HII NDIO TIBA YA TATIZO LA MAGOTI KUKOSA UROJO | KUPATA MAUMIVU | MAGOTI KUCHUBUKA | SHEIKH KHAMIS

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 30 ก.ย. 2024
  • HII NDIO TIBA YA TATIZO LA MAGOTI KUKOSA UROJO | KUPATA MAUMIVU | MAGOTI KUCHUBUKA | SHEIKH KHAMIS
    #Masjid_Mtoro_Online_Tv

ความคิดเห็น • 32

  • @magdalinekenneth7238
    @magdalinekenneth7238 8 หลายเดือนก่อน +2

    Hata sio lazima na uzani mkubwa wala umri hii shida sijui ni nn wengine ni wakonde na wanaumwa na magot na sio wazee

  • @leilasaid3623
    @leilasaid3623 3 วันที่ผ่านมา

    Walykum salam warhmatullah wabarkatuh shekhe mimi ninatatizo ilo na dawa naipataje nipo uarabuni

  • @ahmadshaku
    @ahmadshaku 6 วันที่ผ่านมา

    Assalam alykum warahmatullah wabarakatuh
    Shekhe nayapataje hayo mafuta?

  • @JoyceSimion
    @JoyceSimion 6 หลายเดือนก่อน +1

    Cha ajabu hawajib wala kusema tunayapata vp....

  • @mamahealthproducts1107
    @mamahealthproducts1107 9 วันที่ผ่านมา

    Asnte sana je nayapataje haya mafuta?..nayahitaji sana

  • @FrolaJoram-eg1ng
    @FrolaJoram-eg1ng 2 หลายเดือนก่อน

    Nahitaji

  • @bellbell9294
    @bellbell9294 3 ปีที่แล้ว +3

    Shukraan Sana sheikh wetu tunayapataje hayo mafuta nayanauzwa bei gani sheikh

    • @drissarashid1812
      @drissarashid1812 2 ปีที่แล้ว

      MATATIZO YA VIUNGO NA MIFUPA KUSAGANA
      DALILI ZA VIUNGO KUSAGANA
      1. MAGOTI
      • Maumivu kwenye magoti
      • Magoti kushindwa kujikunja
      • Kushindwa kupanda ngazi Kwa urahisi
      • Kusikia milio ya mifupa Kusagana kwenye magoti
      2. MGONGO / UTI WA MGONGO
      • Maumivu kwenye mgongo
      • Kushindwa kuinama
      • Kusikia ganzi kwenye mapaja au miguuni
      3. BEGA
      • Kushindwa kunyanyua mkono na kusikia maumivu makali kwenye bega
      SABABU
      ✓ Uzito uliopindukia
      ✓ Historia ya familia
      ✓ Ajali
      ✓ Kutumikisha viungo kupita kiasi mfano wanamichezo, Wana mazoezi
      MADHARA YA MIFUPA KUSAGANA
      © Kifanyiwa upasuaji
      © Kansa ya mifupa
      © Vidonda kwenye maungio
      Tunatibu changamoto ya viungo na mifupa Kusagana, Karibu Kwa ushauri na tiba +255678233736

  • @shaniabright7664
    @shaniabright7664 3 ปีที่แล้ว +2

    Asalaam Aleikum, nitapataje hayo mafuta

  • @naimaally6306
    @naimaally6306 5 หลายเดือนก่อน

    Nina miaka 60 kilo zangu ni107 mwanamke napataje hayo mafuta Niko kenya

  • @nashirjumanne851
    @nashirjumanne851 3 ปีที่แล้ว +2

    Shukran SHEKH.

  • @TaabuLazalo-rr9hx
    @TaabuLazalo-rr9hx 9 หลายเดือนก่อน

    She ninamiaka 46 lakini nasumbuliwa na goti linauma sana Niko Mwanza naipataje dawa? Na ni bei gani

  • @elalikamala9760
    @elalikamala9760 ปีที่แล้ว

    As salaam alaikum warrahmadulillah wabarakaduh,, sheikh mimi nina miaka 33 na hali ya magoti yanauma saana,,kukaa ni shida,kuinuka siwezi,usiku kulala miguu inawaka Moto,nisaidie nyapate hayo mafuta niko MOMBASA KENYA

