FEROOZ AAMSHA VIBE LA WANA SUMBAWANGA APIGA BONGE LA SHOW FIESTA 2022

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 2 ก.พ. 2025

ความคิดเห็น • 428

  • @emmanuelmayunga1518
    @emmanuelmayunga1518 2 ปีที่แล้ว +53

    Hawa ndio wasanii tunaowahitaji Kwa performance zote za Fiestaniiiii

  • @kaisamjunior3692
    @kaisamjunior3692 2 ปีที่แล้ว +16

    Jaman naomben like 👍 kama bado mnazikumbuka TBT

  • @bobleeswagger7416
    @bobleeswagger7416 2 ปีที่แล้ว +57

    uzuri wa kufanya hit songs zitakubeba for the rest of your life sio sasa watu wanafanya chewgum songs 2days zimeisha utam big up ferooz

  • @TheNewKid_TV
    @TheNewKid_TV 2 ปีที่แล้ว +47

    Daaah nimefarijika sana kusikia sauti ya huyu mwamba ferooz daaah kitambo sana na ngoma zake zitaishi milele🔥🔥

  • @sululissonleonard1455
    @sululissonleonard1455 2 ปีที่แล้ว +37

    Brother upo vizuri sema tyu ujirekebishe kuvaa mitepesho nyimbo zako Bado Kali sana na nimsanii mzuri sana tatizo LA kata kei naomba ulifanyie kazi

    • @jay-nyeye1900
      @jay-nyeye1900 2 ปีที่แล้ว +3

      Hyu akiwa stage ndo anavaaga hivi toka kitambo 🤣🤣🤣🤣

    • @rajhabsuphian8752
      @rajhabsuphian8752 2 ปีที่แล้ว +2

      Mziki was zamani ulikuwa mzur na wasanini walikuwa wanapendana na kupeana corabo sijui kwann mziki umekuwa Kama niwakujitenga

    • @GibsonKaiza
      @GibsonKaiza 6 หลายเดือนก่อน

      Hujawai mjua ferooz tulia kawarekebishe wanao huyu tumeanza nae hiv hv na atabaki kuuwa hiv atupe morali kama kawaida

  • @deusdedit789
    @deusdedit789 2 ปีที่แล้ว +18

    Hizi nyimbo za uyu jaman daaah
    Tulitoroka sana nyumbani mwaka mpya ili tukaruke nyimbo za uyu jamaa

  • @djpatruick
    @djpatruick 2 ปีที่แล้ว +24

    Ferooz na Dully walinifanya napenda Bongo fleva kbx love from Burundi 🇧🇮

  • @Degetvonline
    @Degetvonline 2 ปีที่แล้ว +30

    Mwamba huyu hapa #Ferooz . King of Fiesta 2022

  • @kismatideboy
    @kismatideboy 2 ปีที่แล้ว +9

    Hongera Msaani Ferooz ,kweli mafundi ni wa wale wale wa zamani 👏

  • @flomenastephen2226
    @flomenastephen2226 2 ปีที่แล้ว +15

    Tujuane jamanii wale pind I izo Ngoma zinatoka feruzzzzz Tisha sanaaaa

    • @dadyjo_
      @dadyjo_ 2 ปีที่แล้ว

      th-cam.com/video/rUpoUR1T-Cs/w-d-xo.html

  • @princecabo
    @princecabo 2 ปีที่แล้ว +37

    Vyema kumuona huyu legend akiperfom yani ngoma zake kama za Jana tu🔥🔥🔥💪

    • @jamilasalim7165
      @jamilasalim7165 2 ปีที่แล้ว

      Kabisa

    • @TheNewKid_TV
      @TheNewKid_TV 2 ปีที่แล้ว

      Kabisa yani

    • @dadyjo_
      @dadyjo_ 2 ปีที่แล้ว

      th-cam.com/video/rUpoUR1T-Cs/w-d-xo.html

  • @balanciaga6004
    @balanciaga6004 2 ปีที่แล้ว +10

    Mara yakwanza nafurahia fiesta kwakumchukua ferooz mungu awabarik San

  • @sandalathobias5015
    @sandalathobias5015 2 ปีที่แล้ว +3

    Ngoma hii ya starlehe ilikamata top 10 redio free wiki 6 ikaja ya bizi man ametolokwa ongelen sana biamba💥💥💥

