Ruqyah ya kutibu hasad, uchawi na kutoa mashetani (Isikilize kila siku mpaka mpone, In Sha Allah)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 1.2K

  • @thuwaibaidrisa7802
    @thuwaibaidrisa7802 ปีที่แล้ว +14

    Naam kweli kabisa dua hizi zinazotoka kwenye quran ndo ponyo zetu wallahi Allahu aqbar Alahu aqbar Allahu aqbar

  • @Rehema-g5h
    @Rehema-g5h 11 หลายเดือนก่อน +22

    Nmeshindwa lala mauzauza yananijia moyo umekuwa na wasiwasi lakin kwa dua hili nmepata ata nguvu ya kuandika ujembe huu siamin na nlichokuwa nakisikia nje ya nyumba 🙏 inshaallah shekhe ulietuwekea hii dua allah azidi kukuweka utuponye waislam wote🙏

  • @blessingmushi-py6ug
    @blessingmushi-py6ug ปีที่แล้ว +19

    Alhamdulillah asanteh Allah nakuombea shekhe Allah akupe shifaa akulinde wewe na familia yako naomba azilinde na familia zetu sote atuondolee mabalaa shari majini mabaya husdaa ya Rabby naomba tuongezee nuru katika mambo yetu naomba utujaliw wepesi kwenye kila yalikua nagumu Ameen

  • @tohidaluvuno5858
    @tohidaluvuno5858 2 ปีที่แล้ว +67

    Ewe yarab nisamehe mm n wazazi wangu ewe yarrab nisamehe mm n ndungu zangu.ewe yarab nisamehe mm n kizazi changu.ewe yarab nisamehe mm n waislam wote n walio tangulia pia uwasamehe amin 🤲🤲🤲

  • @johnnyariza6460
    @johnnyariza6460 ปีที่แล้ว +27

    Eeeh Allah tupe mwisho mwema turudi kwako mazima maana sisi binadamu ni viumbe dhaifu sana ufanye Wema uwe Ndani yetu na tukujue wewe ni Allah❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @jumannewazir6716
    @jumannewazir6716 ปีที่แล้ว +24

    Mungu wangu wangu mwenye rehema na amani nakuomba nipe mwisho mwema mimi na familia yangu pamoja na waislamu wote wanaokuamini kuwa unaweza kusema kitu kiwe na kikawa mungu wangu nawasogeza wazazi wangu mbele zako na kuwaombea mwisho mwema 🙏 mungu ninakila sababu ya kukuabudu na kukuheshimu kwakuwa unanijua hata kabla hujaniumba Allahumma taqabali duaa 🤲 ya Allah subukhana huwataallah nilindie kazi yangu nipe amani ya ndoa yangu yarabla Allah mina niondole husida ijicho na mashetani wabaya katika maisha yangu mungu nipe mwisho mwema allahumma taqabali duaa 🤲 😭🤲

    • @jamilamtemi3429
      @jamilamtemi3429 6 หลายเดือนก่อน

      Allahuma Amin

    • @Zainabu-mv9cf
      @Zainabu-mv9cf 6 หลายเดือนก่อน

      Nikwer dua hii inasaidia Sana jaman Mimi nasumbuliwa na mashetwani Ila nikisikiliza tuu najiskia nafuu sana

    • @KadadaMohamed-u7s
      @KadadaMohamed-u7s 4 หลายเดือนก่อน +1

      Allahuma taqal dua ya Allah nijaalie mwisho mwema walinde watoto wangu na hasad nibariki katka kazi zangu bark kazi ya mikono yangu unipe rizk ya halal mola wangu ya Allah nak uomba uwarehemu wazazi wangu na uwape kauli dhabit waepeshe na adhabu ya kaburi

    • @FatumaSeif-s7i
      @FatumaSeif-s7i 8 วันที่ผ่านมา

      Allahumma Ameen yarabi 🙏🤲

  • @ibrahimuyusufu2890
    @ibrahimuyusufu2890 ปีที่แล้ว +11

    Alihadulillah mwenyezi mungu kwa ukubwa wako kwa utukufu wako kwa hekma yako na hikma ya quran yako tukufu na kwa ukalim wako na kwa upole wako nijalie niwe mja wako mwema na nijalie kwako niwe mwenye kutenda matendo yanayo kulizisha yaah allah nijalie nijalie mwisho mwema nijalie swala5 nakuomba ewe mwenyezi mungu kwa baraka yako na baraka za mtume Muhammad s w m nijalie lidhk na lidhk ilio ya halali amina

  • @AnabAbdallah-ii7ou
    @AnabAbdallah-ii7ou ปีที่แล้ว +16

    Mashallah na shukuru tangia nisikilizi hii duwa mambo yangu ya naenda vizuri paka wachawi wamenishindwa wanakimbia wenye we❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @ZawadiHassan-r6d
    @ZawadiHassan-r6d ปีที่แล้ว +9

    Yaarabi nakuomba utuondole mabalaa yoto yahapa duniani utupe maisha.mema utuondolee maradhi utupe afya njema mm pamojana family yangu wangu mume wangu ndugu zanamarafiki pamoja namama yangu waondolee Maradha wote kwajumla❤❤ Amiin

  • @issahamisi4066
    @issahamisi4066 ปีที่แล้ว +43

    Asante San kwa kuweza fungua moyo baada ya miaka takriban 5 sikuweza gusa msikiti Ila SAA 9 hii ya usiku nimeweza shika udhu na kushuhudilia apana mola apasae kuabudiwa Ila ni Allah tu na mtume Muhammad ni mjumbe wake na nimesujud na kutubia

