Ferouz basi.. Hebu tuliza nafsi.. Pole sana kwa mkasa wa boss.. Tuombe Mungu apunguze mikosi... Achana na visasi.. (Utakuja jijutia) 😅😅😅 kama wewe ni Legend weka like apa
Nagonga like hapo mwanangu dah sijapenda solo thang japo nahis wameshindwa kumpata yupo ulaya nahisi ata yeye kawanyima ushirikiano kina p funk au feruz au kabanwa na majukumu jaman binadam tunamengi anaweza kua ata aliugua.ila juma nature sijaelewa
Idea ya kuzirudi naona haijafanya poa sana..sababu zile nyingine zilishakamilika kwenye audio..ila hii idea ya video ndio itawapa tena hela hawa wasanii..Great idea..na najua ma director wengi wataibuka kuzifanyia video hz nyimbo
Kuna kipande cha solo theng kimekatw feluz bas embu tuliza nafs pole sana kea mkasa wa boss hii ngoma watoto wa 2000 hawawez kujua kama kina kitu kimepungua
Hongera sana Majani kwa Kutuletea video za kitambo ambazo hazikutoka zamani,madogo wa 2000 mlikuwa Tetee,Kaeni pembeni Baba zetu tunaangalia Ngoma zinazoishi milele
Miaka 💯 ad sasa cjawai ckia Beat production kali kama za P funk. Hii test na intrumental mixing bdo atujapata Bongo kufikia science ya Pfunk Majan aise ad leo! 🙌🏿🙌🏿
Sijapenda......kwann mwenye bongo fleva yake au sauti yenye mamlaka na ujazo hayupo🤔😞alafu kipande chake mkakiruka"hamjui kwenye utamu wa hili gharika ulikuwa pale boss anapozwa???
Video imeliret namatukio safi kabisa SEMA ves ya neture ilibid awe anamchana boss😂😂 ingekua noma zaid maana alikua anamfokia ferooz mambo yaboss all in all video kali ❤
Jamani wa 198.. Na 199.. Pia early 200.. CD's... Hizi zilikua ni moja ya Bangs zetu. 2024 nipo glad na feel the music one of the legends. 2024 goes ==> 2025 zilipendwa gather here 💽 🇹🇿
Sana alafu video haina different location haijachangamka kabsa. Nguo zile zile. Sehem ya solo thang wangeweza kufanya hata kama kapokea simu na jamaa anamshauri kupitia simu sio lazm awepo physically . Na mazingir yalitakiwa yawe local kdgo au kijijin kabs ndy ingependeza
Katika Mazingira ya kawaida Hakuna mfanyakazi Mwenzako ataenda kumchana boss Moja Kwa Moja Kwa sababu ya kutoka na mke wako. Lakini atakushauri tu kutokana issue ilivo
Ferooz popote ulipo izi ngoma ndo tunazozitaka #Wasanii wengi wanapotea kwa kuiga midondoko ya mond #Ferooz fuata njia yako mtaa bado inakuheshimu bado unanafasi kubwa
wanaosema wasanii wa zamani warudie nyimbo zao kwa video ya u ubora kama ivi gonga like👍
Tumewamiss mno😊
Huyu director kaharibu uhalisia wa wimbo hapo ferooz sio duni ..
Kweli kwa hii nyimbo unaona ferooz ana maisha duni?? Au elimu ndogo?
Ni kwel director amezingua, boss alitakiwa awe hapo na wafanyakaz hata watatu hiv iwe mazingira kama ya ugomvi hv
Woteee warudieeeee
video imepndez
Team ferooz tujuane apaaa kwa like
Video inataliwa iendane na maneno unaya yasema kama hivi alivo fanya feruzy🎉🎉
Ndiyo mmi ktka kenya
Naomba iludiwe ngoma ya ferooz ft pr jay starehe kama unaungana na mimi gonga like
Starehe video ishajitosheleza ile
Wanashoot nyimbo ambazo hazikuwa na video..
