Utata baada ya Mahakama kuamua wanafunzi wa dini wa Kiyahudi Ultra-Orthodox nao kwenda jeshini

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 28 ก.ย. 2024
  • Tembelea sns.co.tz/ kwa taarifa zaidi

ความคิดเห็น • 136

  • @HassanRamadhanPashua
    @HassanRamadhanPashua 3 หลายเดือนก่อน +12

    Nabii Ibrahim hana dini tatu ,dini yake ilikua moja tu Islam

    • @janesuma-is4wc
      @janesuma-is4wc 3 หลายเดือนก่อน

      Ibrahim wenu labda sio yule tunae mjua sisi

    • @Bittertruth-u4n
      @Bittertruth-u4n 3 หลายเดือนก่อน

      Tulia dawa ikuingie​@@janesuma-is4wc

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 3 หลายเดือนก่อน

      Seriously 😂, amka usingizi 😂

    • @HassanRamadhanPashua
      @HassanRamadhanPashua 3 หลายเดือนก่อน +2

      @@janesuma-is4wc wenu ni Abraham

    • @aptiitv2376
      @aptiitv2376 3 หลายเดือนก่อน +1

      Umesema ukweli mtupu ila hawawezi kukuelewa... Cha kuwashauri tu ni kuwa wakaisome na waielewe Quran...​@@HassanRamadhanPashua

  • @paschalfausitine7108
    @paschalfausitine7108 3 หลายเดือนก่อน +1

    BDO tupotupo sana , kwenye,SNS, ❤.

  • @omarymwaluko9765
    @omarymwaluko9765 3 หลายเดือนก่อน +12

    Mashoga yaende jeshini yanaenda kuharisha

    • @ronniemalima6325
      @ronniemalima6325 3 หลายเดือนก่อน

      Unawajua ultra orthodox Jews vizuri wewe😂😂😂 hawa wanafuata misingi ya Torati yaani inshort wana itikadi kali za torati kwa kuifuata ,kwao torati ndo kila kitu maisha yao yote wanasoma torati hata kazi hawafanyi wapo busy kusoma torati na kuijua vizuri ,lifestyle yao ni full misingi ya torati huo ushoga wanaanzaje kuufanya wataufanyaje yani while watu wapo busy kufuata toratii inasema nini kwa hali ya juu saana😂😂 mmeng'ang'ana waisrael ni mashoga mashoga😂😂kwa hiyo tuseme Tanzania yote ni mashoga kisa kuna baadhi ya watu ni mashoga??,ushoga ni tabia ya mtu sio nchi,acheni kuwapa watu laana wasizozitaka na wala hawahusiki nazo.Israel ni nchi yenye watu mbalimbali kama ilivo Tz ,Judaism kama Judaism na yenyewe pia imegawanyika mfano wa Judaism practice ni hao ultra orthodox Jews unaowaona hapo,kuna messianic Jews ndani ya Israel hawa wameshamuamini KRISTO na wanaenenda kama wale waliookoka yani waliopokea wokovu sasa unageneralise vipi nchi nzima ni mashoga??kuna wanaisrael wao hawaamini chochote yaani ni secular sasa matendo yao machafu utalazimishaje yawe ya nchi nzima mbona wewe hatukulazimishi kujulikana kama shoga ilhali Tz kuna mashoga?? Mnahangaika sana na Israel itambulike kama mashoga kwa kueneza hiyo ideology ili wachukiwe,mmeshashindwa,uarabuni mbona wanafirana sana na hatusemi ni mashoga,marekani huko mashoga wapo wengi lakini kwani kila mmarekani au aliyeko marekani ni shoga??😂 one thing ISRAEL hamna mtu wala shetani atakayeimaliza na kuifuta ktk uso wa dunia mtahangaika saaaaaana.Israel kimwili ni hilo taifa ila pia kuna israel ya Kiroho sasa uthibitishoWa israel ktk mwili ni hilo taifa mnalo hangaika kulifuta ,MUNGU amechagua hilo taifa kujidhihirisha kimwili na alishajidhihirisha,anajidhihirisha na ataendelea kujidhihirisha.HE who watches ISRAEL neither SLEEPS nor SLUMBERS!!

