UNABII WATIMIA || PIGO TAKATIFU DUNIANI KUTOKEA 2023 || MWL: AUGUSTINE HB. TENGWA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 20 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 155

  • @EmanuelKyando-qw4ms
    @EmanuelKyando-qw4ms ปีที่แล้ว +2

    Nastaajabu sana haya mana maono kama haya Mungu alisema na mimi pia kwa habari ya kuangamiza ulimwengu huu uliojaa maovu ya kila namna na akanambia anauandaa ulimwengu mwingine. Sikuelewa kabisa lakini sasa naelewa kuwa Mungu alisema na mimi pia

  • @hildakilale7313
    @hildakilale7313 ปีที่แล้ว +1

    Mungo turehemu tunatubuuu, roho imeniuma sana nimefikilia nimefika mbali sana nikiangalia watt wangu wako mbali na mimi halafu gharika likaja ndugu zangu tunahitaji tobaaa ya maana tu,eeeh Mungu turehemuu uwiiiiiiii, nikikumbuka watu walivyokufa congo nachanganyikiwa,mtumishi itisha maombi tuje tumlilie Mungu

    • @hildakilale7313
      @hildakilale7313 ปีที่แล้ว

      Hapo juu nilikuwa namaanisha Mungu

  • @yusuphnammadede6823
    @yusuphnammadede6823 ปีที่แล้ว

    yahh uko vizuri sanaaa kiongozi pia nakuelewa zaidi ya watu wadini yako ya kristo na sisi waislamu wanavyo kuelewa nakuelewa haswa ulivyo zungumzia mifu miwili ya adamu aisee iyo elimu kubwa sanaaaaaa

  • @maynessmoshi8087
    @maynessmoshi8087 ปีที่แล้ว +7

    Kuna mtumishi mmoja wa Mungu alifunuliwa juu ya kiongozi wa juu kufariki akaeleza..Comment za watu walimjibu kuwa ni njaa inamsumbua. Na kweli yule kiongozi alifariki..Mungu aturehemu mtumishi itisha maombi ya kumsihi Mungu watakaotii wataitika na kuomba Mungu airehemu nchi yetu. Na watu wetu. Eleza eneo la kukusanyika tutaomba. Dalili zote zinaonesha nchi inahitaji rehema. Na maombi ya kuvaa magunia. Egemeo la chakula pia linakatwa. Tusipoomba na kugara gara ole wetu na vizazi vyetu.

    • @jacksonlutaya4458
      @jacksonlutaya4458 ปีที่แล้ว

      Msg hii ya kweli, Mungu atusamehe,Mungu akulinde Mtumishi ktk maono haya

  • @rosemuhandoofficial5676
    @rosemuhandoofficial5676 ปีที่แล้ว +21

    Ni kweli babaimi nililifiatilia nikaona kabla halijatokea, natamani watu wangekufuatilia waone haya mapema!

    • @amanikillo5529
      @amanikillo5529 ปีที่แล้ว

      Dada ni kweli wahubiri wote wanatabiri kwamba tupo tunaishi kipindi cha mwisho.... Na kwamba 2023 ni Mwaka m'baya sana kimatukio.... Tengenezeni tenzi za kunikumbusha na kuwakumbusha watu juu ya hatari inayoijia Dunia hii....

    • @lidyagadyaaminasana576
      @lidyagadyaaminasana576 ปีที่แล้ว +1

      This are teachings of which you will never find them in the Church

    • @isacksimonmahungilo
      @isacksimonmahungilo ปีที่แล้ว

      Aminaa

    • @Chekibob
      @Chekibob ปีที่แล้ว

      Rose 😊😊

    • @issackkambona9348
      @issackkambona9348 ปีที่แล้ว

      Mama angu kuwa makini sana sana na injili Yako ipo siku uta daiwa

  • @christinamsoka
    @christinamsoka ปีที่แล้ว +1

    Tutubu pamoja Mtumishi maana hata wewe upo duniani.tuombee Nabii maana wewe upo karibu zaidi na Mungu.

  • @JOSEPHINEBWENGEANATORY
    @JOSEPHINEBWENGEANATORY ปีที่แล้ว

    Mungu atuhurumie watanzania na Dunia nzima
    MUNGU akupe nguvu na hekima mtumishi uyaseme haya. Eeeee Yesu turehemu.

