Mtumishi wa Bwana paschal kasiani Mungu azidi kukupa nguvu na napenda sana mafundisho yako hizi ni nyakati za mwisho watu hawatambui wamefungwa,,yani kuna watu hawakuelewi kabisa Mungu awasaidie sana wasio kuelewa ubarikiwe sana mtumumishi
Kuimba ni kuhubiri , kushuhudia ni kuokoka au uinjilisti ni kuhubiri watu waokoke sasa , kazi iliyomleta Yesu Kristo ni kuokoa watu na kuleta watu kwa Yesu kuna njia nyingi lengo mi lilelile na kuleta watu kwa Mungu sasa shida yako Mtumishi ni kuelewa uchungaji ni nini
Pia Roho Mt. anaingia kwa Wanaume na wanawake Ufunuo 3:20 nakazi ya Roho Mt anafanya kazi ile ile kwa kila mtu . Hapa shida ipo mtumishi wa Mungu,usibishe na kuwa na jaziba kujibu watu hapa umepungua kuelewa , unahitaji kujifunza siri hii
Mtumishi ukisema Yesu hakuita mitume wanawake kipindi Yesu anahubiri uyahudini mila za kule kipindi hicho wanawake hawakutakiwa sasa ili injili iende lazima Yesu kama aende nao sawa na sio aliita wachungaji
Labda nimemuelewa vibaya,amesema wanaweza kuwa mwinjilisti na hiyo ndo karama anayoiweza,kwa hiyo maana yake yeye hawezi kuwa mchungaji kwa sababu hana karama hiyo,tusije kutafisiri watu vibaya kwa sababu ya matakwa yetu.nafikri mkamuulize afafanue lakini msitafisiri mtu tofauti.
Nimechelewa kidogo hapa pana cha kujifunza hivi, Mathayo 28:19-20 wameambiwa wachungaji ndio waende kuhubiri au , kama wanawake hawatakiwi basi hata kuimba wasiimbe, mbona wanaimba na watu
Halafu jamani hua sijaelea jengo na kabisa .anae juwa kutafsili kanisa na jengo ,anipe mulolongo wa hao Mambo. Yesu akasema nyie miili yenu ni kanisa langu ,Yesu alikuwa namanisha Nini? Nawakati Mapaste wanasema majengo ndio kanisa?
Iko hivi: kanisa ni watu wanaomwamini Kristo Yesu. Mtu akiokoka anakuwa sehemu ya kanisa. Mahali pengine Biblia inasema Kanisa ni mwili wa Kristo, na Kristo ni kichwa cha huo mwili. Yaani kanisa. Majengo tunayojenga ni ya kuabudia tu. Hata hayo yasipokuwepo, mnaweza kuabudia nyumbani au chini ya mti au mahali popote. Bado mtaitwa kanisa. Kwa sababu kanisa ni jamii ya waamini. Kwenye agano la kale kulikuwa na vitu viwili, Hekalu na Sinagogi. Kwenye agano jipya hatuna hekalu wala sinagogi. Sasahivi mwili wako ndio hekalu la Roho Mtakatifu.
Usikubali kuumizwa na mtazamo wa huyu. Kama huwezi kustahimili anachofanya mpite, mpotezee, usuje ukamtenda Mungu kwa kimhukumi. Unayajua majira tuliyomo? Ñ
Mungu aendelee kumlinda mana hii dunia wanawake nao et wanasimama madhabahuni kuubiri neno la Mungu hivi wao huwa wanasoma biblia gani BWANA atuhurumie
@@GabriellaWiseman Kaka kama kweli una Roho wa MUNGU mbn unapanic na kunitusi? Au ndiyo roho uliyoambukizwa na Bw. Pascal Cassian? Hebu soma vizuri Yoeli 2:28.. Halafu hata kwenye kulikuwa na Nabii Mke aliitwa Deborah soma Waamuzi 4:4... Wapi imeandikwa kuwa Mchungaji anapaswa kuwa mwanaume tu? Give me straight scripture
@@iamdivineimagehayo yalikuwa zaman ko baada ya Yesu kutuokoa kutoka dhambini akabadilisha kila kitu kwani soma Timotheo WA 1 Sura 2 soma yote na hakuna aliyekutukana wewe ndio unamihemko yako sikujibu tena Kwa sasa
Mwanamke hana ruhusa kumuongoza mwanaume. Uchungaji ni office ya uongozi mbele ya watu wote waki wepo wanaume. Mwanamke anaweza akawa mwinjilist au nabii ila si mchungaji Labda msaidizi wa mchungaji.
