BIBI ALIETUMIA 'MAAJABU' KUZUIA BASI ARUSHA AHOJIWA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 3 เม.ย. 2019

ความคิดเห็น • 672

  • @maphieemanuel3137
    @maphieemanuel3137 5 ปีที่แล้ว +367

    Aisee reporters mna kazi kweli duh huogop mitambo itazima broo duh wanaokubali Ayo TV gonga like twende pamoja

  • @frdadaud991
    @frdadaud991 5 ปีที่แล้ว +94

    usalama wang wa taifaa km kuna aliyeckia gonga like bac😁😁😁😁

  • @sylvestercharles3585
    @sylvestercharles3585 5 ปีที่แล้ว +61

    Kuna Mungu aliye mkuu kuliko uganga, itapendeza sana Bibi ukimpokea Yesu na kumfanya kuwa Bwana na mwokozi wako, yeye ni zaidi ya uganga.

  • @simonmagembe7140
    @simonmagembe7140 5 ปีที่แล้ว +183

    Huo uwezo Wa bibi Wa kuzuia basi aajiriwe serikalini ili azuie na rushwa

    • @Motv1000
      @Motv1000 5 ปีที่แล้ว +1

      dahaa acheni Mila za kishilikina jamani sio kula mzeee mchawi jamani msimtuhumu Bibi wawatu

    • @fatmazullu4933
      @fatmazullu4933 5 ปีที่แล้ว +1

      Simon Magembe 😂😂

    • @eunicejohn5520
      @eunicejohn5520 5 ปีที่แล้ว +1

      Kabisa hahahahaha

    • @shahamtindo
      @shahamtindo 5 ปีที่แล้ว +1

      Hahaha

    • @rosemtweve5475
      @rosemtweve5475 5 ปีที่แล้ว

      😁😁😄😆

  • @gaudiosamweha1792
    @gaudiosamweha1792 ปีที่แล้ว +1

    Heri ya mganga ujinga gani,we bibi sikuogopi usitishie watu bana.mi nikiwa Karibu yako mbona utakbilia uvunguni huwexi furukuta mbele ya Mungu wangu.God is everything.Heri amtumainie Mungu milele

  • @allyanthony3489
    @allyanthony3489 5 ปีที่แล้ว +16

    Bibi uko sawa makondakita wanazalau sana abilia

  • @mohammedmkomi9087
    @mohammedmkomi9087 5 ปีที่แล้ว +169

    NILIPELEKWA KITUO CHA POLISI #ARUSHA KWA AJILI YA USALAMA WANGU WA #TAIFA ..nan kasikia hyoo #sentensi kama mm?

  • @georgeking4469
    @georgeking4469 5 ปีที่แล้ว +63

    kwa MTU was Mungu yeyote akipanda kwenye gari yoyote lazima aombe,na maombi ya MTU mmoja yanaponya nchi nzima

    • @najatmngazija1547
      @najatmngazija1547 5 ปีที่แล้ว

      george king fanya basi maombi mashoga waishe tz, inaelekea unajua

    • @glorychiwala4576
      @glorychiwala4576 3 ปีที่แล้ว

      Maombi ya mmoja hakika huponya

    • @bingwarash3256
      @bingwarash3256 3 ปีที่แล้ว

      Amina

    • @gosbertmuta5421
      @gosbertmuta5421 3 ปีที่แล้ว

      Kwahyo uganga na mungu ni sawa ???acha kuzngua ww

    • @mosesritoine2320
      @mosesritoine2320 ปีที่แล้ว

      Lushoto Moshi Arusha inakuwaje, stend ya Arusha Tena vipi?

