KAMA USHAAWAHI SALITIWA NA MUME AU MKE DAWA YAKE SIKILIZA HII

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 13 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 486

  • @evelynejuvenary2631
    @evelynejuvenary2631 2 ปีที่แล้ว +57

    Wow ujumbe wa moto huu... Mimi ni mkristu lkn umenikonga moyo wangu Sana.... Mwenyezi Mungu akutunze Sana 🙏

    • @HalimaSaidi-jo9ng
      @HalimaSaidi-jo9ng 7 หลายเดือนก่อน

      Swadakta Allah akulinde kwakilajambo

  • @taybahnasoro6049
    @taybahnasoro6049 2 ปีที่แล้ว +13

    Allah aniongoze niwe wa kulizika kwa mume wangu inshaallah na ndoa yetu iwe mpya kila iitwayo leo na niwe mke mwema yarrabi mwenye busara aman na upendo na huruma pia kwa mume wangu

  • @husnaameen9309
    @husnaameen9309 2 ปีที่แล้ว +74

    mashaAllah ustadhi wewe ni doctor ., mashaAllah nimepata mume mwema mwenye hizi sifa ulizosema mungu aniwekee mume wangu inshaAllah 🥰

  • @goldenqueen4484
    @goldenqueen4484 2 ปีที่แล้ว +55

    Sauti ya Othman Michael imefanana sana na ya Othman maalim ....kuitofautisha ni uangalie kuskiliza tu nafkria n yule mwengne ..Mashallah Allah awaeke miaka mingi inshallah mashekhe wetu .....Tuna jifunza umu umu kw hutba zenu ..JAZAKHA-ALLAH KHERY ❤❤

  • @dismassamwel7130
    @dismassamwel7130 2 ปีที่แล้ว +10

    Hii elimu nzuri nimeipenda sana,hakuna kitu chenye mtihani kama ndoa au mahusiano,yanahitaji subra na msaada wa MUNGU

  • @salmahanai3601
    @salmahanai3601 2 ปีที่แล้ว +5

    shekhe umeupamba.moyo wangu kwa maneno mazuri maashaallah

  • @زينببنتسعيد-د9ح
    @زينببنتسعيد-د9ح 2 ปีที่แล้ว +15

    Asalaam alleykum warahmatulah wabarakaatuh MAASHA ALLAH TABARAKA ALLAH sheikh wetu kipenzi #othmanmichael kwa kila ilmu tunayo pata kupitia kwako MWENYEZI MUNGU akupe uzima na maisha marefu,ummah mzima atupe maskizano,uaminifu,mapenzi,kuongozana,atuongoze katika swiratal mustakeem na atujaalie mwisho mwema Amiin ya Rabbil Allamin

  • @kisunaomar3138
    @kisunaomar3138 ปีที่แล้ว +6

    Hakika wanawake tunatakiwa tujue nini ndoa,upi uzito wa ndoa na mume ni kitu gani..Allah atujaalie ndoa zilizo jaa mawadat,sakina.atufanye wenye kuridhika,na tuwe tulizo kwenye macho yao,tusio na waume Allah atujaalie,na walio kwenye ndoa ziwe zenye kheri.darsa zuri mashallah

  • @mariamyoyote8172
    @mariamyoyote8172 2 ปีที่แล้ว +13

    Shukran shekhe jazaka'Allahu kher minal dunia wa akhera 🙏🙏ujuwe shekhe hivyo unavyozungumza napata fikira ya kuolewa niishi Kwa mapenzi mema na mume wangu lkn bado Allah ajanipa na nipo kazini wallah naogopa pengine nikaingia kufanya Mambo mabaya kabla ya ndia kwasababu hivyo unavyozungumza namna bakiluishi Kwa upendo kunakitu kinanijia na ninaogopa lkn itabidi nianze kufanya Ibaada na kuomba utulivu na kujizuia haya matamanio ninayo yahisi ya Allah nifanyie wepes katika Hilo pia shekhe niombee shukran shekhe balakaallahu fihiii

  • @zainabmaulidi9846
    @zainabmaulidi9846 2 ปีที่แล้ว +6

    MASHA ALLAH sheikh wetu Allah Akujalie umri mrefu wenye kheri tuzid kunufaika

  • @hasnatyoficial6056
    @hasnatyoficial6056 2 ปีที่แล้ว +39

    Daaah hii imenigusa sanaa nimegundua mume wangu anatoka na mdogo wangu wa kuzaliwa nae hakiyamungu roho imeniuma kupita kias na nasema kutoka moyoni namchukia mdogo wangu na mmewangu ad siku ntakayo kufa Allah anisamehe