Mawazo yangu bila kurejelea wakina miliam , mwanamke kuwa mch naona siyo shida ila shida ni mtumishi wa Mungu kuonekana katika muonekano wa kishetani yaani muonekano wa kikahaba
Miliamu hakuitwa kuwa mchungaji, miliamu alitaka kujifanya mchungaji na Mungu alimpiga pigo la ugonjwa kwasababu miliamu alikuwa na kiburi. Isome biblia na uelewa
Kuwa Mch mwanamke au mwanaume hiyo nikazi ya ROHO MT mbona ulikaa kwenye tumbo la mwanamke na ndiyo Mch wako wa Kwanza alianza kukufundisha kuongea ? Nakukuchunga .
Hawa wahubiri wa siku hizi wana mafunuo ya kwao tu ndio maana hawana maneno ya uzima wanamaneno ya kupingaapingana ndo msingi wa injili zao. 2 Timotheo 4:2-3 [3]Maana utakuja wakati watakapoyakataa mafundisho yenye uzima; ila kwa kuzifuata nia zao wenyewe watajipatia waalimu makundi makundi, kwa kuwa wana masikio ya utafiti; Biblia inatutaka tubu na kutokujiona wakamilifu kuliko wengine. biblia ina maandiko mengi yanayo mzungumza mwanamke kumtumikia Mungu ikumbukwe kila kazi itapimwaa na kila mtu atatoa hesabu. Kwann roho mtakatifu habagui kukaa ndani ya mtu? Kwann Mungu amemwaga roho yake kwa watu wakike na wakiume? Yoeli 2:28 [28]Hata itakuwa, baada ya hayo, ya kwamba nitamimina roho yangu juu ya wote wenye mwili; na wana wenu, waume kwa wake, watatabiri, wazee wenu wataota ndoto, na vijana wenu wataona maono; 1 Wakorintho 12:4 [4]Basi pana tofauti za karama; bali Roho ni yeye yule. 1 Wakorintho 12:4-6 [4]Basi pana tofauti za karama; bali Roho ni yeye yule. [5]Tena pana tofauti za huduma, na Bwana ni yeye yule. [6]Kisha pana tofauti za kutenda kazi, bali Mungu ni yeye yule azitendaye kazi zote katika wote. Waefeso 4:11,14 [11]Naye alitoa wengine kuwa mitume, na wengine kuwa manabii; na wengine kuwa wainjilisti na wengine kuwa wachungaji na waalimu; (Kama Mungu amemwaga roho kwa wakike na wakiume mbona vipawa hivyo vinatokana na roho mtakatifu ina maana roho ya uchungaji haikai kwa mwanamke??) [14]ili tusiwe tena watoto wachanga, tukitupwa huku na huku, na kuchukuliwa na kila upepo wa elimu, kwa hila ya watu, kwa ujanja, tukizifuata njia za udanganyifu. Wakolosai 2:8 [8]Angalieni mtu asiwafanye mateka kwa elimu yake ya bure na madanganyo matupu, kwa jinsi ya mapokeo ya wanadamu, kwa jinsi ya mafundisho ya awali ya ulimwengu, wala si kwa jinsi ya Kristo. Wagalatia 5:15 [15]Lakini mkiumana na kulana, angalieni msije mkaangamizana. Mungu anaagiza tuhubiri toba na sio watu Mathayo 3:2 [2]Tubuni; kwa maana ufalme wa mbinguni umekaribia.
