REV. DR. ELIONA KIMARO: USHUHUDA WANGU NILIPOKUWA ARUSHA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 31 ต.ค. 2022

ความคิดเห็น • 63

  • @THERESIAMALLYA2014
    @THERESIAMALLYA2014 ปีที่แล้ว +3

    Mungu nipe neema ya kuwa na utulivu niwapo na hela na nijue namna ya kuzitumia

  • @Judy-dy4zt
    @Judy-dy4zt หลายเดือนก่อน

    Kwa uwezo wa mwenyezi mungu Nami nitapga bati nyumba yangu 🙏🙏

  • @gloryleon4187
    @gloryleon4187 ปีที่แล้ว +10

    Mungu nipe NEEMA kama hiyo maishani mwangu, ameeeni, najiunganisha na madhabahu hiii Katika Jina Yesu🙏

  • @hidayaswai3119
    @hidayaswai3119 ปีที่แล้ว +1

    Nakuelewa mtu wa Mungu. Mungu akutunze kwa ajili yetu. We love you sana
    Umependeza kweli

  • @getuswai8109
    @getuswai8109 ปีที่แล้ว +1

    Mungu anazo njia nyingi za kunyanyua watu wake hii ndio njia jangwani Mungu anasema anafanya njia pasipo na njia na kweli Hii ndio njia Mungu alifanya pale pasipo na njia Mungu akubariki Kila siku

  • @annamsafiri1911
    @annamsafiri1911 ปีที่แล้ว +5

    Mchungaji umenifanya nijivunie kabila langu kwa jina la YESU.

  • @stephanosospeter1709
    @stephanosospeter1709 ปีที่แล้ว +5

    Glory to Jesus

  • @elisantemolell6797
    @elisantemolell6797 ปีที่แล้ว +2

    mungu naomba unikumbuke na mimi najiungamanisha madhabau

  • @Judy-dy4zt
    @Judy-dy4zt หลายเดือนก่อน

    Amina Amina mtumishi

  • @johnmosha9590
    @johnmosha9590 ปีที่แล้ว +1

    Mungu nibariki na mm kwa upako huu wakupata upako wa fedha

  • @joycelaura4611
    @joycelaura4611 หลายเดือนก่อน

    Asante baba nimecheka wa mirerani lakini nimejifunza kitu baba ubarikiwe Mungu akutunze

  • @bensonkimaro1932
    @bensonkimaro1932 ปีที่แล้ว +1

    Nakupenda sana mchngj unaongea Ukweli sana Mungu azidi kukupa nguvu zaid🙏

  • @sia4867
    @sia4867 ปีที่แล้ว +1

    Mungu Akulinde Baba Nakupenda Sana Baba

  • @lutangilooffice8604
    @lutangilooffice8604 ปีที่แล้ว

    Mungu wangu ninayekutumainia naomba unionekanie nami maishani mwangu sitaacha kukusubiri daima

  • @carolinehillary8240
    @carolinehillary8240 10 หลายเดือนก่อน

    You have a great knowledge of life skills

  • @stanleymhozi7590
    @stanleymhozi7590 ปีที่แล้ว

    Asantee unaakilisana mchungaji Mungu yupondaniyako

  • @ruciasimeo4431
    @ruciasimeo4431 ปีที่แล้ว +3

    Mtumishi apo ulifanya Uzi, Yesu aliwaleta, upimwe uwaminiu wako.

  • @hellenfervord3285
    @hellenfervord3285 ปีที่แล้ว

    Amen, aky huyu mchungaji nampenda sana🥰

  • @kasembomasele5918
    @kasembomasele5918 ปีที่แล้ว

    Nakuelewa sanaaa Pr. Eliona kimaro

  • @Judy-dy4zt
    @Judy-dy4zt หลายเดือนก่อน

    Nibaliki na mimi

  • @esterkiyongo2316
    @esterkiyongo2316 ปีที่แล้ว

    Amina

  • @oscanyakunga
    @oscanyakunga ปีที่แล้ว

    Amen Amen

  • @candidaraphael7657
    @candidaraphael7657 ปีที่แล้ว

    Mchungaji mungu akubarik

  • @judithabuko6006
    @judithabuko6006 ปีที่แล้ว

    Nakupenda sana dady

  • @Judy-dy4zt
    @Judy-dy4zt หลายเดือนก่อน

    🙏🙏🙏🙏

  • @johnmsaki7920
    @johnmsaki7920 ปีที่แล้ว

    Napokea katika jina la YESU

  • @florabuzoya3948
    @florabuzoya3948 ปีที่แล้ว

    I tap the annointing

  • @user-si7yn1pg2y
    @user-si7yn1pg2y 11 หลายเดือนก่อน

    Ni kweli Kuna watu wakipata Hela wanachanyikiwa inakua muujiza Kwa muuzaji mhiyaji

  • @rahabnkya8276
    @rahabnkya8276 ปีที่แล้ว

    20.7.97 !

