MAZINGE, MAZINGE, MAZINGE nimekuita mara 3 achana haya makundi ya hawa vijana kwanza wengi wao ni MAGASHO maarufu hapa mjini. Umefanya makubwa katika dini ila hawa wataharibu HESHIMA yako kwa dakika 3 SUBHANALLAH.
TUMUOMBEE DUA SHEIKH MAZINGE ANAPITIA WAKATI MGUMU MNO TUSIMUACHE HIVIHIVI KAFANYA MENGI HUYU SHEIKH JAMANI NI HAZINA HUYU TUSIMUACHE APOTEE CHONDECHONDE JAMANI. HAWA JAMAA SIO WATU WAZURI KABISA. NI MAHABITH LIAMAL.
Njaa mbaya sana mpaka watumishi wa Mungu wameingiliwa na vijana wa mambo ya dunia nao bila kukemea wanakubali, sawa hatukatai labda kama wanafanya kwa nia nzuri si kwa pesa
Video nzima hii nimekupenda dada mtangazaji aki amungu,, kuanzia uzuri wako kwanza n mzuri na uwezo wakoo wa kazi cjui kwann ndio nmekujuaa Leo ,, labdaa kwakuaaa cfwatiliiiag sanaaa
Unajua ndugu zangu kifo kina balaa kama kinakutakaa unatakiwa tuombe.Mungu sana mwishilio mwema watoto wa juzi hawa watashindana na gwiji Mazinge kweli nyie vijana chungeni Ndimi zenu
Kama kuna baya amefanya mazinge bc pia kuna zuri , ameongelea jambo ambalo vijana wengi wanalipenda la kuacha ZINAA , kwa iyo ujumbe ufanyiwe kazi Kwenye mikutano ya siasa pia huitwa mashekh kuomba dua na sio msikitini na kuna wengine wanavaa ovyo kabisa lkn pia hata wanapokufa viongozi wa kitaifa viongozi wa dini wanaenda kuomba
Kweli mazinge ni mtu wa kuongea na watu kama hawa angepata bura asinge thubutu kwanza anaoneka huyu shoga kabisa na shoga hana haya anaweza kukutukana hata ukiwa mzazi wake
LOKOLE UKO SAWA HAKUNA SHEKHE HAPO HAO WATAFUTA PESA HAWANA LOLOTE WAMEJAA UFUSKA NA USHIRIKINA USIJUTE WALA USUOMBE MSAMAHA. NO RETREAT NO SURRENDER!!!
Shekh hawez kuomba dua ktk.mzik maana hata hawa kina juma wawe wanafaham miiko ya din halafu mazinge asielewe? jatusemi ananjaa ila yapo anayoyafanya chin ya panzia ndio maana anadhalilika
Ustadh Mazinge hana kosa lolote kwani huwezi kulingania dini au haki bila ya misukosuko na ikikushinda subra ya misukosuko manake umefeli. Mtukufu wa daraja mtume wetu Muhammad Salallahu Alaihi Waalihi Wasallam alipata misukosuko mingi na sio yeye tu hata mitume wote walipata misukosuko.
Kiukwel Mimi simuamini shekhe yoyote yule ktk ardhi hii ya dunia na nikiwa nasemaga neno hili watu wengi wanasema nimekua kafiri ila kiukwel akuna shekhe ckuhz wote wapigaji wananjaa
Unawaamini Masheikh au Unamwamini Mwenyezi Mungu?Sheikh yeyote anachokifanya lazima tuangalie kwenye Quran,hadithi sahihi za Mtume Mohammad (S.A.W) na Sunah za Mtume Mohammad, Sheikh ataaminika pale atakapokuwa anaogelea katika misingi hiyo niliyokutajia!
Mazinge jiepushe na Hao vijana unadhalilika Allah akuhifadhi
Allahuma Amin
Na atadhalilika sana...Tangu tu alipoanza kusupport USHIRIKINA...
Mazinge Nakukataa. Skuizi we sio yule Wazaman. Badilika Mzee Unajina kubwa Unajidhalilisha
Yaaani Allah atupe heri sana
Pesa inabadilisha watu
Ni mshenzi tu anashirikiana na matapeli ktutapeli mjinga sana hyo sheikh uchwara
Ndugu yangu maisha magumu pia Nae nibinadam kapewa liziki kapita nayo.