    • @munirachipeta7829
      @munirachipeta7829 7 หลายเดือนก่อน +2

      Mola ndio muwezq you're akuna wakupingana nae

    • @Zafaabutterfly
      @Zafaabutterfly 6 หลายเดือนก่อน

      ​@@munirachipeta7829m

    • @abubakaryusuf8944
      @abubakaryusuf8944 4 หลายเดือนก่อน +1

      Mashallah.... Allahuakbar

    • @FaridaFarida4
      @FaridaFarida4 4 หลายเดือนก่อน +1

      Mashaallah hakuna mwingine wakuabuduwa Bali ni Allah peke yake

  • @salamsinani2301
    @salamsinani2301 2 ปีที่แล้ว +155

    Masha Allah Mungu mkubwa nilipatwa na mtihani ya kishetwani lakini baada ya kuskiliza hii ruqiya nimepata unafuu hata kazi zangu nafanya ALLAH awape shifaa wote mnausumbuliwa na maradh🤲

  • @AshaKiluwa-i7h
    @AshaKiluwa-i7h 16 วันที่ผ่านมา +2

    Mungu wangu.ulio juu kabisa kwenye kiti cha enzi kwakupitia duwa hii nakuomba uniondolee maradhi na wabaya wanaonichukia bila sababu wanitegeao mabaya munguangu yaludishe milangoni kwao walinde waxazi wangu na familia yzngu mungu wewe unaona hata yasilini wewe unajua mioyo yetu inawaka moto kiasi gani kwa maumivu wanatutendea mabaya. Huku wakijisifu wanasahau uwepo wako mungu wangu shuhurika nao nakuomba

  • @RaniRani-r8x
    @RaniRani-r8x ปีที่แล้ว +8

    Yaalah nijalie mwisho mwema yaraabi jalia kizazi changu kiwe na hofu ya Allah waapushie na matatizo ya kidunia niaondolee mawazo niweze kuishi inchi ya watu kwa amani Amina yabii

    • @BossSofi
      @BossSofi หลายเดือนก่อน

      Amin

  • @Nasra-g9o
    @Nasra-g9o ปีที่แล้ว +9

    Alhamdulillah namshukur mwenyezi mungu kwakupitia dua hii ukaniondoshee husda na mabalaa yanayo nizinguka na uniepushie mapepo mabaya yaarabi kupitia dua hii naimani utaniponya.kupitua duahii nilindiye familia yangu nipindie kizazi changu na unipe mume bora Amin 🤲🤲🤲

  • @KibibiRajabuu
    @KibibiRajabuu ปีที่แล้ว +25

    Yaarabii nijaalie subra katk maisha yangu uniepushe namaadui wanao nichukia bila sababu nipe subra katk utaftaj wangu nipe aman mm nafamilia yang kijaalie kizaz changu yaraab yadunia yakae mbl nas ujae wew ktk moy wang aaamiiiin

    • @PreciousPreciousPeter
      @PreciousPreciousPeter 3 หลายเดือนก่อน +1

      🙏🙏🙏🙏

    • @RehemaNzeyimana-j1k
      @RehemaNzeyimana-j1k 3 หลายเดือนก่อน

      Ewena munyezimungu unepushe n'a sumu wa nanitiriye mucakura unepushe n'a iyo sumu katika maisha yangu mi n'a watoto wangu n'a kuku wangu iyo sumu iwadiriye benyewe

    • @SaumuYusuph
      @SaumuYusuph 3 หลายเดือนก่อน

      Amiin🤲🏻

    • @salmaUthman-wo1ic
      @salmaUthman-wo1ic 2 หลายเดือนก่อน

      MAASHALLAH ALLAHUMMA AAAMIN kwasote bi IDHNIL LAH

    • @Shukri-j9l
      @Shukri-j9l หลายเดือนก่อน

      Allah muweza wa kilakitu JALAJALALU

  • @luckymsafiri9045
    @luckymsafiri9045 ปีที่แล้ว +9

    Mwenyenzi Mungu kutumia Dua hii naomba umuondoshee mama angu adhabu na kaburi na umueke kwenye waja wema inshallah

  • @lisawilliam6623
    @lisawilliam6623 ปีที่แล้ว +11

    Allah kwa dua hii naomba niondoshee maradhi yote mwilini,niepushe na husda wajua mateso nayopitia kwa dua hii nitakuwa Sawa inshallah

  • @jacobponga1540
    @jacobponga1540 3 ปีที่แล้ว +15

    Masha Allah, tabaraka Allah naskia moyo wangu una utulivu kabsa pindi tu Naskiza Qur'an inaposomwa ❤🧡💛💚💙💜🤎 jazakallahu kheri

  • @Divathebawse
    @Divathebawse ปีที่แล้ว +24

    zkupitia dua hii Naomba Ya Allah SWT oniondoshee Maradhi Ya Nyonga, Pingili za Mgongo na tumbo na Maradhi Ya Moyo yanayoanza nisumbua Mungu Wangu Nilinde na wivu na chuki za waja niondolee wabaya katika maisha yangu niletee Mema jenga mema kwangu niongezee kila panapopungua timiza ndoto zangu na jaalia familia yangu

    • @Ommyson.
      @Ommyson. ปีที่แล้ว

      Allahumma amiina, Allah akujibu maombi yako inshallah amiin🙏

    • @azizauwase9207
      @azizauwase9207 10 หลายเดือนก่อน

      Allahuma aamiin Allah ukupokelee dua

    • @ElizabethLizzy-pk3zj
      @ElizabethLizzy-pk3zj 9 หลายเดือนก่อน

      Alluhamma amin tia nia 🤲

    • @halimakatetemela4955
      @halimakatetemela4955 9 หลายเดือนก่อน

      Allahuma Ameen

    • @munirambarak1202
      @munirambarak1202 8 หลายเดือนก่อน

      Allahumma Ameen

  • @mariamungendakumana6887
    @mariamungendakumana6887 3 ปีที่แล้ว +21

    Mnsha Allah mnsha Allah yaa rabby nijaliyeee mema katika maisha yang niepushe namitihani iloja katika maisha yangu 😭😭🤲🤲🤲🤲🙏🙏🙏🙏 Insha allah😭😭 niepushe na maradhi katika mwili wangu 🤲🤲🤲😭😭😭 Insha allah

