Kinaniuma nikiinama nikinyanyuka yani maumivu makali yana pwitwa kinagonga sana arafu maumivu yanakata apo apo mbaka niiname ninyake au nijilaze ninyanyuke aisee mbaka saivi nikiinama nanyanyuka kwa step kama roboti mana kikitingishika tu kinauna balaa . pia huwa natokwa dam puani nikipigwa ata kofi tu au ata nkijigonga kichwan au nikitembea juani
Daktari tafathali mm naumwa sana na kichwa almost 7 years mpka sai nimezoe dawa na kama sijakula inaniuma sana utaweza nisaidia aje tafathal niko nairobi
mm daktari kichwa kina uma wiki ya pili hii kichwa kina ni bana kisha nasikia kiko kikavu nakisikia ubongoni alafu nasikia kumwa na macho maumivu nayasikia kwa macho na upande wa utosi na upande mbili na kizungu zungu
Dct me nna swali niliandikiwa dozi ya power safe cndano 7 ila baada ya kuanza kuchoma hizo cndano mpk na amaliza kichwa kinauma tu sas hv nna siku ya 3 toka nimalize cndano lakin bado kinauma tu
Dokta baba angu alipata stroke miaka minne nyuma, alitibiwa akawa anaendelea vizuri kabisa hadi akawa anaweza kutembea mwenyewe lkn saivi anasumbuliwa sana na kichwa mfululizo yaani akipoi kila akipimwa tatizo alionekani anapewa dawa za maumivu tuu lkn hazisaidii, tunashindwa kufika muhimbili sababu ya hali uchumi, kapimwa hadi site scanner lkn hamna kitu....
Doctor mimi kichwa kina niuma sana Hali hii imetokea wakati napika chakula nikaanza kujiskia kizungu zangu mpaka sasa najiskia hivyo chini ya kitovu Pana kuwa kama panawaka moto
Jamn ninapata maumivu ya ndani ya kichwa tena kuna wakati kama nasikia maumivu haya yana move yaani kama vile mafuta yakimwagika yanavyotambaa kwenye sementi. Dr naomba nisaidie hii ni mini na tuba take ni nn?
Daktari mm Nina kizunguzungu kikali Sana kichwa kinaishiwa nguvu kabisa na kinayumba chenyewe mishipa inakaza,macho yanauma sioni vzr
Ww ni mim kinakua kizito mpk macho yanauma
Ni Mimi kabisa
Tuko wengi
Doctor mmi kichwa chagu kinafujoo ziii naomba ushauri nifanyenini nimeshounana namadactar nimeshopita kweny skm mpakasasa awajaonauganwa❤❤
My perfect doctor❤
Mungu akupe maisha marefu😊
dakatar mm kichwa kinawaka moto sana utosini na kisogoni kinawaka moto sana kila siku
Doctor mm kichwaa kinauma hii niwiki ya pili na mwili huchoka sana nakuwa najoto jingi hasa wakati was usiku
Bro hujapima
Kama mimi
Mimi kinauma kichwa upande mmoja ni Nini hicho
Kinaniuma nikiinama nikinyanyuka yani maumivu makali yana pwitwa kinagonga sana arafu maumivu yanakata apo apo mbaka niiname ninyake au nijilaze ninyanyuke aisee mbaka saivi nikiinama nanyanyuka kwa step kama roboti mana kikitingishika tu kinauna balaa . pia huwa natokwa dam puani nikipigwa ata kofi tu au ata nkijigonga kichwan au nikitembea juani
Nashida docta naomba namba nikueleze
Towen huo wimbo unatuketea keroooooooooo. Kma tuko Club
Toenii miziki inakeraa
Daktari tafathali mm naumwa sana na kichwa almost 7 years mpka sai nimezoe dawa na kama sijakula inaniuma sana utaweza nisaidia aje tafathal niko nairobi
Pole sana ata kuva best Friend angu Ana ttzo hili nahittaj kumsaidia
Docta mimi niko arusha naumwa sana mishipa ya kichwa piresha hilipanda kichwani
Nammm kichwa kinauma pand zot
Mimi naitaji msaada wako doctor kichwa kinaniuma kwenye utosi hadi kwenye USO kama nikifanya mazoezi kinaniuma kama mawenge
Na mimi pia hivo ulipata tiba
Namimi hivyo mmepata tiba wenzangu
dakitari naunwa sana na kichwa pande moja shida ninini
We kam mm kuzunguk jicho la kulia kwa ndan mmmh ad ninywe vasograin sa sijui shid ni jicho
@@faidhamyovela179kama mm umetumia nn ukapona yaani sina raha ikifika asubuhi
@@ImeldaHanzuruni kipanda uso iko ila ukimywa vasograin kinaachia mm kinarudig baad ya miez au mwezi hiv
Jamani aliyepona na tatizo la kichwa aje atusaidie na sisi
mm daktari kichwa kina uma wiki ya pili hii kichwa kina ni bana kisha nasikia kiko kikavu nakisikia ubongoni alafu nasikia kumwa na macho maumivu nayasikia kwa macho na upande wa utosi na upande mbili na kizungu zungu
Samahan doctor naomba no yako unisaidie nina miaka 7 naumwa kichwa nimebaki kumeza dawa za maumivu bila tiba
15:56
Naomba no ya doctor 11:07
Jaman msaada wenu kichwa kinaniuma sana nimesha angaika sana
Naomba kujua maumivu ya kichwa yanayoambatana na homa
Me kichwa kinaniuma kama vichomi vinavyochoma kwenye meno na masikio Sana kila mara lkn hasa nikipata stress
Nina shida na dr wa kichwa
Kichwa kinauma sana sana upande wa kulia mbele na nyuma
Mambo
tupo wengi
Ulipata tiba mm pia bado nasumbuliwa ??
