Ewe mwenyezi mungu muumba wa mbingu na ardhi mkumbuke mama yetu @upendo nkone na neema imbebe na ivunje Sheria🙏🙏🙏wapendwa tusimame na mama yetu na neema itubebe sote🙏🙏🙏
Napenda sana nyimbo zako sana zinagusa sana moyo wangu.miaka ya 2000 nilikuwa na mikanda 4 ya kwaya, upendo Nkone, Bahati Bukuku, Matha mwaipaja na Rozy Muhando. Hongera mama!
Uimbaji injili ni kifaa,kipawa,kitumikacho kuhudumia watu,na kumuhudumia Mungu kwa kuachilia maneno yenye nguvu ya kiroho,katika kumwabudu,kufundisha,kuomba,kusifu,kuinjilisha etc. Na huu wimbo ni wabaraka sanaaaa,katika kumuongoza mtu anapohitaji kukoka au kutubu makosa kwa Baba! Yamkin si yeye atubuye wakati huo,ila ametumia sanaa yakuimba ka niaba ya kila mwenye uhitaji watoba atakapo taka kutubu ataimba huu wimbo. ZIDI KUINULIWAAA MY BIG SISTER,WEWE NI HAZINA KATIKA MWILI WA KRISTO.
Oh Lord Jesus have your mercy upon me ..am a sinner, my fleshly desires....am single but I admire sex...my heart is full of pride... I dont admit mistakes hence not liking corrections. please forgive me and others.. wash me with the blood of covenant...keep me right on your roots and help me to remain conscious of eternity in Jesus name..Amen🙏😭
I like your honesty,Our God is faithful and just to forgive us all our sin,then pray for the Holy Spirit to help you not to get into temptations again.I wish you well
Hallelujah. Thanks for this good song .God bless you mum for using u to pass this massage in this big way. It's time for the world to take a total repentance. Lord please have mercy upon your people as we are coming back to u
🙇♀️ 😭 🙌 Hata na mimi mwanao BABA WA MBINGUNI NAOMBA UNISAMEHE MAKOSA,DHAMBI ZANGU ZOTE NATUBU...BABA WA MBINGUNI NISAMEHE....NIOSHE TENA NA DAMU YA MWANAO WA PEKEE YESU KRISTO MKOMBOZI WETU. AMINA 🙏 ❤ MUNGU AKUBARIKI TENA ZAIDI MAMA UPENDO NKONE ❤
Upendo Mtumishi wa Mungu, Umebarikiwa na Bwana Yesu Kristo, Nyimbo zako zote zimejaa Neema na Unyenyekevu na Rehema za Mungu wetu aliye Mbinguni. Tunakuombea mioyo mwetu. Asante sana Mpendwa na Dada yetu. ❤❤❤🌹🙌🙌🙌🙌🙌🙌🔥🔥🔥🔥🔥🔥🙏🙏🙏🙏🙏😘😘😘
Ubarikiwe mama ila kwa ushauri vua hayo mapambo ya yezebeli na uyaache kabisa kwani hata ukibaki bila mapambo unapendeza ili usiji Fanya kazi ya bure na Yesu asije sema ondoka sikujui.ni ushauri wangu kwako ndugu katika kristo.