    • @fatmakhanii1676
      @fatmakhanii1676 2 ปีที่แล้ว +9

      Pole sana msameh japo hutokua nae karibu Allah nawe atakusameh pengine ni mtihani tu huo ulompitia binadam hatujakamilika inauma sana

    • @rehemasoud7805
      @rehemasoud7805 2 ปีที่แล้ว +3

      Msamehe sanaa na muombe mungu akuepushie na hilooo

    • @mealisuleiman4020
      @mealisuleiman4020 2 ปีที่แล้ว +2

      Msamehe mdogo wk ni shetwani amempitia hata yy mwenyewe yuwa juta kutenda hicho kitendo

    • @fatmakhanii1676
      @fatmakhanii1676 2 ปีที่แล้ว +1

      @@mealisuleiman4020 kabisa

    • @ismailowino2866
      @ismailowino2866 2 ปีที่แล้ว +4

      Subhanallah,pole sana ukhty.Mimi naelewa unachopitia ila wasamehe wote kwa maana hii chuki itakuumiza nafsi.

  • @ismailowino2866
    @ismailowino2866 2 ปีที่แล้ว +8

    Masha'allah, jazakallahu khayr Sheikh.Yaani hii darsa imenigusa mahali duh!

  • @fatemafatema4780
    @fatemafatema4780 2 ปีที่แล้ว +5

    Mashaalla mashaallah sheikh Othaman unamafunzo mazuri sana .yaret ingekuwa nusu ya watu wanafuata basi uhasama na ugonmvi ndani ya nyumba usingekuwepo mungu akubarik.mungu akupe uzima wa afya.hata usemaji wako sheikh wewe mtaratibu sana.nampa hongera sana mkeo.mungu awajaazie kila lenye kheri na nyinyi ameen

  • @neemaneema6825
    @neemaneema6825 2 ปีที่แล้ว +7

    Nimefulahi.sana
    Kumsikiliza.uyu.shee.nampenda.san
    Mungu.amuweke.milele.siku.moja
    Aje.atatuwe.matati.nyagu🙏

  • @georgetavalentine4686
    @georgetavalentine4686 2 ปีที่แล้ว +16

    Mafunzo mazuri 👏👏👏 though am a Roman catholic

  • @aishahamadi9261
    @aishahamadi9261 2 ปีที่แล้ว +6

    Maashallah umetujeja Sana ustadh ndoa nyingi zinayumba kwasababu ya uzinifu Ila Allah atuongoze katika njia zilizonyooka na ftatilia nikiwa uganda

  • @SleepyGalaxy-nw5of
    @SleepyGalaxy-nw5of 8 หลายเดือนก่อน

    Subhanallah shukran sheikh napenda mawaidha yako course yananipa ujasiri na Aman ya moyo wangu mungu akubarik🙏

  • @cishahayoali1136
    @cishahayoali1136 2 ปีที่แล้ว +1

    Asante sheikh kwa kutuzinduwa!

  • @aishaselemani6574
    @aishaselemani6574 2 ปีที่แล้ว +1

    Shukran ya sheikh Allah atukinge na uzinifu

  • @hanifatanzania7258
    @hanifatanzania7258 2 ปีที่แล้ว +20

    Allah Akujaalie umri wenye heri nawe uwwmrefu uzidi kutuelimisha. Allah atujaalie tuwe wasikivu na tusiyoolewa Allah atupe Mumewema lnshallah🤲

  • @saumusanjiama6991
    @saumusanjiama6991 2 ปีที่แล้ว

    Shukran sana ustadhi Allah tuepushe na mitihani hio yarrab

  • @adamdengu338
    @adamdengu338 2 ปีที่แล้ว +3

    Mashaallah inatakiwa Subira zaidi ktk dunia hii . Na tuliambiwa tuisha nawe kwa makini wanawake . Lakini yanafikanga mwisho na Allah anakuonnyesha yote .