    • @dadyjo_
      @dadyjo_ 2 ปีที่แล้ว

      th-cam.com/video/rUpoUR1T-Cs/w-d-xo.html

  • @frankgeorge3214
    @frankgeorge3214 2 ปีที่แล้ว +4

    Kanenepa jamaa mungu amuwek

  • @brunofidelis7895
    @brunofidelis7895 2 ปีที่แล้ว +8

    Niseme tu ferooz ndo king of fiesta 2022,, salute

  • @allenkwaya8594
    @allenkwaya8594 2 ปีที่แล้ว +2

    Kata kundu ni mambo ya kitambo saana!!! Tena ilikuwa ya wavuta bangi!!! Jirelebishe brooo uvaaji

    • @GibsonKaiza
      @GibsonKaiza 6 หลายเดือนก่อน

      Toka Pepo huyu ndo ferooz juzi kama Leo na kesho na hatutaki abadirike

  • @frankvianey2438
    @frankvianey2438 2 ปีที่แล้ว +38

    Blaza big sana asee,una ngoma kali sana na zitaishi miaka mingi sana

    • @TheNewKid_TV
      @TheNewKid_TV 2 ปีที่แล้ว

      🤞🤞

    • @dadyjo_
      @dadyjo_ 2 ปีที่แล้ว

      th-cam.com/video/rUpoUR1T-Cs/w-d-xo.html

    • @adamsonalinanuswe8245
      @adamsonalinanuswe8245 2 ปีที่แล้ว

      Legend ferooz nyimbo zako zote zko vzr sana.....

  • @BrianNgala-ee2cv
    @BrianNgala-ee2cv ปีที่แล้ว +1

    Hakuna wa kumfananisha na Feeroz🤟✌️ Ndiye Baba wa Nyumba buana💯

  • @Ibuhofficial
    @Ibuhofficial 2 ปีที่แล้ว +15

    This is what it means when you talk about living music.mziki unaoishi milele
    This song will last forever.hata ikigongwa 2050 bado💯💥💥💥💥

  • @sumahtanzania4991
    @sumahtanzania4991 2 ปีที่แล้ว +25

    💖💞💖💞💖💖💞💖💖💖💖💖💖💖💖💞💖 CONGRATULATIONS MY BROTHER FEROOZ UKO JUUU SANA NYIMBO ZITADUMU MILELE WALAHI TUMEINJOI MZIKI MZURI SANA UBARIKIWE SANA 💞💞💞💞💞💞💕💕💕💕💕💕💕💕💕

    • @faizaahamd2052
      @faizaahamd2052 2 ปีที่แล้ว

      Congratulations MY BROTHER Mungu akujaalie afya njema

    • @nickosalvatory9945
      @nickosalvatory9945 2 ปีที่แล้ว

      Kaka unajua sana

    • @faizaahamd2052
      @faizaahamd2052 2 ปีที่แล้ว

      @@nickosalvatory9945 Haswaa kabisa tena sana.maana huu ndio mziki mzuri

    • @dadyjo_
      @dadyjo_ 2 ปีที่แล้ว

      th-cam.com/video/rUpoUR1T-Cs/w-d-xo.html

  • @lewisabunga1064
    @lewisabunga1064 6 หลายเดือนก่อน +2

    Mwanangu Ferooz nakutambua Sana. Nawakilisha Kasarani Nairobi Kenya

  • @wanzaadann
    @wanzaadann 8 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu mwana🔥🔥. Ingia kwenye gemu na vaibu la zamani mwanagu🤝

  • @jamesswai1683
    @jamesswai1683 2 ปีที่แล้ว +18

    Huu ujinga wa kuacha watazamaji wawaimbie nyimbo zenu sijui mtaacha lini...nyimbo nzuri ..show mbovu..mngekuwa mwajua Imba live msingelalamika njaaa.....watu wengi hawaji cause hamjui Imba live

