Aslay Amvuruga Mbunge wa Sumbawanga, Azidi Kuwasha Moto Tigo Fiesta

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 22 ต.ค. 2017
  • Mwanamuziki Aslay amezidi kudhihilisha kuwa anatamba kwa sasa baada miji yote aliyopanda kwenye jukwaa la Tigo Fiesta 2017 amekuwa akitumia nguvu kidogo kwa mashabiki wake baaada ya nyimbo zake kuimbwa sana.
  • บันเทิง

ความคิดเห็น • 464

  • @usaambassador2460
    @usaambassador2460 6 ปีที่แล้ว +3

    Nawaombeni sana ndugu zangu tusichoke kumu support huyu kijana aslay kiukweli anaimba vizuri sana

  • @stevenmaketa8051
    @stevenmaketa8051 6 ปีที่แล้ว +68

    Daaaah yaaaani mm ni timu daimond na alikiba lakini kwahuyu dogo tuache kuongea unafki cozz sehemu zoote zashoozake huimba mashabiki nasio yy hyo nijins gn alivyo mkaali nooomaa saaaaNa

  • @emanueleugen8508
    @emanueleugen8508 6 ปีที่แล้ว +35

    Dogo anajua kuimba na hadhila sure audience that is good I like much

  • @ashleystarqueen8780
    @ashleystarqueen8780 2 ปีที่แล้ว +3

    Jamani huyu aslay napenda kazi yake sanah mpka nikiona nyimbo zake najawa na machozi y afuraha mm n upcoming artist lkn akija uku kenya maboodgard ni wakali hauwez mkarbia sjui nitampata wapi angalau anipush am an upcoming artist nikimaliza kusoma namuomba Mungu atukutanishe

  • @gagaoutai
    @gagaoutai 11 หลายเดือนก่อน +2

    0:00 pusha
    2:59 natamba
    6:07 baby
    7:50 tete
    9:34 marioo
    11:00 muhudumu
    16:15 angekuona

  • @aminahamisi7354
    @aminahamisi7354 4 ปีที่แล้ว +3

    Aslay jamani nyimbo hiyo inanikumbusha mama yangu mungu amlaze pema peponi ameen yarabi

  • @halmasaidi6688
    @halmasaidi6688 6 ปีที่แล้ว +241

    uyu dogo atafika mbali sanaa ankipajii kama unmkubli gonga like hapa+254 mpoo

  • @mambolivie07
    @mambolivie07 6 ปีที่แล้ว +17

    Aslay sasa kwanini hukwenda #afrima badala ya kiba. 💃💃💃🔥🔥🔥

  • @halimamshami3279
    @halimamshami3279 5 ปีที่แล้ว +3

    Huyu ndio msaani pekee nnayemkubali Tz....nyimbo zake zinaongelea sanaa historia ya mapenzi

  • @paulbryxonofficial
    @paulbryxonofficial 6 ปีที่แล้ว +9

    huyu kaka ako sawa tu..watu wengine hapa wamesahau kumeza doze ya daktari wanaposti upuzi tu..ACHANENI NA ASLAY BANA..

  • @ikwetajunior945
    @ikwetajunior945 5 ปีที่แล้ว +1

    Huwa
    Nakukubali Adi nashindwa kujizuia jmaniiiiii, nyimbo zko zote huwa zinagusa maixha yng duu!!!!!.Mungu akubaliki uendelee Kuwa Juu.

  • @ernestndauka9301
    @ernestndauka9301 6 ปีที่แล้ว +26

    Daaaah!!! Hii chata nyingine kabisa!!!! Sio kwa mpera mpera huu!!!! 🙌🙌🙌🙌🙌🙌

  • @mudriqfamous
    @mudriqfamous 6 ปีที่แล้ว +251

    Like nyingi kama unamkubali Aslay👍👍🔥🔥

  • @deulemwangolo
    @deulemwangolo 6 หลายเดือนก่อน

    Big ups Kijana Aslay 🎉🎉❤❤ much love from Kenya ❤❤❤❤

  • @felisterwilson7325
    @felisterwilson7325 6 ปีที่แล้ว +2

    The guy ana sauti nzuri na anaweza kuperform live..keep it up aslayisihaka.

