😇 Jamani anti Sadaka!!! Ana enjoy huyo Mzeee hatarii kumzimiaa. Sadaka Ana ile "look" ya kuwa I like you Sigaraa. "Nataaka tuuu nikusikilizeee unavyonukuuuuu! Yaani Anamkubaliii 💯 Yaani Mzee Sigara Unampaa aunt Sadaka "Juiceee talk" Sio ya mvunguni sharti uinameee Ni ya Dariniii tafuta ngaziii ujuweee Darini kulikoni. I enjoyed unti Sadaka looks all way. Liliaan mrudishe Part 2 ana Tungooo za Almasii Mzeeee dahh."😜 Mume smart Michipukoo mnachapuliwaaa tuuu" Patamuuuu Apooo weweee.😇🙏
Woyoooooo Dady nimemuelewa uzuri Masha Allah, kitu Utamaduni bhan ndo huwa unadumu siku zote Utamaduni hupotei, ila mambo ya kigeni ndo hupotea tenaaaaaa, 👌👌👌👌 hupotea pasi nyakati muafaka .
Ni kweli kabisa. Hata wazungu wenyewe wa na sema. Muongope sana mtu anaekuambia kila mara i Love you. Ni muongo. Kwahiyo huyo kaka anasema ukweli kabisa.
Asante saaana Violet na Lillian, mumeleta maongezi kwenye upande wa wanawake kwenye ndoa ya siku hizi. Alafu Violet always anachangamsha show sana, love her!!!
Unatoa fundisho zuri sana mzee,,wasiwasi wangu kama wakubwa wao wanapata changamoto kukuelewa Je? Kwa wadogo zao naufinyu wa memory zao hapo wataona unaongea kelele tu
Very true. Many times people will pretend when the relationship is young...but its hard to maintain....thats when people get tired and true colours cone out. As you have said They eventually want to be loved the way the way the need to be loved....
Nawapenda sana tu. Ila pls muwe mnasikiliza kwa utulivu kwanza mtu akielezea tumuelewe sio kumrukia kabla ya kumaliza kuwaelekeza kusudi tuelewe anacho ongea
Huyu baba kwenye point ya kuwajali mchepuko, watoto wa mchepuko point hana, hapo anaufurahisha umma. Hakuna mtu anapenda maisha duni kwa dhama hizi. Akubali tu akili za wanaume saa nyingine zinakamatwa bila wao kujua, na hapo ndipo ushirikina unapofanya kazi sana
Akina mama wenzangu ongeeni Kwa zamu, wakati mwingine mnaongea wote inakuwa makelele. Angalau aunt Sadaka anatulia anasikiliza. Lilian ni kiranja makelele kama yote. Taratibu tuwasikilize.
Uyo dada anavyo onekana kwa mme wake ,nimbishi sana,,na vipindi vyote ,,hanaga pointi zaidi ya ubishi ,,ata hivyo ajipange kwenye ndoa yake,, hope mme wake anaboleka huwa hamwambii tu
Jamani Women matters naomba kuwe specific to the matters kama Leo mnaongelea mwanamuke kufika kileleni mapema iwe hivyo mnatuchanganya . Tauteni hoja za kutosha kuhusu mada tafadhali.
Ant Sadaka asante wewe husikiliza na kurudi kwa point baada ya makelele mfunze Lilian kusubiri na kusikiliza na pili asiweke hisia zake na maoni yake bali uhalisia wa mambo na mwisho kipindi ni kwaajili ya watu na si yeye watu wako hapa kujifunza na si kumsikiliza yeye as subject.
wemzee nimekusikiliza kwaumakini Sanaa,umeongea vingi pont ✔️hila kwenye swara lamichepuko eti Awapendwi Umeferi❌Mtu Anazaa naye adi watoto🤱Anajengewa🏠nagari ju🚙bado Unasema Nini????
Mkioneshwaga upendo mnaanzaga dharau. Aheri kuwa mabandidu its more safe, raha ya mwanamke wa kiafrika akuogope, hapo ndio atakuwa na adabu ila ukimzoesha mapenzi mapenzi anakupanda kichwani na kukuona kama mwanamke mwenzie
Wangapi tunaosikiliza na kutazama huku tukisomo koment huyu baba nimemuelea vizuri saana nimejifunza kitu asanteni saana mambo ni 🔥🔥🔥😂🇧🇪
Kweli mambo ni fire Ahlam... unaishi Belgium??