@@SukariYao-o5vni kwel kabsa
@@SukariYao-o5vEti! Imeshajitosheleza. Why ruin a classic?
@@ndaulinendaulina5715 baba majani anatoa video za nyimbo ambazo hazina video elewa hapo
Matusi 0%
Picha za uchi 0%
Kipaji 100%
Elimu/Maarifa 100%
Ujumbe 100%
Kuboa 100%
🤕🤕🤕
Hao wakina inama nipachike Rungu sio wasanii kelele tu
@@vinny.morales😂😂😂Daahh nchi imevurugwa
Kuvutia 100%
Story 100%
Melody 100%
Ferouz basi.. Hebu tuliza nafsi.. Pole sana kwa mkasa wa boss.. Tuombe Mungu apunguze mikosi... Achana na visasi.. (Utakuja jijutia) 😅😅😅 kama wewe ni Legend weka like apa
Verse ya mtu mzima Solo Thang haimo kabisa.
imekatwa juu kwa juu
Hayupo Tz itakuwa
Na mm nilikua najiandaa na hio verse ghafla imekatwa 😮
Anaitwa SOLO THANG!! Dah nimekereka sana kipande hiki kutokuwemo....!!
Si hata wewe unaona bosi ni handsome kuliko mwenye mali🙎
Wale tulio muona ferooz kwenye mabanda ya cinéma wekeni like apo chini❤ DRC lubumbashi
❤
Kama ww umetazama hii wimbo 2024 weka like hapa
ZAMANI WATU WALIKUWA WANAIMBA AISEE
Watoto wa 2000 huyu ndiye alikuwa Diamondi wa kitambo hicho,
Watoto wa 2000 tuna tabu sana😂😂😂😂
Usimlinganishe Ferooz na waimba matusi & mashoga.
@@eng.makolal1367kweli uyu kaimba nyimbo mbk leo zinaish
Hapana uo uwongo
😂😂😂
Tunaomba ifuate video ya "Elimu Dunia" ya Daz Baba ft. Afande Sele & Ferooz. Kama unaungana na mimi tujuane kwa likes.
Dah! Watu walikuwa wanaandika, na wanaimba.. kweli muziki umechakachuka 😢
Kweli
Alleged hiyo kabisa.
@@ChapajogooTrue
❤❤❤❤😊
Ferooz na Juma Nature🤝
Fer00z mzee baba bora uvumilie🙏🙏 we nikipaji
Nisiwe mnafiki ili goma nikali sana na sitafanya vizuri nisipo acha comment yangu 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥💪
Umeongea yupo
Jilushe
Tuloumia solo kutokuwemo humu gonga like hapa 😢😢😢
Nagonga like hapo mwanangu dah sijapenda solo thang japo nahis wameshindwa kumpata yupo ulaya nahisi ata yeye kawanyima ushirikiano kina p funk au feruz au kabanwa na majukumu jaman binadam tunamengi anaweza kua ata aliugua.ila juma nature sijaelewa
Sijuhi kwann ayupo 😢
Kwan kuwa Ulaya si angekutuma clip
Dunia ya digital sasa
Solo yuko wapi munaana ubinafs Bila yy umefeli mwamba
Mungemchukua hata mpoki mungemueka hapo ingekua noma Sana
Watoto wa 2000 hamuwezi elewaa,wale malegedi tujuane kwa like hapa
Prefanki Mani kwenye Bett nishida tupu mwamba
La musique consciente de la Tanzanie,ferooz tu as arroser mon enfance avec ta belle musique.Vive ferooz
Upendo mwingi toka Nairobi kenya... Weka like hapa
Fadhila ya kuwapa awa watu ni kuwapa views za kutosha. Tujongee hapa.