  • @nunuabdallah423
    @nunuabdallah423 6 ปีที่แล้ว +28

    Huyu dogo hatari sanaaa tena saanaa

  • @vicemedicalhealthcareoffic2311
    @vicemedicalhealthcareoffic2311 6 ปีที่แล้ว +8

    Duuuu unatshaa Sana aslay ur real fantastic musician

  • @pascalwissi4805
    @pascalwissi4805 6 ปีที่แล้ว +3

    keep it up Aslay; ufanye na nyimbo za kuchezeka kama enzi za Yamoto; kama kuwaimbisha tu... wameimba sana

  • @abibemedy2195
    @abibemedy2195 4 ปีที่แล้ว +1

    Kama uko na watch this video like hapa 2020💯💯💯💯💯💯

  • @janetkakuyu6620
    @janetkakuyu6620 6 ปีที่แล้ว +3

    Nashindwa hadi kuongea jamani much love kwako aslay you killing it. 😍😘

  • @suzanapeter5189
    @suzanapeter5189 6 ปีที่แล้ว +1

    Hakika asly unalimiliki jukwaaaa saf Sana mungu akutie nguvu katika kazi zako arikiwa sana

  • @mussamiddlejr1035
    @mussamiddlejr1035 6 ปีที่แล้ว +11

    pongezi unastahili brother nakukubali

  • @danielkilosa3330
    @danielkilosa3330 6 ปีที่แล้ว +25

    Mdogo wangu uko vizuri sana Aslay

  • @felixkilave9171
    @felixkilave9171 6 ปีที่แล้ว +51

    Aslay ww ni ndugu yangu ila unachowafanyia Wasanii wenzio kwenye fiesta me cpendezewi kabisa 😂😂

    • @ernestndauka9301
      @ernestndauka9301 6 ปีที่แล้ว

      Felix Kilave 😀😀😀😀😀😀

    • @nainainey9623
      @nainainey9623 6 ปีที่แล้ว

      Felix Kilave jaman anawafanyaje

    • @nainainey9623
      @nainainey9623 6 ปีที่แล้ว

      ASLAY SO MTU MZURI

    • @rashidijumaaorwaka6699
      @rashidijumaaorwaka6699 6 ปีที่แล้ว +2

      😂😂😂 bora hata d hajaenda maana huyu dogo mchawi sana 😂😂😂 aibu

    • @mimaarich9103
      @mimaarich9103 6 ปีที่แล้ว

      Felix Kilave 😂😂😂😂

  • @mohamedsonga6832
    @mohamedsonga6832 6 ปีที่แล้ว +2

    aslay upo juu kikubwa kuwa na utulivu katikakutoa ngoma zako.

  • @amospambe8914
    @amospambe8914 6 ปีที่แล้ว +29

    dogobkatisha sana sumbawanga bnishidaaaaaa

  • @abdulmsabaha
    @abdulmsabaha 6 ปีที่แล้ว +16

    Historical Artist

  • @christinearotso8837
    @christinearotso8837 6 ปีที่แล้ว +6

    daaa umetisha dogo👏👏👏

  • @abdallasalim8646
    @abdallasalim8646 6 ปีที่แล้ว +10

    Hamna background dancers, hata Dj jajificha, bt umetisha kuliko wanaopanda na umati

    • @johnlukonza6507
      @johnlukonza6507 5 ปีที่แล้ว

      Aslay unajitaidi ila kwa beka bado unajifunza kaka

  • @severinbwuma3207
    @severinbwuma3207 6 ปีที่แล้ว +30

    aslay ww nakupa saruti kubwa unatisha sana

  • @babyrazmusiq3210
    @babyrazmusiq3210 5 ปีที่แล้ว +1

    wow noma xana dogo aslay mungu akulinde

  • @mwanasioneric8592
    @mwanasioneric8592 6 ปีที่แล้ว +1

    Always Rockn'Dogo am locked ,,,ndani ndani kabisaaaaaaaaa am in love with your work so talented Nakurank😎😎

  • @mariamhamza7204
    @mariamhamza7204 6 ปีที่แล้ว +2

    M/mungu akuongoze ufikie malengo yako brother

  • @tembasimba9462
    @tembasimba9462 6 ปีที่แล้ว +2

    ubarikiwe aslay ubarikiwe sana, mziki wako ni mziki wetu, tunakuelewa hasa.

