Ukiota ndoto hizi 7 jua una jini la mikosi na nuksi | Ujue mti ambao ukioga unaondoa nuksi - Jaafar

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 29 ก.ย. 2024
  • Elimika na Sheikh Jaafar Abdul Rahman

ความคิดเห็น • 212

  • @Hajra-vu9gd
    @Hajra-vu9gd ปีที่แล้ว +2

    Yarabi inamanisha mm ninayo mm naota nikipaa subunallah

  • @ucjvvjcjjvih9934
    @ucjvvjcjjvih9934 ปีที่แล้ว +11

    Maashallah baharin kupaa angani skuli yote nimeota kuingiliwa miala iloipita sasa afazar ila majenga mwaka wa5 numba imesimama nikikata pesa za kezeka bat sijui zinakwenda wapi inakuka kila sabab matumiz zinpungua siezeki ni lweki shehe inayoyasema mtihani mkubwa yarab🤲

  • @mancopy8851
    @mancopy8851 ปีที่แล้ว +2

    asalam aleykum shekhe mm hayo yte ulosema yana nikuta sana shekhe ndoa mbil zimevunjika bila sababu wala mahusiano haya dumu shekhe napitia wakat mgumu sna shekhe

  • @AbibaSalleh
    @AbibaSalleh 9 วันที่ผ่านมา +1

    Mungu.anikinge.nahuyo.jini

  • @JijiJiji-v6g
    @JijiJiji-v6g ปีที่แล้ว +2

    Tuandikie Jina zahizo mti

  • @starlight8794
    @starlight8794 ปีที่แล้ว +6

    Mm ninae uwa ananisumbua sana maana mm hunijia pale ninapo anza ku lala huja nika pigana nae japo kua hunimaliza nguvu na kama kuna mtu ako karibu yangu basi atanisikia nikipiga kelele sijui nifanyeje ili aniondokee maana sazengine huninia na sauti yani aongea ila simuelewi kisha ananiingia anaanza kunisumbua ila uwa simruhusu maana uwa napigana nae hadi inanibidi nipige makelele ili wenye wame lala karibu yangu waniamshe ndo pale anapo niachilia aki nimechoka na hili li jini

    • @neemamboya-ss6pl
      @neemamboya-ss6pl ปีที่แล้ว +2

      Mimi mwenyewe nkitaka kulala kale kausingizi inanijia yaan nakua naskia kila kitu ila mwil unakua hauna nguvu ata kujigeuza swez na saut haitoki imenitesa muda mrefuuu mnoo

    • @Churchofecclesia
      @Churchofecclesia ปีที่แล้ว +5

      Itia jina la YESU KRISTO WA NAZARETH ALIE HAI KWA NGUVU AU ITA DAMU YA YESU KRISTO WA NAZARETH ALIE HAI, MAANA HUYO YESU KRISTO NDO KIBOKO YA WACHAWI WAGANGA WASHIRIKINA NA TAKATAKA ZOTE ANAZOZUNGUMZIA HUYU NA HATA HUYU MGANGA YESU KRISTO NI WEMBE

    • @Churchofecclesia
      @Churchofecclesia ปีที่แล้ว

      @@neemamboya-ss6pl MWITE AU ITA KWA JINA LA YESU KRISTO WA NAZARETHI ALIE HAI

    • @Churchofecclesia
      @Churchofecclesia ปีที่แล้ว

      Halafu HUYU anawadanganya UFALME WA giza hauwezi ukafitini UFALME WAKE maana hawa WAGANGA NA HAYO majina WOTE WAKO KATIKA falme moja AMBAO NI UFALME WA SHETANI, kwahyo msihangaike kutafuta vibaraka WA shetani AMBAO NI waganga hapana tafta watumishi wa MUNGU (YESU KRISTO WA NAZARETH ALIE HAI) watumishi wake YESU KRISTO NDO wanaoweza kuwaweka huru kwenye hzo nguvu za giza lkn sio waganga maana wanatumia nguvu za giza lkn sio inayotoka juu MBINGUNI tafta watumishi kama akina kuhani Musa, SUGUYE, MWAMPOSA, prophet david Richard , hawa ndio wanaoweza kuyatatua shda kama hzo maana NGUVU wanayoitimia inatoka juu MBINGUNI

