ความคิดเห็น •

  • @rahmasalum1317
    @rahmasalum1317 5 วันที่ผ่านมา +6

    Poleni wakenya Mungu awafanyie wepes

  • @suleysaid3927
    @suleysaid3927 6 วันที่ผ่านมา +12

    Safi sana Sns Nawapata vizuri sana Munafanya kazi mzuri sana Mungu awabariki ❤

  • @user-vi7ly9zh1q
    @user-vi7ly9zh1q 5 วันที่ผ่านมา +5

    Asante kaka sisi tusiojua vingereza😂😂😂😂tumekuelewa vizuri sana

  • @user-zt6re1dr5f
    @user-zt6re1dr5f 5 วันที่ผ่านมา +3

    Ooooh Lord stand with the People of Kenya to have peace?? From Tanzania

  • @isamony58
    @isamony58 5 วันที่ผ่านมา +7

    Asante kuongeya kiswahili 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @pauloisso5815
    @pauloisso5815 5 วันที่ผ่านมา +11

    Saut Tu ya mtangazaj inatamanisha kusikikiza moja ya best sound Tanzania

    • @talents7934
      @talents7934 5 วันที่ผ่านมา

      Usikute wewe ni Mwanaume? 😢

    • @pauloisso5815
      @pauloisso5815 5 วันที่ผ่านมา

      @@talents7934kwann

  • @Mariam-fm8vq
    @Mariam-fm8vq 5 วันที่ผ่านมา +5

    Hajahusika kwani polisi niwa nani hio damu haiwezi enda bure RUTO itakutesa sana hii kitu😢😢😢😢😢

  • @user-rc2ye4ri6t
    @user-rc2ye4ri6t 6 วันที่ผ่านมา +12

    Sns is the best now tz

    • @jumashedafa
      @jumashedafa 5 วันที่ผ่านมา

      Exactly yan ktk online tv...hii ni atar na wakiendelea hiv watafika mbal mno

  • @omarybakunda2554
    @omarybakunda2554 5 วันที่ผ่านมา +6

    Kwa kiswahili Safi sana.

  • @saidbabaali9082
    @saidbabaali9082 5 วันที่ผ่านมา +8

    Umefanya vizuri kuwatafsiria hao jirani zetu maana wengi wao ingewapita tu

    • @jaymwinyi6957
      @jaymwinyi6957 5 วันที่ผ่านมา

      😂😂Banaeee

    • @personpeter2221
      @personpeter2221 5 วันที่ผ่านมา +2

      Naiman hata hko kwenu kunawasiojua eng ko sishangai

    • @user-zs4qz4wm2n
      @user-zs4qz4wm2n 5 วันที่ผ่านมา +2

      Mbona rais wenu alishindwa kuongea English huko ulaya😂 mnajifanyaga wazungu nyie

    • @lenniefei6710
      @lenniefei6710 5 วันที่ผ่านมา

      ​@@user-zs4qz4wm2nAliongea kizungu safi sana acha uwongo

    • @gracekagoma3231
      @gracekagoma3231 5 วันที่ผ่านมา

      Wewe hapo juu unayewaabudu waingereza ona sasa matatizo yaliyopo sell outs,King wa uingereza kukaribishwa na kutandikiwa zulia jekundumk.Kasumba
      .NI MHIMU KUIHESHIMU LUGHA YAKO KWANZA KAMA WAFANYAVYO WAZUNGU WENYEWE.RAISI ANAIHESHIMU LUGHA YAKE YA TAIFA NA WAINGEREZA WANATUHESHIMU KWA KUWA NA LUGHA YETU IMARA NA KUTOKUWA NA UKABILA🎉IAM PROUD OF MY NATION.GOD KEEP ON BLESSING MY BELOVED COUNTRY.NEVER KILL EACH OTHER.IN GOD I TRUST.

  • @mohamedalnaamani9232
    @mohamedalnaamani9232 5 วันที่ผ่านมา +11

    Umefanya vizuri kwa kuongeya kiswahili poleni sana kwa vifo vimetokeya na omba wakenya mpende Amani na mpende inchi yenu usalama nikitu muhimu kwenu usalama gusa kilammoja
    wenu

    • @lenniefei6710
      @lenniefei6710 5 วันที่ผ่านมา

      WaKenya wanapenda nchi yao kuliko yeyote yule na ndio maana wanapigania haki yao sio kama waTZ ambao uhuru wenyewe walipewa kwa sahani !

