ROMA NA STAMINA WALIVYOTINGISHA FIESTA DSM + SUPRISE YA CHIDI BENZ
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 11 ม.ค. 2025
- Ni wakali wengine kwenye muziki wa bongofleva, ni wakali wengine ambao hawatasahaulika kwenye rekodi za FIESTA DAR ES SALAAM 2016 kwa shangwe waliloliamsha, jitazamie mwenyewe uone.
ROMA, STAMINA NA BLUE KWANGU MM NDO WASANII PEKEE WALIOYATENDEA HAKI MACHO, MASIKIO NA MOYO WANGU! PURE TALENT, REAL ENTERTAINERS!! BIG UP!
Kweli tumemmiss Sana Kaka Roma, arudi tu nyumbani Aisee
Hawa washkaji ndo walikuwa stori ya town after this masterpiece! Hii fiesta niliisikiliza kwenye redio na kisimu changu kidogo mpaka asubuhi
🤣🤣🤣🤣🤣
Fiesta nzima hii ndo show kali sana watching it from Dubai thanx to Millard Ayo.
HAWA JAMAA WANAWEZA MIA MIA....... ONE OF THE BEST AND STERLING PERFORMANCES THEY KEPT THE CROWD ALIVE FROM START TILL THE END KUDOS....
cxhfxyjfkg
Hip hop J, nature hanawajua Hawa jamaa kwamba wanawakilisha vizur Hip hop, R,O,M,A & S,T,A,M,I,N,A Sauut kwaoo.
Best performance in East and central Africa come teach Kenyan musicians how its done on stage salute Roma and the crew stamina big up sana #254
hapo umefeli
Hip hop imetisha big up brother's, na nimependa mlivyompa shavu King Kong salute
Yani stamina wewe noma sana Roma mkatoliki yani nyie ni balaa 2021 😍😍😍😍
l felt like a person gone crazy becoz l have been watching this show for so long time since l was abroad
kali kuliko, hongera roma na stamina. kazi nzuri
Fid q, Salut kwa Kututunzia Vijana Hawakuangush wanapita kama Q, Roma& Stamina Zaid ya Imooooo.
Bonge 1 la Show....thankx team nzima ya Ayo❤❤❤❤
aiseeee amna wakali kama awa wametisha sana zaidi yasana
watching from state of KUWAIT, this people are dopest
Awa ndo wanachangamsha fiesta zoteeeeeh
Na ndo mafundi east Africa kwa show kaliiiiiiih
thats its what we call is a suprise... ..ckuwepo kwenye shoo lakin kam vile nilikuwepo... tamu sanaaaaaa...
Kat ya Shows Nzur Nilizo zion Ni Show kubwa Wamefanya
Ebhana eeeeeeeeeeeeeeeh bonge moja ya show big up sana ROSTAM
Wenye fiesta yao big up sana Rostam
2020 Rostam, from south Africa Cape town
Woow. Roma + Stamina.... Show kali sana,.... honestly
oya wajanja wacheni niwape fact ya uhakika yani....kama ni hip hop ndani ya east and central hamna mfano wa hawa wajomba wawili nikimaanisha stamina na king Roma.
Hii show TANZANIA nzima, haijawahi kushuka number 1 ya Show kali ya Tz nzima
asante chid benzi mungu akujalie urudi kwenye chati kama mwanzo bado unaweza broo
Ili kundiiii like xn
The energy ya hawa majamaa ilikuwa so high. Yaani zaidi ya international artist
Hahahahahahah umeona eeeh
weuuuweeeee moshi wa ubani hauez kufuka ukawa mshumaaa
stamina the king of hiphop
seeing Chid Benz back puts a smile on my face
vijana hawa Roma v& Stamina Funiko km Nature fiesta2010
hapo hakuna cha mikonojuuuu wananhoosha wenyewe bg up kwenu
Best Perfomance hawa jamaa wameweza no. 1 of all performance
ɷ Heey Friendsss I Havee Justt Wonnnn Brand New MacAir From visittttt : - twitter.com/FighterCpmocsb8/status/803536250690945025
Go and win again.
YUSUF JUMA
blu ni fundi jukwan
Roma and Stamina hawa ndio wenye stej ya Fiesta Dar na Mikoa yote Unabishaaaaa!.
roma na stamina mmetisha xana kwenye hii FIESTAR bigap xana
Roma hizo ni Salam message Tosha kw weus Wakajipange mzee hata wapande stej wote Hawamuwez, Romaaaaa.
sina mengi zaidi ya hongera mko vizuri
Haijawahi tokea na haitatokea performance kama hii ever ......