    • @Tanae3209
      @Tanae3209 2 ปีที่แล้ว +2

      Sio hawajui hawawezi

    • @WATCH_THIS-y7j
      @WATCH_THIS-y7j 2 ปีที่แล้ว +1

      Problem iko hapo tuuuuh😂

    • @kivuyotv
      @kivuyotv 2 ปีที่แล้ว +1

      Anaye lalamika hajaendà kwenye show yupo ndani kalala

    • @hassanirajabu5453
      @hassanirajabu5453 2 ปีที่แล้ว

      @@kivuyotv annangalia kwa TV Kisha analeta lawama

    • @Saidkhel
      @Saidkhel 2 ปีที่แล้ว

      @@kivuyotv wasenge hawa chuki tu

  • @robertdominiko2667
    @robertdominiko2667 2 ปีที่แล้ว +18

    Hatakiwi kukosa hata moja,he is the best one in BOGO fleva

    • @dadyjo_
      @dadyjo_ 2 ปีที่แล้ว

      th-cam.com/video/rUpoUR1T-Cs/w-d-xo.html

  • @ammyskills5588
    @ammyskills5588 2 ปีที่แล้ว +27

    Old is gold, legend will never die

  • @ibrahimkhamis471
    @ibrahimkhamis471 2 ปีที่แล้ว +8

    Midundo ya bongo records sio mchezo#pfunk

  • @ferouzmasoud4870
    @ferouzmasoud4870 2 ปีที่แล้ว +6

    Wajina umetisha noma Sanaaaa 👊👊👊

  • @fahadfifa4190
    @fahadfifa4190 2 ปีที่แล้ว +32

    Dah!!!!
    Form is temporary, class is permanent
    🥺🔥🙌

  • @semany-c2v
    @semany-c2v 2 ปีที่แล้ว +7

    😭😭😭😭😭 legend up 2001 feroos love from Rwanda

  • @mwobobiasroundup
    @mwobobiasroundup 6 หลายเดือนก่อน +2

    The man is one of the best Tanzania 🇹🇿 has produced.
    Nuff love from Meru County in Kenya 🇰🇪

  • @augustinebee7754
    @augustinebee7754 ปีที่แล้ว +1

    'Hospital madawa bei ghali, mtaani pesa hakuna, tunalia njaa kali' legendary msg

    • @hk_ballers
      @hk_ballers 3 หลายเดือนก่อน

      Verse ilikuwa kali

  • @geofreywayesu5638
    @geofreywayesu5638 2 ปีที่แล้ว +33

    Legend never die, 💯💯💯

  • @legawayz6093
    @legawayz6093 2 ปีที่แล้ว +4

    Safi Sana kwa list hii ya wasanii wa zamani big up team nzima ☺️👏👏👏

  • @Borderonemediastudio
    @Borderonemediastudio 2 ปีที่แล้ว +28

    BONGO RECORDS ❤️❤️🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @ramspelo
    @ramspelo 2 ปีที่แล้ว +12

    Performance ndogo ... Ngoma kali .... Anaua vibe...

  • @athmanndeje3425
    @athmanndeje3425 2 ปีที่แล้ว +9

    All time legend....254 we gt you...

  • @Silyvesta
    @Silyvesta 2 ปีที่แล้ว +12

    Hizi ndio nyimbo nzuri haziishi fashen🖤🏡

  • @andrewmethord4544
    @andrewmethord4544 2 ปีที่แล้ว +3

    Clouds peleka fiesta mkoa mpya wa njombe......hawajawai pata hyo huduma

  • @jacedimples99
    @jacedimples99 2 ปีที่แล้ว +21

    Huyu jamaa ni mwamba 🔥

  • @alimuhamed1830
    @alimuhamed1830 2 ปีที่แล้ว +6

    Wanamuziki hawatumii nguvu kufikisha ujumbe ila wapiga makelele wasasa mtihani mtupu bigup brother bless this man

