Dulla Makabila amuangukia Majizzo, amlilia akiomba msamaha baada ya kumsema vibaya miezi iliyopita

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 28 ก.ย. 2024
  • Tembelea sns.co.tz/ kwa taarifa zaidi

ความคิดเห็น • 41

  • @jamilaathumani5481
    @jamilaathumani5481 3 หลายเดือนก่อน +14

    Dula nawewe unaongozwa Sana na hisia na mimud..badilika kila siku msamaha watu watakupuuzia..acha utoto

    • @maryamtan682
      @maryamtan682 3 หลายเดือนก่อน +1

      Huyu mtt ana shukrani, majizo kamsaidia sana. Ila umaarufu ndo unamsumbua.

  • @kassimabussa6583
    @kassimabussa6583 3 หลายเดือนก่อน +10

    Nilimkubali majizo sana maneno yote dulla aliyo zungumza majizo hakumjibu huo ndio kujitambua

  • @TrinaRoman345
    @TrinaRoman345 3 หลายเดือนก่อน +18

    Njaa ina desturi ya kummdondokea adui yako 😂😂😂😂

    • @modestmkali3436
      @modestmkali3436 3 หลายเดือนก่อน +1

      That’s right, njaa mbaya sana

    • @byaombembella5585
      @byaombembella5585 3 หลายเดือนก่อน

      😆😆🤣🤣 nimecheka San Na hii comment😄😄😄🎥

    • @eunicejohn5520
      @eunicejohn5520 3 หลายเดือนก่อน

      💯👏

  • @modestmkali3436
    @modestmkali3436 3 หลายเดือนก่อน +3

    Mama yangu aliwahi kuniambia Njaa huwa ina desturi ya kukuuliza ni sehemu gani hupapendi kutume huko? Njaa mbaya sana, usiombe Mungu akupitishe kwenye njaa,

  • @israeluronu9958
    @israeluronu9958 3 หลายเดือนก่อน +1

    Kama umegundua kosa Mungu akubariki!!!! Ila jifunze kuwaheshimu watu sababu kunasiku itakugarimu sana.

  • @BenjaSamson
    @BenjaSamson 3 หลายเดือนก่อน +4

    Kweli hunashukurani kama rubi majizo pole bangi inawasumbua mkiwa nahela Hela mia unaona milioni

  • @johanjoha5262
    @johanjoha5262 3 หลายเดือนก่อน +1

    Uyo dullah anaongeyaga sana tena anajiamini n'a Hana limite amuombe na mzungu wa zailisa

  • @Frankvanmuniko
    @Frankvanmuniko 3 หลายเดือนก่อน +5

    Maskini Hana Msimamo

  • @kdloon2030
    @kdloon2030 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mi ndiyo maana nikisha vutaga,stop ya kwanza hua ni chooni nakojoa then kitandani😢

  • @kelvinjohnson9698
    @kelvinjohnson9698 3 หลายเดือนก่อน +2

    Chizii

  • @ukhutfatumah1154
    @ukhutfatumah1154 3 หลายเดือนก่อน

    UGALI JAMN UNATOKA MBALI NAOMBA TUMSAMEHE JAMN PLEASE & PLEASE

  • @KassimAlly-xp4dz
    @KassimAlly-xp4dz 3 หลายเดือนก่อน +1

    Dula mjinga sn anajifanya ana hasira kumbe ni mshamba 2 apotezewe na media zote wamuache na utoto wake

  • @johnmichaellukindo21
    @johnmichaellukindo21 3 หลายเดือนก่อน +1

    Sina cha kukoment;

  • @LindaMbilinyi-n3n
    @LindaMbilinyi-n3n 3 หลายเดือนก่อน

    Ndo uaachage kukurupuka kabla ya kuandika shwain,bdo billnas utamwangukia piah😂😂😂😂😂😂

  • @DM_15
    @DM_15 3 หลายเดือนก่อน +2

    MUNGU FUNDI 😂😂😂😂

  • @freakboy1804
    @freakboy1804 3 หลายเดือนก่อน

    Boss hanuniwii

  • @SuleAmber-lw2tx
    @SuleAmber-lw2tx 3 หลายเดือนก่อน

    Watu wengi wa Dar wanaona kuropoka ni ujanja, shida yao ni elimu na uelewa mdogo

  • @sponsor7882
    @sponsor7882 3 หลายเดือนก่อน

    Masikini mna nn

  • @nassorabdul6703
    @nassorabdul6703 3 หลายเดือนก่อน

    Huyu Nisha mwona,,, ana shida kichwan mwake...

  • @TVT4888
    @TVT4888 3 หลายเดือนก่อน +1

    😂😂😂😂

  • @OmegaJustine
    @OmegaJustine 3 หลายเดือนก่อน

    Nyimbo haziendi

  • @JescaMwagama-oc9yt
    @JescaMwagama-oc9yt 3 หลายเดือนก่อน

    unasimamia haki haraf huna msimamo

  • @BrownHuncho-jt6oi
    @BrownHuncho-jt6oi 3 หลายเดือนก่อน

    choko ww dull au unaliwa

  • @Zenny89
    @Zenny89 3 หลายเดือนก่อน +1

    NJAA + USWAHILI + HAKUNA ELIMU = KUSHNEIIIII 🤣🤣🤣

  • @bbanyikwa
    @bbanyikwa 3 หลายเดือนก่อน

    Alijua Ameyamaliza hapa Duniani?
    Aache kuigiza na kuleta vichekesho apambane na hali yake

  • @lisawilliam2491
    @lisawilliam2491 3 หลายเดือนก่อน

    Tajiri hanuniwi 🤣🤣🤣🤣

  • @fatmasayid8895
    @fatmasayid8895 3 หลายเดือนก่อน

    Bangi kitu chengine😂😂😂

  • @geoufo2858
    @geoufo2858 3 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂😂😂😂

  • @TUMAINIMWILILA
    @TUMAINIMWILILA 3 หลายเดือนก่อน +3

    Jifunze uvumilivu brother kuropoka sio poa

  • @kelvinjohnson9698
    @kelvinjohnson9698 3 หลายเดือนก่อน

    Chizii

  • @bakundukizedjuma6341
    @bakundukizedjuma6341 3 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂

  • @frankngoloka5416
    @frankngoloka5416 3 หลายเดือนก่อน +2

    Ndiyo mana Dotto magari alimwambia anajichubua Hadi meno,kila media unaugomvi nao

  • @Rose-ue2ho
    @Rose-ue2ho 3 หลายเดือนก่อน

    Nyimbo mpya inakuja inaitwa "Naomba unisamehe*"😂

  • @salumsalum5712
    @salumsalum5712 3 หลายเดือนก่อน +1

    Kanakurupuka kila mara

  • @Mariam-fm8vq
    @Mariam-fm8vq 3 หลายเดือนก่อน

    Thezea ww😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