CASSIAN SHABOKA WAPIGANA' KUMWITA MKEWE KAHABA EV PASCHAL CASSIAN

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 4 ก.พ. 2025

ความคิดเห็น •

  • @Janesikweya
    @Janesikweya 5 หลายเดือนก่อน +39

    Ongeza volume tena na tena hallelujah watu wamependa mafundisho ya uongo wamekataa kweli aliye na sikio na asikie ujumbe zako zatoka kwa MUNGU muumba mbingu na dunia asante mtumishi

    • @helenacharles3470
      @helenacharles3470 5 หลายเดือนก่อน +4

      Kweli kabisa

    • @HappyKitupya
      @HappyKitupya 5 หลายเดือนก่อน +2

      Huyo mama amesha jichanganya, wanaanzaga vizur lakini wanamaliza vibaya, Sasa aliyo vaa apo nyuma siyo suruali Bali Ni skin kabisa, kweli huyu mama amechanganyikiwa

    • @StephaniaWambura
      @StephaniaWambura 4 หลายเดือนก่อน +2

      Mwanamke na asivae mavazi yampasayo mwanaume na mwanaume vivyo hivyo walokole tunapenda mahubiri ya kutubembeleza hayo hayatatuponya

    • @Verian-e4r
      @Verian-e4r 4 หลายเดือนก่อน

      Kwelii kabisaa tupone we mtumish casian MUNGU akulinde iyo ndo injiri ameeen 🙏 ameeen 🙏

  • @douglasochieno3358
    @douglasochieno3358 5 หลายเดือนก่อน +22

    Pascal Asante sana kwa kuokoa watu wengi kutoka kwenye dambi umengangana sana kwa kufundisha ila wengine bado shetani amewakamata mateka hawana badiliko siku moja watakukumbuka kwa mafundisho yako ndugu yangu vile walivyo kumbuka na kutambua kwamba kumbe Yesu ndie mwana wa mungu na Roho ya mungu iko ndani ya yesu amen

  • @TheodorKatabana
    @TheodorKatabana 2 หลายเดือนก่อน +2

    ubarikiwe sana mutumishi Mungu wetu akulinde nakukuinuwa zaidi na zaidi

  • @fanuelmagoiga6216
    @fanuelmagoiga6216 5 หลายเดือนก่อน +28

    👏👏👏👏👏..!!! Hakika wakipatikana watu kama huyu hata 20 TU Tanzania kanisa litabadilika

  • @allymwashambwa5920
    @allymwashambwa5920 หลายเดือนก่อน +2

    mungu aendelee kukuangazia nuru yake uendelee kufichua yaliyo gizani 🙏🙏🙏🙏🙏

  • @pracksedachrispine5504
    @pracksedachrispine5504 5 หลายเดือนก่อน +24

    Amina Amina,ni sauti ya Mungu ndani ya Cassian mwenye masikio na ageuke ili apone,,,,Makahaba wamevamia kanisa la Mungu na hawataki kuacha ili waangamize watu wa Mungu.

  • @Nathanielchko
    @Nathanielchko 5 หลายเดือนก่อน +8

    Amen evangelist pascal cassian,Mungu akuongoze umalize salama kazi ya mungu

  • @OnesmoAdolph
    @OnesmoAdolph 2 หลายเดือนก่อน +2

    Ubarikiwe mtumishi evelisti pascal cassian unaongea ukweli mungu akubariki sana.

  • @wilisonmikate1652
    @wilisonmikate1652 5 หลายเดือนก่อน +106

    Wanao mkubari cassian nione like zenu hapa.

    • @aviosilona316
      @aviosilona316 5 หลายเดือนก่อน +3

      Namkubali kutoka Kenya 🇰🇪 😍

    • @karebukaminyoge
      @karebukaminyoge 4 หลายเดือนก่อน +1

      Mweuuuu

    • @NicodemusGasore-xk9kd
      @NicodemusGasore-xk9kd 4 หลายเดือนก่อน +1

      Hauwez mwita mke wa mtu ni kahaba

    • @GloryShumba
      @GloryShumba 4 หลายเดือนก่อน

      Namkubali saanaaaaa❤

    • @MeshackChimesela
      @MeshackChimesela 4 หลายเดือนก่อน

      Tupo mweeeee

  • @philemonkiteme8484
    @philemonkiteme8484 4 หลายเดือนก่อน +2

    Ufunuo wa Yohana 22:19-20
    [19]Na mtu ye yote akiondoa lo lote katika maneno ya unabii wa kitabu hiki, Mungu atamwondolea sehemu yake katika ule mti wa uzima, na katika ule mji mtakatifu, ambao habari zake zimeandikwa katika kitabu hiki.
    [20]Yeye mwenye kuyashuhudia haya asema, Naam; naja upesi. Amina; na uje, Bwana Yesu.