    • @carendeborah5687
      @carendeborah5687 ปีที่แล้ว

      Mimi nilikuwa naota hivo nikiwa najaamiana basi nikatoa sacrifice namba Saba ,,ya kukata hizo ndoto za kujamiana..tangu nitoe hazijawai nirudia hata kidogo

  • @UweraEmelyse
    @UweraEmelyse 8 หลายเดือนก่อน +2

    Jambo jina ni sandrine Mimi nahitaji Numero yako ya wastapp

  • @DEEJAYPINCHEZ
    @DEEJAYPINCHEZ ปีที่แล้ว

    Naomba kujua vile naweza toa nuksi, na nipate nyota yangu na pia kupendwa na mwanamke akuwe tu akinifikiria kila saa.

  • @MakaiKasala
    @MakaiKasala ปีที่แล้ว

    Elimu inaweza kuwa nzuri, ila uvaaji huu unatufundisha nini kama umma wa kiislamu?

  • @khadijandabahagamye7252
    @khadijandabahagamye7252 ปีที่แล้ว +2

    Me napenda kuota nikiwa nafunukwa na maji 😢 mana yake nini..?

    • @yuscoedward
      @yuscoedward ปีที่แล้ว

      Unampenda kuota ivyo?

  • @SaudaMuhammedyussuf
    @SaudaMuhammedyussuf ปีที่แล้ว

    Na napenda kuota nikia nimepaa

  • @mussamatondo4886
    @mussamatondo4886 ปีที่แล้ว +16

    Some time mmetuvalia juga kutundanganya, ndoto inaendana na mawazo yako

    • @reenaismael4310
      @reenaismael4310 ปีที่แล้ว +17

      You know what,kama kitu hakijawahi kukutokea utaona chochote kile unachoambiwa ni uongo tu
      Lakini nikwambie watu wanapitia mtihani huku nje ,kama uko sawa sema Alhamdulilah
      Allah akulinde na kukuepusha na mabaya.
      Kwa wale wana shida wacha waskie Insha'Allah kwa auezo wa Allah watapata shifa na kufanyiwa wepesi katika kila jambo Lao.
      Mungu akulinde na kukuepusha na maadui,mashetani na kila jambo mbaya likitaka kukutokea Allah akutangulie mbele Aameen.

    • @carendeborah5687
      @carendeborah5687 ปีที่แล้ว

      Life is spiritual,kama waelewa what spiritual is basi haifai kupingana

    • @madamprayer6490
      @madamprayer6490 ปีที่แล้ว

      @@reenaismael4310 kweli asee

    • @sinobosstv5565
      @sinobosstv5565 ปีที่แล้ว

      Na mawazo yako yanawezatawaliwa bado na shetani

    • @happybalama3591
      @happybalama3591 ปีที่แล้ว

      Sio kweli ndoto huletwa na Mungu au shetani

  • @laurinebihembo2907
    @laurinebihembo2907 9 หลายเดือนก่อน

    Naomba namba

  • @zumbemgalawe
    @zumbemgalawe ปีที่แล้ว

    Uwo mti unaitwaje shekhe

  • @PapilAlvin
    @PapilAlvin ปีที่แล้ว

    Nahitaji msaada ktk hili kila ulichokiongea kinanihusu mimi

  • @AishaMshaka
    @AishaMshaka 4 หลายเดือนก่อน

    Tunataka huwomti nimtigani

  • @Mariam-fm8vq
    @Mariam-fm8vq ปีที่แล้ว

    Yaan huyu sheikh ana comedy ndani yake😂😂😂utacheka tu

    • @manasa2449
      @manasa2449 ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂😂

    • @zohoraramadan4540
      @zohoraramadan4540 ปีที่แล้ว

      @@manasa2449 kweli sngd comedian

    • @manasa2449
      @manasa2449 ปีที่แล้ว

      @@zohoraramadan4540 yaani ukiangalia unaruadia rudia 😀😀😀

  • @RehemaKasanga-vu5nj
    @RehemaKasanga-vu5nj 2 หลายเดือนก่อน

    Na hayo mahirizi umebeba ya ya Nn Kama wewe ni Shehe?