Lokole uko juu baba wape ukweli wao dua c kitu cha mchezo
KWA KUONGEA KUHUSU Mazinge duuuuh yukosahihi lokole kabisaaa Mazinge duuuuh sijui njaaa masikini ameingizwa mkenge IZI Kiki shekh ametumika katika kuplomoti machafu
Masheikh Mchongo hao Sheikh kweli hawezi kuzalilishwa kisa shilingi mbili
MAZINGE, MAZINGE, MAZINGE nimekuita mara 3 achana haya makundi ya hawa vijana kwanza wengi wao ni MAGASHO maarufu hapa mjini.
Umefanya makubwa katika dini ila hawa wataharibu HESHIMA yako kwa dakika 3 SUBHANALLAH.
Waharibu mara ngapi wakati tayar kashaharibiwa jina kitambo nani atamuamini tena ny'ooh ata aongee nin siwez mckiliza
TUMUOMBEE DUA SHEIKH MAZINGE ANAPITIA WAKATI MGUMU MNO TUSIMUACHE HIVIHIVI KAFANYA MENGI HUYU SHEIKH JAMANI NI HAZINA HUYU TUSIMUACHE APOTEE CHONDECHONDE JAMANI.
HAWA JAMAA SIO WATU WAZURI KABISA.
NI MAHABITH LIAMAL.
Uko sahihi. Hata kama itatumwa namba yake kuchangia.🎉
Njaa mbaya sana mpaka watumishi wa Mungu wameingiliwa na vijana wa mambo ya dunia nao bila kukemea wanakubali, sawa hatukatai labda kama wanafanya kwa nia nzuri si kwa pesa
Ustadhi Mazinge siku hizi chawa wa wasanii
Njaa ndg
Mazinge sio sheikh hana ilmu ya dini kasoma wapi?
Juma kuhusu mazinge umesema kweli dua inamipaka hta km ni sehm yyte,hyo sehmu yyte pia pawe na mipaka
Lokole simkubali lakini maneno yake kuhusu sheikh mazinge ameongea ukweli Mazinge kazingua
Mwandishi usiongee na huyo Juma msenge anafirwa na Harmonize
Kwa nini mnadhalilisha huyu mzee. Mazinge umepatwa na nini. Ulimsema sana mzee Yusuf. Sasa mbona unadhalilika
Juma acha usenge 😢wewe.Ninakuhurumia sana Lokole.Ushoga Tanzania hauruhusiwi.Wivu tu kwa Harmonaze😢Juma ni mjinga sana😢
Mazinge badilika Mzee Allah atakudhalilisha kwa mtindo huo
🎉juma yupo sahihi sana
Ww mwenyewe mrefu juma na wakati ww mfupi juma unamchukia sana harmonize sana usiseme uongo
Mwenyezi mungu anaonesha wale wote wasio na ikhlasa na mambo wanayofanya hayafiki popote
Juma Yuko sawa hakunajua ya kumuombea mtu wakati yupo mnapeleka picha kwani wamekufa Dua ya marehemu ndio anaombewa akiwa ayupo
Video nzima hii nimekupenda dada mtangazaji aki amungu,, kuanzia uzuri wako kwanza n mzuri na uwezo wakoo wa kazi cjui kwann ndio nmekujuaa Leo ,, labdaa kwakuaaa cfwatiliiiag sanaaa
Mazinge mungu ameanza kukuonyesha mwisho wako na mungu hatizami mwanzo ulifanya nin anaangalia mwisho umeumalizia vipi? Allah akuongoze inshaallah
Shekhe mazinge hichi kizaz kitakufedhehesha achana nao hawa umefanya mambo makubwa sana wasije wakakudhalilisha.
Naamini atakuwa amejifunza jambo
Mazinge ana ushehe gani? Kusoma Juzuu amma tu kwake ni tabu
Ujitambui@@Kekulebenzene
Sheikh kaingia kwenye tamaa ya pesa ,heshima aliyojenga maisha yake inaelekea kuporomoka kwa kuambatana na hawa wahuni
Adhalilike mara ngapi anajihusisha na Rika sio lake.wenzake wengi wametangulia jannatul sijui kitu Gani kinampata huyumzee.