  • @grorygabriel219
    @grorygabriel219 4 ปีที่แล้ว +1

    Nice mdogo wangu

  • @agnesagnes8955
    @agnesagnes8955 6 ปีที่แล้ว +14

    Uku juu sana aslay

    • @noradennis6350
      @noradennis6350 6 ปีที่แล้ว

      penda sana ww 😍😍😍😍

  • @muhorakeyevanessa7878
    @muhorakeyevanessa7878 6 ปีที่แล้ว +1

    napenda sana nyimbo zauyu kidjana mwenyezimungu amuzidishiye

  • @johntemba7760
    @johntemba7760 6 ปีที่แล้ว +13

    NEW KING ASLAY

  • @samymbuli8634
    @samymbuli8634 6 ปีที่แล้ว +8

    Shinning star

  • @florawilla9578
    @florawilla9578 6 ปีที่แล้ว +15

    Aslay unatisha baba nakubali sana @$--::!;:";'

    • @suediyahya8191
      @suediyahya8191 6 ปีที่แล้ว

      Flora Willa

    • @LuaiAb
      @LuaiAb 6 ปีที่แล้ว

      Flora Willa aslay

  • @trizamwei1329
    @trizamwei1329 6 ปีที่แล้ว +14

    Truely ur blessed go go go am in love with your work

    • @bedahmkungi9666
      @bedahmkungi9666 6 ปีที่แล้ว

      upo vzr dogo ....but imba bila CD ...

    • @annajohn6377
      @annajohn6377 6 ปีที่แล้ว +1

      Triza Mwei me namkubali

  • @baimarrajahbuayan6237
    @baimarrajahbuayan6237 ปีที่แล้ว

    Aslay kama. Aslay ❤️❤️❤️❤️📌📌📌

  • @mesalimmohammed3789
    @mesalimmohammed3789 6 ปีที่แล้ว +1

    salute kwako dogo nakukubali mpaka bac

  • @dismashamaro7216
    @dismashamaro7216 6 ปีที่แล้ว +5

    Dogo amebakiza siri moja tu amfunike kila msanii, dancers. Akipata dancers wa uhakika atawaaibisha watu wengi wenye timu zao

  • @castormpunga528
    @castormpunga528 6 ปีที่แล้ว +11

    fire aslay

  • @barakamwasumbi1646
    @barakamwasumbi1646 6 ปีที่แล้ว +16

    kipaji unacho kjana wawatu

  • @perfectedson8999
    @perfectedson8999 6 ปีที่แล้ว +14

    yupo juu

  • @Nancymalo1234
    @Nancymalo1234 ปีที่แล้ว +3

    Nakupenda sana Aslay

  • @KOLOMSAFI1
    @KOLOMSAFI1 2 ปีที่แล้ว +2

    I like all your songs 🎵 keep going bro

  • @clariskamau8711
    @clariskamau8711 6 ปีที่แล้ว +1

    aslm alkm,ni Claris aka jamillah kutoka Kenya,ur the boom,kip up the spirit ,man ur good n swt,iove u

  • @jracine9383
    @jracine9383 2 ปีที่แล้ว

    Ubarikiw bab nakupendag san nasan unasaut nzuli

  • @user-qe8xp6ii1u
    @user-qe8xp6ii1u 6 ปีที่แล้ว +5

    Mim mtanzania naishi Sweden siwez kuongea kiswahili vizur.ila napenda kumsikiliza Aslay kila ngoma yake sichoki kama na wew unapenda Nyimbo za Aslay Gonga Like hapa👇

  • @wilsonoreti6121
    @wilsonoreti6121 5 ปีที่แล้ว

    Mung atujalie tufike hichi kiwango. Barikiwa sana Aslay. Lots of love

  • @stor4059
    @stor4059 4 ปีที่แล้ว +1

    Namupenda sana Mungu amuzidishe 💞💞

  • @mtokambali2320
    @mtokambali2320 6 ปีที่แล้ว +50

    Wengine hapo Show ikiisha wanadandia Ungo wanarudi magetoni Fresh tuu

    • @amounanyale9220
      @amounanyale9220 6 ปีที่แล้ว +2

      Mtokambali kkkkkk aah wwe umenichekesha

    • @atupaksyeminga8567
      @atupaksyeminga8567 6 ปีที่แล้ว +2

      +hamisi nyale unavituko ww! hapo kuna wengine wameingia hta bila kulipa chapaaaaaa

