HIZI AYA UKIZISOMA MARA 21 KWENYE MAJI MTOTO AKINYWA ATAKUA NA AKILI KALI SANA 😀👌❤ | Mohamed Alidini
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 26 พ.ค. 2023
- HIZI AYA UKIZISOMA MARA 21 KWENYE MAJI MTOTO AKINYWA ATAKUA NA AKILI KALI SANA 😀👌🙇❤ | SIRI ZA QURAN TUKUFU | Mohamed Alidini
Katika video hii tunaelezea Siri ya Ayah hizi katika kumuwezesha mtoto kuwa na akili kali sana kwa uwezo wa Allah (SWT). Hii ni Siri kubwa kwa kuwa inafungamana na Quran ambayo ni kitabu cha Allah (SWT) kisichokuwa na shaka yoyote. Ni matumaini yangu kuwa utafuata maelezo yake ili uweze kufikia malengo yako yote.
Maelezo yake:
Surah: AL-BAQARAH
Ayah: 1 - 5
-----------------------------------------------------------------------------------------
Utaratibu wake:
Kuwa na Yaqeen kuhusu siri na faida za Qur’an Tukufu
Kuwa na Udhu na Kuelekea Qibla
Chukua sahani nyeupe ya Sini (udongo)
Andika kwa Zafarani mwanzo wa Surah Al-Baqarah: 1 - 5
الم. ذٰلِكَ الكِتابُ لا رَيبَ ۛ فيهِ ۛ هُدًى لِلمُتَّقينَ. الَّذينَ يُؤمِنونَ بِالغَيبِ وَيُقيمونَ الصَّلاةَ وَمِمّا رَزَقناهُم يُنفِقونَ. وَالَّذينَ يُؤمِنونَ بِما أُنزِلَ إِلَيكَ وَما أُنزِلَ مِن قَبلِكَ وَبِالآخِرَةِ هُم يوقِنونَ. أُولٰئِكَ عَلىٰ هُدًى مِن رَبِّهِم ۖ وَأُولٰئِكَ هُمُ المُفلِحونَ.
Utaandika Siku ya Al-Hamis ya kwanza ya mwezi wa Kiislamu jua likichomoza
Weke maji ya Mvua au ya Zamzam au ya Kawaida kwenye hiyo sahani na ufute hayo maandishi
Mtoto akunywe hayo maji wakati wa kulala na baadaye asile kitu
Utarudia kuandika na kumpa mtoto akunywe kwa muda wa siku saba.
--------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------
آية تقرأها على ماء 21 مرة يشربه الإبن قبل النوم تقوى ذاكرته يزيد فهمه يحفظ ما يسمعه ويصبح نابغة بين أقرانه
1) تأخذ الصحن السرميكي الأبيض الجديد أو القرطاس غير مسطر
2) تكون على وضوء وطهارة تامة
3) تكتب من أول سورة البقرة 1 حتى آية 5
الم. ذٰلِكَ الكِتابُ لا رَيبَ ۛ فيهِ ۛ هُدًى لِلمُتَّقينَ. الَّذينَ يُؤمِنونَ بِالغَيبِ وَيُقيمونَ الصَّلاةَ وَمِمّا رَزَقناهُم يُنفِقونَ. وَالَّذينَ يُؤمِنونَ بِما أُنزِلَ إِلَيكَ وَما أُنزِلَ مِن قَبلِكَ وَبِالآخِرَةِ هُم يوقِنونَ. أُولٰئِكَ عَلىٰ هُدًى مِن رَبِّهِم ۖ وَأُولٰئِكَ هُمُ المُفلِحونَ. ١ - ٥
4) تكتب بالمداد الطاهر وهي ماء الورد والشعيرات من الزعفران والمسك
5) تكتب هذه الآيات عند طلوع الشمس من يوم الخميس الأول من الشهر القمري
6) تمحو هذا الكتاب بماء المطر أوماء زمزم أو ماء المعدني
7) يشرب الطفل قبل النوم ولا يأكل أي شيء بعده، وهذا شرط من شروط النجاح
8) الدوام على ذلك 7 أيام، يعني من يوم الخميس حتى يوم الأربعاء، كل يوم تكتب هذه الآيات بهذه الطريقة ويشرب الطفل قبل النوم
الملاحظة:
إذا صعب عليك متابعة هذه الطريقة فاتبع هذه الطريقة الأخرى: خذ الماء المعدني أو المطر كاف لشرب مدة أسبوع تقريبًا كأسٍ كل يوم، ضع شعيرات من الزعفران وقطرات من المسك أو مسك صلب مطحون وقطرات من ماء الورد وتقرأ هذه الآيات (1-5) من سورة البقرة 21 مرة، يشرب الطفل قبل النوم ولا يأكل أي شيء بعده.
------------------------------------------------------------------------------------------
Shukran kwa kujisajili Channel yangu!
