UTACHEKA TAMBO ZA 'RAIS MWINYI' KWA CCM | AZIKATAA KABISA 200 | 'LETENI 1,000 AU 2,000'

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 ม.ค. 2024
  • Angalia Video Hii Mwanzo mwisho , Kisha Subscribe ili uendelee Kupata Habari Zote.
    Follow Ktv Tz Online
    Facebook | KTV TZ ONLINE
    INSTAGRAM |@ktv_tz_online
    Wasiliana nasi kupitia number
    +255 717 619 834
    Ktv Tz Online Journalists
    cc: Sadia Rashid
    cc: Sauti Byego
    Camera Department"
    Dadi Ali
    Omar (OJ)
    Nassor Shaibu
    Abdallah Juma
    Editors:
    Juma Maulid
    Dadi Ali
    Video Zingine:
    Angalia hapa - Diamond Platnumz Alivyolisha watoto yatima
    - Ali Kiba akiwa Oman
    • ALICHOKIFANYA DIAMOND ...
    • NI KWELI ALI KIBA AMNU...

ความคิดเห็น • 16

  • @nafisahalai5536
    @nafisahalai5536 6 หลายเดือนก่อน +2

    Mheshimiwa tunaomba sana njia za stone town zitengenezwe. Kuna njia zengine hapo zilizowekwa matailis njia hizo hazijawekwa na ziko katika hali mbaya sana. Kwa mfano njia ya wizara ya mawasiliano ya zamani kwenda ndani kushukia skuli ya kiponda kutokea muzamil Iko katika hali mbaya sana. Na chochoro ya Skuli ya Hurumzi na nyengine katika eneo hilo ziko vibaya sana. Wazee wetu wanaogopa kupita njia hizo. Tafadhali zingatia hayo

  • @AaAa-vm8bb
    @AaAa-vm8bb 6 หลายเดือนก่อน

    Chapa kazi mh. maendeleo ndio muhimu Zanzibar mpya

  • @dewwizyderollydejuniour6111
    @dewwizyderollydejuniour6111 2 หลายเดือนก่อน

    Hi

  • @cath-ef7wd
    @cath-ef7wd 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mnakusanya karafuu kutoka pemba mnajenga unguja tuu...hiyo sio haki. barabara zote za ndani mbovu zinanuka hasa za mkoa wa kusini pemba.

  • @SurprisedOmbreSky-qg6dk
    @SurprisedOmbreSky-qg6dk 6 หลายเดือนก่อน

    Mwinyi anaweka mambo yenye viwango bora

  • @rafaelmarquez9396
    @rafaelmarquez9396 6 หลายเดือนก่อน

    Hio barabara speed cameras na biashara chini ya barabara piga faini kubwa iwe onyo kwa wengine piga kazi kijana wa mkuranga

  • @murattywamuratty9778
    @murattywamuratty9778 6 หลายเดือนก่อน

    Barabara hazitokuwa safii ikiwa mutaachia ujenzi holela uwendelee barabarani watu wanaweka biashara wanavyo jua uchafuu mnaonaa mnawachia vituo vya daladala hakunaa,; kazi buree ikiwa mnatengeza ila uchafu uko pale ple

    • @jumakapilima7295
      @jumakapilima7295 6 หลายเดือนก่อน

      Kwahiyo hata suala la uchafu mnataka aje Rais kuwasimamia? Dah,,,,!!!

    • @gangmore9091
      @gangmore9091 6 หลายเดือนก่อน

      ​@@jumakapilima7295 hujitambuwi wewe

    • @murattywamuratty9778
      @murattywamuratty9778 6 หลายเดือนก่อน

      @@jumakapilima7295 uchafu unasababiswa na serikal pia, kwa sababu mipango mijii wao ndo waloitoa mtu ajenge popote tu ukiangalia barabarani nyumba hii iko mbelee nyengine ipo nyuma nyengine kati lakini wote ao ndo wako mbele ya barabara hakuna usawa unaoonesha usafi wa mipango sasa kama sio serikali nani wakat wao ndo wanotoa viwanja, au unaweza kupata kiwanja bila serikal kuhusika? Na unadhani uchafu barabarani ni taka tuu hahaha dah utachekwa kweli uko barabaran hakuna taka ukiwa unaranda uzur kilicho kuwa kinaonesha uchafu ni mipango miji na ujenzi usio eleweka barabaran wakiweza kuondoa baadhu ya mambo njia zitakuwa safi mtu ansjenga duka juuu ya duka mipira ya gari, mafriji, mbao, baskeli zotee unaziona zimo ndani ya duka na nje ya duka mpka barabarani iwooo pia ni uchafuuu na serikal wanaona sasa kama sio wao kuwapangia unadhani watapangiwa na nani?

  • @pavillioncry5241
    @pavillioncry5241 6 หลายเดือนก่อน

    ACT TAFUTENI KAZI YA KUFANYA

  • @user-hn7uv4yg2q
    @user-hn7uv4yg2q 6 หลายเดือนก่อน

    jenga mwinyi

  • @ramzsule7678
    @ramzsule7678 6 หลายเดือนก่อน

    Kumbe mnakopa ?

    • @jumakapilima7295
      @jumakapilima7295 6 หลายเดือนก่อน

      Yeah, lakini kazi inaonekana

    • @najatrashidi6647
      @najatrashidi6647 6 หลายเดือนก่อน

      ​@@jumakapilima7295😢

  • @dewwizyderollydejuniour6111
    @dewwizyderollydejuniour6111 2 หลายเดือนก่อน

    Hi