  • @amanimtd3890
    @amanimtd3890 5 วันที่ผ่านมา +4

    Support from Canada 🇨🇦 Asante sana SNS

    • @user-uh5ms6qe9b
      @user-uh5ms6qe9b 5 วันที่ผ่านมา

      Ebu nipe ujanja ulifikaje Canada brother

  • @africanmandetraveler2847
    @africanmandetraveler2847 5 วันที่ผ่านมา +8

    Mnao shukuru kwa Sky kutafsiri hii inshu kwa kiswahili jifunzeni Lugha kujua kichina ,kirusi na kinyakole ni utajiri wa lugha wala sio ushamba kujua lugha yeyote ile.

    • @jaymwinyi6957
      @jaymwinyi6957 5 วันที่ผ่านมา

      😂

    • @lenniefei6710
      @lenniefei6710 5 วันที่ผ่านมา

      😂😂😂😂...Kweli kabisa

    • @yusufuheri6524
      @yusufuheri6524 5 วันที่ผ่านมา

      Kwani wao kujifunza kiswahili ni dhambi

    • @lenniefei6710
      @lenniefei6710 5 วันที่ผ่านมา +1

      @@yusufuheri6524 Muache kiburi cha upuzi, kiingereza ndio lugha ya mawasiliano ulimwengu mzima......Musiwe wajinga jamani

    • @yusufuheri6524
      @yusufuheri6524 5 วันที่ผ่านมา

      @@lenniefei6710 message sent

  • @samuelmlapwa7858
    @samuelmlapwa7858 5 วันที่ผ่านมา +25

    Shida ya huyu bwana uongo ni mwingi

    • @jumakassim8718
      @jumakassim8718 5 วันที่ผ่านมา +1

      Huyu sio kiongozi ni mwanasiana tu

    • @aftapat5365
      @aftapat5365 5 วันที่ผ่านมา

      kwani Magufuri si alikuwa kiongozi mzuri alivyofariki nani alie hoji
      nashangaa sisi wa tanzania tunakosoa sana kenya kuliko kuwaombea ili wasiingie kwenye vita
      ruto akitokw nani atakuwa kiongozi mzuri wakenya ni wazungu vuchani kama hauwajui

    • @samuelmlapwa7858
      @samuelmlapwa7858 5 วันที่ผ่านมา

      ​@@aftapat5365ndugu yangu hivi unamsikia Ruto na tension yake kuhusu hayo maandamano?Halafu kuna namna unapaswa kuelewa Magufuli hakuwa mtu wa mikopo kaka huyu anakopa Sanaa hicho ndio kitu wakenya hawataki sababu inachochea ongezeko la kodi.

  • @ismailabdalla7953
    @ismailabdalla7953 6 วันที่ผ่านมา +19

    Umefanya vizuri kuleta kiswahili

  • @sonnyr1899
    @sonnyr1899 5 วันที่ผ่านมา +3

    Tatizo lako Ruto unaongeya sana Alafu ahadi zako ni hewa

  • @hassangaddafi2347
    @hassangaddafi2347 5 วันที่ผ่านมา +3

    Zakayo must go 😂😂😂😂

  • @Rachel02806
    @Rachel02806 5 วันที่ผ่านมา +1

    He's nice president on my opinion

  • @fanuellingson
    @fanuellingson 3 วันที่ผ่านมา

    Nimependa waandishi wanavyo hoji TZ MKALE SHORT COURSE HUKO

  • @animalchannel296
    @animalchannel296 5 วันที่ผ่านมา +1

    I support Ruto by the way

  • @user-jd6vr9xw1o
    @user-jd6vr9xw1o 5 วันที่ผ่านมา +5

    SNS media yetu pendwa

  • @blueboybajos6880
    @blueboybajos6880 5 วันที่ผ่านมา +1

    asante sna kaka Sky na SnS yote kwajumla💝

  • @SamiiJymmy
    @SamiiJymmy 5 วันที่ผ่านมา +1

    Ruto don’t care about life 😢😢Shem on him😢

  • @user-jd6vr9xw1o
    @user-jd6vr9xw1o 5 วันที่ผ่านมา +9

    Brother Sky tunashkur kututasfiria Kwa kiswahili

  • @jedidahbintidaudi8241
    @jedidahbintidaudi8241 5 วันที่ผ่านมา +3

    duh aisee kumbe Kenya wanaletaga mswaada wa fedha kwa uma kwanza kisha wanarudisha bungeni kujadli? wanaraha kweli..51:08-55:13

