SABATO ILIFUTWA BAADA YA KUKUFUKA YESU? MDAHALO MKALI KATI YA MWL. DANIEL MWANKEMWA NA MWL IZACK

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 37

  • @MichaelAbel-m5y
    @MichaelAbel-m5y หลายเดือนก่อน

    Kichwa chenyewe ni upotofu, biblia hainasema hivyo,kols 2:16,Yesu ni mwisho wa sheria,hivyo waabuduo halisi ni Yoh 4:13-24 ,lsrael siyo.Amen mataifa.

  • @denismugisha2
    @denismugisha2 หลายเดือนก่อน

    Kwani kizungu ni cha kwenu kenya?

  • @Aminaobed
    @Aminaobed หลายเดือนก่อน

    Endeleeni utawala wa papa uishe

  • @JohnNakasala-w1w
    @JohnNakasala-w1w หลายเดือนก่อน

    Huyo tumeona nimusabato tena niwatoto sana katika injili

  • @NiyibiziIsaWangyu
    @NiyibiziIsaWangyu หลายเดือนก่อน +1

    Lakini wakristu wananishangaza sasa hivi wanagombana juu ya siku ya kuabudu hali wote yesu hawajui

    • @jamesombaso9493
      @jamesombaso9493 หลายเดือนก่อน

      We huko na hakika unajulikana??

    • @moshajexplore
      @moshajexplore หลายเดือนก่อน

      Huyo yesu kama siyo biblia hata usingemjua😂😂

    • @Msemakweli058
      @Msemakweli058 หลายเดือนก่อน

      Wewe Muhammad maiti anakujua?

  • @BeduaImidi-lh4xf
    @BeduaImidi-lh4xf หลายเดือนก่อน

    Makafiri nyinyi kwa nyinyi mnapingana

  • @denismugisha2
    @denismugisha2 หลายเดือนก่อน

    ''Hata siku ya sabato tukatoka nje ya mji tukaenda kando ya mto"
    Kwa kauli hiyo tu tiyari waliivunja sabato maana hata umbali wa kutembea kwa siku ya sabato waliuvuka.

    • @moshajexplore
      @moshajexplore หลายเดือนก่อน

      Sasa kama walivunja una andiko ilitolewa😂😂😂?

    • @denismugisha2
      @denismugisha2 หลายเดือนก่อน

      @moshajexplore andiko utalipata kwenye sheria ya sabato yenyewe...., ukishaona sheria inatekelezwa nusunusu ujue hapo hamna tena sheria, hata kuwasha moto tu siku ya sabato bado ni kosa sasa nyie huwa humuwashi moto kweli siku ya sabato???

    • @moshajexplore
      @moshajexplore หลายเดือนก่อน

      @denismugisha2 Unajua wewe umelelewa kwa jumapili ndiyo maana huelewi. Jibu swali wapi andiko waliaribu kisha yesu aseme amebadilisha sababu limeharibiwa nguruwe hii?

    • @moshajexplore
      @moshajexplore หลายเดือนก่อน

      @denismugisha2 Wapi andiko sheria likiteketezwa halipo tena?

    • @ThomasKiwiok
      @ThomasKiwiok หลายเดือนก่อน

      Na,shakaa sana kwa hawa wa imani ya siku ya 7 na matusi rohoni mwao kweli ni ya uwongo kapiza​@@moshajexplore

  • @ISSAJR-f5
    @ISSAJR-f5 หลายเดือนก่อน +1

    😂😂 WANATAFUNANA...
    WENYEWE KWA WENYEWE...

    • @Catherine-mh8sw
      @Catherine-mh8sw หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @amedesamki425
    @amedesamki425 หลายเดือนก่อน

    Daniel atafakari andiko la isaya 58.13-14

  • @SabihaibrahimRajabu
    @SabihaibrahimRajabu หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂😂leo munapingana wenyeweeee hahahaaaa Allah anautangaza uislamu kupitia nyinyi wenyewe yeye ni mwingi wa rehema

    • @moshajexplore
      @moshajexplore หลายเดือนก่อน

      Hii ni kawaida kwa dini ya kikristo madhehebu kujadili kama tu vile uislamu Shia, Sufi, sunni Khamadiyah na kadhalika hawaelewani 😂😂😂

  • @Kuminamoja1995
    @Kuminamoja1995 หลายเดือนก่อน +1

    Wanalimana wenyewe kwa wenyewe 🤣🤣🤣 kweli ukristo ni Biashara tu?..

    • @moshajexplore
      @moshajexplore หลายเดือนก่อน

      Hii ni kawaida kwa dini ya kikristo madhehebu kujadili kama tu vile uislamu Shia, Sufi, sunni Khamadiyah na kadhalika hawaelewani 😂😂😂.
      Umeona kweli vile middle east kwa waislamu huwa wanalimana ya ukweli?

  • @denismugisha2
    @denismugisha2 หลายเดือนก่อน

    Hivi kwanini wanamqtengenezo wa kanisa wa miaka 500 iliyopita wale wakina Martin Ruther na webzake, ni kwanini sabato haikuwa hoja yao?? Au nao pia hawakujua ? Nijibiwe tafadhari

    • @moshajexplore
      @moshajexplore หลายเดือนก่อน

      Pole hao walikuwa waasi siyo wanamatengenezo

  • @JohnNakasala-w1w
    @JohnNakasala-w1w หลายเดือนก่อน

    Je kati ya Ibrahim na yesu nina mkuu kwamwenzake tuamini nani

    • @denismugisha2
      @denismugisha2 หลายเดือนก่อน

      Yesu alishajibu
      "Kabla Ibrahimu hajakuwako mimi niko"
      Alishamaliza huo utata tena wasiojua wakataka kumpiga mawe
      Kwahiyo tunamsikiliza MUNGU kwa jina la Yesu

  • @bekabakari7394
    @bekabakari7394 หลายเดือนก่อน

    Kiswahili kigumu mno
    Kufufuka sio kukufuka

    • @Catherine-mh8sw
      @Catherine-mh8sw หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @ThomasKiwiok
      @ThomasKiwiok หลายเดือนก่อน

      Ninyi watu namna gani mnafuata tamko la lugha hama msemo wa ocha la somo, 👅 ulimi wa mwanadamu uteleza au kinywa cha mtu uwa ngumu kutamka.laki ueleweka kwa watu wa hekima.

  • @alwatanalgilgilan-y3078
    @alwatanalgilgilan-y3078 หลายเดือนก่อน

    Walioifuta sabato ni warumi wakati walipoanzisha dhehebu lao

    • @denismugisha2
      @denismugisha2 หลายเดือนก่อน

      Wakati huo wewe dhehebu lako lilikuwa wapi? Kwanini halikuendelea kuishika sabato mpaka umsubiri Elen White 1844?

  • @Kuminamoja1995
    @Kuminamoja1995 หลายเดือนก่อน

    Huyu Daniel mwankemwa kiboko yake ni Ndacha

    • @denismugisha2
      @denismugisha2 หลายเดือนก่อน

      Ndacha alishaga shindwa zamani ndacha alibaki kubishana tu na dr Sure yule wa majini

    • @christophersimwinga6689
      @christophersimwinga6689 หลายเดือนก่อน

      Ndacha hajui hata maana ya neno MUNGU anasemaga eti mungu jina la ukoo !!!! SASA HUYO ANAJUA NINI​@@denismugisha2