Amen ubarikiwe sana kwa wimbo ila mama achana na Mapambo hayo si ya Mungu yanaweza kukufanya ukaikosa mbingu kuna watumishi wengi sana wamefunuliwa hayo mapambo yanapeleka wanawake wengi kuzimu ,huduma yako isije ikawa ni bure Mungu akupe neema hiyo ujue hilo ubarikiwe
Wimbo mzuri wa toba, ila Toba mzuri ni kuachana na Shetani na yale ya dunia kwa mfano hayo marembo umejaza mikononi,kwa shingo na masikioni,toa utupe, hayo ndiyo Shetani anatumia kufunga watu duniani. Waweza kuona ni jambo la kipuzi nasema ila chukulia jambo hili kwa imani na Yesu akutende mema na akukumbuke kwa hii Toba. Let's do away with this things za vipodozi na marembo. Si kazi ya Muumba. Ahsante na amani iwe nawe
Kwa hiyo Mungu unayemtumikia wewe na Mungu anayemtumikia dada Upendo ni waMungu wawili tofauti ? Kama Mungu ameweza kumpa ujumbe wa huo wimbo ukakubariki ameshindwaje huyo Mungu kumwambia aache urembo kwanza ndo ampe ujumbe ? Afuate unayoyasema wewe au afuate Mungu anayomwambia? Huyo shetani mmeshampa vitu vingi sana na bado anawagalagaza😂.
Mungu nisamehe kwakuto kurizika na kile kidogo ulicho nibariki 😢🙏🙏❤️. Umenipa pumzi ya bure, Nina kila sababu yakuliunua Jina Lako 🙏🙏
Nisamehe😢😢😢😢
Forgive me😢😢😢😢😢😢
Forgive UGANDA 🇺🇬🇺🇬🇺🇬
Forgive Africa😢😢😢😢
Forgive the world😢😢😢
Forgive us Lord we know we have fallen short of your glory. But cleanse us with the blood of Jesus and create in us a pure heart and a clean spirit.
Nisamehe very wonderful song be blessed.
Yesu nisamehe mimi nirudishie heshia yangu baba
Ewe mwenyezi mungu muumba wa mbingu na ardhi mkumbuke mama yetu @upendo nkone na neema imbebe na ivunje Sheria🙏🙏🙏wapendwa tusimame na mama yetu na neema itubebe sote🙏🙏🙏
Amen tufanye mpango mama yetu anatubariki mnoo
Mungu nisamehe nimekukosea sana
Nisamehe yesu Mimi ni mwenye nzambi Amen
Napenda sana nyimbo zako sana zinagusa sana moyo wangu.miaka ya 2000 nilikuwa na mikanda 4 ya kwaya, upendo Nkone, Bahati Bukuku, Matha mwaipaja na Rozy Muhando. Hongera mama!
Upendo I love you mama angu
Uimbaji injili ni kifaa,kipawa,kitumikacho kuhudumia watu,na kumuhudumia Mungu kwa kuachilia maneno yenye nguvu ya kiroho,katika kumwabudu,kufundisha,kuomba,kusifu,kuinjilisha etc.
Na huu wimbo ni wabaraka sanaaaa,katika kumuongoza mtu anapohitaji kukoka au kutubu makosa kwa Baba! Yamkin si yeye atubuye wakati huo,ila ametumia sanaa yakuimba ka niaba ya kila mwenye uhitaji watoba atakapo taka kutubu ataimba huu wimbo.
ZIDI KUINULIWAAA MY BIG SISTER,WEWE NI HAZINA KATIKA MWILI WA KRISTO.
Kwa kweli dada upendo wewe chombo cha BWANA YESU, MUNGU akukumbuke kama yusufu
I can NOT stop playing this song. Each time I play it and declare it, everything that I think about manifest. I'm Qualified...It Has Been Established
Despite of years of dormancy, Upendo Nkones Voice remains a memory of unchangeable and unaltered one.
Soit béni Maman upendo!