------------------------------------------------------------------------------------------
Copyright Notice:
► Every content we made are licensed to our channel.
► All audios, videos and images are copyrighted and fully licensed.
► Elements used in this video are edited by us are copyrighted and fully licensed.
Kuna Dua hii pia ni nzur Wala Haina mashart anapoamka mtt asubuhi kabala hajala kitu msemeshe rabby zidna ilaman warzukana fahama mpe kokwa Moja ya tende km kufungua kinywa kicha anaweza kuruhusiwa kula chochote km utafanya Ivo utapata matokeo kwa siku chache tu maan tende ni tiba ya fahm Kwa mtu na iyoo Dua Ina maana ewe mola nizidishie mm elimu na uniruzuku faham hii Hain ata uko tohara Wala nn ni kumsemesha tu mtt kila siku kabla hajaingiza chochote mdomoni mwake
Barakillahu Feek! 🤲🤲🤲👃
Qur an ni ponyo,kwan haijaacha kitu,imegusa kila jambo lililo dunisn na akhera,hivo no mwongozo❤❤❤
Bila shaka. Kama alivyotwambia Allah (SWT) ndani ya Qur'an ndani ya Surah Al-An'aam Ayah 38:
مَّا فَرَّطْنَا فِى ٱلْكِتَـٰبِ مِن شَىْءٍۢ ۚ. Barakallahu Feek. 🤲🤲🤲🤲🤲
Maashaallah shukraaan mabroukk ya sheikh tumefaham.
Waislaam tujitahidini kuzungumza kauli njema ukiona kitu kipya ambacho hukupata katika elimu yako mtafute pembeni umuulize vizuri usimdharau mtu kwa kauli za kejeli. Shukraan 😊
Tabarakallah! Allah (SWT) Atupe kheri zote. Ameen! 🤲🤲🤲🤲🤲
Mashaaallah shukraan sheikh Allah akupe umri wa kheri ili uendelee kutufundisha mambo mema
Tabarakallah! Allah (SWT) Atupe kheri zote. Ameen!! 🤲🤲🤲🤲🤲
Shukran Masha Allah Allah akulipe kheri
Waiyyaak! Ameen Ya Rabb! Nawe pia 🤲🤲🤲🤲🤲
Allahumma amiin
Ya Rabbal 'Alameen! 🤲🤲🤲🤲🤲
Allah akulipe kila laheri naakuzidishie hii elimu nauweze kutusambazia waislamu wenzako
Ameen Ya Rabbal 'Alameen! Nawe pia. Shukran! 🤲🙏
MashaaAllah MashaaAllah Allah shukraan kwa dua ya mtt Allah akulipe kheri
Tabarakallah! Allah (SWT) Atupe kheri zote. Ameen! 🤲🤲🤲🤲🤲
Sawa unaogelea kuhusu mtto kuwa na faham nzuri
Lakini kuna umuhimu gani kuweka pic ya binti ?
Au ndio upete views .
Muogope Mungu
Fanya kwa ajili ya Allah
Shukran jazakumullah kheira
Afwan. Barakillahu Kheiran. 🤲🤲🤲🤲🤲
Alhadul llah 😍
Masha Allah. Barakillahu Feek 🤲🙏
Masha Allah Mwenyezimungu akujalie thawabu nyingi
Ameen Ya Rabbal 'Alameen! Sote Insha Allah Taala. Shukran.
Asante sana kwa ujumbe.. Nikweli kur-an ni dawa ya kila kitu na imejionesha waziwazi kwa ushahidi wa aya ila hayo masharti sio ila kama unao ushahidi wa hilo tutumie kwa kiswahili tuone..... Msiongezee vitu visivo na msingi kupotosha watu masharti gan hayo ety asile heee
Co km asile kw nlivomfaham mm alvokusudia,,ay maji nd yawe k2 cha mwisho kula alaf nd alale
Kama haya mashrti ni magumu kwako, unaweza soma Qur'an kwa namna yako unayoona ni sawa na rahisi na Allah (SWT) Atakukidhia haja zako kwa nia yako! Ugonvi wa nini?
@@NayratJuma Bila shaka akiwa mgonjwa na akienda kwa daktari kujitibu anapewa dawa na masharti au maelekezo. Na hamwambii daktari kwa nini anampa masharti. Si anaweza kula dawa tu na atapona? 🙂🙂🙂🙂🙂
Why 21!!!?why not 23 ao 25 confusing,,towa Hadith na Ayyat tupate fayida plzzzzz
@@user-kj8nh9iu5d 😁😁😁😁😁 Allah (SWT) Atupe kheri zote. Ameen!!!!🤲🤲🤲🤲🤲
Shukrani jazillah
Nawe. Allah atuwafiqie kheri zote. Ameen. Shukran.