  • @salumomari609
    @salumomari609 ปีที่แล้ว

    Mkuta

    • @ruthnyanza1887
      @ruthnyanza1887 ปีที่แล้ว

      Yesu Alisha maliza yote pale msalabani

  • @zainabmaulidi9846
    @zainabmaulidi9846 ปีที่แล้ว +6

    SUBHANAALLAH YAARABB TUKINGE NA MAJINI 🤲🤲😰😰😰

  • @abubakarkhamisi3931
    @abubakarkhamisi3931 10 หลายเดือนก่อน +3

    Sawa ila mbon umevaa mielizi n miguo hiyo y kienyeji

  • @shaphaina9941
    @shaphaina9941 ปีที่แล้ว +8

    Huo mti wa mkuta ndio mti gani wanao jua watusaidie

  • @carolineatieno2725
    @carolineatieno2725 ปีที่แล้ว +5

    Nisadie Niko na shida ndoto mbaya sana,Niko na kisirani mbaya

  • @hichayasin7244
    @hichayasin7244 ปีที่แล้ว +5

    HAPO SASA UNATAKA KUWAGEUZA ILI UWATAPELI WATU WEWE NDIO MWALIMU WA MATAPELI UNATAKIWA UCHUNGUZWE UNATUMIA DINI KITAPELI WATU HAPO JAMANI TUWE MAKINI NA HUYU SHEKH MSHIRIKINA,,🤣🤣🤣🤣,

  • @zulfajoachim6145
    @zulfajoachim6145 5 หลายเดือนก่อน +2

    Mhh yaani shehe ww unaongea kweli sisi wenye jini mahaba tunapata shida sana na hatuna bahati kabisa

  • @khadijasalum1659
    @khadijasalum1659 3 หลายเดือนก่อน +1

    Tunaomba Tafadhali kwa ajili ya ALLAH Shekh Othman akija Msa atupunguzie Malipo maana makubwa sana ndio pia dawa zina kua Taufik wengene hatuna pesa Fanyeni dawa kwa wepesi wa pesa INSHAALLAH

  • @hassanikombe9053
    @hassanikombe9053 ปีที่แล้ว +3

    Dah yan shekhee umeongea lugha zote kuhutaj uwo mti,.lkn kw kiswahil ndo umefeli 😁😁😁😁,make ungeutaj uwez ukapgiwaa sim 😁😁😁 shekhee ww noma sanaaa

    • @budabuda1326
      @budabuda1326 ปีที่แล้ว

      Assalaamaleikum vipi sheikh ati ni mtigani anaouzungumzia hapo naona nikiwa search Google yanakuja mengi!!!

  • @VictorAlulu
    @VictorAlulu ปีที่แล้ว +1

    Hello Mimi nashita Kama izo unaweza nisaidia namnagani? Pesa nabata kwa mwezi elfu hamsini lakini uwa sizioni kapsa Sina kitu

  • @princehelinsburg1933
    @princehelinsburg1933 หลายเดือนก่อน

    Pia wakristo wengi wapitia mambo haya ilhali watapeliwa na wati

  • @Afsa-z3g
    @Afsa-z3g 22 วันที่ผ่านมา

    Nasafiri alafu gari inaniacha sehemu ya kuchimba dawa

  • @MesalimRashid
    @MesalimRashid ปีที่แล้ว +2

    Mm maisha siotiii kabisaa haya jini asieota aitwa nani .nalala fofo .wtt n mume wangu kutwa Kuni beza kwa usingizi mwingi.

