MPINA JESHI La MTU MMOJA APANGUA ADHABU ALIYOPEWA na BUNGE "Haki ni Lazima Itendeke",......

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 28 มิ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 21

  • @jumbemkilla9556
    @jumbemkilla9556 3 วันที่ผ่านมา +1

    Tuko pamoja kiongozi ktk kuwafanya viongozi walioapa kuilinda katiba badala yake kuikanyaga kanyaga lazima wafundishwe kwa kupelekwa mahakamani.

  • @florencemeza6540
    @florencemeza6540 4 วันที่ผ่านมา +4

    VIVA MPINA MANAFIKI YANAJIKANYAGA TU

  • @user-jl5un4wf3u
    @user-jl5un4wf3u 2 วันที่ผ่านมา

    He isclever head and genius for ourdays.incabinates.

  • @fredytarimo9107
    @fredytarimo9107 3 วันที่ผ่านมา +1

    Hamia upinzani kaka

  • @walidmgonja3644
    @walidmgonja3644 2 วันที่ผ่านมา +1

    Mpina akili huna,wanaokushabikia humu mitandaoni sio wabunge,huwezi kupata msaada zaidi ya kujimaliza mwenyewe

  • @TonnyLucious-qd1oy
    @TonnyLucious-qd1oy 4 วันที่ผ่านมา

    The incredible mbunge

  • @kilimanjarostarlounge
    @kilimanjarostarlounge 3 วันที่ผ่านมา +2

    kwa mfano raisi awe MAKONDA makamu awe MPINA waziri mkuu mwambukusi pata picha 2025 hiyo serekali itakuaje please REPLY

    • @wemakyagunya1895
      @wemakyagunya1895 วันที่ผ่านมา

      Itakuwa safi sana Mungu afanye hilo litokee

  • @wemakyagunya1895
    @wemakyagunya1895 วันที่ผ่านมา

    Mpina wewe Wafaa kuwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania uwezo huo unao na Uongozi unauweza.
    Hakika Mungu akusimamie Tanzania ikipata wabunge 100 tu wenye nia thabiti kama wewe Nchi yetu itapona kwa yanayoendelea na tuyaonayo kiukweli yanaumiza mioyo yetu kama watanzania.Endelea kututetea.

  • @josephatmhamiji4886
    @josephatmhamiji4886 3 วันที่ผ่านมา +1

    Wewe ulipaswa kuwa makam wa rais wewe msukuma mwenzangu unahofu namungu simama imara

    • @walidmgonja3644
      @walidmgonja3644 2 วันที่ผ่านมา

      Tatizo la ukabila ulilonalo ni dalili ya ushamba,obvious tunajua ninyi ni washamba kwahiyo sishangai sana

  • @user-dw6sy3tt8l
    @user-dw6sy3tt8l 3 วันที่ผ่านมา

    MAONI YANGU MWANAINCHI " MHESHIMIWA SPIKA TULIA NI MWANA SHERIA ,ASIACHE WABUNGE WA WIN KWA KILA WANACHOTAKA AU KUFILIA! WAKIFARANSA HUSRMA" JE TE LAISSE PAS GAGNE " TON PANSE"😂!ADHABU IKITOLEWA HAIPUNGUZWI ,WALA KURUDIWA TENA ! ITAMANISHA NINI AU KULETA PICHA GANI KWA,SPIKA NA WANAINCHI??

  • @kiboshokiboshomungumkubwa7789
    @kiboshokiboshomungumkubwa7789 4 วันที่ผ่านมา +1

    Ww siulikuwa waziri wacha zako

  • @levidavid1156
    @levidavid1156 4 วันที่ผ่านมา +4

    mpina ndo kionzi ambaye anapaswa. kukipwa mshahara wa kibunge coz ndo mtu anayejua nini maana ya ubunge

    • @halimamasai2234
      @halimamasai2234 4 วันที่ผ่านมา +2

      Hana lolote huyo Mpina spika ni mwanasheria anajua analofanya

    • @robertzamani5612
      @robertzamani5612 4 วันที่ผ่านมา

      Kama anajua analofanya mbona hajasikiliza hoja zake za tuhuma za Bashe kulindanya Bunge kuhusu uagizwaji wa sukari

    • @florencemeza6540
      @florencemeza6540 4 วันที่ผ่านมา

      Hivi unawasikiliza au unashabiki upupu kujua sheria ndo kuvunja sheria​@@halimamasai2234

    • @florencemeza6540
      @florencemeza6540 4 วันที่ผ่านมา

      ​@@robertzamani5612wanyonyaji mnajuana kwa kuteteana mpina KICHWA

    • @wemakyagunya1895
      @wemakyagunya1895 วันที่ผ่านมา

      Exactly