  • @LatifaMusa-dy3id
    @LatifaMusa-dy3id 5 วันที่ผ่านมา

    Mungu akubaliki sana simulizi na sauti

  • @aminaali792
    @aminaali792 5 วันที่ผ่านมา +2

    SNS to the Top 💪🏼🤍🤍🤍

  • @PaulOrenge-eo4hb
    @PaulOrenge-eo4hb 5 วันที่ผ่านมา +1

    This guy ICC must visit him again

  • @beatricefrankngalubutu1448
    @beatricefrankngalubutu1448 5 วันที่ผ่านมา

    Sns to the world 🇹🇿💥💥💥🫡sound bora kutokea 🇹🇿

  • @samuelmlapwa7858
    @samuelmlapwa7858 5 วันที่ผ่านมา +1

    Inapaswa kuwa funzo kwa nchi nyingine za Africa especially East Africa,watu wanaimba Democracy lakini kuitekeleza inakuwa ngumu kwa kuwa wanajali interest zao..Ona sasa huyu anajikanyaga tu anashindwa kujibu kama kiongozi mkuu wa nchi every answer he give contains numbers of what he call facts but they are not sensitive indeed,Poor Ruto.

  • @ilmoprince4655
    @ilmoprince4655 5 วันที่ผ่านมา

    I support #ruto must GOO am a kenyan

  • @PaulOrenge-eo4hb
    @PaulOrenge-eo4hb 5 วันที่ผ่านมา +1

    Naomba Prof Jamal Mstafa the story book Tz help me to have him.

  • @user-tr7ty6jz2f
    @user-tr7ty6jz2f 5 วันที่ผ่านมา

    Heko 💪 our journalist

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 5 วันที่ผ่านมา +1

    Afadhali angaliomba msamaha na siyo kujikosha.Wale waliouawa wapate fidia tena kubwa. Ni binadamu na siyo kuku😢😢Tanzania tusije tukajiingiza
    Kwenye balaa kama hili,maongezi ni mhimu na amani kama ilivyo kawaida yetu na msingi wetu Lema na upumbavu wake wa kutoka ughaibuni kutaka vijana wafanye fujo ni wendawazimu.mtupu bila kusahau kuwa Lema ni mjinga fulani😢.

  • @kgchippy
    @kgchippy 5 วันที่ผ่านมา

    😢😢

  • @user-ui1cj5re9k
    @user-ui1cj5re9k 5 วันที่ผ่านมา

    Hongera mwandishi kutujuzaa

  • @felixefeza6783
    @felixefeza6783 5 วันที่ผ่านมา +3

    Malaika anayesema uongo huwa hana tofauti na shetani anayesema ukweli huyu bwana aliwatumia polisi kuua wakenya githurai Mimi mwenyewe ni shuhuda

    • @jumakassim8718
      @jumakassim8718 5 วันที่ผ่านมา

      Wakumbuka mwaka 2007 wakikuyu wengi walichomwa kiambaa katika kanisa bila huruma

  • @mpefu_4936
    @mpefu_4936 5 วันที่ผ่านมา +1

    Yani Kuna uchochezi nyuma ya pazia na chuki pia

  • @rehemashariff3119
    @rehemashariff3119 5 วันที่ผ่านมา +1

    Tunamjua yeye ni muuwaji toka zamani na ni mwizi toka tumboni Mungu anisamehe kwa hili huyu anamdomo sana na kiburi

  • @Telesphole
    @Telesphole 5 วันที่ผ่านมา +1

    This prizo he’s talking nonsense, he should wait this Tuesday and save the rest

  • @FredNdundulu
    @FredNdundulu 5 วันที่ผ่านมา

    Safi safisana kwa kutafsi kiswahi

  • @ShomariAbdallah-x2q
    @ShomariAbdallah-x2q 5 วันที่ผ่านมา

    Matokeo. Yaufaransa

  • @KajokaTanzania
    @KajokaTanzania 5 วันที่ผ่านมา

    He can't even reply the first question. WTF ???😜😜😜 Kweli Ruto must go.