Shukran kwa elimu
Afwan. Allah (SWT) Atupe Kheri zote. Ameen 🤲🤲🤲🤲🤲
Asalm alaykum shukran kwa ilmu
Waalaikumussalam Warahmatullah Wabarakatuh. Waiyyaak! 🤲🤲🤲🤲🤲🤲
Asalam shukrani shekhe kwa Dua
Waalaikumussalam Warahmatullah Wabarakatuh. Afwan. Barakillahu Kheiran. 🤲🤲🤲🤲
Shukran Shekh Allah akulipe wema,
Afwan. Sote Ya Rabb 🤲🙏
Assalam alykum. Shukran kwa ilmu
Waalaikumussalam Warahmatullah Wabarakatuh. Waiyyaak. Afwan 🤲🙏
Aslm alkm ww.. Masha Allah! Jazakallah kheir 🙏
Waalaikumussalam Warahmatullah Wabarakatuh. Tabarakallahu. Allah (SWT) Atupe kheri zote za Dunia na Akhera. Ameen! 🤲🙏
Subhan ALLAH JazakALLAH khairan kwa ilmu hii
Ameen Ya Rabb! Sote Insha Allah! 🤲🙏
Shukran SHEKH
Barakallahu Feek! Allah (SWT) Atupe kheri zote. Ameen!!!!!🤲🤲🤲🤲🤲🤲
Asante sheee
Karibu Sana! Allah (SWT) Atupe kheri zote. Ameen! 🤲🤲🤲🤲🤲
Shukran sana shekhe wetu Allah (S.W) akulip nying neema insha allah
Ameen. Sote Ya Rabb. Barakillahu Feek. 🤲🤲🤲🤲🤲🙏🙏🙏🙏🙏
Ooh great
Mashaallah
Alhamdu Lillah! You are welcome!🙏
@@ZenaIslam Tabarakallah! May Allah (SWT) Bless us abundantly! Ameen! 🤲🤲🤲🤲🤲
Maashallah Allah atuongoze sote
Tabarakallah! Ameen Ya Rabbal 'Alameen. Sote Insha Allah. Shukran. 🙏🤝
Sahani ya udongo kwa kiswahili cha tanzania
Shukran sana kwa maelezo yako. Shukran. 🙏
Jazaakallah khayr
Waiyyaak. Shukran Sana 🤲🙏
Mashallah
Tabarakallah. Allah (SWT) Atupe kheri zote. Ameen! 🤲🤲🤲🤲🤲
Shukran shekhe jaazakallahu lkheir
Waiyyaak. Afwan. Barakillahu Feek 🤲🙏
Assalam alleykum walahmatulahi wabalakatu ishaallaah allaah akulipe 5:30
Waalaikimussaalm Warahmatullah Wabarakatuh. Ameen sote Ya Rabb 🤲🤲🤲
Sawa ostadhi
Karibu sana!
Aaamin,Aaamin
Ya Rabbal 'Alameen! 🤲🤲🤲🤲🤲
shehe unapatikna mkoagani
Niko Nairobi, Kenya.
Assalam alaykum warahmatullah wabarakat watoto wangu mimi hawafaham chochote nisaidie
Waalalaikumussalam Warahmatullah Wabarakatuh. Bila shaka nimetoa suluhisho la tatizo hilo. Unachohitajika kufanya ni kufwata maelezo na utaratibu uloelezewa katika video hii na kwa uwezo wa Allah (SWT) watoto wako watakuwa ni wenye kufahamu masomo yao na kuvuzu katika masomo yao yote. Shukran.
Shukran jazakallahu kheir Allah akufanyie kila wepesi hatua baada ya hatua
@@maryamseif766 Ameen ya Rabbal 'Aalameen. Sote Insha Allah! 🤲🤲🤲🤲🤲
Sheikh mm mtoto Wang Muslim mm mkristo je nitawezaje kusoma hio dua
Silomu ndg yang Maan huwezi kusoma Kam huna udh
Assalam Alaikum Warahmatullah Wabarakatuh. unaweza kumtafuta Muislamu akusaidie.
@@user-gu4xy9zf5p Assalam Alaikum Warahmatullah Wabarakatuh. unaweza kumtafuta Muislamu akusaidie.
We mtu wa Sunna kweli wewe mana naona kama ni uchawi huu
Allah (SWT) Atupe kheri zote na Akufungulie milango ya mafanikio katika maisha yako! Ameen! 🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲
Jamani huoniushirikina mnaujazia katika dini kwani hamna lakufanya imamu shafii anasema sijaona masufii niwatu wenye akili acheni upuuzi hatunyamazii bidaa zenu hizi mashekhe wafundisheni dini Hawa Wana KERA sana na mauzushi wao
Assalam Alaikum Warahmatullah Wabarakatuh. Shukran sana kwa maoni yako. Napenda kukufahamishe uangalie Fatwa za wanavyuoni katika kujitibu na Qur'an kabla ya kufungua mdomo na kukashifu watu. Kwa kuchukua baadhi ya Fatwa anagalia hii kwa Kiarababu na kama hufahamu mtafute wa kukutafsiria:
اختلف العلماء في كتابة القرآن أو أدعية الرقية في إناء أورقة أو لوح ثم تغسل بماء ويشرب ذلك الماء أو يغتسل به، أو يسقي للمريض: فقال الحسن ومجاهد وأبو قلابة والأوزاعي: لا بأس به وكرهه النخعي. قال القاضي حسين والبغوي وغيرهما من أصحابنا: ولو كتب القرآن على الحلوى وغيرها من الأطعمة فلا بأس بأكلها.
