NI NINI KIFANYIKE IKIWA MUNGU ANATAKA KULIPIGA TAIFA KWA MAPIGO YA AJABU | MWL. AUGUSTINE HB. TENGWA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 20 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น •

  • @aaronswai3092
    @aaronswai3092 ปีที่แล้ว

    Shalomu Mtu wa Mungu! Mungu akubariki sana. Mungu aturehemu Tanzania.

  • @JenifaKimaro-zp2dj
    @JenifaKimaro-zp2dj ปีที่แล้ว

    Ee Mungu baba naomba utuhurumie cc watanzania pamoja na familia zetu, pia naomba uwahurumie Dunia mzma Mungu wangu na baba yangu

  • @generosakinemo5490
    @generosakinemo5490 ปีที่แล้ว +8

    Ni kweli mtumishi kanisa limehama eneo lake. Naomba Mungu wa rehema aturehemu

  • @rosemuhandoofficial5676
    @rosemuhandoofficial5676 ปีที่แล้ว +6

    Kweli kabisa kanisa limeacha lilichotumwa na mungu

    • @geitandelwa299
      @geitandelwa299 ปีที่แล้ว

      NDIO tunajipaka maji majivu mmmh ole wetu na uzinzi huu MUNGU ATUSAIDIE

    • @beatricegerald7253
      @beatricegerald7253 ปีที่แล้ว +1

      @rose muhando wewe ni mtu unajulikana na nchi mbalimbali tusaidie kupaza sauti kwa watanzania kwa habari ya unabii huu

    • @beatricegerald7253
      @beatricegerald7253 ปีที่แล้ว +1

      Rose muhando huu ujumbe naomba upost kwenye account zako

    • @alvaamisse7510
      @alvaamisse7510 ปีที่แล้ว

      Atujali na mungu, lakini Mungu

    • @aaronswai3092
      @aaronswai3092 ปีที่แล้ว

      Mungu akubariki Rose; enenda ulimwenguni wwote ukisambaza ujumbe huu ili watu watubu!

  • @stevenmwalwiba6164
    @stevenmwalwiba6164 ปีที่แล้ว

    Amina barikiwa Sana shujaa wa Bwana imeandikwa ikiwa watu wangu walio itwa kwa Jina langu wakijinyenyekesha kuutafuta uso wangu na kuomba na kuacha mabaya yao nitasikia kutoka mbinguni nitawasamehe na kuiponya nchi yao ameen mungu kumbuka agano lako we Ni mungu wa magano turehemu

  • @aronruturagara9031
    @aronruturagara9031 ปีที่แล้ว

    Mungu akubariki sana Mtumishi wa Mungu, Namtukuza Mungu kwa ajili yako, Mimi ni mwanadamu lakini Ninachukizwa sana na INJILI za Hawa manabii,wachungaji na mitume wengi wa Leo hapa Tz wamekuwa si watu kufundisha juu ya Toba ya kweli maana ufalme wa Mungu umekaribia. Mungu atusaidie maana tumeuzwa.Nipo tayari kuifanya kazi hii pamoja nawe

  • @erickmsigala138
    @erickmsigala138 ปีที่แล้ว

    Acha kutisha watu kwa uelewa wako mdogo Mungu hataipiga dunia tena kwa mapigo watu wataangamia wenyewe kwa kuto kutii maagizo ya Mungu soma vizuri Maandiko utuonyeshe siyo kutisha watu kwa kelele nyingiii!