  • @AbubarIsmailMsechu
    @AbubarIsmailMsechu 9 หลายเดือนก่อน +30

    Hiii Dua Ina saidia sana kuondoa majini nawashirikina,,
    Weka kifuani sikiliza kadri uwezavyo itakusaidia kwa kudra za ALLAH

  • @teacherhassan5260
    @teacherhassan5260 2 ปีที่แล้ว +15

    Shukraan Jazeela..Qur'an ni tiba na pia ni Ukumbusho tosha...Ni maneno ya ajabu yanayotuliza hata nyoyo za wasokuwa waislamu❤️❤️❤️
    Jazakallah khayr

  • @HajraSaidMmbaga-ts5zr
    @HajraSaidMmbaga-ts5zr ปีที่แล้ว +3

    Allah nakuomba katika duwa ninayoisikiliza iwe tiba yakunitibu mm na wanangu na familia yangu yaraby kila penye uzito utupe wepes tuondolee maradhi makubwa yaraby na utuondolee mitihan ya dunia tujaalie mwisho ulio mwema yaraby na utupe kila tukuombalo yaraby tujaalie tuishi vzr na watu yaraby mrehem baba angu mzee said muepushie adhabu ya kaburi pamoja na ndugu zangu wote waliotangulia mbele ya khaki takabal duwa tujaalie tuwe miongoni miongoni mwa waja wako wa peponi mm nq familia yangu tujaalie maisha marefu yenye kheri amiin yaraby takabali duwaaaa

  • @najmajoneke7413
    @najmajoneke7413 2 ปีที่แล้ว +10

    Masha Allah Alhamdulillah Shukurni Sana Kwa Quran Hii Tukufu Alhamdulillah Hakika Kwa Allah Hakuna Linalo Shindikana ali Ya Jana Tofauti Na leo Alhamdulillah 🤲🏾🤲🏾🤲🏾🤲🏾

  • @aishayusuf6862
    @aishayusuf6862 3 ปีที่แล้ว +42

    Maasha Allah Allah atukinge na mabaya yote dhidi ya mashetwan Amiin 🤲🤲🤲

  • @naimarasheed5857
    @naimarasheed5857 2 ปีที่แล้ว +30

    Kwa uwezo Wa Allah najua mitihani ninayo ypitia kila siku in shaallah kwa uwezo Wa Allah itakwisha tu naomba unipe nguvu uvumilivu na afya njema hakuna unalo shindwa mungu wangu in shaallah 😭🙏

  • @fatumaharuna8625
    @fatumaharuna8625 2 ปีที่แล้ว +7

    Alhamdulillah Yani na Mimi Leo ndo naioa hii hapa naisikiloza jinsi ninvyojisikia Allha ndo anajua,shekhe Allha akulipe kheri,amiin,hili si jambo dogo utatutibu wengi ishaallha

  • @faridajumafarinajuma1511
    @faridajumafarinajuma1511 2 ปีที่แล้ว +124

    Kwakweli hi tiba wallah Jana usiku nimesikiliza mambo yalonitokea hakika nimemshukuru Allah maana nimesikia vitu vinatembea mwilim mwangu Kama vinatoka kisha Maumivu niliyokuwa yananitesa yamepotea kwakweli Neno langu nikusema Alhamdulillah Allah aendelee kunitibu kwa quruan yake tukufu kila kilichojificha katika mwilin mwangu kwakunitesa kiondoke Nanibaki huru "Nakuombea nawe Shekh wetu Allah akulipe naakuifadh naakulinde na Mabaya Uwepo wako uwepo ili Uendelee kutulinda Nasi kwakutuba daawa ya kisomo

  • @ChanjoMc
    @ChanjoMc ปีที่แล้ว +5

    Mashaallah ninavyozidi kusikiliza Qur an tukufu ndipo navyozidi kupata amani ndani ya nafsi yangu

  • @azizaallliez7627
    @azizaallliez7627 3 ปีที่แล้ว +11

    Mashallha kila mwenye shari na mimi yatamrejea mwenyewe kwa uwezo wa allha tulindiee na mabalaa mola wanguu tuepushe na kila ushirikina na kila bayaa amin yarrabi

  • @josephmuiya2934
    @josephmuiya2934 2 ปีที่แล้ว +50

    Mwenyezi Mungu nakuomba kupitia dua hii kutoka kwenye quran yako tukufu uniodolee kila mabalaa na makafara na matatizo yote yaliyo kusudiwa ndani ya mwili wangu amin

    • @chazcode-fl9jo
      @chazcode-fl9jo 7 หลายเดือนก่อน

      Amin amin ya rabbialamin🙏🤲

    • @Zainabu-mv9cf
      @Zainabu-mv9cf 6 หลายเดือนก่อน

      Eee mola wangu kupitia dua hii naomba uniondolee vifugo ktk mwili wangu pamoja na mashetwani wachafu Allah nakuomba nisaidie

    • @Zaharaamanzi
      @Zaharaamanzi 5 หลายเดือนก่อน

      ALLAH S.W naomba uniondolee mitihani ya dunia yote majini yote na uchawi wote uondoke kwangu na usirudi tena Allah s.w niondolee vifungo vyote vya kibina damu kuanzia sasa niwe huru kupitia dua hii nisiandamwe tena na shiriki amina

    • @HusseinTajiri-c3o
      @HusseinTajiri-c3o 5 หลายเดือนก่อน +1

      Eee Allah kupitia dua hii naomba uniondolee mabalaa na unikinge na shiliki za watu wkalibu na uzid kunionesha maadui zng npte kuwajua ili niwaepuke