  • @arafakassela5398
    @arafakassela5398 2 ปีที่แล้ว +16

    Yani nampenda shekhe Othman kwajiri ya Allah akuweke zaid iliuzid kutuhelimishe

  • @saidjumanne6452
    @saidjumanne6452 2 ปีที่แล้ว +1

    Asante Sana othuman Michael kwa dawa safi mwenyezi mungu akuzidishie maisha maref ilituendelee kupata dawa nzr amen

  • @anetiarsen7061
    @anetiarsen7061 2 ปีที่แล้ว

    A aleykum Asante kwa maneno yako matam

  • @azizadjumadazuu2731
    @azizadjumadazuu2731 2 ปีที่แล้ว +1

    Maa shaa Allah sheikh wetu tunanufaika na mafunzo yako!!! Allah akujaze kheri

  • @shabaniomary6235
    @shabaniomary6235 2 ปีที่แล้ว +1

    Sheikh, alhamdulil laahi, Allaah akujaze zaidi ilmu,nakuomba tuletee kisa cha Dhulqarnaini kwa urefu.

  • @starlonejadamskp8224
    @starlonejadamskp8224 18 วันที่ผ่านมา +1

    Mashallah Mungu akupe maisha marefu Shekh

  • @hamidaasiimwe4266
    @hamidaasiimwe4266 2 ปีที่แล้ว +8

    Asalaam Aleykum sheikh Othman
    Asante kwa yote. na utuwombe kwa Allah, tufiko kwako mashalla

  • @alhabsialooshi9315
    @alhabsialooshi9315 2 ปีที่แล้ว +2

    Mashaallaaa shekh alla ukupe mwisho mwema ila mm mumewangu aliniacha kwatara3 mpigo ila nashukulu na baba yangu alikua mcha wangu alinipa somo na sikuweza kushawishika kurudiana tena mpaka leo hii ninamiaka10 sijaingia kishawishi kuludi kwake

  • @aminataramio8254
    @aminataramio8254 2 ปีที่แล้ว +3

    Shukran cheikh wangu mungu akulipe kilishikuwa cha kheri kwako

  • @khalfansuleiman6206
    @khalfansuleiman6206 2 ปีที่แล้ว +3

    MAASHAALLAAH SHEIKH WANGU ALLAAH AKUZIDISHIE KILA LA KHERI NA AKUKINGE NA KILA BALAA

  • @ramlati7646
    @ramlati7646 2 ปีที่แล้ว

    Mashaallah ,ahsante sheikh nimekua nikiishi na kidonda kubwa moyoni sababu ya mume wangu kunicheat ,mda mwingine nlikua natamani nimchome ata kisu au nimfate yule mwanamke na nimue ama nimnunulie wajambazi walahi maana ilikua tukio la ajabu sana kuongopewa na mume akikukukula pesa na hawara huku wewe unaangaika na watoto walahi,mungu anisamehe ,amekua akiniomba msamaha lakini wapi mimi hufikiria hilo jambo ni kama jana, Thanks for the teachings,nimejifunza kusamehe

    • @janethkibambo3613
      @janethkibambo3613 2 ปีที่แล้ว

      Pole, Mungu akupe neema ya kusamehe

    • @ramlati7646
      @ramlati7646 2 ปีที่แล้ว

      @@janethkibambo3613 Inshallah, ahsante daa

  • @irenelaizer4789
    @irenelaizer4789 2 ปีที่แล้ว +1

    Masha Allah my Allah protect you sheikh nimjifunza kitu pamoja sijaolewa ila Allah anijalie mme wa hivyo hakika nitamjali

  • @asmaasmi9019
    @asmaasmi9019 2 ปีที่แล้ว +10

    MashAllah tabaraka rahman jazaaqa Allah kher

  • @monicawanza9911
    @monicawanza9911 2 ปีที่แล้ว +47

    Am a Christian but listening to you teaches me alot 👌,am even dating a Muslim soon to funga nikha😊

    • @rahmatahmed1871
      @rahmatahmed1871 2 ปีที่แล้ว +4

      MashaAllah karibu katika uislam mammy

    • @aaa64sa13
      @aaa64sa13 2 ปีที่แล้ว +2

      MashaAllah!!!

