SOMA DUA HII MARA 3 TU NA SHIDA YAKO YOYOTE ITAKWISHA NDANI YA SIKU 3 | MADENI, NDOA, MISUKOSUKO N.K

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ส.ค. 2024
  • #riyadhTvZnz #zanzibar

ความคิดเห็น • 232

  • @WaSurupwenye-vg4ts
    @WaSurupwenye-vg4ts ปีที่แล้ว +8

    Aslam aleykum , shukrani Shekhar Kwa Dua Mungu akuzidishie ... naomba kuadikiwa hiyo Dua niweze kuihifadhi kichwani Inshallah

  • @ShariffAroun-qm7ri
    @ShariffAroun-qm7ri ปีที่แล้ว +3

    ALLAH akuhifadhi shekhe wetu na akuongezee maarifa zaidi,. Naomba kuuliza
    Ktk hizo adhkari ulizotufundisha inatakiwa kuzisoma zote au unachagua utakayoipenda ndiyo udumu nayo?
    Na inafaa nikadumu nayo kuisoma Kila baada ya SWALA ya faradhi au Sunaa au nikiwa safarini na yafaa kuzidisha hiyo idadi mfano nkaamua kuisoma mara 500 au zaidi yafaa

  • @firdausmaulana6548
    @firdausmaulana6548 11 หลายเดือนก่อน +8

    ربي لا تذرني فردا وأنت خير الوارثين..
    ربي اني لما أنزلت إلى من خير فقير...
    لااله الا انت سبحانك اني كنت من الظالمين ×١١٠...

  • @HajrahRamadan
    @HajrahRamadan 2 หลายเดือนก่อน +2

    Assalamu alykm warahmatulah wabarakatu,she mimi ni mgonjwa najitahidi kukufatilia na kuyafanyia kazi bado Mungu hajanijibu nisaidie nipone na anifungulie milango ya heri mm niwamajanga tu,

  • @HusnaLibuburu
    @HusnaLibuburu 8 วันที่ผ่านมา

    Yaan Allah nifanyie wepesi na mm nilipe madeni kabla hujanifisha na nimpate mume bora mwny kheri na mm

  • @musasaidi5919
    @musasaidi5919 ปีที่แล้ว +12

    Mashaa Allah Tabarakallah
    Very insightful and inspiring , informative and educative. Glory be to Allah.

  • @ffed1876
    @ffed1876 ปีที่แล้ว +6

    Aamin Mola atuwezeshe tu dumu na adhkari shukran sheikh wajaza kumu llahu lkheyr.

  • @user-vm5yf8cs2r
    @user-vm5yf8cs2r 4 หลายเดือนก่อน +2

    Allahumma ameen YA RABBIL Alamiina
    Allah TAQABAL DUA

  • @zuwenasalum4660
    @zuwenasalum4660 ปีที่แล้ว +6

    JazakkaAllah lkheir ya sheikh. Allah akulipe the hapa duniani na kesho akhera biidhniAllah 🤲

  • @user-hs3dg9lc5w
    @user-hs3dg9lc5w 28 วันที่ผ่านมา +1

    Shukran shekhe wetu

  • @frdosr5794
    @frdosr5794 ปีที่แล้ว +2

    Mashallah tabarakalah,Jazzak Allahu khayran shekhe.Ila naomba kuandikiwa hizo azkar na dua maana mimi ni msilimiwa katika dini.

  • @user-vm5yf8cs2r
    @user-vm5yf8cs2r 4 หลายเดือนก่อน

    MashaAllah tabara Rahman
    Mafunzo mazuri yenye faida usitusahau Kwa DUA kila mgonjwa spate nafuu
    Shukran sana shekh

  • @AziminaSalumu
    @AziminaSalumu 7 วันที่ผ่านมา

    Asalaam aleykum warhamatullah wabarakatuh shehe ni mara yangu ya kwanza kusikiliza nisaidie kwa dua nina maradhi ya muda mrefu Allah akupe daraja la juu utusaidie wenye mitihani

  • @munirasayd7340
    @munirasayd7340 ปีที่แล้ว +9

    Naomba shehe uniombee dua namiye nipate kufunguliwa maradhi nanipate kuposwa nakuolewa nakuomba shahe

    • @Shabankitunga
      @Shabankitunga ปีที่แล้ว

      Kusema kweli tunaomba duazako hasa hizi ulotutajia ilasie astaghfiruu Allah mdawetu kilingana nakazi zeetu nimchache sana bilayakupuumzika Allah shaahiid

  • @cishahayoali1136
    @cishahayoali1136 ปีที่แล้ว +2

    Mashaallah! Shukran kwa darasa lenye kutikisa nyoyo! Jazakumu llahu jannah! Ameen!