  • @JOSEPHINEBWENGEANATORY
    @JOSEPHINEBWENGEANATORY ปีที่แล้ว +1

    Tunyenyekeee watanzania na kuacha nia zetu mbaya MUNGU ataiponya nchi yetu nzuri Tanzania. Bila hivo MUNGU ni mkali atatupiga na ndipo tutakapojua yeye ndiye MWENYE ENZI yote. EEE MUNGU NIREHEMU MIMI NA NCHI YANGU PAMOJA NA DUNIA NZIMA 😢😢

  • @EliciaRunobo-nl3tk
    @EliciaRunobo-nl3tk ปีที่แล้ว +2

    Yaan hiki kitu nimeoneshwa kitambo kidogo, dar tunakimbia na Vita kubwa niliogopa Sana ilikuwa Hali ya kutisha ktk ile ndoto, Mungu aturehemu

  • @annejacobilkiuyoni2971
    @annejacobilkiuyoni2971 ปีที่แล้ว +1

    Eee,Mwanadamu jiponye nafsi yako🙏mwenye masikio na asikie maneno haya, tuombe rehema na msamaha kwa Mungu wetu naye atatusikia,ataturehemu,ataiponya nchi yetu🙏

  • @petrosamson2024
    @petrosamson2024 ปีที่แล้ว +4

    Hata Mimi nilioneshewa giza kubwa inakuja dunia nzima
    Yesu kristo akaniambia watakaosalimika waliosimama katika Imani ya kristo

  • @eliyakiza9327
    @eliyakiza9327 ปีที่แล้ว

    Amina mtumishi mngu akulinde

  • @mbwilloyohana6716
    @mbwilloyohana6716 ปีที่แล้ว

    Amina tuombe wote naona mengi

  • @josephbahame108
    @josephbahame108 ปีที่แล้ว

    ❤❤❤amina mtmsh ninakupata vzr ni kweli kbs bwn atupe ufahamu watanzania na roho ya toba na kushikamana na Mungu kwa kumcha yeye

  • @jessicagervas4075
    @jessicagervas4075 ปีที่แล้ว

    Jamani anayosema ni kweli mimi Mungu amenipa neema ya kunifunulia mambo yajayo na kuombea nchi ya Tanzania na nchi nyingine pia, kuhusu matetemeko, mafuriko nimeoneshwa mara nyingi katika ndoto tuzidi kuombea Toba juu ya nchi🙏

  • @rebecashumbi3450
    @rebecashumbi3450 ปีที่แล้ว +2

    2021 Yesu alinipa ujumbe niwambie watu watubu Yesu anarudi baada ya siku 10 ufunuo 2:10 watu walidharau hawakunielewa niliambiwa niionye dunia wa Bwana walipokea wenye shingo ngumu hawakuelewa narudia Yesu anarudi tuna muda mchache sana siku kumi maana yake tuna muda mdogo sana tunaondoka Endelea kushangaa utabaji

    • @rebecashumbi3450
      @rebecashumbi3450 ปีที่แล้ว

      Tubuni YESU anarudi jamani tusemeje mtuelewe ni km kipindi cha sodoma na gomora na kipindi cha nuhu mwanzo7

    • @NduguEzekiel
      @NduguEzekiel ปีที่แล้ว

      @@rebecashumbi3450 mtumishi wa Mungu samahani naweza pata namba yako tafadhali?

    • @joachim5650
      @joachim5650 ปีที่แล้ว

      Ameeni

  • @saimonndambuki1558
    @saimonndambuki1558 ปีที่แล้ว

    Mungu azidi kukulinda

  • @EFRAZIAMICHAEL-no2jj
    @EFRAZIAMICHAEL-no2jj ปีที่แล้ว

    Sema tupone na mungu akutie nguvu maana yy ndiye aliyekutuma namungu aiponye nchi yetu

  • @johnsebastian-bx6qn
    @johnsebastian-bx6qn ปีที่แล้ว +1

    Eee Yesu mwana wa Mungu utulehem

  • @mjumbewaaganoduniani
    @mjumbewaaganoduniani ปีที่แล้ว

    Sikia ndugu mpeñdwa Tanzania haitapigwa kwa Sababu yupo Mjumbe wa agano Duniani, hamnipi nafasi ya kufundisha kwa nini kama kweli ninyi ni watumishi wa Mungu wa kweli.