  • @milcahjosiah3967
    @milcahjosiah3967 5 ปีที่แล้ว +7

    Uwiiiii alikua anakuja kwetu nzega yelewiiiii

  • @hamzavirago2649
    @hamzavirago2649 5 ปีที่แล้ว +23

    Kwaajiri ya usalama wangu wa taifa🤒🤒🤒🤒

  • @bundukitv1322
    @bundukitv1322 5 ปีที่แล้ว +14

    Godfrey na mwenzio Vido ni mapresenta wazuri sana. Mungu awaongeze ufanisi

  • @dalalihakweahakweya6663
    @dalalihakweahakweya6663 4 ปีที่แล้ว +5

    Mm nisha jichukuria namba mudah, mlefu nami nika fanye yangu huko lushoto sijuwi tabora 😁😀😃😄😁😀

  • @marumswhly4186
    @marumswhly4186 5 ปีที่แล้ว +6

    Sem brother umenenep sana khaaa MashAllah ila mazoez muhim

  • @georgeking4469
    @georgeking4469 5 ปีที่แล้ว +5

    kama ni mzinzi,Sena nakataa uzinzi,au usengenyaji,au ufilaji,au wizi,au kuabudu sanam, kila aina has uchafu ginga kataa na Mungu atakusamehe utaanza maisha mapya ndani ya Yesu

  • @moyomzurionline9718
    @moyomzurionline9718 5 ปีที่แล้ว +6

    Karibuni Lushoto 😂😂Daadeki

  • @wizchiachacha7937
    @wizchiachacha7937 5 ปีที่แล้ว +27

    Ayo tv wametafta bibi fulani tu kwaajili ya kutengeneza pesani
    Huyu sio bibi ni mama na namjua hana maajabu hayo

    • @dorischilla1627
      @dorischilla1627 5 ปีที่แล้ว +1

      Wizchia Chacha peleka usenge hukoo

    • @nellywizzy7034
      @nellywizzy7034 5 ปีที่แล้ว

      Doris unamtukan jamaa. Unaamini kweny giza

    • @nellywizzy7034
      @nellywizzy7034 5 ปีที่แล้ว +1

      Kwanz hyo mama akuzuia gar ila gar walifaulisha kwasabb zao weny campun tatiz la wa tz mnamin giza sana na mnapenda kuckia kuus maajab y giza

    • @angelrimoy2365
      @angelrimoy2365 4 ปีที่แล้ว

      Wizchia Chacha Aah kumbee

  • @fintanmkesha1077
    @fintanmkesha1077 4 ปีที่แล้ว +2

    Kuna kitu nimegundua hilo ni dili la makonda na matapel kuwaaminisha wat kua bib ni mganga ili wawapige watu wanao enda kwa waganga hamna uchawi hapo

  • @ashuramhando5285
    @ashuramhando5285 3 ปีที่แล้ว +5

    Kijana mtangazaji makini Sana na kazi zako makini big up

  • @gilbertmwangonela7757
    @gilbertmwangonela7757 5 ปีที่แล้ว +5

    Namba ya bibi naomba #

  • @hudsson75
    @hudsson75 5 ปีที่แล้ว +24

    Kama nawaona vile watu wa mambo yao wanavyoandika namba ya simu😂😂😂

    • @mariamelias1915
      @mariamelias1915 4 ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣🤣 wa kwanzaa mm

    • @marianachristophory4916
      @marianachristophory4916 4 ปีที่แล้ว

      Haaaaaaa umeona eeeeee tulivyo makini na number!!!!!!!

    • @donatuspeter8990
      @donatuspeter8990 3 ปีที่แล้ว

      Mama noma huyo

    • @donatuspeter8990
      @donatuspeter8990 3 ปีที่แล้ว

      @@mariamelias1915 mama Bella and Josie the archana mukunda mukunda mukunda mukunda

    • @donatuspeter8990
      @donatuspeter8990 3 ปีที่แล้ว

      @@mariamelias1915 mama Bella and Josie the archana mukunda mukunda mukunda mukunda

