SIRI nzito ya kwanini UFARANSA, ECOWAS & EU wanaikomalia sana NIGER - Na DJ Sma

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 20 ส.ค. 2023
  • Follow kurasa zetu za mitandao ya kijamii:
    / simulizinasauti
    / simulizinasauti
    / simulizinasauti
    / simulizinasauti

ความคิดเห็น • 282

  • @hassanlikwenangu8471
    @hassanlikwenangu8471 10 หลายเดือนก่อน +5

    Nigeria black wenzetu wanatuangusha sana, ndio maana BRICS wamewatema!

  • @regnalddanda9364
    @regnalddanda9364 10 หลายเดือนก่อน +1

    Toka Njombe ,ahsante sana .elimu nzuri

  • @emmanuellehani9698
    @emmanuellehani9698 10 หลายเดือนก่อน +7

    Natoka Marekani, Indiana. Mm bado ndo nimeanza kukufatilia nimevutiwa sanana nauchambuziwako 7bu hunatowa ushaidi wauwakika. Hongera sana. Soon utapata supports zetu.

    • @arbogastnyaulingo3560
      @arbogastnyaulingo3560 10 หลายเดือนก่อน

      Hongera sana kwa uchambuzi makini wa makalu za kimataifa nipp tayali kutoa support ili tuweze kupata madi ya nguvu kaka

  • @idrisirakoze2235
    @idrisirakoze2235 9 หลายเดือนก่อน +1

    Mwenyezi mungu akujaliye baba kwakuamsha wa africa

  • @billskeez92
    @billskeez92 10 หลายเดือนก่อน +1

    Aise bro unatupa darasa to Sha👏👏👏

  • @KIMEA995
    @KIMEA995 10 หลายเดือนก่อน +1

    Ahsnte kwa uchambuzi mzuri bro karibu Arusha

  • @emanueljohn9240
    @emanueljohn9240 10 หลายเดือนก่อน +1

    Brother I like your content najifunza vingi sanaaaaaaa brother MUNGU akuweke inshallah

  • @matukiotvonline6366
    @matukiotvonline6366 10 หลายเดือนก่อน +3

    Asantee ustadh smaaaaa 🎉❤ from PEMBA upembani nawakilisha 🎉🎉

  • @khalifaalmugheiry9232
    @khalifaalmugheiry9232 10 หลายเดือนก่อน +3

    All the from 🇴🇲🇴🇲🇴🇲🇴🇲🇴🇲🇴🇲
    Siwezi nikapitwa na darasa lako naelewa vipi unavopata tabu kutuletea haya madini na kote huko hatuyapati hapa ndio nyumbani, big up dj.sma✊🏾😎

  • @didoniwa4206
    @didoniwa4206 10 หลายเดือนก่อน +1

    uko vizuri mkuu from south Afrika

  • @morganyiskaka815
    @morganyiskaka815 10 หลายเดือนก่อน +6

    Mungu akupe afya unatupa mambo mazur sana
    From Rukwa

  • @user-mz9lb2em1y
    @user-mz9lb2em1y 10 หลายเดือนก่อน +1

    Ahsante sana dj. Ss tunaelewa ishu nzima endelea kaka mm naitwa msuri kaita natoka mwanza wilaya nyamagana.

  • @JohnMhagama-jr3hn
    @JohnMhagama-jr3hn 10 หลายเดือนก่อน +1

    Dj sma naskiza madin haya nikiwa muheza tanga .namkubali Sana kazi zako

  • @subetizaid6515
    @subetizaid6515 10 หลายเดือนก่อน +2

    Allah bless you dj smaa

  • @ismailradjabu3871
    @ismailradjabu3871 10 หลายเดือนก่อน +5

    From south Africa, naomba hata kila siku huwe na tudondosheya kitu, duuh big up saana dj sma. Mimi ni mcongo

    • @davidcurtis175
      @davidcurtis175 10 หลายเดือนก่อน

      Haina haja ya kusema wewe ni mkongo, mkongo mtanzania mkenya mganda mrwanda mburundi mmalawi na wengine wote siwezi maliza hapa wewe mimi dj sma wote ni watoto wa mama Afrika, tusijbague kwa kutaja mataifa, japo najua lengo lako ni Dj Smaa ajue ana watu wanaomsikilaza mpaka Congo si vibaya sana japo usipendelee sana kujitambulisha kama ni mkongo au mtanzania.