قال القاضي: لو كان على خشبة كره إحراقها.
فقد كان الإمام أحمد رحمه الله يفعله، ونقل خبرا فيه عن ابن عباس، وأيد جوازه النووي وشيخ الإسلام ابن تيمية، راجع في ذلك الفتاوى ذات الأرقام التالية: ١٣٦٠٥، ٧٨٥٢، ٧٣٠١٠، ٤٩٩٥٣، ٧٥٩٢٧، ٨٠٦٩٤. (كتاب فتاوى الشبكة الإسلامية 1|379).
shekhe mwenzetu unaelimu ya vitabu vyote vya dini au unabahari kubwa kifuani kwako? kwani quruan ww huiyamini?
@@saidingulupi Allah (SWT) Atupe Kheri zote na uwezo mkubwa wakuifahamu Qur'an. Ameen! Barakallahu Feek. 🤲🙏
@@mohamedalidini inshaallah baraka llahu
@@saidingulupi Waiyyaak. Shukran! 🤲🙏
Assalam alaykum sheh mm naomba dua ya mtt kupunguz kulia maan analia sana
Auudhu bikalimaati llahi taama min kulli shaytwaanin wahaamma wamim kulli a'inin lamma.
Waalaikumussalam Warahmatullah Wabarakatuh. Utamfanyi Ruqya hii, kwa uwezo wa Allah (SWT) mtoto atakuwa sawa:
الرقية الشرعية للأطفال للنوم الأفضل أن تفعل الأم ذلك لطفلها قبل النوم وقاية من الكوابيس والبكاء الليلى للطفل قُلْ هُوَ اللَّهُ أَحَدٌ * اللَّهُ الصَّمَدُ * لَمْ يَلِدْ وَلَمْ يُولَدْ * وَلَمْ يَكُنْ لَهُ كُفُوًا أَحَدٌ .(7مرات)ـ قُلْ أَعُوذُ بِرَبِّ الْفَلَقِ * مِنْ شَرِّ مَا خَلَقَ * وَمِنْ شَرِّ غَاسِقٍ إِذَا وَقَبَ * وَمِنْ شَرِّ النَّفَّاثَاتِ فِى الْعُقَدِ * وَمِنْ شَرِّ حَاسِدٍ إِذَا حَسَدَ.(7مرات)
ـ قُلْ أَعُوذُ بِرَبِّ النَّاسِ * مَلِكِ النَّاسِ * إِلَهِ النَّاسِ * مِنْ شَرِّ الْوَسْوَاسِ الْخَنَّاسِ * الَّذِي يُوَسْوِسُ فِى صُدُورِ النَّاسِ * مِنْ الْجِنَّةِ وَالنَّاسِ .(7مرات)
ـ أَسْأَلُاللهَ العظيمَ, رَبَّ العرشِ العظيمِ أنْ يَشفِيَكَ ( سبع مرات )
ـ بِسْمِ اللَّهِ أَرْقِيكَ, مِنْ كُلِّ شَيْءٍ يُؤْذِيكَ مِنْ شَرِّ كُلِّ نَفْسٍ أَوْعَيْنِ حَاسِدٍ اللَّهُ يَشْفِيكَ, بِسْمِ اللَّهِ أَرْقِيكَ .(7مرات)
ـ بِسْمِ اللهِ يُبْرِيكَ، وَمِنْ كُلِّ دَاءٍ يَشْفِيكَ، وَمِنْ شَرِّ حَاسِدٍ إِذَاحَسَدَ، وَشَرِّ كُلِّ ذِي عَيْنٍ.(7مرات)
ـ بِسْمِ اللهِ أَرْقِيكَ , مِنْ كُلِّ شَيْءٍ يُؤْذِيكَ , مِنْ حَسَدِ حَاسِدٍ ، وَمِنْ كُلِّ عَيْنٍ اللهُ يَشْفِيكَ .(7مرات)
ـ بِسْمِ اللَّهِ ( ثلاث مرات ) أُعِيذُكَ بِعِزَّةِ اللَّهِ وَقُدْرَتِهِ مِنْ شَرِّ ما تَجِدُ وتُحَاذِرُ ( سبع مرات )
ـ اللَّهُمَّ رَبَّ النَّاسِ، أَذْهِبِ الْبَأْسَ, وَاشْفِ أَنْتَ الشَّافِي، لاَ شِفَاءَ إِلاَّشِفَاؤُكَ، شِفَاءً لاَ يُغَادِرُ سَقَماً.(7مرات)
ـ أُعِيذُكَ بكِلَمَاتِ الله التَّامّة مِن كُلِّ شَيطَانٍ وهَامَّة و مِنْ كُلِ عَينٍ لامَّة . 7مرات، ثم تنفث الأم بيدها وتمسح جسد الطفل وتكرر ثلاثا
Unapatikan wap ustdh
Niko Nairobi, Kenya na nambari yangu ya simu ni +254 700047708. Afwan.