Good sana mzazi umeongea kitu kikubwa sana mwingine asiejua ataona kawaida kwa ulichosema
Niview ×10 natoka narudi tena
Kwel kabisaaa
Bora nature lkn ferooz aliwahi kupewa gari na mzee mkapa tena jeep sijui alifanya nini hadi maisha yake niyachini
Nakubali ferooz ludi kwenye game kaka 🥀🌹🌹🌹
Mziki mzuri..elimu na maisha..kenyans here nipe likes mazee..au kweli hivi ndo hali ilivyo
Bora wakongwe mmeamua kutukumbusha enzi ztu maaana kizaz cha sasa ni nyegenyege tu
Sure asa nachukia sana kitu inaitwa amapiano
tatizo amuwapi nafasi ila wapo kibao
Yaani
Yaan nyimbo ya kitambo kali kama ya jna lkn leo ii et mtu anaimba natka kuweka
Hahhahaaaa
Vesi ya Afande Sele mzee mzima haipo kulikoni aaaaaaa mmezingua ila poa 💪♥️
Bongo records fufua zote in a current version afu uone bongo flava inavyorudi kwenye afya yake sasa🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Idea ya kuzirudi naona haijafanya poa sana..sababu zile nyingine zilishakamilika kwenye audio..ila hii idea ya video ndio itawapa tena hela hawa wasanii..Great idea..na najua ma director wengi wataibuka kuzifanyia video hz nyimbo
Watoto wadogo wanajua mzigo mpyaa huu
😅mnatudharau sana, kwamba hata namna ya uimbaji tushindwe kujua kama ni Ngoma ya zamani
Mm ni kwa wanokubali nyimbo za hawa ma legend gonga 👍
Zama hizo maisha yalikuwa magumu sana ,kwahyo nyimbo kama hizi zilikuwa na hisia za kweli.
Majani endelea na mpango huu ili wasanii wetu waanze kupata mirabaha wafurahie matunda ya kazi yao
❤❤ dah nimekumbuka mbali sana hii sasa mmeitendea haki sio kma ila ya mtoto idd
Hizi ndio nyimbo sasa zinaujumbe flan amazing, safi sana wasanii wa zamani kuzirudia hizi ngoma 👏👏
Ferooz basi! tuliza nafsi,Pole sana kwa mkasa wa boss ..........tumalizie vesi ya solo
Chuma mbili za kale zarudi Kwa kishindo🔥🔥🔥
Aisee huyu jmaa basi2 ferooz kautendea haki muziki wa Tanzania, ukisikia muziki wenye ujumbe basi ni wasanii wa zaman
Gen Z hawawezi elewa...kama Gen Z mnaukubali huu naomba likes zenu hapa✅
Safiiiii ingefaaa zirudiwe za zaman zoteeeee watoto wa 2000. Tupisheni kidg
Natoa wazo.kwa majani na wasanii wa zamani,warudie video zao na warekodi kwa kiwango kizuri ili wapate maokokoto ya TH-cam 👌👌
Kabisa maana wanaudai sana huu mziki
At least wafanye hivi wapate pesaa
Ferooz my Man...wapi likes zake
Stivo ukimskiza kwa makini Ako na talent n he really knows how to arrange the lyrics... Ndo manake
Oya majani bongo record salute kwako kwa hii WAZO la kutoa video za kitambo
Tulokua tunamskilizia juma nature atakavyoingia tunyooshe mikono juu🖐🏻😂
Nyimbo nzuri kabsa haina ukakasi hata ukiwa na familia mnatazama bila mawazo au hofu.