  • @issagervase9588
    @issagervase9588 10 หลายเดือนก่อน +1

    nakukubali my brother tuwaombee sanaa naiger washinde hii vita Endapo naiger watashinda Africa tumeshinda

  • @Sifa_bendera_bilove
    @Sifa_bendera_bilove 10 หลายเดือนก่อน +1

    Nakusikiliza nikiwa America, mu africa damu, big up sana

  • @emmanueljonas84
    @emmanueljonas84 10 หลายเดือนก่อน +2

    Dj smaa machozi yamenitoka.Asante sana 🙌🙌🙌👏👏

  • @robertnkyalu3241
    @robertnkyalu3241 10 หลายเดือนก่อน +2

    Wewe ni mchambuzi Bora kutokea ktk kizazi hiki
    Big up bro !!

  • @ahmuhally4430
    @ahmuhally4430 10 หลายเดือนก่อน +3

    Tuko pamoja sana DJ Smaa kutokea Harare,Zimbabwe

  • @alhajjwaupe4593
    @alhajjwaupe4593 10 หลายเดือนก่อน +1

    asante sana kaka nime kupata vizuri sana kutoka saudi arabia

  • @amadecassamo1606
    @amadecassamo1606 10 หลายเดือนก่อน +4

    Dj sma nakufuatilia kutoka Mozambique❤

  • @khamisshee803
    @khamisshee803 10 หลายเดือนก่อน +2

    Waalekum musalam warahmatullah wabarakatu
    Aka bachuchu Mombasa 001
    🇰🇪🔥🇰🇪🔥🇰🇪🔥

  • @abdullysaid2584
    @abdullysaid2584 10 หลายเดือนก่อน +1

    Nimeelewa vizuri sana

  • @zephaniamanembe6929
    @zephaniamanembe6929 10 หลายเดือนก่อน +1

    Nakusikiliza kutoka Mza kisesa, nakupata vizuri

  • @YohanaMboma-vz3sl
    @YohanaMboma-vz3sl 10 หลายเดือนก่อน +1

    Iko vizuri sana,Asante kwa point mbili nzito.

  • @MohammedMgao
    @MohammedMgao 10 หลายเดือนก่อน +1

    Nakupenda sana elimu yako kakupa mungu tutetee mungu akulinde

  • @user-eg6uq2eo9u
    @user-eg6uq2eo9u 10 หลายเดือนก่อน +1

    Big up xana kakaa

  • @maiyussuf9324
    @maiyussuf9324 10 หลายเดือนก่อน +1

    Asante sana

  • @eduardozacariasgabrieledua9981
    @eduardozacariasgabrieledua9981 10 หลายเดือนก่อน

    Big up brother nakupata kutoka Mozambique/Pemba

  • @LaurentEmmanuel-zb3cd
    @LaurentEmmanuel-zb3cd 10 หลายเดือนก่อน +1

    Ninakueliwa br pamoja sana

  • @hajinachembe4310
    @hajinachembe4310 10 หลายเดือนก่อน +2

    Masasi Mtwara, big up dj smaa, yaani ukikaa zaidi ya siku tatu hujatupa up date nakua nimechokaaa maana habari zako ni naoumaa

  • @shafiibakar704
    @shafiibakar704 10 หลายเดือนก่อน +1

    Nasikia from zanzbar dj sm

  • @billskeez92
    @billskeez92 10 หลายเดือนก่อน +1

    Dj Sma Mii nimshabiki wako kindaki ndaki👌👌👌

  • @Supershopdubai-ck8td
    @Supershopdubai-ck8td 10 หลายเดือนก่อน +2

    DJ sma unaweza bro nakupenda from 🇧🇮👊🖤

  • @MohammedMgao
    @MohammedMgao 10 หลายเดือนก่อน +1

    Ongela sana mungu akulinde Mohammed mgao kutoka songea

  • @kassimbayuu5217
    @kassimbayuu5217 10 หลายเดือนก่อน +1

    Ahsante

  • @user-id7wx2wj1e
    @user-id7wx2wj1e 10 หลายเดือนก่อน +3

    Unajua bro mnoo natamani ungekuwa hata kaka yangu wa damu 😥 jinsi navyopenda sana hizi analysis kutoka kwako,Much Love ❤️ endelea kutupa elimu achana wale wasiojielewa kazi kukoment pumba 😂😂