  • @saramss7262
    @saramss7262 ปีที่แล้ว

    Rozi muhando Mtumishi shaloom WATUMISHI Mbarikiweee SANA Bwana akuiniwe rozi muhando NAOMBA no ya wasup nashidaa SANA nawewe Mtumishi shaloom

  • @winfridahchacha5057
    @winfridahchacha5057 ปีที่แล้ว +3

    Mungu anaposema anatuekekeza kuiendea Toba NINAWI walipo tubu Mungu aliwasamehe…tuiendeeni TOBA Mungu atuepushe maana yeye hapendi hata mmojawapo Aangamie

  • @shadrackmanase7503
    @shadrackmanase7503 ปีที่แล้ว +1

    Amina mtumishi wa MUNGU, mbarikiwe sana kwa huduma hii ya kulirejesha kanisa.

  • @SeleboyKing
    @SeleboyKing ปีที่แล้ว

    Bwana aturehemu Tz

  • @suzanne9517
    @suzanne9517 ปีที่แล้ว +1

    Mungu atusaidie sana

  • @caritasmushi8896
    @caritasmushi8896 ปีที่แล้ว +1

    Mércy mercy Lord. Baba tunatubu utuhurumie

  • @jackiekibona1724
    @jackiekibona1724 ปีที่แล้ว +1

    Hakika mungu atuhurumie sana

  • @stellamakweta2182
    @stellamakweta2182 ปีที่แล้ว

    Mungu atupe neema,yakutusamehe nikweli tunamkosea sana Mungu,toba tuombe mara kwa mara Mungu atagaili mabaya

  • @yusuphnammadede6823
    @yusuphnammadede6823 ปีที่แล้ว

    upo wapi kiongozi nikutembele

  • @joselinekahashi1732
    @joselinekahashi1732 ปีที่แล้ว +1

    Amina sana , Mungu atusaidie

  • @philemonsarungi9248
    @philemonsarungi9248 ปีที่แล้ว +1

    Madini ya akili🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @gemmamwajombe3169
    @gemmamwajombe3169 ปีที่แล้ว

    Mungu tusaidie tunakulilia

  • @gemmamwajombe3169
    @gemmamwajombe3169 ปีที่แล้ว

    Mungu atuokoe

  • @HappinessMgonja-dt3wg
    @HappinessMgonja-dt3wg 10 หลายเดือนก่อน

    Asikiaye naafahamu...

  • @fedhajoseph7687
    @fedhajoseph7687 ปีที่แล้ว

    Asante sana baba yangu kwa ujumbe huu wenye hekima za Mungu.

    • @josephatisaay
      @josephatisaay ปีที่แล้ว

      Nabii wa mungu ubarikiwe na mungu usichoke kuhabarisha Tanzania na Dunia mungu akubariki amina.by josephati

  • @joachim5650
    @joachim5650 ปีที่แล้ว

    Barikiwa

  • @juliusmganga-t4v
    @juliusmganga-t4v ปีที่แล้ว

    Hata wakati wa Nuhu watu walitahadharishwa kama hivi wakaapuuza, wakaangamizwa na gharika. Watu wa Ninawi walionywa na Yona, waktubu kuanzia Mfalme mpaka mifugu, Mungu akawrehemu. Tunachopaswa kufanywa hapa ni TOBA tu hamna njia nyingine

  • @brothsunitedfocash
    @brothsunitedfocash ปีที่แล้ว +1

    Preach Brother...Somo zuri sana...Amen

    • @peresthobias7201
      @peresthobias7201 ปีที่แล้ว

      Wa mchongo wewe

    • @RogateKimaro
      @RogateKimaro ปีที่แล้ว

      Unabii wako ukiwa kama wa Eliya Name Musa utakubalika

  • @sarahmeshack7200
    @sarahmeshack7200 ปีที่แล้ว +1

    Aminaa m2mishi wa mungu

  • @steveniha-go2pz
    @steveniha-go2pz ปีที่แล้ว

    Mungu wa Yesu kristo sio Mungu mkatili kiwango hicho, lakini wale wafuasi wa dhehebu la mungu mzimu yaani wapandishaji pepo, waganga wachawi waombao wafu na washirikina ote ndio chukizo la mwafrikai, lazima waangamizwe na mizimu Yao ndio laana ya Mungu itamuondokea Mwafrika