Jamaa anakipaji sana wanaomkubali ferooz weka like apa 😊
Kuna watu watajua Ferooz katoa ngoma mpya 🔥🔥🔥🔥
Kweli
Dah sio kwa kinyimbo kizurii❤❤❤❤
I'm Mozambican, but I've loved ferroz since I was a child... get up ferroz, God bless you 🙏🙏
Kuna kipande cha solo theng kimekatw feluz bas embu tuliza nafs pole sana kea mkasa wa boss hii ngoma watoto wa 2000 hawawez kujua kama kina kitu kimepungua
Kipande cha muhimu sana kile na ndo kinaleta maana halisi ya wimbo
Achana na visas utakuwa vijutia
Ferooz enzi izo ndo mlikua mna imba mziki wenye ujumbe mkali sio leo wana imba ume chukua umeweka uwaa
Hongera sana Majani kwa Kutuletea video za kitambo ambazo hazikutoka zamani,madogo wa 2000 mlikuwa Tetee,Kaeni pembeni Baba zetu tunaangalia Ngoma zinazoishi milele
Hii ilitoka ya zamani ipo
🎉🎉daah sina lakusema ila tunatak mrudi kwenye game maana diamond hakuna mafunzo iko anatupa
Hii ndo bongo flava zetu ❤❤❤
Miaka 💯 ad sasa cjawai ckia Beat production kali kama za P funk. Hii test na intrumental mixing bdo atujapata Bongo kufikia science ya Pfunk Majan aise ad leo! 🙌🏿🙌🏿
Halafu kuna takataka moja inajiiya s2kizz inajiona bonge la producer wakati kelele tu
Ze comedy waliitendea haki..hii nyimbo... . ilq kuhusu hii ngoma feruuz ulitisha bro
Hapo nimelala niko kitandani starehere zimeniweka matatani..ferooz kanifanya nijifeel mtoto tenaa.. Big up brother❤️
Hiyo nafasi ya boss ingemfaa sana JB!
Yes true JB could b much better thanks u 4 big thoughts +254
Nyimbo Kali,ujumbe mzuri,wasanii wa zamani kwa mashairi mazuri walitisha sanaa,🔥🔥🔥
Daa nimekumbuka mbali bongo za zamani zilikuwa moyoni ..kama kweli put ❤
Watoto wa 2000 watajua ni msaniii mpya na nyimbo ni mpya
Shenz kabsa 😂😂nilzan mpya😅
@@Mr.luckywellybrand2022 teh teh
😅😅
Hakie 😂
😂😂😂😂😂kbs
Ferooz pacome wa bongo fleva🔥🔥🔥🔥weka like kama unamkubali
Namkubali mwamba tang utotoni ❤❤❤❤
Tholo thang mmemtoa dah piA hapo nature niltaman nmuone boss akiwepo but tunasubiria Barua 🔥nazan utaua sanahisia ziendane na matendo
Tholo thank aliua sana humu
Barua imefanywa na bongo records.?sio mika mwamba.?
Sijapenda......kwann mwenye bongo fleva yake au sauti yenye mamlaka na ujazo hayupo🤔😞alafu kipande chake mkakiruka"hamjui kwenye utamu wa hili gharika ulikuwa pale boss anapozwa???
Upo sahihi apa Kuna Namna mtendo piah hayajaendan na matukio.. piah kumtoa solo wamearib
Barua mika mwamba aligonga
Huyu jamaa anaongea 1000 words per second na hakosei😂😂
Hahaha
P funk mtafute na mwanamkiwa🎉🎉🎉
Feruzi,ganwe mzulu,,,,,,karibu sana good time bus ,,,mzee mgido Peace ✌️
Wape Hi chama la wana Moshi wa d*w@...
Wazee tulipiganie ii dude!!! Ikae trending ata sku mbili awatingishe awambnga wa nynyenye!!??
Ngoma imetulia na ipo juu zaidi🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Sema ile waliyo fanya ze comedy masanja na joti nikali kuliko hii
Ile ilikua Kali sana
Video imeliret namatukio safi kabisa SEMA ves ya neture ilibid awe anamchana boss😂😂 ingekua noma zaid maana alikua anamfokia ferooz mambo yaboss all in all video kali ❤
Hata mimi niliona ingekuwa ivyo lakini uwenda wakawa na sababu zao za msingi
sure niliwaza hivo pia
Kipaji akipotei Bado upo vizuli❤❤❤
Director aliyeshoot amefanya kazi nzuri kutengeneza uhalisia wa nyimbo...👊🏿😊
saffi sana bongo Records
Huu ndio mziki ulio na mafunzo ❤❤❤
Jamani wa 198.. Na 199.. Pia early 200.. CD's... Hizi zilikua ni moja ya Bangs zetu. 2024 nipo glad na feel the music one of the legends.