  • @SaviourKasekwa
    @SaviourKasekwa 5 หลายเดือนก่อน +8

    Sema kweli sema kweli roho zetu zipone Mungu wa mbinguni azidi kukupa nguvu we love you ❤❤❤❤❤❤❤

  • @HoseaMkiramweni
    @HoseaMkiramweni 4 หลายเดือนก่อน +2

    Ubarikiwe sana mtumishi wa BWANA wanyooshe wapone.

  • @rahabusanga1559
    @rahabusanga1559 5 หลายเดือนก่อน +14

    sio sawa kuvaa suruali tena kwa haswa watumishi wanakua mfano mbaya kwa sisi wafuasi...lakini pia wanasababisha makwazo kwa hao wanaowtazama.sio sawaaaa

  • @RichardJuma-o1q
    @RichardJuma-o1q 4 หลายเดือนก่อน +2

    Kaka umenifaaa sana kwenye maisha kiroho binfs nashindwa hata niingie kanisa gan maama watumishi kama wewe wako wap tuna kiu ya kuijuwa kwer ya mungu wachunngaj wanafundisha miujiza tu. Natman ningekua kalibu na ulipo mungu akurinde sana najua wanavyokutazama

  • @DorcassKingu
    @DorcassKingu 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu akubariki sana mtumishi

  • @TitusMakau-n4q
    @TitusMakau-n4q 5 หลายเดือนก่อน +5

    amen ujumbe huu nimeufuatilia xana barikiwa na mungu akutie mafuta zaidi

  • @AngelJeska-qz2jg
    @AngelJeska-qz2jg 5 หลายเดือนก่อน +7

    Amina 🙏 🙏🙏 sema wasikie wasije kusingizia eti hawakuambiwa ,, na watadaiwa hayo wanayoyasikia nakuyapuuzia . MUNGU akuzidishie maarifa nguvu baraka zake zifuatane nawe

  • @debbeymajatta2342
    @debbeymajatta2342 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mimi kwakweli niseme watumishi wa Mungu tuhubiri injili ya kristo kipimochetu iwe ni kristo. Yesu sijawahi msikia anazungumzia mtu lakini alikuwa anahubiri nawatu walaikuwa wanamfata kwa zile nguvu za Mungu zilikuwa ndani yake. Niwashauri tumjue Mungu sana hatutatumia nguvu kubwa ambapo hiyo nguvu niyakumwinua shaboka na mkewake. Aisee tukihubiri kristo tutamvunia watu wengi sana kiukweli swala zima lamavazi kwa watumishi bado nikitendawili lakini yasizidi kumtangaza kristo

  • @neemamasimba2981
    @neemamasimba2981 5 หลายเดือนก่อน +28

    Mimi Ni mwanamke Ila mwanamke kwenda madhabuhuni Na suruali , hapana kwani majoho yako wapi . Wana wake tumeiingiza kwenye kanisa Kwa kisingizio kuwa Mungu anaangalia roho

    • @CamaraSyntya
      @CamaraSyntya 5 หลายเดือนก่อน +4

      Kweli kabisa

    • @christinemwakio7870
      @christinemwakio7870 5 หลายเดือนก่อน +1

      Tumeingiza dunia kwenye kanisa biblia inasema usivae nguo za mwanaume.... sasa nguo za mwanaume ni zipi kama sio suruali, Rose shaboka tunakupenda mama mtumishi wa Mungu ila unavaa mavazi mengi ya kidunia okolewa hata ufahamu wako, ombi langu funguliwa uone kweli..
      Mungu angetaka uvae suruali ungezaliwa mume, wacha kutoa Mungu makosa, kwamba ulitaka kuwa mume ili uvae suruali huo ushauri wako kwa Mungu dada Rose utakupoteza.. mbele za Mungu utaambiwa ulisikiliza mume wako na kumfanya yeye mumewe Mungu wako.. God bless you brother Cassian we love you in the name of our Lord Jesus Christ 🙏 🇰🇪

    • @YonaKigawa
      @YonaKigawa 5 หลายเดือนก่อน

      Kweli kabisa chukizo la uhalibifu limesimama mahali pasipolipasa

  • @agnesspaul1866
    @agnesspaul1866 2 หลายเดือนก่อน +2

    ❤❤❤❤ Ameeeni Muñgu ukulinde kuponya mioyo ya watu

  • @merydotto5046
    @merydotto5046 5 หลายเดือนก่อน +6

    Mtumishi wa mungu ubalikiwe sana kumbukumbu latolati 22 5tusifae mavazi yawapasayo wanaume

  • @barakaelias1116
    @barakaelias1116 5 หลายเดือนก่อน +7

    Mungu akubariki cassian mahubiri yako ni mazur san niko pamoja na wew kukataa uovu huo