Mashaallah
Tabarakallahu. Shukran sana. Allah (SWT) Atupe kheri zote. Ameen! 🤲🤲🤲🤲🤲
Mambo mafupi unazungusha sana sheikh
Insha Allah Taala nitakuwa nikifupisha. Shukran.
Ninani alifanya haya mtume au maswahaba au maimamu wanne Abuhanifa au Ahmad ibnuhambali au imamu Maliki au imamu shafii tujuze tujue elimu yako nizaidi ya mtume?bainisha nikweli nishifaa hizi mara mara mmepata wapi?tufundishe bc
اختلف العلماء في كتابة القرآن أو أدعية الرقية في إناء أورقة أو لوح ثم تغسل بماء ويشرب ذلك الماء أو يغتسل به، أو يسقي للمريض: فقال الحسن ومجاهد وأبو قلابة والأوزاعي: لا بأس به وكرهه النخعي. قال القاضي حسين والبغوي وغيرهما من أصحابنا: ولو كتب القرآن على الحلوى وغيرها من الأطعمة فلا بأس بأكلها.
قال القاضي: لو كان على خشبة كره إحراقها.
فقد كان الإمام أحمد رحمه الله يفعله، ونقل خبرا فيه عن ابن عباس، وأيد جوازه النووي وشيخ الإسلام ابن تيمية، راجع في ذلك الفتاوى ذات الأرقام التالية: ١٣٦٠٥، ٧٨٥٢، ٧٣٠١٠، ٤٩٩٥٣، ٧٥٩٢٧، ٨٠٦٩٤. (كتاب فتاوى الشبكة الإسلامية 1|379).
Mtot anaweza akasoma yeye mwenyewe
Assalam Alaikum Warahmatullah Wabarakatuh. Bila shaka anaweza na hiyo ndio njia bora zaidi. Afwan. 🙏
Toba ya rabbi hivi mtume mmemzidi nyie kujua Quran kuliko yeye jamaa waislam hebu tusaidieni mmeyatoa wapi haya jamaa nasie tupate nasie faida
Hilo swali ungewauliza kwanza Wanazuoni wa Kisalafi juu ya Ruqya na matumizi ya Quran na adhkar ktk Ruqya pengine ndo utaelewa vyema.
Kheiran Insha Allah. Allah (SWT) Atuwafiqie kheri zote. Ameen! 🤲
@@sadikiissa7756 masha Allah
@@sadikiissa7756Someni mmshika salaf salaf hebu someni
Ukituambia TH-cam imetajwa wapi ambayo wewe unaitumia itakuwa raha sana , kasome kwanza kama hutaki ,kakojoe ulale 😂😂😂
Hasa unasoma sura-Yassin lazima
Kama kwenye video imesisitizwa basi ni vyema kufwata maagizo yake. Afwan 🙏
Maelezo mengi shekh unachelewa kuja kwenye makusudio
Assalam Alaikum Warahmatullah Wabarakatuh. Insha Allah, nitarekebisha. Barakallahu Feek 🤲🙏
Asalam alaykum warahmatullah wabarakatuh je ukijisomea mwenyewe mtu mzima haifai ustadh?
Waalaikumussalam warahmatullah Wabarakatuh. Bila shaka ukiweza kujisomea. Ndio sababu ninatoa faida hizi ili anaeweza ajifanyie. Mtume (SAW) alipofanyiwa Sihr na Myahudi, Allah (SWT) Alimteremshia Surah Al-Falaq na Surah An-Naas ili ajisomee Ruqya. Naye akafanya hivyo. Shukran 🙏
Sheikh kama hujui kuandika hiyo Quran naweza kuja kukuona ? Weka namba ya simu na wapi unapatikana wengi hatujui kusoma
Waalaikumussalam Warahmatullah Wabarakatuh. Kama hujui kuandika kiarabu, unaweza kutafuta usaidizi kwa yule anayejua. Ukinihitaji namba yangu ya simu ni hii: +254 700047708. Afwan.
Lete dalili acha story nyingi tueleze hayo maneno umeyatowa wapi ?
Mwanzo kafenye utafiti wa kutosha kwenye vitabu vyote ukikosa nitakufundisha, Insha Allah!