  • @MalikshotelsMalikshotels
    @MalikshotelsMalikshotels 5 วันที่ผ่านมา +1

    RUTO MUST GO ZAKAYO SHUKA shaitwan 👹👹👹👹👹👹👹👹

  • @HansChuma
    @HansChuma 5 วันที่ผ่านมา

    Mm nasema hv Bado tanzania

  • @BraveMajaliwa-gf7ru
    @BraveMajaliwa-gf7ru 5 วันที่ผ่านมา +1

    Huyu rais ni jeuri sana ataki kuwasikiliza watu wake alafu analinganisha mali pmj na watu waliofariki 😢 alafu yupo tayari kwa chochote yani mbwai mbwai wakati ajatimiza alivyoahidi 😢alafu anakua mjeuri kama watu wake 😢USHAURI WANGU NI..... WALE VIJANA WANAO ANDAMANA WAINGIE NA MOTO MTAANI TU.

  • @Dar_es_salaam156
    @Dar_es_salaam156 5 วันที่ผ่านมา

    SnS 🎉

  • @abdullahkazungu4025
    @abdullahkazungu4025 5 วันที่ผ่านมา

    Mr President mungu halali utalipa tu kwa njia yoyote ile damu ya MTU haimwagiki bure.

  • @mariasalomemelchiorkaigaru1974
    @mariasalomemelchiorkaigaru1974 5 วันที่ผ่านมา

    hiyo ndio kenya

  • @reginaldephraim1708
    @reginaldephraim1708 5 วันที่ผ่านมา +1

    Mbali na yote, waandishi wa habari wa Tanzania wana kitu cha kujifunza hapo kuwacha uwoga nakuhoji vitu vyenye maslai mapana ya Taifa.

  • @AlbertWafula-k3i
    @AlbertWafula-k3i 5 วันที่ผ่านมา +1

    Ruto ruto toka tu kwa amani toka toka wewe NG'ombe ata uongeee toka

  • @sarafinawanja8549
    @sarafinawanja8549 5 วันที่ผ่านมา

    Plz do all the recommendation of the genz and resign mr president

  • @theheraldbroadcastingnetwo4836
    @theheraldbroadcastingnetwo4836 5 วันที่ผ่านมา

    Huyu ruto ana chake....
    Ndio ngoma inaaza.....

  • @GentleGiant-pj2rk
    @GentleGiant-pj2rk 5 วันที่ผ่านมา +2

    Linus is incompetent to represent in that meeting he is too emotional and represents his own feelings, I real like the other two, are very objective and well equipped and accommodated

  • @stanleymadata8767
    @stanleymadata8767 5 วันที่ผ่านมา

    wamepangwa wamtafute kiongozi wa waandamaji ili awepo nae waojiwe

  • @TmkeLaiza
    @TmkeLaiza 5 วันที่ผ่านมา

    Mlad ayo🎉🎉

  • @roselynealima3618
    @roselynealima3618 5 วันที่ผ่านมา

    Ruto must go
    We don't want him anymore

  • @damariszuckschwert9489
    @damariszuckschwert9489 5 วันที่ผ่านมา

    Now he is calling all those Kenyans in maandamano criminals? Shame on you Ruto. No empathy, no emotions, nothing.
    Zakayo must go

  • @azizihfarijala5307
    @azizihfarijala5307 5 วันที่ผ่านมา +1

    lakini mbona hawakumuuliza kuzarau mahakama ambayo ilitoa hukumu polisi kenya wasiende Haiti lakini kawapeleka. ukweli hakuna la maana waandishi walichomuuliza

    • @birianination7097
      @birianination7097 5 วันที่ผ่านมา +1

      Wewe unachanganya mchanga kwenye chakula, hapa wanauliza kuhusu matukio ya mgomo kenya, haiti wapi na wapi

  • @alimohammedomar3412
    @alimohammedomar3412 5 วันที่ผ่านมา

    Kwahivyo Rais Ruto na Makamo wake hawaivi kwenye chungu kimoja.