  • @AFTAOBADIAJACKSON
    @AFTAOBADIAJACKSON 2 วันที่ผ่านมา

    Asante sana mtumishi wa Mungu,,, utiwe nguvu zaidi,,kazi yako ni ngumu,,

  • @adonaitvtanzania2544
    @adonaitvtanzania2544 4 หลายเดือนก่อน

    Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu Paschal Cassian. Endelea kutumikia wito aliokupa Bwana. Sisi tunakuombea kwa Bwana ulinzi wake,neema yake na nguvu nyingi ndani yako. Maneno yako hayaendi bure, kuna roho nyingi zinaponywa, zinazinduka na kufufuka kutoka ktk hali ya kupoa, kulala na kufa kiroho. Natoa wito kwa kila anayebarikiwa na mtumishi huyu wa Bwana kumuombea kila unapokuwa ktk maombi,mtaje hata kwa dk 1,2,3 n.k Bwana amtie nguvu. Si kazi rahisi hii ndg zangu na wengi waliukimbia au kuukataa wito kama huu. Amen

  • @jovettedenise2591
    @jovettedenise2591 5 หลายเดือนก่อน +11

    Haya yote Yesu naye aliyapitiya mpa ka mahakamani alipelekwa so kubari miba na misumari ukiamuwa kuhubili injili ya kweli❤❤❤❤❤

    • @Nathanielchko
      @Nathanielchko 5 หลายเดือนก่อน +1

      Kumbukumbu la torati 22:5

  • @salimajosephine1673
    @salimajosephine1673 3 หลายเดือนก่อน +1

    Ibarikiwe tu saaaana mti wa Mungu

  • @jeankabongo718
    @jeankabongo718 5 หลายเดือนก่อน +7

    Mungu wa mbingu akubariki tena na tena (je suis congolais)

  • @JasmineMilima-e7m
    @JasmineMilima-e7m 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mung akutie nguvu Kaka yang Kwan mung anatupenda ndo mana amesema nasi tag Nami pia ni mtag hii ni neema kwetu kukutumia mtumishi wake ili tujue ni wap tumekosea sofa na heshima ni vyake yeye mungu wetu Amina.

  • @marchymaziku6234
    @marchymaziku6234 5 หลายเดือนก่อน +23

    2 Timotheo 4:2
    lihubiri neno, uwe tayari, wakati ukufaao na wakati usiokufaa, karipia, kemea, na kuonya kwa uvumilivu wote na mafundisho.

    • @MmMm-tt1wi
      @MmMm-tt1wi หลายเดือนก่อน

      Amen

  • @NasraMohamed-u5g
    @NasraMohamed-u5g 4 หลายเดือนก่อน +3

    Hakika mtumishi WA MUNGU Mimi mwenyewe nimejifunza vingi kupitia wewe, ubarikiwe sana

  • @IsakaKiyalo-s3v
    @IsakaKiyalo-s3v 5 หลายเดือนก่อน +3

    Amina ubarikiwe mtumishi wa mungu sema kweli ya mungu mwenye kusikia na asikie neno hili ulilotumwa na mungu..tupone katika jina la yesu kristo

  • @SuzanaHassan-d4z
    @SuzanaHassan-d4z 5 หลายเดือนก่อน +4

    Mungu akubariki na akulinde kipindi chote katika kulifikisha kusudi la Mungu kwa kanisa tupone na ghadhabu ya Mungu

  • @PaclasLeo
    @PaclasLeo 5 หลายเดือนก่อน +10

    Mwenye masikio naasikie neno hilo roho aiambia kanisa

  • @elizaedward1851
    @elizaedward1851 2 หลายเดือนก่อน +1

    Amina, Hiyo ndiyo kweli ya Kristo Yesu.

  • @RubazaReuben
    @RubazaReuben หลายเดือนก่อน +1

    😂😂😂Wefanya kazi ya Mungu ata nawa kina petro wali kufa wew tengeneza maisha yako awe pa moja na Mungu wako

  • @henerickmalegeya7760
    @henerickmalegeya7760 5 หลายเดือนก่อน +3

    Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu, unafanya kazi ya Mungu kweli.

  • @HoseaMkiramweni
    @HoseaMkiramweni 4 หลายเดือนก่อน +1

    Barikiwa mtumishi wa BWANA MUNGU qkutunze akulinde namabaya yote

  • @user-yz3rl8pd6q
    @user-yz3rl8pd6q 5 หลายเดือนก่อน +4

    Thanks for the potential message of redemption 🎉❤

  • @IsakaKiyalo-s3v
    @IsakaKiyalo-s3v 5 หลายเดือนก่อน +1

    Mtumishi fundusha kweli mwenye kusikia na asikie ujumbe ulilotumwa na mungu .maana watumishi wa namna hiyo anachokuwa anataka ni watu tu kujaa kanisani pale lakini panakuwa hapana roho mtakatifu maana watu wengi sikuhizi wao kwao kweli kuwaambia kweli imekuwa ni chukizo ila ukiwaambia uongo ndio kweli kwao hivyo Fanya kazi ya mungu upiyotumwa na mungu mtumishi wa mungu ili mwenye kupona na apone katika jina la yesu kristo.. ubarikiwe sana mtumishi wa mungu

  • @ElfridaElia
    @ElfridaElia 4 หลายเดือนก่อน +1

    Ni kweli tunatakiwa kulifuata neno la Mungu na siyo neno kutufuata sisi. Na huu ndiyo ukristo.