Mtu kashasema haneni wala hatanena kwa lugha wakati kunena kwa lugha ni ishara ya uwepo wa Roho Mtakatifu🤣🤣 Bible inasema anenaye kwa lugha anaijenga roho yake so hii inamaana kuwa roho ya huyu Mhubiri haijajengwa... Halafu si kweli kwamba tunaokolewa kwa matendo hayo ni mafundisho potofu Efeso 2:8-10
Kuna aina mbalimbali za karama, lakini Roho ni yule yule. Kuna huduma za aina mbalimbali, lakini Bwana ni yule yule. Kisha kuna tofauti za kutenda kazi, lakini ni Mungu yule yule atendaye kazi zote kwa watu wote. Maana mtu mmoja kwa Roho hupewa neno la hekima na mwingine neno la maarifa kwa Roho huyo huyo. Mtu mwingine imani kwa huyo Roho na mwingine karama za kuponya kwa huyo Roho mmoja. Kwa mwingine matendo ya miujiza, kwa mwingine unabii kwa mwingine kupambanua roho, kwa mwingine aina mbalimbali za lugha, na kwa mwingine bado, tafsiri za lugha. Haya yote hufanywa na huyo huyo Roho mmoja, Roho naye humgawia kila mtu, kama apendavyo. 1 Wakorintho 12:4-6, 8-11
Sasa ninyi ni mwili wa Kristo na kila mmoja wenu ni sehemu ya huo mwili. Mungu ameweka katika kanisa, kwanza mitume, pili manabii, tatu walimu, kisha watenda miujiza, pia karama za kuponya, karama za kusaidiana, karama za uongozi, aina mbalimbali za lugha. Je, wote ni mitume? Je, wote ni manabii? Je, wote ni walimu? Je, wote wanatenda miujiza? Je, wote wana karama ya kuponya? Je, wote hunena kwa lugha mpya? Je, wote wanatafsiri? 1 Wakorintho 12:27-30
@@FestoJemsi-lr8pw ndiyo ukweli ..mnatafisiri maandiko bila mktadha wa mazingira yalee.kwa sababu Paulo alipozungumza juu ya kanisa la efeso kuhusu kusuka hatuoni akisea hivo kwa warumi,wakolosai,wafilipi,wagalatia.sasa kama walaka huu ulitumwa Efeso ina maana rumi hawakuujua wala kuusoma,hivyo unaona lilikuwa tatizo la waefeso.lakini warumi walikuwa wakisuka.hivo msichanganye vitu.
@@odilomwemeziernest646Jinsi Mungu alivyozungumza na watu wa zama hizo ndo anazungumza nasi leo ni sawa na lile andiko la hapana uchawi juu ya Israel ni sawa na hapana uchawi juu ya Tanzania
😂😂😂😂😂sasa surely hilo andiko la galatians ndio linatumika n shetani???? Ambia shetani afute kwa bibilia basi. Why do you dwell on one scripture?? Show us where rhe bible says that it is an abomination fir a woman to be a pastor abd will believe!