    • @msfaridahliheye5799
      @msfaridahliheye5799 4 หลายเดือนก่อน

      Ya Allah kwakupitia Dua Hii Ya Rukaya, Naomba uniondoleee Nuksi, Uchawi, NA Vifungo Vyogyote nilivyorumiwa na wachawiiiii MAHASIDI, NA SHAYTWAM, LAANA ZAKUTOPATA MCHUMBA NA MAFANIKIO ZIFUNGUE ALLAH kwakutumia Dua Hii Inshaaallah

  • @fatmanasor6362
    @fatmanasor6362 2 ปีที่แล้ว +10

    Alhamdhulillah nashukuru Allah kwakunionyesha njia iliyo sahihi Alhamdhulillah naamini Quran n tiba kamili 🤲🤲🤲

    • @zamojuma9920
      @zamojuma9920 2 ปีที่แล้ว +2

      Ya Allah nakuomba mungu wangu uniwekee wepes katika mazito nayopitia nijalie nipate mume mwiisilamu ya rabi bila wewe Mimi siwezi nipekipato Cha halali nirehemie wazazi wangu mabibi na wakubwa zangu na ndugu na jamaa walio tangulia mbele za haki inshallah

    • @timesaleh6756
      @timesaleh6756 2 ปีที่แล้ว +1

      Utapata mume mwenye heri na wewe na kila mwenye kuhitaji basi Allah amtatulie shida zake

  • @aminajuma7162
    @aminajuma7162 2 ปีที่แล้ว +6

    Mashaallah ❤ nashukru kwa kupata hiki some japo kwa mtandao lakini kimenipa imani ndani yamoyo wangu maana niko na matatizo mengi ndani ya mwili wangu kwa uwezo wa ALLAH na imani yangu kitanitibu kwa imani yangu.

  • @zainaramadhan4034
    @zainaramadhan4034 3 ปีที่แล้ว +10

    Mashaallah Allah anijalie uzima na afya njema niendelee kuisikiliza kila siku maan nina mengi mazito allahumma ameen 🤲🤲🙏🏾🙏🏾😓

  • @husnaabdulrahman8457
    @husnaabdulrahman8457 3 ปีที่แล้ว +7

    Allah atutatulie dhiki na mitihani ya mahasidi atujalie wepesi kwa aya hizii yarabi

  • @RamadhanijumashemzingwaShemzin
    @RamadhanijumashemzingwaShemzin ปีที่แล้ว +12

    Ya allh nakuomba kupitia Qur'an yak tukufu uniondolee maradhwi yanayo nisumbua mwili na unijalie niwe afy njema na unijalie niwe mwenye kuipenda Qur'an ishaallh na utujarie mwisho mwema❤ 8:57

    • @combination203
      @combination203 5 หลายเดือนก่อน

      Ya Allah niondolee wasiwasi na hofu nimeteseka sana na Imani dua hii itaniponya

  • @ukhtyhumairah73
    @ukhtyhumairah73 ปีที่แล้ว +4

    Allah nakuomba unizidishie imani ndani ya moyo wangu unisame napo kosea mimi na waislam wenzag yaa rabbii

  • @tumuabdallah9663
    @tumuabdallah9663 3 ปีที่แล้ว +8

    Mashaallah Allah Awajaaliye umri mrefu muzidi kutufanyiya duwa zakutuepusha nashari

  • @wardmohamood5845
    @wardmohamood5845 2 ปีที่แล้ว +8

    Amen Allah atuondolee mabay Nami pamoja na Familia yngu atufanyie wepesi kweny nzito maradhi vifungo viishe

  • @delphinebusongo7078
    @delphinebusongo7078 ปีที่แล้ว +3

    namshukuru Allah kwa kunipa nafasi hii kwa mara ya kwanza tangu nimeolewa na kubadili dini nimepata faraja kusikiliza hii dua. nimepitia misukosuko mingi namuomba Allah anijalie afya njema mimi na familia yangu anilinde dhidi ya hasadi za walimwengu atimize haja ya moyo wangu inshallah!

  • @bunuadiyo5944
    @bunuadiyo5944 3 ปีที่แล้ว +13

    Masha Allah.Mwenyeezi Mungu atujaalie Kila la heri in Shaa Allah.
    Amin Amin Amin

  • @Aminajuma-q1y
    @Aminajuma-q1y 8 หลายเดือนก่อน +8

    Kwa mitihani niliyokua nayo ewe mwenyezimungu niondoshee kupitia Quran hii amiin 🤲

  • @ashashaban6484
    @ashashaban6484 2 ปีที่แล้ว +5

    ALLAH AKULINDE ZAIDI NA SHARI ZA WALIMWENGU SHEIKH WETU NA AKUUJAALIE KATIKA WATU WA PEPONI INASHALLAH NA MIMI NAMUOMBA ALLAH ANIONDOSHEE MARADHI HASADI MAADUI WALONIZINGUKA KOTE KWENYE MAINSHA YANGU NA FAMIRIA YANGU ALLAH ATUJAALIE UPONYAJI KUPITIA DUA HII INSHALLAH NA ATUJAALIE MWISHO MWEMA WAISLAAM WOTE ULIMWENGUNI ISHALLAH

  • @sharifashabani7182
    @sharifashabani7182 3 ปีที่แล้ว +19

    ALLAH AKULIPE DUNIA NA AKHERA INSHAALLAH

  • @AliMohamed-ng5ps
    @AliMohamed-ng5ps ปีที่แล้ว +3

    Ya ALLAH ss waja wako tufanyie wepesi kwa kila mtihani tunayopitia ya RABBI tuondolee matatizo mwilini mwetu ya RABBI kupitia dua hii sheikh ALLAH akujalie mema duniani na akhera amiiiiiiiin