Absolutely 💫😇🤍
@@BoazKisomerya-vc8uzuao😅😊
Mimi ni mwenye dhambi moyo wangu huwa unatabia ya kufisha naomba toba na msamaha Rehema yako inihurumie mtoto wako ....🙏🙏
Yesu Kristo tusamehe makosa yetu utuoshe kwa Damu Yako yasamani na utuponye magojwa
Oh Lord Jesus have your mercy upon me ..am a sinner, my fleshly desires....am single but I admire sex...my heart is full of pride... I dont admit mistakes hence not liking corrections. please forgive me and others.. wash me with the blood of covenant...keep me right on your roots and help me to remain conscious of eternity in Jesus name..Amen🙏😭
Àmina
I like your honesty,Our God is faithful and just to forgive us all our sin,then pray for the Holy Spirit to help you not to get into temptations again.I wish you well
I pray this prayer too Amen
Amen
Amen
Mungu ni mwema barikiwa maman
Deep Soul Searching Song. Nihurumie bwana na Unisamehe Yesu
Wimbo mzuri
What a powerful worship song barikiwa sana Mtumishi wa Mungu
Ee Mungu nisamehee niko miguun pako we ulie niumba nisamehe
Nisamehe mungu wangu nakuomba ...,,,I am a sinner may you have mercy upon me plizz I beg you my Lord.,,, Amen
I repent all of my sins known and unknown, Jesus wash me with your blood
Yesu nisamehe makosa yangu😢
Hallelujah.
Thanks for this good song .God bless you mum for using u to pass this massage in this big way.
It's time for the world to take a total repentance. Lord please have mercy upon your people as we are coming back to u
This woman of God is born to worship the Lord.. learning from her
BWANA aturehemu, kwakweli ila pia mama yangu kumbuka haya( 1 Timotheo 2:9-11) 1petro 3:3-6)(1wakorintho 3:16-17)( barikiwa
I'm on my knees Lord Jesus forgive me 😭😭😭😭😭😭
ee YESU unisamehe ninatubu makosa yangu unisamehe barikiwa sana mama kwa wimbo mzuurii
Nakupenda sana mama angu Mungu akutunze sana❤❤😢😢
Indeed we need msamaha wa Mungu,Dunia imerarura na inararua hata Wakristo Sasa.
Yesu tusamehe ndiposa tupate kupona.
Mungu azid kukutumia kwa namna apendavyo mama angu
uturehemu eeeh YESU KRISTO wa nazareti mwana wa MUNGU aliye hai,AMEN
Yesu Nami nisamehe Bwana, naomba ufute jina langu kwenye kitabu cha hukumu, nisamehe Bwana.
Abba Father, we're not worthwhile before you but we request for your grace to sanctify us , give us a heart that trembles before your word!!
mama nakupenda sana uzidi kubarikiwa na kutumika kwa wakati wa sasa na badae
YESU NISAMEHE DHAMBI ZANGU ZOTE🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Nakupenda sana mama Mungu azidi kukuinuaaa zaidi
Ufufio ndio huu wakati tunaitwa tumrudie bwana tuimbe msamaha mungu mbariki NKONe
Nisamehe Yesu ,,nitatubu na kuziungama dhambi zangu zito eeh Bwana nitakase kwa damu yako🙏
Yesu naomba unisamehe Mimi na wafanyazi wenzangu,marafiki zangu,familia yetu na wote wanaonihusu hata na wale wasionihusu
Mama yetu you are a blessing to my soul! I'm blessed
Kiukweli nimebarikiwa sana na huu ujumbe barikiwa Upendo Nkone Mungu akubali
Am repenting this morning, am a sinner, forgive me ,please my Lord accept me back, amen.