  • @ramamfunga-jl6tl
    @ramamfunga-jl6tl 9 หลายเดือนก่อน +1

    Well spoken brother

  • @nuruaiwen9536
    @nuruaiwen9536 10 หลายเดือนก่อน +1

    Asante kwa kutufumbua macho, from mabella muscat oman

  • @asiri-romy-simba3671
    @asiri-romy-simba3671 10 หลายเดือนก่อน +1

    All the way from 🇿🇲🇿🇲🇿🇲 lsk

  • @AliAli-no3eq
    @AliAli-no3eq 10 หลายเดือนก่อน +1

    Thank you DJ for your time

  • @issamaulidi8860
    @issamaulidi8860 10 หลายเดือนก่อน +1

    From USA 🇺🇸 state Rhode Island city 🏙️ providence 🧟‍♂️

  • @bakariomari8758
    @bakariomari8758 10 หลายเดือนก่อน +1

    Kutoka, dubai upo vizuri kaka smaa

  • @mcmetroboom530
    @mcmetroboom530 10 หลายเดือนก่อน +1

    Kaka tubaenjoy sana unajua mkuu dany from mbeya

  • @khalfanmlala5093
    @khalfanmlala5093 10 หลายเดือนก่อน +1

    Daaa! Watupatie nchi zetu waizi sana from kigoma

  • @mwalimudavidkizazihuru
    @mwalimudavidkizazihuru 10 หลายเดือนก่อน +1

    Kwakweli unafanya kazi nzuri kaka, huu ni uchambuzi ilioenda shule na wakizalendo kabisa ❤❤

  • @davidwalalason7630
    @davidwalalason7630 10 หลายเดือนก่อน +1

    Listening n watching from Bahrain.

  • @mutetimusa4698
    @mutetimusa4698 10 หลายเดือนก่อน +1

    Kenya apaa bro musa mteti nachek sana

  • @frankthobias-ux7lj
    @frankthobias-ux7lj 10 หลายเดือนก่อน +1

    Dj smart upo vizuri unaongea facts. Nimfuasi wako kindakindaki. Kigoma

  • @damianandrew3074
    @damianandrew3074 10 หลายเดือนก่อน +1

    Respect sana bro

  • @HemediAhmedi
    @HemediAhmedi 10 หลายเดือนก่อน +1

    Shukrani sana kaka

  • @Majhidymhessa
    @Majhidymhessa 10 หลายเดือนก่อน +1

    DJ Sma
    Ninakupata na kukufuatilia toka "PADOVA"Italy
    I love you DJ Sma

  • @rogerslwitiko3915
    @rogerslwitiko3915 10 หลายเดือนก่อน +4

    Nchi zote za Kiafrika inatakiwa ziamke km wenzao wa nchi za Guinea,Mali, Burkina Faso na Niger kupinga Unyonyaji, Ukoloni Mamboleo,Ubeberu na Utumwa wa kifikra kutoka nchi za America na Ulaya pia kuja na njia mbadala za kujiinua Kiuchumi,Kisayansi na Teknolojia maana Afrika imebarikiwa kuwa na kila kitu kitakacho chagiza maendeleo la Bara la Afrika,Mm natokea Mbeya mjini ila kwa sasa nipo Chato, Mganza Mkoa wa Geita

  • @joggy96
    @joggy96 10 หลายเดือนก่อน +1

    Thanks sana brother for the knowledge ...love from saudi arabia

  • @Dadydadonmiki-dg3nl
    @Dadydadonmiki-dg3nl 10 หลายเดือนก่อน +1

    Big up bro.

