DEREVA ALIEENDESHA MALORI MIAKA 10 ASIMULIA AJALI YAKE YA KWANZA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 22 ส.ค. 2021
  • Dereva wa Lori la mizigo lililokua likitoka Dar es salaam kuelekea nchini Zambia amepata majeraha kidogo baada ya Lori alilokuwa akiliendesha kupinduka maeneo ya Kimara Dar es salaam na kusababisha foleni karibu na eneo la ajali.
    Akiongea na Ayo TV Dereva huyo amesema chanzo cha ajali ni kumkwepa bodaboda ambapo Trela ndio likayumba na kusababisha lori hilo kuanguka, Polisi wamewataka Madereva kuangalia njia mbadala wakati jitihada za kuliinua lori zinaendelea.
    "Leo nimeanza Safari saa nne wakati natoka nyumbani safi Salama nimekuja mpaka eneo la Kimara nilikuwa natembelea sasa upande wa kushoto ghafla kukawa na bodaboda iliyokuwa imesimama sasa wakati nataka nihamia upande wa Kulia na katika kuhamisha kwangu gari kulia likapanda gema kwahiyo limenichota na kunirudisha kushoto"- Dereva wa Lori
    "Nilikuwa naelekea Zambia tangu nianze kazi ya udereva mpaka sasa nina miaka kumi sijawahi kupata Ajali"- Dereva wa Lori

ความคิดเห็น • 84

  • @raiye5621
    @raiye5621 2 ปีที่แล้ว +15

    Pole sana kaka maskin kaumia vo hadi nimeingia iman maskin wanaume wanapitia magumu wallah Allah akulinde hili na jengine baba.angu🥀🥀

  • @jacksnilazalo7663
    @jacksnilazalo7663 2 ปีที่แล้ว +6

    Duu pole sana swaiba tripu ya mwisho tuliludi wote kutokea Congo ya sikomani. Mungu mkubwa

  • @muhammedsuleyman6501
    @muhammedsuleyman6501 2 ปีที่แล้ว +4

    Huwezi jua mungu amekuepusha na nini huko mbele shukuru kwa mtihani huu

  • @bahatijoseph8763
    @bahatijoseph8763 2 ปีที่แล้ว +2

    Duuuh poleee sana Man...

  • @saidaal1679
    @saidaal1679 2 ปีที่แล้ว +2

    Pole sana rafiki yangu duuh! Mungu ni mkubwa iziraeli alikuwa karibu sana

  • @princess4217
    @princess4217 2 ปีที่แล้ว +6

    Afu bodaboda wanasababisha sana ajali pole sana broo!!

    • @simbafuns785kviews
      @simbafuns785kviews 2 ปีที่แล้ว

      th-cam.com/video/kozbvi54T-A/w-d-xo.html

    • @tamimtours6934
      @tamimtours6934 2 ปีที่แล้ว

      Hujambo Wee Asmaa?
      Mambo Vp?🇩🇪

  • @ibrahimjudika7324
    @ibrahimjudika7324 2 ปีที่แล้ว +2

    Pole sana

  • @Goodluck-zp5iu
    @Goodluck-zp5iu 2 ปีที่แล้ว +1

    Pole Sana

  • @dennisnjiro7922
    @dennisnjiro7922 2 ปีที่แล้ว +1

    Pole brother

  • @rejobu9723
    @rejobu9723 2 ปีที่แล้ว +1

    Dah! Pole sana mdogo wangu Piter

  • @barakacmwanza4428
    @barakacmwanza4428 2 ปีที่แล้ว +1

    Aaaaa mwanangu SUPLE SINGO pole jamaaa yangu kikubwa umepona

  • @slicehamfrey3504
    @slicehamfrey3504 2 ปีที่แล้ว +2

    Pole sana Mungu mkubwa umepona

  • @emanueledwin5685
    @emanueledwin5685 2 ปีที่แล้ว +1

    Duuuuh pole sana dereva

  • @stevenisanja6653
    @stevenisanja6653 2 ปีที่แล้ว

    Pole brother sanaa

  • @mursallusinde9189
    @mursallusinde9189 2 ปีที่แล้ว

    Pole sna ndgu

  • @mosesayubu5012
    @mosesayubu5012 2 ปีที่แล้ว

    Pole sana kaka

  • @jovinusjosephat5334
    @jovinusjosephat5334 2 ปีที่แล้ว +1

    ahsant ayo tv kwa abari motomoto

  • @deograciakashaigili5973
    @deograciakashaigili5973 2 ปีที่แล้ว +2

    Boda ndio zo kusimamia .ghafla barabarani hawana tofauti na hiace. Halafu mmewapunguzia faini mkaongeza tozo. Nafuu irudi 30000 ile ile watashika adabu hawa.