Nyinyi wakali bwanaaa 🙌🏼🙌🏼
daaaaah nilitamani nilie chid ananisikitisha sana jamaa anakipaji but madawa yamemrudisha chidy "chid nakuombea urudi mungu akujaalie sana"
Amin lkn sai naona ameushinda moyo amewacha dawa uko sawa pia mwili umerudi pongezi kwake
umoja kama huu ndo tunautaka mashabiki,,, na subiri ya alikiba na diamond
Utasubiri sana haiwezekani hata jua litoke usiku
Hamna kitu hao
ebanaaa hawaa wasengee nuksiii nimekubalii fiestaa wameibebaa
Hawa ndio wenye Hip Hop Bongooo Acha Kubisha kubisha kitu Uschokijua Muppoo Tz.
Show ya kibabe hao wengine naskia semaa yeyaaa ila hawa Roma na stamina wamekimbiza
Awajamaa awawezekan noma sanaa😂💪🏽💪🏽
Eeeeh! Bwaana nimeanqalia waxanii wotee lkn...niukwel ROSTAM ndo walonoqexhaa FIESTA !!
akuna cha tekno wala alade wala kiba hawa jamaa ni kifo hatari wana sepa na kijiji
ukweli bro daah alafu wanachochana ni mafunzo maze
gfrey q mkali
QARAISER Q wanajuwa kinima
Hiii ndiyo show!
The best perfomance for the all tyme is this hata lil wayne hajawai pata shangwe kam hl.
This guyz is the mans of the show believe me
Rostam ni shidaaaaaah 🔥🔥🔥🔥🔥
Mariam Mursal 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Wozaaaaaaaaaa! metoboa ile mbaya!
show nzuri..ila Roma kazingua kuvaa nguo zenye rangi ya Bendera ya USA..huu niudhaifu mkubwa kwa mzalendo wa Tz
NICKSON Jackson
Hilo vazi nisehemu ya Sana'a yake,litafakar sana linganisha na wimbo hlfu changanya nakazi yasanaa
Roma Na Stamina Wameuwaaaaaaa Hii Fiesta 2016
Roma na stamina nitawapigia number yenu ninayo aisee noma noma
daaaaaaaaa hawa majamaaaa nmerdhka
Viva roma ❤❤❤❤🎉
Roma anatishaaaaaaaaaaa
Sina haja kumtazama tekno wala davido
Kwa shoo kama hii siyo mchezo babake
Hivi vichwa Nowma sana
Tuiheshimu sana fiesta wakubwa 🔥🔥🔥🔥🔥
watishaaaa penda sana rostam
One of my best performance to rostam
no 1 performance of mine
Cjutii kua mshabiki wa HipHop, mmetuwakilisha vyema sana...
Bongo fleva tupa kule
Dj zeroo 🙌🔥
saluti stamina an roma
kaka ww noma sana bro ❤😮😮😮😮😮
Hakuna Tena tamasha la maana Tanzania ukiitoa hii fiesta sijui wasafi au kingine wanasafari sana kuufikia huu mziki
Hii ndio show kali
Daah asee hawajamaa wametisha fieta nzima
Heheheee
Fieta ee
Na cheed bazino
wachafu acheni usenge hi ni vibe
2023 bado tupo hapa❤️❤️❤️
Hawa ndio the best in 2017 fiesta
Hiyo ilikuwa 2016
Hakuna cha KIBA wala TECNO mbele ya hawa jamaa yaani ROMA na STAMINA asee yaani wamesepa na kijiji sio siri khaa
Labda BLUE
Nowmaa
Roma na stamina ROSTAM ntaangalia mara elfu hamsini
Nakukubali Sana #Rostam
Daaah ilikuwa noma sana hii show ilinikutanisha na bonge la mtoto
wacha weeeeee 😁😂😂😆
Roma uko juu
leo pia nimeirudia hii 21/04/21
i love roma men acha tu,sauti yake tu mi hoi
men, that`s gay
victor florian too bad am a woman
Yona jonas..a girl!!..sorry pal
victor florian yea thats my dear lovely dad's name
cool, peace rafiki..
Hivi vichwa ni shidah ROSTAM
akuna wakumficha Roma ni🔥🔥🔥 wakuotea mbali
Hii show naiangaliaga sana yan kila mwaka lzm niicheck
Watching 7 years later and still wondering how dop was the performance….
NOMA SANA
Rostam ninomaaa!
Combination ya hawajamaa aimaliziki Leo walakeshooooooo
yaaaanii hiii sichoki kuingalia eti
Nawakubali sana
bonge moja la shoo ya kibabe
nyinyi noma sana hasa roma nixhd san
Mmetisha kinoma noma B gap xana 👊👊👊👊👊
hiii nomaaa aiseeeeee
hahahahaha I'm enjoy good show Roma ft stamin
Nawakubali Sana nyie watu
da! huu ndio kushikana kikazi pamoja.
Dah wajamaa wako vzr namkubal xana staminah
Eti mademu wana huruma mpk mashoga wana Madem noma sana huu mstari
Hawa Jamaa noma
Iko vzr sanaaaaa
Nice video bro I like this
Roma Na stamina wametisha km UKIMW
chid benz noooma sana