  • @Jibambeshow254k
    @Jibambeshow254k 5 วันที่ผ่านมา +1

    HUYU JAMA NI MUONGOO HATUMTAKII TUSHACHOKANAYE ALIKUA WAPII MIAKA MIWILI YOTE KUTENDA ANAYOYASEMA

  • @ChumanaSusi
    @ChumanaSusi 5 วันที่ผ่านมา

    Hata anadanganya hadanganyangi. Usijefanya mieleka na nguruwe. Nyote mtachafuka lakini nguruwe anapenda hivyo sana

  • @Critikize
    @Critikize 5 วันที่ผ่านมา

    He is concerned of those whose lost businesses but the same individual is merciless of those homes he demolished. Douvlble speech

  • @mashramadhani1989
    @mashramadhani1989 5 วันที่ผ่านมา +2

    POLENI JIRANI ZETU NA KIUKWELI BAADHI YA VIONGOZI WETU WA KIAFRICA
    BADO WANAENDESHA NCHI CHINI YA MATAIFA MAKUBWA

    • @birianination7097
      @birianination7097 5 วันที่ผ่านมา

      Kila nchi Africa lazima iwe na nchi kubwa inayo isaidia kimaendeleo na kiusalama.

  • @KhamisBeja
    @KhamisBeja 5 วันที่ผ่านมา

    Ile siku wazungu wataacha kutuchagulia viongozi ndio itakuwa wakati wa africa kuendelea huyu alikuwa hajakuwa tayari kuwa raisi coz amepatikana flat footed hana majibu hana watu wakumpa information anabaki akibahatisha majibu...

  • @Kingwendu85-q4l
    @Kingwendu85-q4l 2 วันที่ผ่านมา

    Makosa makubwa kuunguza mali za nchi,hivyo basi waombe wanavyovitaka kwa amani bila uharibifu

  • @DamianUlaya
    @DamianUlaya 5 วันที่ผ่านมา +1

    Yaani luto anawaza kukopa tirion 2 tu anaona nying Kati Kuna mtu kalamba za wakorea kusin kama 4

    • @Gulfnas1
      @Gulfnas1 5 วันที่ผ่านมา

      Hiyo trillion ya ksh unajua ni ngap kwa Tsh??

    • @birianination7097
      @birianination7097 5 วันที่ผ่านมา

      Kenya wapo na 73% debt cap Tanzania mpo na 34% debt cap inshot mnafanya vizuri sana

  • @birianination7097
    @birianination7097 5 วันที่ผ่านมา

    Ukipunguza hasira na chuki utajua Kenya ipo kwenye tatizo zito na one way or another lazima nchi ilipe either leo au kesho, Ruto anamakosa yake kweli ilabado anajitahidi kwa kweli.

  • @Briliant-vd8vp
    @Briliant-vd8vp 5 วันที่ผ่านมา

    Mr president weka jeshi kila Countys tunataka amani

  • @omyboy6550
    @omyboy6550 5 วันที่ผ่านมา

    So, the criminals mobilized youths and killed them? What was the motive?

  • @namungolubala1788
    @namungolubala1788 5 วันที่ผ่านมา +1

    HUYO HASTAHILI KUWA RAIS KABISA AONDOKE AKAFIYE NAHUKO ALIBADILIKA WAKATI ALIENDA KUKUTANA BIDEN ASI WADANGANYE HAKUNA KITU ATA SAIDIA IYO NI UONGO🎉🎉🎉🎉

  • @MuniraShughuli-kc7vj
    @MuniraShughuli-kc7vj 5 วันที่ผ่านมา

    Shetani huyu yu must go hatukutaki full stop

  • @kazinaimwishehe-ec3xu
    @kazinaimwishehe-ec3xu 5 วันที่ผ่านมา

    Yaan apa africa kazi ipo yeye anakodi ndege anatumia pesa nyingi alafu anaawambia watu kuwa lazima wakope kwa ajiri ya nini au safarizako za marekani na kujiongezea posho na vyakula vizur bungen

  • @namungolubala1788
    @namungolubala1788 5 วันที่ผ่านมา

    Huyu anaiga ulaya kutia tax na inchiyake ni africa watumusiitike hiyo ulaya ni ulayatu na africa ni africatu ulaya ni inchi tajiri na africa ni inchi masking kwanini huyumwizi aige ulaya kutia tax????

