KIMENUKA BARAZAN UWIANO KAT PEMBA NA UNGUJA HATUBAGUI WANANCH LIJUEN KINACHOENDELEA MKATABA MIAKA3

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 25 ส.ค. 2024

ความคิดเห็น • 56

  • @abdulkadirmbarouk5634
    @abdulkadirmbarouk5634 2 หลายเดือนก่อน +2

    This kind of politicians that we need in zanzibar, wise words with full confidence and well understandable ......ombi langu mumueke chini Mhe. Nadili sana anachafua

  • @nassorseif7907
    @nassorseif7907 2 หลายเดือนก่อน +4

    Nadir jifunze kutoka kwa waziri wako

  • @UlamaaAmir
    @UlamaaAmir 2 หลายเดือนก่อน +5

    Ubaguzi upo sana tu

  • @IsmailJuma-zb5ni
    @IsmailJuma-zb5ni 2 หลายเดือนก่อน +6

    Kwa maneno ni kweli hamubagui ila vitendo sisi wananchi wa hali ya chini ndio tunaona

    • @weteistiqaama83
      @weteistiqaama83 2 หลายเดือนก่อน

      Kweli baba .. sisi ndio tunajua

    • @weteistiqaama83
      @weteistiqaama83 2 หลายเดือนก่อน

      Siri ya mtungi inajua kata

  • @awatifalghanim1106
    @awatifalghanim1106 2 หลายเดือนก่อน

    Vijana msisahau Chukwani njia za ndani ni mbovu sana zinawaharibia Wananchi magari Yao. Asante.

  • @yahyahamisi2038
    @yahyahamisi2038 2 หลายเดือนก่อน

    Sijui na sie Danganyika tuwe na bunge letu 🙏🙏 Katiba mpyaaaaaaa 🙏🙏

  • @user-sr4ow9wi4k
    @user-sr4ow9wi4k 2 หลายเดือนก่อน +2

    Makunduchi huna haja ya kushindkia sn 😊😊😊

  • @murattywamuratty9778
    @murattywamuratty9778 2 หลายเดือนก่อน +1

    Ila mda mwengine sie Wapemba tunajibagua wenyewe maana nchi au sehem inajengwa na mtu mwenyewe akiwepo, elaa sie wenyewe tunakimbia nyumbani tukimaliza form 2 au form 4 na hata tukija uguja kusoma kwa chuo haturudi nyumbani na tunapakataa baadhi ya wapemba wenzangu mukoo ivyooo wala tusikatae haswaa, nna rafiki yangu kwa kumjua kasoma chuo cha afya unguja akamaliza akafanya kazi za kijiwe unguja kuja kutafuta kazi kapata pemba kapangiwa bc kakataa kazi kisa kapangiwa pemba wakat huku ndo alipo soma na wala hakipi kodi akija huku mana ndo alipo zaliwa na kusoma mpka form six kakataa kazi kisa kapata pemba 😢 sass ilo tatizo sie wenyewe tunaloo tunakataa kwetu na watu wakipata vipesa wanajenga zenji ukoo huku hawaji kujenga mijengo ya kuish na ndio maana maeneo hayaendelei maendeleo yanajengwa kuwepo kwa watu njoon pemba musipakatae mnaniudhi rohoni kazi kuganda kwa watu tu kutengeza uko matajir kibao wa kipemba huku mbona hamji mnajenga uko kwa iyoo tunajibagua wenyewe

    • @AbdullahOmar-be4wy
      @AbdullahOmar-be4wy 2 หลายเดือนก่อน

      Hakuna kujibaguwa ccm wamekudharau hakuna viwanda kwa sababu hakuna bandari mpak leo tuta

    • @murattywamuratty9778
      @murattywamuratty9778 2 หลายเดือนก่อน

      @@AbdullahOmar-be4wy aaah uko unguja kuna viwanda vimetokea wap bara uko kwa wwnzetu kwel vuiwnda vipo au ivyo vya majii😂

    • @HusseinAllyAlbahsany
      @HusseinAllyAlbahsany 2 หลายเดือนก่อน

      Wewe unajitambua lkn ikiwa kila huduma serikali inaweka huduma unguja utakaa sehem ambayo hamna za kijamii?Hata waarabu walikimbilia Afrika kwa vile kwao hakikuwa na huduma.Sass hivi mbona waarabu wengi walirudi kwao.Serikali ikitaka watu wake Pemba watakaa wala hakuna atakae kwenda popote

    • @murattywamuratty9778
      @murattywamuratty9778 2 หลายเดือนก่อน

      @@HusseinAllyAlbahsany mi nahisi ww hujitambui ulokimbia et serikal ndo kisingizio, ujinga sehem isowatu maendeleo kufika shidaa njoon kwenu hukuu tuone iyoo serikal isifanye mifano hai ipo kuna sehem uko wanaita maungani juzi juzi tu imekuwa kimaendeleo baada ya watu kuhamia kwa wingi, fumba imekuwa baada ya matajiri wa kipemba kuekeza ukoo na serikal nayoo ikatia mkono wake wakajenga barabara ndo jambo kumbwa ilo wanolijua usidhan kama majumba ya maakaaz wanajenga serikal wao ni barabara tu na ayo maji ya kubahatisha bc

    • @weteistiqaama83
      @weteistiqaama83 2 หลายเดือนก่อน

      Hata wewe huwezi kukaa mahala hapana huduma ya Afya wala Maji wala miundombinu.. kila mmoja anakimbilia penye maslahi na huduma nzuri

  • @salimmuhamed1601
    @salimmuhamed1601 2 หลายเดือนก่อน +3

    Dr khalid maelezo yako yamejaa hikma. Kwa nini munawachia hao wafedhuli kusema lugha za kifedhuli.