  • @khadijaathumanikhadijaathu9031
    @khadijaathumanikhadijaathu9031 ปีที่แล้ว +1

    Mashaallah shukurani ustadhi kwaukumbusho lnshallah Allah subuhana huwataara uzidi kukuongoza sheikhe katka Heli lnshallah

  • @AishaChoholo
    @AishaChoholo 3 หลายเดือนก่อน

    Ya Allah nijifungue salam mtt mwenye afya njema mwenye Imani ya mungu eee mung nipate mtt alie kamili na mzima wa afya .....baba wa mtt ampend mwanae daima😢

  • @amidafatacky
    @amidafatacky ปีที่แล้ว +7

    LAA ILLAHA ILALLAHU SUBHANALLAH INNI KUNTU MINA DHWALIMINA ×110
    ALLAHUMA SWALI ALA SAYIDDINA MUHAMAD,
    WA ALIHI WA ASHABIHI WASALIM ×1440
    RABBI INNI LIMMA ANZALTA ILLAYYA MIN HAIRI FAQIR
    RABBI ANNI MASANIYA DHURU WA ANTA ARHAMU RRAHIMIN
    RABBI LAA TADHARNI FARDAN WA ANTA KHAIRUN WARITHIN
    RABBANA DHWALAMNA ANFUSALAN WA INNA LATARHAMNA LANA KUNANA MINAL KHASIQIN
    SURATUL YASSIN
    VITUO VYA MUBIN... SOMA ALAM NASHRAHA 10

    • @saidatniyonkuru9910
      @saidatniyonkuru9910 7 หลายเดือนก่อน

      Apo kw Mubin sielewi ,unasom ay yot ?

    • @hannahhassan8881
      @hannahhassan8881 22 วันที่ผ่านมา

      Ukifika Kwa mubiin ambayo Iko Kwa suratul Yasin unasoma Alam-nashrah​@@saidatniyonkuru9910

    • @hannahhassan8881
      @hannahhassan8881 22 วันที่ผ่านมา

      Mara 10 alafu waendea na Yasin mpka mwisho Kisha unaomba Dua ya Kila unachotaka

    • @hannahhassan8881
      @hannahhassan8881 22 วันที่ผ่านมา

      Na Kwa suratul Yasin Kuna mumbin 7

  • @shadyazitueni5338
    @shadyazitueni5338 11 หลายเดือนก่อน +1

    Waleykum salaam warahmatullah wabaraqatuh jazaqallah khyr shekhe wet kusem kwel nimepat faid kubwa San allah akujaalie umr mref na weny manufaa ili tuzid kunufaika in-shaa-allah 🙏

  • @user-ju1pl7rr8n
    @user-ju1pl7rr8n 11 หลายเดือนก่อน

    Aslm alkm ww.... Masha Allah!!!! Shukran sana sheikh wetu kipenzi. Allah akujaalie Jannah firdous Yaa Rabb 🙏

  • @mgenihamisi
    @mgenihamisi ปีที่แล้ว +1

    Jazzakallah sheikh Allah akupe umri na afya njema uzidi kutuelimisha

  • @mounah9502
    @mounah9502 ปีที่แล้ว +12

    Dua kwenye maji kwaajl ya maradhi
    RABBI ANNI MASSANYA DDHUR WA ANTA ARHAMU RRAHIMYN

    • @HalimaMrisho-gn1jv
      @HalimaMrisho-gn1jv 4 หลายเดือนก่อน

      Marangapi nasoma

    • @mounah9502
      @mounah9502 3 หลายเดือนก่อน

      @@HalimaMrisho-gn1jv mara3

  • @fatimaiddy
    @fatimaiddy ปีที่แล้ว +4

    Allah akulinde inshallah🙏🙏

  • @zakytsaidy
    @zakytsaidy ปีที่แล้ว +2

    Maxhallaaah 🙏 jazzkaAllah lkheir Allah akuzdixhie Kila liloponyoka kwako my xheh🙏🙏