  • @patriciamuchemi7772
    @patriciamuchemi7772 5 วันที่ผ่านมา

    Why does he always lie? Then what happened in Githurai and why did it happen?

  • @madarakaempire4744
    @madarakaempire4744 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Binafs ruto nmekuelewa chaguo n la wakenya kukopa na kuendelea kua watumwa wa wazungu ama.kupambana na tax kuimarsha uchum.

  • @Youngchimodzi823
    @Youngchimodzi823 5 วันที่ผ่านมา

    Kuua wandamanaji wa amani ni jambo baya sana,Ruto amezingirwa Hana pa kwenda na hata Marekani kwa hili watamtosa.
    Atubu ndio shida ya kutaka Urais kwa gharama yoyote.
    Hatapata amani Hadi anaenda kaburini

  • @ChumanaSusi
    @ChumanaSusi 5 วันที่ผ่านมา

    Hakuna mtu anamini ruto kenya.Ruto akikuambia leo ni jumapili na calender ameshika chunga sana anaweza kuwa anakuonsha calender ta 2020. Hiki ndick kiwango cha urongo ruto yuko nayo.

  • @JemeslaizerJemeslaizer
    @JemeslaizerJemeslaizer 5 วันที่ผ่านมา +1

    Tanzania hayupo wa kuhoji Rais kama huku Kenya.

  • @mpefu_4936
    @mpefu_4936 5 วันที่ผ่านมา

    Sasa Kuna picha zilikuwa zikinyesha watoto wanatupa mawe sema kosa ni kutumia risasi za moto

  • @user-ic1fs9bf1v
    @user-ic1fs9bf1v 5 วันที่ผ่านมา

    Waafrika tunapenda ubabe siutoke upunguze mauaji au Kama nataka Amani Mwite Railla Mujenge nchi chukuwa mifano ya waliokutangulia

  • @kayklein1201
    @kayklein1201 5 วันที่ผ่านมา

    Hadui yetu alikua uhuru ruto alionya akabadingwa jina la mwizi ila twamwona mmbaya kwa sasa lakini yeye ndio masiah wetu

  • @timothykaiza327
    @timothykaiza327 2 วันที่ผ่านมา

    Kibongo bongo umuhoji Rais hiyo mzee nyote mnatupwa ndani, wa Tz tunachakujifunza.

  • @AbdallahBakar-oc3ue
    @AbdallahBakar-oc3ue 5 วันที่ผ่านมา

    Imemponza marekani aache kihelehele Cha kwenda nchi za ulaya

  • @khamisshee803
    @khamisshee803 5 วันที่ผ่านมา

    Hafai hata maongezi yake hayakuwa na tijaa tutamtuwa 2027 Insha'Allah
    AKA BACHUCHU MOMBASA 001
    +254

  • @millymack1370
    @millymack1370 5 วันที่ผ่านมา

    Kesho tunaenda maandamano upya..lazma huyu jamaa ashuke.

  • @sarafinawanja8549
    @sarafinawanja8549 5 วันที่ผ่านมา

    Ruto must go with his taxes

  • @rahmasalum1317
    @rahmasalum1317 5 วันที่ผ่านมา

    Anaetangaza mtz mswahili sio mzungu mweusi wakenya 😂😂

  • @user-yp9el7xp8g
    @user-yp9el7xp8g 5 วันที่ผ่านมา

    Wana SNS sisi ndio wakenya na tunajwa Kila ambacho kilifanyika Kenya uyu RUTO ameongea uwongo yote kama anasema mtu Mmoja ndio alifariki Githurai na ni watu wengi walipigwa risasi... Atupatie paybill ya china tujilipie deni wenyewe

  • @jedidahbintidaudi8241
    @jedidahbintidaudi8241 5 วันที่ผ่านมา

    Thats what am talking about 1:08:1:12:43- his trips to foreign countries has potential impact to the growth of Kenya's economy- USA- he came back with a $1billion Data center facility to be built in Naivasha. Also the CHIPS manufacturing has set Kenya to be part of it. Then China - Roads, Technical equipments kwenye vyuo vikuu. Duuh aloo...Jamaa sio mchezo Rais wa Kenya kongole baba

  • @Elizabeth-gq9kl
    @Elizabeth-gq9kl 5 วันที่ผ่านมา

    Kamahawezi KunyongaWafisadi ,walanguzi wamadawa yakuleviya Aondoke.