😂😂😂😂😂
Waliyo helewa na wakasikiliza maana tusipo sikiliza hatutohelewa gongeni like tuhelewe👍👍
Una lala pamoja
Unaamka pamoja
Anakushughulikia
Unataka nin zaid ya apo
ON SIGARA : anataka taraka😁😁😁
Stupid 😂😂😂😂😂
Mmekuwa mkinifurajisha sana wazazi wetu kwa kutuelimisha......bi khadija hataki maua
Ubarikiwe sana mzee wa ushahuri wako akina mama pia na wapongeza sana watching from Dubai from kenya
Wallah nimekupendeni na nnainjoy women matter big up kaka oni aunt khadija aunt sadaka and sister lilian
😇 Jamani anti Sadaka!!! Ana enjoy huyo Mzeee hatarii kumzimiaa. Sadaka Ana ile "look" ya kuwa I like you Sigaraa. "Nataaka tuuu nikusikilizeee unavyonukuuuuu! Yaani Anamkubaliii 💯 Yaani Mzee Sigara Unampaa aunt Sadaka "Juiceee talk" Sio ya mvunguni sharti uinameee Ni ya Dariniii tafuta ngaziii ujuweee Darini kulikoni.
I enjoyed unti Sadaka looks all way. Liliaan mrudishe Part 2 ana Tungooo za Almasii Mzeeee dahh."😜 Mume smart Michipukoo mnachapuliwaaa tuuu" Patamuuuu Apooo weweee.😇🙏
Ha ha ha kumbe ume observe eeeeh
Jmn usije vunja ndoa za watu kwa haya maneno 😂😂😂😂😂
Sasa na ulivosema I like you Sigara, nikaiweka in Aunt Sadaka's voice.🤩🤩🤩
Me too nimeona😂😂😂😂😂😂😂
Yaani nampenda huyo dada alovaa kilemba cha yellow anaakili kweli😘😘😘
Asantesana kabisa.baba nimekuelewa alafu nimepokea vitu vya mahana sana
Nimekuwa nawaambia wadada wengi kuwa hata mwanaume awe na kibamia kama mmependana lazima ufike kileleni🤭
kabisaaa
Ni kweli ukiona mwenzio masaa jua humfikishiiii! Ukipata mwenzio mnao fikishana weee dakika 7 nyingi . 😆
Mimi niko Europe nanilikataa maua. Upuuzi mtupu. Mume anakufanyia kila kitu mnakuja kukoseana maua? Wahirumieni watoto wa wenzenu. Craaaazy
Ahsante WOMEN MATTERS
Karbu tena Mr One Sigara
kipindi bomba sana
Yaani huyu jamaa ana akili sana. Nampa big up sana. Kutoka Canada 🇨🇦
Aunty sadaka unaakili sana na ndio akili wanawake wengi tunapaswa kuwa nayo nacho ni kupenda kusikiliza! Aunty msikivu sana
This is guy I have a one word for you GENIUS “ Asante 🇬🇧❤️❤️❤️❤️❤️🙏
Woyoooooo Dady nimemuelewa uzuri Masha Allah, kitu Utamaduni bhan ndo huwa unadumu siku zote Utamaduni hupotei, ila mambo ya kigeni ndo hupotea tenaaaaaa, 👌👌👌👌 hupotea pasi nyakati muafaka .
Huyo baba amenitia moyo sana. Wamama tuwe wavumilivu katika ndoa.
Kiukweli kabisaaa, nimemuelewa sanaaa
Hahahaaaaa nimefurai kumuona Honi Sigara😂😂😂😂wap mwagenzi philip
Nimejifunza sana from Qatar
Ni kweli kabisa. Hata wazungu wenyewe wa na sema. Muongope sana mtu anaekuambia kila mara i Love you. Ni muongo. Kwahiyo huyo kaka anasema ukweli kabisa.
Haswaaa!!!!
Nasie ndugu zetu tulokuwa UK Manchester tunakupendeni na kukutizameni every monday big up women matters we love you ❤❤❤
Mmi binafsi co mwanamke ila nimeifuatilia sana hii na nimeipenda sana
Huyu baba wallah ananimaliza sauti yake
Dah wanaume tumepata mkombozi sasa🤣🤣🤣🤣🤣🤣 ongera sana mzee wangu
Hee umepata mkombozi kasomeshe watoto wa nje wakwako wakasome yeboyebo safi sn njoo unisomeshee na mm
@@gracejohn886 unasemaje?
Kipindi kizuri Sana mashaallah ,lkn punguzen kelele n muongee kwa step lkn mnaongea wote Sasa tumsikilizie Nani
Mmm bac wngu yko km uyo mzee ju natamani ata kuitwa bby lkn wpi na hapendi kabisa maswali mengi
😀😀😀😀😀
🤣🤣🤣🤣
Uyu mzee yupo sahihi kabisa hizi nakupenda Sana kwangu zimenitokea na zote zilikuwa zakijanja
Mimi kwakweli huyo mzee nimemuelewa sana kaelezea in deep sana
Hongera Sana babangu...kwani unayongea kweli
Asante saaana Violet na Lillian, mumeleta maongezi kwenye upande wa wanawake kwenye ndoa ya siku hizi. Alafu Violet always anachangamsha show sana, love her!!!
