Bongo fleva ilikuwa miaka ya 90 hadi 2008 ilikuwa nzuri lakini kuanzia 2009 na kuendelea hakuna kitu zaidi ya matusi! Wakongwe rudini kwa gemu, ikiwezekana mshirikiane wakongwe watupu mrudishe ladha ya mziki kwa Watanzania. 👍🏾👍🏾👍🏾 Hata wenge BCBG wamerudi na kushirikiana kama zamani.🤝🏾🤝🏾
Kwamgu mm nampa pongezi sana mziki wake ulikuwa mzuri sana, kwakweli mziki wa sasa watu wacheza uchi 😇😇 Kweli utawaambia wazazi wako wasikize? Feruzi Masha Allah mziki wamo dadangu aliupenda sana , mtangazaji KBC Radio hapa kenya 💕💕💕
Ferooz kusema ukweli ulicheza Sana mda wako hukuchezea chance yako hata kama hautaimba Sana kama vile zamani lakini mjengo wako huo nakubali kamanda ferooz big up Sana bro
Yaani huyu jamaa anajua kuimba sana. Halafu yupo makini kwenye kuongea. Bado una nafasi kubwa sana ya kufanya vzuri mkuu. Kuna watu bado tunapenda nyimbo zako.
Hâta mpaka leo Congo RDC tuna samini Sana mziki wa wakati ule ferooz wakina dudu baya wanaume family pr Jay si kama leo mziki ya ba Diamonde ninge omba awa wa sani warudilie mziki,wimbo starehe hadi sasa ni kama mafundisho shuleni
Muziki wa Enzi zangu ulikuwa Muziki wakweli halafu vipaji halisi ila Hawa shetani anawapa masharti wakiyatimiza basi ndo hivyo wanaimba wanavyotaka na watoto wadogo wanazingatia na kuaribiwa hivyo ila sisi ndio waalimu wao japo hawatuelewi
This Guy is \kindly Wise and he is looking so humble and kindly
Huyu ni legend akiungana na legenderires wengine wa muzuki
much respect kwa ferooz na Daz Nundaz kwa ujumla alifanya vitu makini Sana
Aaa Ferooz bigap sana jembe uliutendea haki mziki wa bongo fleva hakika huna deni apa Jirushe Boss Starehe Jahazi aa zikipigwa leo kama mpyaaaaa💪💪💪💪💪
Legend
Ferooz bado uko top mtu wangu
Dah respect sana ferooz,,dah yan saut haichujii kabisa...uko vizur
Ferooz uko vizuri zaidi ya diamond hakufikii hata robo
👌👌👌
Uwongo bhana 😂
Kuna vitoto vitakuja kukubishia
Ferooz nakuelewaga sikuzote hujawahi kukosea katka nyimbo zako, rudi kwenye gemu kaka♥️💪
Legend wa starehe. Ferooz kiboko yao!
🔥🔥🔥🔥🥰🥰🥰 penda sana huyu kaka na Nay wa mitego 😍😍😍😍 PTV naomba unisaidie kumpata mr Nay 😊
Bongo fleva ilikuwa miaka ya 90 hadi 2008 ilikuwa nzuri lakini kuanzia 2009 na kuendelea hakuna kitu zaidi ya matusi! Wakongwe rudini kwa gemu, ikiwezekana mshirikiane wakongwe watupu mrudishe ladha ya mziki kwa Watanzania. 👍🏾👍🏾👍🏾
Hata wenge BCBG wamerudi na kushirikiana kama zamani.🤝🏾🤝🏾
Feroz much lovr from Kenya
Nakubalii Sana nyimbo zako ferooz
Burundi tunakupenda sana bro ferooz 🇧🇮😀😀msani wa zamani eshima niyako kako,endelea
Huyu jamaa ni mtu sana respect kwake
Ferooz nyimbo zako zinaelimisha sana
Kwamgu mm nampa pongezi sana mziki wake ulikuwa mzuri sana, kwakweli mziki wa sasa watu wacheza uchi 😇😇 Kweli utawaambia wazazi wako wasikize? Feruzi Masha Allah mziki wamo dadangu aliupenda sana , mtangazaji KBC Radio hapa kenya 💕💕💕
Kwer
unawambiaje wazazi wako kusikiliza miziki yakisasa ulikosa kazi au
Si ndio akili zimejaa uchi tuu naima.Mimi ningefunga hiyoooo miziki ya uchi na matusi.
Wazee wenyewe ma digital ndoshida iyo
Blessed sanaa asee umeongea kitu ya uhakika
Much love ferooz from Tanzania 🇹🇿❤❤
Ferooz ngoma zako zinadumu Sana namini hata Leo ukiamua kufanya tour utajaza full.
🎉 feruz hafai kufananiswa na msanii yoyotee
Sarut kwake
Ferooz uko juu bro. Vocal uko vizuri sana.
Masha Allah ! Heshima ni utu💕💕💕💕
Veruzi Rudi kwenye gemu bhn tuakulubali sana❤❤
Nyimbo yake Ukimwi ilinifanya niachane kabisa na mambo ya ngono.
Ujumbe wake ULITISHA😂😂
😂😂😂 kabla nipimwe kwa mara ya kwanza nilikuwa nikibaki peke yangu tu huu wimbo unajifinya play akilini
Huyu jamaa alikuwa balaaa sana ni ngoma za hisia sana
Ferooz wazamani.huu jama hakili yake nguvu Sanaa.