  • @omarykatongo4943
    @omarykatongo4943 4 ปีที่แล้ว +58

    Allah atujaalie wepesi ktk kila la kheri na atuepishe na kila la shari, bi idhnihii

  • @enzoon5796
    @enzoon5796 2 ปีที่แล้ว +9

    Penye uzito allah atufanyie wepesi atuondolee maradhi inshallah 👏

  • @tamarablack254
    @tamarablack254 ปีที่แล้ว +7

    Mungu na anifanyie wepesi kwa kila jambo langu, Insha'Allah 🙏.....Nipe amani ya moyo na furaha kwa jamaa zangu.....Niondolee Husda ,mikosi na nuksi za wabaya....Allah Wakbar

  • @zainabalex9810
    @zainabalex9810 ปีที่แล้ว +11

    Alhamduliliah yarabi naomba kupitia Dua hii ikapate kuniodoshea Kila lililo baya Kwngu inshallah

  • @pilicharo4123
    @pilicharo4123 2 ปีที่แล้ว +8

    mashallah dua hii uwa naipenda kuisikiliza nikisikiliza navizuri allah anijalie niendelee kusiliza

  • @mwajeyhassan9248
    @mwajeyhassan9248 2 ปีที่แล้ว +16

    Tunashuk kwa kisomo hiki Allha atufanyie wepesi wote wenye huitaji.

  • @babykasisi307
    @babykasisi307 ปีที่แล้ว +26

    Masha Allah. Namuomba Allah anijaalie rizki ktk shughuri zang, aniondolee husda mbaya, aniepushe na mabalaa, anikingu na maradhi makubwa na madogo, awaajalie watoto wang elimu dunia na elimu akhera wawe vichwa wasiwe mkia, amfanyie Mama yangu wepesi na kumuondoshea maradhi makubwa na madogo, atujalie familia tyweze kuelewana na kuoendana. Amiina Insha Allah

    • @zainabalex9810
      @zainabalex9810 ปีที่แล้ว +2

      Amiin yarabi

    • @juliusaloyce5526
      @juliusaloyce5526 ปีที่แล้ว +1

      Manshalla🙏

    • @zuenaali7391
      @zuenaali7391 ปีที่แล้ว +1

      Amiin ya Allah

    • @AnitaMalko
      @AnitaMalko ปีที่แล้ว

      Masha Allah naamini atatizo yangu yataisha nasumbuliwa na mashweitani yakiwanga,

    • @fatmahassan8153
      @fatmahassan8153 4 หลายเดือนก่อน

      Ameen

  • @jumamuhammed2777
    @jumamuhammed2777 ปีที่แล้ว +3

    Yarib wandoshe maradhi walionayo wanangu mugunisaidie zidikunipa shufa🤲🏼🤲🏼🤲🏼amiin amiin amiin👩‍👩‍👦‍👦💕💕💕💕💕

  • @ASHURAASHURA-jx2if
    @ASHURAASHURA-jx2if ปีที่แล้ว +1

    Yaaa allah yaaa allah ninakuomba mola wangu mlezi kupitia dua hii yarabi ninakuomba nikaondokewe NA kila shali kila husda kila mikos kila nuksi NA kila balaa NA nikapone kila maumivu ninayo yaskia mwilini mwangu pia nikathaminike NA kuonekana kazini kwangu maana hata nifanye jemagan sionekan sionekan lkn nasema alhamdulilah kwa rehma zako alaah yote yataisha nanitakaa sawa NA kazin nitaonekana NA kukubalika inshaallah allah qarim❤❤❤❤❤❤

  • @medmusmus
    @medmusmus 10 หลายเดือนก่อน +27

    Eee mwenyezi Mungu naomba uniondoxhee shetwan aliyeko kichwani mwangu kupitia dua hii AMIN Amin

    • @ShamimMsofe
      @ShamimMsofe 7 หลายเดือนก่อน +1

      Atakuondoshea inshalah

    • @RukiasalehRamadhani
      @RukiasalehRamadhani 7 หลายเดือนก่อน +1

      Pole ujlnajisikiaje

    • @KuluthumShokath
      @KuluthumShokath 6 หลายเดือนก่อน

      ❤❤❤​@@ShamimMsofe

    • @allysamjo2628
      @allysamjo2628 6 หลายเดือนก่อน +1

      Amin Allah akufanyie wepesi

    • @AhmedTajdin-x8y
      @AhmedTajdin-x8y 5 หลายเดือนก่อน

      Lll
      ​@@ShamimMsofe

  • @safiasleiman6176
    @safiasleiman6176 3 ปีที่แล้ว +12

    Tunaomba za kudawnlod maalim hii haikubali kudawnlod kwa kweli ni nzuri sana

    • @mwakakigona2803
      @mwakakigona2803 2 ปีที่แล้ว

      Dah kweli haikubal

    • @SULUMUABDUL
      @SULUMUABDUL 8 หลายเดือนก่อน +1

      Mungu nifungue kwenye vifungo vibovu nipe amani ya moyo nilinde na usda za waja walinde wanangu na mume wangu namzazi wangu amina nisamee makosa yangu

    • @sameonesample4548
      @sameonesample4548 7 หลายเดือนก่อน

      Mm pia nimeshindwa jamani msaada

  • @nurujuma-qs4jr
    @nurujuma-qs4jr ปีที่แล้ว +6

    Yaa Allah nakuomba kupitia dua hii km kuna kitu chochote kibaya kimo ndani ya mwili wangu,ndani ya nyumba yangu,ndani ya familia yangu basi insha'Allah leo yote yaishe na yatoke kwa uwezo wako sw pia muondolee mama angu mzazi magonjwa yote na arudi ktk hali yake ya kawaida pia na mama mkwe wangu nifungulie millango ya risk na undoe nuksi kwenye familia yngu zidi kuwapa uelewa wanangu ktk elimu ya ekhera na dunia waepushe na majanga ya dunia ya rabilla allamina 🙏🙏

    • @rahmaally9151
      @rahmaally9151 8 หลายเดือนก่อน +1

      Ameen yarrab

    • @chazcode-fl9jo
      @chazcode-fl9jo 7 หลายเดือนก่อน

      Amin amina yaarabbi takabal dual!

