Historia ya Kundi la M23 I Kisa cha Rwanda Kutajwa

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 1 ก.พ. 2025

ความคิดเห็น • 28

  • @bukuruyassini
    @bukuruyassini 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ansant kaka

  • @muddywatown
    @muddywatown 42 นาทีที่ผ่านมา

    Huyo dada kama ananyege jins anavyouliza

  • @abubakarishariff8489
    @abubakarishariff8489 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา +5

    Ayo umeleza sawa lakin chanzo sio icho chanzo ni Belgium na Germany katika kukata mipaka ya nchi baadhi ya watusi wakawa rwanda na baadhi ya watusi wakawa congo zamani Zaire sasa wazaire ndio walikuwa wanawabagua watusi

    • @donaldsumary8397
      @donaldsumary8397 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Ayo Yupo sahihi, Agenda ni chanzo cha M23 na ameeleza vema hiyo Belgium and German ni Chanzo cha Mgogoro Mzima.

  • @ShedrackFaustin
    @ShedrackFaustin 36 นาทีที่ผ่านมา

    Hakuna unachojua

  • @AmadyYusuf
    @AmadyYusuf 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Wee mjinga...tunazungumzia Congo na....m23

  • @mudrickbarton8911
    @mudrickbarton8911 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ila clouds

  • @AmadyYusuf
    @AmadyYusuf 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Na hata nyie nyerere mtusi..kama hujui.. njoo tutakupa ukweli..raisi wenu nyerere pia Ni mtusi... baba ya nyerere Ni mtusi

  • @zipczionkanada6
    @zipczionkanada6 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kwasasa maraisi ote wa Afrika wange jinasuwa toka mikononi mwa Wakoloni ndicho chanzo cha matatizo ya Africa
    Swali
    badala yasiku kama mambo yakibadilika
    Mutusi munya rwanda atapitaka wapii
    Maanakila ubaya watu hu ona mtusi mkilamauwaji mbaya
    Ni Hatarisana ukabila ni mbaya sana tuvunje hili
    ni
    Mathias NGABO
    Nikitoa maoni yangu

  • @AmadyYusuf
    @AmadyYusuf 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Pumbavu munachochea.. vita.. sisi tuko goma..kujeni mufanye uchambuzi huku

  • @derevamsomi
    @derevamsomi 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    HAKA KATOTO KAMEIELEZEA VIZURI HII HISTORIA ILA KAAFANYE KAANDAE MAKALA SASA YA MAUWAJI YA KIMBARI ILI WATU WAJUE CHIMBUKO VIZURI LA WANYARWANDA KUINGIA CONGO

  • @AmadyYusuf
    @AmadyYusuf 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kwanza unajua kama kikwete mnyarwanda...kikwete Ni mtusi...hujui..mkapa.. Ni mumalawi....

    • @avivtelcomms
      @avivtelcomms 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      😂😂😂😂 mnatoaga wap hiz taarifa

    • @Jayajabu
      @Jayajabu 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Tanzania hayo mambo ya watusi na wahutu hatuyajui 😂😂 tunayasikia sikia kwenu

    • @Aishaswedy
      @Aishaswedy 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      😂😂😂​@@avivtelcomms

    • @Aishaswedy
      @Aishaswedy 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Mmmh..ila kikwete mbona hafanani na watusi hata kidogo jamani watu mna siri nyinyi😂😂😂

  • @AmadyYusuf
    @AmadyYusuf 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Nyinyi watanzania nie ndio wanafiki

  • @almasially6509
    @almasially6509 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Huyu jamaa muongo kishenzi

  • @AmadyYusuf
    @AmadyYusuf 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Wewe muongo

  • @RwandayacuTv250
    @RwandayacuTv250 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Wewe mbona mmejifanya wa chambuzi wa mambo msiyo yajua wewe nasikia wewe ni mu tanzania usikilize nyerere akiongelea hilo tatizo wewe hilo ni tatizo la zamani wewe tangu enzi za ukoroni ni tatizo la congo kutowakubari wa rwandaphone sasa umejifanya kuchambua usiyo yajua mjinga wewe naona na wewe umetumwa tu kudanganya watu

    • @Mc_neneje
      @Mc_neneje 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Wapi kadanganya

    • @avivtelcomms
      @avivtelcomms 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Una hasira jamaa😂

    • @Ryannkae
      @Ryannkae 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Kadanganya nyerere ajuwi history ya Congo

    • @FabriceMugisha-h3b
      @FabriceMugisha-h3b ชั่วโมงที่ผ่านมา

      😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊❤

  • @AmadyYusuf
    @AmadyYusuf 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Wewe unasoma vitabu..kuja huku... goma tukupe ukweli

  • @AmadyYusuf
    @AmadyYusuf 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Wewe mjinga chimbuko ya m23.. m Ni much.. mwezi wa 3...23.... Ni tarehe...wewe mjinga sana

  • @AmadyYusuf
    @AmadyYusuf 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Bundiki na maboomu yote yanapita kwenu..tanga na dar ressalaam...na tena nyie watanzania ndio wanafiki mkubwa