  • @reginapeter1467
    @reginapeter1467 ปีที่แล้ว

    Mungu turehemu Ee Bwana

  • @petrosamson2024
    @petrosamson2024 ปีที่แล้ว +1

    Mungu alinionesha ziwa Victoria milango mine Moja mkubwa na mitatu kweli mungu atusaidie

  • @SDLFSDLF-m1s
    @SDLFSDLF-m1s ปีที่แล้ว

    Amen mtumishi tufanyeje

  • @saramss7262
    @saramss7262 ปีที่แล้ว +1

    ASANTEE SANA mtumishi barikiwa sana BWANA akupiganiye

  • @augustabisetsa5007
    @augustabisetsa5007 ปีที่แล้ว

    Ooooo. YESU tusaidie,,, MUNGU mlinde mtumishi huyu,,, hakika mtu huyu ni kidole Cha MUNGU , YESU tusaidie

  • @mariethabuhulula7637
    @mariethabuhulula7637 ปีที่แล้ว

    Mngu atusamehe na nch yetu yy hughair maboya tuomben rehema watu wa mngu. Tutetemeken mbele za mngu. Nhurumie yesu

  • @stevendavid8054
    @stevendavid8054 ปีที่แล้ว +1

    Amina,Mungu tusaidie

  • @rehemaabinelynyagawa2878
    @rehemaabinelynyagawa2878 ปีที่แล้ว

    Eeeeh Mungu tuhurumie 😭 ss tutaenda wapi na watoto wetu tusamamehe eeeh Baba 😢🙏

  • @salomeogutu8490
    @salomeogutu8490 ปีที่แล้ว +1

    Unapo pata ujumbe huhu tubuni tumrudie Mungu

  • @evelynetitus974
    @evelynetitus974 ปีที่แล้ว

    Ee Mungu wangu baba wa rehema tunaomba uturehemu

  • @olithothomas-cy4ej
    @olithothomas-cy4ej ปีที่แล้ว

    Ee Mungu ninaomba rehema kwaajili ya nchi yangu,familia na hata Mimi

  • @festogeorgekwakala4146
    @festogeorgekwakala4146 ปีที่แล้ว

    Kuna kitu mungu alinionyesha mwaka Jana mwez 12 kuhusu ndege yetu kubwa hapa Tanzania Yani air Tanzania mungu atuhulumie tu

  • @swardosward1990
    @swardosward1990 ปีที่แล้ว +2

    Amen💯 🙏🙏🙏🙏

  • @edouardnsengiyumva1145
    @edouardnsengiyumva1145 ปีที่แล้ว

    E mwanadamu Sikilizeni hii neno la mungu

  • @tuponembuja8932
    @tuponembuja8932 ปีที่แล้ว

    Amina barikiwa

  • @mikael1656
    @mikael1656 ปีที่แล้ว

    Yesu ni mwamimifu

  • @sophiankwera9020
    @sophiankwera9020 ปีที่แล้ว +1

    Ee Mungu uturehem 😭😭

  • @geitandelwa299
    @geitandelwa299 ปีที่แล้ว

    Mmmh ole wangu mm Ni kweli kabisa wanatoa sadaka wenzao hapa nimeelewa watu hatuambiwi ukweli wa MUNGU tunadanganywa Sana na hayo mafuta maji aaaa Ila MUNGU ATUSAIDIE SS na WATOTO wetu

  • @salomeogutu8490
    @salomeogutu8490 ปีที่แล้ว

    Mungu turehemu

  • @gracejuma388
    @gracejuma388 ปีที่แล้ว

    DAH,,
    I WISHI KUTEMBEA NYUMBA KWA NYUMBA KUAMBIA WATU TUSHUKE KULIA KWA KUOMBA REHEMA JUU YA TAIFA LETU 🇹🇿🇹🇿😭

  • @geitandelwa299
    @geitandelwa299 ปีที่แล้ว

    Ameni hatumutaki YESU na NGUVU zake Ila miujiza AAA na MUNGU ATUSAIDIE

  • @justinendizeye714
    @justinendizeye714 ปีที่แล้ว

    Shalom 🙏

  • @charleskuyeko4400
    @charleskuyeko4400 ปีที่แล้ว

    Huyu Mtumishi kama ukimsikiliza bila kumwangalia hakika utajua kuwa ni Mtumishi wa Mungu Mwakasege. Bila shaka huyu alikuwa mwanafunzi wake. Jina la Bwana libarikiwe. Wanafunzi wa Yesu nao waliongea kama Yesu hata alipokuwa ktk mateso ya kusulubiwa wayahudi walimwaambia wanafunzi wa Yesu kwamba hata kutembea kwenu ni kama Yesu na hata kusema kwenu ni kama Yesu.

