XI JINPING wa CHINA amkaribisha SWAHIBA wake PUTIN kwa ZULIA JEKUNDU: Ishara Thabiti ya UMOJA wao

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 พ.ค. 2024
  • Tembelea sns.co.tz/ kwa taarifa zaidi
  • บันเทิง

ความคิดเห็น • 82

  • @josephlyimo1351
    @josephlyimo1351 หลายเดือนก่อน +7

    Kaka sky napenda sana habari zako unapo simulia mwenyewe

  • @user-nd5uf6lw4g
    @user-nd5uf6lw4g หลายเดือนก่อน +17

    Miamba hao atari❤❤❤

  • @user-hr5gx1zr1m
    @user-hr5gx1zr1m หลายเดือนก่อน +7

    Mungu awalinde Marais hawa wawili,wakiwapigania wanadamu duniani

  • @brianbaltazar6198
    @brianbaltazar6198 หลายเดือนก่อน +3

    Mungu awalinde viongozi hawa wakubwa wanaopigania haki na usawa duniani

  • @user-ql6hg7fy9p
    @user-ql6hg7fy9p หลายเดือนก่อน +15

    Urusi, China na Korea Kasikazini marafiki wa kuaminika na kutumainiwa, daima kila jema likawe upande wao, kwa kila hatua Mungu awe pamoja nao.

  • @Gulfnas1
    @Gulfnas1 หลายเดือนก่อน +7

    Nawapenda hawa maraisi toka moyoni...

  • @easternyerembe7271
    @easternyerembe7271 หลายเดือนก่อน +21

    Napenda sn mwendo wa Putin, jinsi ANAVYOTEMBEA

    • @ibrahimfarha3853
      @ibrahimfarha3853 หลายเดือนก่อน +1

      Namimi 😂😂😂😂

    • @Gulfnas1
      @Gulfnas1 หลายเดือนก่อน +3

      Mwanaume huyo!!

    • @user-vh3hj8mt6l
      @user-vh3hj8mt6l หลายเดือนก่อน

      Bhn Anambra kifahari

    • @faustinebahenobi3412
      @faustinebahenobi3412 หลายเดือนก่อน +2

      Mzee wa kazi uyo

    • @Soon815
      @Soon815 หลายเดือนก่อน +1

      @@Gulfnas1 😂😂

  • @ttss7716
    @ttss7716 หลายเดือนก่อน +4

    Si urongo marekani ni masnich wajitaka wao 2 wengine hawafai alafu wafrica wabumbavu ndo uwa hawajielewi toka obama amuuwe gadafi ndo nilijuwa adui ya muafrica ni mwafrica mwenzake 😢😢

  • @williamuphilipo2120
    @williamuphilipo2120 หลายเดือนก่อน +11

    Hawa jamaa wanawafanya mapapa wa dunia kukosa usingizi kila uchao

  • @consult_alex9411
    @consult_alex9411 หลายเดือนก่อน +9

    Daaah ila sky kwenye kusoma habari na kuielezea kiweledi kwa kutumia muunganiko makini wa maneno na sentensi daah ni level za BBC kabisa..damn..

  • @ttss7716
    @ttss7716 หลายเดือนก่อน +5

    Putin hoyeee anapenda amani si kama American waso penda amani wataka wawe wao kwani wao mungu😂😂😂

  • @hassangaddafi2347
    @hassangaddafi2347 หลายเดือนก่อน +9

    One love mr Putin ❤❤🇷🇺🇷🇺🔥🔥🇰🇪🇰🇪💪💪

    • @user-ob9nu5dp1s
      @user-ob9nu5dp1s หลายเดือนก่อน +2

      Good 🇨🇳🇷🇺🇰🇪🇰🇵🇹🇿💪💪💪💪

  • @lydialaurian4734
    @lydialaurian4734 หลายเดือนก่อน +3

    Just imagine JPM angekuwepo... Lazima huyu mwamba angepiga ziara yake Tanzania pia... Dah!

