MAAJABU: NDEGE ILIYOPOTEA ANGANI/ABIRIA 227/KIKUNDI CHA MAUAJI /WAHUSIKA WATAJWA/INATISHA..| EP 01
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 11 พ.ค. 2024
- Ni makala yenye kuelezea kisa kilichojaa utata, na bado ni kitendawili cha ulimwengu mzima, ni baada ya tukio baya la kupotea kwa ndege ya abiria ya MALAYSIA AIRLINE MH370, ikiwa safarini kutokea katika taifa la MALAYSIA ikielekea katika taifa la CHINA ikiwa na zaidi ya abiria 200.
Bado ni mtihani wako wapi watu hawa?, na maswali muhimu kama iko wapi ndege hii? na tukio hili ukweli wake ni upi?
Karibu katika makala zetu za maelezo kwa undani wa taarifa hizi
Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali.
JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786
⚫️ Email: dar24newsroom@gmail.com
⚫️ Website: www.dar24.com
⚫️ Instagram: @Dar24news
⚫️ Facebook: @dar24
⚫️ Twitter: @Dar24News
#malaysiamh370 #maelezo #makala
Kwa kutazama makala hizi za #MAELEZO usikose kila siku ya jumapili saa tano kamili asubuhi
21
Why us base kwenye pande zile zile kak dupatta story za mabaharia 100% kubw watu walikuw wanakufatilia wengii baharia so hiki kipind kipya cha makala utapoteza wana family yako kak
This is the best! Keep up ! Kila siku aina ya story aina. Moja yakera
Story yako kama Bollywood ila uwaclishaji ufanyie kaz tengeneza tulia edit vzr maneno ucrudie hlf njoo hapa utupe story ikibid soma tu kama Jamal sio lzm tuone sura yako kila wkt. Big up kaza buti mzee fanyia kaz vitu hivyo itakaa poa.
Kweli lifanyiwe kazi
Unaludiludia sana maneno, unaharibu story
Ni swag zake tu za kutaka kutuelewesha wenye hatuelewi
Juanda International Airport. Ipo katika Mji wa East Java- Surabaya. Ndio mji ninaoishi hapa Indonesia 🇮🇩😅.
Nasikiliza makala hii kutokea hapa Surabaya🇮🇩👍👍
Vp maisha ya indonesia kaka
Na unajishughulisha na nn huko surabaya
@@mohrecaps Kusaka tonge kaka😁
Upo mtaa gn jiran mi pia nipo uko
@@Rogervicent-iu3lh we upo wapi?
Noma
Hii ndege mbona ishapatikana
apa ndio jamal april anpowakalisha awaa
We hujui uchambuzi na ata kufatilia kwenye site trusted hufatilii
Thanks again
Dupa na kukubalisana uchambuzi wako ipo cku inshallah tutakutana uso kwa uso nitakutafuta kwa ss naishi nje ya nchi
Gud story
Sema kilichokuleta hapo wacha kuingilia mambo mengine
Hii ndege hadithi yake inafanana na ile ya kupotea na kurudi amini kuwa hii ndege itarudi duniani
🔥🔥🔥
Jamaa umemtaja zaidi ya mala tatu au huna kingine cha kusema?
Dupa
Hii siyo Ile ndege waliyosema bawa lake lilipatikana Zanzibar kwenye bahari!
Msenge wewe
Mbona unarudia rudia shida nn mzee au unahis sisi tunao kufatlia n washamba hatukuelew?? Acha kulamba midomo lete facts
Tunataka story za mabaharia kaka hizo story nyengne watu 90% hatuzielew 📌
Kuma.wewe kwenda
Unajikuna nini sasa
Nilitamn san hi stol kitambo
Hanna kitu hapa
Tunaofahamu media na ukusanyaji taarifa kaka umevuka asilimia 90 kuandaa sio poa
Kuna siri kubwa ndani yake
Achakuzukuka uongei unazunguka tuuu
Tunasubiri episode 2
Dupa vp kuusu mabaaria
Kiongozi hebu acha ubabaishaji, hujuwi unachokisema wewe kazi kurudiarudia tu maneno kalale umevaa vazi la kulalia
Unaelezaa kama mtoto chochote hujui unabahatisha wala hujui kueleza mtu aelewe wewe huna elimu ya kufundisha ovyo kabisa
Toka wew kwenda uko sisi tunamkubari
Una stress mzee😅
Yani huyu jamaa hakuna anacho jua ni njaa labda Ina mtuma uku
Dupa vp kuusu mabaaria
Hii siyo Ile ndege waliyosema bawa lake lilipatikana Zanzibar kwenye bahari!
Ovyo kabisa
Hapana bawa liliokotwa Zanzibar ndege yake iliangukia visiwa vya comoro