  • @alibinali_
    @alibinali_ 10 หลายเดือนก่อน +1

    Thanks for this

  • @sombochristian8373
    @sombochristian8373 10 หลายเดือนก่อน +1

    From Stockholm 🇸🇪

  • @hassangaddafi2347
    @hassangaddafi2347 10 หลายเดือนก่อน +1

    Asante sana mkuu tuko pamoja ❤❤❤❤❤❤

  • @hassanpashua
    @hassanpashua 10 หลายเดือนก่อน +1

    Nmechelewa kiasi from Kenya bigup

  • @joe_was_here.
    @joe_was_here. 10 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu akubaliki kaka 🙏

  • @adammed6037
    @adammed6037 10 หลายเดือนก่อน +1

    Good job
    Frm dar es salaam

  • @prospersanga7942
    @prospersanga7942 10 หลายเดือนก่อน +1

    Unajua Sana 🙌

  • @dominiquedavid87
    @dominiquedavid87 10 หลายเดือนก่อน +1

    big up

  • @mikidadmhando2504
    @mikidadmhando2504 9 หลายเดือนก่อน

    Umetufungua macho na masikio, Waafrika hiarini kusuka ama kunyoa, kazi tunayo, Mungu atunusuru

  • @ibnujumanne4054
    @ibnujumanne4054 10 หลายเดือนก่อน +1

    Dhahiri ni kwamba ukithubutu kuelezea ukweli wa Uganda utafungiwa hlafu haya madin tutayakosa tuachie wanafyuzi tufatilie wenyewe kimyakimya, shukrani bro.🤝
    ibnu Jumanne nakufuatilia nikiwa S.A

  • @nick1o7bang17
    @nick1o7bang17 10 หลายเดือนก่อน +11

    Bless up from 🇺🇸

    • @emmanuelmlowe-ew7gx
      @emmanuelmlowe-ew7gx 10 หลายเดือนก่อน

      kwa nini Marekani wanaficha idadi ya wanajeshi wa nato,wingereza, ujerumani,marekani Ufaransa wanao kufa vitani nchini Ukraine ?. au ni magogo yanakuwa siyo watu? haki za binadamu hawaoni? haki za binadamu wanashirikiana na marekani kuficha ukweli kwasababu haki za binadamu ni mali ya marekani. ingekuwa ni Africa hawatangazi asikari wanaokufa marekani angeweza vikwazo.angetuma kikundi chake kinachojiita haki za binadamu waje kulazimishwa wanajeshi wanaokufa watangazwe lakini yeye anaficha kuogopa aibu na rawama kimataifa jinsi wanavyo kufa wanajeshi wengi.

  • @DafiMohamed-dz8xk
    @DafiMohamed-dz8xk 10 หลายเดือนก่อน +1

    Upo sahihi kabisa Dj Sma

  • @asiri-romy-simba3671
    @asiri-romy-simba3671 10 หลายเดือนก่อน +1

    Big up

  • @manzimanzi4456
    @manzimanzi4456 10 หลายเดือนก่อน +1

    Ahsnte sana..Nakusikiliza nakuelewa pia.

  • @habibumnibo4000
    @habibumnibo4000 10 หลายเดือนก่อน +3

    Watatu. 😂

  • @amissibekere2880
    @amissibekere2880 10 หลายเดือนก่อน +1

    Safi sana

  • @mwenendoassani9127
    @mwenendoassani9127 10 หลายเดือนก่อน +1

    Yani ni Atari kbs awani djiya ya kum kwepa kbs Mrussi 😂😂😂😂😂 DJ SMA ❤❤❤❤❤

  • @Steve.3175
    @Steve.3175 10 หลายเดือนก่อน +1

    Hapa ndio nimeelewza vzr

  • @ntwarimuhammad7742
    @ntwarimuhammad7742 10 หลายเดือนก่อน +1

    From 🇧🇮

  • @J4UPro
    @J4UPro 10 หลายเดือนก่อน +1

    Safi sana kiongozi

  • @hamzahuseni2555
    @hamzahuseni2555 10 หลายเดือนก่อน +1

    Ok mkuu❤

  • @abubakaralamoody2667
    @abubakaralamoody2667 10 หลายเดือนก่อน

    From Mombasa Kenya kusema kweli uchumi wa Western watoka Africa na sisi wa Africa hatujakuwa united hayo maoni yangu

  • @sakuranitillya6088
    @sakuranitillya6088 10 หลายเดือนก่อน +1

    Upo vizur sana kaka mungu akupe maisha marefu uendele kutupa madini nakufatilia sana

  • @amadecassamo1606
    @amadecassamo1606 10 หลายเดือนก่อน +1

    Nakwelewa sana ndugu

  • @eliamdeka9279
    @eliamdeka9279 10 หลายเดือนก่อน +3

    Wakwanza like zangu

    • @djsma255
      @djsma255 10 หลายเดือนก่อน

      🎉

  • @user-km7rw2ov6w
    @user-km7rw2ov6w 10 หลายเดือนก่อน +1

    From znz
    Please elezea kuhusu hiyo vita ya kagera

  • @njololoilashikon4978
    @njololoilashikon4978 8 หลายเดือนก่อน +1

    💯 from 🇮🇩 Kazi nzuri kaka

    • @Gulfnas1
      @Gulfnas1 6 หลายเดือนก่อน

      Mwamba, inakuaje??