🙇♀️ 😭 🙌 Hata na mimi mwanao BABA WA MBINGUNI NAOMBA UNISAMEHE MAKOSA,DHAMBI ZANGU ZOTE NATUBU...BABA WA MBINGUNI NISAMEHE....NIOSHE TENA NA DAMU YA MWANAO WA PEKEE YESU KRISTO MKOMBOZI WETU. AMINA 🙏 ❤
MUNGU AKUBARIKI TENA ZAIDI MAMA UPENDO NKONE ❤
asante mungu
God bless you my mom, I love you so much, your song makes the way for me to receive breakthrough and work
Najitaidi kutenda mema lakini mabaya yananikaribia eh Mungu unisamehe dhambi zangu 🙏🙏. Asante sana👏👏👏 dada Upendo kwa wimbo mzuri wakuombea msamaha @barikiwa ❤
Asante sana mama yetu kwanyimbo nzuri sana mungu akulinde na akupe afya nzuri ubarikiwe mama yetu
yesu nisamehe natubu makosa yangu nisamehe 🙏🙏🙏🙏
🙏🙏🙏🙏 MUNGU nirehemu mwana wa David
Natubu toba ya kweli na bendera ya msimamo
Upendo Mtumishi wa Mungu, Umebarikiwa na Bwana Yesu Kristo, Nyimbo zako zote zimejaa Neema na Unyenyekevu na Rehema za Mungu wetu aliye Mbinguni. Tunakuombea mioyo mwetu. Asante sana Mpendwa na Dada yetu. ❤❤❤🌹🙌🙌🙌🙌🙌🙌🔥🔥🔥🔥🔥🔥🙏🙏🙏🙏🙏😘😘😘
Eeeh Yesu nisamehe Mimi niliye mwenye dhambi, nisamehe nisamehe Baba🙏
Ubarikiwe mama ila kwa ushauri vua hayo mapambo ya yezebeli na uyaache kabisa kwani hata ukibaki bila mapambo unapendeza ili usiji Fanya kazi ya bure na Yesu asije sema ondoka sikujui.ni ushauri wangu kwako ndugu katika kristo.
Hii nyimbo ni Sala ya Toba tosha ❤
Ho ho ho ho yesu yesu ni rehemu Mimi nioshe uovu wangu makosa yangu nitetee Yesu😭🤲
Hallelujah Hallelujah... Nisamehe ee Bwana🙌🙌🙌🙏.... Uzidiwe na neema Mama.
Aseee!! Yesu nisamehee Nkone nmekuelewa vzr sana mama
Mwenyezi mungu naomba unisamehe ❤
Mungu nisamehe kwa huu mlima wa dhambi nilizozitenda.ziondoe na unipe msamaha wa dhambi
Bwana yesu naomba unisamehe makosa yangu ninapo kusea kilauchao.
Naomba usikatae naomba unihurumie ninatubu toba ya kweli mimi ni mwenye dhambi yesu naomba nisamehee
Yesu nisamehe natubu makosa yangu ya kutokuamini naamini Leo unanitendea jambo jipya
Nisamehe nami bwana natupu makosa yangu ...usikumbuke uovu wangu ...naungama dhambi zangu zote ...Baba wa upendo ..
Nisamehe
Mungu nirehemu I come before you I ask for your forgiveness and mercy upon me 😭
A great worshipper of our time. I also repent Lord have mercy upon me and my family. 6:04
Yesu nisamehe Bwana wangu.😢
Hallelujah 🙏 najua baba nimekosa na nimeenda kinyume na mapenzi Yako lakini natubu unisamehe baba
Nisamehe baba yangu me mweny dhambi 😢yesu wangu nirihemu 😢🙏
Lord of compassion,mercy and too much love forgive me,natubu kuputia upako ulioko katika wimbo huu
Naomba unihurumie unisamehe Yesu wangu🙏🙏🙏
Nisamehe Yesu , Baba wa uruma ,natubu makosa yangu 😭
Nisamehe Mungu, dhambi , zote nilizozitenda natubu Nisamehe, hata zingali nyekundu naomba zisafishe ziwe nyeupi kama theluji😭😭
Yesu nisamehe now mkosa, nitakase na unioshe upya.