  • @zohoraramadan4540
    @zohoraramadan4540 ปีที่แล้ว +3

    Waleykumusalamu warahmatullah wabarakatuh, 😁mwamba, we jafari ninacheka unafikiri mazuri usituchekeshe na hali ni musiba

  • @everlynechebet-lh5hu
    @everlynechebet-lh5hu ปีที่แล้ว +1

    Mimi Kuota na kuhaudiwa pesa lakini siku ikifika anitumi anageuka

  • @Mufti-g3x
    @Mufti-g3x 3 หลายเดือนก่อน

    Bahati mbaya na wewe ni mganga umekuja tu na kuwaponda waganga lakini na wewe ni mganga kuni neno uganga ni utibabu kwani hata wale wahospitali wanaitwa waganga Sasa waponde wenzako lakini Bado itabaki wewe ni mganga no comment

  • @jeaninevumilia5917
    @jeaninevumilia5917 6 หลายเดือนก่อน +1

    😂 Ninayo kivuli hikyo ya Nuksi

  • @OmarMohamed-bs2hf
    @OmarMohamed-bs2hf 3 หลายเดือนก่อน

    Shekhe ikiwa wewe unawapiga wa ganga ila unatugahamisha dawa na dawa hizi hizi ndio tunazopewa na hawa hawa waganga hebu tujeni Kuna nn hapa

  • @japharyramadhani7831
    @japharyramadhani7831 ปีที่แล้ว +1

    mimi nimefurahi mawaidha yanavyotolewa hakika ni somo nzuri sana, ila hofu yangu ni mahilizi na dini ya kislamu kwani yanaashiria ushirikina sasa hapo ndio siajaelewa labda elimu yangu ndogo

  • @EmilyNyariaro
    @EmilyNyariaro 23 วันที่ผ่านมา

    Naomba namba yako

  • @linetaidi4723
    @linetaidi4723 ปีที่แล้ว +2

    Tuonyeshe mti huo naomba tafadhali

  • @florencewairimo2245
    @florencewairimo2245 ปีที่แล้ว +3

    Asante sana kwa mafunzo mungu akubariki🙏🙏🙏

  • @ChalesMatelu
    @ChalesMatelu 5 วันที่ผ่านมา

    Dar

  • @nduguhashimnapia3135
    @nduguhashimnapia3135 ปีที่แล้ว +1

    Je ukiwa unasafir mara kwa mara safari za kawaida inakua jje sheikh

  • @Afsa-z3g
    @Afsa-z3g 22 วันที่ผ่านมา

    Dah

  • @FatumaAhmad-rk4ou
    @FatumaAhmad-rk4ou 3 หลายเดือนก่อน

    Shekhe mm ndoto hzo naota sn nitasaidikaje niko mbali

  • @aliamour4970
    @aliamour4970 ปีที่แล้ว +5

    Maneno mengiiiiiiiii!!

  • @allymwilu8089
    @allymwilu8089 ปีที่แล้ว

    Huo muilizi hapo ndo uonekane fundi au yani sikuizi mjini wezi wengi kwa kweli khaaaaa kujiganya unaongea kilafudhi ya kiislam kuchafua watu tuuu

  • @aminahhabibu4652
    @aminahhabibu4652 ปีที่แล้ว +1

    Shekh mm Niko na hizo shida nakupataje wallah nimechoka kabisa Mambo hayaidi kila nifanyalo nakuomba sana nidaudie sijui nifanyaje mm

    • @muba6699
      @muba6699 ปีที่แล้ว

      Una swali kila Siku??? Simamisha Swala mambo yako Yatanyoka!

  • @NeemaSomo-rx7dy
    @NeemaSomo-rx7dy ปีที่แล้ว +2

    Wallah nimejikuta nacheka

  • @IsmailAhmadChakudeka388
    @IsmailAhmadChakudeka388 4 หลายเดือนก่อน

    Ivi huyu mbona yupo nawatu wa bidaa asaiv au Bora tonge

  • @abdullahkazungu4025
    @abdullahkazungu4025 8 หลายเดือนก่อน

    Ilo vazi shekh vipi mbona kama mganga wakienyeji ??unatueka njia panda

  • @alimanana7564
    @alimanana7564 28 วันที่ผ่านมา

    😢😢mimi ninaye kweli napenda kuota nafanya mapenzi mara nimeza kila kitu nikifanya mthihani kwakweli ata nikipata mchumba binaishia ivo😢