Jembe ulayaaa nyimbo za sasa hivi wiki zina chuja big up ferooz
Yupo vizuri❤
Mkali wa sinza mori and big bon uko nakukubali Sana brother Wang.
akunaatekaemfikia ferooz kimziki Tanzania nzima
Nyimbo zako hazichuji.
Uko vizuri.
Tunaomba nyingine
Vp. Mwanangu. Ferooz. Nakukubali. Sanna. Ilaa. Huuonekani. Kwenye. Game. Why. Broo???
nakubari kaka uko vizuri sana
Pamoja Sana boy mungu akutangulie
Big up sana, nakuelewa sana
hiyo nyimbo mwanangu alikuwa akiimba. hadi natamani kulia akiimbatu nilikuwa namkataza hiyo ujumbewake nimzuri
Tunakupenda Feeruz huna skendo mbovu afu unamajibu mazur🙌
Ferooz Rudi kwenye game, harafu uje na Radha hiyo hyo lazima uuze broo pia sauti ya kipekee,achana na singeri tope tupu Mzee.
Penda sana ngoma zako kaka yangu
Uko vizuri
Wow niliipenda hio nyimbo ya kamanda
Safiiiiiii sana Feruzi
Legend wa bongo....ferooz
Bigapu juu juu zaidi
Point Kaka Nakubal Bado Mpka Leo One Day Tutafanya Kitu Soon 🎧🔥🔥 Jah Blessed 👏🙏
Mashabiki wako atukupingi
Bashiru mango: ni kweli nyimbo za Sasa kusikiliza ukiwa umekaa na wazazi ni ngumu Sana, tatizo matusi yamezidi.
Respect kwako❤
Kali sana ferooz.
Hiyo kweli kabisa from Lubumbashi tulikupenda kweli kabisa
Uko.sahih.kabisa.matus.matus.matup.n
akuna Kama wewe zaidi yakuimba matusi tu
Zamani ndo palikua na nyimbo zenye ujumbe, ferooz rudi kwenye game mr
Big up kwa nyimbo zako Kaka
Ferooz kusema ukweli ulicheza Sana mda wako hukuchezea chance yako hata kama hautaimba Sana kama vile zamani lakini mjengo wako huo nakubali kamanda ferooz big up Sana bro
Pa1sana brother ferooz
Fertoz kwanini auwimbi ata Zizi Moçambique tunapenda sana nyimbo shako mbona kimwia
Much love ❤
❤❤❤❤🎉🎉 king 👑 of bongo
sana broo tulikumis sana
Nakubali sana nyimbo zako
Legend where have u been?...
Yaani huyu jamaa anajua kuimba sana. Halafu yupo makini kwenye kuongea. Bado una nafasi kubwa sana ya kufanya vzuri mkuu. Kuna watu bado tunapenda nyimbo zako.
i like his songs though
Aminia ssna❤
Waimbaji na nyimbo za enzi hizo zinakuwa za maana na nzuri
Kazi njema bwana uliifanya. Heshima kutoka kenya
Zamani kulikuwa nanyimbo nzur
Pamoja baba
Nyimbo za awa wasanii zilitufundisha mengi sana za Sasaivi utasikia nakata gogo
Uyu mwamba alikuwa noma sana
Ferooz wow❤
Yaani hongera sana siyo sasa hivi ni majanga. Matusi tu
Zama za wazee ndo Kali sio Zama hizi ferooz we Mzee Sana wasafi wote makinda tu
Ferooz ni GoAT!!!🎉
❤❤
Nilikuwa napenda nyimbo zake
Hâta mpaka leo Congo RDC tuna samini Sana mziki wa wakati ule ferooz wakina dudu baya wanaume family pr Jay si kama leo mziki ya ba Diamonde ninge omba awa wa sani warudilie mziki,wimbo starehe hadi sasa ni kama mafundisho shuleni
Bigap Feruzi tunataka nyimbo mpya
Naku kubali
One 😘
Legend huyo
Motooooooooo sanaaaaa
Nakubali nakubaliiii
Mwamba alikuwa anajuwa sana sio kama wasanii wa sasa akina konde boy akina diamond
Umetaja chuo kikuu kukaribisha kwenye maafari au kuelimisha wanafunzi.
Waandishi wanoko sana mnachangia sana kugombanisha wasanii eti unazani bila jay nyimbo hainge fika mbali
Ongera kaka Mungu akupe nguvu na ushindi
Zamani ndo nyimbo
Mkalii
Banaa Ferooz rudi studio utupe nyimbo za kuelimisha jamii please tunakupenda ❤️
Ferooz rudia studio usaidie wa sanii wa Siku hizi huko kwenyu Tanzanie
Kweli kabisa
Hakika umenikumbusha pale nilipokuwa nasoma natoloka shule nawai hom kusikiliza show time kila ijumaa
Mlijisahau Sana.... Kwa starehe... Majumba mnayatamani na mnayatazama ya watu.... Imepita hiyo... Ngumu kujirudia...
Ulivyo navyo hata ww utaviacha
Na walinyonywa Sana na technology haikua juu Sana kama sasa
Kwa kweri huwa nakukubali sana ferooz
Muziki wa Enzi zangu ulikuwa Muziki wakweli halafu vipaji halisi ila Hawa shetani anawapa masharti wakiyatimiza basi ndo hivyo wanaimba wanavyotaka na watoto wadogo wanazingatia na kuaribiwa hivyo ila sisi ndio waalimu wao japo hawatuelewi
Nakubali kaka mkubwa
❤❤❤❤❤tunakupenda sana❤❤❤
Salute bro
Oho
Super ferous
Nimefurahi naona Afya yake imericover.
Fanya colab na Harmoniz kaka