  • @ElizabethKansiime
    @ElizabethKansiime 5 หลายเดือนก่อน +16

    Nimachukizo sana asome
    1 Timoteo 2:9-10
    Isaya 3:16-24
    Yeremiya 4:30-31
    Mithali 7:10-12
    Mavazi yana mutambulisha mutu
    Kumbukumbu 22:5

  • @DeboraNeno-s5o
    @DeboraNeno-s5o 5 หลายเดือนก่อน +9

    Hapana kwa kweli tunatia huluma Shaboka usitudanganye

  • @VeronicaJames-u5q
    @VeronicaJames-u5q 4 หลายเดือนก่อน +1

    Nokweli kabisa unachokemea kiko sahihi japokuwa namimi naval suruali naomba mungu aniwezeshe rohoni hadi mwilini niendanene namaagizo yake mungu

  • @rahabnkya8276
    @rahabnkya8276 5 หลายเดือนก่อน +3

    Amina wewe tengeneza tengeneza, lkn ingia nawe ndani ufanye yakusayo. Usikosee chochote wewenkwa kinywa chako. Mungu akuhifadhi Sana Mtimishi Cassian. Amen

  • @JestaLuhanya1
    @JestaLuhanya1 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mwanamke anapaswa kujisitiri, Mungu atusaidie kwasababu ulimwengu umeisha, na shetani naye amekazana kuzalisha vitu vingi vya kutupoteza wanawake, Yesu Kristo utuokoe, maana vitu vidogo vitatuangamiza, si suruali tu hata marembo tunayovaa yanatutoa kwenye ule mfano wa kufanana na Mungu.

  • @Michaelikandonga-xr5vi
    @Michaelikandonga-xr5vi 5 หลายเดือนก่อน +4

    mungu akupe maisha malefu mtu mishi

  • @damarisnyaata
    @damarisnyaata 5 หลายเดือนก่อน +1

    Ongera pastor
    Mungu wa mbinguni akutete na akubariki baba

  • @ANTONIILOMO
    @ANTONIILOMO 5 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu akutie nguvu kuendelea kuisema kweli maana Dunia imeharibika mno. Barikiwa sana Mtumishi wa Mungu songa mbele kwa Jina la YESU.

  • @JohnHaule-p2f
    @JohnHaule-p2f 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu akujalie mtumishi, paza sauti sana

  • @AMINAJOHN-tx5eb
    @AMINAJOHN-tx5eb 5 หลายเดือนก่อน +2

    Ongea kaka asante mtumishi kasian big up sana 🎉🎉🎉🎉

  • @DonanciaFelician
    @DonanciaFelician 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu akutunzee sana mtumishi vita yako ni kubwa sana na Mungu akupiganie

  • @methodignas8421
    @methodignas8421 5 หลายเดือนก่อน +1

    Washa moto baba Mungu akulinde na akutie nguvu Mungu nijalie moyo huu

  • @masiachungwa
    @masiachungwa 4 หลายเดือนก่อน +1

    Barikiwa sana Mwijirist kuhani wa Kweli Mungu akulinde sana

  • @Robert-v8f5e
    @Robert-v8f5e 5 หลายเดือนก่อน +1

    Yeye aliye wa Mungu atakusikia ila washetani hata umfungie kengele maskioni hawezi kukusikia, ubarikiwe sana

  • @mwassajoseph8675
    @mwassajoseph8675 5 หลายเดือนก่อน +3

    Mzee wa kunyoosha wanyoosheeeeee!❤

  • @JohanesJester
    @JohanesJester 5 หลายเดือนก่อน +3

    Huyo mama huwaanafundisha viri ira kwenyemavazi ndo changamoto Mimi namshauri akiwa anafanya kazi yamungu kweri suruwari a home moto SI kumgawia mwingine

  • @LinaJames-q8k
    @LinaJames-q8k 5 หลายเดือนก่อน +3

    Mungu akubarik myumish

  • @masingijasalum1864
    @masingijasalum1864 5 หลายเดือนก่อน +6

    Mtumishi ubarikiwe sana,ila kizazi hiki cha nyoka kitakupinga tu kwa sababu ndivyo walivyo katika mavazi!maumbile tu ya wanawake kwa suruali ni kueneza uzinzi tu na shetani sasahivi anawatumia sana wanawake kuwakosesha wanaume ambao kupitia kuona au kutazama uzinifu unaingia!