  • @NhaloNhalo-ol7ls
    @NhaloNhalo-ol7ls ปีที่แล้ว +3

    Ahsante Sanaa Sheikh kwa Somo nzuri

  • @RehemaKasanga-vu5nj
    @RehemaKasanga-vu5nj 2 หลายเดือนก่อน

    Yesu Kristo Ndiye Mwamba wangu 2

  • @irene3abi123
    @irene3abi123 ปีที่แล้ว +1

    Nimependa sana mafunzo yako

  • @wrongnamemtuwahapa
    @wrongnamemtuwahapa ปีที่แล้ว +2

    Kiswahili unaitwaje

  • @NEBERT-rc6bb
    @NEBERT-rc6bb 4 หลายเดือนก่อน

    +254 Kenya mti wa kuondoa nuts audawa inapatkanna wait?

  • @cellcelll2151
    @cellcelll2151 ปีที่แล้ว +2

    Sheikh kambe waniongelea mm😢😢

  • @ladymuslima4956
    @ladymuslima4956 ปีที่แล้ว +3

    Ni dhambi kuwa wawili watu wa jinsia tofauti

    • @khaalidcheo5383
      @khaalidcheo5383 ปีที่แล้ว

      Ndio nizambi mnafanyanini uko vichocholoni.kwenye faraga?

  • @badmanno.1650
    @badmanno.1650 ปีที่แล้ว

    Na huyu nae pia anitwa shekhe??? Mnaomuamini nyote mnakufuru

  • @latifaradjabu3949
    @latifaradjabu3949 ปีที่แล้ว

    Mtu huyo sheikh mungutuonyesha majani yake tungeutafuta au kama inawezekana kukupata kupitia ww tusaidie namba zasim mm nipo Burundi sjui nitaupataje

  • @rehemamrinzi6996
    @rehemamrinzi6996 ปีที่แล้ว +1

    Nami hzo ndoto ndio zangu kbsa wallah

  • @1THEBRAIN
    @1THEBRAIN ปีที่แล้ว +1

    Nyie mnatangaza biashara yenu ya uganga 😂😂😂😂, kwanza mlinza na maziga ubwe eti wangaga wanavyo fanya alafu eti tutaonyesha jinsi uongowao ulivyo hamkuonyesha lengo lenu lilikua ni kutangaza uganga wenu, jitibieni nyie kwanza

    • @lifeinmiddleeast8179
      @lifeinmiddleeast8179 ปีที่แล้ว

      Siyo biashara hivi vitu Vipi sema inafatana na njia utayotumia kujitibia

    • @muhamadhusein5260
      @muhamadhusein5260 ปีที่แล้ว

      ​@@lifeinmiddleeast8179 wewe unaejuwa haki tufahamishe kwenye channel yako na kama huna channel azisha channel utufundishe ili tujue na sio uropoke tu

    • @muhamadhusein5260
      @muhamadhusein5260 ปีที่แล้ว

      ​@@lifeinmiddleeast8179 wewe unaejuwa haki tufahamishe kwenye channel yako na kama huna channel azisha channel utufundishe ili tujue na sio uropoke tu

    • @ramadhanwilbard8196
      @ramadhanwilbard8196 ปีที่แล้ว

      Hakuna kisicho tangazwa katika dunia hii hata dini isipotangazwa watu hawawezi kuijua,Hata wewe leo ukifungua hospitali yako leo utaitangaza ila nikushauri tu acha rohoo mbaya na husda juu ya wanaharakati wa dini ya Uislamu na tiba kama hizi za kisheria yaani zinazozingatia misingi ya Qurani ziko sahihi hata Mtume alifanya uganga huu na ni sehemu ya dini na maana ya neno Uganga ni tabibu ;sasa sijui wewe unapinga nini?Hata Madakitari wa tiba za magonjwa ya kibailojia nao katika kuswahili ni Waganga au Watabibu ndiyo maana utasikia mtu anahitwa mganga mkuu wa serikali.Tumia akili husikurupuke Wewe, zamani tiba za kizungu hazikuwepo na watu walitibiwa kwa njia za asili na Wazungu katika utafiti wao wa madawa wanashirikiana na watu mbalimbali wenye kuijua miti kitiba wa kiasili lakini wewe limbukeni unaleta kejeli hapa .