Yesu nisamehe...natubu makosa yangu ...Naomba unisamehe Baba wa Mbinguni
😢😢😢😢😢waaaah such a wonderful song
May God forgive my sins that I have made both knowingly and unknowingly 👏👏👏
O God forgive me day to day ...all time I confess and cry you take me back into your arms again ...let me be your child forever❤🙏🏻
Mungu baba bariki mama Nkone,nabarikiwa sana na nyimbo zako,barikiwa sana
Nakukubali sana mama mungu akubariki sana ❤
Sisi ni wenye dhambi tusamehe Bwana ninaacha nawe Bwana 😭nisamehe dhambi zangu mungu akuna mwingine kama wewe Bwana mungu akutete mummy🇰🇪
Yesu mwokozi naomba unisamehe kwa makosa niliyo yatenda kinyume na mapenzi yako
Upendo nkone my favorite gospel artist...big up the song Is so touching
Ubarikiwe mama
Very powerful uwepo wabwana mungu ukusaidie mutumishi wamungu
Am a sinner for give me My God,have mercy on me 🙏
forgive me my lord, I know you know how I feel in my heart and what is going on onto my life...... please forgive us😢😢🙏🙏
God am a sinner please lord have mercy upone me and forgive my sins
God please forgive me I have sinned before thee , forgive my family and all my loved ones please Baba tusamehe sote
Msanii wangu
Naiwe hivyo kwako na kwangu
Your mercy oh Lord😭🙌
Toka nikiwa darasa la nne ndo niliemuoma ni muimbaji wa Mungu
Natubu zambi nilizike kwakile mungu anacho nijalia pia niludi kundini nimekuwa mwanampotevu.nisamehe munguuu.😢😢😢😢
Yesu nisamehe mm ni mwanadam tu sijakamilika unirehemu Bwana
Amen ubarikiwe sana kwa wimbo ila mama achana na Mapambo hayo si ya Mungu yanaweza kukufanya ukaikosa mbingu kuna watumishi wengi sana wamefunuliwa hayo mapambo yanapeleka wanawake wengi kuzimu ,huduma yako isije ikawa ni bure Mungu akupe neema hiyo ujue hilo ubarikiwe
Oooh Lord i repent my sins before forgive me Father
Lord forgive me all my sins and have mercy on me
Mama wetu tunakupenda sana🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮ubalikiwe Sana
Mama mwenye kujiheshimu tangu nimeanza kumsikia anaimba!🌹
Na mimi hapa natubu makosa yangu yesu nisamehe🙏🙏🙏
Asante mama uzidishiwe tena kipaji ninakufata kilasiku tokea Congo
Nisamehe yesu kwakilakosa nilokutendea mimi silolote sochochote naomba unisafishe nakunitakasa
Mungu abariki kipaji chako 🙌
Halleluyah Yesu ujumbe mzuri Sana kwa walio kata tamaa na kujichafua roho zao Yesu tusamehe
Hakika utukufu na sifa kwa Mungu hongera sana Mama huu wimbo umegusa mioyo ya wengi akiwepo mm
Tusamehe 😭😭😭😭Nakupenda sana mama ❤❤
Nisamehe Mimi mwenye zambi MUNGU wangu 🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼😭😭😭
Wimbo mzuri wa toba, ila Toba mzuri ni kuachana na Shetani na yale ya dunia kwa mfano hayo marembo umejaza mikononi,kwa shingo na masikioni,toa utupe, hayo ndiyo Shetani anatumia kufunga watu duniani.
Waweza kuona ni jambo la kipuzi nasema ila chukulia jambo hili kwa imani na Yesu akutende mema na akukumbuke kwa hii Toba.
Let's do away with this things za vipodozi na marembo.
Si kazi ya Muumba.
Ahsante na amani iwe nawe
Kwa hiyo Mungu unayemtumikia wewe na Mungu anayemtumikia dada Upendo ni waMungu wawili tofauti ? Kama Mungu ameweza kumpa ujumbe wa huo wimbo ukakubariki ameshindwaje huyo Mungu kumwambia aache urembo kwanza ndo ampe ujumbe ?
Afuate unayoyasema wewe au afuate Mungu anayomwambia?
Huyo shetani mmeshampa vitu vingi sana na bado anawagalagaza😂.
Nikweli Mungu hapendi kabisa marembo