    • @amounanyale9220
      @amounanyale9220 6 ปีที่แล้ว

      Mtokambali kkkkkk

    • @joshuamgaya3518
      @joshuamgaya3518 6 ปีที่แล้ว +1

      Mtokambali hahahahaha wamepaki fisi

    • @nasrarubeiya4150
      @nasrarubeiya4150 6 ปีที่แล้ว +1

      Mtokambali haaaaa haaaaaa haaaaaa haaaaa haaaaaa

  • @yusuphjaphari154
    @yusuphjaphari154 6 ปีที่แล้ว +14

    firee 🔥 🔥 fire aslay

  • @bensonfrank643
    @bensonfrank643 6 ปีที่แล้ว +12

    NGUVU YA UMMA 👊👊

  • @shabanjuma8301
    @shabanjuma8301 6 ปีที่แล้ว +1

    hongera sana kijana mwenzetu
    🏃🚄💨💨💨
    coming!

  • @nicodemozacharia8710
    @nicodemozacharia8710 6 ปีที่แล้ว +6

    dogo ulitisha sana..ulituburudisha sana ck iyo

  • @zaitunmohammed7203
    @zaitunmohammed7203 ปีที่แล้ว

    Mm jamani nampenda nyimbo zake

  • @mohammedsuleyman4997
    @mohammedsuleyman4997 6 ปีที่แล้ว +1

    we fundi aslay nakubali xana kazi zako

  • @ibrahimabdallah4919
    @ibrahimabdallah4919 6 ปีที่แล้ว +1

    gonga like team slay huyu dogo noooouma

  • @wankyroshna5544
    @wankyroshna5544 6 ปีที่แล้ว +13

    Nahic fella anajuta kumuachia uyu dogo coz uyu dogo ni hela. Apo amna cha #kiba wala #mond

  • @didamugya6039
    @didamugya6039 6 ปีที่แล้ว +11

    Mwaka wako huu

  • @kenyanjuiceteesy1839
    @kenyanjuiceteesy1839 6 ปีที่แล้ว +2

    Lv ur show and ur songs dogo keep up bro

  • @labumua8656
    @labumua8656 5 ปีที่แล้ว

    like kama zote toka kwangu. uko juu doooo

  • @Adeen.1
    @Adeen.1 6 ปีที่แล้ว +22

    kama ni dawa mdogo wangu naku dm unipe niweke kwenye biashara yangu ila kama dua bhasi nifundishe namna yankuiomba sio kwa love hii ya wananchi yani watu wanasahau njaa za mjomba magu kwa muda mzee.... we mkali dogo lake