  • @janeschurmanns7364
    @janeschurmanns7364 5 ปีที่แล้ว +12

    🤣🤣🤣🤣🤣kwa usalama wangu wa Taifa nimeipenda hiyo

  • @queenandchill91
    @queenandchill91 5 ปีที่แล้ว +6

    "Mimi sikuwa na aja ya kujisaidia"😂😂 ili upate muda wa kufanya mambo bibi au sio

    • @madadamadada1402
      @madadamadada1402 4 ปีที่แล้ว

      Queen Bernard hhahahaha umenivuunja mbavu balaaa

  • @TheSalma1999
    @TheSalma1999 5 ปีที่แล้ว +1

    Mandhari mmeiona it’s beautiful

  • @iddisalumu8743
    @iddisalumu8743 2 ปีที่แล้ว +1

    Hongera Sana Bibi nimeilenda

  • @georgeking4469
    @georgeking4469 5 ปีที่แล้ว +8

    Basi nzima walimwogopa bibi kwa sababu hawakuwa na ufahamu kuhusu uwezo was Mungu,ndo maana hata bibi aliwaona kwenye darubini yake ya kichawi ,hakukua na mlokole ndani ya basis LA kama mlokole angekuwa kwenye hiyo bibi hiyo bibi asingepanda from the start

  • @silverjoseph4577
    @silverjoseph4577 5 ปีที่แล้ว +13

    Nimecheka jaman Bibi alivyoshika maiki na anavyoongea Kama mwandishi wa habari kwa nukta Bibi shikamoo ooooooooooh

    • @linahgoodluck4202
      @linahgoodluck4202 5 ปีที่แล้ว

      Silver Joseph 😂😂😂😂

    • @silverjoseph4577
      @silverjoseph4577 5 ปีที่แล้ว

      Linah Goodluck hapana chezea anavyoongea uku amefunga macho anaongea kwa nukta hatareee

    • @gaudiosamweha1792
      @gaudiosamweha1792 ปีที่แล้ว

      X😂😂😂🤣🤣🤣🤣

  • @raymondjimmy2712
    @raymondjimmy2712 5 ปีที่แล้ว +4

    Hii Mizimu ya huyu Bibi Mbona inawahi sana kupanic😂😂😂

  • @allymohamedi991
    @allymohamedi991 5 ปีที่แล้ว +4

    Kwanzaa lazma ajitetee duh usalama wangu wa taifa haha 😂 😂😂😂😂😂 lakn tusimseme Sana keshakuw 🌟 star

    • @sofiayusufu7762
      @sofiayusufu7762 5 ปีที่แล้ว

      Ally Mohamedi 😁😁😁😁😁😁

  • @muhimpundunourah8021
    @muhimpundunourah8021 4 ปีที่แล้ว +1

    unafiki mkubwa,mama mwislam mshirikina mkubwa.mnatuleteya haya waislam.muogope mungu.

  • @ngometvarusha4030
    @ngometvarusha4030 5 ปีที่แล้ว +22

    Kilichosimamisha gari siyo uchawi wala ndumba nimatatizo ya gari sema watanzania kwakukuza vitu vya kishirikina hawajambo huyu mama kasema alipoona watu wanashuka hakujua kinachoendelea alidhan wanaenda kukojoaa achen kuendekeza ujinga ndio maalibino waliuliwa sana Tanzania na kule njombe watoto wadogo ,kupotea ,makonda amesema tusiwe na taifa ambalo lina promote mambo ya hovyo na kuacha mambo yenye faida

  • @sylvesteraron4972
    @sylvesteraron4972 5 ปีที่แล้ว +69

    wewe mama acha uchawi njoo kwa BWANA YESU KRISTO, akuponye, uchawi sio sifa zuri

    • @husenimareja1907
      @husenimareja1907 5 ปีที่แล้ว

      Sylvester Aron huko uliko hakuna usalama hata kidogo soma vitabu ujue unachokiamini sio sahihi

    • @lailaathumani8620
      @lailaathumani8620 5 ปีที่แล้ว

      Unauhakika kama mchawi ama unaropoka

    • @happygamnazi8435
      @happygamnazi8435 5 ปีที่แล้ว

      Amina

    • @RoseJames-ed5hv
      @RoseJames-ed5hv 5 ปีที่แล้ว +1

      Unayesema Una uhakika mchawi wewe unaona anaimba kwaya hapo au na wewe ni mteja wake.

