Sisi mambo mengine tunamuachia mungu yu kesho watakibu dhuruma walizozifanya.maandamamo sio mazuri maana kuna watu wamelazwa .wengine wamekufa .jana nimeona police mmoja alia mdogo wake kafa kwa risasi alizopigwa na police wenzie
watangazaji hao ndio wa kuanza nao burundi machafuko 2015 yalivyotokea waliwatimua Rf bbc vyombo vyote ikawa inasikika redio ya taifa maandamano yakichukua siku mbili
Police wa Kenya tunawajua sana. Furaha yao kuua, kuthulumu na kushika wakenya wenzao. These Police are acting very unprofessional just because they have weapons to hurt their fellow sisters and brothers.
ila hawa wandishi sijui kwanini huko ukrain hawapo gaza hawapo ila congo wanatangaza vita live sudan hivyo hivyo kenya ndio usiseme niliwahi kushuhudia ghasia za police na waanamanaji police akapigwa jiwe wote walipigwa kama maumbwa
Hhhhhh....Ruto must ask for advice from Burundi president HE Evariste Ndayishimiye or his representatives... Butundi of 2015 was like this Kenya of nowerdays,ask what happened🙈🙈🙈
Hao wanaopigwa mabom leo ndo atarudi tena kuwaomba kula walai sisi afrika ni binadamu wa hovyo kuwahi kutokea..na watasema zakayo anatoshaaa 😂😂😂😂 nimekaa palee nawazoom tu
Ukiangalia mshahara yako ziro hata dada zako wanaofanya kazi gulf Qatar na Saudi nyingi tena mara mbili yk.halafu wanarusha mabomu tu .ndio maana mwenzao alinyofoka viganjwa
Niliwahi kusema katiba ya kenya ni kati ya katiba mbovu kabisa hapa Afrika. Haya mambo ya uhuru wa kuandamana ni mambo ya kipuuzi tunayoletewa na wasio na nia njema na waafrika. Hata huko kwao watu wanapoandama, serkali inazuia au kupambana na waandamanaji.
Hivi bila maandamano Uhuru ambao unao sasa kwenye nchi yako ungeupata kweli!?hata Nyerere aliandamana kudai haki na Uhuru wa nchi hii!ila ni sawa sio kosa lako mana mavuzi yenyewe umeota juzi juzi tuu!hujui maana ya maandamano wala nchi yako ilivyo patikana
What are you talking about? Umefika darasa la ngap? Unataka tukaliwe kifala kama mlivyokaliwa Tz? Nyie Endeleeni kuongelea Mpira asubui mpaka jioni, Endeleeni kumshangaa Chris Brown kucheza Komosava, Endeleeni kumsifia Mama anaupiga mwingi wakat hali mtaani sio poa 😅
Muandishi akipigwa, waandishi wote wanacharuka, kwa kuwaandama maafisa wa polisi kua wamekosea kuwapiga raia na waandishi. Binafsi yeyote anaekaidi kufanya jambo, anastahili kupata adhabu.
CNN imesha pata mtangazaji mzuri mwenye kuwasilisha kwa kuswahili
big up larry you deserve to be recognized.🎉 it wasn't easy.
VIVA Gen-Z your the best #Reject the bill 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪💪💪💪💪💪
Ukijipeleka kwa teargas utakula teargas barbie. 😂😂😂 But good job., 👏👏👏👏👏
Camera man never bombing 😅😅😅
Future présidente de ma nation Na lingi yo makasi ❤️🇨🇩❤️🙏
Sijui kama Tanganyika na Tanzania kama itakuja kuwa na wana Habari wa aina hii.
Sisi mambo mengine tunamuachia mungu yu kesho watakibu dhuruma walizozifanya.maandamamo sio mazuri maana kuna watu wamelazwa .wengine wamekufa .jana nimeona police mmoja alia mdogo wake kafa kwa risasi alizopigwa na police wenzie
Mnafnya nn ! wanarusha mabom ya cry atii .
😢 Kenya imekuwa kama Congo 🇨🇩 jmn
YOUR OUR HERO❤❤❤❤❤ WE LOVE YOUU
Nahisi Kenya mabom ya machoz yameisha
watangazaji hao ndio wa kuanza nao
burundi machafuko 2015 yalivyotokea waliwatimua Rf bbc
vyombo vyote ikawa inasikika redio ya taifa maandamano yakichukua siku mbili
daah " mnafanya nn?"....watu wamemchagua wenyewe huyo Ruto na huu ndio moto wake. 🙉
Ruto has lost control and is not serving Kenyans but foreign Interests and himself. A failed Presidency.
