimu hii,
    Allah akuweke sheikh

  • @doddyhassan862
    @doddyhassan862 3 ปีที่แล้ว +2

    Shukran sheikh Waleed

  • @AhmedSaid-xz3kj
    @AhmedSaid-xz3kj 3 ปีที่แล้ว +3

    Jazakallah kheir

  • @abeliever6823
    @abeliever6823 2 หลายเดือนก่อน

    أكرمك الله يا شيخنا الفاضل

  • @omaralwi3946
    @omaralwi3946 ปีที่แล้ว +6

    اللهم صل وسلم وبارك على سيدنا محمد وعلى آله وصحبه وسلم

  • @rahmaabuubakar1751
    @rahmaabuubakar1751 ปีที่แล้ว +1

    HAWA MASHARIF WALIKUWEPO WALLAH NA NNAHISI MMOJA MMOJA WAPO. ALHAMDULILLAH

  • @barackhaamidu7841
    @barackhaamidu7841 ปีที่แล้ว +2

    maa shaa ALLAH
    ALLAHU AK'BAR

  • @heyumi2340
    @heyumi2340 3 ปีที่แล้ว +3

    maashaallah maashaallah

  • @chapwinto1091
    @chapwinto1091 2 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah

  • @muhrajovic752
    @muhrajovic752 4 ปีที่แล้ว +5

    innaa lillaahi wainnaa ilayhi raajiuun!!!!!!!!!

  • @Mbaraka_Mbwambo
    @Mbaraka_Mbwambo 3 ปีที่แล้ว +3

    Baaaaraka Allah

  • @ernestmagoda3824
    @ernestmagoda3824 ปีที่แล้ว +1

    Mimi NI mkristo hakika Huyu NI mtu wa watu.

  • @muhammednassor3569
    @muhammednassor3569 2 หลายเดือนก่อน

    Mashaallah tabarakya Rahman

  • @feiz3180
    @feiz3180 4 ปีที่แล้ว +7

    Sadiki ukipenda.

  • @mussakasimu2811
    @mussakasimu2811 2 ปีที่แล้ว +6

    Huyu jamaa anaongea ukweli mtupu.
    Maashallha shekh nakupata nikiwa tanga mjini hapa

  • @meandme3437
    @meandme3437 ปีที่แล้ว +1

    Subhanallah bibi maryam mamake nabii issa alikua akiteremshiwa chakula kutoka peponi direct mpaka nabii zakaria akamuuliza ni vipi? TUMCHENI ALLAH SANA😢

  • @ashagrace3333
    @ashagrace3333 3 ปีที่แล้ว +5

    Subuhana allah.

  • @user-mt4sd6cj5y
    @user-mt4sd6cj5y 10 หลายเดือนก่อน

    JazzakahAllahkheir.

  • @doddyhassan862
    @doddyhassan862 3 ปีที่แล้ว +3

    Yeyote anayeona kwamba sheikh amekosea ni vizuri kumfata kama unaweza vinginevyo utakuwa utovu wa adabu katika ilmi,

  • @abdallahahmed7983
    @abdallahahmed7983 2 ปีที่แล้ว +3

    mashallwah

  • @SaidAbdallah-sm1ft
    @SaidAbdallah-sm1ft หลายเดือนก่อน

    Kwaviongozi wa namna hii waislam tuna mtihani wallahi

    • @DarsaTV.
      @DarsaTV.  หลายเดือนก่อน

      tunakupa wewe uongozi

  • @omarijuma6692
    @omarijuma6692 ปีที่แล้ว

    Allah akupe kila lakheri sheikh letu tupate kufaidika na wewe pia akupe umri

  • @nilihamhamisi1927
    @nilihamhamisi1927 ปีที่แล้ว +1

    Asslam alykum warahamatuallahi wabarakatu sheikh walid naomba niwe mke Mdogo kwa baraka za Allah ndani ya Rajabu hii ya rabby takbar dua ya Yangu