Ulitaka azungumzie sisismizi au ndege ndiyo useme hakika amenena kweli yote kwani neno liko kwaajili ya walio na ufahamu au wasio na ufahamu humwelewi kaa pembeni
Mtumishi wa Bwana paschal kasiani Mungu azidi kukupa nguvu na napenda sana mafundisho yako hizi ni nyakati za mwisho watu hawatambui wamefungwa,,yani kuna watu hawakuelewi kabisa Mungu awasaidie sana wasio kuelewa ubarikiwe sana mtumumishi
TUmwagie Rozi Ma kopakopa❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤na tumpe Mauwa yake🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉.(tutiane Moyo)
Amen mungu azidi kukutia nguvu uwendeleze injili..na kuendelea kutoa wa2 kwa njia mbaya
Amen amen ni kweli kabisa mwanamke hapaswi kuwa mchungaji kwa mujibu wa Neno la Mungu
Kuimba ni kuhubiri , kushuhudia ni kuokoka au uinjilisti ni kuhubiri watu waokoke sasa , kazi iliyomleta Yesu Kristo ni kuokoa watu na kuleta watu kwa Yesu kuna njia nyingi lengo mi lilelile na kuleta watu kwa Mungu sasa shida yako Mtumishi ni kuelewa uchungaji ni nini
Amen mtumishi
Amen mtumishi anzia. Nyuma. Mstari wa 27 hiyo Gr
Kitu muhimu ni moja WA makanisani kupambana na hawa wachungaji wanawake na kuwa wasagaji harafu jamii inawatazama Tu ni hatari sanaa
Amen ubarikiwe,sasa unasali wapi?mimi nimcongo kwa sasa nipo tanzania
The bible says whoever believes in him, whoever, whoever
Kazi ipo kweli kweli tanzania naona IFM imeanza kwenu pia
Mungu amekataza wanawake kuwa wachungaji, mwanamke kusimama madhabahuni ni makosa
Safi Sana mtumishi
Mmh Mungu tu ndo ataokoa watto wake
Pia Roho Mt. anaingia kwa Wanaume na wanawake Ufunuo 3:20 nakazi ya Roho Mt anafanya kazi ile ile kwa kila mtu . Hapa shida ipo mtumishi wa Mungu,usibishe na kuwa na jaziba kujibu watu hapa umepungua kuelewa , unahitaji kujifunza siri hii
Mtumishi ukisema Yesu hakuita mitume wanawake kipindi Yesu anahubiri uyahudini mila za kule kipindi hicho wanawake hawakutakiwa sasa ili injili iende lazima Yesu kama aende nao sawa na sio aliita wachungaji
Sio tamaduni za Israel Bali ni Neno la Mungu! Mungu hafanyi kwa KUFUATA tamaduni za watu Bali ni kulingana na Neno lake tu
Samahani jina lake ni Rose sio Rozi..mtusaidie kurekebisha. Mmebarikiwa sana.
Hahaha binadamu bwana niatariii
Mpaka humusaishe tu
Sijakuelewa point yako babangu
Sijakuelewa point yako babangu
Na siyo mhando ni muhando
rose ni mama wa iman kwel kwel huwa apendi kujibu jibu tu ilimlad amejibu..huwa akijibu anajibu sahihi..ndio mana nampenda saana huyu mama
Paschal Casian ni shoga Kama mashoga wengine, huna jipya zaidi ya kuongealea maisha ya watu wengine mbwa wewe
Mbona unmtukana mtumishi wa mungu
Jichunguze vizuri huenda hauko sawa kiakili
Wewe ndo mjinga hujui maandiko
Kweli ufalme wa Mungu jnatekwa na wenye nguvu Mungu akusamehe kwakweri
Mim nitachangia huu mwezi ukiisha
Chuma cha Bwana ubarikiwe
Nayo mavazi si ya mtumishi wa Mungu
Wakristo wa sku izi wamefanya makanisa kuwa sehemu ya ajira kama ajira zingne, kikubwa mapate maokoto😮😮🥺🥺
Mwanamke hawezi kutumikia mme na kanisa, ziko sifa ambazo mwanamke hawezi kufanya ,kubatiza,kufungisha ndoa, kulisha meza ya Bwana
Kaka mimi ninakuelewaga sana
Labda nimemuelewa vibaya,amesema wanaweza kuwa mwinjilisti na hiyo ndo karama anayoiweza,kwa hiyo maana yake yeye hawezi kuwa mchungaji kwa sababu hana karama hiyo,tusije kutafisiri watu vibaya kwa sababu ya matakwa yetu.nafikri mkamuulize afafanue lakini msitafisiri mtu tofauti.
