Ni nzuri sana hii ikulu ya Russia, Moscow Kremlin. Ni pazuri kushinda ikulu zote duniani. Ni dhahabu tupu kule ndani. Ni fahari ya Russia. Ahsante sana!!
Yani sky ukisimulia ishu fulani unakomesha kinoma, eti " cheza hovyo ukione chamtema kuni, ukiwa ndani ya ukumbi huu", 😂😂😂, yote kwa yote unajua sana sky big up.
Inapendeza kama anaenda kanisani kusari🙏🙏 Mimi siyo muhumini wa proud to nyokonyoko😂😂 mwamba Yuko siruas sana na uhakika kunadini moja2 urusi ndo maana Amna ugaidi kabsa💪
Hakuna sehem hakuna waislam kwass dunian urusi mbona waislam wapo na hakuna sehem dunian kwass hakuna msikit fatilia vzr broo ila wanakuwa waislam kidogo tu
@@mussaabobakar7537 Sasa wakishakuwa kidogo wana kuwa hawazingatiwi kabsa🤔🤔 kiufupi wana kuwa hawana sauti, serikali Ina wachukulia kama taasisi ndogondogo🦴💀 wazungu 90% duniani kote huwa hawa hawaikubali dini ya uislam coz wanajua wakisha kuwa weng hawachelewi kuibadirisha nch kuwa kama dini🥱🥱baada ya hapo mnakuwa under contro chini ya waarabu k2 ambacho putini Kim jong UN,Xl jinping Biden nawababe wengine duniani kote huona ni upuuzi kabsa 🖤🔥ni amini Mimi nch za wazungu hiyo dini haiji kuota mizizi kabsa itaendelea kuendeshwa kama taasisi changa🙏🙏labda huku afrika kwenyewe watachipua wawezavyo coz m Africa yeye yeyote atakaye mpa chakula huyo atamtii🧷💀
nikimuonaga uyu mzee najiskia uraaa yani najua magu yupo ikubwa zaid 👊uchumi 💪 ss uku bongo paka wanafki wafe nasio leo miaka miamia 😢adui wa africa nimufrica mweyenyeww
Fata dunia inapoelekea ujifunze kitu kupitia urkain wenye akili kama zako leo wanajutia nafsizao wamekua wakimbizi wanaenyanyasika kwasasa akili zakuambiwa changanya nazako 😂😂😂😂
Sisi Binaadamu.wa Afrika tumechoka na Ubabe wa Taifa La Marekani tunaitaji Mbabe Mwingine nae tuangalie atatupeleka wapi Maana Marekani imetupeleka kwenye Ushoga na Usagaji tu
Sky ikulu ya Dodoma ndio ina balaa n ya kifahari kweli kweli 😂😂😂ina kumbi sita za kifahar...Magufuli hall, Jk hall,Mwinyi hall, Nyerere hall, Kizimkazi hall
Nilifikir ntakua wa kwanza kweny hii makala ila daaah Kuna watu wapo macho zaid yangu naomba hata like bas😂😂❤ ndugu zangu.
Taifa kam hili ndio linasifa zote za kuitwa taifa la mungu
Sns the best simulizi platform in Africa
Sky unatupatia habari safi na makini🎉🎉🎉
Asante hili jengo hakuna lakulifananisha duniani
Jamaa ukovzr saana kaka p1 saana
Brother sky you're my rolmodel 🔥
Naomba like 10 kwa watakao kuja nyuma yangu
Huyo ndio kiongozi Bora duniani
This is best take👊 sky
Ni nzuri sana hii ikulu ya Russia, Moscow Kremlin. Ni pazuri kushinda ikulu zote duniani. Ni dhahabu tupu kule ndani. Ni fahari ya Russia. Ahsante sana!!