  • @jumannesaidi2917
    @jumannesaidi2917 4 ปีที่แล้ว +6

    Allahu akbar

  • @omarmohammed7132
    @omarmohammed7132 ปีที่แล้ว +1

    Mashàallaah

  • @abamohamed7092
    @abamohamed7092 2 ปีที่แล้ว +5

    Sheikh walid hakika maneno yko ni kweli kabisa ,Mimi Kuna jambo Moja lilinitokea ,nikayaona makarama ya as sayyid abdul qadir bin abdul Rahman Al juneid

  • @suleimanally2065
    @suleimanally2065 4 ปีที่แล้ว +45

    Watu wengi tunapenda muhemko unafikia kumwita sheikh walid muongo huku ni kukosa adabu kwa masheikh zetu tuwaheshim hawa ndio walimu wetu na watoto wetu

    • @abubakarmuhammadsaid3244
      @abubakarmuhammadsaid3244 3 ปีที่แล้ว +3

      Uongo ni uongo tu.
      Haijalishi shkh wala mtumwa.

    • @hassanomar7340
      @hassanomar7340 3 ปีที่แล้ว +3

      @@abubakarmuhammadsaid3244 kweli kabisa bro....kw nini lkn watu tunatekwa nyara kiasi hiki. Dini yetu ni ya dalili c kwa matamanio au rai ya mtu.

    • @aliabdalla9297
      @aliabdalla9297 3 ปีที่แล้ว +5

      @@abubakarmuhammadsaid3244 uongo ni uongo lakin kumuita Sheikh muongo huko ni kukosa heshima na hayo anayohadithia ni ya kweli kabisa

    • @abubakarmuhammadsaid3244
      @abubakarmuhammadsaid3244 3 ปีที่แล้ว

      @@aliabdalla9297
      Kila anaesema uongo ni muongo.
      Na hayo anayoyasema mimi nina ushahidi kuwa ni uongo.
      Je, wewe unaemtetea, unao ushahidi wa ukweli wa hadithi hiyo!?

    • @slamecktz
      @slamecktz 2 ปีที่แล้ว +1

      @@abubakarmuhammadsaid3244 Kwani uongo upi umesemwa hapo tuelimishe tukuelewe

  • @luqmanjumanne4667
    @luqmanjumanne4667 ปีที่แล้ว

    Shukraan sana maa asha allah

  • @mzeemzee7503
    @mzeemzee7503 7 หลายเดือนก่อน

    ALFU MABROOK SHEIKH WALEED

  • @chafimcaisse6340
    @chafimcaisse6340 ปีที่แล้ว

    Shekhe tunakupata vizur sana na tunakupenda kalibu Mozambique

  • @mename6020
    @mename6020 3 ปีที่แล้ว +3

    Allah Akbar

  • @abdul-waqeljuma8868
    @abdul-waqeljuma8868 3 ปีที่แล้ว +6

    Sio kwa uislamu huu ndugu moyo bado mzito rekebisha aqida na simamisha dini tuache hadithi!!

  • @fatumahamisi7064
    @fatumahamisi7064 2 ปีที่แล้ว +5

    Shekh walidi binafsi ninaomba namba zako ili niweze kukutafuta sh. .in sha allah kwaajili ya allah

  • @user-cv8kw8kd4k
    @user-cv8kw8kd4k 7 หลายเดือนก่อน

    Haya anayosema shekhe Walid ni kweli kabisa.

  • @abdebasalsalum1309
    @abdebasalsalum1309 4 ปีที่แล้ว +1

    Kila la kheri shekh

  • @muryd6999
    @muryd6999 4 ปีที่แล้ว +8

    Mimi naamini yote aliyozungumza..Karama zipo

    • @DarsaTV.
      @DarsaTV.  4 ปีที่แล้ว

      Kabisa Kama zilikuwepo zamani na dini ndo hii hii itashindwaje kuepo Sasa

    • @ahlutwariqaalqaadiriya3538
      @ahlutwariqaalqaadiriya3538 3 ปีที่แล้ว

      Pamoja tupo waache washirikina walipinge

  • @SeifRupatu
    @SeifRupatu 4 หลายเดือนก่อน

    Nanyinyi WAZEE wakupinga tuambieni masheikh WENU walikuajee Kama mnaoo Hao Masheikh

  • @nassirzamzam9312
    @nassirzamzam9312 ปีที่แล้ว +1

    A/a ndugu wa islam tujaribuni kuisoma Tawheed ndio njia pekee kuujua uislam safi.