  • @HalimaMrisho-gn1jv
    @HalimaMrisho-gn1jv 4 หลายเดือนก่อน

    Aslam aleykum kupitia dua hiii naomba baba angu apone shukar napresha mana ipo juuuu sana kupitia dua hiii naomba mama angu apone maradhi yanayo msumbua kifua chamara kwamara mpaka amepoteza nuru😢 yaarabi kupitia dua hiii naomba utufungulie milango kakzangu wapate kuoa wake wema nawachamungu yaarabi kupitia dua hiiiiii naomba nipate mume n wa halali niolew awe mchamungu mwenye kutafut ridhik kwamikono miwili na jasho lake INSHALLAH AMINA 🙏

  • @HusnaLibuburu
    @HusnaLibuburu 8 วันที่ผ่านมา

    MashaAllah sheikh wangu

  • @zahramahammad916
    @zahramahammad916 ปีที่แล้ว +1

    Thanks sheikh for your lessons from Uganda 🇺🇬

  • @user-hb2wd8lu7b
    @user-hb2wd8lu7b ปีที่แล้ว +2

    S hukuran Sana shekhe Allah akuzidishie
    Umri mrefu lnshallah nimejifunza na kuelewa

    • @azzanadam5404
      @azzanadam5404 ปีที่แล้ว

      Alhamdulillah Mmungu Atuhifadhi

  • @ashamaneno6233
    @ashamaneno6233 ปีที่แล้ว +1

    Watching u from Kenya,shukran sheikh Allah barki.

  • @mealiimwamasai3481
    @mealiimwamasai3481 ปีที่แล้ว +1

    MashaAllah jazzak Allah kheir sheikh

  • @MadarakaChilumba
    @MadarakaChilumba 2 หลายเดือนก่อน

    Asalam alekum Allah atujaliye nasi tuwe pamoja kwenye kuifadhi na kujua vizuri dini yetu
    Insha Allah

  • @rehanimaya6992
    @rehanimaya6992 ปีที่แล้ว +1

    Allah akuzidishie kheri shekh wetu

  • @FatumaAli-y3y
    @FatumaAli-y3y 19 วันที่ผ่านมา

    RABIY LAA TADHARINY FARDAN WAANTA KHAIRUNY WARITHIN DUA YA NABII ZAKARIYA YA KUOMBA ALLAH AMPE MTOTO

  • @user-lm4ys1jw1x
    @user-lm4ys1jw1x หลายเดือนก่อน

    Ameen ❤wallah mungu Akufanyi wpes uzid kutuongoz

  • @iddihudu9835
    @iddihudu9835 ปีที่แล้ว +2

    Uko wapi shekh wangu mimi nataka kuombewa dua Nina shida Sana katika utafutaji wangu wa riziki ningepenfa Sana nikuone shekh wangu au nipate mawasiliano yako

  • @zuhulajuma5931
    @zuhulajuma5931 ปีที่แล้ว +1

    Mashaallah swadakta shekh wetu Allah akuhifadhi

  • @nahimanashabani8780
    @nahimanashabani8780 ปีที่แล้ว +1

    Asante sana Allah akupe pepo

  • @WaSurupwenye-vg4ts
    @WaSurupwenye-vg4ts ปีที่แล้ว +25

    Niombee dua namimi nipate mtoto 😭

    • @safiasaleh669
      @safiasaleh669 9 หลายเดือนก่อน +5

      Inshallah mwenyezi Mungu atakujaalia utapata watoto wema inshallah na mvua hizi lkn uwe na mume

    • @AminaIbrahim-mn9wg
      @AminaIbrahim-mn9wg 9 หลายเดือนก่อน +2

      Mwenyezi Mungu akujaalie hitaji la moyo wako ❤

    • @WadahKalumna-gs2kd
      @WadahKalumna-gs2kd 8 หลายเดือนก่อน +1

      Ucjal allah ni mwingi wa rehema mwenyee kurehemu piah ni mkarimu hakika zidi kumwomba dua na kufanya dhikir na kusoma baadh ya majina ya allah piah jitaid kuamkaa kuswali sunna za ucku juu ya hili jambo lako hakika allah atajaliaa utafanikiwaa inshaallah..........