Daaa ikululu ya urusi ni hatar
ona hao wanajeshi wanavyomuangalia PUTIN
Kujenga Dodoma ila kuishi Dar
Ndo hapo, ndomaana viongozi wa urusi walihamua wapendezeshe mji uho na ikulu iyo ili wakae hapo hapo
Hii nzuri sana @ sky
Huyu mzee ana miaka 71 lakini bado yoko strong
Ni kwasababu ni mhitimu wa sanaa za mapigano Karate mwenye kumiliki mkanda wa (black belt)
Nomah sana Sky
huu mjengo ni hatari sana
Mimi najiuliza inawezekana hawa hawaendi hata chooni
Kwa nje ikulu ya marekani ina muonekano mzuri ila kw ndani ya marekani itasubiri sana.
Sky story umeifanya ndogo kwel😢😢😢😢 mm hua natamn mda wote niwe nasikiliza hbr za urusi kwa kiswahili
Na mm pia naikubali Russia si mchezo
❤
Unaelezea vizuri kwakweli
Nouma sana
Nimekubali
Asante ❤
Siku utuonyeshe uyo Frank Ranchman
back to back mzee wangu, hongera kwa kutokulaza damu.
Hatar sana
Mimi leo nimekua mtazamaji wa 850😂😂😂watu hamlali
🇹🇿🤝🇷🇺
Wakwanza
SnS🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
71 Yuko fiti hivo
🇷🇺💪👍
Ikuru ya urusi ni nzuri tangu mwaka 1022
Yani sky ukisimulia ishu fulani unakomesha kinoma, eti " cheza hovyo ukione chamtema kuni, ukiwa ndani ya ukumbi huu", 😂😂😂, yote kwa yote unajua sana sky big up.
Awesome information!
❤❤
Wow,thanx alot bro kwa news 📰
Sky tunamba utembelee mosko ili uje utusimulie mna sasa umewachoka wamarikani
Noma sana 💪💪💰💰💰👊👊💪
🔥🔥🔥🔥
Uraaaaaaaaaaaa
Kifahari inje na ndani.
Hakika IPO vizur
Huyu Frank Rachman ni nan aisee..?? na anausika na nn kngne hapa SNS?
Mwambaaa putin
Iyo sauti tu ndo unifanya niwe makini kukusikiliza kaka #SKY
Putin 🙏🙏🙏🙏🙏🇧🇮🇧🇮🇧🇮❤❤
Sasa ngoja tuendelee kushangaa😮😮😮
Nipazuri kabisa
🎉🎉🎉❤❤❤
Neti imerudu mubashara
Nakusikia kaka sky vile unavyotamka majina ya miji hiyo 👏👏👏🤣🤣🤣🤣
From Nairobi . Sky tunatamani Sana Uwe mtangazaji Wa crown media
Yani atoke kwenye media yake akaajiriwe ha mtu kweli jmn 😱
@@allymatilda7519 millad ayo ana media . Mbona kaajiriwa clouds media . Jiongese
Mimi ni wa 12784
Habari za urusi huwa hazichoshi, unataman kusikia muda wote!! Nachaoipenda Russia si watu wa sifa au kuanika vitu vyao...
Viva Putin
Makala ziwe kila week. Umekua unapotea Kaka.