  • @aminitu3766
    @aminitu3766 ปีที่แล้ว

    Hakuna kipigo kitakatifu Jamani Mungu anatupenda yani wewe ungeomba Mungu akufunulie watu wa uturuki na siria waambiwe waondoke ili tetemeko lisiwaangamize ww unasema pigo takatifu

    • @florencekawira2212
      @florencekawira2212 ปีที่แล้ว

      Unataka kusema hata wakati was nuhu haukuwa mpango wa Mungu, jamani. Ndugu yangu Niko hapa Uturuki lakini kivuri Chao wewe haujawahi kiona Kwa maisha yako yote

  • @naomicharles5444
    @naomicharles5444 ปีที่แล้ว

    Nabarikiwa sawa

  • @happyaugustine7879
    @happyaugustine7879 ปีที่แล้ว +3

    😭😭😭😭😭Bwana aturehemu😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @sophiankwera9020
    @sophiankwera9020 ปีที่แล้ว +1

    Mungu atusaidie sana😭😭😭

  • @felistamwashibanda7764
    @felistamwashibanda7764 ปีที่แล้ว +1

    Hakika ukifikilia kiundani hata bila ya mtabili kunena haya Dunia imeasi pakubwa mno, binadam tumekengeuka mno hakika Mungu atuhurumie

    • @omaner9476
      @omaner9476 ปีที่แล้ว

      😭😭😭😭😭😢😢😢

  • @danielatuke
    @danielatuke ปีที่แล้ว

    Sadaka úñapeleka wpí ña nímwisho wà Dunia mwaka. Huu

  • @elifurahalaizery6701
    @elifurahalaizery6701 ปีที่แล้ว

    Kweli unasema kwamba pigo linakuja ila usifurahi kuja kwa mapigo kikubwa tumuombe mungu ageuze Gadhabu juu yetu tupone

  • @askofumjema5344
    @askofumjema5344 ปีที่แล้ว +1

    Joshua alisema msiogope wala msifadhaike maana MUNGU yu pamoja nasi so hayana budi kutokea ila kamwe hatutaogopa maana MUNGU yu upande wetu 🙏🙏

    • @omaner9476
      @omaner9476 ปีที่แล้ว

      Akiri una ww kwa hizo zambi uende wap

  • @evelema6146
    @evelema6146 ปีที่แล้ว

    Mfuatilie Imani mcimbwa TH-cam utaijua kweli yote iliyofichwa na wazungu nayo itakuweka huru.

  • @rebecashumbi3450
    @rebecashumbi3450 ปีที่แล้ว +3

    MUNGU ana pande 2 ni mwenye rehema ila kwa upumbavu ni mkali km kipindi cha nuhu gharika waliokoka 8 tu wewe jifariji ataumba wengine ana hasira pia tena ni mkali angalia radi ikipiga utajifunza kitu tetemeko je maghorofa yameanguka uturuki na syria tubuniiiiiiiiiiiii

  • @neemakamgisha2951
    @neemakamgisha2951 ปีที่แล้ว

    Ashukuliwe Mungu kwamba bado wako watu wanaomtakia mema Mungu

  • @murefufiston4199
    @murefufiston4199 ปีที่แล้ว

    Kichaa awezi Kosa Chakula iyo ni kweli Asante kwa ufunuho

  • @marylauwo
    @marylauwo ปีที่แล้ว

    Ni kweli mtumishi mungu atusaidie, huduma ya uamsho inapatikana eneo gani?

    • @tengwatv
      @tengwatv  ปีที่แล้ว

      Amen, ubarikiwe sana mtu wa Mungu.
      Unaweza kumpigia MWL.TENGWA kwa namba hii +255 678 304 931. Kwa maelekezo zaidi. Asante.