Tangu uanze ku chambray watumishi wa mungu bila sababu za muhimu biblia ina sema tuombeane sisi kwa sisi
Uchungaji ni dili saiz watu wameona kunaela
Jaman mtumishi mm leo sijaelewa
Kwan mchungaji na askofu si ni vitu viwili tofauti??
Amen Amen Amen
Amen 🙏
Mwanamke afai ata kuongoza sala kama wanaume wapo, ila kama akuna mwanamme apo sawa aweza kuongoza
Preach gospel not people mshtaki wa ndugu zake
UTULIE KIJANA UNAIBUKA TU NA MAONI YAKO. ANDIKO UNALOSOMA LINAONGELEA MAASKOFU WEWE UNAONGELEA MCHUNGAJI. KAMA MANABII WA KIKE WALIKUWEPO SASA SHIDA NINI KIJANA? KISA NINI UNAHANGAIKA?
MIMI nafikiri huyu ndugu YUPO ICU ya Kiroho anahitaji msaada mkubwa sana wa Kiroho.
Biblia YOTE umemaliza au una chukuwa mistali kazaaa
@@YOSHUAMWAMPETAWasiosoma biblia na wakaielewa ndo wapo ICU ya kiroho
Hio sauti vipi maana malaaaa
Nimechelewa kidogo hapa pana cha kujifunza hivi, Mathayo 28:19-20 wameambiwa wachungaji ndio waende kuhubiri au , kama wanawake hawatakiwi basi hata kuimba wasiimbe, mbona wanaimba na watu
Wewe sio mweelew kuimba nakuhubili nikitu kimoja au hujaelewa somo sikiliza mwazo hadi mwisho uwez kuelewa
Wamejichanganya na mafundisho ya msisimko badala ya kufuata kanuni na msingi
Ndugu yangu uwe unawajua wote mbona wapo wanawake wachungaji wengi Tu Tanzania unamuataki Cristina shusho Tu Mimi nawajua kibao Tu Acha ubaguzi
Baki hivyo hivyo milele
Kwa mara yakwanza nimesikia unamsifia mtu mana were huwa ni vichambo kwa Kila mtu Ila na
Kwann yesu hakuchaguwa mitume wanna wake ?
Akuna mtume mwanamke kw biblia yote
utamaduni wa wayahudi wanawake walikuwa hawaruhusiwi kuwa wakuu au kusimama mbele ya wanaume
@@fredrickgitonga1972hakuna kwa namna ya andiko ila kwa roho mtakatifu wapo
@@stephenkalidush5446kwani utamaduni wa Africa unaruhusu mwanamke kusimama mbele ya wanaume au kuongoza?? Tuanzie hapo.
Halafu jamani hua sijaelea jengo na kabisa .anae juwa kutafsili kanisa na jengo ,anipe mulolongo wa hao Mambo.
Yesu akasema nyie miili yenu ni kanisa langu ,Yesu alikuwa namanisha Nini?
Nawakati Mapaste wanasema majengo ndio kanisa?
Iko hivi: kanisa ni watu wanaomwamini Kristo Yesu. Mtu akiokoka anakuwa sehemu ya kanisa. Mahali pengine Biblia inasema Kanisa ni mwili wa Kristo, na Kristo ni kichwa cha huo mwili. Yaani kanisa. Majengo tunayojenga ni ya kuabudia tu. Hata hayo yasipokuwepo, mnaweza kuabudia nyumbani au chini ya mti au mahali popote. Bado mtaitwa kanisa. Kwa sababu kanisa ni jamii ya waamini. Kwenye agano la kale kulikuwa na vitu viwili, Hekalu na Sinagogi. Kwenye agano jipya hatuna hekalu wala sinagogi. Sasahivi mwili wako ndio hekalu la Roho Mtakatifu.