    • @mariamjack9471
      @mariamjack9471 2 ปีที่แล้ว +3

      Mungu atupe mwisho mwema inshaallah

    • @khadijaangore4408
      @khadijaangore4408 2 ปีที่แล้ว +1

      Masha Allah tabaraka Allah. karibu kwa dini ya haki.❤❤❤❤💞💞💞💞💞😘😘😘

    • @yussuphsultan1400
      @yussuphsultan1400 2 ปีที่แล้ว +2

      Mashaaa Allah....Allah sw akufanyie wepesi....ingia Kabisa kwenye uislamu Ili ujifunze na ujue jinsi ya kuomba dua jambo lako liwe jepesi Kwa idhni yake

  • @najuf8021
    @najuf8021 2 ปีที่แล้ว +6

    Allah akuhifadhi kwaajili yetu shekhe mchanganyiko ule wamafuta ALHAMDULILAH umenisaidia

  • @zaza8625
    @zaza8625 2 ปีที่แล้ว

    Asante cheikh wetu umetufunza mengi

  • @D_beauty1
    @D_beauty1 3 หลายเดือนก่อน +2

    Ya Allah nahitaji msamaha wako yarasulallah 😭nifanye niwe miongoni mwa waja wema na wake wema wenye kuifata dini na kuzipenda na kuziheshim ndoa zao inshaallah 🤲🤲Allahumma ameen

  • @aishamunga6667
    @aishamunga6667 2 ปีที่แล้ว

    Mashaallah.
    Mashaallah
    Allah akupe umri na uzidi kutufundisha. In sha Allah.
    Shukran

  • @muawiyakawere394
    @muawiyakawere394 2 ปีที่แล้ว

    Mola akubariki sheikh!

  • @fatmasuleiman5376
    @fatmasuleiman5376 2 ปีที่แล้ว +1

    Allah barik kwa kutukumbusha na kutufunza maneno , darsa ya hakika na hii ndio Pepo.

  • @owuorsharon2177
    @owuorsharon2177 2 ปีที่แล้ว +11

    Nimeguswa sana na mfunzo yako inshallah mungu akujalie

  • @ashajuma1822
    @ashajuma1822 2 ปีที่แล้ว

    Shukran jazakallahu kheir.. Allah akuhifadhi sheikh

  • @sharifaabdi9501
    @sharifaabdi9501 2 ปีที่แล้ว +13

    Kwa kweli yote ni mitihani ya dunia2 hiyo Allah atujaalie minalfaidhina.Pia shekh wetu kipenz tunaomba dua kutoka kwako Allah atuepushe na mabalaa mazito kama hayo na pia atujaalie katika waja wema inshaallah

  • @alhajjngoliomahmud6657
    @alhajjngoliomahmud6657 2 ปีที่แล้ว +1

    Jazakallahu khair kwa mafunzo. Mzuri Sanaa

  • @KadirMamito
    @KadirMamito 2 หลายเดือนก่อน +1

    Alhamdhulillah sheikh

  • @mwanasitisalim3606
    @mwanasitisalim3606 2 ปีที่แล้ว

    Asante Sana ustadi

  • @nurazain6616
    @nurazain6616 2 ปีที่แล้ว

    Shkhe othman napenda sana mawaidha yako nishkhe mwenye hakma sana allha akuhifadhi

  • @khmysnassry8733
    @khmysnassry8733 2 ปีที่แล้ว +5

    Kweli kbx ustadh

    • @azizatimimi7147
      @azizatimimi7147 2 ปีที่แล้ว +1

      Allah Akupe afya na umri uzidi kutuelemisha kwa mawaidha

  • @Veronicahcharles61comAsia
    @Veronicahcharles61comAsia 8 วันที่ผ่านมา +1

    InshaAllah

  • @MubaASaguth
    @MubaASaguth 9 หลายเดือนก่อน

    mashanlaa sheykh mola azidi kukuweka akupe umri mrefu namuomba anllaa anipe Subra

  • @lkshmykomar5472
    @lkshmykomar5472 2 ปีที่แล้ว +10

    Mashallahu shukuran shehe wetu Allah atuhfadh na maas ya zina

    • @saadahydar7106
      @saadahydar7106 2 ปีที่แล้ว

      v ýcyuucyyuyyyyyyyyyû cuu7uyy7yu77777uu7u7uu7uuuuuuu7c7777777777777777777777777777777777777777777vvv777777777777777777777777uuu