  • @radhiambwana3353
    @radhiambwana3353 2 ปีที่แล้ว +3

    Shehe wamwlimu wetu Allah amtehem ilkuwa ukiiba ndiz shambn kwake wapeleka kwako hamaki umefka kwake unasem shehe nimeleta Amana😀

  • @hamedag7911
    @hamedag7911 4 ปีที่แล้ว +3

    Maashaallah

  • @ramadhanimussahramadhani4868
    @ramadhanimussahramadhani4868 ปีที่แล้ว +3

    Wengine hawamjui walidi tunaemfahamu tunajua anachokiongea Na Allah atamlinda

  • @nakundwamkubwe7823
    @nakundwamkubwe7823 ปีที่แล้ว

    Allah Akbar!!!

  • @simmyndamo6539
    @simmyndamo6539 4 ปีที่แล้ว +3

    Allahu akhubar

  • @cholomsury1548
    @cholomsury1548 4 ปีที่แล้ว +7

    Hakuna kinachoshindikana kwa idhni ya Allah refers kisa cha nabii suleyman na malkia balkis kuhusu kiti chake

    • @DarsaTV.
      @DarsaTV.  4 ปีที่แล้ว +2

      Twayyib

  • @nassirzamzam9312
    @nassirzamzam9312 ปีที่แล้ว

    A/a na muomba mwenye ezimungu atuhifadhi na hizi bidaa uzushi,uzushi za mpeleka mtu atembee kwenye giza bila kuogopa mwenyezimgu aropokwa tu iblis ampeleka bila kujali wala kuzingatia hi ni Dini ya mwenye zimungu, naukikosa imani ya dini ni hatari muislam.

  • @AhmedSaid-xz3kj
    @AhmedSaid-xz3kj 3 ปีที่แล้ว +2

    Allah ibarek

  • @jumamohamedi4495
    @jumamohamedi4495 4 ปีที่แล้ว +2

    Kamba / sound za waziwazi! Tumche Allaah ! Eti mtu kapanda mpapai! Shekh mche Allaah

    • @bakarimketo188
      @bakarimketo188 4 ปีที่แล้ว +2

      Naionea huruma nafsi yako ambayo kumbe hata ibada zako hazina faida nawe...haya hata wewe unayaweza ukiondoa huo ujinga kichwani mwako inshaallah

  • @omaryabduli7328
    @omaryabduli7328 4 ปีที่แล้ว +4

    Chaiiiiiii

  • @aboudsaidaboud7667
    @aboudsaidaboud7667 2 ปีที่แล้ว +1

    ndevu hana

  • @asiaidi3700
    @asiaidi3700 4 ปีที่แล้ว +8

    sheikh walidi 55 kama miaka 38 vile

  • @adamjutto5849
    @adamjutto5849 3 ปีที่แล้ว +4

    Raha iliyooje kwa wale wanazuoni walioleta fani ya mustwalahul hadiith,maana isingekuwepo ile mbona uongo ungekithiri na mtume angezushiwa kila aina ya matukio,lkn alhamdulillah watu wameijua ilmu rrijaal na wakatunza maneno ya mtume kwa ufahamu wa wema waliotangulia,asa hvyo visa anavyovitoa sheikh walid ni uongo mtupu,ataka kujifanya yuwaona ghaibu sasa

    • @ahlutwariqaalqaadiriya3538
      @ahlutwariqaalqaadiriya3538 3 ปีที่แล้ว

      Wewe adamu juto unaandika usiyo na uhakika nayo kutoka na mashekh zenu wakiwahabi wakina bin tayma waharibifu wa uislamu bin Baaz wote ni waharibifu wa uislamu allah atulinde na shari zao

    • @adamjutto5849
      @adamjutto5849 3 ปีที่แล้ว

      @@ahlutwariqaalqaadiriya3538 kitendo cha kusema ibnu taymiyyah ni sheikh wa kiwahabi tiari nishajua kua kiwango chako cha elimu ni kidogo saana, sasa kasome kisha ndo uanze kutukana hao unaowaita mawahabi kama utaweza,na hautoweza moka qiyaamah
      إن الرسول قد جعل الجهل داء،و شفاء العي هو العلم
      Hvo soma utoe huo ujinga wa kusema ibnu taymiyyah ni sheikh wa kiwahabi