  • @georgedemsemo02
    @georgedemsemo02 ปีที่แล้ว

    Mungu aturehemu

  • @ester7689
    @ester7689 ปีที่แล้ว +1

    Naitwa ester fortunatus kutoka tabora wilayani igunga tuko pamoja katika maombi

  • @pemlamoraes5859
    @pemlamoraes5859 ปีที่แล้ว

    Oh lord have mercy on us. Protect our country tanzania and the world. The people who are blind to see the truth ..let them see the truth and be saved. Jesus is the truth and only way to heaven.

  • @aberymsovela8866
    @aberymsovela8866 ปีที่แล้ว +2

    Natamani ungepewa ht dk 15,, kwenye tbc taifa ili wote tusikie habari hizi ili tutengeneze na Bwana

    • @tengwatv
      @tengwatv  ปีที่แล้ว +2

      Ni kweli mtumishi Abery tupo kwenye mchakato huo ili mtumishi aende TBC na Media zingine kama clouds, Bwana atafanya na hilo nalo...

    • @swardosward1990
      @swardosward1990 ปีที่แล้ว +1

      @@tengwatv Ameni naiweivoo itimie ujumbe hufikee

    • @geitandelwa299
      @geitandelwa299 ปีที่แล้ว

      Ni kweli kabisa YESU atusaidie TUACHE dhambI na YUMULUDIE MUNGU dhambI zimezidi na SS site TU wadhambi

    • @nemeskilagula5288
      @nemeskilagula5288 ปีที่แล้ว

      Mtumishi wa mungu nakuelewa sana sana sanaaaaa

  • @anyesileifu-bs1fy
    @anyesileifu-bs1fy ปีที่แล้ว

    Nikweli mtumshi wa MUNGU ubarikiwe sana kwa kunena kweli ya MUNGU mwenyesikio na asikie eeeee Roho utuombeaye kwa kuugua kusiko tamkika tusaidie kuombea Toba ipasayo

  • @HappyAnton-yv4ms
    @HappyAnton-yv4ms ปีที่แล้ว

    Yesu turehemu tusamehe

  • @thomasmmoka4884
    @thomasmmoka4884 ปีที่แล้ว +1

    Kwa kuwa wamepata madaraka,vyeo,utajiri na ustar kwa njia ya madhabahu ya shetani, hawawezi kufanya Toba ya Matengenezo kwa sababu wanaogopa watapoteza vyote walivyopewa na shetani kwani walifanya mkataba naye.

  • @marthacharles3872
    @marthacharles3872 ปีที่แล้ว +2

    E.a.g.t tunamaombi mwezi mzima tunaombea taifa ,viongozi wa nchi,na kanisa

    • @geitandelwa299
      @geitandelwa299 ปีที่แล้ว

      Hongereni Sana kutuombea pigeni KELELE waambieni wamama tuvae magunia uzinzi umezidi ubakaji uongo na usengenyaji na ukahaba na ushoga na usagaji na MAUAJI na kutoa kafala za watu ILI tuwe matajili na KUVAA mawigi na kusuka NYWELE na KUJICHUBUA na mengine MENGI tumemukosoa MUNGU ILA TUMEFIKA MBALI SANA DHAMBI IMEHAMIA MAKANISANI

    • @aaronswai3092
      @aaronswai3092 ปีที่แล้ว

      Mungu awasaidie!

  • @eliasmhagama4978
    @eliasmhagama4978 ปีที่แล้ว +1

    Ee BWANA YESU uturehemu sisi Taifa lako lote maana tumekutenda dhambi.