  • @sautiyamunguduniani4620
    @sautiyamunguduniani4620 5 หลายเดือนก่อน +3

    Amen sana mtumishi ni sahihi Hawa watu wanalipotosha kanisa

  • @JessieLawrence-o8z
    @JessieLawrence-o8z วันที่ผ่านมา

    Amen Amen ukweli ongea mutumishi suluwali haikubiki kwamwanamuke nivazi lamwanaume tusome bibilia wapendwa

  • @marthadaniel4904
    @marthadaniel4904 5 หลายเดือนก่อน +1

    Sema mtumishi watu waponeee❤❤

  • @FollowGospelSingers
    @FollowGospelSingers 5 หลายเดือนก่อน +1

    Amina kubwa najisikia nguvu ya kumtetea Mungu kwawa 2 ambao hawamchi Mungu by Nikolaus wa FGS TZ 🎉🎉🎉

  • @avbjcministry7500
    @avbjcministry7500 5 หลายเดือนก่อน +1

    Amen amen piga KAZI Mkuu, mavazi yote ya kukosesha ni dhambi na mauti.

  • @johnsylivester8412
    @johnsylivester8412 5 หลายเดือนก่อน +4

    Wewe unaisema kweli kama ilivyo, nyoosha njia mtumishi sisi tunakuelewa

  • @DeusdeditMichael
    @DeusdeditMichael 5 หลายเดือนก่อน +18

    Amepotosha sana; "eti anasema kuna suruale kwa ajili ya wanawake" hivyo leo hii kukitolewa "gauni" kwa ajili ya mwanaume utavaa wewe???

    • @douglasochieno3358
      @douglasochieno3358 5 หลายเดือนก่อน +3

      Hizo mapambo na surwali vina shusha umuhimu wake na mungu awache mapambo suruali ni kwa mwanaume peke yake mbona mama zetu hawakuvaa surwali kizazi hiki kimedanganywa na shetani ala fu wanajifanya ni wachungaji kwanza wanatuharibia wake zetu na hizo kanisa zao anafundisha wake zetu uchafu wa mapambo ya mwili kujichibua akome kabisa ameme bibilia vizuri kuhusu mapambo na bwana wa huyo Rose pia asome bibilia vizuri

    • @douglasochieno3358
      @douglasochieno3358 5 หลายเดือนก่อน

      Kumbe shetani anatumia wachungaji ambo wanajifanya kushauri waumini kumbe ni kuwapotosha ata kuliko shetani mwenyewe

    • @MahraKhan-gd7pb
      @MahraKhan-gd7pb 5 หลายเดือนก่อน +2

      Mama mch anavaa makwapa wazi alafu mnateteana ujinga asipo jirekebisha mbinguni atapahubiri tu kwan ni kizuizu tosha cha kutouona mbingu kwan shetanu ni mshtak wet

    • @SafielMsuya-d2k
      @SafielMsuya-d2k 5 หลายเดือนก่อน +1

      Kanzu

    • @SafielMsuya-d2k
      @SafielMsuya-d2k 5 หลายเดือนก่อน

      ​@@MahraKhan-gd7pbkanzu😂

  • @PascalSabonga
    @PascalSabonga 5 หลายเดือนก่อน +12

    NAKUUNGA MKONO MTUMISHI 100% WAPE DOZI ZAO

  • @martinahlighare6495
    @martinahlighare6495 5 หลายเดือนก่อน +9

    Nkt, ole wako unaepotosha neno la Mungu , maana kikombe cha adhabu yako yakusubiri siku ya kiama. Eti, kuna suruali ya wanawake, nkt, Mungu akusamehe.
    Mie mama wa watu navaa suruali, ila nikinunulia mtoi wangu wa kike nguo, sinunui suruali. Niendapo kanisani navaa rinda maana kazi ndio hufanya navaa suruali.
    Naomba Mola ili nitakapobadilisha kazi, nisirudie suruali japo mie ni binadamu na kukosea ni kawaida, naomba Mungu anisaidie kwa sana.

  • @LilianMsigala
    @LilianMsigala 5 หลายเดือนก่อน +1

    Honger utakuf Ukisema ukwèr

  • @happyfrank9919
    @happyfrank9919 5 หลายเดือนก่อน +17

    Mwanamke naavae mavazi yampasayo mwanamke. Na mwanaume avae mavazi yampasayo mwanaume.
    Safi sana Pascal.

    • @EmanuelRaphael-f2q
      @EmanuelRaphael-f2q 5 หลายเดือนก่อน +2

      Kumbukumbu 22:5

    • @furahaalfred1416
      @furahaalfred1416 5 หลายเดือนก่อน

      Sasa mbona Kuna suruali zakike nazakiume???? Hapa inakuaje???

    • @aviosilona316
      @aviosilona316 5 หลายเดือนก่อน

      ​@@furahaalfred1416vaa ukienda date na mume wako si madhabahuni

    • @victorianchimbi8640
      @victorianchimbi8640 5 หลายเดือนก่อน

      Hakuma suruali za kike ndugu ni mbinu ya shetani alikuja na hilo jina suruali za kike zinduka ndugu​@@furahaalfred1416

    • @JestaLuhanya1
      @JestaLuhanya1 4 หลายเดือนก่อน

      ​@@furahaalfred1416
      KumbukaUlimwengu unatawaliwa na shetani, kwahiyo anaweza fanya chochote ambacho yeye anajisikia, kwahiyo jipange sawasawa.