    • @dadyjo_
      @dadyjo_ 2 ปีที่แล้ว

      th-cam.com/video/rUpoUR1T-Cs/w-d-xo.html

  • @nurudaud3993
    @nurudaud3993 2 ปีที่แล้ว +3

    😄😄😄😄😄😄 daaaaaa nimejiskia poa aiseeee kusikia voice ya huyu mwamba 😁😁😁

  • @omanmwajabumbeguoman8642
    @omanmwajabumbeguoman8642 2 ปีที่แล้ว +7

    Unakubalika broo tatizo nyota tu dah mungu akuinue tena

  • @muimipeter2944
    @muimipeter2944 2 ปีที่แล้ว +3

    Legend ferooz hatari sana kwenye fiesta kama zama zile daznudaz

  • @barakaleader1550
    @barakaleader1550 2 ปีที่แล้ว +4

    Ferooz I salute you bro

  • @salomekazumba3211
    @salomekazumba3211 2 ปีที่แล้ว +7

    Kalibu Sana tena bwana Ferouz tulienjoi sana

  • @kassimtekko2108
    @kassimtekko2108 2 ปีที่แล้ว

    Dj hajamtendea haki au hawajui kiitikio cha nyimbo zake 🥲

  • @charlesgeorge8374
    @charlesgeorge8374 2 ปีที่แล้ว +5

    Bro ferooz wewe ndo msanii wangu maisha yangu yote

  • @swaleheismail46
    @swaleheismail46 2 ปีที่แล้ว +4

    Never disappointed legends shikamoo tulikuwepo kuanzia miaka ya 2000 tunakujua wew ni nan kaka ndo maana tunakuheshim lakin kikazi cha nyimbo za nyege nyegezi syo rahic kukuelewa broh

  • @ambitiousclassicofficial6077
    @ambitiousclassicofficial6077 2 ปีที่แล้ว +6

    Ngoma kali Sana 🔥🔥 DJ pia ako on top

  • @swabry
    @swabry 2 ปีที่แล้ว

    🤣🤣🤣🤣🤣ati Kwa Leo unaondoka😳😳😄😃😃😄😃much love from🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @manallove1
    @manallove1 2 ปีที่แล้ว +8

    when i was young i liked ferroz kupitiliza so one day my sisters lied ati ferroz is dead i really cried😭sitawahi sahau😂

  • @Kbaya86
    @Kbaya86 2 ปีที่แล้ว +1

    Inanikumbusha Banda la video

  • @dafrosapascal3738
    @dafrosapascal3738 2 ปีที่แล้ว

    Amakwer wasanii ndo awa wazaman Yan kifup ngoma za feroooz akuna anaeweza kuzivunja rikod zake Kama unaniunga mkono nipen like zangu

  • @cobellosix775
    @cobellosix775 2 ปีที่แล้ว +1

    Ferooz apewe respect kubwa coz anajua xana na ana madin makubwa xn kichwan please naomben ashikwe tena mkoon ferooz atawakilixha tz endapo atapat sapot

  • @princesure728
    @princesure728 2 ปีที่แล้ว +3

    Daaah jamaa anajua kinoma always legend is a legend

  • @renatusaugustine3410
    @renatusaugustine3410 2 ปีที่แล้ว +11

    Fiestaaa zoteee tembeeeni naeee

  • @prospergasper3193
    @prospergasper3193 2 ปีที่แล้ว +5

    Heshima ni heshima tu legend lives forever sio hao wengne walio amua kuwa machawa
    Nliwaza be4 Kama ingetokea msanii mkubwa afanye WAY BACK FESTIVAL ya wasanii wa kitambo tu na zipigwe ngoma za long nafkiri hata Hawa machawa watabadili mawazo yao POTOFU

  • @winifridandale8239
    @winifridandale8239 2 ปีที่แล้ว +1

    Sasa kaka mkubwa,mpaka kumaliza nguo itakuwa chini

  • @abuymchina3646
    @abuymchina3646 2 ปีที่แล้ว +1

    nakubal legend umebeba kijij chako sarut ming kwko mzeiyaaa

  • @rehemamshiko6753
    @rehemamshiko6753 2 ปีที่แล้ว +2

    Umenikumbusha mbali , unatuaga

  • @nasirisuleiman9759
    @nasirisuleiman9759 2 ปีที่แล้ว

    Wenzangu mlio na vipaji vya uimbaji muigeni ferooz kwani sanaa ni kioo cha jamii ili tuelimshane,ferouz anaweza ferooz (big up)

