Jifunze kusikiliza, maisha ni kujifunza, kukanusha na kujifunza tena .Historia yako ni yale unayoyaficha si yale yaliyobayana. MWENYEZIMUNGU pekee ndiye ajuwaye Historia yako hasa . Asante Chomoza, shukurani Dr Waminian. 🙏
Thank you Jesus for your life I love ❤️ doctor 👨⚕️ kila unachoongeaga ndicho kinakuwaga kiko kwenye akili yangu Hallelujah sio rahisi watu wengi kukuelewa isipokua yule aliye kuwa na Mungu wa kweli ndio atakuekewa☝️🙏❤️❤️❤️❤️❤️🙏☝️🙏👍.
DR ELLY MIMI NIMEGUNDUA WANAUME WALIO WENGI NI JEURI . NA UJEURI WAO WAMEJIKIKUTA WAKIENDA ISIVYOSTAHIKI. KTK MAISHA ILI YAENDE VYEMA KUNA MAMBO HAJATAKI UJEURI. HASA MALEZI NA MAKUZI YA FAMILI YANAHITAJI UTULIVU USIKIVU UNYENYEKEVU
Kama unapenda chomoza gonga like
Salama anacheka hii sauti ya chomoza KIMEO... Ukilinganisha na ya kipindi chake cha Salama na...
Jifunze kusikiliza, maisha ni kujifunza, kukanusha na kujifunza tena .Historia yako ni yale unayoyaficha si yale yaliyobayana. MWENYEZIMUNGU pekee ndiye ajuwaye Historia yako hasa . Asante Chomoza, shukurani Dr Waminian. 🙏
Asante Dr. Eli pamoja na team nzima ya Chomoza. Mnatubadilisha katika mambo mengi.
Mungu awajaalie na kubariki kazi za mikono yenu.
God bless you. Somo tamu Sana.🌺🌺
Thank you Jesus for your life I love ❤️ doctor 👨⚕️ kila unachoongeaga ndicho kinakuwaga kiko kwenye akili yangu Hallelujah sio rahisi watu wengi kukuelewa isipokua yule aliye kuwa na Mungu wa kweli ndio atakuekewa☝️🙏❤️❤️❤️❤️❤️🙏☝️🙏👍.
Doctor wew ni mtume, nakiri hivo
Kutokana nakile nacho kisikia kutoka kwako
Jim Naomba Uwenausikivu Kwa Dr Maaana Unapo Muuliza Katikati Ya Kipindi Unamchanganya Nakupoteza Mwelekeo Wa Dr
Mungu awabariki sana
Amen
tafadhali doctor naomba namna yako
Be blessed
DR ELLY MIMI NIMEGUNDUA WANAUME WALIO WENGI NI JEURI . NA UJEURI WAO WAMEJIKIKUTA WAKIENDA ISIVYOSTAHIKI. KTK MAISHA ILI YAENDE VYEMA KUNA MAMBO HAJATAKI UJEURI.
HASA MALEZI NA MAKUZI YA FAMILI YANAHITAJI UTULIVU USIKIVU UNYENYEKEVU
Iko poaa sanaaa
Respect
Jimmy naomba kujua somo hili la akili lilikuwa na sehemu ngapi(mpaka mwisho) maana naona kuna hapa TH-cam kuna sehemu hazipo
Topic hii ya akili mwisho no sehemu ya ngapi
20:20 Listern and observe
Sehemu ya 23 ipo wapi
15:53 build in total silence
Mda mwingine tamaa inanijaa yaani natamani kila siku iwe jumapili ili nijifunze
🤣🤣🤣kama mimi
Safi sana Chomoza...ombi langu zile cd zinazojumuisha masomo yote tangu Chomoza imeanza tunazipataje?
Dr naomba namba yako ya WhatsApp
Sauti inakua dogo sana
My history is irrelevant.
build in silent,
Kiburi = Kirusi
Amen