  • @MosesMwakalibule
    @MosesMwakalibule 5 หลายเดือนก่อน +4

    MUNGU akutunze sana brother...

  • @KundaelGeorge-tv8mz
    @KundaelGeorge-tv8mz 5 หลายเดือนก่อน +1

    Mtumishi Mungu akubariki kwa kuitetea kweli ya Mungu

  • @RoidaMbemba
    @RoidaMbemba 4 หลายเดือนก่อน +1

    Ama kweli,
    Inashangaza sana watu wa mungu wanahangaika na mavazi kuingia mbunguni,mavazi ni kujisitili tu hakuna mahusiano na kukutana na mungu,jadilini mambo ya maana Kwa jamii kama kuacha uharifu,watu wanavaa cola harafu wabakaji,walawiti,wezi na mengine kama hayo.
    Ni kweli isiyopi ngika kabisa kuwa mavazi hayana uhusiano na Imani na matendo mema.
    Kuna watu wameficha tabia zao mbaya kwenye mavazi haisaidiii.

    • @Justinamwakajumba
      @Justinamwakajumba 4 หลายเดือนก่อน

      @@RoidaMbemba watu hawaelewi wanafikiri kwenda mbinguni ni mavazi sijui wanasomaje maandiko

    • @NeemaZono
      @NeemaZono 4 หลายเดือนก่อน

      Ila jamani ukweli ni ukweli tu hayo sio mavazi ya kusimama madhabahuni.​ na kwanini watumishi wa sasa hawasikiii maonyo?. Kwanini usivae vazi la stara.@@Justinamwakajumba

    • @whajavfsb5154
      @whajavfsb5154 4 หลายเดือนก่อน +2

      Pole sana wewe ndiyo huelew maandiko soma kumb la torati 22:5
      Inasikitisha sana 😢kuona mtu u anatetea ubaya hadharani bila haya

    • @lilianjoseph1144
      @lilianjoseph1144 4 หลายเดือนก่อน

      Kila mjadala ninaona ni kulingana na mazingira ya tukio nadhani kuna vazi limetukia mahali sio pake maana Biblia imesema mtawajua kwa matendo.hivyo matendo yamebeba mambo mengi mno pamoja na hayo usemayo

  • @InjiliyaUfalmetv
    @InjiliyaUfalmetv 5 หลายเดือนก่อน +7

    Kuna Siku Mungu alinifunulia hivi kanisa liko Uchi Kulingana na Mavazi wanayovaa
    Ile sauti ilikuwa inatisha Akaniambia hili ndilo kanisa la siku za Mwisho liko Uchi ,
    Ndipo alianza kunifunulia Mavazi ya KITAKATIFU
    Mbingu sio lelemama Tubuni kwa Maana ufalme wa Mungu umekaribia

    • @ruthmuja7792
      @ruthmuja7792 5 หลายเดือนก่อน

      Amen Amen

    • @odilomwemeziernest646
      @odilomwemeziernest646 5 หลายเดือนก่อน +1

      Uchi aumanishi kutovaa nguo bali kupoteza utukufu wa Mungu au Nguvu za kiungu ila kama wanavaa mini hapo sawaa.soma mwanzo utaelewa acheni kutafisiri maandiko kimwili na mtakavyo

    • @salvinahassan8778
      @salvinahassan8778 5 หลายเดือนก่อน

      Huwezi kutembea uchi kimwili na utukufu bado ukabaki nao​@@odilomwemeziernest646

    • @deborahHebron
      @deborahHebron 5 หลายเดือนก่อน

      ​@@odilomwemeziernest646
      Amesema amefunuliwa.

  • @ntolwafrank3302
    @ntolwafrank3302 4 หลายเดือนก่อน

    I love Mama Shaboka❤

    • @Millieykitawa9652
      @Millieykitawa9652 4 หลายเดือนก่อน

      Hata mimi nampenda ila hapo kwa suruali kakosea😢.Mungu atusaidie na atufungue macho

  • @godyfashion7125
    @godyfashion7125 4 หลายเดือนก่อน +1

    Ungurumaaaaaa washaa motoooo kemeaa onyaaaaa kalipiaaaa mpakaa kielewekeee

  • @rabecamapunda6389
    @rabecamapunda6389 5 หลายเดือนก่อน +2

    Kwenye madhabahu ya Mungu hatakiwi, Mungu amekataza, anauonekano mzuri, kwa sababu ya urembo bandia , uzuri wa kununua ni makosa.
    Mungu atamhukumu huyu mama na mmeo

  • @blessjo1678
    @blessjo1678 4 หลายเดือนก่อน

    Hatukuumbwa na nguo nyau NYINYI..Mungu hakumvalisha Adam nguo

  • @JustinKituyamaana-og3bg
    @JustinKituyamaana-og3bg 5 หลายเดือนก่อน +3

    Ni muzuri Sana kuonyana Ila hata andiko linasema umujiye mutu kwanza baada akikusikiya utakuwa umemupata. Mimi si zani kama kwa hekima nzuri kuonya mutu kumutandao itakuwa ni hekima kbs.