  • @georgeahadi-zg2fn
    @georgeahadi-zg2fn ปีที่แล้ว

    Tunaandikiwa kutoa sadaka Kwa nani?

  • @princemahamba242
    @princemahamba242 ปีที่แล้ว +2

    Watu kama hao wanaozidi kututisha duniani wakamatwe wawekwe polisi ili seme vizuri lini mungu kasema

    • @carolmueni6431
      @carolmueni6431 ปีที่แล้ว

      Maanake wewe hausomi biblia,hafadhali Hawa wanaonya hili tumrudie mungu kuliko wale wa toa ubarikiwe

    • @memoryngambi7570
      @memoryngambi7570 ปีที่แล้ว

      Angehubili kwamba mwaka huu utapata pesa ,utanunua magari,ujagenga nyumba ungesema akamatwe? Huyu ndo anaehubili ukweli kwasababu haya maneno watumishi wengi wanayaficha,ili wasijue neno la kweli ,wanajali idadi ya watu kitopungua na kujali kula kwao,lakini huyu hata wakiwa waumini sita wanatosha Bora wanapata ukweli wa neno la Mungu,bahati mbaya ni kwamba hawa watu hua hawakubariki na wengi.

  • @aliabdallah8456
    @aliabdallah8456 ปีที่แล้ว

    Tatizo kubwa ni Binadamu wengi hawajui MUNGU wa kweli ila wanamuhudhi MUNGU Kwa kumuabudu Binadamu mwenzie ndiyo MUNGU wako hilo ni koss kubwa sana kwa MUNGU

  • @BRYNGROUP
    @BRYNGROUP ปีที่แล้ว

    Jamaani mpaka mwili na moyo umekosa Amani, kwani hakuna namna sijui kuogelea mimi

    • @kanankirannko6174
      @kanankirannko6174 ปีที่แล้ว +1

      Nimekucheka kwa nguvu hadi badi tena Mungu anakujua utaogelea tuu ikibidi ila hatuombi hayo ingawa Mungu ana hasira ina fikia mahali unaomba rehema hadi unahisi Mungu hataki hata kusikia ila tumuombe ni baba yetu

  • @mariethabuhulula7637
    @mariethabuhulula7637 ปีที่แล้ว

    Mngu aturehem na kutuongoza kuish kwenye neno ili tuingie kwenye ufalme wa mbingun.

  • @doctorlove7075
    @doctorlove7075 ปีที่แล้ว

    Usiwatie watu hofu kinachotakiwa ni kutangaza nene sio hofu na wala MUNGU sio mbaya kiasi icho unachomtangaza wewe yeye ni mwenye huruma hakuna asiye na dhambi hapa duniani ivyo usitie watu wasiwasi kila mtu anajua anachokifanya

    • @HOMEPARADISE241
      @HOMEPARADISE241 ปีที่แล้ว

      Hawatiii hofu anataka watu tushituke tumrudie Mungu

  • @mjumbewaaganoduniani
    @mjumbewaaganoduniani ปีที่แล้ว

    Huu ni mwaka wa Bwana uliokubalika na kisasi cha MUNGU wetu kwa waovu.mjumbe wa agano nipo kuzuia mabaya,nipeni nafasi ya kufundisha kwenye media zenu.

  • @charleskuyeko4400
    @charleskuyeko4400 ปีที่แล้ว +1

    Sasa badala ya kuwaambia watu waomboleze wewe unasisitiza kwamba lazima yatokee. Wewe unafurahia. Kama watu wakitubu Mungu ataghairi.
    Kabla ya korona hujasema kitu baada ya kutokea ndiyo unasema ulitabiri. Watumishi acheni uongo. Tabiri basi tujue vita ya Urusi na Ukrain inaisha lini.

    • @HappinessMgonja-dt3wg
      @HappinessMgonja-dt3wg 10 หลายเดือนก่อน

      Nakushauri ufunge kinywa,usije ukararuliwa na dubu,Mungu hadhihakiwi...