Duuh mi mpaka naogopa
Tatizo mnaogea tu hamtoi namba hiyo ndio shida yenu
Na ukiuliza maswali Dr hajibu! Dr tunaomba itusaidie Kwa kutujibu maswali yetu...jamani kichwa kinauma vibayaaaa
Dokta nimekuelewa Sana shukran
Naumwa kichwa kisogoni na utosini yaani kisogoni kama nimepigwa nakitu kizito na utosini kama machines sindano
Doctor Mimi yangu imefura kwa komo gafla, baada ya kupaka dai kwa nywele
Naomba no yenyu
Mimi nimichale yamjicho laupande umoja
Dokta mimi naumwa nakichwa kwenye kisogo sijui tatizo nini
Docta namba zako nimuhim kwetu cc wagonjwa
Doctor naumwa Sana kichwa na miaka 20 tu nikienda hospital wananipima uti na wingi wa damu lakini tatizo bado haliishi
Dokta unapatikana wapi ?
Nahitaji kutibiwa maana nina tatizo hilo la kuumwa na kichwa mara kwa mara
Daktari nimehisi maumivu ya kichwa huu ni mwaka wa tatu naomba usaidizi tafadhali
Dah nikajua Niko peke yangu !!! Kumbe tuko wengi!!!
Mimi kichwa kinanitesa mno doctor mpka nakosa amani yaani mnoooo mpk nais kuchangnyikiwa
Nikusaidie +255 625 780 510
I realize I am quite off topic but does anybody know of a good place to stream new series online?
@Raiden Maverick try flixzone. Just search on google for it :)
@Cade Tate Yea, I've been watching on Flixzone for years myself :D
@Cade Tate Thanks, I went there and it seems like they got a lot of movies there :D Appreciate it!
Dr please naomba namba yako mimi kichwa kinanisumbua sana Ni mwaka wa nne naomba unisaidie please
mpaka mishipa yaniuma kwenye komo pande mbili za ubongo maumivu makali kwa kichwa
JAMAN NAOMBEN NAMBA YA HUYU DOCTOR PLZ😭😭😭😭😭
Namba zako doctar plz
Dct me nna swali niliandikiwa dozi ya power safe cndano 7 ila baada ya kuanza kuchoma hizo cndano mpk na amaliza kichwa kinauma tu sas hv nna siku ya 3 toka nimalize cndano lakin bado kinauma tu
Doctor mimi Niko na Shida ya kuumwa na kichwa upande wa kushoto,at the centre
Doctor kweli unayo ongea kwamba madaktari wengi awafati historia ya mgonjwa
muko wapi daktari sehemu gani mm naishi mombasa
Dr mi kichwa mi nina shida ya kichwa no zangu
Samahan doctor Mimi mishipa ya kichwa unaniuma shida itakua ni Nini?
Kichwa kinanisumbua sana kama.kinawaka moto jaman sijui shida nini ,hakipoi na kuna muda Kama nawaka moto
Tatizo lako kama langu vp ulipona
me dokt kinaniuma kichwa sana nahic km mishipa inanibana sana kichwa kizima hd shingo yote ht kuongea najickia shida sana. sa sijui utanishaur vp.
Nazani aisha tatzo lako ni kama langu vipi hadi saiv umefanikiwa kama umefanikiwa nielekeze namm mana nimemaliza tiba zote sijafanikiwa bado
Aisha Aboubakar
Aisha Aboubakar namba yangu hii hapo kama unatumia WhatsApp nitafte +255779804000
Aisha Aboubakar mambo vipi hata mm nasumbuliwa na kichwa sjui.tatzo nn
sweethearts channel ww kina mda gani toka kianze kuuma
dokta me kichwa kinawaka noto utosini na saa nyingine nasikia ganzi kichwa kizima shida ni ni dokta naitaj msaada
Tatizo lako ndo tatizo nililo nalo
DOKTA.mwanangu.anasumburiwa.na.kichwaa.marakwamara
.akirudi.shure.macho.anasema.yanauma.na.kichwa.naomba.ushauri.wenu
DOKTA.naomba.msaada.wa.namba
Mi naumwa Kama wewe vip umepata matibabu na mm unisaidie
Ata mm jaman tena adi mishipa
Doctor habari mm Nina shida na mttz y kichwa MN kinanikaza sana mbele ya uso mpka nyuma lkn juu kinauma lkn maumvu yk kwa mbli ss ttz nn
Kama mimi jmni
Hujambo daktari,Mie nimeumwa na kichwa SASA week2 tafadhali nielekeze doctor.
