Dunia Inatengenezwa Na Wenye Akili | Morning Philosophy | Rev. Dr. Eliona Kimaro

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 มิ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 26

  • @devothabishagazi9360
    @devothabishagazi9360 7 วันที่ผ่านมา +1

    Kweli mchungaji,watu wameng'ang'ania vyeti lkn kichwani zero,kazi kuchukia wenye akili kisa elimu ndogo.Mungu atusaidie mno huku makazini ni shida

  • @ElimringiMmary
    @ElimringiMmary 7 วันที่ผ่านมา

    Asante San mchungaji Mungu akubariki tunazidi kujifunza sana.

  • @TakeAshot-sw2jn
    @TakeAshot-sw2jn 2 วันที่ผ่านมา

    Amen

  • @simonbarhe7840
    @simonbarhe7840 6 วันที่ผ่านมา

    Mchungaji ubarikiwe katika utumishi wako.
    This morning phylosopy is very fantastic ni mengi nimejifunza kwako lkn hii ni kali

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 4 วันที่ผ่านมา

    Unasema ukweli🎉

  • @joshuasadock2040
    @joshuasadock2040 7 วันที่ผ่านมา

    Amen. Mungu akubariki kwa ujumbe bora

  • @glorymwero9693
    @glorymwero9693 4 วันที่ผ่านมา

    Nakupata mpaka nakuget ani

  • @lydiaaruba6670
    @lydiaaruba6670 7 วันที่ผ่านมา

    Amina Amina Yan kuroholize na kuishi kanisani bila akili ya kuzaliwa wala haisaidii chochote

  • @happiness_713
    @happiness_713 7 วันที่ผ่านมา

    I get you, loud and clear!! Amen 🙏🙏

  • @JoshuaHilgath
    @JoshuaHilgath 8 วันที่ผ่านมา +1

    Amina Amina

  • @badendavid8456
    @badendavid8456 7 วันที่ผ่านมา

    Dr Eliona nibariki mimi

  • @NoelaLema
    @NoelaLema 7 วันที่ผ่านมา

    Waambie Wanaume wapone Mchungaji wajue kabisa akili njema utoka kwa Mungu tumenyanyasika kwenye ndoa kwa kutoa kujua kumbe ni akili eee Mungu endelea kutunza akili yangu nashukuru Jehova

  • @amosjohn7829
    @amosjohn7829 5 วันที่ผ่านมา +1

    Hili swala nimeliongea sana Kwa Baadhi ya viongozi lakini hakuna Alie nielewa Mtakubaliana na Mimi Hata Ukiwa na Elimu Bado unaitaji Akili Ili Kuongeza thamani ya Elimu uliyo nayo. Nchi yetu Ina watu wenye uwezo wa kufanya mambo makubwa ya kutela Mabadiliko chanya Kwa Taifa lakini hawapewi nafasi Kwasababu ya kukosa vyeti Alafu tunataka Africa Imtawale Mzungu Hatutaweza kama hatutaweza kuwatumia wenye Akili. Kuleta Mabadiliko ya Africa na Tanzania Kwa ujumla. 😢😢😢😢

  • @user-th8bb1cp4q
    @user-th8bb1cp4q 8 วันที่ผ่านมา

    Kweli kabisa Pastor hata Yesu alitambua asipowafumbua watu akili zao wasingeelewa maandiko

  • @lauriananney318
    @lauriananney318 19 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mchungaji umenena makuu kabisa, ni kweli wenye akili wanapigwa vita sana na wajinga, Mungu atusaidie sisi waafrika😢

  • @robertmoshi2113
    @robertmoshi2113 7 วันที่ผ่านมา

    Akili

  • @doreentemba7833
    @doreentemba7833 8 วันที่ผ่านมา

    😇

  • @robertmoshi2113
    @robertmoshi2113 7 วันที่ผ่านมา

    hakika akili

  • @faithmlay5944
    @faithmlay5944 5 วันที่ผ่านมา

    Mollel alikuwa na akili kabla hajawa chawa. Mshauri aache uchawa skili irudi!😂😂

  • @user-uh3eg5cj2r
    @user-uh3eg5cj2r 8 วันที่ผ่านมา +1

    Pr. Mmi nakuelewa sana, hata hapa kwetu mwenyewe AKILI HAWANA MAISHA TENA NIKUPOTEZWA, ni hatari!

  • @MonickaMkasi
    @MonickaMkasi 3 วันที่ผ่านมา

    Kipimo Cha mtu mwenye akili ni kigumu mno

    • @selemanmussa3459
      @selemanmussa3459 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Kina ugumu gani? Ukiona mtu anachukiwa kwenye taasisi yoyote jua ana akili, hawataki aonekane. Ukiona mtu anapenda Solutions au kutatua matatizo ujue ana akili, wajinga watamhangaisha. Ukiona mtu hapendi chochote zaidi ya kujitolea na kutodai risiti ujue ana akili, wajinga watamuogopa na kuhisi anataka vyeo vyao...

  • @ElimringiMmary
    @ElimringiMmary 7 วันที่ผ่านมา

    Asante San mchungaji Mungu akubariki tunazidi kujifunza sana.

  • @housekeepingtarangiresopal9883
    @housekeepingtarangiresopal9883 6 วันที่ผ่านมา

    Amen

  • @ElimringiMmary
    @ElimringiMmary 7 วันที่ผ่านมา

    Asante San mchungaji Mungu akubariki tunazidi kujifunza sana.