Ongela Rozi maana huja fungua kilabu cha pombe
Siyo rose labda nabii tito
Aisaya 40:13 God has no councillor
Unakela sasa hivi yaan unafanya Person attack kaaa
Huwezi kuhubiri injili,kila siku kujadili watu, wewe ni mwandishi wa habari,,,
Kwani kanisa ni jengo? You can't think
Ni Hali ya kushauri mtu wala sio kuingilia mtu vile wewe unawaza kwa sababu huweziona mtu anapotea na uko na uwezo wa kumusaidia umuwache
Usikubali kuumizwa na mtazamo wa huyu. Kama huwezi kustahimili anachofanya mpite, mpotezee, usuje ukamtenda Mungu kwa kimhukumi. Unayajua majira tuliyomo? Ñ
Siku hizi waambaji wengi wanageuka kuwa wachungaji
@@ImeldaMyinga wanasababu Yao , kuweni makini Audi Yuko kazini, ukiona wamevaa na mavazi Yao hayo unasemaje hawa wa Mungu, kumbe Wana agenda za siri
Amen
Asante
🙌🙌🙌🙌🙌
God respected marry to carry Jesus Christ but why you people
Mungu aendelee kumlinda mana hii dunia wanawake nao et wanasimama madhabahuni kuubiri neno la Mungu hivi wao huwa wanasoma biblia gani BWANA atuhurumie
Kwani siyo Watu?
@@iamdivineimage kwani umeona nimeandika hapo kwamba wao ni nguruwe?? Soma maandiko Acha uropokaji Kwa comment za watu
@@GabriellaWiseman Kaka kama kweli una Roho wa MUNGU mbn unapanic na kunitusi? Au ndiyo roho uliyoambukizwa na Bw. Pascal Cassian? Hebu soma vizuri Yoeli 2:28.. Halafu hata kwenye kulikuwa na Nabii Mke aliitwa Deborah soma Waamuzi 4:4... Wapi imeandikwa kuwa Mchungaji anapaswa kuwa mwanaume tu? Give me straight scripture
@@iamdivineimagehayo yalikuwa zaman ko baada ya Yesu kutuokoa kutoka dhambini akabadilisha kila kitu kwani soma Timotheo WA 1 Sura 2 soma yote na hakuna aliyekutukana wewe ndio unamihemko yako sikujibu tena Kwa sasa
Mwanamke hana ruhusa kumuongoza mwanaume. Uchungaji ni office ya uongozi mbele ya watu wote waki wepo wanaume. Mwanamke anaweza akawa mwinjilist au nabii ila si mchungaji
Labda msaidizi wa mchungaji.
Mawazo yangu bila kurejelea wakina miliam , mwanamke kuwa mch naona siyo shida ila shida ni mtumishi wa Mungu kuonekana katika muonekano wa kishetani yaani muonekano wa kikahaba
hayo ni mawazo Yako, ila Mungu amekataa
Miliamu hakuitwa kuwa mchungaji, miliamu alitaka kujifanya mchungaji na Mungu alimpiga pigo la ugonjwa kwasababu miliamu alikuwa na kiburi. Isome biblia na uelewa
@@johnmnyawi5718 wapi na andikko lipi?
Kwenye biblia yako tu.
@@Visionofeagle9689 yatoe hapa, toa andiko
Kuwa Mch mwanamke au mwanaume hiyo nikazi ya ROHO MT mbona ulikaa kwenye tumbo la mwanamke na ndiyo Mch wako wa Kwanza alianza kukufundisha kuongea ? Nakukuchunga .
YUPO ICU ya kiroho hawezi kuelewa hayo.