  • @jamilamtemi3429
    @jamilamtemi3429 6 หลายเดือนก่อน +1

    ALLAH nakuomba kupitia Dua hii nakuomba msamaha mimi na familia yangu, pia nakuomba uwarehemu wazazi wetu, nakushukuru kwa kila jambo, nakuomba unifanyie wepesi mimi na familia yangu na dunia nzima kwa kila gumu tulilonalo na tunayoyapitia , ALLAH nakuomba kwa ajili ya watoto wangu wawe watoto wema wenye hofu ya M.Mungu na wenye kuheshimu wakubwa na wadogo, wakawe vichwa mashuleni na sio mkia ukawalinde na mabaya na kila hasadi za ulimwengu huu, ALLAH nakuomba kwa kupitia Dua hii ukailinde Ndoa yangu na kila hasad na husda za walimwengu kila aliekusudia bay limrudie mwenyewe. Pia nakuomba uzilinde na Ndoa za wengine. Allah nakushukuru kwa kila jambo. Allahuma Amin 🤲

  • @TausRamadan-fq9zd
    @TausRamadan-fq9zd ปีที่แล้ว +4

    Ewee Allah nakuomba kupitia dua ukaniondolee maradhi yote katika mwili wangu 🤲🤲🤲

  • @khadijasalum2302
    @khadijasalum2302 4 ปีที่แล้ว +31

    Shukran jazakallahu lkhair biidhnillah in shaa Allah matatizo yetu yoote yatatoka kwa hichi kisomo yaarab

  • @zeanamleri5530
    @zeanamleri5530 3 ปีที่แล้ว +8

    Alhamdulillah Mwenyezi MUNGU akuzidishie heri in sha allah. Shukrani.

  • @HajraSaidMmbaga-ts5zr
    @HajraSaidMmbaga-ts5zr ปีที่แล้ว +3

    Nikiisikiliza hiki kisomo wallah nafarijika Sana na piya Mambo yangu yanakua mepes yaraby naomba unijaalie kheri mja wako Ni unipe mwisho mwema na unilindie wanangu huko wako uaepushie mitihan ya maisha yao na uwape hekma na busara wapendwe na Kila mtu mabaya uwaepushia mahasid wasiwaone waepushie maradhi wanangu yaraby wajaalie Wawa nahofu na wewe mola wetu ameen yaraby

    • @BossSofi
      @BossSofi หลายเดือนก่อน

      Amin

  • @muhidinishauri5035
    @muhidinishauri5035 3 ปีที่แล้ว +9

    Mwenyezi mungu atufanyie wepesi katika kila jambo amin!!

  • @swabrinazuberi
    @swabrinazuberi ปีที่แล้ว +3

    MashaAllah Allah aniepushe na USDA zinazoniadama Amin insha'Allah

  • @tatukais6367
    @tatukais6367 3 ปีที่แล้ว +18

    Allaah awalipe maana tunapata falaja kubwa in shaaalh

  • @reenkim8390
    @reenkim8390 9 หลายเดือนก่อน +2

    Eee Allah nilinde na Hasadi za huu ulimwengu… nipe muongozo mzur wa kuku tumikia kila siku niamkapo….linda familia yangu katika mabaya Allah ….. fungua riski ndogondogo na zile kubwa kubwa katika maisha haya ulio tupatia ya mda mfupi apa duniani…. Nilinde na magonjwa yasinipate.. nijaalie mume bora wa kunipenda na haliyangu pamoja na familia yangu.. hakika Allah nijaalie mwisho mwema 🤲 inshaallah nikiomb na kwakuamini ndivyo itakavyo kuwa… Amin 🙏

  • @whitesavage6931
    @whitesavage6931 ปีที่แล้ว +10

    Mashallah Allah ndio mjuzi wa yote na ndio anayetoa uponaji pia Allah anajua mja wake mitihani yangu ninayopita kwasasa nakuomba kupitia dua hii awezekunifungulia mambo yangu na mitihani yangu anaondolee Inshaallah 🙏😭

    • @SabrinaAmana
      @SabrinaAmana ปีที่แล้ว +2

      Inshallah

    • @faridasabir6571
      @faridasabir6571 ปีที่แล้ว +1

      Inshallah amin

    • @ukhtymdee8557
      @ukhtymdee8557 ปีที่แล้ว

      Alahumma Aaaamin Yarababy Allah min allah tupokelee duwa na utuondoshee kila shar zi tokanazo na majin na bina damu ewe Allah hakika hatun shaka juu yako twa kuomba wew mwenye kuruzuku hakika tuzuruku afya njema sis na walioko ma hospital na utuepushe na kila husda na shar za majin na bina damu ewe mola wetu hakik wew ulie tukuka tukubalie duwa zeetu 🤲🤲😭😭

  • @aishalibaba
    @aishalibaba 8 หลายเดือนก่อน +1

    Mashallah mashallah alhamdu lilah ee mwenyezimungu muumba wavyote kupitia qulhan tukufu naomba uniondoshe namaradhi ya kishetwan ,uniepushe nahusda uniepushe nakila baya na unijalie mwisho mwema wa kukuabudu yarabi qarem