  • @RajabuHussein-to7jz
    @RajabuHussein-to7jz หลายเดือนก่อน +6

    China oye uruss oye sasa kazi moja tu ni kutandika mashoga mpaka wanyooke

    • @hamisiomari7624
      @hamisiomari7624 หลายเดือนก่อน +1

      + Iran na Korea kaskazin

  • @iddykivu1336
    @iddykivu1336 หลายเดือนก่อน +5

    Sio Uvamizi ni Oparation ya kijeshi Embu Rekebisha kauli Yako

  • @DM_15
    @DM_15 หลายเดือนก่อน +5

    Binafsi nishabiki wahao jamaa Korea Russia China kwangu mimi nawakubali sana

  • @ngendakumanajeanmarrie7490
    @ngendakumanajeanmarrie7490 หลายเดือนก่อน +2

    Nimependa hiiziala putin ❤❤

  • @consult_alex9411
    @consult_alex9411 หลายเดือนก่อน +6

    "...Msaada mkubwa kwa sekta ya viwanda vya ulinzi wa urusi katika mfumo wa bidhaa kama zana za mitambo......." Damn This is professional at its finest....

    • @omarzinga7046
      @omarzinga7046 หลายเดือนก่อน

      Hater damn improve ur folks skills

  • @user-gu9jq5rq4v
    @user-gu9jq5rq4v หลายเดือนก่อน

    M mungu awalinde viongozi hawa🎉❤❤🎉❤❤❤🎉

  • @Nuru-zr2yv
    @Nuru-zr2yv หลายเดือนก่อน +3

    Vichwa 2 htr

  • @mlelwatv5831
    @mlelwatv5831 หลายเดือนก่อน +3

    Ila mi kiukweli napenda sana jinsi puttin anavyo tembea 😊😊

  • @JohnCage-we6tp
    @JohnCage-we6tp หลายเดือนก่อน +4

    Kumbe marekan mpka vyuo vya kijeshi yey anaweka vikwazo t hii kwel htr uyuu marekan nani kwan

  • @ItzNketiah
    @ItzNketiah หลายเดือนก่อน +4

    Xi & Putin 🇳🇱🇨🇳

  • @piterasifa3757
    @piterasifa3757 หลายเดือนก่อน +1

    Nimependa hiyo

  • @shabiruponera4323
    @shabiruponera4323 หลายเดือนก่อน +1

    Hivi Hawa miamba wakikutana huwa wanatumia lugha gani ku communicate maana Putin sijawai ona akiongea kingereza

  • @peterdavid20149
    @peterdavid20149 หลายเดือนก่อน +1

    Ikiwa Marekani inataka kuvunja nguvu ya urusi au china ni lazima iachane na njia za vita. Na ifanye urafiki wa karibu sana na mmojawapo kati ya china au urusi na kwa vyovyote mojawapo atakufa kiuchumi na kijeshi

    • @nizarrama225
      @nizarrama225 หลายเดือนก่อน

      ngumu sana Dunia hii siyo ile, janjajanja zote za marekani zimeshajulikana so hawawezi na hawatoweza 😅! China na Russia wameshamaliza hapo kilichobaki ni marekani kudili na maisha yake tu

  • @peterkimati7003
    @peterkimati7003 หลายเดือนก่อน +6

    🎉🎉🎉🎉🎉

  • @Gody360
    @Gody360 หลายเดือนก่อน +3

    China

  • @samwelynzaly1175
    @samwelynzaly1175 หลายเดือนก่อน +4

    Nice Putin ila umewanyosha

    • @atutweve4160
      @atutweve4160 หลายเดือนก่อน

      😳🙄🙄🙄🙄sababu wanamtegemea kwa chakula na afya?

  • @africanmandetraveler2847
    @africanmandetraveler2847 หลายเดือนก่อน +1

    I can't wait to listen how Ally Masubi and Dj smaa watakavyo lichambua hili .Nawakubali sana cz ni generation fulani isiyokubali kulewa na propaganda za western mainstream media. SnS chini ya comrade Fredrick Bundala ni zaidi ya BBC,CNN,FOX NEWS na vyombo vingine vinavyopotosha .