    • @IbnuAlly-wm8il
      @IbnuAlly-wm8il 2 หลายเดือนก่อน

      hekma gan uloiona ww wakat wote wapo wizara moja na jambo lao ni moja ispokuwa huyu kazuga na yule kaweka wazi, na mwenye macho hambiwi tazama

    • @weteistiqaama83
      @weteistiqaama83 2 หลายเดือนก่อน

      Kweli wote wamoja na pengine wamekubaliana mmoja akiwashe mwengine apulize

  • @Ablahisaid
    @Ablahisaid 2 หลายเดือนก่อน +5

    Ss tunajua km ss tunadharauliwa kw ushahidi tupo nao mwisho muna sema km wapemba wwngi wanaishi unguja pemba huwenda kipiga kura kwhio Barbara nyingi zitajengwa unguja jee huo siubaguzi nk Bandar gani ile ya pemba ile Bandar au kupaki meli tu Bandar hata contena hulioni hata la taka chafu ss wapemba tunajulikana siku yakampeni kipgo na kidhalilishwa tu tumezoa

  • @saidsalim453
    @saidsalim453 2 หลายเดือนก่อน +1

    Toka alhaji goya aimbe hali ya mpemba, ni miaka mingi kiukweli hakuna usawa wowote baina ya unguja na pemba, na sababu kubwa ni utofauti wa ksiasa, wacha barabara, viwanja vya ndege au bandari hata majengo ya kiserekali unauona utofauti mkubwa baina ya pemba na unguja

    • @eddynaeem6708
      @eddynaeem6708 2 หลายเดือนก่อน

      lakini bora kila mukitubagua kwa sababu kila kitu mungu kapanga lakini tunakuapieni tutajaa unguja kama sisimizi wameona kipande cha kashata halafu hatima yake mutaiona mbele tunapokwenda munauzunguka mgomba kwa panga lenye makali litakuja kuzunguka tahadhari na mwili sisi hiyo Pemba wala musiijali tengezeni uko unguja tu mutakuwa sawa sawa na jamaa alouza
      shamba kwa uzungu mzungu katengeneza Hotel yeye pesa keshazimaliza kuzitumia basi kenda kujenga kibanda karibu na geti la kuingilia la hoteli anatengeneza pawa na kata ili mtaliana amuonee huruma basi mutakuwa sawa sawa na nyingi

  • @nassorseif7907
    @nassorseif7907 2 หลายเดือนก่อน +2

    Wabaguzi wakubwa ccm wango wakubwa uwongo wenu upo kwa kiwango cha Lami hio ya moto

  • @ashahamad-mq3iz
    @ashahamad-mq3iz 2 หลายเดือนก่อน +1

    Ubaguzi toka enzi ya Karume munasema hakuna mpaka wimbo mumeimba wasohaya wanamji wao mukatuita vibuwa huo si ubaguzi mbona ndugu. Zenu munawanyenyekea ndugu zenu wa damu

  • @twalibuabdallah6243
    @twalibuabdallah6243 2 หลายเดือนก่อน

    Duh!nendeni pemba mkaone n kweli hayo😢😢😢

  • @weteistiqaama83
    @weteistiqaama83 2 หลายเดือนก่อน

    Wanababaisha tu Pemba ipo nyuma

  • @Maajidabdillah
    @Maajidabdillah หลายเดือนก่อน

    Ubaguzi upo danganyeni watoto wachanga ambao hawajajua kitu

  • @user-nt3my1jf9t
    @user-nt3my1jf9t 2 หลายเดือนก่อน

    Yaan kaonesha chuki za Waz Waz na ubaguz Wala hawajifich Tena yaan wanahiar vichogo ( watanganyika) kuliko sisi wapemba ambao tunaitwa wazanzibar lkn tunasema kwamba Kwa vile wanatubagua na wao tutawanagua na ubaguz utarud km kawaida na asilimia kubwa sana ya watu wa unguja wanatuchukia sana wapemba yaan wanatuona sijui km nin lkn inshallah ipo siku Pemba itakua free inshallah

    • @hajihassan5433
      @hajihassan5433 2 หลายเดือนก่อน

      Muhimu Wapemba waipende Pemba yao. Mpemba akipata fursa anakimbia kwao nani atotaka kwao na atakuja kuijenga Pemba, kama Wapemba wanavyojenga kwingine.