    • @ahlutwariqaalqaadiriya3538
      @ahlutwariqaalqaadiriya3538 3 ปีที่แล้ว

      @@adamjutto5849 mpaka naandika hivi nimesoma mengi na nimetosheka ibnu taymia si mm nilietamka maneno hayo ni sheikh ibin batuta istoshe unataka mjadala???😁😁😁maimamu ni shafi.hambali.maliki na abuu hanifa nimemaliza..

    • @shabanijuma4162
      @shabanijuma4162 3 ปีที่แล้ว

      اللإسناد من الدين فلولا اللإسناد لقال من شاء ما شاء

    • @adamjutto5849
      @adamjutto5849 3 ปีที่แล้ว

      @@ahlutwariqaalqaadiriya3538 kadhaaaab,kaaah ibnu batuutah yupi huyo aliyesema ibnu taymiyyah ni sheikh wa kiwahabi,vile vile mie sitaki mjadala na wewe kwa sbbu huwezii,mi najua wewe ni mtu unaeskia sikiaa tuu masheikh alaf ndo unakuja kusumbua huku kwenye mitandao,kaa chini usome dini haipatwi kwa udaku,inatakiwa usome,uelewe na kuhifadhi mas-alah,hahahhaa eti ibnu batuutah kasema wamjua ibnu batuutah wewee au unaropoka tuu

  • @selemankishema5780
    @selemankishema5780 4 ปีที่แล้ว +4

    Shetwani anawachezeaga mpaka masheikh msishangae do!!!

  • @hudkhan.2920
    @hudkhan.2920 4 ปีที่แล้ว +5

    Anasema kweli sheikh visa hivi vipo kabisa

  • @abuumudhakkir3688
    @abuumudhakkir3688 2 ปีที่แล้ว +2

    Mnatumia majini kisha mwajidai makaramaaaa. Hebu acheni uchawi huooo

  • @abuumudhakkir3688
    @abuumudhakkir3688 2 ปีที่แล้ว +1

    hayo sio makarama bali ni uchawiiiii

  • @hijamaulidi7382
    @hijamaulidi7382 3 หลายเดือนก่อน

    Mm kila nikijitabiria mambo mabaya na mazuri yanatokea kweli sjui nna Nini yaan kama maono yanakuja

  • @issabinmaryam7450
    @issabinmaryam7450 4 ปีที่แล้ว +4

    Visas visas wengi uongo mnatia chumv ndimu pilipili hii toooo much

  • @munirahmed7753
    @munirahmed7753 4 ปีที่แล้ว +1

    Mmhh mbn mabalaa hayo

  • @yahayaali7970
    @yahayaali7970 2 ปีที่แล้ว +1

    Kama hujui usiseme hakuna anaye jua/ kwasasababu hujui daarsalam unasema hakuna fly over

  • @AhmedSaid-xz3kj
    @AhmedSaid-xz3kj 3 ปีที่แล้ว +1

    Hiyo simu ya vibrate yakeraa darsaa

  • @mariamharoon1840
    @mariamharoon1840 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kweli hata mimi pia ninayo makarama

  • @muhammadbilali8209
    @muhammadbilali8209 4 ปีที่แล้ว +7

    Si amesema passport yake huwa anasafiria angalau mara 20 kwa mwaka ss iweje kusafir wiki mbili iwe kutoroka darsa!

    • @DarsaTV.
      @DarsaTV.  4 ปีที่แล้ว

      Brother msikikize vizuri huwa anasafiria but ikifika kipindi Cha darasa ambayo no ramadhani huwa yupo darasani

    • @jamalabdul6113
      @jamalabdul6113 4 ปีที่แล้ว

      Hilo darsa liko ktk mwezi maalum tu (ramadhani).