  • @MariaJuma-q2k
    @MariaJuma-q2k ปีที่แล้ว

    Nikweli,nami nilionyeshwa,kimeanguka kifaa kutoka mbinguni,kilianguka katikati yawatu,nahawakuwa nahabari,lakini kilianguka Ili kilipuke,nilipokiona kinaanza kulipuka,nikaanza kukimbia nikiwatafuta watoto wangu nisiwapate lakini Kila nilipokimbilia nilikuwa mlima,upande mwingine nliona blonde,chaajabu wakati nikikimbia nilijiona ninamimba,nikalia nikamwambia mungu nitakimbiaje juu yahuu mlima?Sina nguvu,nikageukia k blonde nikawakuta nawatoto wangu wamejificha k blonde Hilo,nikaungana nao

  • @ebenezermachange1073
    @ebenezermachange1073 ปีที่แล้ว +1

    Exactly msg

  • @stevendavid8054
    @stevendavid8054 ปีที่แล้ว

    Aminaaaa Baba

  • @HappinessMgonja-dt3wg
    @HappinessMgonja-dt3wg 10 หลายเดือนก่อน

    Km ilivyokuwa siku za Nuhu ndivyo itakavyokuwa,watu walibisha,walimcheka walimdhihaki,walimuona hana akili lakini angalia kilichotokea...walivyoanza kuangamia ndio walikumbuka maneno ya Nuhu...
    Lakini ilikuwa too late...

  • @awalimunishi
    @awalimunishi ปีที่แล้ว

    Kwa hiyo watu wakutafute wewe au wamtafute Yesu?

  • @Jesupowermiracle
    @Jesupowermiracle ปีที่แล้ว +3

    Great Prophecy man Of God

  • @happymvula
    @happymvula ปีที่แล้ว +3

    Nan amegundua sauti ya huyu mtumishi inaelekea kwa Mwakasege?

  • @aplokimo405
    @aplokimo405 ปีที่แล้ว +2

    So guys we repent

  • @nabiimuimbaji
    @nabiimuimbaji ปีที่แล้ว +1

    Shetan ndio chimbuko la maovu dunia lakini ameachwa tu aendelee kuishi kwan kuondolewa imeshindikana

    • @awalimunishi
      @awalimunishi ปีที่แล้ว

      Hili unauliza ni swali?

    • @florencekawira2212
      @florencekawira2212 ปีที่แล้ว +1

      Babako Adamu ndiye alichagua kumsikiza shetani. Mungu ana kanuni zake. Anapenda Kila kitu alicho umba, hawizi haribu shetani hivi hivi sababu ni kiumbe wake, lazima ampe muda ambao alikuwa ameahidi kuishi. Ni wewe ufuate Yesu upone; Sio shetani kutolewa wakati wake kama haujafika

  • @georgeahadi-zg2fn
    @georgeahadi-zg2fn ปีที่แล้ว

    Na kama sadaka inatolewa Kwa mtu binafsi hakuna tofauti na wafanya biashara wengine

  • @MartinaMarugwe-qt2mq
    @MartinaMarugwe-qt2mq ปีที่แล้ว

    Roho was bwana apewee sifa

  • @julieteshehiza4097
    @julieteshehiza4097 ปีที่แล้ว

    Ni kweli na Leo hii usiku huu tarehe 21/2/2023 tetemeko lingine limetokea Turkey na linakadiriwa kuua watu elfu 10 hivi.

  • @mariethabuhulula7637
    @mariethabuhulula7637 ปีที่แล้ว

    Kwel saut kama mwakasege

    • @oscarmario466
      @oscarmario466 ปีที่แล้ว

      Atakua ni mwanafunzi wake

    • @jo-gg5ug
      @jo-gg5ug ปีที่แล้ว

      Ameeeni mtumishi was mungu

  • @kanankirannko6174
    @kanankirannko6174 ปีที่แล้ว

    Kama kuna MTU aliwahi kuona na kusikia haya akaona utani mi ni muda Wa kuamini sasa ,ukweli tutachezea kichapo yaani mi nasikia harufu ya kichapo jamaniii asomae na afahamu ,

  • @KulwaBiseko-v6e
    @KulwaBiseko-v6e ปีที่แล้ว

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @rosekasuva5862
    @rosekasuva5862 ปีที่แล้ว

    kweli 🙏🙏🙏

  • @hilaliabdulla1268
    @hilaliabdulla1268 ปีที่แล้ว

    Hapa unataka sadaka wala hatutoi hhhhh

    • @annehk8185
      @annehk8185 ปีที่แล้ว

      Anachozungumza ni kweli wala hataki sadaka, labda umesema kwa sababu ni mchungaji, Mimi pia nimeonyeshwa hivyo na sio mchungaji je nahitaji nini, tutubu tu jamani.