    • @wadhhasuleiman2621
      @wadhhasuleiman2621 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@hajihassan5433 Bro unaenda pemba lkn Pemba kujengweje nyumba Pemba asilimia 70 mpk tides ndanii zipo Mzee wapemba hawatoki wazembe sema utajenga jumba kubwa wkt unakodisha only police

    • @weteistiqaama83
      @weteistiqaama83 2 หลายเดือนก่อน

      Haji Hassan Wapemba wanapenda kwao lakini huwezi kukaa mahala hapana huduma muhimu za kijamii.. ndio maana watu wanakimbilia mijini unafikiri ni sababu gani?

  • @rashidomar1277
    @rashidomar1277 2 หลายเดือนก่อน

    Munatubagua sisi wapemba mpaka Leo Barabara kutoka mkoani chake mbovu

  • @ahmedalkiyum7592
    @ahmedalkiyum7592 2 หลายเดือนก่อน +2

    Huyu kaongea vzr ila yule nadir anaongea kwa jazba tu

    • @MahmoudDouchi
      @MahmoudDouchi 2 หลายเดือนก่อน

      Yule ni mjinga sana tu mbn.

    • @isaliisu3408
      @isaliisu3408 2 หลายเดือนก่อน

      Inawezekana hayo usemayo yakweli lkn kwa nini musiwape habari wananchi muwaambiye ukweli

    • @isaliisu3408
      @isaliisu3408 2 หลายเดือนก่อน

      Walipeni watu haki zao

  • @lusakaone7782
    @lusakaone7782 2 หลายเดือนก่อน

    Danganya toto hilo jambo lipo, subirini siku moja itakuwa kweli, Eka Eka Eka itawatokea Puani

  • @user-wr3jp6tg4p
    @user-wr3jp6tg4p 2 หลายเดือนก่อน +1

    Vitendo vinajieleza Pemba mumekupa mgongo

  • @hajjseif5737
    @hajjseif5737 2 หลายเดือนก่อน +1

    ubaguzi ni matatizo ya kisaikolojia dawa yake ni mamlaka kamili

  • @alinassor391
    @alinassor391 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mwambie uyo bulushi nadir achunge maneno yke mjinga mkubwa

    • @hajihassan5433
      @hajihassan5433 2 หลายเดือนก่อน

      Kwa siasa za Zanzibar ni sahihi, hamjamuona Mhe. Jussa na OMO wakimtukana Rais. Je, ule ni uungwana?

    • @weteistiqaama83
      @weteistiqaama83 2 หลายเดือนก่อน

      Alhaji kuna tofauti kuzungumza kwenye majukwaa ya kisiasa na kuzungumza kwenye chombo rasmi cha serikali

  • @muhammedbakari2867
    @muhammedbakari2867 2 หลายเดือนก่อน

    Porojo😂😂😂😂😂😂😂😂😂.. mkimaliza hzo porojo chukuen posho mkavuruge.. sis tupo kaz kwenu😂😂😂😂

  • @IssaMohamed-mp4hj
    @IssaMohamed-mp4hj 2 หลายเดือนก่อน

    Tuvunje muungano ili tuone panapo vuja

  • @sulumRashid
    @sulumRashid 2 หลายเดือนก่อน

    sio kweli Bara bara yameli tano were mpaka lini wazir achauongo ubaguzi unao wewe

  • @ZaidSeifSuleiman
    @ZaidSeifSuleiman 2 หลายเดือนก่อน

    Waziri ameongea vizuri na ametoa ufafanuzi vizuri ameongea kwa busara na hekma lkn naibu wake kumbaro nibwege jinga halina hekma wala busara hafai hata ubalozi nasijui rais husein alimchagura kumbaro huyu kwa sifa gani?

  • @bakarseif9622
    @bakarseif9622 2 หลายเดือนก่อน

    Huyu kaongea kitu tumeelewa sio yule mzungu pori

  • @allyhamad3723
    @allyhamad3723 2 หลายเดือนก่อน

    Nyie munatufanya sana watot ila itakuja kuwAkost

  • @abdalla8193
    @abdalla8193 2 หลายเดือนก่อน

    Munataka kujenga uwanja wa kileo unguja sio pemba ni ubaguzi tu

  • @zahorosuleiman1099
    @zahorosuleiman1099 2 หลายเดือนก่อน

    Zipo ww unangea pumba ww huoni pemba mumekutupa cana

  • @nassorally-xi6zh
    @nassorally-xi6zh 2 หลายเดือนก่อน

    Wizi tu na dhulma tutaonana akhera

  • @user-wl8ng3pj5r
    @user-wl8ng3pj5r 2 หลายเดือนก่อน

    Kama uongo tutaona na kama ni kweli pia tutaona

  • @salumabdallah2990
    @salumabdallah2990 2 หลายเดือนก่อน

    Muongo kenge wewe

  • @hafidhhemed1514
    @hafidhhemed1514 2 หลายเดือนก่อน

    Huyo dogo Nadir ni kiburi, Hana uweledi anachojua ni mihemko na mipasho