Kwa hiyo unataka kuniambia mzazi hata kama amekuwa ni mlevi na ni mzinzi mpaka leo ni mchungaji wako
Tusijetowa hukumu
Hivi kwann unapenda kutumia picha za watu wengine juu ya video zako
Hapo haijawekwa ya kwako je ikiwekwa ya kwako itakuwaje
@@EllyjTengeneza hapo sio ww ulie ulizwa je ingekuwa ww ingekuwaje
@@Mchiwalalatz Ningesema yote mema
Hahahaha poa poa nice
Kwani mwanamke kuwa mchungaji ni kosa mbona mnapinga Roho mtakatifu
Ndugu zangu maandiko yapo
Tuepuke laana
Umesoma kitabu gan
Hawa wahubiri wa siku hizi wana mafunuo ya kwao tu ndio maana hawana maneno ya uzima wanamaneno ya kupingaapingana ndo msingi wa injili zao.
2 Timotheo 4:2-3
[3]Maana utakuja wakati watakapoyakataa mafundisho yenye uzima; ila kwa kuzifuata nia zao wenyewe watajipatia waalimu makundi makundi, kwa kuwa wana masikio ya utafiti;
Biblia inatutaka tubu na kutokujiona wakamilifu kuliko wengine.
biblia ina maandiko mengi yanayo mzungumza mwanamke kumtumikia Mungu ikumbukwe kila kazi itapimwaa na kila mtu atatoa hesabu. Kwann roho mtakatifu habagui kukaa ndani ya mtu? Kwann Mungu amemwaga roho yake kwa watu wakike na wakiume?
Yoeli 2:28
[28]Hata itakuwa, baada ya hayo, ya kwamba nitamimina roho yangu juu ya wote wenye mwili; na wana wenu, waume kwa wake, watatabiri, wazee wenu wataota ndoto, na vijana wenu wataona maono;
1 Wakorintho 12:4
[4]Basi pana tofauti za karama; bali Roho ni yeye yule.
1 Wakorintho 12:4-6
[4]Basi pana tofauti za karama; bali Roho ni yeye yule.
[5]Tena pana tofauti za huduma, na Bwana ni yeye yule.
[6]Kisha pana tofauti za kutenda kazi, bali Mungu ni yeye yule azitendaye kazi zote katika wote.
Waefeso 4:11,14
[11]Naye alitoa wengine kuwa mitume, na wengine kuwa manabii; na wengine kuwa wainjilisti na wengine kuwa wachungaji na waalimu;
(Kama Mungu amemwaga roho kwa wakike na wakiume mbona vipawa hivyo vinatokana na roho mtakatifu ina maana roho ya uchungaji haikai kwa mwanamke??)
[14]ili tusiwe tena watoto wachanga, tukitupwa huku na huku, na kuchukuliwa na kila upepo wa elimu, kwa hila ya watu, kwa ujanja, tukizifuata njia za udanganyifu.
Wakolosai 2:8
[8]Angalieni mtu asiwafanye mateka kwa elimu yake ya bure na madanganyo matupu, kwa jinsi ya mapokeo ya wanadamu, kwa jinsi ya mafundisho ya awali ya ulimwengu, wala si kwa jinsi ya Kristo.
Wagalatia 5:15
[15]Lakini mkiumana na kulana, angalieni msije mkaangamizana.
Mungu anaagiza tuhubiri toba na sio watu
Mathayo 3:2
[2]Tubuni; kwa maana ufalme wa mbinguni umekaribia.
Mtu kashasema haneni wala hatanena kwa lugha wakati kunena kwa lugha ni ishara ya uwepo wa Roho Mtakatifu🤣🤣 Bible inasema anenaye kwa lugha anaijenga roho yake so hii inamaana kuwa roho ya huyu Mhubiri haijajengwa... Halafu si kweli kwamba tunaokolewa kwa matendo hayo ni mafundisho potofu Efeso 2:8-10
Kuna aina mbalimbali za karama, lakini Roho ni yule yule. Kuna huduma za aina mbalimbali, lakini Bwana ni yule yule. Kisha kuna tofauti za kutenda kazi, lakini ni Mungu yule yule atendaye kazi zote kwa watu wote.