Acheni kuuliza kuthubutu umesikia ni quraan nidawa
Kheriran Insha Allah. Allah (SWT) Atuwaqie kheri zote. Ameen! 🤲🤲🤲🤲🤲
Qur aan ni dawa lkn hayo masharti je ilikuwa hvyo, tunahofia kuingia ktk shirk
@@user-fy8cm7mx9p Assalam Alaikum Warahmatullah Wabarakatuh. Mimi naelewa mambo ambayo ni Shirk. Nami siwezi kufunza watu kuhusu mambo hayo. Kwa sababu yeyote amabaye atayafanya, basi nitakuwa na fungu la madhambi. Kuandika Qur'an Tukufu kwenye karatasi, kuifuta na maji kisha kunywa inafaa bila wasiwasi wowote. Al-Imam Ahmad Ibn Hanbal na Al-Imam An-Nawawy anakubali hata kuandikwa Qur'an kwenye chakula kisha mtu akala. Tizama kitabu cha Al-Maj'muu'. Allah (SWT) ni Mkarimu na Muweza kwa kila kitu. Ikiwa itakuwa tatizo kuandika Qur'an unaweza kuisoma na Allah (SWT) Atakukidhia haja zako kwa nia yako.
Hio sini kombe
Kwa hakika jina sitatizo. La muhimu zaidi ni ikiwa jambo hili linafwata muongozo wa Quran. Quran insema kuwa ni dawa lakini haikubainisha ni vipi! Allah (SWAT) ni Mjuzi zaidi.
Usipopata zafarani ya nyuzi unaweza tumia ya unga maduka yetu huku ni shida
Assalam Alaikum Warahmatullah Wabarakatuh. Bila shaka unaweza tumia ya unga. Allah (SWT) Akuwafiqie kheri zote na Akutimizie malengo yako yote. Ameen! 🤲🤲🤲🤲🤲
Kwani lazima Uzi wa zafarani au unaweza kutimia hata UNGA au Ile rangi
aslm akm sio mbya hio shekh wetu lakini mtihani ni hio wa zafrani sijui misk hata sisi wengine hatuzijui kbsaa na twataka tuwaokoe watto wetu wallah maana we wapo ma secondary lakini wee pana uzito falling fulani
Waalaikumussalam Warahmatullah Wabarakatuh. Ni vitu ambavyo vyapatikana. Ukiweza kuandika kwa Zafarani ni vyema na ikishindikana unaweza yasomea maji ya Zamzam itakuwa bora zaidi.
@@mohamedalidini asalaam alaikum sheikh. Maji ya zamzam pia mtihani kuyapata je naweza kusomea maji ya kawaida?
@@hamidahamdun3646 Waalaikumussalam Warhamtullah Wabarakatuh. Nina uhakika maji ya Zamzam yanapatikana. Jitahidi kuyatafuta na Insha Allah utayapata. Afwan.
Tunaomba namba zacm
Namba yangu ni hii: +254 700047708. Afwan.
Asalam alykm
Sheikh mm nauliza,,, je hii maalum t kwa ajil ya watoto au hata mm mkubwa naweza kuitumia.
Waalaikumussalam Warahmatullah Wabarakatuh. Bila shaka watu wazima wanaweza kutumia njia hii bora uwe chini ya miaka 60. Waliyo na miaka 6o na zaidi huwa wana udhaifu katika mabongo. Kwa hivyo itakuwa ni taklifu kwao. Japo kuna wengine bado wanaweza kuhifadhi hata baada ya miaka 60. Ispokuwa ni nadra. Shukran.
@@mohamedalidini Shukran sana Sheikh #Allah akupe umri mref wenye manufaa
@@hasnakid Karibu sana. Ameen! Insha Allah, sote, Ya Rabb 🤲🤲🤲🤲🤲
Hiyo ndio inaitwa kombe
Majina si muhimu. Cha muhimu ni njia inayotumika kujitibu kwa Qur'an Tukufu. Je hiyo njia ni sahihi kisheria au la?
Assalaam alaykum shekh mtoto wangu yupo boarding school haiwezekani kusoma kwa siku moja hizo aya kisha aende nayo atayatumia kwa wiki nzima?
Waalaikumussalam warahmatullah wabarakatuh. Yawezekana bila shaka. Na Allah (SWT) ni Mkarimu na anafahamu haja za waja wake. Allah (SWT) azikidhi haja zetu zote. Ameen 👐. Afwan.
Allahumma amin sheikh umenifunza kitu inshaallah ntakifanyia kazi maana mtoto wngu mzito kuelewa .na inshaallah naomba uje utufunze namna yakumsaidia pia mtoto mwenye kigugumizi.
@@salhaali2705 Insha Allah. Allah (SWT) akuafiqie kheri zote. Ameen.