    • @SaidMasoud-cs8kp
      @SaidMasoud-cs8kp 6 หลายเดือนก่อน +1

      Ishallha utapata dada ishallah

    • @vffvff6317
      @vffvff6317 4 หลายเดือนก่อน

      amuka usiku kusali kila siku inshallah utapata 😢😢usijali

  • @gamalashur5412
    @gamalashur5412 ปีที่แล้ว +2

    ASALAM ALEYKUM USTADH UKITUPA DUA TWAOMBA UTWAMBIE IKO SURA GANI AYA YANGAPI ILI.TUPATE TFSIRI YAKE INSHA ALLAH.
    SHUKRAN

  • @mulhatmasoud8450
    @mulhatmasoud8450 ปีที่แล้ว +2

    Mashallah Allah akupe kheiri

  • @mugishanasra9837
    @mugishanasra9837 ปีที่แล้ว +1

    Manshallah mungu akupe kila la kheri shehe wetu

  • @ZuberiKilete
    @ZuberiKilete 22 วันที่ผ่านมา

    Mungu akulinde shekhe

  • @suzanadagos8935
    @suzanadagos8935 ปีที่แล้ว +2

    Mashalla.sheh.mwenye.zu.mungu.akuzi.dishiye.barka.kwa.duwazako.sis.watu.wa.burundi.tuatowa.shukuran.kwa.zati

  • @user-kp4yg7sh7j
    @user-kp4yg7sh7j 3 หลายเดือนก่อน +1

    Aamin Yarabii 🤲

  • @mwanaramadhan7059
    @mwanaramadhan7059 ปีที่แล้ว +1

    Shukran jazakAllah ukheri sheikh

  • @giftj4606
    @giftj4606 ปีที่แล้ว +1

    Shukran jazakha allahu kher

  • @HalimaSaid-j7r
    @HalimaSaid-j7r 26 วันที่ผ่านมา

    Allah akuhifanyie wepesi kwenye mambo yako yote inshaallah naakuongezee umri wenye manufaa nauzid kutuelimisha binafsi nakufuatilia ninachoweza kufanya nafanya

  • @mounah9502
    @mounah9502 ปีที่แล้ว +4

    RABBI BIMAA ANZALTA ILAYYA MIN KHAYRI FAKIYR

    • @cynthiacycy4459
      @cynthiacycy4459 ปีที่แล้ว +1

      Naomba iyo dua ya Subhanaka yakusom 110 kwa jili yaa Allah Si Si niwangia dini mengine hatujayajua mengi niandikie pls

    • @hamidahamdun3646
      @hamidahamdun3646 6 หลายเดือนก่อน

      @@cynthiacycy4459 lailaha i-la anta subhanaka innikunntu minadhalimin mara tatu au mara 110

    • @SarahKwitonda
      @SarahKwitonda 5 หลายเดือนก่อน +1

      Asante sana

  • @mwatangachaurembo3405
    @mwatangachaurembo3405 ปีที่แล้ว +2

    Jazakallahu khayra

  • @HasnaRushaka
    @HasnaRushaka หลายเดือนก่อน

    Inshaaallah mungu atujalie

  • @FaidhaBashir
    @FaidhaBashir 2 หลายเดือนก่อน

    Yarrab tusamehe makosa yetu,tuepushe na waja wabaya amin

  • @adijahmdosi5863
    @adijahmdosi5863 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah tabarakallah jazzaka Allaah kheri

  • @NeemaOthuman
    @NeemaOthuman 10 หลายเดือนก่อน +4

    Rabi bima Anzalta Ilayya min kheir fakiir

  • @monajumma4401
    @monajumma4401 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah shekhe nimekufaham vizur

  • @bintsuleman915
    @bintsuleman915 ปีที่แล้ว +1

    Shukurani sheikh jazakkaallah

  • @salmamasood2524
    @salmamasood2524 11 หลายเดือนก่อน

    Nashkuru kwa dua zako shekhe allah akulipe kheri nyingi kwa sadaka

  • @MozaSalum-bw6px
    @MozaSalum-bw6px ปีที่แล้ว +1

    Shukran sheikh......

  • @mariamsaid1093
    @mariamsaid1093 ปีที่แล้ว +2

    Masha Allah tabaraka Allah

  • @abdallalakey9067
    @abdallalakey9067 ปีที่แล้ว +1

    Shukran Mashallah

  • @silavinshukuru942
    @silavinshukuru942 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah sheikh 🙏

