Jamaa kaelezea vzr sana. Haya mambo hata Mtume wetu Muhammad SAW alitufundisha kua maiti anasikia na anaudhika ukimfanyia vitu vya kuudhi ndipo waislam tunashauriwa tusimweke kwenye Jokofu maana atajiskia baridi kama alivokua hai
mmmh sidhan kama kuna anayejua siri baada ya mtu kufariki, hata ukiwa usingiz mzito tu huwez skia kitu au ukipigwa nusu kaputi husikii wala kuhis kitu, anayejua siri ya kifo ni mungu aliyetuumba tu mm naamin hvyo ndio mana akatuficha atujui siku saa wala wapi tunaenda baada ya maisha ya dunia.
Mungu ni mtu, alituumba kwa mikono yake, adamu alisikia sauti ya Mungu akitembea Mungu ana miguu, anasikia anamaskio anaongea anakinywa. Sawa dada angu eeh!.
Daktari msomi wewe, nakukubali sana .. wafundishe science hao.. najua unajitahidi kubalance watu wa dini wasikuchukie! I believe on science I know what you talking about!,,
Kifo ni sawa na usingizi usio na ndoto,haya anayoyaongea huyo doctor ninaona kama yapo nje ya uhalisia wa mambo.maana maandiko yanasema mtu akifa anakuwa kwenye kimya kizito na hana lolote analolifahamu la hapa duniani wala hawezi kujua hata mahari alipo.
Kitu ambacho ujajua kuhusu huyu doctor amesoma vitabu vyote Vya din alafu yeye akiongelea huwa haongelei upande fulan, huwa anaongelea pande za din na anaongelea falsafa, saikolojia, sayasi nk... Naomba msikilze Kwa umakin tu ugundua mengi bro
Kwani MAGUFULI ni daktar wa aina gani. Huyu mzee msomi zaidi ya MTU anayitwa daktar john pombe. Elim kubwa huyu MTU.tafadhali ukajifunze Diglii Master PhD Professor Doct .........
@@amyamos3442 hapana sina nilichochanganya, mimi nafuatilia Vipindi vyake kiukaribu sana chunguza utakuja kunitaka radhi, by the way we care for him too that's why I'm concerned about him.
haya mambo naona ndugu zangu tukitaka kuelewa vizuri zaidi tuweke dini pembeni..🙏🙏
Kuna haja sana ya kujadili kifo kwa sababu ni jambo lisiloepukika kwa kila mwanadam
Huyu ni daktari wa Nn jameni. His knowledge is quite strange. Nimemsikiza mda mrefu sana he always has something unique. I really like his mind set
Falsafa na saikoloji
Jamaa kaelezea vzr sana. Haya mambo hata Mtume wetu Muhammad SAW alitufundisha kua maiti anasikia na anaudhika ukimfanyia vitu vya kuudhi ndipo waislam tunashauriwa tusimweke kwenye Jokofu maana atajiskia baridi kama alivokua hai
Huyu ndugu anajuwa Mambo mbakanakela mungu nifundi 🙏🙏
🤔Maisha ni uhai = existence. Bila uhai hamna maisha. Kifo ni kuondoka kwa spirit ndani ya mwili wako = roho ambayo haionekani🤔.
And without to forget Miss Lilian , you doing a great job to educated Tanzanian people .. Huge respect for you.👌🏾❤️❤️❤️❤️❤️
Uhuuhuuhuuuu mungu ni roho Soma bibilia kweli ukisoma sn ni nomaaa
Nani anasoma comments huku anasikiliza???
Mimi
Subhana allah mungu sio mtu .na wala hajafanana na kt chochote, hakuzaa wala hakuzaliwa
Tunajua ndio ni mkubwa
Jinga wewe munguwetu nibabayetu Tena nibaba anaetupenda watotowake achana namambo yakialabu wapuuzitu inaelezwa Mambo kisomi hitaki dini zimefelisana tenakwakilakitu
Subhanallah mungu sio mtu apo tutakufuru
Dah yaani sijaelewa kabisaaaaaaa nipo njia panda bado
Team WomenMwatters tupo area bwana ...Lilian Mwasha the main host Love you girl as you know#WomenMatters#Sns•√~
Kuna team Temino hapa sisi ndio wakingwe bhn tumefaid Lilian na Dr tangu yupo clouds
th-cam.com/video/KRn74B39aPo/w-d-xo.html
Daktari wafundishe first aid wataserve watu, heart ikistop as longer wakiipa brain oxygen wataserve life. Wakiipa moyo massage.
Priscilla Amossen did you mean CPR?
Asanteni kwa majibu yenu Richard na shabani
mmmh sidhan kama kuna anayejua siri baada ya mtu kufariki, hata ukiwa usingiz mzito tu huwez skia kitu au ukipigwa nusu kaputi husikii wala kuhis kitu, anayejua siri ya kifo ni mungu aliyetuumba tu mm naamin hvyo ndio mana akatuficha atujui siku saa wala wapi tunaenda baada ya maisha ya dunia.