  • @doreenmoshi6062
    @doreenmoshi6062 ปีที่แล้ว

    Ameen

  • @delverosedastan5730
    @delverosedastan5730 8 หลายเดือนก่อน

    Arusha oyooo

  • @rosebruno6776
    @rosebruno6776 ปีที่แล้ว +1

    Daaaah 97 mm ndo nimezaliwa

  • @palokuthereza2555
    @palokuthereza2555 3 หลายเดือนก่อน

    Yaani nikipataga hela situlii😅😅

  • @user-sv4wj5be1b
    @user-sv4wj5be1b 6 วันที่ผ่านมา

    Hahaaa, kweli apostale tupoo

  • @mwanahamisbwanga1184
    @mwanahamisbwanga1184 ปีที่แล้ว

    Achaaa uongooo shatii lak sanaa mmmmmh axha kudanganya watuu

  • @geraldlyimo2859
    @geraldlyimo2859 8 หลายเดือนก่อน

    Chuga wamekuelewa dingili laeee

  • @msowamhokole7714
    @msowamhokole7714 ปีที่แล้ว

    Kumbe unasema wakristo sio waminifu kumbe nawewe ulikuwa ivyo

  • @costamwasala4736
    @costamwasala4736 ปีที่แล้ว +2

    Hapa natafakari jambo moja; je hakuna ubaya kubadilisha bei elekezi na kuongeza bei?

    • @annamitumba3981
      @annamitumba3981 ปีที่แล้ว

      Ukiwaza ubaya utakufa masikini😂😂😂😂

    • @outsideclass4004
      @outsideclass4004 ปีที่แล้ว

      Nimewaza pia lakini twende kwa uongozi wa roho mtakatifu tu mchungaji ni mwanadamu asemayo yapime kwa maandiko.

  • @stanleymhozi7590
    @stanleymhozi7590 ปีที่แล้ว

    Jamani unanifraisha hela tamu

  • @African511
    @African511 ปีที่แล้ว

    Watu wa Arusha huwa wanauziwa nguo za ovyo ovyo lakini kwa upande wao wanaona ziko vizuri😂😂😂 ndiyo maana wafanya biashara wa Arusha wanapesa sana.

  • @hellendaniel3809
    @hellendaniel3809 ปีที่แล้ว

    Hahahahaaaa hivi kumbe ndivyo tulivyo
    😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @furahajastin8649
    @furahajastin8649 ปีที่แล้ว

    Amen namwomba Mungu anifungulie malango yangu.nakumbuka kijana wa chips huliyemwombeaga kwenye biashara yake.nami napokea

  • @fathiasaed9718
    @fathiasaed9718 ปีที่แล้ว

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Amina

  • @victoriameshack5786
    @victoriameshack5786 ปีที่แล้ว

    Mchungaji hapo sikakuelewa kabisa

  • @mdemualphonce1559
    @mdemualphonce1559 ปีที่แล้ว

    Sijakuelewa ndiyo maana anahubili kuwa wakristo wezi kumbe yeye ndiyo mwizi ebu some aibu

    • @zenathmtasiwa1405
      @zenathmtasiwa1405 ปีที่แล้ว +2

      Kama hujaelewa hayo mafundisho heri ukae kimya tu kwanini umtukane mtumishi wa Mungu?aliyekwambia usikilize nani?umelazimishwa?

    • @rosemarymunyi5035
      @rosemarymunyi5035 3 หลายเดือนก่อน

      Kweli kabisa ❤❤

  • @abbakarymrutu6786
    @abbakarymrutu6786 ปีที่แล้ว +3

    Mchungaji ni muongo kama msenge

    • @eliaslazaro2809
      @eliaslazaro2809 ปีที่แล้ว

      Wewe umelaaniwa

    • @verenikapallanjyo41
      @verenikapallanjyo41 ปีที่แล้ว +2

      Usimtukane mtumishi wa MUNGU
      Utapata laana kubwa usipoomba msamaa kwa MUNGU

    • @sia4867
      @sia4867 ปีที่แล้ว +1

      Mungu Akurehemu ,, maana hujuh utamkalo...ukimtukana mtumishi wa Mungu umemtukana Mungu...

    • @sundaynurdin2864
      @sundaynurdin2864 ปีที่แล้ว

      Nipitie baba yangu......

    • @ramsonhudson4013
      @ramsonhudson4013 ปีที่แล้ว

      Mungu akuhurumie ndugu yangu

  • @annamitumba3981
    @annamitumba3981 ปีที่แล้ว

    Alafu ni kweli aisee Arusha noma sanaaa kwa kupendeza😂😂😂😂😂😂😂😂😂