  • @HusseinSaguti-sj9nh
    @HusseinSaguti-sj9nh หลายเดือนก่อน

    Nato na shoga wao marekani waoga sn
    Aambiwa umoja wakujihami kwa mrusi
    Inamaana kawazid uwezo ndio maana wakaungana na pia wamefeli
    Wamekua kam kundi la nzi na kinyes

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything หลายเดือนก่อน

    ✌️👍👊.

  • @user-ob9nu5dp1s
    @user-ob9nu5dp1s หลายเดือนก่อน +1

    ❤🇨🇳🇷🇺💪👏👏👏👏

  • @-vu2cs
    @-vu2cs หลายเดือนก่อน +1

    Putini anavyotembea huyu ni kamanda kabisaa

  • @alitomorrow166
    @alitomorrow166 หลายเดือนก่อน +1

    KURA NI ZAKO KAKA SKY

  • @CharafimalisalimoAli-qw3hk
    @CharafimalisalimoAli-qw3hk หลายเดือนก่อน

    HALAF WAZEE FYUZ SISI WANA FYUZ , HAYO MAPENDELEZO 12. TUNAOMBA MTUFAHAMISHE CHINA ALITAKA YAPI !!!!!!!.

  • @PaulMau-mv9pj
    @PaulMau-mv9pj หลายเดือนก่อน

    Putin live long.

  • @msukumamnywamaziwa2785
    @msukumamnywamaziwa2785 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤❤❤❤❤❤😂❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉

  • @malickabbas8271
    @malickabbas8271 หลายเดือนก่อน

    🫡

  • @josephatmbilinyi8947
    @josephatmbilinyi8947 หลายเดือนก่อน

    Nato ni chombo Hatari usipime

  • @Aminmwansile-we8vn
    @Aminmwansile-we8vn หลายเดือนก่อน

    Huyo putini hivi marekani ameshindwa kumlipua juju kwa juu huyo jamaa anayeua watu huko Ukraine?

    • @SamweliJacob-bm2ij
      @SamweliJacob-bm2ij หลายเดือนก่อน +2

      Wapelekee kombola wakamlipue wend wamekosa kombola hao mashogawenzako

    • @Aminmwansile-we8vn
      @Aminmwansile-we8vn หลายเดือนก่อน

      @@SamweliJacob-bm2ij shoga wewe unayemshabikia kibaka Putin anayeua watu bila sababu za msingi

    • @Aminmwansile-we8vn
      @Aminmwansile-we8vn หลายเดือนก่อน

      @@SamweliJacob-bm2ij shoga wewe unayemshabikia kibaka Putin anayeua watu bila sababu za msingi

  • @atutweve4160
    @atutweve4160 หลายเดือนก่อน

    Maskini watoto wadogo badala wakacheze huko waenjoy wanamrukia rukia mwanasiasa 😭😭 ( wenye shobo yakuolewa wote watacomment hapa)😉

    • @africanmandetraveler2847
      @africanmandetraveler2847 หลายเดือนก่อน +4

      Bora ungekaa kimya au uache umbea ,unataka kuniambia watanzania wanao mshangilia bibi titi anapozuru sehemu yao nao ni wajinga.Acha wivu wewe mmarekani wa Buza😂😂😂

    • @jacksonamos2008
      @jacksonamos2008 หลายเดือนก่อน +1

      Wanafundishwa usalendo wa nchi yao

    • @suleislim4519
      @suleislim4519 หลายเดือนก่อน +5

      Kuweka kumbukumbu kubwa kidunia ni bora kuliko kucheza cheza mtaani na kuimba singeli

    • @carmp3
      @carmp3 หลายเดือนก่อน +1

      Wivu huo

    • @atutweve4160
      @atutweve4160 หลายเดือนก่อน

      @@africanmandetraveler2847 mbona povu acha shobo na comment yangu 🙄🙄

  • @peterkimati7003
    @peterkimati7003 หลายเดือนก่อน +2

    🎉🎉🎉🎉🎉