  • @MasterOil-qm6vw
    @MasterOil-qm6vw 3 หลายเดือนก่อน +1

    Hapo washashindwa kwa maana hawa jamaa hawatakubali kuingia vitani kwa sababu wao wanjiona spaciel kuliko wengine wao wanataka kukaa mezani na kuona wengine wakipigana na kufa mfano ni neta paka watoto wa wenzake wako vitani yey wanae wa kiume wako marekani wametulia sasa je? Atakubali mwanae aende vitani kupigana na watu ambao wao kufa ndio wanapenda kuliko kuishi wao wao wanapenda kuishi kuliko kufa kazi wanayo

  • @yahayaannu3663
    @yahayaannu3663 3 หลายเดือนก่อน +4

    Wanajificha kweny kivuli cha Torah lkn sio kweli, walikaa wakachukua baadhi ya amri za Torah nakuchanganya mengine yakwao wakaandika kitabu kinaitwa *Talmud* Ndo kitabu wanchoamini wao na ndo wanachotumia kwny ibada zao, HAKUNA TORATI HAPO UWONGO MTUPU labda kwa asiye wafaham MAYAHUDI 😅

    • @josephkiwale374
      @josephkiwale374 3 หลายเดือนก่อน

      Hakuna kitu kama hcho,,wanaheshimu Torah acha chuki zako za kurithishwa

    • @yahayaannu3663
      @yahayaannu3663 3 หลายเดือนก่อน +1

      @@josephkiwale374 Watu msiopenda kuukabili ukweli huwa mnakimbilia et ni chuki,niwe nachuki nao kwalipi lasasa, Wayahudi wazayuni (ZIONIST) wanaamini katk TALMUD kitabu walichokiandaa wao baada yakuichakachua Tourat huo ndo ukweli kubali kataa

    • @josephkiwale374
      @josephkiwale374 3 หลายเดือนก่อน

      @@yahayaannu3663 wanaamini kwenye Torah bro Talmud is just rabbis extensive interpretations of Torah by most prominent rabbis in jewish history from Rav akiva to gaon na cyo kwamba wanaiabudu Talmud kama unavyodai,,ila ucjal nimekupata🙏🙏

    • @mustafamsati9599
      @mustafamsati9599 3 หลายเดือนก่อน

      @@josephkiwale374 torat ya mussa haipo duniani na kama ipo watuonyeshe sura ya kijiti na kwanini torat iwafundishe kumkataa yesu hio torat gani ?

    • @MujuniKamugisha
      @MujuniKamugisha 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@yahayaannu3663hujui kitu wewe nenda kaendelee kuabudu majini yenu yale

  • @MsangoDiesel
    @MsangoDiesel 3 หลายเดือนก่อน +1

    Nimtafutano wao kwa wao

  • @josephjosephat4792
    @josephjosephat4792 3 หลายเดือนก่อน

    Dini ni moja Duniani umpendeze Bwana Mungu wako kwa kumcha Yeye na matendo mema sawa na alivokuelekeza Moyon mwako. Hiyo ndio Dini ya kwel ikupelekayo mbinguni.

    • @WazainaKigomaboy
      @WazainaKigomaboy 3 หลายเดือนก่อน

      Ko unapingana na dugu zake yesu mwokozi wako pumbavu

  • @lisawilliam2491
    @lisawilliam2491 3 หลายเดือนก่อน

    Kah hatar

  • @hamzaismail14
    @hamzaismail14 3 หลายเดือนก่อน +1

    Kumbe Hamas kawapunguza na awasemi

  • @hodaneymujib6621
    @hodaneymujib6621 3 หลายเดือนก่อน

    Mko vzr

  • @tamarali8325
    @tamarali8325 3 หลายเดือนก่อน

    Wanaitwa Walawi

  • @ramadhaniseifuledi513
    @ramadhaniseifuledi513 3 หลายเดือนก่อน

    Kwani lazima

  • @shaban6644
    @shaban6644 3 หลายเดือนก่อน +1

    Hao Hawana muda na Vita, wanataka kuwaingiza na kuwalazamisha Kwa Nguvu Ili Hali Wao hawaamini katika Hayo. Hao ni Katika Wale wachache Walioendelea kushika Misingi ya Tourati.