    • @allyfadhili
      @allyfadhili ปีที่แล้ว

      @@ramadhanwilbard8196 watu hawakatai tiba za asili. Ila kusema kuwa eti Kuna makini yanawaingia watu na kwamba eti Kuna watu wanaweza kuzuia Riziki Kwa kukuwekea kivuli huo ni uwongo.

  • @faiqaanwar7268
    @faiqaanwar7268 ปีที่แล้ว +4

    Sheikh mti huo hauna jina Kwa kiswahili ili nasi tujue?

  • @fatumaomary6110
    @fatumaomary6110 ปีที่แล้ว

    Unawaponda waganga alafu na ww unafanya uganga balaa tupu

  • @SaudaMuhammedyussuf
    @SaudaMuhammedyussuf ปีที่แล้ว

    Mimi Nina mwaka sita nishaasha shule lakini kila siku nakua naota nikiwa shule

  • @princehelinsburg1933
    @princehelinsburg1933 หลายเดือนก่อน

    Nimepitia baadhi ya mambo haya

  • @muniraomar2235
    @muniraomar2235 ปีที่แล้ว +3

    Sasa naweza kuzitoa vp

  • @FatmaMohammed-x7z
    @FatmaMohammed-x7z ปีที่แล้ว

    Samahanini huyu msemaji hapa tumfahamu vipi AMA yupo kundi gani?

  • @tria2254
    @tria2254 ปีที่แล้ว

    Kaka uyo mti unaitwaje kwenye kingereza ?

  • @AlimaSadiki
    @AlimaSadiki หลายเดือนก่อน

    Shukran sheikhe allaah akuongoze

  • @NeemaSomo-rx7dy
    @NeemaSomo-rx7dy ปีที่แล้ว +2

    Wallah nimejikuta nacheka

  • @faidaimmaculee28
    @faidaimmaculee28 ปีที่แล้ว +1

    Iyonikweli wa Ganga niwaongo 😂😂

  • @budabuda1326
    @budabuda1326 ปีที่แล้ว

    Anime Google kama alivyo sema nimepata al ausaj na al khaizaran imekuja miti miwili tofauti 😮

  • @HellenDavid-j5z
    @HellenDavid-j5z ปีที่แล้ว

    😢😢😢utanisaidiaje mm maana Chenye unaongea kinanikuta kila wakati nafukuzwa kazi na nikipa mwanaume ananiacha bila sababu😢😢😢😢

    • @shalfaa
      @shalfaa 7 หลายเดือนก่อน

      Njoo upate dawa utoe nuksi 254712734325

  • @mbisinzembei5857
    @mbisinzembei5857 3 หลายเดือนก่อน

    Mimi niko kenya mti jana ya kenya

  • @abubakarmpole4000
    @abubakarmpole4000 ปีที่แล้ว +1

    Mm mara Moja moja ndio naota hiyo y kupaa mara Moja Moja je ninaye, naomba unijibu

    • @muba6699
      @muba6699 ปีที่แล้ว

      Unandoto kubwa katika maisha yako Fanya Ibada unanuru ndani yako!!!

    • @abubakarmpole4000
      @abubakarmpole4000 ปีที่แล้ว +1

      @@muba6699 wallah kama vile unajua bro shukran

    • @VeronicaMushi-ms1tn
      @VeronicaMushi-ms1tn ปีที่แล้ว

      Taja tena.huo mti.

  • @ZAHRAMCHOME
    @ZAHRAMCHOME ปีที่แล้ว

    Shkh tusadie tiba hiyo see tulioko mikoani

  • @doctormwalimjuma8040
    @doctormwalimjuma8040 ปีที่แล้ว +1

    Inachekesha weweshehe wangu

  • @AminaAmina-mv4ko
    @AminaAmina-mv4ko ปีที่แล้ว +1

    Shukran laka kwa elmu

  • @MozarySeyouMozarySeyou
    @MozarySeyouMozarySeyou 3 หลายเดือนก่อน

    Duu atr Allah atupishe naivo vitu

  • @robertndebate5462
    @robertndebate5462 ปีที่แล้ว

    Uyu mganga au shekhe mbona ana mielizi kama mijezi ya makolo

  • @mbutaleetz225
    @mbutaleetz225 4 หลายเดือนก่อน

    Huyu ni muongo

  • @ramlaismail7287
    @ramlaismail7287 ปีที่แล้ว

    Kwahy uy mgang au shekh nasikia shekh wang😅😅

  • @KuluthumuSaidi-f5j
    @KuluthumuSaidi-f5j ปีที่แล้ว

    Mimi nnaye nitakupataje dalili zote nnazo naokewakila naachika nitakupataje nasumbuka