    • @slamecktz
      @slamecktz 4 ปีที่แล้ว +4

      Ndugu yangu jifunze kusiiliza na kuelewa kisha uliza usichokielewa utafaidika hapa duniani na kesho ahera. Darasa hilo la tafsiri ya Quran Shekh Walid alikabidhiwa na Mashekh zake na walimuhusia asiache darasisha mpaka mwisho wa uhai wake yeye ni binadamu kuna wakati anakuwa na safari sasa kama ni kipindi cha Mwezi Mtukufu wa Ramadhani kipindi alicho elezwa asiache fundisha akipanga kusafiri ndo hua yanamtokea hayo anayoyaeleza sasa. Mwenyezi Mungu akipuka uhai ukafika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani jitahidi uhudhurie Masjid Kichangani baada ya swalath Laasiri utafaika sana kwa darasa la kiwango cha juu kabisa linalotolewa pale. Mwenyezi Mungu akuhifadhi.

    • @amenaafrica7046
      @amenaafrica7046 3 ปีที่แล้ว

      @@slamecktz shukran na mashaAllh

    • @sadiqselengu4197
      @sadiqselengu4197 3 ปีที่แล้ว

      @@slamecktz Watu wengi wanasikiliza kwa mihemko thn waanamini kwa masheikh wanawajua wao waliowachaguwa kuwa ni wa kweli na wenye dini wengine wamewaweka kwenye daraja la si ktkt watu na masheikh wa kweli
      Ndio haya yanakosekana kwao na yanaonekana ya uongo coz kuna vitu hawajashikamana navyoo

  • @faridaikussi
    @faridaikussi 9 หลายเดือนก่อน

    Nikweli kabisa

  • @tausinzwiba4180
    @tausinzwiba4180 3 ปีที่แล้ว +2

    Huyu sio mkweli anapenda sifa, anajifanya mcha mungu kumbe mganga tu.

    • @mamussi6872
      @mamussi6872 3 ปีที่แล้ว

      Weweee!!!!! Usimhukumu mtu huyajui yaliyopo baina yake na mola wake. Hivi waislam wa leo tunanini lakini????

    • @heyumi2340
      @heyumi2340 3 ปีที่แล้ว

      umejuaje kama mganga

    • @aliabdalla9297
      @aliabdalla9297 3 ปีที่แล้ว

      Huyo jamaa kapewa mambo wala si uongo wakati huo alikuwa anataka akimbie hasa msikitini

  • @saidbanga
    @saidbanga 4 ปีที่แล้ว +2

    Ni Vizuri ila angalia usije kuingia kwenye Ghurur na Kujisifu....!

    • @DarsaTV.
      @DarsaTV.  4 ปีที่แล้ว +2

      Naam alhabib

    • @bakarimketo188
      @bakarimketo188 4 ปีที่แล้ว +1

      Subhanallah huyu hasemi kwa kujisifu Bali anazipa uhai nafsi yako na yangu sisi vipofu ndiyo maana karama zote ansema ametendewa siyo yeye mtenda

  • @chiefmlala7776
    @chiefmlala7776 4 ปีที่แล้ว +2

    😂😂😂🤣🤣🤣

  • @saidisalum1514
    @saidisalum1514 ปีที่แล้ว

    MAJITU YA MAULIDI YOTE NI MACHAWI YANALOGANA HADI MISIKITINI

  • @hassanomar7340
    @hassanomar7340 4 ปีที่แล้ว +1

    Uongo live alafu wasema karama. Tumcheni Allah

    • @mamussi6872
      @mamussi6872 3 ปีที่แล้ว +1

      Utakapomcha Allah kikweli utayapata hayo makarama hujamcha Allah bado

  • @adamhashim3352
    @adamhashim3352 3 ปีที่แล้ว +8

    Ukiona mtu anapinga ujue huo ni wivu maana yeye hajapewa

  • @FaudhiaMungi
    @FaudhiaMungi 7 วันที่ผ่านมา

    She nakuelewa😅😅😅

  • @sharifgojo878
    @sharifgojo878 4 ปีที่แล้ว +6

    israaliyaati hizo

  • @alliyrubea5731
    @alliyrubea5731 ปีที่แล้ว

    Uko vizuri sana lkn uvaaji wa hizo pete ktk mikono miwili sheikh sio mafundisho sahihi au mm sikuelewa vizuri!