Mazinge ni shehena tonge bandika. MNAFIKI mwenye kupinda ndimi kwa ajili ya maslahi
Mazinge kaacha kufatilia wakristo na kuukashifu sasaivi kaamia kwa wasaniii😂😂😂
toka nikujue leo ndo umeongea kwel ni kwel kbx shkh wamemzalilisha na amejizalilisha
Dada Leila ushaanza kurudia tena mavazi yako hayo na ilikuwa wajistiri freshy hapo nyuma 😊
Mkiambiwa dini leo juma shoga ni sawa japo sina ushaid lakn maneno anayoyasema ukiyaskiliza unamuelewa upande wa dini yetu sheik amekosea bwana
Kurjuana ya kishki ishamkumba shekhe mazinge anazalilika sasa kwa kuacha dini na kuchumia tumbo kwa kushirikiana na masharifu feki
Acha Allah awazalilishe
Kuna point kasema lokole
Unajua ndugu zangu kifo kina balaa kama kinakutakaa unatakiwa tuombe.Mungu sana mwishilio mwema watoto wa juzi hawa watashindana na gwiji Mazinge kweli nyie vijana chungeni Ndimi zenu
Mazinge wamemzalilisha sheykh wetu.allah atawalipa
Huyo sheikh wako mwenyewe ndo kajidhalilisha na njaa yake mjing mkubwa
Dunia inatesa ma sheikh Wetu
Dada usimlaumu lokole Hawo masheikh wanamatatizo .Lokole umefanya vizuri Tena umemuokoa Maana umemzindua .Abu twAlibu haombewi Dua itakuwa kajara.Tena Mazinge akafanye istigfar.
Hata mm naungana na juma sheimhe anajidhalilisha wakati amefanya makubwa anakuja kudhalilishwa mzeeni
Sheikh MAZINGE vijana usiwavae sana. Tunajuwa una nia njema lakini hawabebeki.
Juma ni msenge mtemi
Hahaha eti juma ni msenge mtemi
Juma yuatamani Sana aolewe yeye na harmobnize but konde BOY hapiki mikungu ya wanaume shoga ww
Juma upo sawa .
DUA TU SAWA,ILA DUA YA KUMUITA SHEIKH AJE INATAKIWA APEWE HESHIMA YAKE HASA KWA ELIMU YAKE HASA
Umepigwa ilooo 😂😂 unazani kuongea Sana kupigana uweze WP kupigana ww😂😂
Juma ananyanyua vyuma mara hii mpige mwijaku
Huyo muantishi ana kiherehere Sana Sana mbuzi kabsa huyu mwanamke
Kama kuna baya amefanya mazinge bc pia kuna zuri , ameongelea jambo ambalo vijana wengi wanalipenda la kuacha ZINAA , kwa iyo ujumbe ufanyiwe kazi
Kwenye mikutano ya siasa pia huitwa mashekh kuomba dua na sio msikitini na kuna wengine wanavaa ovyo kabisa lkn pia hata wanapokufa viongozi wa kitaifa viongozi wa dini wanaenda kuomba
Kweli mazinge ni mtu wa kuongea na watu kama hawa angepata bura asinge thubutu kwanza anaoneka huyu shoga kabisa na shoga hana haya anaweza kukutukana hata ukiwa mzazi wake
Ahuna adabu ww juma
Mazinge njaa itakupoteza
Kajisemea kweliiiiii yy m'mbea kama wao😂😂
Mazinge kaishaaaa
Mzee wetu Mazinge twakupenda lakini baba wakufuate kwa utaratibu siyo wakutumie kwa kiki
Mazinge kaenda kwa Nia ya kuwalingania ukiskiliza hotba yake
Umeongea point
Mazinge kashaishiwa Yani asaivi mazinge ukimpa ela ata bia anaweza kutangaza
LOKOLE UKO SAWA HAKUNA SHEKHE HAPO HAO WATAFUTA PESA HAWANA LOLOTE WAMEJAA UFUSKA NA USHIRIKINA USIJUTE WALA USUOMBE MSAMAHA. NO RETREAT NO SURRENDER!!!