Eddy Evarist iman
iman mmh sijui
Kabisaaa MTU akifa hajui lolote hata biblia inasema HVO kwenye muhibir 9:5
yeah kifo ni siri tuliyofichwa hakuna ajuae
th-cam.com/video/KRn74B39aPo/w-d-xo.html
wow
nawapenda sana
Subhana llah mungu sio mutu
Yah mungu asimuongelee atakufuru
Asante dada yngu 💛💛💛💛🙏🙏🙏🙏
Kweli
Hili ni darasa tosha bila ata ada.
Mbn sauti ya Dr ni ndogo
Huyu Dr namkubali sn
Mungu cyo mtu lakini ukiwa binadamu unauwezo walisema mungu Ni mtu kwakua katuumba kwa mfano wake
Mungu ni mtu, alituumba kwa mikono yake, adamu alisikia sauti ya Mungu akitembea Mungu ana miguu, anasikia anamaskio anaongea anakinywa. Sawa dada angu eeh!.
@@mathayojohn5440 makubwa 🤣 mungu sio mtu na hafanani na chochote
Guys tunahitaji kitabu
Du hatr sana
Mmh
2021
Daktari msomi wewe, nakukubali sana .. wafundishe science hao.. najua unajitahidi kubalance watu wa dini wasikuchukie! I believe on science I know what you talking about!,,
Dah dokta nmemuelewasana wanaokonnect nisha zao vyema ndio wanaopsta majibu
Kabadilika kidogo syo Sana 😂😂😂😂
Mungu ni mtu?astaghafirulaah.mengne nmemuelewa
😳😳😳😳
Mungu ni mtu 😂😂😂 docta ka chemka daah kweli elimu niujinga pia😅😅
Ndio Mungu ni mtu, hajachemka ni kweli
Lilly napenda kujua kuwa Dr. Elly ni Doctor wa gani gani
Ni Dr in philosophy kama cjakosea
Ni doctor in philosophy,, psychology and theology
Huyu dada anaharaka namaswali yake
Kifo ni sawa na usingizi usio na ndoto,haya anayoyaongea huyo doctor ninaona kama yapo nje ya uhalisia wa mambo.maana maandiko yanasema mtu akifa anakuwa kwenye kimya kizito na hana lolote analolifahamu la hapa duniani wala hawezi kujua hata mahari alipo.
Kitu ambacho ujajua kuhusu huyu doctor amesoma vitabu vyote Vya din alafu yeye akiongelea huwa haongelei upande fulan, huwa anaongelea pande za din na anaongelea falsafa, saikolojia, sayasi nk... Naomba msikilze Kwa umakin tu ugundua mengi bro
th-cam.com/video/KRn74B39aPo/w-d-xo.html
😂😂😂 Lily bwana unanichekesha nyanja
Too much Ads 🤬🤬🤬🤬
Lilian mbona umekuwa mnyonge hivyo?si lilian yule mwenye much maswali 🤣🤣🤣🤣🤣 umeuliza mwenyewe usitoke hapo.
Amina Namoyo 😆😆😆chezeya kifo lazima awe mpolee
Yaani amenywea haswa😆😆😆😆
Nina maana dr. Elly ni doctor wa kitu gani
Kwani MAGUFULI ni daktar wa aina gani.
Huyu mzee msomi zaidi ya MTU anayitwa daktar john pombe.
Elim kubwa huyu MTU.tafadhali ukajifunze
Diglii
Master
PhD
Professor
Doct
.........
Doctor in philosophy, psychology and theology.
Dr ambayo yeye Ni level Yake ya Elim sio doctor anaetibu watu bali Ni Elim Yake level Yake Ni udoctor
Muandishi anajifanta mjuaji sana mtu anaongea nayeye anadakia Kama anajua vile Sasa siangeongea yeye
Porojo uchwarwa!
We dada unaboa Sana na maswari yako hayo
Hee jamani
Dr. Bana, fanya mazoezi acha uzembe, wewe usipojari afya sisi tufanyeje?
😄😄😄
Ivi hapo Dr hana afya nzuri ee?
@@sharonndowo6922 hawa ma Dr kila siku wao wanatuambia kitambi sio afya sasa nashangaa yeye kabebelea tumbo la nini sasa? Au ni doctor wa nini?
Leila Innocent huyu sio Dr wa hospitali ni Dr kwa elimu yake mamaa!! Naona umechanganya mafaili hapaaa
@@amyamos3442 hapana sina nilichochanganya, mimi nafuatilia Vipindi vyake kiukaribu sana chunguza utakuja kunitaka radhi, by the way we care for him too that's why I'm concerned about him.