Maana mtu mmoja kwa Roho hupewa neno la hekima na mwingine neno la maarifa kwa Roho huyo huyo. Mtu mwingine imani kwa huyo Roho na mwingine karama za kuponya kwa huyo Roho mmoja. Kwa mwingine matendo ya miujiza, kwa mwingine unabii kwa mwingine kupambanua roho, kwa mwingine aina mbalimbali za lugha, na kwa mwingine bado, tafsiri za lugha. Haya yote hufanywa na huyo huyo Roho mmoja, Roho naye humgawia kila mtu, kama apendavyo.
1 Wakorintho 12:4-6, 8-11
Sasa ninyi ni mwili wa Kristo na kila mmoja wenu ni sehemu ya huo mwili. Mungu ameweka katika kanisa, kwanza mitume, pili manabii, tatu walimu, kisha watenda miujiza, pia karama za kuponya, karama za kusaidiana, karama za uongozi, aina mbalimbali za lugha. Je, wote ni mitume? Je, wote ni manabii? Je, wote ni walimu? Je, wote wanatenda miujiza? Je, wote wana karama ya kuponya? Je, wote hunena kwa lugha mpya? Je, wote wanatafsiri?
1 Wakorintho 12:27-30
Amen
@@doricemrema2177 kwenye suala la lugha mpya msingi wa Mungu ni wote wakajazwa Roho mtakatifu na wote wakanena kwa lugha mpya.mdo 2:1-5
Paulo wanasema ninataka watu wote wanene kwa lugha.
Kwan ni tatizo gan mwimbaj kuwa Mchungaji
Mwanamke mbele Za MUNGU AKULIRUHUSU HILO
Mnaleta mila za kiyahudi,nendeni shule mkasome .
Pole
@@FestoJemsi-lr8pw ndiyo ukweli ..mnatafisiri maandiko bila mktadha wa mazingira yalee.kwa sababu Paulo alipozungumza juu ya kanisa la efeso kuhusu kusuka hatuoni akisea hivo kwa warumi,wakolosai,wafilipi,wagalatia.sasa kama walaka huu ulitumwa Efeso ina maana rumi hawakuujua wala kuusoma,hivyo unaona lilikuwa tatizo la waefeso.lakini warumi walikuwa wakisuka.hivo msichanganye vitu.
@@odilomwemeziernest646Jinsi Mungu alivyozungumza na watu wa zama hizo ndo anazungumza nasi leo ni sawa na lile andiko la hapana uchawi juu ya Israel ni sawa na hapana uchawi juu ya Tanzania
😂😂😂😂😂sasa surely hilo andiko la galatians ndio linatumika n shetani????
Ambia shetani afute kwa bibilia basi.
Why do you dwell on one scripture??
Show us where rhe bible says that it is an abomination fir a woman to be a pastor abd will believe!
Hivi haunaga mahubiri mengine zaidi ya kuzungumzia Watu? Mbn ndoa imekushinda na hauzungumzii hilo..? Sijawahi ona cha maana umepost even a single day
Hatuwezi kufanana wote, yuko sawa @passian
Biblia inazungumzia watu divine
Sasa ulitaka azungumzie wanyama?😂😂😂. Huwa maubiri nikuzungumzia watu waache uwovu wao… ata bible inazungumzia watu
Ulitaka azungumzie sisismizi au ndege ndiyo useme hakika amenena kweli yote kwani neno liko kwaajili ya walio na ufahamu au wasio na ufahamu humwelewi kaa pembeni
Sipati picha angeizungumzia family yako, naona shetani amekubebesha chuki kuhusu maonyo, ili watu wasibadilike ke angekuongelea wewe .
Hakunaga kunena kwa lugha
Mariko 16:17
Mariko 16:17
@@MosesMimbi Soma MATENDO 2 mstari was 7 Hadi 10 uniambie lugha mpya ni ipi hapo
Alaf soma vyema andiko akuna lugha mpya ila tuna wimbo mpya n