    • @christsflowe.r
      @christsflowe.r 5 ปีที่แล้ว +2

      @@husenimareja1907 sasa na wewe si ungeandika comment yako kwa huko unakohisi kuko sahihi 🙄

  • @lucyammi4199
    @lucyammi4199 ปีที่แล้ว +1

    YESU KRISTO ni jibu

  • @emmyjohn3192
    @emmyjohn3192 4 ปีที่แล้ว +2

    nan anaamin bib kajitangazia biashara yake 😂😂😂😂😂

  • @financialloan9818
    @financialloan9818 5 ปีที่แล้ว +4

    Mapepo wanayaogopa apo ni kukemea tuuu na uyu bibi asingekua na chochote kile kawatisha tuu kwakua Ameona wotee amna yesu ndani yenu

  • @AlbertLema
    @AlbertLema 5 ปีที่แล้ว +10

    kwa ajili ya usalama wangu wa Taifa .

  • @phaniboyphaniboy9837
    @phaniboyphaniboy9837 5 ปีที่แล้ว +14

    Kama una soma comment kama mm likes

  • @anganilekajigilikajigili2641
    @anganilekajigilikajigili2641 3 ปีที่แล้ว

    Bibi kama wewe mwanga c ungepaa tu au ndio tungeskia mbele imeuwa wote😁😁😁

  • @mwajabukaseke8710
    @mwajabukaseke8710 2 ปีที่แล้ว

    Tangaaa mko vizurii😅😅😅😅

  • @lailaathumani8620
    @lailaathumani8620 5 ปีที่แล้ว +2

    Asante mungu mamangu kafika Salama nyumban

  • @alexjeremia7686
    @alexjeremia7686 5 ปีที่แล้ว +7

    dah! ndo tuamini dawa zipo

  • @saidiomali3324
    @saidiomali3324 5 ปีที่แล้ว +17

    Naona bibi katoa namba wenye iman za kishilikina wa ruke hewani

    • @moseswanjara3408
      @moseswanjara3408 5 ปีที่แล้ว

      Saidi Omali moja wapo ni ww

    • @josestudio4534
      @josestudio4534 4 ปีที่แล้ว

      nimempigea amesema atanikomeshea wanaonisumbua

    • @mrprogram5509
      @mrprogram5509 2 ปีที่แล้ว

      @@josestudio4534 😂😂😂

  • @mdyoung5163
    @mdyoung5163 2 ปีที่แล้ว +1

    Bibi😘

  • @annethnkya5891
    @annethnkya5891 2 ปีที่แล้ว +1

    Usalama wangu wa taifa😂😂😂😂😂

  • @pilihashim.3162
    @pilihashim.3162 5 ปีที่แล้ว +2

    jamani mwanikumbusha mbali jamani home huko we kaka unatisha big up God

  • @ramecknelson8562
    @ramecknelson8562 2 ปีที่แล้ว

    Bibi oyeeeee

  • @masungangombe
    @masungangombe ปีที่แล้ว

    Huyo bb niwakuombea yesu yuko kazin

  • @edithajonh2970
    @edithajonh2970 ปีที่แล้ว

    Safi Sana lafiki yangu hawa watu inatakiwa tuwanyoshage jinga kwel

  • @tarentstv8558
    @tarentstv8558 5 ปีที่แล้ว +60

    Usalama wake wa taifa😂😂😂

  • @hasaniabdalah6148
    @hasaniabdalah6148 ปีที่แล้ว

    Da huyu bibi msambaa bana hata lafudhi. Ila kweli watu waache zarau usimzarau usie mjua kuna Ndugu yangu alimchekaga mtu akashikwa kichwa mpaka leo haoti nywele tanga Raha 😂😂😂

  • @gitu4me
    @gitu4me 5 ปีที่แล้ว +3

    Sasa hivi unaleta Habari motomoto safi sana

  • @ezekielmdete6412
    @ezekielmdete6412 5 ปีที่แล้ว +1

    aaasee Kali ya mwaka

  • @georgeking4469
    @georgeking4469 5 ปีที่แล้ว +2

    mwingine anasema sitaweza kuacha,jipe moyo mkuu,hata Mimi nilikuwa hivyo na Mungu amenisaidia nimeacha, jionyeshe kuwa Mungu anakupenda mwambie shetani wakati wake umekwisha.sasa umemgeukia Mungu aliyekuumba,Mungu anakupenda sana tena mno