  • @yusufuabdallah7827
    @yusufuabdallah7827 2 ปีที่แล้ว

    Pole

  • @ghatititus7136
    @ghatititus7136 2 ปีที่แล้ว +1

    Mungu ni mwemà kikubwa roho gari linanunuliwa.

  • @Thuon_
    @Thuon_ 2 ปีที่แล้ว +4

    Bodaboda kwa kawaida ni zogo kila pahal, washenzi mno ndio maana nchi zingine wanafyekelewa mbali.

    • @zakayojohn6056
      @zakayojohn6056 2 ปีที่แล้ว +1

      Wanafyekelewa mbali kwa maana aziruhususiwi kubeba abiria ila kwa matumiz binafsi ruksa au sivyo??

    • @Thuon_
      @Thuon_ 2 ปีที่แล้ว

      @@zakayojohn6056 ndio si kwa biashara sababu inaleta tamaa ya kutozingatia sheria za barabarani.

  • @josephdaud3222
    @josephdaud3222 2 ปีที่แล้ว

    Pole Sana super single

  • @eddykingkaka
    @eddykingkaka 2 ปีที่แล้ว

    Polen ndugu

  • @rahimaaaaa8699
    @rahimaaaaa8699 2 ปีที่แล้ว

    MUNGU AKUPE.SUBRA KWA MUMUEPUSHIA.KIFO BODABODA. WANAOSEMA UNGEMpitia mungu awasamehe

  • @rukiaiddyyahaya9506
    @rukiaiddyyahaya9506 2 ปีที่แล้ว +1

    Mungu atakusimamia

  • @e.gabailechannel5667
    @e.gabailechannel5667 2 ปีที่แล้ว

    Pore sana mdau wangu super singo

  • @husseinkonz5192
    @husseinkonz5192 2 ปีที่แล้ว +1

    Saa asbh unapindua gar duh hii hatar

  • @hassanparamana2215
    @hassanparamana2215 2 ปีที่แล้ว

    pole Sana suka

  • @eddyemmy4807
    @eddyemmy4807 2 ปีที่แล้ว +3

    Hahahaha

  • @kefasmtafya7737
    @kefasmtafya7737 2 ปีที่แล้ว

    Ajali Jana mkoan songwe

  • @asmaabbas1429
    @asmaabbas1429 2 ปีที่แล้ว +1

    Boda boda wengi wahuni tu hawajuwi kufata sheria wanachojuwa kuovateki tu

  • @starlonejadamskp8224
    @starlonejadamskp8224 2 ปีที่แล้ว

    Pole sn

  • @karimuseleman5293
    @karimuseleman5293 2 ปีที่แล้ว

    . .

  • @jostamzxkaole3113
    @jostamzxkaole3113 2 ปีที่แล้ว +1

    Una roho nzuri wewe TUNASHUJUR KAKA::🙏🏽🙏🏽 ningekua mimi ningesha mramba uyo boda::😛

  • @georgembilinyi2824
    @georgembilinyi2824 2 ปีที่แล้ว

    Boda boda miyeyush.....unagonga tu

  • @yahyahamad1802
    @yahyahamad1802 2 ปีที่แล้ว

    Ilo kontena lingeangukia watu ingekua ajali kubwa zaidi bora ungemalizana na uyouyo bodaboda mjinga uyo

  • @ahamadtvonline7546
    @ahamadtvonline7546 2 ปีที่แล้ว +1

    Bora angempanda huyo bodaboda angalau mafunzo yaendelee,wakicheza na barabara wanakufa

    • @simbafuns785kviews
      @simbafuns785kviews 2 ปีที่แล้ว

      th-cam.com/video/kozbvi54T-A/w-d-xo.html

    • @salim02tv24
      @salim02tv24 2 ปีที่แล้ว

      Fikiria ndo amempakiza mama ako

    • @ahamadtvonline7546
      @ahamadtvonline7546 2 ปีที่แล้ว

      Kama mama ako anaweza Panda bodaboda mwandawazimu kama huyo basi jua mamako ana kasoro upande wa babako

    • @salim02tv24
      @salim02tv24 2 ปีที่แล้ว +1

      @@ahamadtvonline7546 uhai wa kiumbe aupimwi na kaosoro .. Maaana akuna aliyekamilikaa.. Ndo manaa mda u umeweka mkundu wako kwenye sink ilii utoee kimbaaa..