  • @SalamasaadHaji
    @SalamasaadHaji หลายเดือนก่อน

    Mashallah ❤

  • @mommywarda5529
    @mommywarda5529 ปีที่แล้ว +1

    Aa shukran sheikh nikumbuke na mwanangu kwa duaa

    • @shamzone388
      @shamzone388 ปีที่แล้ว

      Dua yama hairudi jitahidi ndugu yangu kila wakati usichike utaona mafanikio

  • @ashajuma3666
    @ashajuma3666 ปีที่แล้ว +1

    Salamaalyk..shekhe nshitaji uniombee dua

  • @abdulragmababdulsalam5107
    @abdulragmababdulsalam5107 ปีที่แล้ว +1

    Mashaallah shukran

  • @rizikirashid1199
    @rizikirashid1199 ปีที่แล้ว +1

    Shukran jazakaLLAH kheir

  • @abdulkarimabdulkarim7459
    @abdulkarimabdulkarim7459 ปีที่แล้ว +4

    Dua ni "Rabbi inniy lima anzalta ilayya min khair fakir" sura Qasas aya ya 24

  • @AmisaAmisi
    @AmisaAmisi 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Niombe shekh wanangu watulie waache kuuba na wapende kufanya ibada na. Wawe wenye kujitambuwa wanateseka wanangu nawizi

  • @rehemakihinja8320
    @rehemakihinja8320 10 หลายเดือนก่อน

    Asalam aleykum shekh MWENYEZIMUNGU akubariki

  • @faizunmohd9839
    @faizunmohd9839 ปีที่แล้ว +1

    Mashaallah tabarakallah shukran

  • @kadiffneyy8469
    @kadiffneyy8469 ปีที่แล้ว +1

    Shukran ya sheikh

  • @ucjvvjcjjvih9934
    @ucjvvjcjjvih9934 ปีที่แล้ว +1

    shukran shekhe 🤲

  • @mangidetvtv4436
    @mangidetvtv4436 ปีที่แล้ว +2

    Asslaamu Aleykum Warahmatullah wabarakatuh Sharif naomba Dua yako Ameen Allah mimi Qassim wa Tanga Shuran

  • @user-lm4ys1jw1x
    @user-lm4ys1jw1x หลายเดือนก่อน

    Shukrn ❤shukrn

  • @ShafiqMohsin-yv1se
    @ShafiqMohsin-yv1se 9 หลายเดือนก่อน

    sheikh niombee dua ndoa yangu itoke migogolo na kunifunguliya njiy mm na mume wangu tupate mafanikiyo natuishi kwaaman naitwa sauda kija na mume wangu anaitwa shafii said

  • @user-jk6xk7id3q
    @user-jk6xk7id3q 9 หลายเดือนก่อน

    Jazakallau kheira 🤲

  • @HalimaSaid-j7r
    @HalimaSaid-j7r 26 วันที่ผ่านมา

    Assalamu alaikum warahmatullah,sheh Mimi ni mdada ambae nakufuatilia sana sana nakupenda kwajili ya Allah nakupenda sana toka nikufuatilie ninanafuu kiasi nashkuru sana ila ninatatizo Moja naumwa sana na mishipa hata nikilala siwez kunyanyuka nikwatabu sana naomba uniombee duwa nipate sahali naitwa halima

  • @user-qx7jg4gh6i
    @user-qx7jg4gh6i 3 หลายเดือนก่อน

    Shukuran sana brother mngu akupe mwisho mwema ❤

  • @mwazanikibwana3013
    @mwazanikibwana3013 6 หลายเดือนก่อน

    Allah akulipe kwakukununia have duahii

  • @shadiaamouri4538
    @shadiaamouri4538 ปีที่แล้ว +1

    Shukran allah akubarikii🙏

  • @karimdaud3993
    @karimdaud3993 ปีที่แล้ว

    Rabbih anny masaniya dhuru wa antaarhama rahimin

  • @zuhurakaviche2225
    @zuhurakaviche2225 ปีที่แล้ว +1

    Shukran shekhe kw dua mungu akuzidishie kheri nabaraka

  • @manajr9155
    @manajr9155 ปีที่แล้ว +29

    Shukran Shehe wetu🙏 ila Niko na swali langu kidogo... Swali langu ni Hivi hiyo Azkari ya mwanzo umesema mtu asome mara 113 je mtu akifanya zaidi inakuwaje??...