2024 goes ==> 2025 zilipendwa gather here 💽 🇹🇿
🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 siku zote 🤴 tunakuskiza story line deadly 😢😢
Noma sana...
Ila kuna kipande Kimeondolewa...
"Ferooz basi Hebu, Tuliza nafsi
Pole sana kwa mikasa ya Bosi......."
MSG delivered ferooz ni mwamba Hizi ndio nyimbo tunahitaji za mafunzo.upande wa pili mukae kwa kutulia
Twende pamoja na watoto zetu na wadogo zetu wa 2000 kwani huu ni wakati wao ... for this time...ulio tengenezwa na wakati wetu ndani ya nyimbo hii
Old school ata Congo tuko pamoja 🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Feruzi basi tuliza nafsi
Pole kwa huu Mikasa wa bosi
Tumwombe Mungu, aondoe mikosi. Achana na visasi utakuja jijutia.......
Dah vers ya solo thang haipo😢
Kuna watoto hawadandishi kit'u apa......ila siie wa miaka ya tisini
Ndomana nimejiuliza mbon video imeng'aa kumbe imeludiwa unyama❤❤
Kipengele cha solo sijakisiia ferooz basi tuliza nafsi pole sanaa kwa mkasa wa boss tuombe mungu aondoe mikos
nani kashtuka kuna kipande imekatwa hapo sijui cha solo thang kile, ''ferooz bsi hebu tuliza nafsi, pole sana kwa mkasa wa bosi.......
Tena imekatwa fasta
Huyo jamaa alikufa ama vipi màana sijaelewa kwanini kipande kimekatwa
Huyuu jamaa tumpe mauwa yake🎉🎉
Wa kongomani 🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Timu Sir Nature Juma Nature tujuane❤❤❤❤❤❤❤🎉
Makamandaa vioo za jamii huu ndioo usaniii Asantee Ferooz n J❤
Kipande Cha nature razima boss akiwepo mmezingua wazee
Sana alafu video haina different location haijachangamka kabsa. Nguo zile zile. Sehem ya solo thang wangeweza kufanya hata kama kapokea simu na jamaa anamshauri kupitia simu sio lazm awepo physically . Na mazingir yalitakiwa yawe local kdgo au kijijin kabs ndy ingependeza
@@thabitdaudi9815wangetakiwa wafanye kama wakina joti walivofanya ingekua noma
Wanatumia gharama lakini ubunifu mdogo
Katika Mazingira ya kawaida Hakuna mfanyakazi Mwenzako ataenda kumchana boss Moja Kwa Moja Kwa sababu ya kutoka na mke wako. Lakini atakushauri tu kutokana issue ilivo
Oyaaaa hili goma limenikumbusha mbali sana
Huu ndio mziki sasa. Sio ujinga unaoendelea siku hizi. Bongo flavour ilikufa kitaaambo.
Mkasa wa boss...
Asante saana Mdachi
Wimbo freshy lakini mie hapo pa bora niangamie ng'o namtimua naleta mwingine maisha mafupi kujipa stress
From Kenya,much love to ferooz...nampenda
Wanangu hiki ndiyo kitu ambacho
Ulikisaau Mr ferooz
Watoto wa 2000 wakae pembeni kwanza 😂
😁 😁 Kwel kabsa
Nipo hapa unaachaje vitu classic kama hivi
Tuwaache na Amapiano zao😂
Kabsaaaaaaa
😅😅😅😅kabisa nyimbo zao zamatusi😅
Kwel kwel goma za miaka ya nyuma do zilizo naubola naomba waludie 😅😅😅😅😅😅❤❤❤❤
Live ..ila apo kwauyo mwamba ajaitikia wamezingua saana ais .....mukali yule ndo alichinja hawajui w2 bhas
Daaah TBT waanajuaaga sna
Mwamba wa enzi zetu karudi❤❤❤
Ferooz popote ulipo izi ngoma ndo tunazozitaka
#Wasanii wengi wanapotea kwa kuiga midondoko ya mond
#Ferooz fuata njia yako mtaa bado inakuheshimu bado unanafasi kubwa