  • @bigboys016
    @bigboys016 5 ปีที่แล้ว +17

    Usalama wake wataifa,lazima ulindwe halafu wewe mwenye kuuliza maswali unaendeshaje kipindi wakati simu inapiga fujo

  • @obediayubu6998
    @obediayubu6998 2 ปีที่แล้ว

    Daaaaaaaaaaaa ametxha

  • @salimmohamed694
    @salimmohamed694 5 ปีที่แล้ว +24

    Bibi wacha uchawi ww utakufa vibaya ushirikina ni kitu kibaya sana

  • @edwinalexander1170
    @edwinalexander1170 5 ปีที่แล้ว +2

    Huyu Mama uchawi wake uko kwenye macho, anatumia macho kulogea, anatumia nguvu za Giza, ila kwa Jina la Yesu kristo huo uchawi wako hawezi kukusaifia ni kwa vile ulikutana na watu walikuwa wakishangaa badala ya kuomba. Mpe Yesu maisha yako Mama uchawi hautakusaidia, baada ya kufa utaenda motoni na uchawi wako.

    • @janesuma2193
      @janesuma2193 5 ปีที่แล้ว

      Edwin Alexander kwani kasema yeye ni mchawi

    • @mneneijasmin1493
      @mneneijasmin1493 5 ปีที่แล้ว

      Edwin Alexander mchawi ndiio sasa anaongea naninii vitu havionekani au alikuwa anaongea na malaika

    • @jaymandy8136
      @jaymandy8136 2 ปีที่แล้ว

      Tumpe Mungu maisha yetu na sio Nabii Yesu.

    • @gaudiosamweha1792
      @gaudiosamweha1792 ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣😂😂😂umemkagua macho tayar

  • @AbdallahWeja
    @AbdallahWeja 4 หลายเดือนก่อน

    Jaman uyo atar

  • @furahakilanda7578
    @furahakilanda7578 ปีที่แล้ว

    Sahi man'a tabia zako kusha Sha wata jifunza

  • @georgeking4469
    @georgeking4469 5 ปีที่แล้ว +3

    let me help you,,ukimwamini Yesu na kutubu dhambi,unakuwa kiumbe kipya,utu wako was ndani unahuihwa,unabadilishwa,unakuwa umevikwa utu mpya,yaani George was zamani anabadirishwa unakuwa George mpya,ya kale yamepita tazama yamekuwa mapya,Yesu anakuja kukaa ndani yako

  • @deborasaidimizambwa3534
    @deborasaidimizambwa3534 ปีที่แล้ว

    Madeleva wamezoea sana natamani aje namorogoro doma bibi njoo nauku

  • @abdullayahya8717
    @abdullayahya8717 5 ปีที่แล้ว +67

    Huyu bibi akiongea kama lowasa anapiga kampeni

    • @sheikinitv8489
      @sheikinitv8489 5 ปีที่แล้ว +1

      Itakuwa ni ndg ake😂😂😂

    • @mariadunguru8204
      @mariadunguru8204 5 ปีที่แล้ว

      Abdulla Yahya hahahahah umenivunja mbavu na iyo comment yako

    • @leonardmrope9528
      @leonardmrope9528 5 ปีที่แล้ว

      😀😀😀😀😀

    • @abdallahomari8680
      @abdallahomari8680 5 ปีที่แล้ว

      @@leonardmrope9528 afadhali huyo mama kuliko lowasa hawezi kujieleza hana speech,

    • @bennyfrank6427
      @bennyfrank6427 5 ปีที่แล้ว

      Abdulla Yahya

  • @morgankalima5824
    @morgankalima5824 5 ปีที่แล้ว +5

    Wa Tanzania mnapenda sana kuamini amini mambo ya ushilikina Kila kitu ni ushilikina mpira uchawi.Simba na Yanga ushilikina badilikene alafu Huyo sio bibi msipende kuzeesha watu Huyo ni mama.