Aliongea baba hapo km vile alimuona mume wangu ndivyo alivyo
Unatoa fundisho zuri sana mzee,,wasiwasi wangu kama wakubwa wao wanapata changamoto kukuelewa Je? Kwa wadogo zao naufinyu wa memory zao hapo wataona unaongea kelele tu
Yaani huyo baba kanibariki sanaaaa.na ni mkweli hajabu paka raha,na mke wake anaye Mume na kama hajamshukuru Mungu basi afanye hivyo.
I love you nakujua wewe jini tu ...I’m dead 😂😂😂😂😂😂😂 Sigala my guy , unavunja mbavu zangu 🇬🇧🇬🇧🇬🇧🇬🇧🇬🇧❤️❤️❤️😂😂😂😂😂😂
Nakubali,mzee yuko poa sana,
Hawa ndo watu napenda kuskiza!
Umeonaee
Kipindi kipo vizuri sana leo nimejifunza mengi sana naomba muendelee kutuelimisha🙏
Mzee oni sigara uko sawa sie mabaharia tumekuelewa sana
"Uck mwema mke wangu kwan naenda kulinda ".. .....😂😂😂😂😂 faza oni mia 👍👍👍
Hahah nawapenda sana jamani khaa mama zangu nawapenda zaidi Lilian Mwasha upo juu my dear unawaka hatareeeeh
I love this show bomba beauty is in the eyes of beholder
Masha Allah iyo kitu ya mume wangu mke wangu nzuri kabisa yani kipindi kizuri kweli kweli
Huyo dada anabahati sana hizo ni dali za upendo wa juu 😍
Bi Khadijah Kopa yani nakupenda hadi basi ❤️😘😘😘
Mr Sigala ni mzima saana👏👏👏
Sauti ya mzee😗😗
Kipindi kilikuwa kitamu ila wanaume bila mchepuko 🙊🙊🙊🙊 inawezekana.😁, nahisi mke wa Oni Sigala ana raha sana 👍🏿
Father Oni sigala big up 👍😀
Kipindi kizuriiiii sna ,mzee anaongea point mpk rahaaaa.....nakupenda mume wangu😘😘😘😘😘
Nimecheka! Eti ananiletea madudu na sisimizi 😂😁🐝🐛🦗💐
Good teaching
Thank you bro na mama, wanaiga what is happening on movies. I like today's discussions.
Lilian mwasha huo wanja hapanaa
Shida ni kwamba hawa wanawake wanapenda kukatisha mazungumzo guest wakiume akiwa anazungumza😮😅
Very good dingiii
Madame sadaka nimekupenda sana wewe ni muelewa na msikivu sana
pumbavuuu tanzania.
dokta oni asante.
It is one thing to love someone the way you want to love, but it is another thing to love someone the way they need to be loved...☹
yes
Very true. Many times people will pretend when the relationship is young...but its hard to maintain....thats when people get tired and true colours cone out. As you have said They eventually want to be loved the way the way the need to be loved....
@@noalphabetlorehatersonlyal5718 yap Mama Mia true said
Nawapenda sana tu. Ila pls muwe mnasikiliza kwa utulivu kwanza mtu akielezea tumuelewe sio kumrukia kabla ya kumaliza kuwaelekeza kusudi tuelewe anacho ongea
Jamani niliwamiss nyie, anty sadaka shikamoo mama
Huyu baba kwenye point ya kuwajali mchepuko, watoto wa mchepuko point hana, hapo anaufurahisha umma. Hakuna mtu anapenda maisha duni kwa dhama hizi. Akubali tu akili za wanaume saa nyingine zinakamatwa bila wao kujua, na hapo ndipo ushirikina unapofanya kazi sana
Akina mama wenzangu ongeeni Kwa zamu, wakati mwingine mnaongea wote inakuwa makelele. Angalau aunt Sadaka anatulia anasikiliza. Lilian ni kiranja makelele kama yote. Taratibu tuwasikilize.
Kabisa
Dada Lilian jifunze kusubiri kwanza mtu Aelezee ndo uendelee kuongea😅😅😅😅
Kweli yupo km chura na jongoo walienda kupata uzuri 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Oni Sigala umetuwakilisha vizuri sana wanaume
Uyu baba nimemuelewa sana. Shikamoo baba
Uyo dada anavyo onekana kwa mme wake ,nimbishi sana,,na vipindi vyote ,,hanaga pointi zaidi ya ubishi ,,ata hivyo ajipange kwenye ndoa yake,, hope mme wake anaboleka huwa hamwambii tu
Mh waja wazito nyie
I loooove this program and I believe one day nitakuwepo.