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 3 หลายเดือนก่อน

      Lakini hawa ndo watata kweli, bado wanaamini hiyo ardhi ni yao Mungu alimpa Ibrehim kwa ajili yao

    • @HassanRamadhanPashua
      @HassanRamadhanPashua 3 หลายเดือนก่อน

      @@MsAggie5 wakati wa Ibrahim kulikua na nchi yaitwa Israel kweli ?

  • @salehkhalfan7345
    @salehkhalfan7345 3 หลายเดือนก่อน +5

    Dini ya Ibrahim ni moja tu "Islam"
    Hzo nyengn ni za Mzungu

    • @BeckhamMsigwa
      @BeckhamMsigwa 3 หลายเดือนก่อน +2

      Shenzi uiislam na Ibrahim ni wap na wap au kisa alizaliwa Iraq?? Kazana sana kusoma vitabu usipotoshe watu shauri Yako

    • @salehkhalfan7345
      @salehkhalfan7345 3 หลายเดือนก่อน +1

      @@BeckhamMsigwa Qur'an ndo ilivyosema km unapinga bs wala sina haja ya kubishana naww mana mkipewa hoja mnaleta matusi

    • @azizayassin3623
      @azizayassin3623 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@BeckhamMsigwa ibrahi hakuwa jews wla Christian ✝️

    • @PAULNYANDILE
      @PAULNYANDILE 3 หลายเดือนก่อน +1

      mzima kweli wewe

    • @PAULNYANDILE
      @PAULNYANDILE 3 หลายเดือนก่อน +1

      ​@@salehkhalfan7345sasa kumbe Quran ndiyo imesema iliyotoka urabuni

  • @CharafimalisalimoAli-qw3hk
    @CharafimalisalimoAli-qw3hk 3 หลายเดือนก่อน

    AMERICA UCREIN IZEAELI SASA MAMBO SI MAZURI . UKIONA UNALAZIMISHWA JESHINI JUA HALI MBYA.

  • @boniphace1
    @boniphace1 3 หลายเดือนก่อน

    Hiyo jamii ndiyo Levites

  • @mtulivu-ir1nq
    @mtulivu-ir1nq 3 หลายเดือนก่อน +1

    Hawataki kufa kwanza ni mashoga😂😂😂😂

  • @wadantz123
    @wadantz123 3 หลายเดือนก่อน +3

    Waache uvivu waende jeshini uko 😂

  • @hafidhmiraji9479
    @hafidhmiraji9479 3 หลายเดือนก่อน

    Hamas wamefanya yao 😂😂😂😂

  • @hazygardmericho9571
    @hazygardmericho9571 3 หลายเดือนก่อน

    Nabii yusufu unajua alipeleka kizazi chake wapi wakazaliana, wakateswa, NA ALOWATESA MPAKA LEO FUVU LAKE HALIOZI MISRI. 2. MNAJUA WALIVOFUKUZWA NA DOLA KAMA ZA KIRUMI, IRAN, UTURUKI WALIKIMBILIA NCHI ZA WAZUNGU NAO WAZUNGU WALIWAUA (KINA ADOLF HITLER) sasa wanarudi kwao na bado mnataka muue kizazi cha manabii ?