    • @Gulfnas1
      @Gulfnas1 6 หลายเดือนก่อน

      Naomba kuongea na wew

  • @sinziadinasi1920
    @sinziadinasi1920 10 หลายเดือนก่อน +1

    From ruangwa,tupe tz vs uganda war

  • @RamazaniMulongeca
    @RamazaniMulongeca 10 หลายเดือนก่อน +1

    Kutoka usa nakupata Vizuri sana..

  • @sadamslay2380
    @sadamslay2380 10 หลายเดือนก่อน +1

    Yaani unanifunguwa sana

  • @johnkitwima6963
    @johnkitwima6963 10 หลายเดือนก่อน +1

    One love bro . Mwanza 🇹🇿

  • @hassansempoi106
    @hassansempoi106 6 หลายเดือนก่อน

    Salute to you!!

  • @simonwambo8345
    @simonwambo8345 10 หลายเดือนก่อน +1

    Maoni yangu ni kwamba kwa hivi vita mrusi lazima ashinde ..naitwa simon dj sma nakuskiza kutoka kenya

  • @nashonmacokecha2481
    @nashonmacokecha2481 10 หลายเดือนก่อน +1

    Nakubaliana na yote ulisema ndiyo ukweli na niishaipata sehemu.
    Mtanzania

  • @francomwacha2262
    @francomwacha2262 10 หลายเดือนก่อน +1

    Dj sma nakukubali mnoo naenjoy kila nikifungua TH-cam nikakuta Habari hiz

  • @wadudi2741
    @wadudi2741 10 หลายเดือนก่อน +1

    Vizuri

  • @rwechunguraissa1394
    @rwechunguraissa1394 10 หลายเดือนก่อน +1

    Asante Sana mtaalamu wa current affairs, scientificallyj. Ukweli unazidi kuibuka duniani. Wazungu Ni zamu yao kulipa kwa dhulma ya mali walizotunyonya enzi za ukoloni wao

    • @ZIDANE_makiese
      @ZIDANE_makiese 9 หลายเดือนก่อน

      😅😅mbn mpk ssa wanaendelea

  • @baloziubalozini5074
    @baloziubalozini5074 10 หลายเดือนก่อน +1

    Vita sio best option at all!But kama watu wanawavamia ktk nchi yenu
    Best OPTION hapo ni kukinukisha nothin else

  • @jamesgasper6764
    @jamesgasper6764 10 หลายเดือนก่อน +1

    Huna baya Dj sma tupo nawewe ktk kuchambua Africa na dunia yetu kwa ujumla.

  • @robertokasike4824
    @robertokasike4824 10 หลายเดือนก่อน +1

    Hivi hawa AU wapo kweli kwanini wasiende kupambana na hawa ECOWAS

  • @jumamasele5793
    @jumamasele5793 10 หลายเดือนก่อน +1

    Dah we jamaaa unatisha sana

  • @venancembwaga-uw6kb
    @venancembwaga-uw6kb 10 หลายเดือนก่อน +1

    😂😂😂 marekan na ufaransa wamenaswa

  • @nayairon1450
    @nayairon1450 10 หลายเดือนก่อน +1

    Africa tungeungana tukarumia jeshi moja na pesa tungetumia tungekuwa na umoja inaitwa ALPF yaan AFRICA LOVE PEACE AND FREEDOM vita isingekwepo africa wala tusingetawaliwa kiakili na viongozi wetu wangekuwa na umoja Africa tumelala tuamkeni tuwe na umoja

  • @MohamediNdali-wm1rz
    @MohamediNdali-wm1rz 9 หลายเดือนก่อน

    Unaelezea vizur sana .moyo unauma sana Kwa unyonyaj huu wa france