  • @mwajumafundi4045
    @mwajumafundi4045 2 ปีที่แล้ว +41

    Ewe Allah nijaalie mm na ndugu zangu waislam wenzangu utulinde na husda na utuondolee magonjwa na uendelee kutulinda na wabaya amiin🙏🙏🙏

  • @lisaabdallah1415
    @lisaabdallah1415 16 วันที่ผ่านมา +1

    Ewe mwenyezimu namba unismehe mja wako mimi ni mkosefu naomba nirehemu wewe ni wingi wa rehema nakuomba kupitia dua hii naomba nivuke salama mwaka huu 2024 mimi na familia yangu utuepushe mabalaa na rahana na mashetani na uchawi amin

  • @faridasabir6571
    @faridasabir6571 ปีที่แล้ว +6

    Mungu mkubwa sasa moyo wangu umetulia kwa kusikiliza hii dua

  • @SaidGongo-rd2rd
    @SaidGongo-rd2rd 11 หลายเดือนก่อน +1

    Alhamdulillah Mwenyezi Mungu kupitia Dua hii naomba uniponye matatizo yangu pia umponye mama angu kipenzi amekua mtu wa kukosa amani kwa kisumbuliwa na WACHAWI pia Mwenyezi Mungu naomba kupitia hii Dua iimarishe nyumba yangu maana maajabu hayaishi nyoka, paka na ndege wanakufa pasipo kupigwa mawe 🤲🙏 nitashukuru sana kama utaimalinsha kwa yeyote anaekuja vibaya basi aaibike na asifanikishe kitu kibaya anachotaka kukifanya " Allahuma Amiin 🙏 🤲..!

  • @bintihemedmwarundu4615
    @bintihemedmwarundu4615 2 ปีที่แล้ว +20

    Yarabi anipatie subra katika kazi zangu ,anifungulie rizik, mwenye hubaya na mm humrudie inshaaallah🤲🤲

  • @KINGOFLOVE-lc2nb
    @KINGOFLOVE-lc2nb 7 หลายเดือนก่อน +1

    YAALLH kupitia kisomo hiki Nina kuomba niondolee maradhi ya kichwa nuksi Asadi na sihiri nilizo wekewa na familia yangu Na Mwanangu nasri umuwezeshe kutambaa kwa araka kwa kudra zako yarabi subuhnna Allah muondolee matatizo sugu mke wangu swaumu m,bwana Alihamdu lilakhi

  • @ladukarisa6968
    @ladukarisa6968 3 ปีที่แล้ว +17

    Ewe Mwenyezi Mungu tujaliye mwisho mwema

  • @ZawadiHassan-r6d
    @ZawadiHassan-r6d ปีที่แล้ว +1

    Mashallah ❤ yaarabi nijaliae mm nafamiliy yangu utuondole Maradha makubwa namadoge nautuepushe nahawa Madui watu namajini namashetwan wote watokomeze utupe mikono.yenye Barak tele amiin ❤❤❤❤

  • @nuruddin5074
    @nuruddin5074 2 ปีที่แล้ว +5

    MASHALLAH MASHALLAH ALLAH AKUJAALIE KILA LA KHERI SHEIKH WETU NA FAMIRIA YAKO ALLAH AIJAZE NURU INSHALLAH

  • @HabibaIddi-b5q
    @HabibaIddi-b5q หลายเดือนก่อน

    Yaalah nijalie mwisho mwema yaalah jaliaa kizazi changu kiwr na hofu allah waapushie matatizo ya kidunia niondopee mawazo niweze kuishi inchi ya watu kwa amani Amin yabii

  • @zayyatiyussuf9566
    @zayyatiyussuf9566 4 ปีที่แล้ว +36

    Mashaallah Shukran Allah awajalie nanyi afya njema awastri na mitihani kwa rehema zake Allah

  • @FatumaShabani-b8z
    @FatumaShabani-b8z 3 หลายเดือนก่อน

    Ewe. Mwenyezi mungu. Niondosheearadhi. Yote ndani ya mwilili. Wangu na uwaponye wote wenye maradhi kama Mimi na utupe mwisho mwema amin

  • @bety1995
    @bety1995 ปีที่แล้ว +5

    Allah anijalie katika MAISHA yangu na familia yangu,anisimamie katika Kila jambo langu

  • @OmaryPitanalako
    @OmaryPitanalako 16 วันที่ผ่านมา +1

    yalabi nakuomba mola wangu nifungulie rizik kwawingi wateja waje waloweka ahad waje nakuomba nipe subla namwisho mwema ishallah

  • @neemarashed3391
    @neemarashed3391 3 ปีที่แล้ว +6

    Mashallah tabarakallah,ya allah ijalie iwe tiba kwa waislam wote

  • @lisaabdallah1415
    @lisaabdallah1415 3 หลายเดือนก่อน +1

    Eh mola wangu nakuomba unisamehe mimi nimkosaji naomba uniponye maradhi yote ya kiuchawi katika mwili wangu na unikinge na masheta wabaya na unikinge kupitia dua hii ninayoisikiliza sasa hivi iwe kinga kwangu mimi na familia yangu Amina

  • @saidyosmany7143
    @saidyosmany7143 2 ปีที่แล้ว +3

    Ewe mwenuezi mungu kupitia qur-an hii naomba unilinde mimi na mume wangu na husda zote za dunia na kuniponya maradhi yanisumbuayo katika mwili wangu inshallah

  • @SuleAli-xn6wk
    @SuleAli-xn6wk 3 หลายเดือนก่อน +2

    Yaa rabbi nakuomba kupitia dua hii unifungulie mambo yangu yaende biashara zifunguke nipate kulipa madeni ya watu naumia sana kusemwa vibaya na wanaonidai wanaona kama sitaki kuwalipa