  • @AliNassor-qt6fm
    @AliNassor-qt6fm 3 หลายเดือนก่อน +2

    Waache waingie vijana wote na waisrael weusi wakaungane nao

  • @hazygardmericho9571
    @hazygardmericho9571 3 หลายเดือนก่อน

    God bless israel🙏

  • @husseinmassawa7186
    @husseinmassawa7186 3 หลายเดือนก่อน

    Hizo picha zinaonesha kabsa ni watu wasiopenda kuingiliwa mambo yao😅

  • @SaidiAlly-cc9cj
    @SaidiAlly-cc9cj 3 หลายเดือนก่อน

    Mayunga furniture

  • @hidayahidaya-vd3ze
    @hidayahidaya-vd3ze 3 หลายเดือนก่อน

    Wapinga mtume muhammad daima yanakuwa hayana akili wa hawana macho ngojeni mutaona mutakapo mtaka mtume na dini yake huyo yesu akija kuwakataa

  • @mapundawilliam370
    @mapundawilliam370 3 หลายเดือนก่อน

    Wapinga Christo nyie Waslamu,mtapata shida mno, God bless Israel apige hao magaidi wapinga Christo.

    • @swalehemusa4546
      @swalehemusa4546 3 หลายเดือนก่อน

      Hii ni Israel ya mashoga ambao wanapelekeana Moto nchi takatifu saiv ni urusi

    • @KhamisOmar-kt4kz
      @KhamisOmar-kt4kz 3 หลายเดือนก่อน

      Ww Nina was was www ni shoga

  • @mapundawilliam370
    @mapundawilliam370 3 หลายเดือนก่อน

    Ukitaka kwenda mbinguni dini nimojatu Christo. Ukitaka shetani bakinahizo dinizingine, zimejaa mapepo nama jini kama Waslamu

    • @Xuxu-f7j
      @Xuxu-f7j 3 หลายเดือนก่อน +2

      Hili nalo senge kweli nyie c mnalo jishetani lililofukuzwa na yesu wenu au unajizima data sema tukuwashe

    • @Xuxu-f7j
      @Xuxu-f7j 3 หลายเดือนก่อน +2

      Soma hio isaya 47-12 mnafundishwa uganga na uchawi kwenye biblia ili mpate faida

    • @robertamsini1256
      @robertamsini1256 3 หลายเดือนก่อน

      @@Xuxu-f7jna wewe fundisha yenu

    • @josephkiwale374
      @josephkiwale374 3 หลายเดือนก่อน

      Dini zote ni biashara nakutaka utawala hakuna jipya😆😆

    • @mustwafathabiti2978
      @mustwafathabiti2978 3 หลายเดือนก่อน

      Pumbavu huna unachojua

  • @ramadhaninassoro7386
    @ramadhaninassoro7386 3 หลายเดือนก่อน

    Wao wanaokataa kushiriki jeshi ni waumini wa Cristian orthodox sio wayahudi, ni Armenian

  • @Bittertruth-u4n
    @Bittertruth-u4n 3 หลายเดือนก่อน +1

    Bado hawajasema

  • @amemasudi5735
    @amemasudi5735 3 หลายเดือนก่อน

    Wwe huujuwi Uislam usome kwnza

  • @hazygardmericho9571
    @hazygardmericho9571 3 หลายเดือนก่อน

    #OLE WENU MNAOILAANI ISRAEL NA HISTORIA YA DUNIA MNAIJUA, narudia tena ole wenu

  • @mapundawilliam370
    @mapundawilliam370 3 หลายเดือนก่อน

    That's good I dea, Israel.May God bless you

    • @MeddyMasuddy
      @MeddyMasuddy 3 หลายเดือนก่อน

      Mavi yko

    • @kiulasilate
      @kiulasilate 3 หลายเดือนก่อน

      Una bress the devil and waanzilishi wa ushoga dunia

    • @GeorgeChitemo-kt8sw
      @GeorgeChitemo-kt8sw 3 หลายเดือนก่อน

      Bariki Israel

    • @sameerbaksh98
      @sameerbaksh98 3 หลายเดือนก่อน

      Maskin hajui kitu wanalipua mpaka makanisa 😂

    • @subrynerysegerow1323
      @subrynerysegerow1323 3 หลายเดือนก่อน

      😂😂good idea kwako nenda kaingie jeshi huko usaidie ndugu zako wanakwisha