    • @aishaaisharagp9381
      @aishaaisharagp9381 ปีที่แล้ว +5

      Nivizuri zaidi kwaninijambo lakhayrat

    • @w4058
      @w4058 ปีที่แล้ว +1

      Adhkar sio askari

    • @missmwayway4704
      @missmwayway4704 ปีที่แล้ว +1

      @@w4058 😂😂😂😂 eti sio askari

    • @missmwayway4704
      @missmwayway4704 ปีที่แล้ว +1

      @@w4058 😂😂😂😂eti sio askari

    • @salimawishenga7588
      @salimawishenga7588 ปีที่แล้ว +4

      @Aisha Natecho
      Ni neno lenye maana moja ila kwa utamshi wa ulimi za watu ndio tofauti ila kwa kiarabu ni dhikir
      Kiswahili adhikari

  • @ziadakassim2184
    @ziadakassim2184 ปีที่แล้ว +1

    Shukrani shekhe wangu

  • @user-gf6hx1vr8t
    @user-gf6hx1vr8t 6 หลายเดือนก่อน

    Mashallah barakallah

  • @maymunaabdallah4238
    @maymunaabdallah4238 ปีที่แล้ว +1

    JAZAKALLAH LKHEIR SHEIKH

  • @aysharashid1049
    @aysharashid1049 ปีที่แล้ว +1

    Shukrani

  • @heyumi2340
    @heyumi2340 ปีที่แล้ว +2

    Alhamdullillah kwa faida

  • @ashahamid7196
    @ashahamid7196 ปีที่แล้ว +2

    MashaAllah

  • @user-ti5hq7xj6n
    @user-ti5hq7xj6n 11 หลายเดือนก่อน

    Shukran me nlikuw nahtaj kuwa katoka group la dini nfanyaje

  • @ZuberiSadi
    @ZuberiSadi 3 หลายเดือนก่อน

    Amin,Allah,akulipe

  • @rechomwamedimfamahrechom-ep8sh
    @rechomwamedimfamahrechom-ep8sh ปีที่แล้ว +5

    Naomba shee niombehe dua naitaji ndoa sijawah tongozwa

  • @meddymaryam6138
    @meddymaryam6138 ปีที่แล้ว +1

    Shukrn jazillah shkhe💕

  • @halimamfaume1925
    @halimamfaume1925 ปีที่แล้ว +3

    MashaAllah ❤❤❤

    • @abdallalakey9067
      @abdallalakey9067 ปีที่แล้ว +1

      Shekh naulliza wasima wakati wasigda ndio utasoma yasini

  • @batulibakari8104
    @batulibakari8104 ปีที่แล้ว +1

    Allah akupe kheri

  • @JumaSalim-gu9lw
    @JumaSalim-gu9lw 3 หลายเดือนก่อน

    Inshaallah utapata ameen

  • @fhyubhhh2881
    @fhyubhhh2881 ปีที่แล้ว +1

    Jazzakallah khayran

  • @user-cf7yh8mh5w
    @user-cf7yh8mh5w 7 หลายเดือนก่อน

    Naomba Dua na mm niweze kuolewa nilizaa na kija mtanzania but hanitaki tena kuna mwenzangu anifanyia sihiri

    • @user-hq5mo3dx7l
      @user-hq5mo3dx7l 5 หลายเดือนก่อน

      Vingine angalia ni zake usiekeze huku no zinapitaga

  • @buhitexmohamed4785
    @buhitexmohamed4785 ปีที่แล้ว +1

    Alla akuongezee elim, swali langu naisoma bt wanangu hawataki nawaombea baada ya swala rabi jaalini mkima swala lkini first born amenishinda npe dua

    • @fatmaalzidy1170
      @fatmaalzidy1170 ปีที่แล้ว +2

      Samahani kwa kkuengiliya wafahamishe watoto kuwa dua ya mm maqubuli hai rudi sasa kwa nn wanakata dua iliyoombwa na mitume

    • @alhamdulillah5796
      @alhamdulillah5796 ปีที่แล้ว +1

      Endelea tu kuwaombea ipo siku Allah atataqabbal ispokua naww jaribu kufanya unayowapendelea wtto wako wafanye.

    • @bibiahmad2866
      @bibiahmad2866 ปีที่แล้ว

      @@alhamdulillah5796 zanriym. Shukran Sheikha endeleya kutufundisha hizo Duwa tunahitaji Sana.

    • @shamzone388
      @shamzone388 ปีที่แล้ว

      Ndugu yangu usichoke kuwaombea watt wako na watt jamii ya waislam
      Usichoke dua ya mama hairudi allah atakujibu hata kwa miaka ya mbeleni

    • @husnaally7964
      @husnaally7964 ปีที่แล้ว

      Endelea kuwaombea Dua hio hio ALLAH atawaongoa kwa idhni yale

  • @skjjsj1889
    @skjjsj1889 ปีที่แล้ว

    Shukran sheikh kwa ukumbusho Allah akuhifadhi

  • @user-ri4bm8ly3c
    @user-ri4bm8ly3c 5 หลายเดือนก่อน

    Shukran ❤❤