    • @saadahydar7106
      @saadahydar7106 2 ปีที่แล้ว

      u
      juuuuvuuuuuuuu u

  • @Tv-dl4qj
    @Tv-dl4qj 2 ปีที่แล้ว +2

    MashaAllah sheihk wetu Allah akupe umri mrefu

  • @ladymoretaboraprincess6190
    @ladymoretaboraprincess6190 ปีที่แล้ว

    Alhamdulillah,,Ahsante 🙏🙏🤝

  • @ashafujo3506
    @ashafujo3506 2 ปีที่แล้ว +2

    Kisa kizur mashallah, mungu atupe subrah na nyoyo za huruma na mapenz ya kwl, mungu atuepushe na Hali hizi

    • @saumkhalifan7700
      @saumkhalifan7700 2 ปีที่แล้ว

      Assalamualaikum sheikh nnaswali tafadhali je ukiwa umeolewa na umepoteza hisia huna hamu na yule mume unapaswa kufanyaje

  • @jamilanassoro8408
    @jamilanassoro8408 2 ปีที่แล้ว

    Jazak Allah khairan

  • @UncleChenShoushan
    @UncleChenShoushan 2 ปีที่แล้ว +2

    Allah aniepushe siwezi uwa mimi sheikh kasema kweli mwenyezi mungu amjaze kheri

  • @yassirhamed9905
    @yassirhamed9905 2 ปีที่แล้ว

    Allahu barick sheikh wetu uzidi kutupa elimu

  • @gracealexander1450
    @gracealexander1450 2 ปีที่แล้ว

    MUNGU AKUBARIKI SANA SHEKHE KWA UJUMBE HUU NIMEJIFUNZA KITU KIKUBWA MNO AMEEEEEEN

  • @omaryramdhani9823
    @omaryramdhani9823 2 ปีที่แล้ว +1

    ماشاءالله حياك الله أحسن الحياة وطول العمر

  • @piliramadan875
    @piliramadan875 ปีที่แล้ว +1

    Mashaallah Masha Allah

  • @matikamwagilomwagilo531
    @matikamwagilomwagilo531 2 ปีที่แล้ว +13

    Shekhee othmani m.mungu akujaalie kila la kherii ameeen

  • @twahambonde4095
    @twahambonde4095 2 ปีที่แล้ว +15

    Shida ya wanaume hawawezi kumsamehe wakisalitiwa ila ndio wanaongoza kwa usaliti......Yarabi tuweke mbali na zinaa

  • @julesngama2508
    @julesngama2508 2 ปีที่แล้ว +3

    Haaaaaaaa Nihatari sana Ndugu yangu, bwana Yesu wali muuliza kitu gani tuna weza kuwapa taraka wake zetu . Akajibu mwakizini njo muna ruhusiwa kuwapa taraka

  • @arafatmbitha5602
    @arafatmbitha5602 2 ปีที่แล้ว

    A. S. W ustadh othman mungu akuzidishie uzidi kutuelimisha katika mambo ya kishetani kama hayo🙏🙏🙏

  • @yanaclaudine8066
    @yanaclaudine8066 2 ปีที่แล้ว +3

    I'm Christian but u make me cry. May God akupe maisha malefu

  • @jaysplaylist5360
    @jaysplaylist5360 2 ปีที่แล้ว

    Shukran sheikh kwa darasa hili

  • @زينببنتسعيد-د9ح
    @زينببنتسعيد-د9ح 2 ปีที่แล้ว +6

    Amiin ya Rabbil Allamin sheikh

  • @VeronicaOtieno-u3f
    @VeronicaOtieno-u3f วันที่ผ่านมา

    Wanao tazama 2024 from Kenya

  • @mwanasitisalim3606
    @mwanasitisalim3606 2 ปีที่แล้ว +1

    Nimejifunza Mambo makubwa na muhim usiku huu Asante sana

  • @MohammedAli-rh5si
    @MohammedAli-rh5si 2 ปีที่แล้ว +1

    Jazzaka llahu kher shekhe Mungu akupe umri mrefu na akulinde na kila hasad nakupenda shemela wangu

  • @rukialugenja1183
    @rukialugenja1183 2 ปีที่แล้ว

    Masha allah nimejifunza meng allah akiuzidishie kher insha allah

  • @jenifridajawabu8876
    @jenifridajawabu8876 ปีที่แล้ว

    Asante kwa SoMo lako

  • @saidesalimo9032
    @saidesalimo9032 2 ปีที่แล้ว +1

    🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿não dormo bem ate ouvir sua voz em mawaidha