    • @regnaldymambaly9880
      @regnaldymambaly9880 5 หลายเดือนก่อน +2

      9:18 kwani huyu alie vaa suruali madhabahuni ame jificha ?si amevaa waziwazikabisa huku akijuwa ni kosa ?acha na yeye aonywe waziwazi bila kuficha

    • @CamaraSyntya
      @CamaraSyntya 5 หลายเดือนก่อน

      Kweli kabisa, n'a tume faidi sisi wengine

    • @upendoshija2235
      @upendoshija2235 5 หลายเดือนก่อน

      Mtume paulo alisema akimwambia timotheo wakemee hadhalan ili na wengine waogope ili wasitende na wao kama hapo.

  • @MnanilaMrsmnanila
    @MnanilaMrsmnanila 5 หลายเดือนก่อน +1

    Neno la MUNGU halibadiriki,kumb 22:5 mwanamke asivae mavazi yampasayo mwanaume.ni kama alivyo sema usizini.Mungu anatuwazia mema.shetani kama Simba aungurumaye amepofusha macho yetu na kuona dhambi nyingine Mungu alijisahau isingekuwa dhambi.lakin mzinzi,mwabudu sanamu na muuaji,na mwibaji wote watahukumiwa Sawa na anaye vaa mavazi yasiyo mpasa.Mungu siyo mwanadamu ajute kuhukumu walioasi Sheria zake wewe endelea na mambo yako ya kupotosha kanisa kwamba hakuna hukumu juu ya mavazi.matendo 2:21 kila aliitiaye jina la Bwana ataokolewa

  • @daudimwakalinga1852
    @daudimwakalinga1852 5 หลายเดือนก่อน +2

    Huyo ametoka machoni pa Mungu,ameanza kufokasi sifa aitwe akubalike na wazungu aende akahubiri,wamemshauri kwamba aanze kuvaa nahuku anajua kabisa kwamba nimachukizo machoni pa Mungu,ameamua kuasi kwakipande

  • @aviosilona316
    @aviosilona316 5 หลายเดือนก่อน +1

    Tukipata wachungaji watano kama wewe Africa itabadilika uko sahihi kabisa ..kwenda madhabahuni na trousers 👖 😢zii avae akienda na mume wake date.....nakukubali from Kenya 🇰🇪

  • @RubazaReuben
    @RubazaReuben หลายเดือนก่อน +1

    Sasa uyo anae sema tchukue kondo na ng'ombe iyo ime kuaje na wakati yesu krisoto ali kuja kutowa damu yake ili tuwezeshwe na damu yake

  • @MonicaSilasi-p3k
    @MonicaSilasi-p3k 5 หลายเดือนก่อน +1

    Uko sahihi kabisa asilimia mia ubarikiwe

  • @ellymaz2187
    @ellymaz2187 5 หลายเดือนก่อน +2

    Yaani watu wengi wa sasa, Mabaya ndiyo mazuri na mazuri ndiyo mabaya kwao. Ubaya unatetewa kwa nguvu kubwa sana hadi mtu unashindwa kuamini. Unaanza kufikiri mara mbili mbili, kuwa mimi ndiyo nimekosea nini..!

    • @HappyFlowers-ee8ru
      @HappyFlowers-ee8ru 5 หลายเดือนก่อน +1

      Yaani MUNGU aliye hai atusaidie sana

    • @HappyFlowers-ee8ru
      @HappyFlowers-ee8ru 5 หลายเดือนก่อน

      Baki na Neno mpendwa litakusaidia

    • @ellymaz2187
      @ellymaz2187 5 หลายเดือนก่อน

      @@HappyFlowers-ee8ru Amina

  • @LucasLaizer-if2du
    @LucasLaizer-if2du 4 หลายเดือนก่อน

    Imani inaambatana na matendo hatuungi mkono vazi la surual Kwa mwanamke ni ukahaba mtupu tena umalaya sugu

  • @faidhabaraza6900
    @faidhabaraza6900 4 หลายเดือนก่อน

    Asante sana pastor

  • @Papaahansmo
    @Papaahansmo 5 หลายเดือนก่อน +4

    WE SHABOKA USIWAPOTOSHE WATU MAANDIKO YANASEMA KWAMBA MWANAUME ASIVAE MAVAZI YAMPASQYO MWANAMKE PIA MWANAMKE ASIVAE MAVAZI YAMPASAYO MWANAUME. 😢😢😢 oohh!! Kuna suruali za kike na zakiume. Mbona hakuna sketi za kike na za kiume?😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢

    • @matildahaduyu183
      @matildahaduyu183 5 หลายเดือนก่อน

      Kumbukumbu la Torati 22:5.