  • @hanceironfurnitureog6252
    @hanceironfurnitureog6252 2 ปีที่แล้ว

    Kizazi na kizazi hazitasahaulika kazi zenu,kubali sana ferooz na daznundaz

  • @abuadobakaly2394
    @abuadobakaly2394 2 ปีที่แล้ว +1

    Mziki ulikuwa zamn jaman daaa htr

  • @fatumamapenzi5465
    @fatumamapenzi5465 2 ปีที่แล้ว +3

    DJ anazingua sana, aachie mashabiki waimbe

  • @khalidsoud235
    @khalidsoud235 2 ปีที่แล้ว +8

    King of chorus

  • @actionscene4753
    @actionscene4753 2 ปีที่แล้ว

    Huyo dj anaharibu kwa kuongea ongea

  • @samsonmuraga565
    @samsonmuraga565 2 ปีที่แล้ว

    Mfano tu mshikane na Daz mwalimu Tanzanian... Mfanye uhakika nitapenda"💯

  • @assab3167
    @assab3167 2 ปีที่แล้ว +3

    Nakumbali sana fe

  • @uzaribarajeanclaude2385
    @uzaribarajeanclaude2385 3 หลายเดือนก่อน

    Fezooz mzee wa kazi , kazi nzurii sana mzee, big up bro

  • @davidchristophernampanga5548
    @davidchristophernampanga5548 2 ปีที่แล้ว +1

    Sana kaka upo vizuri, nyimbo kama zimetoka leo nyimbo za kwenda

  • @suzyclement3899
    @suzyclement3899 2 ปีที่แล้ว +1

    Nyimbo za zamani haziishi hamu ni mpya kila unapozisikia

  • @Chusejr94
    @Chusejr94 2 ปีที่แล้ว +1

    So good sanaaaa Clouds Muzidi kutuletea malegends wakina Inspector haloon, Juma nature na wengine kibaooooo

  • @mmsontherexboy3248
    @mmsontherexboy3248 2 ปีที่แล้ว +2

    Drcongo tunamupendaka sana uyu masta angali bado kwetu ayazimika

  • @thesaoketv7139
    @thesaoketv7139 2 ปีที่แล้ว +3

    Bonga la tbt. Tunakuenzi kaka, bado kwa game upo sawa💪💪💪

  • @gorretagatha6267
    @gorretagatha6267 2 ปีที่แล้ว +6

    Ferooz bro umeuwa ur 🔥🔥🔥🔥🔥

    • @dadyjo_
      @dadyjo_ 2 ปีที่แล้ว

      th-cam.com/video/rUpoUR1T-Cs/w-d-xo.html

  • @alfanimussa8279
    @alfanimussa8279 2 ปีที่แล้ว +3

    💯💯kaka mkubwa nyimbo zako bado ziko moto hatarii yan hatar sanaaa ni💥💥💥💥💥

  • @monrisofficiel5916
    @monrisofficiel5916 2 ปีที่แล้ว +10

    Ebwana Ndio Legend 🔥💪🔥

  • @katembokaniki3741
    @katembokaniki3741 2 ปีที่แล้ว +2

    From Congo brother upo vizuri

  • @roseidoa5155
    @roseidoa5155 2 ปีที่แล้ว +2

    Safi xana weka maneno imependeza xana

  • @mdalamgir-gu9hu
    @mdalamgir-gu9hu 2 ปีที่แล้ว

    Yan wasanii mavazi dah.mister blue atazd kua juu na heshima zake

  • @alimzandimwamzandi5405
    @alimzandimwamzandi5405 2 ปีที่แล้ว

    MZIKI MZURI UKIPIGWA UNAUSKIA MOYONI UNAJKUTA TU UKITABASAMU

  • @frankvianey2438
    @frankvianey2438 2 ปีที่แล้ว +9

    Huyu majan alikuwa ana beat nzito sana asee

    • @jumazahoro5734
      @jumazahoro5734 2 ปีที่แล้ว +2

      Unaakili sana wewe nakubali

    • @alexander19077
      @alexander19077 2 ปีที่แล้ว +2

      Beat na vinanda ilikua hatari sana

  • @dahustlerlawrence731
    @dahustlerlawrence731 2 ปีที่แล้ว +2

    Show kali sana..ur fun..Ferouz..from 🇰🇪..001..big up bro..