At a kama mume wako ana mchepuko umoumo ndani ya nyumpa ya ngu
☺
maisha,mapenzi na ndoa.kizungumkuti ila ndio tunaviishi na kuvipenda.
lily uwe unasikiliza km aunt sadaka..unakelele sana..mpk unaboa...unakuwa mbishi sana...
Dada Leo nimekipenda zaid kipindi kuliko siku zote
wow nice advice about marriage
Ww Lilian unajikingaje? huna Barakoa, tupishe. Nyote hamjavaa viziba Pua na Midomo. Ninyi pia hamko salama pia.
Kabisa hatami muchumba wangu simuite kwamajina ya kizungu na penda mpenzi wangu nanikisha olewa mi napenda mume wangu rahasanaaa
Huyu baba he’s right anaekupenda haswaaa ata sauti tuu akisikia hali inakua tete
Kabisa. Nakupenda za kila siku ni unafiki.
Hiyo mike dada itakuwaje mkishare pia inaweza leta shida hilo nalo mliangalie kwa mapana
Mzee Sigala 💯✅
Mashallah wote mko juu
Asanten kwa mada nzuri
Mzee yuko vzr sana... women maters iko vzr mno
That's good
Aisee nimemuelewa sana huyu baba.
Jamani Mada nxr Sana nimejifunza mengi ambayo sikuwa nayajua huyu Mzee mjanja sana hashindwi swali utafikiri katunga mtihani yy
Uyo bb nampenda sana aendelee kuwepo kwenye mada yuko vizuri sana
Jamani Ommy haa... hio nimeipenda vile mimi pia ni Ommy
lilian mwasha## jmnii tumemmiss Dkt.V.D waminian##😭😭😭
Yeeeh jmn
mzee oni nakuelewa sana bless up 👊
Jamaa katumaliza katema mbinu zote za wanaume
😂😂😂ndo muache kuchipuka
Nimejifunza mimi kitu kwa huyu baba his well good🔥🔥🔥🔥
Nice conversation
Mr Honi nimekupata vyema sana hapo ktk Kujifunza kujitegemea mwenyewe.
Mmekaa karibu karibu karibu sana mnapaswa kukaa 1 M apart please. Kipindi kizuri sana.
🤣🤣🤣🤣🤣Eti hile nyingine inamacho🙏
Jamani Women matters naomba kuwe specific to the matters kama Leo mnaongelea mwanamuke kufika kileleni mapema iwe hivyo mnatuchanganya . Tauteni hoja za kutosha kuhusu mada tafadhali.
Mambo
Hello
Ant Sadaka asante wewe husikiliza na kurudi kwa point baada ya makelele mfunze Lilian kusubiri na kusikiliza na pili asiweke hisia zake na maoni yake bali uhalisia wa mambo na mwisho kipindi ni kwaajili ya watu na si yeye watu wako hapa kujifunza na si kumsikiliza yeye as subject.
wemzee nimekusikiliza kwaumakini Sanaa,umeongea vingi pont ✔️hila kwenye swara lamichepuko eti Awapendwi Umeferi❌Mtu Anazaa naye adi watoto🤱Anajengewa🏠nagari ju🚙bado Unasema Nini????
Maongezi mazuri asanteni
Nmekuelewa sanaaaa
Asanteni sana
Mapenzi mubashara👌wanaume mtupende jmn😍😍😍😙😙😙❤❤❤😙😙😙😍😍😍❤❤❤😙😙😙😍😍❤❤❤😙😙😙😍😍😍
Na nyie mkubali kupendwa sio kutesa wanaowapenda na kuwapenda wasiowapenda jua kufnya hlo hutokuja kupendwa kamwe.. Penda unapopendwa usije kupenda usipopendwa autopendwa kamwe Ahsnte
Angelina Pius tunawapendaaaaaaaaaaaa jamaniiiiii😅😅😅😅😅
Kweli ivyo wanatuchosha hawapendeki
Mkioneshwaga upendo mnaanzaga dharau. Aheri kuwa mabandidu its more safe, raha ya mwanamke wa kiafrika akuogope, hapo ndio atakuwa na adabu ila ukimzoesha mapenzi mapenzi anakupanda kichwani na kukuona kama mwanamke mwenzie
Leo umependeza sana Lilian
Mzee Yuko poa 😂😂😂😂
Amazing kwa kweli! Mko juu sana aisee! Wow!
Nimeipenda
Tunashukuru kwa ushauri wetuu wazaz
🤣🤣🤣jamani nawapenda wotea aunt sadaka anatabasam muda wote Babu anavo ongea
Aslym alykum
@@maulidiissa9128 waleykum salam