    • @Madam870
      @Madam870 ปีที่แล้ว

      Pole sana nitafute naeza kushauri insha Allah dadaa

  • @kassimabdilatif1802
    @kassimabdilatif1802 ปีที่แล้ว +3

    Uwongo mtupu.
    Mnao tizama hii you tube chungeni.

    • @jeaninevumilia5917
      @jeaninevumilia5917 6 หลายเดือนก่อน

      Wewe piya waitazama

    • @kassimabdilatif1802
      @kassimabdilatif1802 6 หลายเดือนก่อน

      @@jeaninevumilia5917
      Inamaanisha unaamini huu upuuzi ?
      Tunajaribu kuwasaidia nyinnyi mnao danganywa.
      I'm not here to argue with people.
      Una uhuru wa kuamini na kutoamini.
      Sina haja ya utoto wa kushindana na watu !

  • @SameerMdumbemalongo
    @SameerMdumbemalongo ปีที่แล้ว

    Acha uongo.....shaitan hakai sehemu inaposomwa albqara...ayatu qursi.....hatuna dalili eti masahaba walioga mti flani ......eti ukaondoa nuksi....hiii dini inekamilika

    • @latiferameer4922
      @latiferameer4922 ปีที่แล้ว

      Mimi huwa nashangaa et oga toa nuksi khaa nuksi ndo nn ss!upo mbali na mola wako ibada 0 af et uoge utoe nuksi😥

    • @SameerMdumbemalongo
      @SameerMdumbemalongo ปีที่แล้ว

      @@latiferameer4922 Allah akulipe.....kuna vijamaaa vina njaaa vinataka kupiga hela za watu

  • @allyfadhili
    @allyfadhili ปีที่แล้ว +1

    Huo ni uwongo.

  • @mombasaraha1502
    @mombasaraha1502 ปีที่แล้ว

    Hapo kwa bibi harusi na po nimejifunza sana nilikuwa sijui watu husema nn

  • @laurentnyembo6073
    @laurentnyembo6073 ปีที่แล้ว +1

    Asante Sana kwa funzo🙏

  • @neymarjunior8404
    @neymarjunior8404 ปีที่แล้ว

    Mkuta mbona iyo kiswahili inatuchanganya

  • @ZuhuraIssa-h2b
    @ZuhuraIssa-h2b 3 หลายเดือนก่อน

    Jamani mkowapi

  • @sulekhamohammed5358
    @sulekhamohammed5358 3 หลายเดือนก่อน

    Masha Allah Mimi nataka

  • @rahmaomary5134
    @rahmaomary5134 5 หลายเดือนก่อน

    😁😁😁😁Waganga

  • @didieruwingabire2370
    @didieruwingabire2370 ปีที่แล้ว

    Sasa huyo muti tutaupataje

  • @NeemaSomo-rx7dy
    @NeemaSomo-rx7dy ปีที่แล้ว +1

    😂😂😂😂😂😂

  • @baruaniabdallah3318
    @baruaniabdallah3318 ปีที่แล้ว

    Unashindwa kuzungumzia tiba unatoa stor

  • @Mmmmmmm-k7s
    @Mmmmmmm-k7s ปีที่แล้ว

    Unaongea ukweli yaani wachawi kiukweli ni kipi wanachokipata

  • @didieruwingabire2370
    @didieruwingabire2370 ปีที่แล้ว

    Uyu anaitwa nani

  • @zarabati1750
    @zarabati1750 3 หลายเดือนก่อน

    Maashaallah

  • @sulekhamohammed5358
    @sulekhamohammed5358 3 หลายเดือนก่อน

    Kabisaa