    • @paskalmanongwa7183
      @paskalmanongwa7183 5 ปีที่แล้ว

      Aisee mm sjawahi kuwa mshabiki Wa timu za tz kwa kua spendi hata kidogo hayo mambo yao ya kichawi

  • @mgenzimnofumbwale345
    @mgenzimnofumbwale345 4 ปีที่แล้ว

    Aiseee uyoo bb ni Nomaa kwan up ni ufundi na sio uganga

  • @piusthobias880
    @piusthobias880 2 ปีที่แล้ว

    Huyo bibi atakua ni wasumbawanga😂😂😂😂😂😂😂

  • @georgeking4469
    @georgeking4469 5 ปีที่แล้ว +2

    ndo maana Mungu anasema walipo wawili au watatu wakusanyikapo kwa jina langu Mimi Mungu nipo katikati yao.kwa hiyo umepata picha jinsi Mungu alivyo kwetu. jioni njema, Mungu awabariki

  • @devyjosee9563
    @devyjosee9563 2 ปีที่แล้ว

    mi mwenyew apa naogop kuangalia cm yngu icjezima buleee😂

  • @faridbawazir289
    @faridbawazir289 5 ปีที่แล้ว +37

    Huyu bibi anasoma tarifa ya habari au

  • @deborasaidimizambwa3534
    @deborasaidimizambwa3534 ปีที่แล้ว

    Bibi safi sana

  • @tobalismwengere800
    @tobalismwengere800 4 ปีที่แล้ว

    Daaa kazi nzuri ayo tv

    • @kebbyomary863
      @kebbyomary863 4 ปีที่แล้ว

      Hana uwezo wakuzwia mazao shamban ye nigar na pkpk tu

  • @fatmakombe3553
    @fatmakombe3553 5 ปีที่แล้ว

    hahahahahaaaaaaaaa hpna mmmmh

  • @rashdiyange7758
    @rashdiyange7758 2 ปีที่แล้ว

    A ha kbsaaa watu wa lushoto noma uyo bibi namjua mganga nyoko aki kwambia subhi uamkia uamki kwer shikamoo bibii

  • @aichaabdul5844
    @aichaabdul5844 4 ปีที่แล้ว +1

    Uwe unatembea na gari yako basi na kama hujui kuendesha tafuta dereva.....hapo ndio utaonekana mganga mjanja

  • @ashuramhando5285
    @ashuramhando5285 3 ปีที่แล้ว

    Dah ayo ni noma

  • @fatimamohammed2332
    @fatimamohammed2332 5 ปีที่แล้ว +2

    bibi weweee hatar fire mama nakufaaaa bibi utabak kuwa juu

  • @alexrashid4859
    @alexrashid4859 5 ปีที่แล้ว +9

    Salimisha maisha yako kwa yesu we bibi

    • @financialloan9818
      @financialloan9818 5 ปีที่แล้ว

      Kbs yesu ndie kiboko ya wachawi na mapepo

  • @bilalysalim6222
    @bilalysalim6222 4 ปีที่แล้ว +3

    😂😂😂😂😂😂😂usalama wang wa taifa

  • @safiyasafiya5014
    @safiyasafiya5014 5 ปีที่แล้ว +11

    Bibi mbona unafunga macho umeishika mike sawa sawa wasikuchezee bibi hee

  • @judithchristabella310
    @judithchristabella310 5 ปีที่แล้ว +6

    kapagwa uyu co mwenyewe

    • @herikaniugu
      @herikaniugu 5 ปีที่แล้ว

      Promo ya uganga, kuanzia boda boda ad dereva la basi walipangwa, uchawi haupo

  • @joelimgina6794
    @joelimgina6794 ปีที่แล้ว

    Huyo bibi anabalaa

  • @ramsoshety8865
    @ramsoshety8865 5 ปีที่แล้ว +1

    mnaitaj coment tu hahahaha mnafer uyo bb namfaham afi kwake du ase poleni ay tv

  • @zainabumbondei8635
    @zainabumbondei8635 3 ปีที่แล้ว

    Haaaaaa hatari eti semeni wote heri ya mganga🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 hatari sana

  • @asmabintikiwasha13
    @asmabintikiwasha13 5 ปีที่แล้ว

    Nice home

  • @matridajanvier4509
    @matridajanvier4509 5 ปีที่แล้ว +4

    mbna mtangazaj hujamhoji kwa karibu jaman uxo kwa uxo ndo tamuu au umemuogop

  • @shabanihussen7449
    @shabanihussen7449 5 ปีที่แล้ว

    kaaa jamn huy mbibi nae bhn mbon anavihimambo ivo jamn duh!!! hofixho kweli jaman