    • @MaselePatrick
      @MaselePatrick 5 หลายเดือนก่อน

      Hata Hamna mavazi yanayompeleka mbinguni mtu unaweza kuvaa hayo Madera mabaibui na bado ukawa nyoka bhanaeee

    • @ChristinaShilla
      @ChristinaShilla 5 หลายเดือนก่อน

      @@MaselePatrickpoint 📌📌📌📌 …. Na hakuna mahali Mungu alisema suruali 😂😂ni za wanaume …alafu huko zaman mbona wote walikuwa wanavaa majoho na kanzu watu wote🙄🙄

    • @HellenDennis-bq7ov
      @HellenDennis-bq7ov 4 หลายเดือนก่อน

      Ikiwa wewe uwezi kuvaa usimuhukumu anaevaa kazi hiyo mwachie Mungu soma warumi 14

  • @clarageorge8385
    @clarageorge8385 5 หลายเดือนก่อน +1

    Wewe casian ulikuwa kwenye mambo ya freemason na uganga umepita huko sasa hivi umebadilika tatizo waliokuachia hao ni kuwazungunzia watu tu huna muda wa kuangalia maisha yako bado hujajitoa kule jitoe kabisa kisha Rudi huku watu watakuelewa

  • @christinewomanoffaith5479
    @christinewomanoffaith5479 5 หลายเดือนก่อน +1

    Kila mmoja atajibu kivyake Yesu akija chukua kanisa
    Maana Kila mmoja ukweli anaujua

  • @jescamussa4962
    @jescamussa4962 4 หลายเดือนก่อน +1

    🙌🙌

  • @RehemaFungo-gj6mm
    @RehemaFungo-gj6mm 4 หลายเดือนก่อน

    Cassian yup sawa❤

  • @DaudBuhimila
    @DaudBuhimila 4 หลายเดือนก่อน +1

    Kweli huu ni upotoshaji mkubwa maana biblia inasema kwamba mwanamke asivae mavazi ya mwanaume na wala mwanaume asivae mavazi ya mwanamke inatisha nakuogofwa mchungaji anatetea maslahi yake binafsi kwa mkewe lakini atadaiwa nafsi hiyo 😢😮

  • @rabecamapunda6389
    @rabecamapunda6389 5 หลายเดือนก่อน +8

    Hizo nguo anazovaa, ni zakizinzi, suruali, kimini, nguo ya kushepu makalio, nguo kwapa wazi ni nguo za kizinzi,
    Mwanaume naye, unyoaji, denge, haimtukuzi Mungu

  • @BeforeZayekha
    @BeforeZayekha 2 หลายเดือนก่อน

    Amen Amen Amen Amen Amen Amen Amen Amen

  • @sabamultimediabrand
    @sabamultimediabrand 5 หลายเดือนก่อน

    Shida kubwa ni kwamba watu wengi wanaishi na kulitamka jina la mungu lakn bdo wanaupenda ulimwengu

  • @msanginaza905
    @msanginaza905 5 หลายเดือนก่อน

    Mungu akisema hiki ni dhambi ni dhambi Mungu ni yeye yule Jana Leo na hata milele!!!! Suruali ni suruali tuuuu bwana tusijifariji.......Cassian piga gombo piga gombo haya huyo anapanda wapiiii ... madhabahuni ni suruali sio sahihi!!! Shaboka Yesu anakuona ujue alafu utatoa hesabu ww ni mchungaji ujue

  • @DaudBuhimila
    @DaudBuhimila 4 หลายเดือนก่อน

    Hakika inatisha nakuogofwa kwa wakristo iwe viongozi au washirika wanavaa nusu uchi pia zaidi wanahudumu madhabahuni . Kwa ndugu zetu waislamu hakika wanafuata sheria na maagizo ya Mungu hakuna mwanamke wa kiislamu anaevaa suruali

  • @scholasticakariuki6775
    @scholasticakariuki6775 5 หลายเดือนก่อน

    Kristo awe haiwezi wetu. Tujitahidi kumjua na YESU NA KIMKARIBIA HUO NDO UTU WA NDANI.

  • @subiramakanga1716
    @subiramakanga1716 5 หลายเดือนก่อน

    Huyo mumewe hamjui Mungu hawa ndio wale mbwa katika biblia wanahubiri nakufundisha habari za Mungu wakati wao ni wadunia hii mavazi yakikahaba hayatakiwi imani bilabmatendo haipo na tena Yesu mwenyewe alisema watatuchukia kwasababu ulimwengu sio wetu mimi nimevaa sana suruali lkn baada ya kuokoka na kuamua kumfuata Mungu nikasema asante kwa Neema hii Yesu now sivai tena

  • @NeemaMjuny
    @NeemaMjuny 4 หลายเดือนก่อน

    Cassian hio ni kweli tupu mwanamke kuvaa suluwali ama nguo fupi ni ukahaba wanaleta ukisasa kanisani hao wote ni makahaba Tena makahaba