  • @omaryissagumbi5242
    @omaryissagumbi5242 ปีที่แล้ว

    Hellow wellcom islam ☪️ ❤ ♥ & JESUS is islam you wellcom islam may frend

  • @manilabonalumanula9210
    @manilabonalumanula9210 ปีที่แล้ว

    Pigo baya linakuwaje pigo takatifu?

    • @matildamkubulo1140
      @matildamkubulo1140 ปีที่แล้ว

      Pigo linatpka kwa mtakatifu,ndiyo maana linaitwa takatifu,NI pigo la kuondoa takakaka

  • @nabiimuimbaji
    @nabiimuimbaji ปีที่แล้ว

    Msitutishe na uyo mungu wenu alisiye wapenda viumbe aliowaumba mwenyewe na wala hakulazimishwa aumbe watu..kama alijua wanadam wanadhalau kwann aliwaumba

    • @stelamuhapa6166
      @stelamuhapa6166 ปีที่แล้ว

      Mungu atusaidie

    • @lillianflowergal4833
      @lillianflowergal4833 ปีที่แล้ว

      Sasa mtumishi wa Mungu ameonyeshwa hayo , kwann asiseme tuombee taifa letu? Tumrudie Mungu? Tuombe toba Mungu ni wa rehema. Lakini anatutisha

    • @dadamuebrania1539
      @dadamuebrania1539 ปีที่แล้ว

      Wewe ni mjumbe wa shetani humjuwi Mungu Wala Neno la Mungu alie hai.Sijuwi unateseka ukiwa wapi🙆

    • @deboraleonard3441
      @deboraleonard3441 ปีที่แล้ว

      Wewe siyo mwanadamu?

    • @deboraleonard3441
      @deboraleonard3441 ปีที่แล้ว +2

      Kila neno usemalo utalitolea hesabu biblia inasema

  • @mariethabuhulula7637
    @mariethabuhulula7637 ปีที่แล้ว

    Na mm nlidhan n mtoto wa mwakasege

  • @rebekamwimi1394
    @rebekamwimi1394 ปีที่แล้ว

    ukitenda dhambi kubali adhabu ila kuna fursa ya toba

  • @martinkisha6307
    @martinkisha6307 ปีที่แล้ว

    Huo siyo utabili mpya anase.a aliyoyasema Yes mathayo 24 hamuna unabii mpya na unabii hatazuiriwa ili maandiko yatimie hakuna nabii mpya maana yote yapo

  • @aminitu3766
    @aminitu3766 ปีที่แล้ว

    Ninani atakayetutenga na upendo was Mungu ??? Ni njaa ni shida hakuna

  • @ndimimaskati3641
    @ndimimaskati3641 ปีที่แล้ว

    Wacheni UWONGO , hakuna Unabii wala Mtume, Mtume wa mwisho ni Mtume Muhammad.

  • @floramwanja7860
    @floramwanja7860 ปีที่แล้ว

    Mtumishi watu wanaomba vichakali,miliman na wanafunuliwa sn sn kuhusu nchi ww omba kufunga hatari hizo ulizofunuliwa, kunitangaza kwenye mitandao hakuna atakayekuelewa labda wa rohon hata warohon wanafunuliwa mengi tu kuhusu nchi lakin wanabaki kuomba

  • @josephjamesjosephjames1654
    @josephjamesjosephjames1654 ปีที่แล้ว +1

    Enyi wanadamu hakika ayasemayo mtumishi ni ya kweli kabisa maana mm mwenyewe sielewi kwanini haya mambo Mungu ananionyesha kiukweli ni mara nyingi sana naviota hivi vitu na mm sio shehe wala mchungaji lakini mambo ninayo onyeshwa mpaka najiuliza mm ni nani kwa Mungu? Hakika tumrudieeni Mungu yajayo ni simanzi na majonzi Kama hatutotubu