@@mohamedalidini shukran sana
@@zenasalum2231 Afwan. Karibu sana.
Mpk kuchomoza jua mi naona kusomea maji tu inatosha
Assalam Alaikum Warahmatullah Wabarakatuh. Ni vyema sana kufwata maagizo yake. Hayo maagizo yana siri. Afwan.
Tupe dalili,?
Allah (SWT) Atwambia katika Suah Al-Israi ya kwamba Qur'an in dawa. Je kuna ugonjwa zaidi ya uzito wa fahamu kwenye masomo? Na Allah (SWT) Aliposema Qur'an ni dawa haikubainisha ni ugonjwa wa aina gani? Inahitaji uchambuzi za ufahamu wa Qur'an. Barakallahu Feek! 🤲🤲🤲🤲🤲
Twaomba ufafanuzi pls
Tayari nimefafanua hapo juu. Naomba uangalie. Barakallahu Feek!
Kwani haiwezekn kusomea tu maji,mbona mambo mrefu mpk sahani nyeupe wino wa zafarani
Assalam Alaikum Warahmatullah Wabarakatuh. Bila shaka kuyasomea maji ni njia nyingine. Hakikisha umefanya vizuri. Afwan.
Slm alykm warahmatullah wabaraqatuh sasa ni sura gani sheikh maana nimetega sikio wap
Mmh kasema surahtul Baqara aya za mwanzo kwaanzia ya 1 mpaka ya 5 , itakua hukusikiliza Kwa makini ndugu
Wa alaykum Salam warahmatullah wabarakatuh
@@SakinaSakinat-qd9rs Shukran.
@@SakinaSakinat-qd9rs Shukran.
@@mohamedalidini Afwan
Unaweke kwa maji zafaran,rose water na misk..misk ni nini?
Miski ni aina ya mafuta ya kujipaka mwilini au nguoni inatokana na myama anayeitwa Kangaroo. Mafuta ya miski yanatuka sana kwa Tiba ya Asili. Ukitaka kuona picha yake tizama kwa google. Afwan!
MASHARTI YA KUANDAA KARATASI NYEUPE IANDIKWWE NA ZAFARANI HII WENGI HAWAWEZI
Assalam Alaikum Warahmatullah Wabarakatuh. Ukiweza kuandika kwa Zafarani ni vyema na ikishindikana unaweza yasomea maji ya Zamzam itakuwa bora zaidi.
Uliyesema mtt wako yupo college yasomee maji kidogo umpelekee halafu aongezee mengine yawe yakutumia siku nyingi
Assalam Alaikum Warahmatullah Wabarakatuh. Bila shaka yawezekana kuyasomea maji kisha kumtumia mtoto college atumie. Afwan.
Allah anasema wanunazillu minal Quran mahuwa shifaau warahmatil lilmuumineena walaa ya ziduhu dhwaalimiina ilaa khasaraa.
Quran inaponyo adani yake wala hakuna uzushii wala bida'a.
Asante mwalimu kwa elmu uliyotupatia.
Barakallahu Feek. Allah (SWT) Atujazi kheri zote. Ameen! 🤲🤲🤲🤲🤲🙏
MAMBO YA ZAFARANI KWANI LAZIMA?????
Assalam Alaikum Warahmatullah Wabarakatuh. Ukiweza kuandika kwa Zafarani ni vyema na ikishindikana unaweza yasomea maji ya Zamzam itakuwa bora zaidi.
Je kama ni mtoto mchanga inafaa kumpatia? Najee nikimpa hapo akitaka kulala je nicmnyonyeshe tena had asubuhi
Assalam Alaikum Warahmatullah Wabarakatuh. Ndio unaweza mpatia mtoto. Ispokuwa kiwango kidogo cha maji. Na baadaye ukimnyonyesha haina shida bora awe ametanguliza maji yalosomewa. Allah (SWT) ni Mjuzi zaidi. Afwan.
Sw shukran
Na jee ikiwa hujui kitu chako kimepotelea wapi unafuata muongozo upi?
SS watoto wachanga tunawapa maji ya zabibu. Tunaroweka zabibu kavu uck asubuhi unampa kijiko tu na hii inafanya mtoto anakuwa na fahamu sna sna sna unamuanzia tokea mdg huwa anaharisha kdg lakn ila watoto wa ami wa mumewng ni washashi tuliona kma ni bs tu wanafanya lkn watoto wao wasomi na wote wanafahamu maaan tokea zamani watoto wao wnaawapa nimeona kwa mwanangu mashaaallah kadogo kina mwaka tu na miez nilimpa na yy mashallah tabaraka Rahman mpk namuogopea kwa watu alivo.
@@user-dx6dm6lh1i Shukran sana kwa faida hiyo. Bila shaka kuna njia nyingi ambazo mola ametuonyesha. Na Alhamdu Lillah, vitabu vyetu vimeyaelezea mambo kama hayo kwa mapana na marefu. Ispokuwa muda ndio hautoshi. Allah (SWT) Azidi kutuelimisha ili tufaidike. Shukran.