  • @shukribante7695
    @shukribante7695 5 ปีที่แล้ว +1

    Aki nakupenda sanaaaa Aslay najua husomi hii message lakn ukweli lazma usemwe

  • @lilyemmanuel3254
    @lilyemmanuel3254 6 ปีที่แล้ว +1

    Aslay nakukubali asee songea kwa wakwe zangu hongereni mmemuona king wa baadae

  • @luchypamasai3978
    @luchypamasai3978 5 ปีที่แล้ว +1

    Nakubali na naipenda.....Nakupenda bure Aslay

    • @uqairsande7320
      @uqairsande7320 ปีที่แล้ว

      Jaman fiesta imepowa tafuta wengine bhana

  • @agu7tv286
    @agu7tv286 6 ปีที่แล้ว +7

    Namwelewa sana pacha wangu

  • @dianaalice9434
    @dianaalice9434 6 ปีที่แล้ว +3

    God be with you #aslya utimize ndoto zako

  • @mamanillan5417
    @mamanillan5417 3 ปีที่แล้ว

    Hatareeeeeeeeeeeee aslay jomoniiii

  • @LewisonlyTV
    @LewisonlyTV 6 ปีที่แล้ว +2

    Aslay gonna be a big thing in coming days i believe God bless

  • @doricematindiko5350
    @doricematindiko5350 5 ปีที่แล้ว +1

    Umetisha Aslay,uko juuu

  • @rashardpodo8851
    @rashardpodo8851 6 ปีที่แล้ว +42

    aslay daaaaah! basi tu nashindwa hata nseme nn

  • @josematemu3822
    @josematemu3822 6 ปีที่แล้ว +27

    nakukubali sana aslay

  • @usaambassador2460
    @usaambassador2460 6 ปีที่แล้ว +1

    Aslay watamba kbs hiyo ndiyo furaha yetu utambe

  • @Joshua-lj9te
    @Joshua-lj9te ปีที่แล้ว

    Asly y best ever Kila time

  • @franknakbliwilium3666
    @franknakbliwilium3666 4 ปีที่แล้ว

    Daaaa hyu dogo Anabalaa zto nakbli sn Asly

  • @fatimaamees170
    @fatimaamees170 6 ปีที่แล้ว

    Jamon wew mtot mbon unakuja💣🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥unajua kunikonga moyo🎶🎶🎵🔔🕭mzik mzur upo vizur

  • @justapetro5983
    @justapetro5983 6 ปีที่แล้ว +1

    mungu hakupe uwezo zaidi

  • @wigomcstv3662
    @wigomcstv3662 6 ปีที่แล้ว +1

    Saaaanatyu naili poa saana. Happy new year 2018

  • @ommyking3656
    @ommyking3656 ปีที่แล้ว

    Fundi sana uyu sema ukimya wake una nichanganya sana rudi mzee

  • @EmmanuelNdiyogi-yj3mi
    @EmmanuelNdiyogi-yj3mi 9 หลายเดือนก่อน

    Aslay rudi kwenye game usumbuwe jiji

  • @rehemamshiko6753
    @rehemamshiko6753 ปีที่แล้ว

    Kwanini hujaja 2022 jamani sumbawanga umeniangusha shabiki wako

  • @edwinfrancis4659
    @edwinfrancis4659 6 ปีที่แล้ว +1

    nimeipenda hiyo ngoma

  • @hemedially8017
    @hemedially8017 6 ปีที่แล้ว +4

    Aslay unachowafanyia wasanii wenzio cyo Poa😂😂😂😂😂😂😂

  • @jamesmaina7363
    @jamesmaina7363 6 ปีที่แล้ว +1

    diamond and kiba u gotta watch out,,he soo guud..

  • @mwanamisiomaromar1652
    @mwanamisiomaromar1652 5 ปีที่แล้ว

    nakubali xna aslay uko juu broo 😘😘😘😘

  • @graceblessings2113
    @graceblessings2113 5 ปีที่แล้ว

    Nice sana aslay big up am from 001

  • @sheillahchisika8414
    @sheillahchisika8414 6 ปีที่แล้ว

    Aslay hiyo reggae yako inauwa from 254

  • @chusseboywcb2808
    @chusseboywcb2808 4 ปีที่แล้ว +1

    Umetishaa sama\aaa🔥🔥🔥🙏🙏🙏🙏🙏🇹🇿🇹🇿🙏🙏🔥🔥🔥🔥

  • @trayphoneraymond5904
    @trayphoneraymond5904 6 ปีที่แล้ว

    nomaaaa xhow kam xo bongooo,kaza aslay Bob we lovev u

  • @righitkileo
    @righitkileo 10 หลายเดือนก่อน

    Asley ❤❤❤❤❤❤❤

  • @sheymahabdulwahidkhalid6355
    @sheymahabdulwahidkhalid6355 6 ปีที่แล้ว

    mwaaaa😘😘😘😘karibu tena Swax Bwana

  • @suheilamohammad8972
    @suheilamohammad8972 3 ปีที่แล้ว +1

    Napend xna nyimbo za Aslay

  • @nafisamohamad3182
    @nafisamohamad3182 6 ปีที่แล้ว +6

    Fiesta ya mwaka jana nlikoma hadi mwaka huu nimeona bora nikaenyumbani maana huo umati wa watu umenishinda kupumua vzuri ukipumua left harufu za jasho ukipumua right unavuta pumzi za wengine na ukipumua centre nyuma kuna wanaokutach wowowo.yani nilijutia kwa kweli nimeenda kuenjoy napata maudhiko

  • @gaboy7111
    @gaboy7111 6 ปีที่แล้ว

    nakubali aslay we n mkali from kenya

  • @emmanueldeus1542
    @emmanueldeus1542 6 ปีที่แล้ว +4

    Very nice