Tulimis makala 360😊
Namuomba Mungu amlinde sana Puti amjaze nguvu nyingi sana natamani aya mahgaribi yafe yote, mafiraji,aya
Inapendeza kama anaenda kanisani kusari🙏🙏 Mimi siyo muhumini wa proud to nyokonyoko😂😂 mwamba Yuko siruas sana na uhakika kunadini moja2 urusi ndo maana Amna ugaidi kabsa💪
Hakuna sehem hakuna waislam kwass dunian urusi mbona waislam wapo na hakuna sehem dunian kwass hakuna msikit fatilia vzr broo ila wanakuwa waislam kidogo tu
@@mussaabobakar7537 Sasa wakishakuwa kidogo wana kuwa hawazingatiwi kabsa🤔🤔 kiufupi wana kuwa hawana sauti, serikali Ina wachukulia kama taasisi ndogondogo🦴💀 wazungu 90% duniani kote huwa hawa hawaikubali dini ya uislam coz wanajua wakisha kuwa weng hawachelewi kuibadirisha nch kuwa kama dini🥱🥱baada ya hapo mnakuwa under contro chini ya waarabu k2 ambacho putini Kim jong UN,Xl jinping Biden nawababe wengine duniani kote huona ni upuuzi kabsa 🖤🔥ni amini Mimi nch za wazungu hiyo dini haiji kuota mizizi kabsa itaendelea kuendeshwa kama taasisi changa🙏🙏labda huku afrika kwenyewe watachipua wawezavyo coz m Africa yeye yeyote atakaye mpa chakula huyo atamtii🧷💀
Wewe razima uikosoe marekani nina wasiwasi unaupendeleo wote wana nguvu marekani urusi na china na nguvu zao zinashamili zinafanana
👊👍✌️。
Tulimis makala 360
Laki na sisi tungeijenga dodoma kama nia ya mkuu ilivyo kuwag
Hapo kwenye vloloskai.. 😂 sky ngoja tukuchunguze
🤌🤌🤌
nikimuonaga uyu mzee najiskia uraaa yani najua magu yupo ikubwa zaid 👊uchumi 💪 ss uku bongo paka wanafki wafe nasio leo miaka miamia 😢adui wa africa nimufrica mweyenyeww
Hapo nadhani hakuna hata inzi😅
Angalau wao wamefanya huo Uchaguzi lkn Ukrain-Zelensky muda wke wa Urais unaishia 21/05/024 na tyr wameghairisha uchaguz huo
Viva Russia 🙏🙏
Russia 🇷🇺 🔥🔥
White House looks amazing,, I love it
Ukraine watashindwaje kumtambua Putin, kua ndiye rais wa Russia na kwa sasa ni miaka miwili anae wakosesha amani?
Mbona ilishambuliwa na drone
Kashambulie na leo
Sasa ilikuwaje kale kadrone ka Ukraine kakaipiga Kremlin
Fata dunia inapoelekea ujifunze kitu kupitia urkain wenye akili kama zako leo wanajutia nafsizao wamekua wakimbizi wanaenyanyasika kwasasa akili zakuambiwa changanya nazako 😂😂😂😂
Iliachiwa makusudi ili waone je kale ka drone kama itafikia jengo la Kremlin. Haikugonga jengo, ilisambaratishwa na ulinzi wa jengo hilo. Upo.
Nipo nyonyo
@@lameckraphael3743 hahahahaha acha dharau bana
@@user-cw8zn2dn6m 🤣🤣 nisameh
Sisi Binaadamu.wa Afrika tumechoka na Ubabe wa Taifa La Marekani tunaitaji Mbabe Mwingine nae tuangalie atatupeleka wapi Maana Marekani imetupeleka kwenye Ushoga na Usagaji tu
Kwel kabisa
Joe biden could not walk for that long distance by himself like putin
Hakuna drone ilishapigaga clemlin ilipanguliwa umbali mrefu hapo hata sindano haipenyi
Hicho kijengo ni cha kawaida acha story mtu akitaka kupiga anapiga
Wasiomtambua wote watakuwa mashoga
MTIGA ABDALLAH YUKO WAPI?? NA ANAFANYA NINI??
Sky ikulu ya Dodoma ndio ina balaa n ya kifahari kweli kweli 😂😂😂ina kumbi sita za kifahar...Magufuli hall, Jk hall,Mwinyi hall, Nyerere hall, Kizimkazi hall
Umerongwa
@@MauaLucas-st6be Tutakua wote tumerogwa😂
@@MauaLucas-st6be Tutakua wote tumerogwa😂
Lakin mbona mashoga walipeleka dron
ila zilidunguliwa kabla ya kufanya madhara
❤