Big up
Washavuta bangi wakiwa kambini hata hawaelewi wanacho wafa 😮😮😮
Police wanajikutaga sana dadeq🫵
Hii nikazi ngumu sana
Courage kaka
Police wa Kenya tunawajua sana. Furaha yao kuua, kuthulumu na kushika wakenya wenzao. These Police are acting very unprofessional just because they have weapons to hurt their fellow sisters and brothers.
Yangu masikio na macho
Boycott all functions of Ruto. Switch of all his speeches. And protests in every Kenyan Embassy. He should step down immediately.
ila hawa wandishi sijui kwanini huko ukrain hawapo gaza hawapo ila congo wanatangaza vita live sudan hivyo hivyo kenya ndio usiseme niliwahi kushuhudia ghasia za police na waanamanaji police akapigwa jiwe wote walipigwa kama maumbwa
Kule ni fire halafu CNN ni vibaraka
na baado till zakayo ahamie amerika
So sad
Very sad
Aise police hao lengo kua raia
Camera man never bombimg 😅😅😅
Hatimaye mandamanoyetu yamefanya kazi
Atafute historia ya mwangos
Hhhhhh....Ruto must ask for advice from Burundi president HE Evariste Ndayishimiye or his representatives... Butundi of 2015 was like this Kenya of nowerdays,ask what happened🙈🙈🙈
Hii ni leo ama jana
Wakenya polen sana😢
Asante japo sio rahisi 😢😢😢
Na haki yao wameipata🎉💪
Cameraman haonekani
zakayo ashukee
Hao wanaopigwa mabom leo ndo atarudi tena kuwaomba kula walai sisi afrika ni binadamu wa hovyo kuwahi kutokea..na watasema zakayo anatoshaaa 😂😂😂😂 nimekaa palee nawazoom tu
Infact tunawapigia haki
@@yasminoluoch169 Naungana na nyie kabisa .. lakn dawa ni kuwa nyima kula hao mafisadi vibaraka wa wazungu.. hata kwetu wapoo
Police wa kikalenjini hao hawajui sheria
Hawaogopiiii
Police wanalewa sanaa sifa ilimrad tu waonwe na madem zao
Mtuletee mbeya huko hali ya hewa kwenye migomo ya wafanya biashara
Bomu la machiozi ama tear gas canister
Ukiangalia mshahara yako ziro hata dada zako wanaofanya kazi gulf Qatar na Saudi nyingi tena mara mbili yk.halafu wanarusha mabomu tu .ndio maana mwenzao alinyofoka viganjwa
Huyu mwaandsh nae anamasif@
Niliwahi kusema katiba ya kenya ni kati ya katiba mbovu kabisa hapa Afrika.
Haya mambo ya uhuru wa kuandamana ni mambo ya kipuuzi tunayoletewa na wasio na nia njema na waafrika.
Hata huko kwao watu wanapoandama, serkali inazuia au kupambana na waandamanaji.
ujui wewe nchi inavopambaniwa bola ukakaa kimya
Hivi bila maandamano Uhuru ambao unao sasa kwenye nchi yako ungeupata kweli!?hata Nyerere aliandamana kudai haki na Uhuru wa nchi hii!ila ni sawa sio kosa lako mana mavuzi yenyewe umeota juzi juzi tuu!hujui maana ya maandamano wala nchi yako ilivyo patikana
What are you talking about?
Umefika darasa la ngap?
Unataka tukaliwe kifala kama mlivyokaliwa Tz?
Nyie Endeleeni kuongelea Mpira asubui mpaka jioni, Endeleeni kumshangaa Chris Brown kucheza Komosava, Endeleeni kumsifia Mama anaupiga mwingi wakat hali mtaani sio poa 😅
Useless..katiba ya Kenya ndo bora sana
Tengenezeni yenu mzuri.umbwa nyinyi
Hawa maaskari ni magazia sana wanajifanya hapo na pia wanakatwa,fools!
Muandishi akipigwa, waandishi wote wanacharuka, kwa kuwaandama maafisa wa polisi kua wamekosea kuwapiga raia na waandishi.
Binafsi yeyote anaekaidi kufanya jambo, anastahili kupata adhabu.
Unamaanisha nini unaposema anaekaidi kufanya jambo anasitahili adhabu?
Kenya iko na demokrasia sio kama nchi zingine wananchi hawana uhuru wa kuzungumza... Kenge wewe!
Ni kweli