    • @malakimbise8143
      @malakimbise8143 ปีที่แล้ว

      Kaa kweznye zamu kuomba

    • @OmanOman-xb5qt
      @OmanOman-xb5qt ปีที่แล้ว

      Mungu tuurumiye utusamehe bwan🇹🇿😭😩😩😭😭🤲🤲🤲🤲

    • @furahachungu6802
      @furahachungu6802 ปีที่แล้ว

      Aminaa hiki kitu kipo kweli mungu atusaidie kwakweli naninatamani kujua kweli

  • @millicentywauii2307
    @millicentywauii2307 ปีที่แล้ว

    Amen

    • @praxedamkwila8825
      @praxedamkwila8825 ปีที่แล้ว

      Mpuuzi wewe

    • @kitajumanne414
      @kitajumanne414 ปีที่แล้ว

      Barikiwa mtumishi Mungu aendelee kukupa maono ili watu tuokolewe

  • @dorothymbuere5236
    @dorothymbuere5236 ปีที่แล้ว

    Mtumishi Sema Sema yoteee aliyokuonyesha MUNGU wakweri Sema bila kuficha chochote alicho kupatia Mungu wa kweri Sio wa mchongo kama watu wa DUNIA tunavyo omba mungu wa mchongo wa kufanya kila kitu raisi rahisi.Sasa ndio tunaambiwa UKWERI kuwa tunamwabudu MUNGU MWINGINE. DUH Unbelievable.

  • @mussaissa6796
    @mussaissa6796 ปีที่แล้ว

    PELEKA BANGI HUKO
    CHIZI WEWE
    HIYO NJAA YAKO UNGEIRUDISHA TUMBONI KUTOKA HUKO KICHWANI ULIKOIHAMISHIA MPUUZI WEWE

    • @gladnessmaplanga2109
      @gladnessmaplanga2109 ปีที่แล้ว

      Vijana.....msicheze na Mungu, muumba wa Mbingu na Nchi....kama unafikiri hayakuhusu....nyamaza....utavuna unachopanda. Mungu wa Bwana wetu Yesu Kristo AWAREHEMU.

    • @carolmueni6431
      @carolmueni6431 ปีที่แล้ว

      Mungu akusamehe

    • @miltonjohn9779
      @miltonjohn9779 ปีที่แล้ว

      Utaelewa tu

    • @saimonlyala
      @saimonlyala ปีที่แล้ว

      Dunia niya mungu acha kuwadanganya wanadamu pia wew ni mzazi nawe utawasahau njaa itoke wap wakati mungu huyu unaye msema ndo ametunyeshea vua nzuli lakini siku inakuja mtatoa hesabu

    • @natihaikamsuya6698
      @natihaikamsuya6698 ปีที่แล้ว +1

      Matusi ya nini? Kama huamini si unyamaze, kutubu ndio ujumbe

  • @princemahamba242
    @princemahamba242 ปีที่แล้ว

    Oya tusitishane wakati watu tumewekeza vitu kibao duniani

    • @tulinavelyabonga1433
      @tulinavelyabonga1433 ปีที่แล้ว +2

      Hata uturuki waliwekeza

    • @nurumwita9034
      @nurumwita9034 ปีที่แล้ว

      Mathayo 6:19

    • @elizabethsembe1677
      @elizabethsembe1677 ปีที่แล้ว

      Ebu aponcheke kwanza Yani unawekeza duniani ili iweje. Ujui ssi niwapitaji, aya yasemwayo yata tokea wanadamu tumludie mungu ata mmi nime yaona sema the sijulikani niadithie nilio yaona.ila my friend okoka umpe yesu maisha yako

    • @merygodfrey3709
      @merygodfrey3709 ปีที่แล้ว

      Mimi Naamini Nabii akionyeshwa jambo Anatakiwa Awaambie watu halafu watubu kwa kuomba toba na rehema Na lazima ajue kitu cha kufanya juu ya TAIFA ili watu wapone.

    • @florencekawira2212
      @florencekawira2212 ปีที่แล้ว

      Ukweli ni kwamba utakufa uviache tu