  • @japhetdamas859
    @japhetdamas859 3 ปีที่แล้ว +1

    Sheikh hayo mafuta ni bei gani

  • @shaabansauda3125
    @shaabansauda3125 3 ปีที่แล้ว +1

    Nikiwa warabun shekhe omn natumiy mafuta gani maana goti linanisumbuwa Sana mguuu sas unanip shida

    • @drissarashid1812
      @drissarashid1812 2 ปีที่แล้ว

      MATATIZO YA VIUNGO NA MIFUPA KUSAGANA
      DALILI ZA VIUNGO KUSAGANA
      1. MAGOTI
      • Maumivu kwenye magoti
      • Magoti kushindwa kujikunja
      • Kushindwa kupanda ngazi Kwa urahisi
      • Kusikia milio ya mifupa Kusagana kwenye magoti
      2. MGONGO / UTI WA MGONGO
      • Maumivu kwenye mgongo
      • Kushindwa kuinama
      • Kusikia ganzi kwenye mapaja au miguuni
      3. BEGA
      • Kushindwa kunyanyua mkono na kusikia maumivu makali kwenye bega
      SABABU
      ✓ Uzito uliopindukia
      ✓ Historia ya familia
      ✓ Ajali
      ✓ Kutumikisha viungo kupita kiasi mfano wanamichezo, Wana mazoezi
      MADHARA YA MIFUPA KUSAGANA
      © Kifanyiwa upasuaji
      © Kansa ya mifupa
      © Vidonda kwenye maungio
      Tunatibu changamoto ya viungo na mifupa Kusagana, Karibu Kwa ushauri na tiba +255678233736

    • @mwajumamunezero4055
      @mwajumamunezero4055 2 ปีที่แล้ว

      Hakuyataja mafuta hayo duuuh Nami nihivo

  • @SamiaBint-dm6rl
    @SamiaBint-dm6rl 2 หลายเดือนก่อน

    Mafuta hayo ntayapataj sheikh

  • @husseinduba4830
    @husseinduba4830 2 ปีที่แล้ว

    assalam aleykum hiyo mafuta inatumika vipi hatujaelezwa tafadhali tuelezee jinsi hiyo mafuta utatumia kuponya shida ya magoti

  • @ArafatHassan-rk6hf
    @ArafatHassan-rk6hf 7 หลายเดือนก่อน

    Assalaam alaykum shkh, ... kwa majina naitwa hassan Athman kutoka kenya, nayahitaji sana hayo mafuta sababu magoti yananiuna sana.

    • @mariamsamwel2750
      @mariamsamwel2750 5 หลายเดือนก่อน

      Hawajibu jmn😢😢😢 pia mm yameanza kunisumbua

  • @winfridamwamban1078
    @winfridamwamban1078 3 ปีที่แล้ว +1

    Asante

  • @RamaBwang
    @RamaBwang 7 หลายเดือนก่อน

    Shi ngapi dawa

  • @mtambile26
    @mtambile26 2 ปีที่แล้ว

    Mafuta yanauzwa wapi na Jina LA mafuta ya naitwa vipi

  • @maliselamethod7963
    @maliselamethod7963 2 ปีที่แล้ว

    Jamani nahitaji hiyo Dawa sasa nitaipataje?

  • @hamisimwalimu8555
    @hamisimwalimu8555 2 ปีที่แล้ว

    Shekhe nayapataje ayo mafuta

  • @jusemsuleyman6574
    @jusemsuleyman6574 3 ปีที่แล้ว

    ..yanapatikana wapi shekh

  • @assfzainab912
    @assfzainab912 3 ปีที่แล้ว

    Mi mdogo sana wala sina uzto lkn magoti yangu makavu sana

    • @fauzaynfauz7839
      @fauzaynfauz7839 3 ปีที่แล้ว +1

      Kunywa maji kwa wingi,hiyo ndio sababu pia

    • @assfzainab912
      @assfzainab912 3 ปีที่แล้ว

      @@fauzaynfauz7839 shukuran

    • @AmissaNiyonzima-g2x
      @AmissaNiyonzima-g2x 9 หลายเดือนก่อน

      Assalam aleikum warahmatullah wabarakatuh..cheh naumwa kabisa ugonjwa wameuona hospital.nasali nakaa nikitembeye naumiya.naomba msada cheh kwa ajili ya allah nisaidiye chekh.ntayapata wapi.

  • @farhiyahaaji5024
    @farhiyahaaji5024 ปีที่แล้ว

    Sallalaahu caleyhi wasalam