    • @ahamadtvonline7546
      @ahamadtvonline7546 2 ปีที่แล้ว

      @@salim02tv24 usifagilie kufirwa wakati hupendi hicho kitendo mbwa ww,hata mungu anakwambia jilinde na yeye ndio akulinde,ukileta usenge unatarajia Nani akulinde?

  • @dintazdintaz7311
    @dintazdintaz7311 2 ปีที่แล้ว +1

    Wewe gar ya milion zaid ya 100 unakubali kuangusha gari aisee pitia huyo

    • @cideboy4676
      @cideboy4676 2 ปีที่แล้ว

      Kama wewe ndo ungekua unapitiwa au ndugu yako ungefurah

    • @veronicasulle1849
      @veronicasulle1849 2 ปีที่แล้ว +1

      Hatari kumbe roho inaweza kununuliwa kwa million 100 huna adabu kweli

    • @cideboy4676
      @cideboy4676 2 ปีที่แล้ว

      @@veronicasulle1849 kwel Hana Adabu

  • @mussamgonola3983
    @mussamgonola3983 2 ปีที่แล้ว

    Acha kujisifia ujinga miaka 10 tu makampuni kibao na ushajiona legend,,mzee wangu kaendesha zaidi ya miaka 37 hajawahi pata ajali na amestafu ,Yupo mzee nyenza Iringa Yupo mzee Imanuel kitumbika Iringa Yupo Giriki hawajawahi gonga hata kuku ,,miaka 10 tu eti mi maarufu anaitwa mzee wa supersingle angalia maneno ya kuzungumza ,,Wapi Mr linyama mzee wa ndugu Abiria nn ww na Howo lako

    • @joshuakumenya2946
      @joshuakumenya2946 2 ปีที่แล้ว

      Unazingua wewe

    • @stukiaally4690
      @stukiaally4690 2 ปีที่แล้ว

      Sasa ulitaka ajibu kwa niaba ya mzee wako hiyo miaka 37 yeye alikuwepo humo barabarani? Au ulitaka ajibu nini kwa swali aliloulizwa kuhusu ajali alizopata

    • @activestudios.
      @activestudios. 2 ปีที่แล้ว

      KWANI KUNA MTU ANATAKA KUSIKIA ISHU ZA BABA YAKO HUMU acha uchizi kijana

    • @kellyngogo3319
      @kellyngogo3319 2 ปีที่แล้ว

      Mussa mgonola km hujui KUTUMIA mtandao wacha kaa kimya. Huyo nyenza kitumbika unawajua wewe nenda kahojiwe ukawsifu basi

    • @barakacmwanza4428
      @barakacmwanza4428 2 ปีที่แล้ว

      Wameendesha miaka yote hyo kakin wako wp acha ulimbuken wa kutumia cm mla mbwa weweee

  • @muddy6076
    @muddy6076 2 ปีที่แล้ว +1

    Pole sana

  • @yusufuabdallah7827
    @yusufuabdallah7827 2 ปีที่แล้ว

    Pole

  • @jaduclassic9982
    @jaduclassic9982 2 ปีที่แล้ว

    chuma mpya kabisa Dwc duh

    • @Ndu-wa.uroony2
      @Ndu-wa.uroony2 2 ปีที่แล้ว

      Upya haungaliwi kwa kutumia plate number bali ni kwa kiasi gani gari limetumika na kuchoka

    • @jaduclassic9982
      @jaduclassic9982 2 ปีที่แล้ว

      @@Ndu-wa.uroony2 sawa kila mtu ashinde mechi zakw

    • @simbafuns785kviews
      @simbafuns785kviews 2 ปีที่แล้ว

      th-cam.com/video/kozbvi54T-A/w-d-xo.html