Maneno kibaaao yote yann ingia ktk mada
Kheiran Insha Allah! Allah atuwafiqie kheri zote. Ameen.
Quraan nidawa hatakama wataka ithubutu wapi
Kheriran Insha Allah. Allah (SWT) Atuwaqie kheri zote. Ameen! Barakallahu Feek. 🤲🤲🤲🤲🤲
Imethubutu wapi mambo hayo jamaa kwa mwana zuoni gani masharti yote hayo hahaha
Assalamu Alaikum Warahmatullah Wabarakatuh. Kwanza kabisa, nachukua fursa hii adhimu kukushukuru sana kwa swali lako zuri sana. Namuomba Allah (SWT) Akuwaqifie kheri zote. Pili ni kwamba mambo haya yanahitaji wasomi na wenye kufahamu HAKIKA YA KUIZINGATIA QUR'AN TUKUFU. Bila shaka Kitabu hichi kinatutaka tukisome, kukifahamu na kukizingatia sana ili tupate Kheri na Baraka zake.
Chukua mfano wa Ayah 82 ndani ya Surah Al-Israi inayosema hivi: وَنُنَزِّلُ مِنَ ٱلْقُرْءَانِ مَا هُوَ شِفَآءٌۭ وَرَحْمَةٌۭ لِّلْمُؤْمِنِينَ ۙ وَلَا يَزِيدُ ٱلظَّـٰلِمِينَ إِلَّا خَسَارًۭا ٨٢ Maana yake ni: Na tunateremsha katika Qur'ani yaliyo ni matibabu na rehema kwa Waumini. Wala hayawazidishii madhaalimu ila khasara. Jee Ayah hii imefafanua ni maradhi gani yanayotibiwa na Qur'an? Na ikiwa tunajua maradhi yenyewe, je ni njia ipi ya tiba yake? Ayah haijafafanua bali ni ijtihadi za wasomi na wenye ufahamu na wakajaribu maradhi tofauti. Kwa mfano: Mwasahaba waliitumia Qur'an kwa Ruqya kwa ushahidi wa Hadithi Sahihi ya Abi Saeed Al-Khudry, Radhi za Allah ziwe juu yake, ambayo utaipata katika Sahih Al-Bukhari kuhusu kumsomea mtu aliyeumwa na nyoka.
Na ujinga au kuwa na uzito wa ufahamu ni maradhi na inatibika na Qur'an kwa tajriba. Kwa hivyo, Sheikh wangu, kinachohitajika ni kuamini ya kwamba Qur'an Haina shaka yoyote ni uongofu kwa wachaji Mungu. Na ikiwa huyaamini haya hamna shida. Waache wenye imani wafaidike. Natumai nimeeleza vyakutosha. Barakallahu Feek.
Ilmu ni bahri hata ukiambiwa mwanazuoni fulani utasema muongo..kwani hapa kuna ushirikina au?kwani waliogundua dawa za mitishamba wangegunduwaje kama wasingejaribu..hii sio biashara wala ushirikina kama huamini acha kuponda waachie wanaoiamini quran kuwa inatatuwa matatizo yao
@@user-qy9qx5hd2u Barakallahu Feek ya Habiby. Allah (SWT) Akujazi kheri zote.
Alhamdulillah inatatua,tunaitumilia kama alivyotuamrisha Allah na inatufaa sana biidhinillah katika maisha yetu.
@@fatmasalim7132 Bi Idhanillah. Allah (SWT) Atupe kheri zote na Yaqeen. Ameen! 🤲🤲🤲🤲🤲🙏
Mashallah
Tabarakallah. Shukran 🙏
Awo watu waache bidaa Ayo anasema ameyatowa wapi?ni qur'an ao hadith ? ACHENI BIDAA
Assalam Alaikum Wabarahmatullah Wabarakatuh. Nasaha yangu kwako ni kwamba kabla ya kukaripia na kukejeli watu, ni vyema kuwa umepitia vitabu kadhaa. Na ikiwa ni vigumu kufahamu yalioandikwa, piga goti kwa Sheikh akufunze. Elimu ni bahari kila mmoja anachota kiasi chake! Allah (SWT) Atupe kheri zote. Ameen! 🤲🤲🤲🤲🤲
SHEIKH AYA HIZO NI SAWA KABISA LAKINI MAJI SAFI PIA SAWA. ILA KUSEMA TUANDIKE KWENYE ZAFARANI HII NI KAZI INGINE. AL MUHIIM KUSOMEA KWENYE MAJI
Assalam Alaikum Warahmatullah Wabarakatuh. Ukiweza kuandika kwa Zafarani ni vyema na ikishindikana unaweza yasomea maji ya Zamzam itakuwa bora zaidi.