Yuko sawa nini mjinga weye hujui kitu
Safi sana juma
Duh kumbe huyu jamaa sio mwezetu duh leo nimeamini
Ww juma umjuwi kajala ata wema alishindwa
Juma lokole yupo sahihi mwijaku kubwa jinga
Sheikh mazinge mnafiki hana haya wala hajui vibaya shenzi zake ametia aibu uislam
CHAGAMBA CHAGAMBA CHAGAMBA NIMEKUITA MARA TATU. ANGALIA UMESHAANZA KUWAHARIBU WATANGAZAJI WENZIO. HUYU DADA ANATAKA KUONGEA KWA KUKUIGA WEWE. 😂😂😂😂😂
Nikweli sio kilasehemu uende etidua mazingila yakihuni huni mazinge usialikwe nawahuni ukaenda achana nao
Juma lokole yupo sawa kwa Shekh Mazinge
Ni kweri unakosea unasomaje dua kwa wanamuziki au inakuwaje unaomba dua bar
huyu mzee anasisitiza mwisho mwema halafu yeye anazeeka vibaya
Asante Mjumbe 🎉😂
Bro juma umenichekesha msiba wa taifa😂😂
hahaha mtangazaj nae kayatimba 😂😂😂 kwel nimeamini huyu ni jumapili 😅
weeee lokole ni msengeeee tu tabia zote za kisenge unazo
Mazinge chawaaaa
Shekhe mazinge ni njaa inamsumbua kaona mwamposa ametajilika na yeye anafosi kila kitu ata chaalamu yeye twende
Sasa shoga atapigana na mwanaume 😂😂😂😂
Mazinge unazalilika kwa ujinga wako shehe mkubwa 😢
Acha Uongo shoga anapigana
Juma usimuombe hyo sheikh mnafiki msamaha anajua anachokifanya na utapeli wao umbwa yeye mlipue kabisa hyo sheikh njaa hana adabu
Mazinge achana na hao vijana unakua ustadhi mnoko
Ww tayari haupo nasi
Uyoshekh apelekwe Kwan pididy
Shekh hawez kuomba dua ktk.mzik maana hata hawa kina juma wawe wanafaham miiko ya din halafu mazinge asielewe? jatusemi ananjaa ila yapo anayoyafanya chin ya panzia ndio maana anadhalilika
Mazinge umefeliiii tubiaaw
Mtume ametuambia tuombe mwisho mwema 😢😢
Mnao msema mazinge juu ya kilicho tokea hivi mlitaka ile daawa alio ifnya ju ya uzinzi mlitaka aitolee wap?
Ustadh Mazinge hana kosa lolote kwani huwezi kulingania dini au haki bila ya misukosuko na ikikushinda subra ya misukosuko manake umefeli.
Mtukufu wa daraja mtume wetu Muhammad Salallahu Alaihi Waalihi Wasallam alipata misukosuko mingi na sio yeye tu hata mitume wote walipata misukosuko.
Huyo Juma lukole ni shoga tu.
Hata mimi niliona kweli juma alipiga ba kisuti chake kama cha njiwa akipaa😂😂😂
Huyo sio shekh ni tapeli tu
Mazinge unapoteza muelekeo Yaani umeweka njaa akilini
😂😂😂😂😂juma eti mfupi kama kinu 😂😂 uuuwiiiiiiiii 😂
Pesa mbaya ninavyo mjuwa mazinge kadhalilika kweli
J sopoa mwanangu
Ili lifala lina maana gani kwa jamii ?
Huy mazinge ana maana gani?
Juma msenge mtemi huyo Stan bakora mwenyewe jasho limemtoka na mwijaku wake
Ww unamdomo kweli
Juma lokolo tafuta wenzio wa upinde uongee nao 🏳️🌈🏳️🌈🏳️🌈🏳️🌈 Watu wa Upinde wanafaa wanyongwe
Hamna MALAIKA SHOGA..KUMA WEWE...
Shoga mlaini
Tutampididy maan anajiapiza
Juma ana akili sana Ku jibu
Huyu nae anaolewa lini?
Kiukwel Mimi simuamini shekhe yoyote yule ktk ardhi hii ya dunia na nikiwa nasemaga neno hili watu wengi wanasema nimekua kafiri ila kiukwel akuna shekhe ckuhz wote wapigaji wananjaa
Unawaamini Masheikh au Unamwamini Mwenyezi Mungu?Sheikh yeyote anachokifanya lazima tuangalie kwenye Quran,hadithi sahihi za Mtume Mohammad (S.A.W) na Sunah za Mtume Mohammad, Sheikh ataaminika pale atakapokuwa anaogelea katika misingi hiyo niliyokutajia!
@@ramadhanwilbard8196nashangaa yeye anamwamin mtu
Mazinge itakuanae anashida
Mfupi kama kinu 😂
Chawa wa kajala wapo kama J wangeenda kumfanyia dua ndani sio na mabango kama vile