  • @abdallahmohamed6634
    @abdallahmohamed6634 2 ปีที่แล้ว +1

    Sema asaivi anakua ajaribu kuvaa vizur watu wanasikiriza ngoma sio lazma ashushe suluali

    • @rogerabdallah439
      @rogerabdallah439 2 ปีที่แล้ว

      😁😁😁😁

    • @dadyjo_
      @dadyjo_ 2 ปีที่แล้ว

      th-cam.com/video/rUpoUR1T-Cs/w-d-xo.html

  • @G.r.e.a.t.I.Q
    @G.r.e.a.t.I.Q 2 ปีที่แล้ว

    Asa Ferou, umeshusha sarawili hadi "mwamba" anaonekana!

  • @adnoicembogho4421
    @adnoicembogho4421 2 ปีที่แล้ว +1

    Froooozzzzyy una frizisha uwanja 🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @ismailichipatu5856
    @ismailichipatu5856 2 ปีที่แล้ว +2

    Daah asee kizuri hakipotei mpk leo ngoma zinishi💪✊

  • @abdulkadiribrahim8736
    @abdulkadiribrahim8736 2 ปีที่แล้ว +3

    old skull guy ferooz always king 💥💥

  • @anoldimajuramajura-uh5bo
    @anoldimajuramajura-uh5bo ปีที่แล้ว

    Nakukubali mwamba we Ni Moto 🔥🔥

  • @edwardpeter8569
    @edwardpeter8569 2 ปีที่แล้ว

    Ferooz amepungua performance naona anaruka ruka tu uwezo wa kuimba mdogo pumzi kisoda sana dj anamsaidia sana big up zero

  • @sululissonleonard1455
    @sululissonleonard1455 2 ปีที่แล้ว

    Utakuwa Bora zaidi maana jamii nyingi inakutizama kama kioo Cha jamii

  • @BBrown_vevo
    @BBrown_vevo 2 ปีที่แล้ว +13

    Legendary never die

  • @scorasticaclement6308
    @scorasticaclement6308 2 ปีที่แล้ว

    Daz Nundaz Noma Sana Aiseee

  • @zabronmfungo8503
    @zabronmfungo8503 2 ปีที่แล้ว

    kiukweli kama ulibahatika kusikiliza muziki wa bongo fleva kuanzia 2000 hadi 2006 kama mimi basi ulisikiliza MUZIKI MZURI na Wenye mafundisho na hekima, hawa jamaa walikuwa hatari sio mziki wa BIG G

  • @ratifukaruta9887
    @ratifukaruta9887 6 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu jamaa....ndo msanii ambae ana hit song zote....

  • @salim02tv24
    @salim02tv24 2 ปีที่แล้ว +4

    Nimependaaa body yake ilivyo ... Mzik mzur unaishi

  • @dhakomodherooherokoko6037
    @dhakomodherooherokoko6037 2 ปีที่แล้ว +1

    We kenyans cannot forget ferooz.

  • @Debabaz1673
    @Debabaz1673 2 ปีที่แล้ว

    Oyaa Daz Baba Hamujamfanyia Powa

  • @simonjuvent1542
    @simonjuvent1542 2 ปีที่แล้ว +2

    Mzik mnene sanaaa huuu much love

  • @vibetz9991
    @vibetz9991 2 ปีที่แล้ว +4

    Daah nimekumbuka shule primary ghafla 😭😭😭😭😭✔️✔️✔️maisha yanakimbiaaaa....

    • @dadyjo_
      @dadyjo_ 2 ปีที่แล้ว

      th-cam.com/video/rUpoUR1T-Cs/w-d-xo.html