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 5 วันที่ผ่านมา

    Watanzania hatuamini amani katika kumwaga damu.Hiyo ni mbegu ya ubeberu,colonialism walituua na kututawala kimabavu.Mwafrika kwa ujinga wetu anafikiria kuwa kuua ndiyo sifa😢Hata polisi anafikiria kuua ndiyo ushujaa.
    Kumbukeni south Afrika.
    Wazungu wenyewe polisi haruhusiwi kuua.Afrika tunauana kama kuku,kwa vile akili yetu ndogo kama kuku😢wanaopenda fujo na vifo waende Gaza au Ukraine

  • @uwimana6533
    @uwimana6533 5 วันที่ผ่านมา

    Huyu Ruto wakenya wangemshulikia kumuondoa madarakani bilahivo atakuja kuivuruga nchii kueni namakini kunawatu nyumayake wanae muendesha akili kusambaratisha wakenya 😂😂😂😂

  • @jaybajay9973
    @jaybajay9973 5 วันที่ผ่านมา +2

    I still believe Ruto is the right man for the job. He only needs someone to advise him to resign!!!

    • @MuniraShughuli-kc7vj
      @MuniraShughuli-kc7vj 5 วันที่ผ่านมา

      Kwenda zako nenda ukaishi nae kwake

    • @jaybajay9973
      @jaybajay9973 5 วันที่ผ่านมา

      @@MuniraShughuli-kc7vj try to understand usilete makasiriko kua mpole coz ujanielewa

    • @jumakibwana1810
      @jumakibwana1810 5 วันที่ผ่านมา

      Very true but only if anaweza sikiliza hao advisers coz ruto anaubabe wa kujua kila kitu

  • @YasiniMkakile
    @YasiniMkakile 5 วันที่ผ่านมา

    Ruto umekanyaga moto

  • @mpefu_4936
    @mpefu_4936 5 วันที่ผ่านมา

    Tumieni busara kumaliza migogoro bila vifo

  • @user-ng5xe7ze3j
    @user-ng5xe7ze3j 5 วันที่ผ่านมา

    Translate to Arabic

  • @fatumamwalimu5765
    @fatumamwalimu5765 5 วันที่ผ่านมา

    Huyu shetani bado anatuma watu kuwauwa wananchi nakuwateka nyara,bado anatmia vibaraka wake kiwaumiza wakenya, kiufupu huyu hajabadilika, ruto hujui kuongoza achilia kiti uende zako,maana unazidi kujihaibisha na dunia inakushangaa

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 5 วันที่ผ่านมา

    Jamani tukumbuke kuwa tumerithi capitalism,ni hatari.Viongozi wanajisahau kuwa wao ni wananchi mzungu alikuwa anakula nchi tu.😢After all Ruto is a billionare ,he can easily use his moneys to travel to anywhere without using taxpayers money😅😅

  • @jedidahbintidaudi8241
    @jedidahbintidaudi8241 5 วันที่ผ่านมา +1

    Kinachomponza tuu huyu Rais wetu jirani ni matumizi mabaya ya pesa na viongozi wake. hiyo ndo shida kubwa na ndomaana hizo tozo zikawafanya w/nchi wakasirike na kutaka mswaada mzima upeleke kwnye jalala

    • @ZulumanSulesh
      @ZulumanSulesh 5 วันที่ผ่านมา

      Nakukopa ili aibe then analazimisha watu walipe kodi ilihali watu awana kazi

    • @birianination7097
      @birianination7097 5 วันที่ผ่านมา

      Hivi hiyo miradi ni ya bure, tujitoe akili ila Africa bila mikopo hakuna kitu.