  • @nadiafahad3926
    @nadiafahad3926 2 ปีที่แล้ว +7

    Masha Allah, Jazzakhah Allah khery namuombea M/mungu aniondoshee aya mazito niliyo nayo ,nipo mbali na family Allah aniondoshee aya maradhi na anifanyie wepesi katika utafutaji wangu pia nipate ridhiki kwa wepesi🤲🤲

  • @IbrahimPalangyo
    @IbrahimPalangyo 2 หลายเดือนก่อน

    Hee mwenyenzi mungu usiye shindanishwa nachochote mponye mke wangu nahii duah umutoe azadi zote ziweza ndugu ziwe za marafiki ziwe za binadam wabaya ziwe zafamilia zakwao nakuomba mponye yaraby nakuomba utupe kizaz chema molla wetu ulie jahaliwa roho yauruma

  • @hamidahamada3913
    @hamidahamada3913 3 ปีที่แล้ว +24

    Jazaakallahu khayral jazaa Sheikh, Allah atutatulie mazito yawe mepesi.... Allahumma Ameen

    • @ajumaakange1483
      @ajumaakange1483 3 ปีที่แล้ว +2

      Amini yarabla Amin 🙏🙏♥️♥️

    • @mudyzuber6500
      @mudyzuber6500 3 ปีที่แล้ว +2

      Jazakallaah lkheri

    • @abuunuwairibin7569
      @abuunuwairibin7569 2 ปีที่แล้ว

      اللهم آمين يارب العالمين 🤲

  • @MasoudIddi-n5p
    @MasoudIddi-n5p หลายเดือนก่อน +1

    Alah nakuomba kupitia kurani tukufu iondolee familia yangu yote husda zote.zilizo mwilini mwao wafungulie ufahamu watoto wangu katika masomo yao

  • @maidajuma9331
    @maidajuma9331 ปีที่แล้ว +11

    Kupitia dua hii namwomba Allah atulinde mie na familia yangu dhidi ya hasadi za walimwengu na kutujalia Afya njema

  • @KwiniHassani
    @KwiniHassani หลายเดือนก่อน +1

    Yarabi nakuomba unitolee haya maradhi yanayotoka na hasadi uchawi unipe ulizi Mimi na watoto wangu na unijalie mwisho mwema amina

  • @mwanasaidi5092
    @mwanasaidi5092 2 ปีที่แล้ว +5

    Mashallah, YAA ALLAH NIPE SHIFAA kwa haya matatizo niliyonayo ndani ya mwili wangu🤲🤲🤲

    • @BENJAMINMWINUKA-zn5xc
      @BENJAMINMWINUKA-zn5xc ปีที่แล้ว

      Nasumbuliwa na Jini mahaba. Kwa hii Dua naomba mwenyezimungu nitolee huyu kiumbe mbaya mabaya mengine yaliyokusudiwa kwangu

  • @AshaJuma-p4b
    @AshaJuma-p4b หลายเดือนก่อน +1

    Kupitia qur' an hii ya Allah nakuomba ukaniondoshee kila mitihan ya maradhi nilokuwa nayo yarabb naomba ukanijaalie shifaa,,yarabb naomba ukanifungulie na rizik za halali kwangu na familia yangu
    Allahuma amiin

  • @rukiaathman6247
    @rukiaathman6247 3 ปีที่แล้ว +11

    MashaAllah Allah anijaalia niweze kuiskiza kila siku InshaAllah

    • @habibasaidi5206
      @habibasaidi5206 2 ปีที่แล้ว +1

      Ewee mwezi mungu nijalie dua hii Mimi na familia yangu

    • @Chrispinewangole
      @Chrispinewangole 6 หลายเดือนก่อน

      Amiin

  • @ASHURAASHURA-jx2if
    @ASHURAASHURA-jx2if ปีที่แล้ว +1

    Yaallah nakuomba kupitia dua hii kwa imani yangu mm kama mzazi kama mama naomba wanangu waondokokewe NA husda masheitwan majina ka kilichojificha kikafichuke kupia dua hii NA nguvu zako allah wape ulinz wako adui asiwe NA nafas abadan kila mwenye kusu uyu kuwafanyia ubaya aka aibike hazalani pia wajalie wtt wangu wawe wtt bola wenye maadili yako NA hofu yako pia wafike mbali kielimu ya dini NA elimu ya kizungu kwa rehma zako inshaallah ❤❤❤

  • @rashidkinje2806
    @rashidkinje2806 2 ปีที่แล้ว +6

    Mashallah ..naona mabadiliko ya maradhi yaliyokuwa yananisibu...
    Mungu mkubwa..mungu mkubwa..mungu mkubwa...allhu Akbar..

  • @TelmaWilliams-np2ph
    @TelmaWilliams-np2ph 6 หลายเดือนก่อน +2

    Masha Allah,Mimi n mkristo ila nmekuwa nikisikiliza hii dua kila siku usiku nashukuru ndoto mbaya n kushutuka usiku usiku hyo hali imepungua sana

  • @enzoon5796
    @enzoon5796 2 ปีที่แล้ว +6

    Ya allah tuondoree hasadi katika familia yetu inshallah na umponye mama yetu inshallah 🙏

  • @AzzaSoud-ij8by
    @AzzaSoud-ij8by 9 หลายเดือนก่อน +1

    Ya Rabb Alaamiin Azza wa Jal,Muumba wa mbingu na ardhi,mwenye kurehem,neema kubwa kubwa na neema ndogo ndogo..nikaomba na kutubu mbele zako Allah,nayakabidh maisha yangu,wazazi wangu,wangu,mume wangu na ndugu zangu..ya rabb tuongoze katika njia salama na yenye kukupendeza.tusamehe madhambi yetu,tujaalie mwisho mwema ya Allah.kupitia duah hii naomba unifungue vifungo vyote ima vya binaadam ama majini,hakuna linaloshindikana kwako Allah.tabaqal duah 😢🥹🤲