  • @Kingofafricanempire
    @Kingofafricanempire ปีที่แล้ว

    Eeeeeeeeeeeeeeh! Tanzania na Dunia nzima sikieni sauti ya Mungu.
    Tutengenezeni njian zetu na kunyosha mapito yetu na Mungu atajidhihirisha kwetu.🙏

  • @doricemrema2177
    @doricemrema2177 ปีที่แล้ว

    BWANA YESU KRISTO amguse Raisi na serikali kiujumla ili wawe kama Mji wa ninawi

  • @geitandelwa299
    @geitandelwa299 ปีที่แล้ว +1

    Watu tunataka utajili wa ajabu tunauana SS kwaa twatoana sadaka ILI tuwe matajili mmmh ajali kila siku kisa sadaka mmmh ole wetu SS WENYE dhambI na MUNGU ATUHURUMIE NA MAUZINZI HAYA NA MAUCHAWI HAYA

  • @thomasmmoka4884
    @thomasmmoka4884 ปีที่แล้ว +1

    Vilabu vya Simba na Yanga vina madhabahu ya shetani na mashabiki wao wanamwabudu shetani bila kujitambua!

  • @margaretmkangala7774
    @margaretmkangala7774 ปีที่แล้ว

    Hizo namba za cm ni ndogo sana nashindwa kuzisoma

    • @tengwatv
      @tengwatv  ปีที่แล้ว

      Ooh,Pole sana mtu wa Mungu
      Namba hizo ni
      0752001840 (Mpesa)
      0678304931 tigo pesa
      Jina Augustine BIlomo Tengwa
      Pia unaweza kutumia namba hizo kuwasiliana na Mwl.Tengwa
      Mungu akubariki sana.

  • @editarichard3590
    @editarichard3590 ปีที่แล้ว +2

    MUNGU aturehemu

  • @masindemagee9603
    @masindemagee9603 ปีที่แล้ว

    BwAna amepanga kuipiga Tanzania kana ninawi

  • @monicaisuja8917
    @monicaisuja8917 ปีที่แล้ว

    MUNGU uturehemu

  • @stanleyjohn1361
    @stanleyjohn1361 ปีที่แล้ว

    Nimewahi kuona kwenye maono rais akitangaza kwenye mwezi kwamba kuanza sasa mwezi huu ndio Mungu wetu lilikuwa jambo la kutisha nimeelezea kwa kifupi

  • @modestamashoke9038
    @modestamashoke9038 ปีที่แล้ว

    EEH MUNGU TUREHEMU

  • @stevendavid8054
    @stevendavid8054 ปีที่แล้ว

    Tusaidie bwana

  • @niymaedwin4297
    @niymaedwin4297 ปีที่แล้ว +3

    Eeeh mungu wa rehema tuhurumie 😭

    • @neemakusuhibwa347
      @neemakusuhibwa347 ปีที่แล้ว +1

      Mungu atusaidie watazania tunyenyeke kwa Mungu aturehemu .tumwombe Mungu anatupenda anatujali ndio maana anatuambia.

    • @niymaedwin4297
      @niymaedwin4297 ปีที่แล้ว

      @@neemakusuhibwa347 amen 🙏

    • @pudejames2004
      @pudejames2004 ปีที่แล้ว +1

      Mungu aturehemu wanadam, maana Hali Ni mbaya sana

    • @mwajumahuseni4073
      @mwajumahuseni4073 ปีที่แล้ว

      Eeeh MUNGU wa rehema tuhurumieeeee

    • @mwajumahuseni4073
      @mwajumahuseni4073 ปีที่แล้ว +1

      Eeeh MUNGU wa rehema tuhurumieeeee 😭😭😭😭 mkono wa Mungu niwaajabu atatupigaia 💪💪

  • @elizabethkilango9180
    @elizabethkilango9180 ปีที่แล้ว

    Ee BWANA tuhurumie!!!

  • @geitandelwa299
    @geitandelwa299 ปีที่แล้ว

    Ni kweli kabisa tuache kunifanya MUNGU HAONI BASI YUMULUDIE MUNGU TUACHE DHAMBI OLE WETU MAANA WENZETU HUKO UTURUKI TAYALI mmmmmmh na MUNGU ATUHURUMIE SS NA WATOTO WETU