  • @isaaclusesa2079
    @isaaclusesa2079 5 ปีที่แล้ว

    Nice mama

  • @amiryyusufmbaraka1031
    @amiryyusufmbaraka1031 5 ปีที่แล้ว +1

    interview ya kwanza alisema anakwenda Tabora Leo yuko lushoto Khaaaaaaaaa

  • @moseswanjara3408
    @moseswanjara3408 5 ปีที่แล้ว +25

    Hahaaaaa itakua kua km yule mwenye gunia la mahindi aliyesema limekataria mgongoni kibahaaa watu wapo kazini

  • @sofiabuchenja2769
    @sofiabuchenja2769 2 ปีที่แล้ว

    Good

  • @aishamussa7246
    @aishamussa7246 3 ปีที่แล้ว

    Hapana hlo gali linanguv ya mung!!! Bibi hakua m2 was mung' alitaka afany chchote !! Ila uwezo wa mungulihisika

  • @danielbarickmunishi3785
    @danielbarickmunishi3785 4 ปีที่แล้ว

    Boda Boda nmekuelewa Boda Boda kuwa smart Inawezekana Sana.

  • @diockresdiockresi5691
    @diockresdiockresi5691 3 ปีที่แล้ว

    Dah !!!

  • @ramadhaniabdulabi4035
    @ramadhaniabdulabi4035 ปีที่แล้ว

    Bibi njoo kwangu unace

  • @shaibumrisho162
    @shaibumrisho162 5 ปีที่แล้ว +3

    Mmmh hatareee xan

  • @jamesnyamai4531
    @jamesnyamai4531 3 ปีที่แล้ว

    Mkali uyu bibi

  • @salmasalim6055
    @salmasalim6055 5 ปีที่แล้ว +1

    Loool bibi mchawi🤭

  • @elizabethmwandu6937
    @elizabethmwandu6937 5 ปีที่แล้ว +4

    Mmmmmhu aiseee nimecheka 😀😀😀😀😀mama alivyoishika maiki na anavyoongea kama mtangazaji wa taarifa ya habari .Ikabidi wampeleke kwenye usalama wake wa Taifa😀😀😀😀 heri ya mganga wote😀😀😀😀 Mmmmmhu wewe bibi ni hatari.

    • @mathaadam2608
      @mathaadam2608 5 ปีที่แล้ว +1

      Insonyesha hata anayo ongea anaambiwa ongea hivi maana sio kwa vituo hivyo shikamoo bibii

    • @elizabethmwandu6937
      @elizabethmwandu6937 5 ปีที่แล้ว

      @@mathaadam2608 mmmmmhu kwa kweli shikamoo bibi😀😀😀😀😀

    • @mathaadam2608
      @mathaadam2608 5 ปีที่แล้ว

      Ndugu yangu asije akasoma comment cm zetu zikazima bibi nimepiga magoti shikamoo

    • @silverjoseph4577
      @silverjoseph4577 5 ปีที่แล้ว

      Nimecheka jaman Bibi kiboko

  • @petersarwat4141
    @petersarwat4141 ปีที่แล้ว

    Jamani huyobb nimfano wakuigwa kwani makondakta samezidi kuwamatapeli

  • @ezekielsamson
    @ezekielsamson ปีที่แล้ว

    Bibi noma

  • @josephnjeno2582
    @josephnjeno2582 5 ปีที่แล้ว +6

    Kwaajili ya usalama wangu wa nini kwa mwenzengu aliyesikia vizuri

    • @danielelias8855
      @danielelias8855 5 ปีที่แล้ว

      😀😀😀

    • @aminamassawe1768
      @aminamassawe1768 5 ปีที่แล้ว

      Hahahahhaha kwa ajili ya usalama wangu wa taifa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @reyham1722
      @reyham1722 5 ปีที่แล้ว

      Wa taifa

  • @raymondkaswaga8334
    @raymondkaswaga8334 5 ปีที่แล้ว

    Karibu kwetu Lushoto