Nikusaidie +255 625 780 510
@@mercyhealthcare5695 Hello
@@mercyhealthcare5695 Nataka kuonana na doct wa kichwa nifanyeje
na mishipa yashingo kuniuma
Samahan doctor naomba namba yako nnashida sana naomba unisaidie
Mi nakaa naumw n kichw upand mmj c maumiv makal bali upand huu huu nahc km kun kitu kinanikandamiza nahc km kit
Umepona na nn
Dokta tupe namba yako
Sahani Dokta pole na kazii samahani naomba unitumie namba yako kwanjia ya Wasap Mimi sipo Tanzania ilinikueleze vizuri
Doctor huo wimbo jamn toeni hatusikii
Tunaomba namba yako naumwa nakichwa sana
Daktari namba yako tafadhali tuandikie tupate hata maelekezo kidogo tafadhali
Doctor mie naumwa na kichwa hii week nshachumwa sindano mbili za maumivu lakin bado kinauma
Doctor naomba number yako mmangu ana tatizo la kichwa tafadhali xana ajiwezi kwa ssa wallahi nisaidie
Doc,mbona nahisi ndani ya kichwa changu kuna tembea wadudu upande wa kulia ,baada ya hapo kichwa changu kinauma cana ,shida ni Nini doctor nisaidie
Ilotatizo linasumbuwa kabisa atamimi niivio naisi kama wa dudu wanatembea
Mnapatikana wapi
Jana nimeamka kichwa kinauma sana upande wa kulia na iliambatana na maumivu upande huo huo tatizo n nn
Na mm hvyo hvyo hapa hata kazi imenishinda nimelala tu
Hats mim
Dokta baba angu alipata stroke miaka minne nyuma, alitibiwa akawa anaendelea vizuri kabisa hadi akawa anaweza kutembea mwenyewe lkn saivi anasumbuliwa sana na kichwa mfululizo yaani akipoi kila akipimwa tatizo alionekani anapewa dawa za maumivu tuu lkn hazisaidii, tunashindwa kufika muhimbili sababu ya hali uchumi, kapimwa hadi site scanner lkn hamna kitu....
Nikusaidie +255 625 780 510
Yani me Sina lakuongea nateseka sana nakichwa DOCTAR tusaidie
Docter mi kichwa kinaniuma upande wa nyuma, macho mpaka kifua kinaniuma naomba unisaidie
Nikusaidie +255 625 780 510
Doctor ninatatizo lakuumwa kichwa upande mmoja wakushoto je kunatatizo gani au nitumie dawa gani
Mambo broo alikupa no zake dokta
Mambo broo alikupa no zake dokta
Dr naomba namba
Mm dokta niko na meno yauma wiki mbili sasa na kichwa nacho pia nakisikia kizito nimemeza dawa lakini wapi
Nikusaidie +255 625 780 510
Nifanyeje?nipone
Doctor mi mjamzito miez mitatu ila naumwa sana kichwa vp apo
Dr.naomba namba yako kichwa change kinasumbua
Mziki haina haja inakera
dokta mie sikio linauma saana
Wewe unatatzo kama langu
Nikusaidie +255 625 780 510
Doctor mimi kichwa kina niuma sana Hali hii imetokea wakati napika chakula nikaanza kujiskia kizungu zangu mpaka sasa najiskia hivyo chini ya kitovu Pana kuwa kama panawaka moto
Kidot James pole sana
gharama yenu ya vipimo
Doctor husomi comment
Dr t afadhali naomba number Yako niko na Shida ya kichwa
Mimi nasikia nachomwa namisumari kichwani ninini?
Dada umeshapono
Doctor mimi ninamatatizo ya kichwa naomba tuwasiliane kwa number hii araka iwezekanavyo, 0788 03 79 79
Jamn ninapata maumivu ya ndani ya kichwa tena kuna wakati kama nasikia maumivu haya yana move yaani kama vile mafuta yakimwagika yanavyotambaa kwenye sementi. Dr naomba nisaidie hii ni mini na tuba take ni nn?
Daaty Dagharo tatizo lako linafanana na langu tuungane tujue tunasaidiane vip
Sana
Ulimpata Doctor jamani
Naomba tuwasiliane
Mambo Jacqueline naomba tuwasiliane kwa email
doctor naomba namba yako
Dr . Nakuomba nipigie kwenye namba0785-440-125
Nina shida
Docta nicheki chenye no 0677968632 plz
docta nichek 0686556909
Doctor kichwa changu kinawaka moto
Mimi kinauma kichwa upande mmoja ni Nini hicho