  • @yasalaam590
    @yasalaam590 2 ปีที่แล้ว

    Mashaallah hayo mafundisho kwakweli ni muhimu mno ndoa skuiz ni nyingi hazina mapenzi bali ndoa skuizi zina machozi ubabe ruu kwenda mbele subhana llah inshaallah kwa mawaidha haya wawe ni wenye kuzingatia amiin

  • @antusatesha7859
    @antusatesha7859 2 ปีที่แล้ว

    Jazakha allah sheikh

  • @zainabusingirankabo7487
    @zainabusingirankabo7487 2 ปีที่แล้ว +1

    Ma sha ALLAH tabarakallah asante sana Muheshimiwa

  • @abdaladelo371
    @abdaladelo371 ปีที่แล้ว

    Mashaallh barakallah fiyka shekhe wangu

  • @lorraineatieno6544
    @lorraineatieno6544 2 ปีที่แล้ว +2

    Masomo ya kiislamu👌mashallah..licha ya mimi kuwa mkristo. Nafaidi maana naishi karibu na msikiti. Mafunzo mazuri.

  • @mariejunior5640
    @mariejunior5640 2 ปีที่แล้ว

    Asante sana, ubarikiwe sana ,nimejifunza kitu..

  • @priscillahsirya6544
    @priscillahsirya6544 2 ปีที่แล้ว

    Asante shekhe kwahili somo lako

  • @ndibwamiahmed8742
    @ndibwamiahmed8742 2 ปีที่แล้ว

    Shukran yaa Ustadhi kwa Darasa lako.

  • @rehemamkumbo6746
    @rehemamkumbo6746 2 ปีที่แล้ว +1

    Safi sana shekh barikiwa kwa mafundisho mazuri mwenyezi mungu akujalie kheri

  • @MkyagawaZainab
    @MkyagawaZainab 24 วันที่ผ่านมา

    Mashaallah ❤

  • @rahmatahmed1871
    @rahmatahmed1871 2 ปีที่แล้ว +2

    Assalam Aleykum warahmatullah wabarakatu....JazakAllahu kheri yaa sheikh

  • @mwanakombosaid6081
    @mwanakombosaid6081 2 ปีที่แล้ว

    Mungu akujaze heri ustadh

  • @mwinyisaumu
    @mwinyisaumu 2 ปีที่แล้ว +1

    Subhana Allah tuombee Sisi mabinti tupate rizki Za ndoa tunusurike Na zinaa

  • @yasalaam590
    @yasalaam590 2 ปีที่แล้ว

    Shukran jazakallahu khayran

  • @zainamkwizu2942
    @zainamkwizu2942 2 ปีที่แล้ว +3

    Napenda sana mawaidha yako umenibadilisha sana shekh mungu akupe umri mrefu wenye amali njema

  • @HemedHemed-y2v
    @HemedHemed-y2v 6 หลายเดือนก่อน

    Mashaalah somo zur allah akupe kher shekh

  • @RukayyaNassor-i9o
    @RukayyaNassor-i9o หลายเดือนก่อน

    Subhana lla

  • @SajidaSalum
    @SajidaSalum 11 วันที่ผ่านมา

    Allah akulipe

  • @philipsenge2222
    @philipsenge2222 2 ปีที่แล้ว +3

    Mashauri mazuri kabisa,ila wanawake ni wabaya sana,ni kuishi ishi tu kwa kupitiza muda,ila wao siyo watu wazuri

  • @aminaabas2435
    @aminaabas2435 2 ปีที่แล้ว +2

    Masha Allah tabaraka Allah mungu akupe kila LA kheir

  • @totopilly1892
    @totopilly1892 2 ปีที่แล้ว

    Mashallah maneno Mazur shukran

  • @janethmushi5359
    @janethmushi5359 2 ปีที่แล้ว +2

    Walah umenigusa moyo wangu shehe barikiwa

  • @proscoviaoddo8020
    @proscoviaoddo8020 2 ปีที่แล้ว

    Ahsante kwa ujumbe wakristo pia tusikie

  • @SoomaSoma-t8x
    @SoomaSoma-t8x 4 หลายเดือนก่อน

    Assante shehe ujumbe umenipendezeya🎉 mashallah

  • @zulfaChuma
    @zulfaChuma 11 หลายเดือนก่อน

    Mwenyezimungu akujalie Kila Lilo la kher uzid kutufunza